RUBANI NAUMIA MWENZIO
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 11
Sikuwa najiamini, kila mdada akiongea na mme wangu nahisi wivu, mpaka nikaanza kumkera, alianza kugomba muda wote, akawa hapendi kutoka na mimi,ndo nikazidi kuumia nikaanza kukonda, nikawa mkimya tu, alijua niko kimya akawa ananikosea makusudi niongee lakini nikawa siongei akaona aniulize, “mke wangu uko sawa kweli? Nakuona siku izi umebadilika kuna shida gani? Amna niko sawa sina shida yoyote, apo tulihamia wote Dubai, kwa sababu apo ndo alipokuwa anaishi, ruti zake zote ziliishia hapa, nilivyomjibu hivyo, aliamua kinyamaza ila alijua nimemficha, asubuhi niliamka nikawa najisikia vibaya, natamani ata kumuomba anipeleke hosptal, ila nikahofia. hapendi kuongozana na mimi, nisije nikagombezwa, nikawa najikaza tu…
Ameamka hanioni, akapata mashaka,na kile kimimba changu kilikuwa na miezi 5, akaanza kunitafuta akaniona niko kwenye kona karibu na store nalia uku nimeshika tumbo, alikimbia nakuniuliza nini shida mke wangu, nilifuta machozi nakisema niko sawa, “uko sawa vipi ilihali unaonekana hauko sawa, aloniomba aniandae twende hosptal nilisita nakumwambia nitafutie tu dereva, sitaki kukuaibisha uko ujisikie vibaya, alishangaa na kuniuliza, “kuniabisha kivipi, yani mke wangu unaumwa nipo hapa nahitaji kukupeleka hosptal unasema nikutafutie dereva kweli mbona sikuizi sikuelewi aisee…
Hezron kwani lini ulipenda kuongozana na mimi, si ulisema kila ukitoka na mimi nakuaibisha, sitaki kukupa wakati mgumu,ndio maana nimeomba dereva, “aisee
Sasa mke wangu, mimi nilisema ivyo kwa sababu ya wivu, na sio kwa nia mbaya, kiasi kwamba unaumwa nishindwee kukupeleka hosptal, na aibu niliyomaanisha haikuwa ya sura mke wangu, kama ungekuwa mbaya kwangu, nisingekuoa, nilimaanisha aibu ya kugombana na wadada uko mtaani kwa makosa ambayo sio ya kweli,alijieleza mimi ata sikumsikia hali yangu ilikuwa mbaya, nilianza kuhisi kizunguzungu, amekuja kushtuka anaona tu naenda chini, alinidaka, akaita mlinzi wakasaidiana nikawaishwa hosptal..
Nilifanyiwa vipimo, nikakutwa na homa kari, pressure lakini pia msongo wa mawazo hivyo vinapelekea mimba kutishia kutoka, Hezron alichoka, alianza kumhoji doctor namna gani ataniweka sawa, Doctor alimhoji maswali akabaini, sijiamini, ili kupunguza wivu aliambiwa aniaminishe na kunitengenezea mazingira ya kujiamini, asinikalipie kwa sasa, badala yake anisaport, muoneshe mbele za watu uko proud nae, ataacha kisirani chote kwa muda…
Nililazwa kwa siku 5, ndo nikaruhisiwa, tulitoka nakurudi nyumbani, Hezron alianza kunizingatia, mwanzo hakuwa anapenda mtu apokee simu zake, nikipokea siku io nitagombezwa mpaka nijute,nilianza kuona mabadilikk ila sikuyazingatia, nikajua tu ni ya muda, hawezi kubadilika, jioni akaomba tutoke nikaogopa kesi, nikakataa nakusema mimi sijisikii kutoka, alielewa kwa sababu Doctor alimuelewesha, alianza kunimbembeleza akanichagulia na nguo za kuvaa,akawa ananisifia kweli na kichwa kikajaa maji,tulitoka tufika uko niliamua kutulia sikutaka kufatilia, mhudumi alikuja ….
