π‘ππ πππ¨π£π π¨πππ ππ, πͺππͺπ π¨π ππ‘π’ππ§π
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
EP 8
Nimezaliwa wilayani Gairo huko mkoani Morogoro, katika umri mdogo niliwapoteza wazazi wangu wote, nikalelewa na bibi angu kabla hajafaidi matunda ya kunilea, chuo kikuu nikiwa nasomea uhandisi wa mitambo, bibi angu akafariki, nikaingia mtaani na degree yangu ya Mechanical Engineering lakini kazi sikufanikiwa kupata hata ya kujiegemeza, miaka mitano mtaani bila kazi yoyote ya kile nilichokisomea, kula na kulala kwangu kunategemea kudra za mwenyezi Mungu, moyo wangu umejawa na matumaini ipo siku nitatoka kwenye kivuli hiki cha umaskini ambacho
Kimefunika kuanzia mababu na mabibi zangu, wazazi na mpaka kwangu”
“Utafanikiwa utafanikiwa utafanikiwa sanaπ”
“Mbona unalia Patriciaπ₯²”
“Hapana silii ni wewe ndo unalia Damian”
“Machozi yananitoka nikitarajia ushindi wa huko mbeleni na wapi nimetoka na mbona wewe unalia”
“Nakumbuka zile siku ambazo nilikua nakula, kushiba na muda mwingine kumwaga chakula kumbe kuna wengine wananjaa, nimezikumbuka mpaka zile kazi ambazo nilizipata na kuzikataa na kumbe kuna watu hawana hata kazi jamani”
“Ili maisha yaendelee imebidi iwe hivyo”
“Poa nimechoka sana, nataka kurudi nyumbani tubadilishane namba za simu halafu tutaendelea kuwasiliana” wawili hao walibadilishana mawasiliano na kila mmoja kupita upande wake.
Siku tatu zilipita wakiendelea kuwasiliana na ukaribu wao uliongezeka kwa kasi na walijuana vizuri na hata afya ya Damian ilitengemaa, jumamos walikubaliana kuingia kariakoo kwaajili ya kufunga mzigo.
Walipita chimbo moja baada ya lingine hakuna hata sehemu Patricia alileta uvivu, licha ya ushua wake bado bibie alionesha uchapakazi wa hali ya juu, walichagua viatu, mikoba. Patricia alilipia pesa yote ambavyo vitu vilikua vya millioni moja pekee ambavyo vingemsaidia Damian kurejea kwenye biashara yake.
“Twende stoo moja kule mwisho tukaviweke hivi vitu halafu tuondoke naona una sweat sana Kariakoo imejua kukuchosha” Damian alipendekeza.
“Kwanini tukaviweke kwenye stoo ya mtu sasa”
“Ndo huwa naviweka kesho mapema inafunguliwa narudi kuchakalika”
“Kuna stoo moja naijua achana na hiyo, mimi.sijaipenda hata kidogo”
“Duuuh kwamba kariakoo mzoefu kuliko mimi”
“Umeanza ubishi wako si unisikilize hebu tuchukue usafiri halafu tuipeleke kwenye hiyo stoo”
“Sawa bibi angu nimekusikia”
“Umeanza eeh nakupiga” kibao kizito kilitua kwenye bega la Damian na wote walijikuta wanacheka π.
Walichukua usafiri mpaka kwenye hiyo fremu moja. Wakasaidizana kuingiza mzigo ndani yake.
“Hii fremu nimekuchukulia na kuilipia kwa miezi mitatu, pambana hapa huko mbeleni uendelee kulipa mwenyewe”
“Weeee π₯Ή utakua unanitania hii fremu ni yangu hebu nifinye niamke niamini kama kweli ndotoni”
“Emu acha fix zako wewe π”
“Ahsante sana Mungu akubariki jamaniππ” Damian alishukuru huku anapiga magoti.
“Bhasi inatosha simama ili tupange hivi vitu, muda unakimbia sana” walisaidiana kupanga vitu vyote na mwisho walifunga ofisi na kuelekea nyumbani kwa Damian maana Patricia alitaka kujua mwanaume huyo anaishi wapi.
