BIKRA TAMU, DADA NAKUOA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 11
Basi alikuwa na pikipiki, akanibeba na hatukuwa tunaongea chochote kile, akanambia anatyaka ajue ninapoenda, ila kiukweli kwanza sikuwa mwenyeji wa jiji la dar es salaam, hivyo hata sikuwa najua sehemu, ila nikawa najiambia tu, acha atembee nikiona sehemu yenye muelekeo ndio itakuwa hapo hapo, na kuhusu swala la kurudi nyumban nitajua mbele ya safar…
Kweli bana kawasha mchuma, na kuendelea. kuniuliza naenda wapi…
wewe tembea bana, kama nitafika sehemu ninayotaka kwenda nitakuambia, nikajibu kwa kujiaminj na kupelekea amos kukaa kimya…
Basi tukatembea kama dakika ishirin hivi, mpaka tulipofika sehemu moja nikaona restsurant, nikamuambia nishushe hapa…
Hata hakubisha akanishusha, kisha akaniuliza kuwa ndio huyo mwanaume wako anakuleta sehemu ambayo haina thaman kama hii…
“haikuhusu, nashkuru sana kwa msaada wako, unaweza kwenda sasa, nikajibu na kwa madaha nikaanza kuelekea ndani, kiukweli sikuwa najua kama nilikuwa na shape na mguu kwa namna nilivyokuwa navaa, ila kuanzia naingia pale mgahawan watu wote macho yao yakaja kwangu, yaan mpaka nikaanza kuona albu, na amos aliliona hilo mpaka akaghairu kuondoka na kuniacha pale, akakaa nje akawa anaangalia ndani kuona ni nani atakuja kukaa na mimi..
Basi kweli nikakaa zangu sina hili wala lile, kwanza nilijua kuwa amos ameshaondoka, kumbe alikuwepo, sasa kuna muda naangaza. macho namuona, na mpaka muda huo hakuna mtu ambae alikuwa amekuja kukaa na mimi, ikimaanisha kuwa huenda sijaja kuonana na mtu, au ambae nilimtegemea bado hajafika, nilivyoona vile nikawa najifanya naongea na simu, na kama bahati alipita kijana mmoja na kuja kukaa na mimi, kiukweli sikuwa namfahamu hata..
” unaitwa nani mrembo, nimekuona muda mrefu umekaa pekee yako, vipi unamsubiri shemu nini? Akauliza..
“naitwa felister, na kiukweli nilikuja hapa kupata hewa safi tu, na sijaja kuonana na mtu yoyote Yule, vipi unaweza kunipa kampan kama hautajali, nikaongea kwa sauti flani ya madeko nikiwa na uhakika kuwa ni lazima atakuja kukaa pale..
Yule mwanaume akatabasamu kisha akamuita muhudumu na kuagiza vinywaji, na mimi situmii vilevi, wala sijui aina za vinywaji kutokana na uchurch girl wangu, hivyo nikaagiza juice tu..
Yule mwanaume alikuwa anaonekana kama alikuwa ni wale wanaume wenye tamaa sana, maana dakika chache tu anaanza kuleta mada za kipumbavu, nikawa najichekesha chekesha, kumbe amos alikuwa anaondoka anarudi, anaondoka anarudi, hapo roho inamuuma kinyama, sasa kuna muda Yule mwanaume ambae nilikuwa nimekaa nae, akawa kama anataka kunishika paja, yaan nikashangaa nakuja kuvutwa, kisha akampiga Yule mwanaume ngumi mbili za bila kutegemea mpaka akadondoka chini…
wewe vipi mbona unaharibu starehe za watu wengine? Akauliza Yule mwanaume ambae nilikuwa nimekaa nae…
” huwezi kuwadhalilisha wanawake kwa namna unayotaka wewe, hivyo mambo yangu hayakuhusu hata kidogo, akasema akashangaa anashushiwa ngumi nyingine nyingi mfululizo..
Ikabidi nimzuie amos, asije akamuumiza kijana wa watu, nikashangaa Yule mwanaume anaanza kutukana na kusema demu wako mwenyewe jau, anajua kuwa anamwanaume mwingine ila anakuja hapa anashangaa shangaa tu na kujichekesha chekesha kwa wanaume wengine, nikashangaa amos anataka kumpiga tena, ikabidi niropoke na kusema kaka amos naomba usiendelee kumpiga twende nyumban..
