Author: Raha Special

HATIMAYE NIMEOLEWA, NGUVU ZA GIZA SIO MCHEZO Kulikuwa na mwanamke mmoja aliyenipigia simu na kujitambulisha kwa heshima. Aliniambia kwamba alikuwa ameona ushuhuda wa dada Agatha ambaye nilimwombea na baadaye akapata mume na kuolewa nchini Marekani.Lakini hali yake ilikuwa tofauti kidogo. Yeye ni binti ambaye kwa muda mrefu amekuwa akivutwa na wanaume, lakini wengi wao wamekuwa ni waume za watu. Mara nyingi wamekuwa wakimwomba awazalie watoto kisha wamuahidi kumtunza pamoja na mtoto huyo. Lakini yeye, akiwa na msimamo, amekuwa akikataa kwa kuwa hiyo siyo ndoto wala njia aliyoitamani katika maisha yake.Pia, vijana wa rika lake wakijitokeza, huwa wanamweleza kuwa wanataka kuwa…

Read More

NDOA YA SITA, SINA MTOTO, MGANGA AMENIAMBIA….. Habari Raha Special, naomba unipostie nipate ushauri, mimi ni mwanamke wa miaka 44, lakini sijawahi kushika ujauzito wala kuwa na mtoto naumia sana, kwani sjawahi kuwa na furaha kabisa nimekaa kwenye ndoa hii sasa ni ya sita wanaume tofauti wote wananiacha kisa sizai. Mwezi wa kwanza nilienda kumtemberea mdogo wangu huko kijinini, akanishauri kuna mganga anatibu shida kama hizo nikakubari nikaenda turipofika mganga akanipima na kioo akasema mayai ninayo ila yako mbari akaniambia kama ninania nimperekee laki sita nitapona kabisa. Wakati huo mm sikuwa nahela nikarudi kusubiri hera yangu ya mchezo nikapokea nmepata…

Read More

SHERIA YA NDOA CHUPI KWENYE KAMBA MIUNO MPAKA ASUBUHI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Episode 18 Kwanza alinimwagia asali mwili mzima kasoro kichwan tu basi nilianza kulabwa kama katoto ka paka weeeh huo utamu wake sasa πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹nilikuwa naunguruma kama disiem nikikiri kuwa tangu nizaliwe sikuwahi kufanya mapenzi alivyofika kwa bibi nyieee akiweka kambi alipiga deki hadi nikawa najifungia magoli tu nilegea hadi nikawa hoiiii nilimwambja Malik mume wangu naomba unipe mwenzio nimezidiwa nipeee mume wangu hapo nalilia kirungu maana alicheza na sehem zangu zote hatari nikawa niko taaban niliona hapa nakufa kibudu weeeh nani kasema…

Read More

SHERIA YA NDOA CHUPI KWENYE KAMBA MIUNO MPAKA ASUBUHI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Episode 11 Nilisema kuanzia leo nafuta kumbukumbuku zote kuhusu toma na ninaanza maisha yangu upya nikimaliza uzazi nitarudi dar maan nilipokuwa nakaa sikurudisha nyumba nilitaka niivunje laini yangu ila nikasema hii ni laini ambayo marafiki zangu wanaijua itakuwa rahisi hata nikirudi dar kutafutia connection ya kazi nilimblock toma kila sehem na kuanzia hapo nilijikabidhi kwa mungu nikasema mungu wewe unayajua hata ya sirini naomba nipe moyo wa kukinai nilee mimba yangu kwa amani mama yangu pa1 na shangazi hawakuchoka kunipa maneno…

