RUBANI NAUMIA MWENZIO
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 16
Niliisikilizia nikaanza kutapatapa, na tumbo langu ila kidume alinimudu vizuri, alikuw ananipa kwa ustarabu, kwenye kuchochea anachochea haswa, kwenye taratibu nitaratibu tena ya kihisia kabisa uku ananitizama machoni au kunywa juice, nikaridhika, ndio tukaoga nakurudi kulala, kulikucha tukakuta mama kashapika chai, akaanza kulalamika namcheleweshea mme wangu chakula, akawa anaona kama namtesa mwanae, ata sikuiweka moyoni nikajiongeza upendo wa mama jumlisha furaha, vinamvuruga, nitamchukulia kama mama angu mzazi ill nisipate pressure nae…
Kama kugombana ata mama angu mzazi huwa tunatibuana, na simu nampigia kuna muda tunanuniana, hivyo kila akininunia au kunichukiza, niliwaza ivi angekuwa mama angu ningefanyaje, nikipata tu jibu nafanya hicho. hicho ambacho ningefanya kwa mama angu, hil ilinisaidia mno kuishi na mkwe wangu, kuna muda ananuna tu bila sababu, najipendekeza nakumpembeleza mpaka tunaelewana, ata akinitolea vimaneno vya ukari ata siviweki kichwa nakaa navyo muda kidogo tu napotezea..
Akinikera sana nalalamika ila nikimaliza siku kadhaa tu, nasamehe na kuongea tunaongea, siku ya kuondoka tulimuhemelea vitu vya kutosha ila bado akataka na vyombo vyangu vya ndani, akaniomba miko, yani alikuwa anaomba vitu mpaka nikajikuta nacheka tu, adi ma nyama yakusindika nilimpatia, ata sikumnyima nilichukulia poa, nakuamini kila mtu apa duniani anamazuri yake na mabaya, nijifunze kwenda na vyote ili niishi kwa amani, aliniomba na kitenge changu kimoja alikipenda, sikumnyima, japo najua anavitenge vingi mno, ila angekuwa mama angu kaomba ningemnyima? Nikajipa jibu hapana, japo sio sahihi kuvaliana nguo, ila ni mama acha niitoe kama sadaka, nilimpatia alifurahi mno, akaondoka kwa amani, apo mama alienda kuweka biashara zake sawa aje kwa ajili ya kunihudumia uzazi, apo nilikaa nae miezi miwili..
Upande wa Lisa mambo yalizidi kuwa magumu, ilibidi niende nikamtembelee tushauliane, alikuwa kashaanza chuo, mimi nilisubiri kwanza nijifungue, alikuwa kakonda mnyonge maskini, tukiwa pale, akaja mkwe wake na mawifi na mwanamke wa kiarabu wamemletea Elham, nilichoka mama mkwe wake akaanza kusema unaona mwenzio kaolewa nyuma ila cheki matunda tayari, nilijikuta nimelopoka mama unauhakika gani kama mwanao ni mzima? Mama mkwe wake Lisa alinikata hilo jicho akaanza kusema mwanae mzima ila nikama wakawa wameanza kupata uoga nikajua kabisa apa kunajambo sio bure,niliwaambia kabla. hawajakurupuka wakae namtoto wao kwanza awaambie ama waende kwenye vipimo wote ndo waje kubwabwaja, niliongea kwa ustarabu kabisa bila kumvunjia heshima, ila kwani alielewa sasa waliondoka wakiwa wamepanic uku wana mpigia simu kijana wao….
Haikuchukua muda simu ya Lisa ikaita kapokea nikasikia tu sauti ya. Elham anamuuliza mke wake kwahiyo umeamua kunitangaza? Lisa akawa anasita kuongea nikajiongeza nikatoka,baada ya muda Lisa alikuja kuniita uku analia, ilibidi nimuombe awe muwazi kwangu, ili tujue tunaanzia wapi, ilibidi aseme ukweli, “yani P rafki yangu najuta mno, yale uliyokuwa unahofia ndio yananitokea mimi, nilikuwa nakupuuza ila saiv najuta, Elham anashida toka nimeolewa hakuna kilichofanyika, na aliniomba nisiseme nimvumilie atakuwa sawa, hataki aibu, na ni mtu wa hasira kila muda kitu kidogo tu anakuwa anagomba na kulalamika namdharau kisa hanipi haki yangu, lakini unakuta mimi hata sijamdharau, alinisimulia nikajua kabisa hii sasa balaa, nilimshauli asichukue maamuzi ya haraka, ajitahidi kumuelewa mwenzie huo ukali ni kwa sababu anajihami hajiamini, afanye jambo mme wake akachekiwe India huenda akapona, ila inahitajika akili kubwa kumshawishi, make ukikurupuka kumshauri atahisi umemchoka atazidisha gubu, tulielewana namna yakufanya jambo likae sawa..