“Serious unataka kunipikia hapa”
“Kweli unazani natania wewe kanunue vitu hapa uje upikiwe”
“Enhee unawaza kunipikia nini”
“Weee ndo useme unataka kula nini”
“Mmmh nikisema kitu kigumu je”
“Hakuna kitu siwezi kupika wewe kalete vitu nije nikuoneshe nguvu ya mwanamke akiwa jikoni”
“Sawaa dakika chache narudi na vitu hapa” Damian alienda huko magengeni na kurudi akiwa na dagaa,nyanya,kitunguu na ndimu bamia na nyanya chungu na kilo ya unga.
“Uwezo wangu umeishia hapa” Damian alisema huku akimkabidhi Patricia vitu vya kupika.
“Sawa hakuna shida sema mwenyeww unataka pishi la namna gani”
“Japo nakusumbua ila umesema nichague mwenyewe”
“Nataka dagaa walioungwa na mlenda wa bamia na nyanyachungu hauvipiki pamoja yaani kila kimoja kwenye sufuria yake”
“Hiko tu haya kaa pale utulie nikutolee kitu” Patricia alianza kupika na baada ya lisaa limoja na dakika arobaini vitu vyote vilikua juu ya mkeka vikiwasubiri walaji.
“Nilikwambia upike mlenda ili nijua kama kweli unapika vitu vingiπ, kweli wewe ni hatari na nusu”
“Nimewahi ishi na shangazi yangu ni mpishi kwenye mahotel makubwa kwahiyo anapika vitu vingi vingi ndo alinifundisha hayo kama duniani kutakua na mtihani wa kulijua jiko na kupika bhasi huo mtihani nitafaulu kwa maksi nyingi sana, karibu tule” hiyo karibisho lilikua na nguvu kubwa mpaka likagonga ngoma za sikio za Damian.
Walipoanza kula, Damian alikubali hilo pishi lilikua na upekee wake, alifakamia chakula chote na walipomaliza walitulia kwenye godoro dogo lililopo ndani ya chumba hiko.
“Mbona kama una mawazo unawaza nini” Patricia alimuuliza Damian.
“Bado najiuliza wewe ni mtu au malaika namna tulivyokutana mpaka sasa kila kitu kinashangaza, naomba nikukumbatie kidogo tu kama kukushukuru”
“Sawa nikumbatie tu” ilivyotoka hiyo ruhusa Damian alijisogeza karibu na Patricia akamkumbatia vizuri tena akampana kwa nguvu na pumzi zake zilikua zinatua kwenye shingo ya Patricia.
“Ahsante kwa kila kitu Patrii” kwa sauti nzito yenye utulivu ilikua inaleta msisimko kwenye sikio la Patricia hata hali yake ya uhemaji haikutulia. Damian alijua binti wawatu anapata shida akaamua kuipeleka mikono yake karibu na kiuno cha Patricia ili kumtuliza kumbe haikua msaada ndo Patricia alizidi kupata shida zaidi ikabidi amlaze taratibu kitandani, akatumia mkono wake mmoja kugusa kiuno na mwingine ulikua unapita kwenye kifua cha Patricia ili kuupa nguvu moyo wa bibie huyo.
Patricia alianza kupata afadhali akayafumba macho yake huku midogo akiing’ata ng’ata. Damian akaona huo utakua msala mtoto wawatu akijiumiza je, akaamua kuupeleka wake ili kama kung’atwa ang’atwe yeye hii ilikua zaidi ya msaada kwani baada ya dakika chache wakajikuta wana……….
EP 9
Patricia hakuishia hapo akaanza kurusha rusha miguu kama mtu mwenye degedege. Damian akaogopa kweli kama mtoto wawatu akifia ghetoni kwake si itakua balaa, ila akili ikamjia haraka haraka akakumbuka kuna dawa flani ya huo ugonjwa, kwanza akazitoa nguo zote za Patri ili awe huru kutoa tiba halafu akafuata chupa ndogo yenye asali, akampaka nayo mwili mzima, bahati nzuri nyuki walikua mbali. Damian akaanza kutumia ulimi wake kuondoa asali.
Tiba ilianza kumwingia Patricia maana akajikuta anatoa ukelele wa dawa kuingia, Damian akalamba maeneo mengi sana ili kuondoa asali.
