UDANGAJI ULINIPA MUME TAJIRI
SEHEMU YA SITA
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Baada yakumaliza kuongea namama yangu niliondoka kwenye kile chumba nikaenda duka wanalo tuma pesa.. Nikamtumia mama yangu laki moja na 30..
Mimi nikabaki na20 tu ili inisadie matumizi madogo madogo, kula yenyewe yashida watu ujinunulia vyakula vyao nilivomaliza mtumia mama yangu ela nikaenda kwada fau Sikujali atakama da fau angeichukua mimi nishamtumia mama yangu inatosha.
“Eeeh bora umekuja mdogo wangu apa nilipo sina ata ela yakula nanjaa kama nini naimani yule mkaka amekupa pesa kama siku ile! maan sijanywa ata chai.. Leta basi icho kipoch!..
Akakichukua tena kama kawaida yake nakutoa pesa zilizokua zimebaki.. Khee!! elfu20 tu jamani uyu kaka ela ndio hii amekupa tu au kunamahali umepitia wewe Au ujamfuraisha nini..!!! ebu sema pesa umepeleka wapi!!..
“Ndio iyo kanipa da fau kasema siku akainiona atanipa zaidi.”
“Mmmh uyo mdogo wako atakua kaishaanza ujanja ujanja muone tu ayo macho yake yamekaa kiwongo uwongo.”
Rafiki zake pendo nalinda walaiongea.
Kelele Nanyie! waone kwanza bora yeye kaja ata nahii sasa nyie jana kutwa akuna alie wachukua kazi kujazana tu apa kwangu.. Nakodi inaisha ivi karibuni kila mtu apite kona yake aje napesa yakodi apa msimtegemee mdogo wangu uku mamtu mazima nyie uyu bado mdogo.
Da fau alivowajibu utasema yeye kwangu nimalaika! alichukua zile ela mimi ata sikuangaika nae kizuri kwangu nilishamtumia mama yangu pesa.
Uku cmu yangu niliitia nyuma yasurual yangu nilikua nimevaa da fau nawale marafiki zake waliondoka wakaniacha mimi nikatoa cm yangu kuicheck naona msg ya brandon.
” Ulifika salama! nyumbani!.. Nikamjibu ndio nimefika salama.. Sawa naimani tutazidi kuwasiliana zaidi..! nikamjibu poa!.
Niliendelea kuwasiliana nayule kaka Bravo kwasiri siri cm yangu niliificha ili wasiiyone ata kuchaji nilikua naenda kuomba sehemu kutoa pale nyumbani.. Nilijua tu da fau angeiyona angeichukua alafu mimi ilinisaidia kuongea namama yangu ili kumjulia baba yangu hali.
Hali yangu ilianza kuchange kweli nibaada Yamuda kidogo baada yaweek mbili toka nimelala nayule bravo.. Japo da fau alikua akiniletea wanaume naondoka nao uku pesa akichukua yeye.
Ila hali yangu aikua sawa kabisa yani nilikua najisikia uchovu kilamara kizunguzungu uku saingine natapika kabisa Kwakichefu chefu kikali kama nini!!!.. Ata period sikua naona kabisa..!!!
Mmh hali yangu hii imekuaje mbona nabadilika kila siku!! jamani!!.. Nilijiuliza bila majibu nikajipa moyo wenda hali yahewa tu. Da fau siku iyo alinikuta nimelala yani jioni usingizi tena mzito..
” We Lulu mbona sikuizi unalala sanaa!!.. Unaumwa au nini shida??!!..
“Da fau ata sijui ila nasikia usingizi kweli.
Mmh! aliguna tu nakusema kunamtu Wako apo nje anakuita ebu toka ukaongee nae. nikauliza nani uyo!..
“Bhana toka wewe ujui ulie muelekezaga apa kwetu ni nani! nikakumbuka nibravo yeye da fau alijua wenda nilikujaga nae ila
Yeye bravo alitaka apajue napokaa nikamuelekeza kwanjia yamsg, basi nikajiweka sawa nakutoka.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Nilitoka nje nikamkuta brav alizoe kuvalia suti sanaa japo akua mtu mzima sana ila alikua serious sana… Adi sasa umelala kweli jamani Lulu! unaumwa!!!! au nini shida kipenzi!.. “apana ata siumwi naona hali yahewa tu.. Sawa twende zetu.
