BIKRA TAMU, DADA NAKUOA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 16
Mara ya kwanza nilimpigia simu, ila hata hakupokea, nikapiga tena, na hakupokea, nikatuma sms hakujibu, nikaanza kuona labda ni tapeli kama matapeli wengine tu, maana haiwezekani mtu awe anapigiwa simu alafu hajibu, alafu asiwe tapeli…
Siku moja nikiwa sina hili wala lile nikashangaa simu yangu inalta, nilishasahau kabisa kuhusu maswala ya ummuh junaynah, nilipopokea akajitambulisha kama ummuh junaynaha na kunambia kuwa aliona nimemtafuta siku kadhaa nyuma..
Nikama nikapata nguvu mpya, nikahema kwa nguvu kisha nikamsalimia, bila kujua ni mkubwa au ni mdogo, kisha nikamuambia kuwa nilikuwa namtafuta kwa sababu kuu moja, ambayo ilikuwa inanitesa sana, ambayo ni mume wangu…
wakati nakutana na mume wangu, alivaa taswira nyingi kabisa na ambayo aliokuwa nayo sasa, na kweli nilianza kumuona kama mwanaume wa maisha yangu, nilimuona kama nguzo yangu ya pekee na mwanaume ambae nataman kuwa nae siku zote kwenye maisha yangu, ila kuna changamoto ilitokea akawa kama amedchanganyikiwa, akaanza kuonesha tabia tofauti na ambazo nilimuona nazo mwanzo, mwanzo alikuwa kijana wa mungu alikuwa ananihusia sana na kunisisitiza kwwnye ibada, ila alipokuja kubadilika akawa ni mtu wa starehe sana, yaan hashikiki….
Ila ile sababu ambayo ilikuwa inamfanya awehuke ikapita, nimkategemea atarudi kama ambavyo alikuwa mwanzo, ila mambo hayakuwa hivyo, kwa sababu hakurudi kama alivyokuwa mwanzo, na badala yake akawa ni mtu wa kutumia vilevi sana, na kuendekeza marafiki, amemsahau sana mungu, nimeomba sana ila naona bado maombi sijui ndio hayafanyi kazi, au ndio bado muda haujafika, nikaendelea kusema….
Yule ummuh junaynah au kwa jina lingine husqer baltazar akaanza kunambia kuwa maombi yako yamepokelewa, ndio maana ukaweza kuongea na mimi, huenda tatizo lako likawa tayari limeshapata ufumbuzi mpaka hapa,……
naomba nikuulize baadhi ya maswali, na naomba unijibu kwa utulivu sana, na kwa uhakika, huenda tukapata jibu sahihi ambalo tumekuwa tunalihitaji, akaendelea kusema…. ” umesema umekuwa ni mtu wa maombi sana, si ndio, lakin je umeshawah kuongea na mume wako hata mara moja, juu ya nini hutaki na nini unataka kwa namna nzuri, maana kama anakupenda ni lazima atakusikiriliza, umeshawah kujaribu hivyo hata mara moja? akauliza..
“kwani madam hajui kama kunywa pombe sio sawa, kwani hajui sheria za ndoa zilivyo mpaka anachelewa kurudi kila wakati, sasa alioa ya nini na wakati anaweka mbele marafiki zake kuliko mke wake, si bora asinge nionesha kunipenda sana, huenda ningekuwa na maisha mengine madam, kwani yeye hajui kama sipendi watu wasiompenda mungu, nikaanza kulalamika….. Madam akacheka kisha akanambia ” nimefanya nini sasa hivi?..
“si umecheka..
