RUBANI NAUMIA MWENZIO
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 6
Alivyoona simuelewei, alinishika mikono akaipin nakunigeuza ili anifunge mikono mgongoni, akaanza kazi, nyie nilijuta, utam ulimkolea akaniachia mikono, akawa anaisukimiza ndani namzuia namkono, akaona kama namsumbua akaikamata tena, nikajikuta raha na uchungu vyote nasikia nikitaka kulia ananituliza na juice, nilikula raha mwanzoni tu ila baadae nikachoka nakuanza kuumia, nilimuomba Hezron nimechoka baba, “P ulisema Boss siwezi kazi mama unachokaje tena kwa Boss, si wajeda tu ndo wanakuweza? Alianza kukumbuka niliyokuwa nayaropoka akawa kama ananilipizia, hasira zote zilihamia kitandani, nilianza kulia anani deep kiss lakini haikusaidia hasira zake ziligoma kupoa nikawa nasikia kunawaka moto chini, Hezron naumia mwenzio, basi nisamehe naumia, mpaka nikaanza kumuita Pilot naumia mwenzio jamani nihurumie basi, usiingize sana unanichoma, apo hanisikii na haongei zaidi ya kunishuhurikia, nilijikuta nazimia, nimekuja kupata fahamu, niko bafuni niko nae, nilivyomuona tu nikashtuka, Hezron inauma sana, nakuomba nisamehe sijakuzarau, alinitizama tu hakujibu kitu alinitoa bafuni akaniweka kitandani, kimya kimya, kidogo mtu akagonga, alinyanyuka akaenda kufungua alikuwa ni mhudum kaleta chakula….
Alikipokea akafunga mlango, apo mimi nilikuwa nimechoka, nahisi maumivu ili hali sio mara ya kwanza, lakini maumivu ninayoyasikia ni makali kuliko ata ya siku ya kwanza, Hezron aliniomba niamke nile, niligoma, “kam hutokula utaaamsha hasira yangu, na sehemu pekee inaweza kutulia ni hapa kitandani, niliogopa nikainuka, japo sikuwa naweza kutembea vizuri ilibidi asogeze kitandani, aliamua kunilisha nilikuwa na hasira nae ila nikaogopa kukataa, nilikula mpaka aliporidhika…
Alisogeza vyombo alikuwa anakula uku ananilisha, nilipata hasira basi tu, aliniomba tuongee, nilimtizama tu, akashusha pumzi kwanza kisha akaniuliza, “Malkia bado sijakizi vigezo vyako bado? Moyoni nilimtukana jitu linaumiza badara ya kunipa raha afu linauliza ujinga, kwahiyo naridhika namaumivu, ila mdomoni sasa nilichojibu tofauti kabisa..
Hezron mimi sikuwa nawaza hayo uliyosikia, umeniumiza bure tu, “kwa hiyo hujaridhika nianze upya? We nilishtuka nakumwambia nimeridhika, “kama umeridhika naomba upige simu nyumbani sasa hivi, najua no ya mama yako iko kichwa mwambie kesho kutwa naenda, nilisita akanitizama chapu nikaandika no za mama, kwenye simu ya Hezron make mimi sikuondoka na simu, nilijieleza japo kwa uoga nikashangaa mama kasema anajua na da Mariam alishamjulisha, nilichoka ila nikavunga tu nilivyomaliza nikamuuliza tu umeridhika?..