Chapter 12
Akawa anamchekea chekea Hezron, nikavunga sikuliamsha kama siku za nyuma, alinitizama, akaagiza akaniomba na mimi niagize nilimwambia aagize tu chochote, Hezron alimwambia mhudumu, mletee mrembo wangu kama mimi ila kwenye juice leta ya ukwaju, hakikisha unalandaa vizuri aisee kosea vyote lakini sio chakula cha mke wangu, hatutaelewana, hii ilinifanya ata nikatabasam, mhudum aliondoka, nilitamani nipige picha kwa ile furaha niliyokuwa nayo, nilitoa simu, mme wangu akanishika kiuno tupige wote, nilifurahi make ndicho nilikuwa nataka ila apo kwenye kusema ndo mtihani, aliweka mapozi picha zinatoka vizur mno,chakula kilikuja nilikula nikiwa na furaha sijawai kula chakula kikaisha toka niolewe ila leo nilikipiga chote nilijishangaa, adi Hezron alishangaa, nilikuwa na njaa na furaha sina stress zimekatika ghafla tu, chezea kusifiwa na mme mbele za watu wewe, nilivuta na msosi wake niule, alitabasamu na kuniruhusu nilikula nikashiba, ilibidi mme wangu aagize kingine, muda wa kulipia bill alinipa simu yake nilipie, nililipa bill, kisha nikatoa pesa kidogo kwenye pochi yangu nikamshukuru yule dada alietuhudumia nilipenda huduma yake, dada akafurahi mwenyewe, mme wangu hakuamini mimi wakumpa mhudum pesa ya ofa, aliona hii mpya ama ni mtego akakausha, tulirudi nyumbani, nikiwa na vibe mno…
Ata mzigo nilitoa kwa ushrikiano kabisa, Hezron alifurahi mno, tulilala nikiwa nimekumbatiwa kwa raha, asubuhi niliwahi kuamka nikamuandaa mme wangu, kisha nikarudi kulala, aliamka akakuta kila kitu tayari, alitakiwa kutoka leo atarudi jioni, aliniamsha akaniaga na bonge la kiss, nilikuwa nauchovu mno, wakati anaondoka mama mkwe wangu alinipigia simu nakusema anakuja, nilifurahi nimepata wakukaa nae japo ninaogopa nikikumbuka niliambiwa wakwe ni hatari kuishi nao,nilijikaza nakujitamkia wangu tutaelewana tu..
Nililala ili badae nikaamka kupika upande wa mme wangu alimpigia Doctor nakumsimulia mabadiliko yangu, mimi huwa nachukia akiwapa wadada wahotel pesa nagombana nao bila sababu ila jana nimetoa mwenyewe, Doctor akamwambia mazingira uliyomtengenezea amejiamini mwanzo huenda ulikuwa humjali huenda ulikuwa humuiti mke mbele za watu, akakumbuka kweli alikuwa ananiita huyo na majina ya ajabu ajabu tu, yeye hakuyatilia maanani ila mimi nilishika kwa nini asiseme msikilize mke wangu, sweet wangu, ety msikilize na uyo, afu akimgeukia mhudum anacheka mpaka jino na mia ila akirudi kwangu anakunja sura nakuwa bize na simu….