“Hapa panawasha pakuneeeeeeee baby” Patricia alilalama kwamba kuna sehemu panawasha kweli. Bhasi Damian asivyopenda mgeni wake ateseke akatoa kikunio akaanza kumkuna taratibu ila bado Patricia alionesha kuendelea kuwashwa ikabidi mtoa msaada azidishe kasi ya kukuna, alimkuna na kuna muda alikua anachanganya ile kukuna haraka na kukuna taratibu mpaka ikafikia wakati Patricia akaomba pumziko kwamba ukunaji umetosha na yeye hakuhisi kuwashwa tena. Akajilaza taratibu pembeni ya Damian na usingizi ukamchukua. Patricia alilala ila Damian alikua macho akimtazama huyo mrembo alielala pembeni yake.
Hakuamini kama kiumbe chenye uzuri namna hiyo kinaweza kuwa sehemu ya maiaha yake tena kwa hali hiyo ya uchumi. Ila upendo hauchagui na hiyo ndio maana ya upendo kwamba hutokea upande usioeleweka ila huzikamata nafsi, mbili na kuzifanya ziamini kwenye kitu kimoja.
Jumapili pia walishinda pamoja na jioni Patricia aliekea nyumbani kwake, ukaribu na penzi shata shata uliendelea kwa pamoja mwezi ulikatika na kitu cha tofauti kiliingia kwenye maisha ya wawili hao.
Ilikua hivi ndani ya jumba la brigedia jenerali Mambose, utulivu ulikua mkubwa sana kwani familia ilikua inapata chakula cha usiku, alikuwepo Mzee mwenyewe Mambose, binti yao wa mwisho na wapekee Patricia pia alikuwepo mama Patricia. Katikati ya chakula, Patricia alianza kujisikia kichefu chefu na hakuweza kufika kwenye sink alitapikia chini, alipewa pole na wafanyakazi walisafisha sehemu iliyochafuliwa.
Mlo haukuendelea tena.
“Unajisikiaje mwanangu”
“Nimepatwa na kichefu chefu cha gafla sielewi ni homa”
“Pole sana itabidi uende ukapime kesho ili ujue afya yako”
“Kesho atapima homa ila saivi mpime mimba”
“Unasemaje baba Patricia mbona unamuhisi vibaya mtoto”
“Mimba ipimwe saivi hapa sitaki unyinga na michezo yoyote” ubishani uliingia hapo hapo gafla ili kuzima ugomvi wa wazazi ikabidi Patricia akubali kupima mimba.
Na majibu yalitoka kwamba Patricia ana ujauzito.
“Si unaona ujinga wako wee mwanamke ulitaka kuficha upuuzi wa mtoto wako sasa nasemaje binti naenda kulala kesho asubuhi namtaka huyo kijana aliekupatia mimba, kama yupo wapi apande ndege namtaka nyumbani kwangu unaniletea uzinzi hapa shenziii” mzee Mambose alifoka na kuondoka zake, aliwaacha Patricia na mama ake wakiwaza wafanye nini na mzee alimtaka huyo kidume aliempa mimba binti ake kipenzi, patamu hapo.
EP 10
“Kwahiyo tunafanyaje binti angu, si unaona mzee wako alivyo mtata leo hata chumbani kwake siwezi kwenda kulala maana najua hizo kelele zake hapalaliki”
“Nitamleta tu huyo mwanaume hakuna namna ila nisamehe mama angu, kwa kukubebesha lawama zote najua huu ni ujinga wangu haukupaswa kuunganishwa kwenye hili”
“Sogea hapa njoo ulale kwenye mapaja yangu halafu nikwambie kitu kizuri sana” Mama Patricia alimsogeza binti yake kwa upole ili aweze kuzungumza nae.
“Hongera binti angu, hongera sana unakwenda kuwa mama na mimi nitakua bibi hii ilikua ndoto yangu ya siku nyingi, usihuzunike, usipanic ili uwe salama wewe na huyo mtoto na kila kitu kitakua sawaπ”
“Sawa ahsante mama angu kwa kunielewa nakupenda wewe ni mama bora na mzuri kuliko wote dunianiπ₯²” Patricia akajilaza miguuni kama kichanga na wakalala hapo hapo walizinduliwa na sauti ya mzee ikiwa tayari ni asubuhi.
“Bado mmelala mpaka sasa huyo mwanaume anakuja saa ngapi au kama haji anambie mimi nimfate huko alipoπ‘” mzee aliendelea kuwasha moto.