Chapter 17
Tuliamua kutumia akili, nilirudi nyumbani nikaongea na mme wangu kwa kina tukapanga kumtumia mme wangu ajifanye tu anaongea na simu mtu katoka kutubiwa India saiv mambo shwari aongee mbele ya Elham ili awe free kufunguka, kweli ile mbinu yetu ikafanya kazi, Elham alienda akafanyiwa vipimo wakatoa majibu anatakiwa kufanyiwa oparation baada ya hapo ngoma itakuwa inasimama na itakuwa na uwezo mzuri tu..
Elham alifurahi mno, alijua ata mke wake hajui kumbe tumepanga dili, Hezron alirudi nyumbani, alihofia kuniacha mwenyewe na huu mtungi wangu, sijakaa sawa nikapigiwa na mke mwenzangu mke wakaka ake na Hezron kuwa mama analalamika uko, mi mchoyo nimempa khanga iliyotumika, nilichoka nikatamani kumwambia mme wangu ila nikakausha, mama alinipigia simu kama vile hajaongea chochote na mimi nikajitia sijajua lolote, mwanzo nilichukia ila sikumwambia baada ya muda nikasemehe, kimya kimya na kuendelea na maisha, oparation ilienda vizuri, baada ya oparation kwenda vizuri ndo Elham akamjulisha mke wake na kumuomba aende kumuuguza, Lisa alipelekwa na Hezron mpaka kwa mme wake, walikumbatiana Lisa akajikuta analia tu, mmewe alimtuliza, uku kwangu nilitamani kwenye uzazi na mama awepo, make Hezron hakutaka kabisa nikajifungulie nyumbani kwao wala kwetu, alituma ticket za wazazi wote wawili, apo mimba Inamiezi 8, walikuja ila balaa wote walikuwa na wivu nikoma mbona, wakiamua kupokezana kununa utambembeleza mpaka basi, Hezron alikuwa anacheka nakushangaa, ata yeye hawezi kufanya huo utoto leo anaona wamama watu wazima kabisa, wananigombania, mme wangu yuko apo anajionea mauza uza tu kila mtu, anataka aniandalie chakula..
Kuna siku wanashindana kupika, na wanataka nichague cha mmoja kula, walijua kuninyoosha, mme wangu tu kufika chumbani anacheka na kuniuliza sasa mke wangu awa wamekuja kukusaidia ama kukupa mawazo,, mpaka hapa nimeamini wanawake hamkui, kesho yake akawaletea zawadi wote, saa ngapi wasitake kumjari, kila mtu anataka yeye ndo chakula chake kiwe cha kwanza kuliwa, alikuwa ananicheka mimi leo yamemkuta, alitamani kuniomba msaada, akimpendelea mmoja wapo tu imekula kwake…
Alichofanya alichanganya vyakula vyao vyote kwenye chombo kimoja akamix kabisa akaanza kula, allapa hatowaletea tena chochote yeye hawezi hizi bangi, sijui itakuwaje uyo mjukuu akizaliwa, watamgawanaje, siku nyingine waje kea zam hawafai kukas pamoja, ila kuna muda wanaelewana, tena wanapiga story zao adi wanagonga mikono, na kujariana kama ndugu wa damu moja, Hezron alivyowakuta siku hio wanavyocheka pamoja alishangaa hawa leo vip,nikamwambia mbona kawaida yao, huwa wanagombana na wanaelewana mno, sasa mchokoze mmoja apo uone watakavyokushambulia, kifupi tu hao nikama vita ya Tanzania na Kenya, nchi nyingine haitakiwi kuingilia, alicheka nikamwambia ngoja nikupe tu mfano, apa niliinuka nakwenda kumtibua mama kidogo tu, weee walivyonichangia mme wangu hakuamini, kama ndio wale wasiopatana, alinicheka mpaka akakaa chini, nilishambuliwa mpaka nikakimbia, nilimwambia mbona hapo kidogo, hujajionea niulize mimi ninae shinda nao hapa, wanatoana adi out naachwa na mtumbo wangu, Hezron alicheka mno..