Read More

SHERIA YA NDOA CHUPI KWENYE KAMBA MIUNO MPAKA ASUBUHI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Episode 6 Nilimwambia boss kila kitu hadi alivyojitongozesha kwa timo hadi alivyonizushia habari za uongo nilisema yote wale mashoga zake walishangaa maana rose yeye alikuwa ananichafua wakati ukweli anaujua walianza kumzodoa pale mwisho boss akasema rose nimekusimamisha kazi kachukue barua yako kwa secretary nyieee aliachia kilio siyo cha kawaida mie nikamwambia usije kurudia kumfanyia ubaya m2 ambaye hakuwazii mabaya 😏😏😏 tulirudi na kuendelea na kazi timo alinioigia cm akasema kuna habar gab mbona niliwaona mnapandisha juu kwa madam nikamwambia kimenuka 🀣🀣🀣…

Read More

SHERIA YA NDOA CHUPI KWENYE KAMBA MIUNO MPAKA ASUBUHI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Episode 1 Mimi na Rose tulikuwa marafiki wa muda mrefu tu. Urafiki wetu ulianza baada ya Mimi kupata kazi kwenye kampuni yao. Kiukweli Rose ananipenda na mara nyingi tunachukuliana kama mtu na rafiki yake.😍 Sasa, pale kazini kuna huyo mvulana anaitwa Timo Ambaye pia ni boss wetu japo boss mkubwa yupo ila timo pia hushulikia kila kitu cha ofisi labda jambo likiwa kubwaaa sana ndio linaenda kwa boss mkubwa . Timo ni mzuri sana acheni tu. Mi nilikuwa nampenda na timo…

Read More

BOSS NAONA AIBU ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Chapter 16 Mimi nilikua mzima na mwenye kuona kila kitu kilichokua kinaendelea, Sam alinikumbatia kwa nguvu sana huku akimshukuru bibi mganga kwa kunisaidia kupona. Vick alikua anasumbua walimfunga kamba nilizokua nazo mimi, walimfunga kwa nguvu mpaka nikamwonea huruma. Mara walifika mama Vick, mwenyekiti wa kijiji na wagambo wawili, walisema kwamba wamekuja kumkamata kaka kwa kumpiga mama Vick na kumteka Vick. Mama Vick alipoona hali ya mtoto wake alianza kulia kwa sauti ha juu huku akimwomba yule bibi mganga aweze kumponyesha mwanae. Mganga alimwambia anyamaze kama anataka uchizi…

Read More

BOSS NAONA AIBU ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Chapter 11 “Nilipomaliza kidato cha sita kabla ya kuingia chuoni, baba alioa mwanamke mwingine, huyo aliharibu furaha ya mama na kutibua kila kitu kwenye familia yetu, familia yenye furaha na amani iligeuka familia yenye migogoro mingi sana, baba akawa analala nyumbani siku chache na siku nyingi anakwenda kulala kwa huyo mwanamke mdogo, aliyafanya hayo kwakua alipata pesa zake nyingi za mafao ya uafisa kilimo, kazi ambayo aliifanya kwa miaka mingi. Baba angu alibadilika sana hata mimi nilipoingia chuo, kuzipata pesa zake zilikua kwa manati sana, mama alianza…

Read More

BOSS NAONA AIBU ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Chapter 6 “Sam unafanya nini eti, kwanini hivi lakini?” Saraphina aliongea huku akianza kulia, hakuwepo wakati sisi tunacheza, aliporudi alitukuta tumekumbatiana kwwa mahaba mazito, alitaka kunipiga lakini Sam alinikwepesha na kuniweka upande mwingine. Watazamaji walizidi kushangazwa na jambo hilo, bado Sam alitaka kulazimisha kuendelea kunikumbatia, Saraphina alikua anazuia huku akilia kwa kilio kikubwa sana. Watu wawili wafanyakazi pale ofisini walimwomba Sam aachane na swala la kunikumbatia, kila kitu kiliharibika hapo hapo ikabidi turudi hotelini hatukulala tena kwenye mahema kama tulivyotarajia “Naomba unisamehe Tedy kwa kilichotokea, kama itawezekana…