“Baba nampigia ila tafadhali sana naomba usimuumize mama kwa makosa yangu naomba lawama zote ziwe juu yangu, nibebeshe mimi tafadhali π”
“Sawa saa nne kamili namtaka hapa nyumbani nawapigia na vijana wangu nao wafike ili wamuone huyo shemeji yao” Mzee alitoa maagizo halafu akapita hivi ni mtu wa amri nyingi hivyo hawakumshangaa kabisa.
“Tulia nenda chumbani kwako fanya maongezi na mwenzako si unaamini kwamba atakuja”
“Ndio namuamini mama”
“Sawa kila la kheri nakuamini usiniangushe binti angu mzuri”
“Sawa mama” Patricia aliingia chumbani na kumpigia simu huyo mchumba ake Damian.
“Oya ba mtu uko wapi”
“Nipo Kariakoo hapa vipi uko mzima mama Kija”
“Si unaon utani wako wa kuniita mama Kija kila siku mpaka mimba imenasa kweli”
“Woyoooo weee usinitanie”
“Kweli na mzee anakutaka nyumbani muda huu”
“Duuuh hapo sasa”
“Kwahiyo unataka kunitelekeza kwenye huu msala peke angu?”
“Hapana siwezi kufanya hivyo japo nna hofu kidogo sema nini ngoja nifunge duka nakuja hapo haraka”
“Sawa hakikisha unapitia saloon kunyoa uvae vizuri upendeze, nitakutumia location ya hapa, sawa baba angu”
“Nimekuelewa mama nakuja” kipengele cha kujitambulisha haraka haraka kiliingia kwenye maisha ya Damian.
Ikabidi amtafute mwanae Cossy na amuelezee kila kitu.
“Ndo muda wa kuoa umefika kamanda, unajua watu wengi ambao hawajaoa ukiwauliza utaoa lini watakuambia bado bado ila kuna matukio huwakuta na kujikuta wanaingia kwenye ndoa, ndo wakati wako huu mzee wangu”
“Shida sina pesa na yule binti kwao wakishua wakinitajia mahali kubwa nitafanyaje kaka”
“Hiko ndo kipimo cha imani ya mapenzi yako kwa binti pia kuonesha misuli uliyonayo kwa wazazi wa binti nenda Mungu atakutangulia ndugu yangu au kama una hofu ngoja nikusindikize”
“Hapo ndo umeongea vizuri sasa nilitaka kushangaa ndugu yangu utaniacha vipi kwenye jambo kama hili” walijiandaa kwa kwenda saloon kwa upande wa mavazi, walijitahidi kuvaa vizuri na kuchukua usafiri mpaka nyumbani kwa kina Patricia.
Walikaribishwa mpaka ndani na sebule ilikua na kaka zake Patricia, Patricia mwenyewe, mama na mzee.
“Patricia na Mama ako mnaweza kutupisha kidogo tuongee kiume na mkwe wangu” kauli hiyo iliingiza ubaridi kwenye moyo wa Damian hawakuelewa watazungumza nini ndani ya hiko kikao.
“Naitwa Mzee Mambose ni baba wa Patricia na hawa ni vijana wangu ambao ni kaka wa Patricia na nyie vijana mnaweza kujitambulisha tu”
“Naitwa Damian niko na ndugu yangu hapa anaitwa Cossy”
“Vizuri sana kijana unamjua vipi huyu Patricia”
“Patricia ni mwenzangu”
“Yaani mwenzako kivipi ni dada ako au vipi?”
“Ni mchumba angu”
“Mchumba ako wazazi waks tumekuthibitisha?”
“Hapana mzee wangu yaaani yaaani”
“Hakuna cha yaani wewe ni mhuni mmoja umempa binti yangu mimba bila kujulikana kwa wazazi wake hii ni tabia ya wapi?”
“Baba huyu dogo namjua ni mhuni tumchezeshee mikanda kwanza” kepten Pius alipendekeza.
“Tuliza mikono hiyo dogo unazani mikono kazi yake kupiga tu ndo maana unakua mwehu mwehu miaka mitatu hujapandishwa cheo mpaka leo”
“Mzee nisamehe sana kweli hayo ni makosa makubwa nimeyafanya”
“Vizuri unampango gani wa kuwa na mwanangu sema hapa hapa unyooke kama ulitaka kupiga na kupita hivi sema nielewe”
“Nampenda Patricia nataka kumuoa”
“Vizuri unataka kumuoa unamiliki nini mpaka sasa”
“Ni akili nzuri kwanza upendo wa dhati kwa mwanao, na nguvu zisizochoka za mapambano”
“Kijana unapiga siasa unajishughulisha na nini”
“Ni mfanyabiashara wa viatu tu”
“Ni hiko tu au kuna kingine”
“Pia ni mhandisi wa mitambo ila bado sijapata kazi”
“Vizuri, kwahiyo una nyumba au bado umepanga?”