Chapter 18
Nakuona kazi tunayo, upande wa Elham na Lisa walikuwa bado hosptal waliambiwa watakua huko kwa miezi 3, watakuta nishajifungua, siku hazigandi, kweli siku ya uchungu ikafika nyie nyie, uchungu shikamoo, nilisota, mpaka mme wangu akaanza kuogopa na kuwasumbua maDoctor, wakati kina mama walimtuliza nakumshauri aniombee sio kusumbua wauguzi kiasi hicho, wakati wanashauriana, mimi huku ndo mtoto akawa serious nakutoka, nyie nilijifungua katoto kangu ka kike, nikajua nimemaliza kumbe nina mapacha, na kwenye vipimo hawakuona, nikama mmoja alijificha, wote walishangaa ikabidi wasubili aliebaki pia atoke, alijua kuninyoosha nusu saa ndo akatoka, alivyotoka nilishusha pumzi kwanza sio kwa uchovu ule, nilichanika, ikabidi wanishone na kunisafisha, kina mama walifurahi mno, mme wangu pia ilikuwa ni surprise sana kupata mapacha, hatukutegemea, ila mme wangu akasema afadhali make apa kila mtu atakuwa na wake, angekuwa mmoja kelel ndani ingekuwa kubwa, ukizingatia wote wanauhaba wa watoto wa kike, apo wote mapenzi yalihamia kwa wajukuu nikabaki na mme wangu tu ndo ananijali, make alijua akijitia kiherehere kwa watoto hakuna mtu atampatia bola abaki tu kwanza na mimi…
Tuliruhusiwa ila usiku mama alinishauli nihamie chumbani kwao, Hezron akagoma, kina mam wakamwambia kwa pamoja, aya tutaona kama hujamleta mwenyewe, tukachukulia kawaida, ila wale watoto jamani walijua kutunyoosha, baba alimbembeleza mpaka akaanza kulia watoto hawaelewi anawaleta kwenye nyonyo lakini wapi, usiku huo huo tuliwagongea kina mama, wakatuuliza haya usiku usiku kulikoni, Hezron akajibu mama mtusaidie jamani awa watoto wamegoma kulala, mama mkwe akajibu situlikuomba mapema ukajitia huelewi, sisi tunajua, waliwachukua watoto, vilivyobebwa tu na bibi zao wakatulia, Hezron akauliza kwani mikono yangu inashida ama? Mama akajibu hamjajua bado kulea wachanga sio rahisi, kwanza usiku huwa havilali na vinataka na nyie msilale, Hezron alichoka, tuliambiwa tukalale tu njaa zikiuma watakuja kutugongea au kama vipi nihamie tu kwa kina mama, Hezron aliona kabisa anategwa, nilihamia chumbani yani wale watoto ni hakuna kulala, afu mchana vinalala tena mchana Hezron ndo vinamkubal zaidi, akawa amefurahi mwenyewe usiku akajua atavimudu wapi ikifika usiku kwa bibi,ikawa mpaka vikafunga 40..
Watoto walikuwa vilizi mno, walivyofunga miezi miwili, Lisa na mmewe walikuja kutuona, wakakuta vimelala, wakasema vipole vyenyewe, tulijikuta tumesema kwa pamoja, wee usione apo vimelala, vinajiandaa kutusumbua usiku, walitucheka nakutuona kama wazembe hivi, tuliwaambia ipo siku tu watatuelewa, ni swala la muda tu, walicheka nakudai tunadeka tulee, kina mama walikuwa waneenda kupumzika make usiku wao ndo mala nyingi wanakesha na watoto, ilibidi tuwaamshe ili waje kusalimiana na wageni..
Siku hazigandi mama akaondoka nikabaki na mama mkwe, apo wanangu wanamiezi 3, upande wa Elham alikuwa kapona, ngoma inasimama vizuri kabisa, japo hawakusema baada ya miezi miwili tu, Lisa alikutwa na ujauzito, tukapata jibu, ngoma iko sawa sasa, wakwe zake hawakupewa taarifa, wamekuja kujua baadae mimba ina miezi 6, tena ni baada yakumuona uko barabarani, walimfungia safari mpaka kwake…
Chapter 19 & 20
Walimkuta Lisa na mmewe, mama na mabinti zake walilalamika kwa nini hawakuambiwa, kijana aliwatolea uvivu na kuwapa report za Doctor, na jinsi alivyotibiwa, walihamaki na kushangaa, kumtukana kote mtoto wa watu kumbe hakuwa na kosa, kosa ni la mtoto wao ndo alikuwa na shida, waliona aibu mno, wameshushuliwa mbele ya waliyekuwa wanamnanga, nakimtukana, nakumletea kijana wao mwanamke mwingine, walibaki kuona aibu tu, waliondoka bila hata kuaga….