Read More

BOSS NAONA AIBU ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Chapter 1 “Dada naona unaumia shingo unaweza lala kwenye bega langu ili upate kupunguza maumivu ya shingo yako kaka alieksa pembeni yangu ndani ya gari, aliniambia kwa utaratibu na sauti yenye kujiamini, nilitabasamu kidogo na kumshukuru nikweli nilikua naumia shingo, taratibu nilijilaza kwenye bega lake, bega lilikua na nyama nyingi hivyo sikulalia mifupa, nyimbo ya taratibu iliyokua inapiga ndani ya gari Ilinifanya nipate usingizi mwanana. Huo ulikua msaada wa pili kutoka kwa kaka huyo kwani, msaada wa kwanza ulikua wa kuniachia siti ya dirishani, safari ya kuelekea…

Read More

Mbunge Afariki Baada ya Kumgonga Tembo Mbunge wa upinzani nchini Zimbabwe Desire Moyo amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akisafiria kumgonga tembo, vyombo vya habari vya nchini humo vimeripoti. Ajali hiyo ilitokea alfajiri ya Ijumaa, Oktoba 10, 2025, asubuhi wakati Moyo na wabunge wengine wanne walipokuwa wakisafiri kwenye barabara kuu ya Bulawayo-Gweru, kulingana na shirika la utangazaji la serikali ZBC. Alifariki papo hapo huku wabunge wenzake wakiachwa wakiwa wamejeruhiwa, chombo cha habari kiliongeza. Pongezi nyingi zinazidi kumiminika kwa mshairi huyo maarufu, anayesifiwa kwa mchango wake katika sanaa, ambaye alifariki siku moja kabla ya kutimiza miaka 46. Alikuwa mwanachama wa chama…

Read More

Mwanamke Aanguka na Kufa, Akiwa Kwenye Mtoko wa Kimapenzi Kijana mmoja kutoka Kimilili, Kaunti ya Bungoma, anatatizika kukubaliana na kifo cha ghafla cha mpenziwe, Edith Nanjala Ajuma, aliyeaga dunia katika hali ya kuhuzunisha baada ya kutoka kimapenzi. Kulingana na mpenzi wake, Emmanuel Makokha, wawili hao walikuwa wameenda matembezini mkasa ulipotokea. Alisema walipokuwa wakitembea, Nanjala aliteleza na kuanguka. Alipojaribu kuinuka, alianguka tena, akaumia mkono na kutengua mguu wake. Makokha alisema walikimbilia katika zahanati ya jirani kwa ajili ya kupata huduma ya kwanza, ambapo Nanjala alitibiwa na kupewa dawa. Baadaye alirejelewa katika hospitali ya kaunti ndogo baada ya hali yake kuwa mbaya.…

Read More

HATUA ANAZOPITIA BINTI WA KISASA KUTOKA USICHANA HADI UTU UZIMA Chanzo: Jamii Forums Zifuatazo ni hatua ambazo mabinti wa kisasa a.k.a watoto wa 2000 wana possibility kubwa kupitia kwasababu hata dada zao watoto wa 1980’s na wa 1990’s wamepitia tayari na sasa wanalipia hesabu yao ya kukengeuka kama wendawazimu. UMRI KUANZIA MIAKA 16 HADI MIAKA 26.Hii ndio stage nyeti na takatifu sana kwenye maisha ya mtoto wa kike popote ulimwenguni ambayo kama ataienda kwa namna MUNGU ameelekeza basi mafanikio yake huwa ni ya uhakika huko mbeleni ila akikengeuka then matokeo yake ni kama ifuatavyo: Kuanzia miaka 16 hadi miaka 20…

Read More

BINTI, JIANDAE KUWA SINGLE MOTHER, UKIWA NA HIZI DALILI Chanzo: Jamii Forums Huu ujumbe nawalenga mabinti kati ya umri wa miaka 15 hadi 26 kwasababu ndio ujumbe unaweza kuwasaidia maishani mwao wasije kuingia mkenge wa kuingia mkosi na laana ya kuwa single mother. Sote hadi sasa tunakiri kuwa usingle mother madhara yake ni makubwa sana kwa wanawake wenyewe especially eneo la afya ya akili na mwili lakini pia kwa jamii kwa ujumla, hakuna faida wanayoipata kwa ongezeko la wanawake wanaoishi wenyewe bila wanaume. Zifuatazo ni dalili ambazo wewe kama binti ukiziona then jua shetani yupo kazini kukuandaa uje kuwa single…