Alieleweshwa akaelewa, alishukuru nakisha kunipigia simu, nilipokea nakuongea nae kwa adabu akabaki tu anacheka ila wanawake mmh, kumbe ndio maana tumeambiwa tuishi nao kwa akili, sasa kusema tu mimi sipendi hivi kuliko kununa nakuleta vurugu alishindwa nini. aliendelea na safari yake akiwa na tabasamu safı, ndani kukiwa na amani ata nje utajisikia amani mno, upande wa Lisa mambo yalikuwa mabaya, alijikuta anategwa na wakwe zake, na walianza kudai mtoto apo ata mwaka bado…
Chapter 13
Walimlazimisha kijana wao aoe mke mwingine, kijana alikataa, kelele zikazidi, ikabidi wahame kwa wakwe wakajitegemea, huku kwangu mkwe wangu alikuja nilimpokea vizuri, alifurahi, tulikula na story tukapika, jioni mme wangu aliludi akakuta nimepika tayari, alishangaa kumkuta mama kumbe hakumjulisha ata mtoto wake, nilifurahi na kujiona napendwa na mkwe wangu, siku ilivyopita niliamka nakwenda na mama kuhemea nilikuwa nikamzururisha, nimemnunulia mama zawadi nilimpatia alifurahi mwenyewe na baraka nikapewa, nimemzidi ata mme wangu hajawai kununua ata kipande cha khanga ampe mama yeye ni hera tu ndo anazotoa ila anunue nguo ata, nilijikuta napewa sifa mno, nilishinda nafundishwa na mama jinsi ya kuishi na mwanaume mama mkwe alikuwa na furaha mpaka akawa na vibe sana na mimi, nikajua apa mama nimepata nikawa najiachia kuuliza ila kwa akili nisije nikaharibu, mama alinipa maujuzi mpaka tukawa tunagonga jioni Hezron anarudi anatukuta tunapiga story mpaka tunagonga akawa anatushangaa anajua wakwe huwa ni moto hawapatani mbona sisi anatuona tunadunda tu, mwenzie uko mambo ni moti kila siku ni kesi, alishukuru Mungu nakuomba tu tuendelee ivi ivi, muda wakutatua kesi hana, zake tu zinamshinda mpaka anaenda kwa Doctor kufundishwa, hizi za kwetu ataziweza….
Alikuja na zawadi ila sasa ya kwangu tu, akanipatia kisha akamsalimia mama, niliona mama kabadilika nikakumbuka hii kitu mama angu aliniambia na hata yeye huwa ananuna tu ggafla kisa wifi kupewa zawadi yeye kusahaulika, nikajiongeza kapata wivu, haikunisumbua nikagawana nae uzuri vilikuwa vitu vyakula kula, mama alijitia kukataa uku anataka, badae akakubali…
Tulivyofika chumbani nikaongea na mme wangu akiwa analeta zawadi alete na za mama, kama haiwezekani bola awe anazileta chumbani kuliko kutoa utazani anamdolishia mama, “ila wanawake sasa uto tupipi icecream ndo zawadi za kumshtua mama? Acha nikutoe wasiwasi mke wangu mama angu ni mtu mzima ni mtu poa sana hana shida na huo utoto kuwa na amani mke wangu huyu sio kama wamama wa uswahilini, nilitikisa tu kichwa kusikitika haelewi kitu huyu…
Kesho yake nikaamua kutengeneza mtu nikanunua zawadi zangu na za mama afu nikamuomba mtu wa delivery alete nakusema kaagizwa na mme wangu kuleta, kweli vitu vilifika nikajitoa niko bize jikoni ikabidi mkwe wangu ndo akapokee, alipokea akapewa maelekezo, alikuja ndani na shagwe ata kabla hajaingia ndani akawa ananiita kwa nguvu kisa zawadi kutoka kwa mwanae adi akatoa machozi ya furaha, akapiga magoti na kumuombea mme wangu azidi kufanikiwa amekuwa mtoto bora kuliko kaka ake, mama alishusha maombi mengi nikawa namrecord ili kijana wake ajifunze na zawadi yenyewe ilikuwa ni ua tu na chocolate…
Nilimtumia mme wangu ile video mama akiwa anaomba uku kashika zile zawadi, na anavyotamka, mme wangu alinipigia simu nilienda chumbani, nikaongea nae, niliongea nae kwa kina nakumuelewesha nilichofanya ili aekewe hakuna mwanamke ambae anakuwa na kujikaza kwenye zawadi, nilimfafanulia mpaka akaelewa nakuahidi atajitahidi kutuzingatia, na utoto wetu, kashajua sasa anaishi na watoto, alikata simu nikarudi sebleni nakukuta mama bado anamuombea mwanae, alivyomaliza aliniita nakunikumbatia, kwa nguvu nakusema najua hili limewezekana kwa ajili yako, mwanangu hajawahi kunipa zawadi zaidi ya pesa tena mpaka niombe, anaamini ninakila kitu sina shida yoyote, nilielewa hisia zake, nilimtuliza alivyotulia alimpigia simu kijana wake akashukuru sana, na maombi akafanyiwa….