Nilipanda kwenye gari kwani kazi yangu sikutumika tu kimwili nikaingia japo sikua sawa kabisa hali yangu niliifosi tu. Tukaondoka nabravo ila kwambali nilimuona da fau akitazama gari labravo!.
” Lulu sasa adi unafatwa namagari apa!! kwangu ushakua maarufu sasa nayule kaka kilamara anakuchukua wewe nanikijana ambae sikukutafutia sasa uyu kaka lazima awe wangu wewe bado mdogo.. Sana akuna mtu apa kwangu awe namwanaume mwenye pesa zake kunizidi mimi..
Nitafanya kitu tu ili kukuweka nae mbali uwezi kuja juzi namimi nimwalimu wako uwe nawanaume wakubwa wenye pesa ivi.. Apana aijawai tokea mwanafunzi akimzidi mwalimu.
Sikujua dhumuni lake da fau ila ndio ivo alivokua akifikiria.
Bravo pale pale alinipeleka kwenye kile chumba naona alikua akichukua kwajiri yetu. Nilifika tu mimi kichefu chefu nikakimbia wash room nilienda nilitapika nilitapika atari..
Adi nikahisi nguvu kuniisha.. Brav Alinifata alinishangaa nakunibeba adi kwenye kitanda mimi namshangaa tu.
“Lulu unaumwa! alianza kunipima joto usoni kwakuweka Viganja vyamikono yake.. Au unamimba??.. Nilishangaa lile swali mimba kwasasa jamani mimi?? nilitoa tu macho!!.. 🙄
“Sema umepima unamimba??..
” Bhana bravo mimba ndonini mimi sina mimba bhana mimba kwaumri gani huu!..
Lakini ulishavuka age yautoto unamiaka kumi18 eti nikikuona namiezi kadhaa Acha kujifanya wewe mtoto uku mimba ata shuleni wanafundisha kuhusu mimba.. mimi nidaktar nambie hali hii umeanza kuona mabadiliko haya lini..!!
Nikasema uyu nae jamani vep! nimeanza kuona baada yaweek kutoka apa kwako nilikaa week hali yangu ikawa ivi.”
” Eeh apa katikati umelala nawangapi!!..?? eeh nikasema leo nitakoma namaswali..
Nikasema hali hii nibaada yaweek nanilikua nipo nyumbani tu nimeenza kutoka ivi karibuni ila hali hii nilikua nayo kabla. Basi bravo Akasema kesho tunaenda hospital mimi nawewe!..
Nilimshangaa uyu kaka vep! ila ukweli nami kidogo kidogo nilianza kumpenda mapenzi nihisia naukaribu wake kwangu ulifanya kitu kikajenga ndani yamoyo wangu Maan teari nishafika umri wahisia kujikusanya naaya nayo yafanya nakuyapitia unujiengea mabadiliko tofauti tofauti tu..
Uwezi amini bravo akunigusa yani sikufanya nae mapenzi kabisaa..Adi kunakucha Akanitoa pale ndani akanipeleka duka moja languo akaninunulia gauni refu nazuri tu.
Akaniomba nilivae maan mimi nilivalia kigani kifup tu chakawaida nikavaa gauni alilo ninulia akanipitisha saloon japo ilikua asubuh.
Alafu akanipitisha kwenye mgahawa mkubwa mkubwa tu akaagiza supu nikanywa.. Japo kidogo tu. Yani siku iyo sikuuelewa bravo mimi tukatoka apo mgawani.
Moja kwamoja adi kwenye hospital kubwa tu nanzuri aswa akaniingiza adi chumba kimoja pale hospital nakunilaza.
Chakunishangaza watu walikua wakimpa heshima mimi najiuliza uyu nani tena mbona kama anawadhifa flan ivi..!! .. Nakanileta apa hospital kwaajiri gani niliwaza sanaa…!!!!… Dondosha like mzigo utue.. Brav mbona kampeleka Lulu hospital anampango gani nae…!!!
SEHEMU YA SABA
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Mimi nilikua najiuliza uyu kaka anawadhifu gani apa! mbona kila mtu anmpa heshima!! alafu kanileta hospital apa kufanyeje!!! .. ile najiuliza pale kitandani..