Read More

BOSS WANGU WA SAUDI ARABIA ALINIFUNGIA KWENYE FRIJI KWA SIKU MBILI BILA CHAKULA WALA MAJI Simulizi Ya Kweli Katika ufunuo wa kuhuzunisha na wa kijasiri, Susan Njoki ameshiriki masaibu yake ya kuhuzunisha nchini Saudi Arabia, akifichua ukweli wa kusikitisha unaowakabili wafanyakazi wengi wahamiaji wanaotafuta fursa bora nje ya nchi. Jinamizi la Njoki lilianza alipojaribu kutoroka kutoka kwa mwajiri wake baada ya kuvumilia kuteswa kila mara, kucheleweshewa mishahara, na kunyanyaswa. Jioni moja, aliagizwa atoe takataka – kazi iliyoonekana kuwa ya kawaida ambayo alitarajia kuigeuza kuwa njia ya kutoroka. Akiwa amevalia nguo za ziada chini ya sare yake, Njoki alijaribu kutoroka, bila…

Read More

CHUKI YA MAMA Part 3 Mama hakutaka hata kuwasiliana na mimi zaidi ya kuninenea maneno machafu kwa ndugu zake, bahati nzuri mume wangu alipata kazi kwenye hospital kubwa ya rufaa bugando, nikabahatika kubeba mimba nikalea hadi nikajifungua salama mtoto wa kiume, bila mama kufika japo taarifa alikuwa nazo ila nikapanga nikikaa sawa ntaenda nyumbani. Mtoto alifikisha mwaka nikapata ajira lakini nikaendelea na ushonaji wangu.Tulienda nyumbani wakanipokea nikamuomba msamaha yakaisha wakamuita mwanaume akajitambilisha akatoa ng’ombe 10, bibi hakupewa hata 1 wala wajomba hata sufuria na vitenge hawakupewa hata kina mamdogo waliokuwa wakinibeba mgongoni.Baada ya mahari mama alikuwa akinihitaji akiwa tu na…

Read More

CHUKI YA MAMA Part 2 Nilisoma chuo miaka miwili nikarudi mtaani kusaka ajira, kipindi nasubiri ajira nilifungua office ya ushonaji huku nikimsaidia bibi, baada ya mwaka nilijitegemea nikapanga karbu na bibi maana ilifika mda wajomba wakaoa pale nyumbani familia ikawa kubwa na makazi yakawa hayatoshi.Hivyo nikaomba nipange nikaruhusiwa nikapanga, nilikuwa na mchumba ila alikuwa masomoni bado. Mwaka 2018 mchumba wangu akahitimu mafunzo ya udaktari akarudi nyumbani aliponikuta nimepanga alinishauri tuishi pamoja ili akipata kibarua aende nyumbani kujitambulisha, niliishirikisha familia wakaniambia tu niwe makini siku hizi watu wanabadilikaga.Tulianza lasmi kuishi pamoja na mchumba wangu, miaka miwili hakuwahi kupata kazi ila kwa…

Read More

CHUKI YA MAMA Part 1 Naitwa Clara nina miaka 29 ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto 8, mama yangu alizaa kabla ya kuolewa hivyo alizalia nyumbani kwao na aliyempa mimba hakuweza kumoa maana alikuwa mme wa mtu, baada ya mimi kufikisha miezi minane mama yangu aliolewa na mwanaume mwingine na kuanza maisha mapya mimi aliniacha nyumbani kwao yaani ujombani.Niliishi na wajomba na mama wadogo ndio walikuwa wakinilea huku bibi akijitahidi kunihudumia maana alikuwa mtumishi wa serikali.Niliishi mda mrefu sana bila kuona mama hadi nikaamini bibi ndo mama. Baada ya kutimiza miaka kumi ndo mama alikuja kiniona nikiwa darasa…