“hapana sijacheka, ila nimetoa kicheko na wakati nina hasira sana, na hapa nataman kulia kabisa ila nimecheka na wewe umesikia nimecheka ila haujui huzun niliokuwa nayo moyon mwangu, ila kwa kwakuwa umesikia nimecheka unaweza kuhus kama kuna kitu ambacho kinanifurahisha kumbe ni nina ficha huzun yangu, akasema…
kwanini sasa umeniambia hivyo? Ikabidi nay
eye aulize.. nimesema hivi kwa sababu moja, unaweza kana unaonekana kama upo swan a matendo yake, kwa sababu haumuonesh ishara yoyote ile kuwa matendo yake yanakuumiza, alafu ukawa unataka ahisi kuwa unamia na wakati yeye anakuona upo sawa, muda mwingine tunahukumu watu bure tu, kwa kuhisi wanahisi namna tunavyohisi sisi, na kusahau hisia ni za kwako, na moyo ni wako, sio rahisi mtu aweze kujua maumivu ya moyo wako, wala kuelewa hisia zako bila kumuambia neno lolote lile, hivyo basi, tafuta muda mzuri na uongee na mume wako kwa utulivu na umuambie mambo yote ambayo huyataki bila kumuambia neno sitaki, au
sipendi…
“mbona sijakuelewa ulivyosema? Nikauliza… “badala yua kumuambia mume wako sitaki unywe pombe, unaweza kumuambia mume wangu sijui ni kwanini nikikuona unakunywa pombe najisikia vibaya…
badala ya kumuambia mume wako, sipendi uchelewe kurudi nyumban, basi ungemuambia kuwa huwa najihisi mpweke sana ukiwa unachelewa kurudi nyumban, yaan siku hizi sijui nimekuwaje, kila nikiona giza tu najikuta naogopa sana, nataman uwe hata karibu yangu unitoe hofu, ila wewe ndio kwanza upo zako mbali na kuniacha mkeo nateseka, akaendelea kusema…
Chapter 17
” nadhani umeanza kuelewa ninachokisema, na naamin ukifanya hivyo ni muda mchache tu, kama mume wako anakupenda na anahisia na wewe atabadilika, na pili usitegemee kuwa ukimuambia leo hivyo atabadilika siku hio hio, maana swala la kumbadilisha mtu tabia ni swala la hatua, wewe angalia utakuwa umepiga hatua kiasi gani kwenye kufanikisha swala lako liende sawa na naamin ukishakaa na kuongea nae alafu ukafanya maombi utaona ukubwa wa swala na dua zako, akamalizia kusema…
nimekuelewa sana dada ummuh, hakika umenipa kitu kikubwa sana, huwa nasali sana naomba sana, ila sijawah hata mara moja kumuambia mume wangu kuhusu vitu ninavyovipenda na vitu nisivyovipenda, ila urmenifungua kwa kiwango kikubwa sana, labda nikuulize swala la mwisho unisaidie kidogo, nikasema..
“karibu nakusikiliza..
naweza vipi kumfanya anifikirie kila wakati na anitaman kila wakati, maana siku hizi naona kama hanitaman sana kama mwanzo, mpaka nahisi kama nimeshapoteza mvuto..
“amna haujapoteza mvuto, wewe bado ni mrembo nan i mzuri sana mamaa, ila wanaume wanakawaida ya kukinai kitu, na sio tu wanaume, binaadamu wote huwa tunakinai kitu, yaan mfano hata kama ungekuwa unakula nyama na wali kila siku, itafika siku utakinai tu utataman ugali mlenda ndio hulka. za kibinaadamu zilivyo, na ndio maana utakuta leo unapika pilau, kesho wali na maharage, kesho kubwa ugali dagaa kile chakula unachokipenda usije ukakikinai, na hata wanaume ndio hivyo hivyo, yaan unakuta wewe kuanzia umeolewa haujawah hata mara moja kumuandaa mwanaume, unasubiri uandaliwe we kazi yako ni kutega tu, na style ni moja kila siku ni kifu cha mende, vaan hata kubadilisha kwa bahati mbaya hauwezi, alafu unataka mwanaume akuone kama ambavyo huwa anakuona mwanzo wakati hata hajakuvua nguo, mdogo wangu ndoa haina mazoea, najua unapenda sana kusali, ila mara moja moja kuwa Malay* kwa mume wako, maana huyo ni wako na unatakiwa utafute namna yoyote ile uhakikishe kuwa unampagawisha mpaka basi, akaendelea kusema….
Kiukweli nilitambua makosa yangu mengi, ni kweli mimi hata kufundishwa namna ya kukaa na mwanaume sijawah kufjundishwa, sijui hata mwanaume anataka nini, na siju hata style, kwakuwa alinionesha kifo chja mende wakati nakyutana name ndio style pekee ninayoijua na ninaytoiweza vizuri kuliko style nyingine zozote, nikajikjuta najicheka tu, na kongine ni mtu wa maombi ila sijawah kuongea na mume wangu hata mara moja kuhusu mambo ninayoyapenda na mambo ambayo siyapendi alafu naishi kulalamika kila siku kana kwamba sina akili nzuri, ama kweli nimechanganyikiwa mimi…..
” la mwisho mwanangu, sijui mdogo wangu ni kuwa, ni kweli tunatakiwa kumuomba mungu sana usiku na mchana, ila mungu mwenyewe anamsaidia anae jisaidia, anza kupiga hatual kisha ndio umuombe mungu msaada uone kama dua zako kwake hazijajibiwa haraka, na kama una swali maoni au ushauri naomba uwe huru kabla hatujaagana…
nashkuru sana, hakika nimekuelewa sana, na sina swali nadhan umenijibu kila kitu vizuri sana, na naomba usinichoke maana nahisi kuna mambo mengi sana ambayo natakiwa kujifunza kwako, naomba nikutakie mchana mwema.. “na wewe pia, akajibu kisha akakata simu….