“Nimepanga mzee wangu”
“Sitaki mtoto wangu aishi kwenye nyumba ya kupanga unasemaje una mpango gani wa kujenga nyumba” hili lilikua swali gumu sana kwa Damian.
“Najipanga kwa uwezo wa Mungu nitajenga tu”
“Sasa sikia hapa nyumbani kwangu sitaki mimba za nje ya ndoa leta mahari ya chochote ulichonacho nakupa siku mbili, nitakujengeneeni nyumba ya eneo unalolitaka, Peter(huyu ni mtoto mkubwa) utamtafutia shemeji ako kazi ya kile alichosomea mnaweza kwenda sasa” mzee aliongea na kufunga kikao hapo hapo, kidogo walianza kuhema vizuri wakati wanaondoka Damian na Cossy mzes alimwita Damian na kutaka kuongea nae tena.
“Kuna nini tena hili swali halikukauka akilini mwa Damiani?”
EP 11
“Shika hiyo fimbo ya gofu nataka kukufundisha kitu” mzee alimuita Damian kwenye uwanja wa gofu kidogo ambao ulikuwepo hapo hapo kwenye jumba lake.
“Mbona kama unaniogopa dogo”
“Hapana baba niko sawa tu”
“Vizuri sikia sasa dogo kuwa huru hapa ni nyumbani kwako, hata mimi miaka mingi iliyopita nilipomuona mama ake na Patricia cha kwanza nikaenda kwao, wewe umezingua pale ulipompa mimba hilo sio shida na swala la kutaka kukujengea nyumba sio kwaajili ya wewe kwenda kubweteka kule, nataka ukaone aibu ili uweze kujenga nyumba yako na uondoke pale na jambo lingine shemeji ako atakutafutia kazi ili ukachape kazi na ukuze hali yako ya kiuchumi na mwisho kabisa nataka binti yangu awe mwenye furaha sana, mimi na mama ake tuna miaka thelathini na tano kwenye ndoa nataka ninyi mpite hapo na najua inawezekana kabisa, pendaneni, mambo ya usaliti hayana msingi kwakua hakuna jipya kwenye hii dunia, nenda kapambane tutakutana siku moja kucheza gofu kwa pamoja” hayo yalikua maneno ya baba mkwe kwenda kwa kijana Damian.
Baada ya siku mbili mahari ililipwa na tarehe ya ndoa ilipangwa hakuna kitu kilichelewa haraka sana walifunga ndoa na kuingia kwenye jumba lao zuri sana lililojengwa pembezoni mwa upepo wa bahari.
Damian akawa alisaidiwa kupata kazi kwenye kiwanda cha kutengenezea mbolea akiwa kama supervisor wa mitambo.
Kwa upande wa Patricia aliacha kazi na kubaki nyumbani ili aweze kuilea vizuri mimba yake na kazi ya kutafuta pesa ikabaki mikononi mwa baba mjengo, mipango ya kiuchumi na kila senti iliyopatikana iliwekewa mipango ili iweze kuzalisha na kukua ndani ya miezi sita tu, walikubaliana pesa aliyopata mwanamke anunue nyumba na mwanaume pesa yake iongeze nguvu kwenye biashara na walikua na duka kubwa sana, walihamia huko huku wakirudisha ile nyumba kwa wazazi wa Patricia na kweli mzee alifurahi sana kwani kijana alipambana na mapambano yalionekana kweli mtoto wake amepata mwanaume kamili mwenye kuistawisha kizazi kijacho.
Miezi tisa ya kusubiri ikaisha na mtoto wa kiume alizaliwa ndani ya familia, furaha ilikua kubwa isiyopimika kuanzia kwao wazazi wa mtoto mpaka kwa wazazi wa Patricia. Miaka miwili ya ndoa ilikatika ns Patricia aliendelea kuwa mama wa nyumbani huku akiendelea kusimamia biashara na mwanaume akipambana zaidi.