Read More

KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 46 .. Hadithi ina Season Mbili Season 1 na Season 2 .. SEASON ONE Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: KWA MAPENZI HAYA, LAZIMA TU NIMSALITI 1 – 5 KWA MAPENZI HAYA, LAZIMA TU NIMSALITI 6 – 10 KWA MAPENZI HAYA, LAZIMA TU NIMSALITI 11 – 15 KWA MAPENZI HAYA, LAZIMA TU NIMSALITI 16 – 20 .. SEASON TWO Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: KWA MAPENZI HAYA, LAZIMA TU NIMSALITI 21 – 25 KWA MAPENZI…

Read More

Alinibaka Akiamini, Atapata Kinga Ya Maradhi Simulizi Ya Kweli Chanzo: BBC Regina Mary Nlodvu anasema alikuwa akicheza katika bustani yake, mbele ya nyumba wakati aliponyanyaswa kingono kwa mara ya kwanza na mwanamume ambaye aliyekuwa anamuamini. “Alinipa pipi na kuniomba niketi kwenye paja lake,” anakumbuka. “Na nilipofanya hivyo, alinyoosha mkono wake na kunyenyua nguo zangu na kuninyanyasa.” Regina anasema hii ilikuwa mara ya kwanza kunyanyaswa kingono – akiwa na umri wa miaka minane – lakini haikuwa mara ya mwisho. Anasema mwanamume huyo huyo alirudi nyumbani kwake Ennerdale, Afrika Kusini, kwa kisingizio cha kuwatembelea wazazi wake na kumnyanyasa kingono na kumbaka mara…

Read More

“Nilipewa Dawa ili Nirefuke” Msichana mfupi zaidi Kenya Simulizi Ya Kweli Chanzo: BBC Alice Mbere mwenye umri wa miaka 27 kutoka nchini Kenya ni mtoto wa tano kati ya watoto 9 katika familia yake. Alizaliwa na kilo za kawaida lakini alipofika umri wa miaka mitano ndipo wazazi wake waligundua kuwa hana urefu wa kawaida, hapo ndipo wakaanza kutafuta ushauri kupitia madaktari tofauti. “Nakumbuka daktari mmoja alinipa dawa ya kunywa asubuhi na jioni akisema nitarefuka, lakini dawa ziliisha na kimo changu bado kilisalia pale pale,” alisema Alice. Alice aliendelea kutusimulia kwamba kila daktari alikua na maoni tofauti. Wengine walisema ana matatizo…

Read More

KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 41 Muda huo nilikuwa nipo kazini kwangu, kutokana na kuvurugwa nilisimama kisha nilianza kujizungusha huku na huko; vijana wangu wa kazi walibaki wananikodolea macho tu, wengine walinionea huruma kwa sababu waliniona nimevurugwa. Licha ya kuchanwa makavu lakini nilihisi Docra ananitania tu, nilimpigia nikitaka anikatae kwa maneno ya mdomo wake; kwa bahati mbaya nilikuta namba yake haipatikani, sikujua kama ameniblock au amenizimia simu. Kwa jinsi ambavyo niliwehuka hata kichaa alikuwa ana afadhali. Licha ya kuoa lakini niliupenda mchepuko wangu kuliko hata mke wangu,…

Read More

KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 37 Sala yangu ilitumia dakika 15, hatimaye zilibaki dakika 15 Docra aondoke, nilitoka nje nilizama kwenye gari yangu kisha niliondoka kwa kasΔ± ya ajabu. Si unajua tena mambo ya dar foleni, basΔ± nikiwa nakaribia hotelini njiani nilikutana na bonge la foleni ya magari, nilisubiri nikidhani foleni itapungua lakini wapi, nilitazama saa zilibaki dakika 7 Docra aondoke. Weuwee! Unajua kuvurugwa? Nilipagawa hadi nilijionea huruma. Nilisogeza gari kwenye parking ya benki flani kisha nilishuka, nilianza kukimbia kuelekea hotelini, nilichapa mwendo hadi mjengoni, hatimaye zilibaki…