Alinitizama akanikumbatia, uku anaongea, “Malkia wangu nakupenda sijui kwa nini huniamini, niambie basi tatizo nini naumia, najikaza tu kiume lakini unaniumiza mama, najua nimetumia nguvu lakini tatizo ni wewe Malkia unanitia hasira, siwezi kukupiga ila fimbo pekee nayoweza kutumia kwako ni hii, sikufichi ukinikosea ya leo ni cha mtoto, hasira yangu inashuka kitandani tu…
“Nimejithibitishia unanipenda japo siwezi kukwambia nimejuaje ila kibali kataa, moyo wako ni shahidi wewe unanipenda ila hutaki kukubali ukweli, najua bado unautoto mwingi, niko tayari kuvumilia, lakini weka akilini nina moyo, naumia jaribu kunielewa basi, na uniamini, sina mwanamke mwingine sina…
Nilimtizama anavyojieleza kwa uchungu lakini ata sikumwamini, nilikubali tu yaishe, dada alimpigia, waliongea akajieleza nakuomba samahani, akasema tuko mbali atanirudisha asubuhi, dada alimgombeza mpaka wakaelewana, tulilala, apo namuogopa sio noa nililala kwa kumkwana usingizi na baridi
Chapter 7
Kumbe hakuwa amelala, alikuwa na hofu, huenda nikamchukia, alianza kizilaumu hasira zake, kulikucha niliamka lakini bado hali yangu haikuwa nzuri, na natakiwa kesho nirudi nyumbani, ilibidi Hezron anipeleke hosptal nilipewa tu dawa za maumivu, tukapima na afya baada ya kutifuana, tena pekupeku ndo jitu linakumbuka kupima, kupima, majibu si yakatoka mimi nimeathirika mwenzangu mzima, nyie iyo kitu ilijua kunivuruga, nilipewa ushaull nikashangaa na Hezron anauliza namna yakuishi na mimi nikiwa hivi hivi na maambukizi na kuzaa nae, alipewa maelekezo, nikamtizama kama anajielewa, ila nikajua tu hakuna ndoa ataenda kunitelekeza kwa dada, alipewa dawa za kujikinga na maambukizi, na dawa zangu…
Nilipoa tukiwa kwenye gari, Hezron aliniambia nisimwambie mtu yeyote kuhusu afya yangu hata rafiki zangu na dada, kama nahitaji kumshrikisha mtu labda wazazi wangu, nilikubali ila apo nawaza nani kaniambukiza mimi, nimedate na wakaka wawili tu, Hezron watatu, nilikuwa nalia bila sauti, ni machozi tu, tulifika mpaka chumbani akaniambia nitulie, yeye yuko na mimi, “Malkia nakupenda hivyo hivyo, sijabadilisha mawazo, na siogopi, naamini tutavuka ukimwi sio kifo mamaa….
Tukifuata masharti, utaishia miaka mingi kuliko ata sisi wazima, aliongea sana nilijua tu ananitia moyo, hamna lolote, nilitumia dawa kidogo jioni ikawa afadhari tulirudi kwa dada, ila sikuwa na uchangamfu kama mwanzo, walinishangaa. wakambana Hezron awaambie amenifanyane, Hezron aliwaambia tu wanipe muda nitakuwa sawa, siku iliisha, kulikucha tukakatiwa ticket ya ndege kurudi nyumbani, tulirudi asubuhi utazani tumefukizwa, ni kwasababu kina Hezron walidai watakuja na ndege ya mchana, binafsi mimi nilikuwa nimeshakata tamaa kabisa, nilijua tu pilot hatokuja…
Nilifika nikasalimia sikutaka story na mtu, nikapitiliza chumbani, mama alishangaa, sio kawaida yangu, aliamua kunifata chumbani kujua kulikoni,alivyoniuliza nakunibana sana nilimpa majibu mama alilia kama mtoto mdogo, mtoto mwenyewe wa kike ni wewe tu mwanangu jamani, mama alilia mno, mpaka baba akaja, mama alimpa maelezo baba mama angu alivyomaliza tu kuongea akazima baba akampa huduma ya kwanza akapata fahamu…
Tuliamini familia nzima hakuna ugeni, japo walikuwa wameshapika, ila hawakualika mtu tukakubaliana jioni tutakigawa tu, muda huo tunaumiza kichwa nimeupataje, mama alilalamika huenda nilikuwa kicheche, waliniambia nifatilie tumjue uyo alienifanyia hivi, baba angu alikuwa ananipenda hakunigombeza alikuwa anaumia kimya kimya,, ila niliyaona maumivu yake wazi wazi alikuwa anajikaza tu..