Sijui ndio alijisikia vibaya mimi kumuita kaka, kwa maana wakati huo huo alikunja sura kama mjamzito ambae anapush mtoto, kisha akawa anatoka nje, amefika nje nikategemea atanisubiri ila badala yake akaniacha, ikabidi nirequest usafiri ambao ulinipeleka mpaka nyumban, nafika nyumban namkuta amos amekaa ukumbini, alikuwa amewasha tv ila hata hakuwa anaitazama kabisa yaan, ni kama mtu mwenye mawazo sana, hata sikumsemesha nikampita na kuelekea chumban kwangu…
Chapter 12
Ile naingia ndani nikashangaa nakumbatiwa kwa nyuma, kwa nguvu, kisha mikono ikaanza kufanya utaliii kwenye mwili wangu..
unafanya nini wewe, nikaongea kwa sauti ya ukali sana..
Ila hata sikupewa nafasi ya kujitetea nikashangaa nabebwa juu juu na kutupwa kitandani, kisha akaendelea kunichezea sehemu mbali mbali za mwili wangu, nilikuwa sitaki, ila ufundi ambao alikuwa anautumia nikajikuta nakosa cha kufanya na kuanza kutoa ushirikiano kama sina akili nzuri..
Nikaanza kutoa miguno, ndio kama nilikuwa namzidisha ukichaa amos, maana ndio akawa anazidi kuongeza ufundi, nikaanza kutokwa na maji, nilishtuka nikataka kuanza kulia nikihisi ni tatizo, ila badala yake akanituliza kwa sauti ambayo ilikuwa inamuonesha kuwa yuko mbali sana kihisia, yale maji yalipotoka nikashangaa katukana, kisha akaanza shughuli, yaan kaka anamkula mdogo wake wala hata hajali nini wala nini…
Tumemaliza hapo tumechoka wote tukapitiwa na usingizi, tumekuja kushtuliwa na hodi za mlangoni, ambapo mama yangu alikuwa amerudi kwenye mihangaiko yake, akawa anataka kuongea na mimi, sio siri nilishtuka na amos nae akashtuka kisha akaniangalia na kutabasamu na kusema tutoroke felister ili nikakuoe uwe mke wangu wa maisha yangu yote, maana najua hawa hawatakubali hata iweje..
wewe mimi siwezi kufanya hivyo, maana nitamuweka mama yangu kwenye wakati mgumu na sipo tayar hata kidogo kumuumiza mama yangu kwa namna yoyote ile, naomba uachane na hilo wazo, nikajibu kwa sauti ya kunong’ona, maana sikutaka mtu ajue kama nilikuwa na amos chumban kwangu na wakati mama yangu anajua mpaka wakati huo nilikuwa bado bikra…
Mara nikamsikia mama yangu anasema atakuwa amelala huyu nitaongea nae akiamka, kisha akaondoka zake..
Amos muda wote alikuwa ananiangali tu bila kutia neno, ikabidi nimuulize kwanini alikuwa ananiangalia vile…
unajua huu ujinga wote ninao ufanya ni kwa sababu ya maumivu, sio kweli kama nakuchukia wewe na mama yako ila naumia felister naumia kwa sababu yako, naumia kwanini mimi ni kaka yako na wakati nimekupenda kwa muda mrefu, naumia kwanini imebidi baba yangu amuoe mama yako, naumia kwanini hata nikisema naenda kukaa na wanawake wengine siwaoni nakuona wewe tu, niliamin kuwa na wanawake wengi nitakusahau ila nimeshindwa felister, kama kuna siku nilinunua wanawake wanaujiuza sita, nikasema leo wanikate kiu, ila huwezi amin niliwafukuza kama mbwa baada ya kuanza kuona kama nakukosea kukusaliti na nikaanza kujiona kama mume wa mtu, felister tutoroke tukafunge ndoa, mimi siwez kumchukulia mwanamke ninae mpenda kiasi hichi kama dada yangu badala ya mwanamke wangu na mwanamke wa maisha yangu…
” muda mwingine mipango ya mungu ni sahihi zaidi ya mipango yetu, hivyo nadhan tukubaliane na ukwlei uliopo na tubaki kama tunavyotakiwa kuwa, nikashangaa anaanza kucheka na kusema “wewe mwenyewe huwez kuishi unayoyaongea.. “kwa nini?