Read More

KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 31 “Mke wangu nahisi kuvurugwa, Joshua hajanitumia pesa ya mzigo uliopita pia nimemtumia mzigo mwingine, mbaya zaidi hapatikani” “Labda ni changamoto tu za mawasiliano, Joshua mbona hana shida yoyote” “Lakini ni zaidi ya mwezi unakatika ananizungusha tu, hapatikani wasap wala facebook, amepotea kabisa” “Usijali, tusubiri kwanza” Siku zilikatika Joshua hakupatikana. Nilikumbuka siku moja Docra aliniambia niwe makini na Joshua, kwa mbali nilianza kuhisi kutapeliwa. Mke wangu aliniambia nikatoe taarifa polisi, nilielekea kituoni waliniambia watawasiliana na polisi wa marekani lakini siku zilikatika na…

Read More

KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 26 Licha ya Docra kunisubiri kitandani lakini mi sikwenda; nilimuogopa Israeli. Mara simu yangu iliita nilipigiwa na mke wangu, nilitamani kukata simu ila niliiacha, simu iliita hadi ilikata. Alinitumia meseji aliniambia nipokee haraka kuna kitu anataka kuniuliza. Alinipigia nilipokea, nilijifanya kama nimetoka kulala vile kumbe sikuwa na lolote, aliniuliza kama nimefika Dar nilimwambia ndiyo, ila mke wangu naye ana mambo ya kitoto kweli; eti kwanza alinipiga mabusu ya kwenye simu kisha aliniambia na mimi nimpige busu la kumtakia usiku mwema. Nilishindwa kufanya…

Read More

KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEASON TWO Sehemu ya 21 “Wewe nini jamani” Niliongea nikiwa na furaha, nilijidai kama sijui vile, kumbe nilijua kuwa Docra kapagawa kwa ujumbe wangu “Derick, ni wewe ndiye umenitungia ule ujumbe au umeniforwadia?’ “Nimekutungia mimi mwenyewe, na ndio maana uliona nachelewa kujibu meseji yako” “Mi nilidhani hutaki kunijibu, kumbe ulikuwa unaniandalia meseji nzuri kiasi hiki? Asante Derick, umefanya asubuhi yangu iwe nzuri..Naomba kila siku asubuhi uwe unanitumia meseji nzuri kama hizi” “Sawa usijali nitakutumia” Docra alinitazama usoni kwa muda mrefu kisha alinikumbatia kwa nguvu,…

Read More

MWANAFUNZI AKUTWA NA NYOKA BWENINI “Aliniambia Nitoke Nje”: Mwanafunzi wa Kike Ajawa na Hofu Baada ya Kugundua mwenzake (Room Mate) Ameweka Nyoka Kwenye Begi. Habari inayoendelea kwenye Mitandao imewaacha watu wengi vinywa wazi baada ya mwanafunzi wa chuo kikuu nchini Kenya, kuzua tukio la kuogofya na mwenzake. Kulingana na Mwanafunzi huyo, siku ambayo ilianza kama kawaida katika hosteli yao iligeuka kuwa eneo la kutisha baada ya kugundua kuwa mwanafunzi mwenzake alikuwa akihifadhi nyoka katika bweni lao. Mwanafunzi huyo alisema alikuwa akipanga nguo zake alipogundua kitu kikitembea ndani ya kabati la nguo la mwenzake. Kwa udadisi, aliamua kuangalia, na kuona nyoka…

Read More

HOUSE BOY DUDU NDANI YA CHUPI – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 10 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: HOUSE BOY, DUDU NDANI YA CHUPI 1 – 3 HOUSE BOY, DUDU NDANI YA CHUPI 4 – 6 HOUSE BOY, DUDU NDANI YA CHUPI 7 – 10

