JOIN US WHATSAPP
CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM
CLICK HERE
BASI LATUMBUKIA BAHARINI KATIKA KIVUKO
Watu wawili wameponea kifo baada ya basi walimokuwa wakisafiria kutumbukia katika kivuko cha feri cha Likoni, Mombasa.
Gari hilo la kampuni ya Pollsman Safari lilitumbukia katika kivuko cha feri cha Likoni baada ya dereva aliyekuwa akiliendesha kupoteza mwelekeo kutokana na utelezi uliosababiswa na mvua iliokuwa ikinyesha.
TAZAMA VIDEO