Tukuwa tunajiandaa kusambaza chakula tulichokuwa tumeandaa ghafra tukapata ugeni, wote tukashangaa, tuliwakaribisha, alikuwa ni da Mariam na mama ake na Hezron, na mzee sikuwa na mjua na Hezron mwenyewe, tuliwaandalia, wakasema nia yao, mama na baba wakaomba kuongea kwanza na muoaji, make niliwaambia anajua, walikaa nae wakamuuliza, “kijana afya ya binti yetu unaitambua na mbona umekuja? Alijibu “Baba huo ugonjwa mimi haunifanyi nisimpende, naweza kuishi nae na tukatengeneza familia, mpaka nakuja hapa, nimeshatafakari vya kutosha, sijielewi wazee wangu naomba tu mniruhusi nimuoe nampenda ugonjwa hauwezi kunifanya nisimpende hata kidogo, wazazi wangu walichoka, wakaamua kumshauli sio vizuri yeye ni mzima ingekuwa wote ni wagonjwa apo sawa, lakini Hezron alikataa kata kata…
Ilibidi baba na mama wakubali tu, upande wangu nilikuwa sielewi na namshangaa Hezron mno, sikuwa namuelewa hata kidogo, alitoa posa na mahali wakapanga mpaka tarehe ya ndoa, wakaaga kuondokaa, Hezron akaomba kuongea na mimi kwanza, nilitoka nae tukaenda kukaa sehemu peke yetu ilikuwa nyumba ya nje, alinikumbatia nakusema, “nia subuhi tu tulionana lakini huwezi aminj nimeshakumiss naomba Mungu siku zikimbie haraka nikuone kila saa pembeni yangu, nilijikuta tu machozi yananitoka, Hezron alinikiss, nikamuuliza huogopi unavyojiachia je nikikuambukiza?…
Chapter 8
“Malkia wangu, mimi siogopi, nachokiogopa tu nikuwa mbali na wewe basi kwanza hujui tu nivile hapa ni ukweni ila ingekuwa pengine ninaham na kuipiga deki asali yangu, kuna namna hujui tu mimi huo ugonjwa siogopi, umenikaa moyoni mpaka sijielewei, nilimtizama kama simani yami uyu nauzuri wake wote ananipenda mimi mpaka haogopi ugonjwa, ni kweli au ananiigizia analake jambo…
Upande wa Lisa wao hawakuwa na mambo mengi, ndoa yao iliwahishwa baada ya posa tu kesho yake ndoa ikapita, mimi aliomba aende kazini baada ya miezi miwili atakuja kwa ajili ya ndoa, nilijua tu ndo kasepa hivyo, mwenzangu alienda kwake, Dubai na hata chuo mmewe alisema atamtafutia huko huko, siku hazigadi, matumizi nilikuwa natumiwa, ila madawa nilikiwa simezi natupa, nilitaka tu nife mapema, nilikuwa nimekata tamaa kabisa, Hezron alijitahidi kunipigia simu ata kama yuko bize, alihakikisha angalau anapiga simu inakuwa on atakama hatoongea niwe tu nauhakika nae, alikuwa anambambana kuniaminisha, niko peke yangu…
Nilianza kuumwa ila nikawa naficha nyumbani wasijue wakaenda kufatilia habari za dawa, nikawa nataka nizidiwe tu nisipone, zilivyobaki wiki mbili Hezron aje kwa ajili ya ndoa akawa hapatikani, familia na mimi wote tulikata tamaa, na uzuri hatutaka ata sherehe yoyote ifanyikie hapa nyumbani, na hatukutoza michango yoyote kabisa, tulihisi tu hili litakuja kutokea tupate aibu, mama mkwe yeye tulikuwa tunawasiliana vizuri tu…
Siku ziliisha ikawa imebaki siki moja tu, sikujisumbua kusumbua mtu ama kulia, nilikuwa zangu ndani naugulia maumivu ya tumbo kichwa,yani mwili wote unaniuma, sijisikii ata kuonana na watu, nikiwa nimelala usingizi umenipitia nikahisi kama mama ananiita, alikomaa mpaka nikashtuka, kumbe kweli mama alikuwa kaja kuniamsha tukale, nafika sebren namkuta na Hezron, nilimtizama kwa mshangao, nilimsalimia nikataka kula chakula kikanishinda, mama akahisi siko sawa, wakalazimisha twende hosptal, niligoma lakini hakuna aliyenielewa, apo Hezron alikuja na nguo za shuhuri na viatu yani kila kitu…