Read More

Mwalimu Mrembo Afariki Kwa Ajali Ya Pikipiki Wingu jeusi limetanda katika kaunti ya Nandi kufuatia kifo cha ghafla cha mwalimu kijana aliyepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani alipokuwa akielekea nyumbani. Mwalimu huyo aliyetambulika kwa jina la Naomy Jelimo anayefahamika kwa jina la Nikita, alifundisha katika Shule ya Msingi ya Nandi Hills na pia alikuwa akiendeleza masomo zaidi katika Chuo Kikuu cha Mount Kenya. Alielezewa kama mwalimu mwenye shauku ambaye uchangamfu na kujitolea kwa wanafunzi wake kulimfanya kuwa chanzo cha msukumo ndani na nje ya darasa. Kulingana na ripoti kutoka eneo la tukio, Naomy alikuwa akiendesha pikipiki mjini Eldoret alipogongwa…

Read More

HOUSE BOY DUDU NDANI YA CHUPI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 7 “”””Mzee Kimola aliona awapige picha kwanza Mama Amina na Lauson bila wao kujua, kisha akawa amempigia Mzee James simu iliita kwa mda ikawa imepokelewa,sauti ilisikika upande wa pili,Mzee James Hallo! Mzee Kimola Habari yako? Mzee Kimola alijibu salama bana, uko wapi ndugu yangu Mzee Kimola aliuliza. “””‘”Mzee James alimjibu niko nyumbani saivi nimesha toka kazini,niambie ndugu yangu upo njiani unakuja kuniona au? Mzee Kimola alitabasamu kidogo akasema hapana ndugu yangu ila kuna mtu nimemuona hapa katika gesti ya” Kibalo” kafanana sana…

Read More

HOUSE BOY DUDU NDANI YA CHUPI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 4 “”””Lauson alikubali kwenda kuonana na Catherine kwani asingeweza kukata kwenda ukizingatia Lauson alikuwa na hamu sana na Catherine,kutokana na mda kupita bila kuhonja kitumbua cha Mwanamke yeyote. “””” Lauson alipiga maji kwa haraka zaidi ili apate kwenda kuonana na Catherine,alipomaliza kuoga alitupia pamba kali na ukizingatia mwili wake uliokuwa, ukifiti kila nguo aliyokuwa akivaa alitupia jinzi, t-shirt na na laba kali yenye rangi nyeupe. ”””Lauson aliwaaga Martha na Amina kwani ndio walikuwa nyumbani hapo ,aliwaaga akiwaambia kuwa kuna rafiki yake wa…

Read More

HOUSE BOY DUDU NDANI YA CHUPI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 1 Ni majira ya Asubuhi na mapema Mama Amina aliiaga familia yake wakiwemo watoto wake wakike watatu na mme wake ,alikuwa na safari ya kwenda Morogoro kumtembelea Shangazi yake aliyeitwa Theresia,Asubuhi hiyo aliweza sindikizwa na mme wake ambaye aliitwa James Esau. James Esau alimsindikiza mke wake hadi stendi ya magari kwa ajiri ya safari hiyo,alipo mfikisha stendi ya mabasi ya Ubungo waliagana Mama Amina akawa amepanda gari ya kwenda Morogoro ,saa kumi na mbili asubuhi basi hilo lilianza safari yake. “”””Mama Amina…

Read More

KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 16 “Sio kitu, nipo kawaida tu…hivi ule mzigo hawawezi kuiba kweli?” Niliamua kubadili mada “Hawawezi, ile ni kampuni ambayo inaaminiwa na watu wengi, yaani hata ukikaa mwaka mmoja lazima mzigo wako utaukuta. Hata hivyo bado haujafika, si unajua tena meli ina bandari nyingi? Tutegemee baada ya siku 28 au 30 mzigo utafika” Tuliendelea kupiga stori, jioni ya siku hiyo niliruhusiwa nitoke nje kwaajili ya kufanya mzoezi madogo madogo kama kutembea, kunyosha mikono juu na kadhalika. Joshua ndiye alikuwa akinisaidia kufanya mazoezi hayo,…