Chapter 13
Wala hata hakujali, akatoka na taulo lake mpaka ukumbin na baba yake pamoja na mama yangu walikuwa wamekaa, ndio mama yangu akashtuka na kusema mbona kama umetokea chumba cha felister wewe..
“ndio wazee wangu nimetokea kwenye chumba cha felister na hongera sana mama kwa kumtunza binti yako vyema maana nimeshamtoa bikra yake, akaongea kwa sauti ya kujiamin, baba yake akasimama na kumuweka vibao kisha akasema ” unajua unachokiongea kweli wewe, yaan unamaanisha kuwa umelala na felister dada yako..
ndio nimevunja hilo agano la felister kuwa dada yangu ndio maana nikalala nae, kwani nimezaliwa nae tumbo moja, au nimeshare nae ziwa mpaka useme ni dada yangu, mzeee mimi sina kumbukumbu ya kuwa na ndugu kuanzia nimezaliwa mimi, hivyo sina dada na naruhusiwa kufanya ninachotaka na ninachoona nisahihi kwenye maisha yangu…
Baba yake akamuweka kibao kingine kisha kwa sauti ya ukali akasema ” muombe msamaha felister na umuombe msamaha mama yake kwa ulichokifanya, sijajua kama nina litoto shenzi kama hili hata mara moja kwenye maisha yangu…
Sasa ndio kama mr Gabriel akampandisha wazimu mwanae, maana ni kama kujiamin. kwake kukaongezeka zaidi, na akaanza kusema ” mimi siwezi kumuomba msamaha mtu yoyote Yule hapa, labda wewe na mke wako ndio mtuombe msamaha mimi na felister maana mnetukosea sana, Yule mzee akataka kumuweka kibao kingine ila mama yangu akamzuia na kutaka wamsikilize..
“baba unaoa tu, unaoa bila kujali wala kufikiria watu wengine, unajua ni kiasi gani ndoa yako imeniumiza sana mzee, nilikuwa nahisi naenda kuchanganyikiwa kwa sababu ya ndoa yako, maana ndoa yangu imeharibu furaha yangu, Imevunja ndoto zangu na kuliteketeza tumaini langu la pekee….
nyoosha maelezo tukuelewe, akasema mzee Gabriel..
” mimi na felister tulikuwa tunapendana kuanzia chuo, akanifanya niache pombe na niwe mtumishi wa mungu, nikawa nahudhuria misa zote ili nisimkere felister na nikaapa kuwa huyu ndio atakuja kuwa mke wangu wakati ambapo nitamaliza chuo, ila kabla hata sijapanga mipango yangu nashangaa umemuoa mama yake..
” mzee unafikiri hata kama ni wewe utajisikiaje, yaan mwanamke unaempenda kuliko kitu chochote kile, mwanamke ambae upo tayar kufanya jambo lolotre lile kwa ajili yake, wazaz wenu wanaoana na anakuwa dada yako na sio kipenzi cha moyo wako, alafu unataka niwe sawa baba, kweli ungevaa kiatu changu wewe ungeweza kukaa sawa au ndio unaongea tu baba si ndioa, akaendelea kulalamika amos…
Sio baba yake wala mama yangu walioamin, kwa namna ambavyo amos alikuwa anaongea kwa uvchungu mimi na mama yangu tukaanza kulia, maana sio siri yale maneno yalituumiza na mr gabriel akuwa kimya akiwa ameinamisha kicxhwa chake chini kana kwamba kuna sheria alikuwa anawaza namna ya kuipitisha, walitegemea akiinua uso wake kuna neno atalitaja, ila hakusema chochote kile na kwenda chumban kwake kwa msaada wa mke wangu…
Baada ya amos kumwaga mchele kwenye kuku wengi hata hakujali akarudi zake chumban kwangu, nilishangaa maana nilihisi ataona aibu, ila ndio kwanza amefika ananinong’oneza anasema ” nipe tena basi niichape…
“wewe unaakili kweli wewe, yaan umeshachafua hali ya hewa alafu unataka habar za kuichapa tena kweli..