Usiku mmoja Patricia alisubiri mpaka saa saba usiku bado mumewe hakua amerudi na aliporudi Patricia aliomba kuzungumza nae.
“Mume wangu kuna mambo hayapo sawa hapa nataka kuzungumza na wewe”
“Mambo gani?”
“Ni kuhusu Mussa”
“Kama ni kuhusu huyo mtu sitaki kuzungumzia tena”
“Nakwambia tutaongea huwezi kukwepa”
“Huyo Mussa ni hawala yako nini mbona unamng’ang’ania sana”
“Mbona unanitukana mume wangu”
“Nimeshakwambia kwamba sitaki kuzungumza na wewe unalazimisha” Damian alianza kuondoka ila Patricia alimvuta na wawili wakawa wanatazamana kwa macho makali, kwani huyo Mussa ni nani na kipi kimefanyika mpaka kuingiza mlango wa kugombana ndani ya hiyo familia.
EP 12
“Sasa nakwambia ukweli wako uwe unataka au hutaki, kumbuka miaka mitano haukua na kazi, kaka Peter akakuunganisha na Mussa ili uweze kupata kazi pale kiwandani lakini umebadilika na kumletea majungu kazini mpaka amefukuzwa na umechukua cheo chake bila hata aibu wee mwanaume unajifanya mjanja jua Mungu yupo nakwambia hiyo ni tabia mbayaaaa”
“Kila mtu na mlango wake kwani nimekataa kwamba Mungu yupo au vipi hebu pita hivi” Damian akiwa mwingi wa hasira na kibuli alijizuia kumpiga mkewe ila sasa alipoingia chumbani tu akaamua kuufunga na mlango wenyewe.
“Mume wangu mume wangu fungua bhasi emu tufungulie” Patricia aligonga sana mlango ili ufunge ila sasa haukuweza kufunguliwa ikabidi yeye na mtoto wake wakalale chumba cha wageni na siku hiyo kwa mara ya kwanza alilala huku analia aliona ndoa ni chungu sana, usingizi ulimpitia muda ukiwa umesogea sana, akapitiliza mpaka muda wa kuamka.
Alishtuka saa mbili asubuhi, alijivuta mtoto alikua analia ikabidi atoke nae nje. Kwenda mpaka chumbani kwake hakuweza kumuona mumewe hiyo ilimaanisha kwamba amewahi kuondoka bila hata ya kumuaga.
Akajaribu kumpigia simu ila bado Damian hakuweza kupokea simu. Akaamua kuachana nayo akaingia kwenye mapishi na maandalizi ya siku kwa kusaidiana na mfanyakazi.
Mida ya mchana alijaribu kumpigia simu Damian lakini mwamba hakuweza kupokea.
“Jitahidi kula mchana babaa nakupenda mume wangu kipenzi” aliituma hiyo meseji nakuendelea na mambo yake mengine.
Majira ya mchana alitoka na kwenda dukani ili kwenda kufuatilia biashara za hapo alitazama tazama namna biashara inavyoenda pia alisaidia kwenye uuzaji wateja walimfurahia sana kwa namna alivyokua anahudumia vizuri sana.
“Samahani dada naomba tuzungumze kuna jambo kidogo” mmoja wa mfanyakazi wake anaitwa Annah aliomba kuongea na boss wake.
“Hilo jambo ni kuhusu kazi au mambo binafsi?”
“Ni binafsi dada”
“Kama binafsi bhasi tutazungumza baada ya kufunga duka” walikubaliana hivyo walufanya kazi na muda wa kufunga ulipofika, zilipigwa hesabu kamili na Patricia alikua na maneno ya kusema.
“Ndugu zangu vipenzi vyangu, hongereni na poleni kwa kazi ya leo, napenda namna mnavyojituma kwa kuthamini mchango wenu sasa leo nnayo zawadi kwaajili yenu hapa tutakata keki kwanza halafu nitawapa hiyo zawadi” walikata keki kwa pamoja huku wakiimba na kucheza.
“Naomba leo kila mmoja achague vitu hapa dukani bei yake isizidi elfu hamsini nimeona ni siku yenu pia na ninyi mfurahi”
“Boss boss boss” wafanyakazi wote walishangilia kwa ofa hiyo isiyochosha bhasi muda wa kuondoka Annah aliomba wakakae sehemu ili kuzungumza.