Nilikaa nikaanza kujifikiria pale, nikajikuta naanza kujicheka pale..
Nikaenda jikon nikachukua birauli ya sharubati ya machungwa na nikarudi nayo ukumbini huku nikiwa nakunywa taratibu nikiwa nafikiria ni kitu gani natakiwa kufanya..
Kweli nikapata wazo nikaingia mtandaon, nikaanza kutafuta namna ya kumpokea mume, maandalizi ya kumpokea mume, nikakutana na clip nyingi sana, nikaanza kuangalia, kweli nilizidi kuvaa vitenge na sketi zangu za kwaya, yaan hata nikienda kulala navaa likitenge kana kwamba nimetoka jando..
Chapter 18
Ukweli ni kwamba sikuwa na nguo ya kushawiushi, basi mume wangu huwa ananiachiaga hela nzuri tu ya matumizi, sasa niakawa naweka weka hela zangu pale, mwisho nikawa nina kaakiba, nikatoka na kwenda sokoni, nikachagua vinguo vitatu vya kichokozi, na vitu vya kupika hapo, nikaingia jikoni nikakatangiza mtoto wa kike, kisha nikaingia bafuni nikaoga, na mara baada ya kumaliza kuoga nikavaa ka nguo changu, tatizo likaja sijui hata natakiwa kumtumia sms gani mume wangu ili walau awah kurudi na asiwe tungi….
Nimekaa nawaza, nikaona nimtafute dada ummuh tena au dada husqer, nikamtumia sms kuwa naomba anisaidie maneno ambayo naweza kumtumia mume wangu akarudi, nakumbuka alinijibu kuwa ushauri ni bure ila ukitaka sms unalipia 1000 kwa siku, sikuona shida nikamtumia hio elfu moja kwani sh ngapi, kikubwa si nina tengeneza ndoa yangu, najua hata mungu mwenyewe huwa anabariki..
Basi akaniuliza mume wangu anapenda nini, nikamjibu pombe na marafiki..
Baada ya dakika mbili ikaingia sms inasema…
“amos mume wangu, sijui imekuwaje leo maana nataman sana uje kuushika mwili wangu, maana najikuta nasisimka kila ninapokufikiria..
Nimejikuta natamani mimi ndio niwe kilevi chako, yaan nikuleweshe na huba langu… Na niwe ndio rafiki yako wa pekee, yaan upende
kuwa karibu na mimi kwa sababu ya mapenzi yangu
Na hata ikiwezekana niwe ndio kucha zako, nikukune kila unapowashwa kwa ustadi mkubwa..
Na ukifurahie chakula changu ninachokipika kila wakati, maana nimekiandaa na upendo mkubwa sana, na utakapokuwa hauli chakula ila unakula huba langu ambalo nimeliandaa kwa ajili yako, liweze kusambaa kwenye kila mshipa wa mwili wako…
Njoo ule mume wangu, na unishike hapa kidogo tu….
Yaan nimeisoma ile sms nikajikuta naanza kuona aibu ila huu uchurch girl utanipoteza jamani, ila nikasema ngoja nijilipue, nikatuma ile sms na kama baada ya dakika tano hivi mume wangu akapiga simu, akaanza kuongea kwa sauti ya chini na kuniuliza “upo sawa…
Nikajibu kwa sauti ya mideko, kuwa nipo sawa mume wangu, hapo hata mideko sikuwa nayo nilimuomba ummuh anielekeze, nikashangaa anaanza kuhema kisha akasema ” aisee hii sms yako nilipoisoma, imesimamisha mpaka m*00 yangu mamaaa, nakuja sasa hivi nije kukushika vizuri, alsee leo ujiandae maana mwenyewe umehamsha vilivyolala….