“akili ndio sina nimekubali, ila nipe basi niichape huenda nikapata akili hata kidogo, nikakataa nikawa naenda kumfunguliua mlango atoke chumban kwangu, nikashangaa navutwa na ni kama alishasoma udhaifu, kuna mihemo flan hivi ya kiume nikajikuta natoa tena ushirikiano tumemaliza akawa amenikumbatia kwa nguvu kisha akasema “yaan kitu injabana kila siku naona kama bikra alafu ety nikuite dada, labda waniue, ila sio kwa akili yangu, felister nakuoa.
Chapter 14
Nikabaki nimekaa kimya tu, basi tukapitiwa na usingizi, yaan hata amos hakuwa anajali, akaamkan asubuh akaenda kuniandalia chai, anapishana na baba na mama hata hajali, kana kwamba anamuhudumia mke wake, akaja chumban na kuniamsha kwa mahaba kisha akanipa chai, niliona aibu na kumuomba angeondoka hata maana sijui nitamuangalia vipi mama yangu nikimuona, ila yeye hakuwa anajali kabisa, akawa ananilazimisha kwenda kuniogesha nikakataa hata hakubishana na mimi na badala yake akatumia nguvu, yaan nilibebwa juu juu mpaka bafuni, akaniogesha kwa mapenzi kisha akaja kunipaka mafuta na baada ya hapo akawa ananivalisha nguo, nikiwa sitaki ni nitaambiwa tu tulia, na najikuta natulia mwenyewe bila kutaka…
Yaan siku hio hakuwa anataka hata nitoke, yaan naletewa chakula chumban nakula, naletewa vinywaji hataki nitoke sijui ndio alijua nitamtoroka au vipi ..
Baba na mama walirudi kwa pamoja, na walipofika wakawa wanamaongezi na sisi, nilikuwa naona aibu sana, ila walikuwa kama watu wenye bashasha kubwa sana kana kwamba hakukuwa na jambo lolote lile ambalo limetokea jana yake..
Wakaagiza vinywaji nikashangaa amos ameamka kisha akaenda kuchukua vinywaji mwenyewe na kuja kuvitenga pale, na baada ya kuvitenga tukaanza kunywa, ila mimi sikuwa nakunywa, nilikuwa nimeshikilia glass tu nasubiri kutaka kujua walikuwa wanataka kutuambia nini….
Baba yake amos akapiga glass nzima ya sharubati bila kusubiri kisha akaagiza ya pili, na amos ndio alienda kufata, yaan aligeuka mfanyakazi wa ndani kwa muda, sasa hii ya pili hakunywa akawa anatuangalia kana kwamba anatukagua kwa takriban dakika moja kisha akakohoa kidogo kwa ishara ya kusafisha koo lake, kisha akasema unajua hatukuwa tunajua kama mliukuwa mna mahusiano, ila hakuna kitu. ambacho kinakuzuia amos kumuoa felister maana sio dada yako kama unavyodhani… Tukabaki tumetoa macho wote tusijue Yule mzee alikuwa anaongelea nini..
Akashusha pumzi kisha akasema mimi sio baba yako, maana sikuwa na uwezo wa kuzalisha, na mama yako hajawah kutoa mimba wala mimba toka ila tulitengeneza hizo habari ili kila mtu ajue kuwa wewe ni kijana wetu, ila tulikuasili mbali sana, ukiwa na miezi miwili, na kwakuwa ulikuwa mdogo, hata tulipokuja kuiambia jamii kuwa wewe ni mtoto wetu, watu wote waliamini na kuamin kweli tumekuzaa…
Tumepambana sana kuhakikisha kuwa una furaha sana kwenye maisha yako amos, kuna muda nilikuwa nahisi kama tunakuharibu, ila ukweli ni kwamba hatukuwa tunataman kukupoteza kwa gharama yoyote ile ndio maana tuliupamvana kukupa kila kitu, ila kumbe mwisho wa siku tukajua tunakutengeneza kumbe tunakuharibu, akasema mzee Gabriel nikashangaa amos amemfata na kumkumbatia kisha akasema asante sana baba, ni kwlei mapenzi yenu yalikuwa yananipotosha ila mapenzi ya felister yamenitengenezea njia mpya ya tabia njema, alishawah kunifanya kuwa muumin mkubwa sana wakanisa kwa sababu nilikuwa nampenda sana, sina cha kukulipa mzee wangu kwa taarifa ambazo umenipa leo, ila siku zote wewe ni baba bora sana kwenye maisha yangu yote……
Na naomba nisiendelee kupoteza muda, naomba mnipe mikakati ya namna ya kumuoa felister ili niweze kummiliki kihalali baba…. BAsi watu wote tukatabasamu baada ya kuona furaha aliokuwa nayo amos..