“Dada angu kuna mambo nataka kukwambia sijui kama yataniharibia au yatanijenga ila kwakua nakupenda bhasi wacha iwe hivyo”
“Mmmh mdogo angu mbona unanitisha kuna nini tena”
“Ni jambo kubwa kidogo sijui nikueleze kwa namna gani ili uweze kunielewa”
“Nielezee hivyo hivyo nitakuelewa tu mamii”
“Sawa dada ni hivi ilikua siku flani mida ya kutoka kwenda nyumba sasa wakati naondoka…….”
EP 13
“Alinisimamisha boss Damian akaanza kunambia mambo ya kunitongoza, alinambia jinsi anavyoweza kubadilisha maisha yangu kama nitakubali kutoka nae kimapenzi, kusema ukweli nilimkatalia kabisa baada ya siku chache nikaona anatoka kimapenzi na mfanyakazi mwingine yule Mimah na hapa Mimah anaishi nasi kama yeye ni boss wetu wakati ni mfanyakazi mwenzetu tu”
“Duuuh aaaaaaaaaah” Patricia aliachia pumzi kidogo maana mambo aliyokua anaambiwa yanagusa hisia zake moja kwa moja.
“Dada uko sawa”
“Ndio niko sawa hivi uko na uhakika na uchosema au unataka nipanic ili nikavunje ndoa yangu”
“Dada kweli tena”
“Sikia wewe mtoto ni mdogo sana kutunga maneno ya uongo sitaki kuyasikia maneno yako tena, wewe mtoto unataka kuingizia kitu kipya nyumbani kwangu ili nivunje ndoa tena ushindweeeee”
“Nisamehe dada angu siwezi kurudia tena”
“Vizuri kama umekuja kufanya kazi bhasi fanya kazi na upite hivi mambo ya kijinga sitaki umenielewa wewe” Patricia aligeuka kuwa mkali ili kuitetea ndoa yake, wakaagana na kila mmoja akaenda upande wake.
Patricia alijaribu kumtafuta mumewe lakini hakuweza kumpata kinyonge sana alirudi nyumbani na alipoingia tu sebuleni alisikia harufu tamu ya chakula.
“Dada leo umeiamulia nyumba sio kwa mapishi hayo mwenzetu, utatupasua ” Patricia alianza kutoa pongezi kwa dada wa kazi.
“Hapana sio mimi dada, ni baba ndo anapika”
“Weee unasema”
“Nakupikia mama angu chakula chako ukipendacho, nitume chochote malkia wangu nipo tayari kukutekelezea hapa”
“Wewe si unanijua pika kila kitu”
“Sawa maboss zangu nipo kuwatumikia” Damian akarudi jikoni, akapika pilau kuku, akatengeneza juice, matunda, akaweka na kachumbali imenyooka kabisa”
“Mkae familia yangu kati ya hivyo kuna chochote kimepungua hapo labda?” Damian aliuliza huku akiwa wima anasubiri watu wake wapate kusema hayo yalikua mapenzi ambayo walianza nayo mwanzo na sasa Patricia aliyaona tena.
“Bado chumvi tu mume wangu”
“Oooh ooooh ngoja niwahi nakuja mamaaa” Damian alienda kwa kukimbia aliporudi walikaa pamoja na kuanza kula huku wakilishana.
“Chakula kitam sana mno mno”
“Kweli eeeh emu onja na hii nyama” Damian alimlisha mkewe chakula kitamu. Walikula hapo na walipotoka walielekea chumbani, kwakua mtoto alikua amelala ikabidi wakaoge pamoja na walivyotoka kwenye kuoga.
Walihamia kitandani kuendeleza utamu wa chakula.
“Tutakula kwa kuzingatia ushauri wa daktari ili tusim’bemende huyo mtoto”
“Hahahaa wewe sugua bila kunyonya tu hahaha” ilikua sauti kavu ya mahaba ya Patricia iliyokua inatautamani mchi wa mumewe, hasira na chuki nyingine humalizwa kitandani tu, eti yanini kukasirikiana zaidi wakati mnapendana. π
EP 14
Chakula kilipakuliwa kwa usiku huo, kila mmoja alionesha ushindani wake, mtoto aliwekwa kwenye kitanda kidogo ili wazazi watafute raha yao.