Uku bravo Alichukua vifaa nakuanza kunipima tumboni kwangu mimi namtazama tu.. Uku nae akiniangalia kwaumakini kweli.
Badae tulitoka akaitwa Nadaktar maan alivalia nguo zapale hospital Dr bravo!!.. Naam.. Atujakuona muda kweli vep mke wako ajambo hali yake tena inaendeleaje!..”
Mmh apo nikajua kumbe anamke nanishajua ni daktar pia.
“Anaendelea vizuri alafu nitarudi apa nihospital yangu hii nyie fanyeni kazi sitaki maswali.”
“Apo pia nikajua yeye ndio boss wahospitali ile…. Tukiwa ndani yagari alisema .
“Lulu unamimba namimba yako inaweek mbili naimani niyangu kutokana namaelezo yako.. Mimi ata sikumuuelewa namimba tena!! alafu uyu nae anasema niyake yupo sawa kweli??!!..
Mwanaume gani anajua mwanamke nimdanganji nakila mtu alafu apate mimba aseme yake ajabu…??!!!….
“Najua utashangaa mimi kusema ivo Lulu chakwanza tu maelezo yako ulivo nambia madaliko yako nasasa nahisi kusema mimba yangu japo utashanga pia nitahudumia ata akiwa sio yangu basi ukijifungua nitapima nae DNA.
Uyu kaka nae jamani mimi nazaa kwamaisha gani!! nilionayo kila mahali upande wangu nishida tu.. Uyu mtoto mimi nitamleaje!..
” Lulu nitakusaidia kumlea!! .. Mimi sina mtoto mke wangu ana uzazi wowote tushazunguka sanaa japo mimi doctor ila nimeshindwa ata njia m,badala ajafanikiwa kupata mimba nashida ipo kwake nasio kwangu!..
Ata sikuangaika nae mimi mimba yenyewe yautoto utoto maisha yenyewe ayaeleweki kwangu.. Bravo naomba nipeleke nikapumzike.. Nilimwaabia ivo.
“Sawa nakupeleka ila weka akilini kwamba nitakulea wewe namimba yako nayako yote nitayabeba pia!.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Alinirudisha kwa da fau akanipa pesa tena elfu50 akisema yamatumizi madogo madogo. Aliondoka zake me nikazama ndani!!..
“Jamani watu wananyota mjini apa yani natamani ata sisi tungepata nyota yako unamiezi miwili tu apa mjini ila unawaka tu..!! pendo nalinda walivoniona tu nimeingia walianza kunisema.
Niliwauliza da fau yupo wapi!! Wakasema katoka nawala awajui kaenda wapi nakawaida yao wanatokaga nae leo katoka mwenyewe. Ata sikuangaika kujiuliza nilijilalia zangu tu maan nilikua nimechoka kweli nausingizi kama wote.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Mida yaucku da fau alikuja Nakunipa dawa ata sikujua nidawa gani!
” Da fau nidawa gani izi unanipa..!!
” Ebu kunywa bwana jana asubuh aukua sawa kabisaa nikaona unaumwa sasa nimekuletea dawa kunywa!!
“Apana da fau mimi dawa ata sijui imetoka wapi wala sijui inasaidia nini siwezi kunywa!!”..
“Nimesema kunywa!!! unahisi mimi nitakupa sumu au veep!!.. Unaumwa wewe kunywa unaumwa utakua sawa..!!
“Nishajua kinacho nisumbua sasa sina shaka tena!!..
“Eeh umejua unamimba! alafu unataka kuzaa? ivi wewe mtoto unajielewa! kweli unamimba kwaio unampango wakuzaa sio??”
“Apana ndio najifikiri apa.!!
” Unajifikiri nini wewe uyo mtoto unamzaa wanini naunamzalia nani kwamfano!! kwawanaume gani.. Na kwamaisha gani kwaumri gani pia au unampeleka wapi uyo mtoto! uku kwenu penyewe shida tupu..
” Da fau!!.. Nilimuita ..
“Ndio mimi da fau sasa kunywa izo dawa utakua sawa!!.. da fau nitakuaje sawa! nasijui dawa zanini”
“We kunywa tu.. Sio yakutoa mimba wala nini!!!.. itakufanya mwili uchangamke”
Basi Sikua najua zaidi nilichukua zile dawa nikanywa bila kujua chochote.. Muda nilipo maliza kunywa dawa bravo alipiga cm apo apo da fau ndio alijua nacm alishangaa mimi nikawa nawaza kupokea!..