Chapter 14 & 15
Alifurahi hakuwahi kuona mama ake akiwa anashukuru kiasi hiki, badae alitafakari, akampa ushauri mwenzake nae afanye kama mimi huenda itapunguza maneno kwao, uku anacheka nakuona kama ni utoto mno, jioni mama aliomba aingie jikoni mwenyewe ampikie mwanae, ata sikuwa na pingamizi, leo nakula chakula cha mama mkwe,kwa raha zangu, jioni mama alimpokea mwanae mtoto leo nilimshauri aje na gauni la mama nilimchaguria likaja nyie mama alifurahi akambeba juu juu kijana wake ata sijui nguvu alizitoa wapi, tulikula chakula, nikaona jamaa ata hasifii chakula, nikaanza kumtumia txt ajiongeze asifie chakula, alisoma txt akanitizama kwanza nakutikisa kichwa, mama akamuuliza vipi chakula unakionaje, kwanza akanitizama akatamani kucheka, akajikaza nakujibu, kitamu adi sitamani kuongea nishibe tu kwanza..
Mama alifurahi, japo hakikuwa bora sana kama changu, alizoea kupikiwa sana, hakuwa mpikaji, ila furaha tu ya zawadi kwa mara ya kwanza kutoka kwa mwanae ikamhamasisha, mama alimuongezea chakula kijana wake, yani alivyokuwa anam care kama mtoto ivi, jamaa ilibidi tu awahi kutoka mezani, mama akamzuia amuombee kwanza baraka, zilimiminwa, ndio tukaenda kulala, tumefika chumbani, Hezron hana mbavu kwake aliona ni utoto tu, kama ni nguo aliyoleta mama ake anapesa ya kununua zaidi ya 100 bila kutegemea pesa yake, nilimtizama nakusikitika nikaanza tu kumwelewesha thamani ya zawadi…
Lakini hakuelewa akabaki na kauli ya utoto na usumbufu, nilimwambia tu sawa muhimu tu zawadi tupate make mimi leo ata pipi tu sijaletewa, napika vizuri ata nisifiwe akuna, alikuwa anaelekea bafuni, ikabidi asimame, nakusema naona mnataka kufanya mashindano ya zawadi, sawa mama kesho nitawaletea sitaki ugomvi tu usiku huu, sikujibu chochote, nikaingia zangu bafuni wa kwanza, apo ata nguo sijavua…
Alicheka tu nakujua mtoto anautaka uyu, aliingia nakunisogelea na nguo zangu, na tumbo alifungulia bomba la mvua mpaka kichwa kikaliana uzuli sikuwa na rasta nilikuwa na nywele zangu tu nimesukwa na mama mkwe za kawaida, maji yalivyonimwagikia nguo ikaloa nakukamata mwili, Hezron akawa pembeni ananitizama ukaona asogee aniguse, alisogea anaanza kunipapasa uku anatafuta zipu ya gauni anivue, alivyonitoa gauni, ndani sikuwa na kitu kabisa, alitabasau gauni liliwekwa pembeni, akanisafisha chini uku ananitekenya…
INAENDELEA


1 Comment
Youre so cool! I dont suppose Ive read something like this before. So good to seek out any person with some unique thoughts on this subject. realy thank you for beginning this up. this web site is one thing that is wanted on the net, someone with just a little originality. helpful job for bringing something new to the web!