Damian alimuegesha vizuri mke wake ambae alikua kabinua kiuno kwa juu halafu mbele amelala huu ulikua mtindo wa kumsusia mumewe afanye anachotaka, muhuni hakutaka kuvamia kwanza chaka, si ana uhakika na usafi wa mkewe hivyo alianza kwa kupeleka ulimi kwanza kutest utamu wa asali, nani aliinyonya yote kwa madaha, mkewe aliachia bomba la maji yaliyokua yanashangilia kwa kupata nafasi ya kutolewa nje. Damian akaanza kugusisha kwa juu, sasa hapa ndo utamu ulipo, hakutaka kukimbilia ndani kwanza π, alicheza na ukingo wa kisima kwa dakika kumi, mkewe aliililia lakini mwamba hakutaka kumuwaisha kwani awahi wapi wakati kisima anacho kwa usiku mzima.
Midadi ilivyompanda zaidi nayeye akaweka kichwa halafu anatoa, kwa juu juu tu pale, akaigusa ile kunde aloooh mtindo na utamu wake ukamzidia Patricia akajikuta analala lakini tamu tamu haikuchomoka hivyo alijibinua kidogo, Damian akiipata balance vizuri kutokea kwenye shingo ya Patricia.
Akakawa anaingia huku anatoa chap chap, mkono mmoja ulikua unazipiga piga nyama za Patricia, mwamba hakuacha kugugumia kama Simba mwindaji halafu kuna vile vimatusi flani mkolezo alikua anavitoa alooooh Patricia nae hakua kimya angewezaje kutulia na utamu wote huo.
Mchezo ulienda kwa dakika arobaini halafu Patricia akaomba kuendesha gari kwanini mumewe amnyime sasa mwamba akalala na Patricia yupo juu anazungusha kiuno tu sio ile juu chini juu chini aaah akawa anazungusha kiuno kupeleka pembeni mara wapi kumpagawisha baba wawatu.
Alivyoona huko bado hajaona vizuri akaamua kukuna weeeh hapo ndo balaa liliwaka Damian akajikuta anamng’ang’ania kwa nguvu Patricia huku akiachia utamu wa bao.
“Ahsante mama angu ahsanteee inatosha utaniua bureee” Damian aliomba poo na Patricia aliachia tabasamu la furaha alivyoshuka tu kumbe ulikua mtego akawekwa mtindo mama ule wa mende mazishini humo humo akapachikwa upyaaa.
Moto ukaendelea upyaa, waliendelea kwa lisaa lingine ndipo wakatulia wakawa wanafutana taratibu huku kila mmoja akimueleza mwenzake namna alivyoenjoy tendo huku sifa kedekede zikitolewa kwa utamu na furaha ya ndani kabisa.
Usingizi uliwapitia na asubuhi waliamka wakiwa bado wamechoka ila Damian ikabidi ajikaze akampa mkewe kimoja akajiandaa na kwenda kazini.
Patricia aliendelea kulala akaamka saa nne, akanywa chai ila kabla ya kwenda ofisini akakumbuka jambo nalo ni kupitia laptop yake.
Akaifungua laptop na kuanza kutazama video, hizo video ni zile ambazo zilirekodiwa dukani, kuna camera za siri aliziweka kupitia hizo video aliweza kugundua kitu.
“Eti mnaonaje kwenye hesabu za leo boss tumwekee ngapi” mfanyakazi wa kwanza aliuliza.
“Mwekee laki nne” mima alijibu.
“Jamani hizi pesa sio zwtu tunachofanya hapa sio kizuri hata kidogo mauzo ya millioni mbili tunamwandikia boss laki nne hii dhambi ipo siku itatutafuna” Annah alitetea fedha ya boss.
“Mama mchungaji ushaanza kamq unaona noma pita hivi tunamwekea laki nne halafu hizo nyingine tunagawana kwanza hapa tumempendelea sana tungemwandikia hata laki mbili kwani atagundua leo bhasi hheheheheh”
“Hahahahahaj chezea mke ya boss wewe ndo maana nakupenda bure” wafanyakazi hao wawili walipongezana huku wakigawana pesa ya boss bila kuona hata huruma yaani wafanyakazi wanampangia boss wampe sh ngapi kweli maisha noma sana π .
Patricia akapata hasira kubwa dhidi ya hao wafanyakazi, akajiandaa haraka haraka ili kwenda kukabiliana na hao wafanyakazi wezi na wabadhilifu wa pesa za watu π‘.
Inaendelea……..π₯