Sikuamin kama anaweza kusema kuwa anataka kurudi nyumban wakati ule, sikuamin kabisa yaan, kweli baada ya muda mchache akarudi, yaan ile namfungulia mlango aliduwaa maana hakuwah hata mara moja kuniona nimevaa vile nilivyovaa, akaanza harakati zake hapo hapo, hakutaka hata salamu, nan i kama alishajipanga maana amekuja ameoga, nilitaka kuleta vurugu ameoga wapi, ila nikasema nitekeleze wajibu wangu kwanza…
Sikuwa najua mapenzi, ila nikawa najitahidi hata kujitikisa tikisa, aiseee alikuwa anasikia raha mpaka anaanza kupiga kelele, maana sikuwa natikisa hata kope, nakaa natulia kama sio mimi vile yaan, basi akamaliza shoo zake pale, akawa anaunganisha magoli, yaan hizi shoo nilikuwa nazipata mwanzo wa ndoa na kipindi kile ambacho alikuwaga ananitaman, kumbe nilikuwa nimeshakinaiwa na hata sijiongezi, aisee wanawake tuwe wabunifu, ili tupunguze lawama, najua wenza na mimi wataanza kusema hata ufanye nini wanaume hawaridhiki, embu mumtafute mtu wa kuwapa coz ya mapenzi hata kama ni dada ummuh…
Chapter 19 & 20
Basi tumemaliza shoo, tukaenda kuoga, kila dakika mume wangu alikuwa ananiangalia, alikuwa ananiona kama mtu mpya kabisa kwake, nahisi kwanza hajawah kuniona hata mara moja nikivaa nguo za mitego, sijawah kumtumia sms ya mahaba, na hajawah kuniona romantic kama siku hio, yaan akawa mara anikonyeze mara afanye hivi, mara vile, basi tukala, tulipomaliza kula, nikamshika mkono tukaenda chumban, kisha nikalalia kifua chake nikiwa nachezea chezea ndevu zake…
“yaan ungekuwa unafanya hivi kila siku nahisi ningekuwa nawah sana kurudi nyumban mke wangu, nikajikuta natabasamu, sikutegemea kama mambo yatafanya kazi haraka hivi, maana hara dada ummuh junaynah alinambia nisitegemee matokeo ya muda mchache…
Nikasema ngoja sasa nianze kusema shida zangu, nikajikohoza kidogo kisha kwa sauti ya madeko nikasema “mume wangu…
naam mamaa, akajibu kwa utulivu, mpaka nikaanza kusisimka, ndio nikagundua kuwa mume wangu huwa anasauti tamu, ila tatizo ni mimi tu huwa simzingatii kabisa yaan…
“kuna kitu naomba nikuambie kama hautajali..
sema chochote kile mamaa, nakusikiliza,
akasema..
” unajua kuwa nakupenda sana..
“najua, akajibu..
nataman sana urudi kuwa Yule mwanaume ambae nilimjua kipindi tupo chuo, ambae hakuwa anakunywa pombe, alikuwa anasali na mimi pamoja, mwanaume ambae alikuwa ndio kipaumbele zaidi kwenye ibada, ila najua hautaweza maana umeshazoea kunywa, na sikukatazi kunywa ila uwe basi unakunywa. kidogo mume wangu, nikasema..
” sio rahisi wife, maana hata kipindi kile nilikuwa nakunywa ila kwa kujificha sana, ingawa kuna wakati nilikuwa napitisha miezi bila kunywa huenda ningeendelea vile ningeshaacha, sikujua kama nakukera, maana niliamin umeshaelewa tabia zangu na umekubali kuwa na mimi na maovu yangu, ila asante sana mke wangu, ila naomba tusaidiane pamoja, ili niweze kubadilika na kuwa unavyotaka, maana naona kabisa kuwa njia yako ndio njia sahihi zaidi kwangu mke wangu mrembo…
Nikamkiss kwenye lips, na kwenye shavu lake la kulia, kisha nikamuangalia nikiwa nimelegeza macho, na kusema ” asante sana kwa kunielewa mume wangu, yaan alinikumbatia kwa nguvu sana, sijui ndio nilimtamanisha tena, kisha akaninong’oneza na kusema” nataka tena mamaaa…
Mimi ni nani nikatae, maana kwanza ameilipia mahari, anaruhusiwa kuila kila anapotaka, wakati wowote na mahali popote pale panapostahili..
Yaan asubuh nilimtumia dada ummuh elfu 20 maana sikuamin kama mambo yangeenda vile ambavyo yanaenda, na kweli haikuwa rahisi, ila nilikuwa napambana sana kuzuia hasira zangu na kuongea na mume wangu kwa utulivu mkubwa sana, mpaka taratibu akaacha na akaja kwenye njia ya kumtumikia bwana…
Ni kweli ndoa zetu zinachangamoto sana na kuna vitu huwa tunahisi kama hatufanyiwi sawa kwenye mahusiano yetu, na huenda kila siku tunakesha kwenye maombi, ila siku zote kaa ukijua kuwa mume wako au mke wako sio malaika, hawez kujua ni kitu gani unawaza, sasa wakati unafanya maombi kuombea ndoa au mahusiano yako, hakikisha kuwa unatafuta muda wa kuongea na mwenza wako, kwa busara na utulivu wa hali ya juu, huenda hajui kama anakukose, na kuaha kusubiri mtu wako aanze kuhisi kuwa amekukosea bila yaw ewe kumuambia….
Ndoa inataka maombi, maelewano, na maskilizano na kurekebishana bila kelele kila ambapo mmoja atakosea, bila gubu wala kauli chafu, na kwa uwezo wa Mungu utakuwa una ndoa bora zaidi duniani….
MWISHO