Read More

KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 11 “Ningekuwa nataka ufe si ningekuacha uliwe na mamba” Aliniambia mara baada ya kuona naogopa kunywa maji. “Sasa kwanini umetia mizizi na majani? Hayatonidhuru kweli?” “We kunywa, hii ni dawa. Babu yangu anaishi Arusha, yeye anajishughulisha na mambo ya tiba asili. Kuna siku ikitokea mama kanihudhi huwa naenda Arusha kwa babu, huko ndiko ambako huwa ananionyesha hizi dawa. Huu mzizi na majani yanaondoa sumu ya mamba, tena kunywa haraka kabla haijasambaa” Baada ya kuambiwa hivyo sikutaka kuchelewesha, nilivuta kopo kisha nilijimiminia maji…

Read More

KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 06 “Kufa wewe ambaye huna faida, mbwa koko wewe, wa matopeni, kenge mmoja, chitokonya husiyependwa, sijui hata kwanini nilipanda hii ndege ambayo wewe upo, natamani hata huko marekani nisiende kwa sababu sitaki kukaa nchi moja na katili kama wewe, hata hii sayari ya dunia ni bora nihame niende nikaishi Pluto huko!” Mdada aliendelea kunishushia maneno mazito akiwa ananitemea mate. Mwanzoni mlinzi alitumia ustaarabu kututuliza lakini baadae aliamua kutumia nguvu, alichomoa pingu kisha alimfunga yule dada; alimpa ishara atulie hasipige kelele. Hata hivyo…

Read More

KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEASON ONE Sehemu ya 01 Kwa majina naitwa Derick Mwakasungura, mimi ni mkazi wa kyela jijini Mbeya. Nina mke na mtoto mmoja wa kike aitwaye Monica, hiyo imenifanya mtaani nifahamike kwa jina la baba Monica. Kazi yangu kubwa ni kilimo, huwa nalima mpunga, nakoboa kisha nauza mchele kwa wanunuzi mbalimbali. Maisha yangu sio mabaya sana wala sio mazuri sana, ila namshukuru Mwenyezi Mungu kwa sababu nina uwezo wa kumudu gharama nyingi, nalea vizuri familia yangu, mwanangu anasoma sekondari bila shida, m ke wangu anapendeza…

Read More

TAJIRI AMBAYE KWA SASA ANAOKOTA MAKOPO Leo nataka nakupe kisa cha kweli cha rafiki yangu wa O-level. Mwamba huyu aliyetoka familia ya kawaida kabisa, lakini alikuwa na kiu ya mafanikio isiyo na mfano. Tukiwa shule hakuwa mwanafunzi wa kushika namba za juu, lakini kila mara alikuwa akisema, β€œSiku moja nitakuwa tajiri mkubwa kuliko walimu wetu wote.” Alikuwa mtu wa maono makubwa, jasiri, na mpenda starehe hata kabla ya kuanza kupata pesa. Lakini huwezi kumtazama leo bila kuona athari za maamuzi aliyofanya alipokuwa na tamaa ya mafanikio ya haraka.Baada ya kuhitimu sekondari, tulipoteana kwa muda. Miaka mitatu baadaye nikaambiwa yupo mkoa…

Read More

KHA WEWE KAKA WENZAKO HAWAGONGI HIVYO – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 19 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: KHA.. WEWE KAKA, WENZAKO HAWAGONGI HIVYO 1 – 5 KHA.. WEWE KAKA, WENZAKO HAWAGONGI HIVYO 6 – 10 KHA.. WEWE KAKA, WENZAKO HAWAGONGI HIVYO 11 – 15 KHA.. WEWE KAKA, WENZAKO HAWAGONGI HIVYO 16 – 19

Read More