Mimi huku na mama mkwe wangu leo zinaiva kesho zinaumana yani huwezi hata kutuelewa, Ila, sema hatukuwa na ugomvi sanaa, na tulikuwa tunapendana japo kutuelewa ilikuwa ngumu kama ukikurupuka unaweza hisi ni maadui ila gusa mmoja wapo uone, mimi nilikuwa najua mpaka namba za siri za benk za mama mkwe wangu ilihali hata mme wangu hajui, mam mkwe wangu alikuwa akiugua tu kidogo anatoa yote ya moyoni, anaanza kunikabidhi familia,siku moja akawa kaugua homa tukampeka hosptal, alikuwa na hali mbaya mno, nikawa namuogesha, chooni nampeleka mwenyewe, nakumsafisha, nikimrudisha kitandani ananikumbusha kudai madeni yake kwa watu anaowadal, sasa leo alimwambia kijana wake ampigie mdeni mmoja ivi, Hezron akawa hajui pasword ilibidi mimi ndio nimtajie, alishangaa mama anampa maelekezo adi card za benk ninazo mimi na no za siri, alianza kuniuliza nyie huwa mnaniigizia ugomvi ee? Mtu adi no za siri za pesa ndefu na card mnapeana, unamjari mnaogoshana tena nakumlilia unamlilia mama ako, muache michezo yenu ugonjwa umewaumbua, yeye alijua tunaigiza kumbe wenzake waga tunatibuana kweli, na kuna mengi tunafanya tunafanya siri…
Mama mkwe wangu tulimuuguza adi akapona, tukaanza tena kutibuana, nikivaa nguo mpya tu mama ananuna, nikimnunulia anataka kama yangu tuvae sare, na mimi sitaki sare, kunakucha, Hezron alichoka kesi zetu, akawa anatutizama tu, nakuona tunaigiza anakula zake anaingia chumbani kulala, hakuwa anajisumbua na kesi zetu kabisa, hilo likatukwaza tukaungana kumsema siku iyo tena tukamuitisha kikao. kabisa, tulivyomwambia dhumini la kikao kwanza akacheka nakuuliza kuna jingine tofauti na kuwapotezea mnaogombana? Tukajibu hamna, akasema “nyie mnajuana kwa viremba, mnataka niingilie ugomvi sijui umeamzia wapi, afu badae mnakaa apo mnacheka nakufanyia masaji juu, mnaniona zamwamwaaa, mwenzenu mnajua ninavyochoka kazini lakini? Afu nije tena nyumbani mnitibue, watoto hawanisumbui afu nyie watu wazima kabisa jamani mnanisimbua nikadakia inamaana adi mama anakusumbua kweli? Akajibu umeona umeonaa? Apo tayari mnataka kunigeuzia kesi, aisee msinichanganye, ninyi niwatu wazima, mkiamua kuyamaliza mnaweza bila mimi, kama ambavyo huwa. mnaungana kunishambulia nikimkosea mmoja wenu ivyo ivyo unganeni kwenye magomvi yenu, sitaki mnihusishe, naomba nikalale, nihurumieni basi,tuliamua kupoa tu na kusambaa, nilifika chumbani nimevuta mdomo ata nimbembelezwe, Hezron alitikisa tu kichwa nakuniambia, mke wangu wewe kunjua tu hio sura leo sina mpango wakukumbbeleza kabisa, sio muda watoto watalianzisha uko, tutaletewa kuwabembeleza, acha nitunze nguvu yao basi wewe kesho utanuna, sawa mke wangu? Nilimtizama jicho la hasira ata hakujali akaenda zake kuoga, kisha akaja kulala, nilioga pia nikaja kulala, alinishika nikajitia sitaki, nimenuna akasema lakini mke wangu si tumekubaliana unune kesho jamani, sikujibu akataka, akati ameninanga, nilimnyima lakini hakuelewa alikomaa adi akala…
Upande wa Lisa mambo yalikaa vizuri pia, mimi kama utani tu ata mwaka haukuisha ndo kwanza najiandaa kwenda chuo nikapewa mimba nyingingine, nilichoka mama mkwe alinishushua nakunipongeza kwa pamoja, Hezron alivyorudi nilimlalamikia make nakumbuka kabisa hio siku nilimwambia mwaga nje, siko salama akakubali ila muda umefika akashindwa, nilimkumbusha, akasema imeshatokea tulee tu, nilibadilisha mawazo nakuanza kusomea pharmacy ivo ivyo na mimba, sikutaka kusubili tena…
Mama mkwe alibaki kunisaidia kulea watoto, hakutaka dada wa kazi alikataa kabisa, na nyumbani kwangu alikuwa naamani na furaha kuliko ata kwake, saivi nimehitimu lakini kwa mbinde, nina watoto wakike wawili na wakiume mmoja, Lisa alijifingua wa kiume saiv anakibendi na yeye, wakwe zake wametulia japo hawana mawasiliano mazuri.
MWISHO


1 Comment
Good blog! I truly love how it is easy on my eyes and the data are well written. I am wondering how I could be notified whenever a new post has been made. I’ve subscribed to your RSS which must do the trick! Have a nice day!