Tulifika hosptal nikafanyiwa vipimo, majibu yakatoka nina kibendi, nilichoka Hezron alifurahi mno, Hezron aliomba wanifanyie vipimo vya mwili mzima, ili nilindwe mimi na mtoto mapema, tulijieleza kama mimi ninashida, wakasema ngoja wanipime waone CD4 yangu, ndipo watajua wanishauli nini,tulikibali vipimo vikafanyika, apo sijawai kucheka toka nimepata majibu…
Tulisubili majibu apo mimi niko hoi, na mawazo juu,mwenzangu ata hana wasi wasi, majibu yakatoka, ila kimbembe kikawa kingine kabisa, yani mmh, upande wa Lisa alikuwa anapitia wakati mguni ukweni kwake mno, mme hakuwa na shida ila mkwe na mawifi ilikuwa ni balaa, upande wetu huku tulipata mshtuko mwingine kabisa, kuhusu majibu yangu ya vipimo…
Chapter 9
Doctor alisema vipimo vinaongesha sina maambukizi, mmh hii sasa ikawa ngumu kuelewa, tulirudia kipimo mimi na Hezron wote tukakutwa wazima kabisa,mhmm sikuamini tukaenda hosptal tatu niko sawa kabisa sina shida, Hezron alichukia akaanza kufatilia majibu tuliyopewa Zanzibar, alipiga simu na bit la hatari wakagundua maabara walichanganya vipimo, na hapo ni baada ya kucheki kwenye cctv camera, aisee niliwalaani mno, nilikuwa nishawaza kufa, vipi kama Hezron angeniacha kwa sababu ya uzembe wao, mama angu kidogo afe kwa pressure, nyie mmh….
Furaha ilirudi, nilijikuta namtizama Hezron simpatii majibu, kumbe alinishtukia wakati namtazama nilijua hanioni, nikashtukia kanitumia picha yake, tena akiwa kifua wazi nimtizame vizuri hapa wazee wanambana, nilijikuta nafurahi tu natabasamu likapatikana, tulirudi nyumbani nikapata na nguvu ya kujaribishia gauni langu, mama alinicheka mno, ila alifurahi nimepata mwanaume sahihi, kwa hili jaribu la muda mfupi limekuonesha mwanaume uliempata sasa zembea wamuibe, si unaona wakwangu ninavyopambana kulinda kiroho na kimwili, karidhike ujiaminishe hapindui ili wakupindue, mwanaume hupaswi kimzoea wala kumletea mazoea, mheshimu ishi kwenye mipaka yako..
Alinihisia vingi mno mama angu, apo ilibidi wandae card baadhi za watu ata 5 wakunisindikiza na kutoa zawadi, baada ya harusi ndo nije kufanyiwa sherehe nyumbani wajipange, kweli kama utani nikawa Mrs. pilot Hezron, toka nipewe kwa adhabu sikuwa nimetoa tena nilimuogopa mno, sasa kimbembe ndoa ivyo siwezi ata kumnyima,
Baada ya kutoka ukumbini, nilikuwa na hofu mno, Hezron aligundua hofu yangu, alinitoa hofu, akanambia leo hatoniumiza hana hasira, hio hutokea akiwa na hasira, nilijua tu ananipanga kama afande hamna lolote, atanisurubu tu, nilianza kujitetea mara mimba haitaki mambo ayo, Hezron akaona naleta mchezo kwenye msosi muhimu awee alinishika akaanza kuniandaa kwa akili nakuja kushtuka jamaa yuko kwenye chuchu anazifakamia mpaka nasikia kuchaanganyikiwa kabisa, alivyoona chuchu hazitoshi akahamia chini nyie alikujua kuniandaa uyu kaka, ulimi unapita mara kidole ilimradi tu anivuruge, saa nzima naandaliwa, mpaka nikaanza kuililia nimeshatepeta nimeiva, afu mtu hanikuli, ananipika tu, alivyoona nimeanza kutoa machozi, akajashingoni nikiwa nashangaa pango likaingiliwa, huku ulimi uko shingoni, akawa analamba nakunyonya shingo, nikawa sielewi nisikilizie utamu upi, mwili ukazidi kuchemka kwa raha, alikuwa kama akinyonya shingo nikama mishipa ya hisia inashtuka na kuongeza speed yakuzalisha ute na raha…
Nikajikuta nalia tu kwa raha, alikuwa akitoa ulimi analeta kidole kwenye kimlima utam, uku anatia uku anakisugua, nilikuwa naunganisha tu mabao, ilifika hatua akaanza tena kuingia sana, ikawa inachoma choma, inauma nikawa namwambia, ila haelewi mpaka akamwaga,apo nimechoka mno, alinikiss nakunisifia, namimi nikajiongeza nakumsifia ya leo tamu, alifurahi japo nimeisema uku naona aibu nimejificha mgongoni kwake ila ujumbe umefika kaisugua imesugulika..
