Habari

Basi latumbukia Baharini katika Kivuko – Tazama Mshike Mshike wa Abiria

JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

BASI LATUMBUKIA BAHARINI KATIKA KIVUKO

Watu wawili wameponea kifo baada ya basi walimokuwa wakisafiria kutumbukia katika kivuko cha feri cha Likoni, Mombasa.

Gari hilo la kampuni ya Pollsman Safari lilitumbukia katika kivuko cha feri cha Likoni baada ya dereva aliyekuwa akiliendesha kupoteza mwelekeo kutokana na utelezi uliosababiswa na mvua iliokuwa ikinyesha.

TAZAMA VIDEO

error: Content is protected !!