“Pokea wewe siunapigiwa cm.. Yani we mtoto unacm kubwa ivo lamacho jamani!! ata mimi sijui dada yako kweli??..
” Nimepewa leo nabravo nikamdangaya!
“Namimba itakua yake maan baada yakutoka kulala nae week nzima ulikuja kupata mabadiliko ghafla aya ongea nacmu yako.. Nilipokea cm yabravo akuniuliza vep hali yako! .. niko sawa tu usijali sana kuhusu mimi!!..
“Sawa pumzika nitakucheck kesho nausije kufanya kitu chaovyo sawa!. Sawa alikata cm tu nami tumbo likaanza kuniumaa jamani liliniuma likaniuma da fau alikua kaishatoka tena ndani walibaki walibaki wale marafiki zake..
Damu zikaanza kunitoka sehemu zachini nadhani mshajua wakubwa niwapi zilianza kunitoka uku tumbo nalo likizidi kuuma balaa!!…. Jamani da fau atakua kanipa dawa gani eti….!!!!
SEHEMU YA NANE
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Tumbo Lilikua laniumaa atari uku damu zikinitoka nilipiga kelele zamaumivu adi wale wadada wakashtuka nakunifata pale kitandani… Eeh mungu wangu fau kaishafanya yake nilisikia wakisema.
” Mimi nikawauliza kwashida kafanyeje!.. mmh!.. Pole yako amekupa dawa zakutoa mimba zamimba izo… Uwii nililia nyie japo sikua namatarijio yakuzaa ila sio kwastyle ile alioitumia jamani.
Muda kidogo nikaona mabonge yakinitoka mimba yangu mimi ishaharibika😪 bravo nitamwambia nini uku alinionya kufanya jambo laajabu.. Wale wadada walinipa dawa tu zamaumivu tu maan nao walikua wadhoefu nilivo waona walikua wanajua kile kilichonitokea.
Basi muda flan alikuja da fau nadawa tena zakunikata dam mimi namtazama uku nalia.. Alivo macho makavu akasema.
” Lulu mdogo wangu najua nimekuuzi fikiria maisha yako yakwenu pia alafu uyo mtoto ujui niwanani umelala nawanaume tofauti fauti Kama saba uyo baba wamtoto unamjua sasa….!!! Nilimjibu kwatabu tu lakini
“Da fau yule bravo alisema atanisadia kujifungua atanigharamikia kila kitu adi nitapojifungua.. Ata pima namtoto DNA kama niwake pia..”
“Unautoto sanaa wewe Apo kwenye DNA ndio pagumu je! mtoto akitoka sio wake unawajua wanaume wewe!! wanaume wanafanana atakusadia muda mfupi tu ila ata kuacha nayule kaka ulishasema nimume wamtu.. mimi kulea mimba namtoto apa kwangu nindoto
Awa wote wakipata mimba tunazitoa mimi mwenyewe dada yako fau nishatoa mimba mpaka shetani anaogopa yani ata mimba ikijifikiria kuingia kwenye tumbo langu inajifkria sanaa.. alafu wewe uzae kuhusiana nini..!!!..maisha aya nimabovu ndio tunatafuta maisha mazuri unataka kuzaa uku ujajipata! kuzaa kupo tafta pesa mtoto..
We kunywa dawa zakukata damu namaumivu alafu utakua sawa mimba yaweek mbili ainashida.. Aliongea smple tu ila maumivu niliyapata mimi.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Niliendelea kuungulia maumivu uku da fau nawale wadada wengine wakitoka kila siku kwenda uko kutafuta mabwana mimi waliniacha kwakua hali yangu aikua nzuri kabisa.. Bravo alijitahidi kunipigia cm nakunijulia hali mimi nilimdanganya tu nipo sawa alinitumia pesa..
Zamatumizi uku nami pesa alizonitumia nilizituma kwamama yangu kijijini ili baba apate Dawa mdogo wangu nae akamilishiwe vitu vyashule.. Nilimficha bravo kama nishatoa mimba uku pesa zake akinitumia nachukua tu nakutumia.