Tuliingia kuoga, ila Hezron akawa bado anakiu, akawa ananitizama kwa tamaa kabisa, nilivyojua nilitamani kukimbia kumbe ndoa zenyewe ndo ivi mwanaume ata hatosheki, nikikumbuka maelekezo ya kungwi wangu, nachoka kabisa, niliamua kujikaza nimridhishe tu mme wangu, niliamua kuitia mdomoni ili kuipunguzia makali kwanza, ili awahi kumwaga, ilinisaidia sana, niliamua kuipunguza makali kisha nikamrudisha kitandani nikajipimia mwenyewe, tulivyomaliza bado akataka cha bafuni nilimpa ila nilijilazimisha tu..
Chapter 10
Alilizika, akanipa pole na asante, tulilala muda ukiwa umeenda sana, asubihi niliamka nikiamini nimewahi kumbe nimeamka saa 5 asubuhi, nakuta mwamba kashaamka yuko bize na simu, wivu ukanisokota, nikajikuta tu navuta mdomo, nikasalimia ila moyo unateketea natamani kujua anachart na nani asubuhi tena kaniacha kitandani kaenda kukaa kwenye sofa kabisa, nilinuna kwa muda nikitegemea ata atanitizama aniulize mbona nimenuna lakini hata kuinua tu uso anitizame hakufanya hivyo, nikaoga nakurudi kitandani, nikaanza kulia kimya kimya…
Uku natoa sauti kwa mbali, lakini hakuniuliza mpaka nikanyamaza mwenyewe, nikaamua namimi niwe bze na simu, sikuwa na cha maana nikawa nacheka ata sababu ya kucheka hakuna, ilimradi tu nimkere na kweli nilifanikiwa,alinitizama akasogea nakuchukua simu akakuta hakuna chochote nachofanya namimi nikaomba yakwakwe niliogopa kuvuta asije akakasirika, kuna vya kuiga na vingine ni vya kubip, vingine sio ata vya kujaribu, alinipatia, nilikagua kila kona hadi messenger, alinitizama tu akawa anatikisa kichwa, niliishia kuona tu alikuwa anachart na wenzake wanampongeza na picha za harusi zinatumwa, ata sikuona jipya, nikarudisha simu nakumuuliza mbona nilikuwa nalia afu ata hajaniuliza nilikuwa nalilia nini?..
Alinitizama akatabasamu nakusema, “mke wangu mimi tumesalimiana vizuri kabisa, ukasema uko ok,sijasikia kama umelia ningekuja kuuliza kwani kulikuwa na shida gani? Niliona kabisa ananichota tu lazima kanisikia, nilinuna akaanza kunimbembeleza, nakunisifia kidogo tu nikajisahau nikaanza kucheka, siku yangu iliisha vizuri mno ila wivu jamani nilijikuta nina wivu mno…
Inaendelea….


1 Comment
I conceive this site holds some very superb info for everyone :D. “Nothing surely is so disgraceful to society and to individuals as unmeaning wastefulness.” by Count Benjamin Thompson Rumford.