Chapter 15
Baraka zetu zote mnazo, tunaweza kuanza kutengeneza mazingira ya ndoa yenu haraka iwezekanavyo, na sidhan jama tunapaswa kuiambia jamii kuwa kwanini tumekuruhusu uoe dada yako, maana wewe bado ni mwanangu wa pekee, akasema baba yake Gabriel na Gabriel akaenda kumkumkumbatia baba yake kwa furaha na bashasha kubwa sana, na kumuambia asante sana…
Basi taratibu za ndoa zikaanza mama hakuwa anataka nikae nae, maana kwanza kila saa alikuwa ananitaman sana, mama akaona sasa hiki ni kizaa zaa, basi kweli siku zikawa zinaenda kwa kasi sana, na hatimae siku ya ndoa ikawadia, sio mimi wala amos aliamin kama mwisho wa siku mambo yataenda vzr kama ambavyo yanaenda wakati ule…
Kweli muda wa kwenda kanisan ukafika na hatimae nikawa official mrs amos..
Amos alikuwa ana furaha sana, tukaenda kula fungate sijui hata tulienda wapi, ila tukaenda kukaa huko kwa karibu wiki mbili, kumbe amos alikuwa kumbe ameshajipanga vya kutosha kuhakikisha kuwa hatufikii kwao, alikuwa tayar ana nyumba yake, yaan hakuna amtu ambae alitegemea kutokana na namna alivyokuwa hajielewi elewi…
Basi bana tukahamia kwetu, haikuw anyumba kubwa sana, kwa sababu ilikuwa na room mbili za kulala pamoja na sebule mbili na jiko, na kila chumba cha kulala kilikuwa na choo ndani, yaan ilikuwa ni ya kawaida tu ila ya kisasa mno,….
Nikategemea amos atakuwa kama alivyokuwa
chuo, ila hakuwa hivyo, alirudia uhuni wake
kama kawaida, na akawa ana vuta bangi mbele
yangu na kunywa pombe..
Ile hali ilikuwa inanitesa sana, kwa sababu nilijua kuwa alikuwa ananipenda sana na hawez kutaman kunikera kwa namna yoyote ile kumbe ninachokifikiria ni tpfauti kabisa na uhalisia ulivyo..
Nikaanza na maombi, nilitaman sana mungu anisaidie kumbadilisha mume wangu, ila nilikuwa nafanya maombi bila kuongea nae chochote, akawa ananishangaa kwanini naamka usiku naomba kiasi kile, na kwanini nakuwa nafunga sana karibia kila siku, akawa ananiuliza shida ni nini, nikawa najibu tu namtumikia bwana, na akawa anaonekana kunielewa…
Uzuri wake ni kuwa hakuwa ananizuia kufanya jambo lolote lile linalohusu mungu na ananipa moyo sana kwenye mambo yangu, ila yeye hakuwa anafata chochote kile, ule muda ambao tulitengana alikuwa na marafiki wapya, akawa ni mtu wa staeehe, ingawa alivyoowa hakuwa anazifanya sana ila hakuacha kabisa kufanya starehe zake, kitu ambacho kilikuwa kinaniumÃza sana kama mwanamke, ambae niliolewa na Imani ya kuwa mume wangu ni bora na ananipenda sana, na yupo tayar kufanya jambo lolote lile ambalo ninalolitaka bila kuniumiza, nilitaka ajue kuwa ananiumiza bila kumuambia kitu chochote kile, nilitaka ahisi maumivu yangu bila kusema, na nilipoona hahisi maumivu yangu nikaanza kuwa na hasira na kwakuwa nilikuwa mtu wa mungu sana nikawa naziamishia hasira zangu kwenye maombi tu…
Nilikuwa naomba sana bila kuypumzika ila hakuna kitu hata kimoja ambacho kilibadilika, mpaka nilipokutana na dada ummuh junaynah, ambae nilielekezwa na mtu mmoja ambae huwa anasoma sana story zake, maana kuna wakati huwa anajiitaga husqer baltazar kwenye story zake, kuna mtu alinielekeza kwake…
INAENDELEA…