Mwezi mmoja tena ulikatika nikiwa nipo ndani sikupa tabu yakula maan bravo alijitahidi kunitumia pesa uku akiwa anajua namimba bado. Hali yangu ilikaa sawa kabisa.
Siku moja na da fau aliniomba cm yangu ampigie mtu yake aina salio maan mimi salio lilikuepo bravo alikua akinitumia. Nikampa cm yangu bila kujua nia yake muda kidogo akairudisha nakusema ahsante mdogo wangu!.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Mara nikatumiwa msg nabravo naomba tuonane leo jioni!!.. nikasema sawa.
Majira yajioni kweli alikuja nyumbani nikatoka japo kwakujishtkia shutkia.
” Jamani boss kama boss kafika watu wananyota mjini apa!!.. Pendo nalinda Walisema maneno yao yakejeri wala mimi nishawazoea tu. Nikatoka nikamkuta bravo kanikazia macho kweli kweli.
Ingia ndani yagari??.. Alisema tu ivo nikaingia Akaliondoa gari pale kwa da fau adi hospital yake tukaingia .Mmmh!! mimi kuona apo niligopa! bravo mbona wanileta apa??.
“Kaa kimy Lulu najua nacho kifanya.
Akaniingiza kwenye chumba tena nikapimwa mimi kiroho ju juu najua kwisha habari yangu.. Kunipima mimba sina..!! alinitazama kwahasira bravo😠.. Akanishika mkono adi ndani yagari akaningiza nae akapanda.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
” Lulu sinilikwambia usitoe mimba!! sinilikwambia pia nitalea mimi uyo mtoto??… Mimi sasa najishika shika vidole tu navikunja kunja nakuvikunjua pia..
“Yani nyie wanawake amuaminiki ata kidogo Nawala amjulikanagi mnatakaga nini kwenye maisha yenu..kwangu kero kila siku namiaka mitatu sijapata mtoto uku naumri wamiaka30 mke wangu ashiki mimba sio miaka mingi sana ila natamani kuitwa baba alafu yeye anauzazi kabisa
Lakini bado nimjeuri nambishi nikajua kwako nitapata tulizo lamoyo jamani.. Umenifanya nizidi kuchukia wanawake mimi kwanini ulitoa mimba atakama aikua yangu nilisema ukijifungua nitapima nae DNA.!!!”
Nikamuliza nani kakwambia nimetoa mimba mimi!!??.. Maan ajabu mimi sikumwamabia nani alimwambia??..
“Sio muhimu aina haja pia yakujua kwasasa nashukuru pia kwakua namimi muda mfupi kila mtu ashike mambo yako we endelea kuuza mwili wako sindio raha pia kujiuza bila kua namalengo.
Bravo alikasirika kweli Kweli akanipa ela yanauli tu nakuniomba nishuke kwenye gari lake niondoke zangu.. Mimi nani tena nipinge! nilishuka nimepoa.
Ila bravo nilitokea kumpenda japo kwamuda tu alionyesha wema wake kwangu pia kafanya ata kwetu nimesaidia kwakiasi flan kutuma tuma pesa kupitia yeye Nikaondoka zangu tu adi kwa da fau uku nimepoa.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Uku nikijiuliza kweli nani alimwambia bravo kama nimetoa mimba sikujua ninani..!! niliwakuta wapo wote da fau alinitazama tu nakusema uko ulipotoka kwema!.. nilimwambia tu bravo kajua nimetoa mimba so ataki mahusiano namimi..
“Eeh jamani ndio maan kapoa ivo!! pole mwaya sisi tunao uzaga miili yetu atunaga bahati yakua namahusiano rasmi Mdogo wetu .. Kazi yetu ndio hii tu mdogo wangu pole mwaya!..”
Kama waida yao kunikejieri tu Linda na pendo. “Nilikwambia lakini mdogo wangu wanaume sio ndugu zetu nilikwambia usijukute unalea mimba uku umri wako niwakutafta pesa usijali upo nadada yako wala usijali.. Da fau aliongea tu nilijua ananinafikia tu.
Bravo alikua msaada mkubwa sana kwangu kwakua alikua akinitumia pesa mara kwamara zakunisaidia sasa nilianza kuona maisha yangu niyale yale mabovu tu
Nikarudi kule kule kwenye kuuza mwili wangu maan sikua na namna tena uku nyumbani napo mama apoi anaomba ela tu yani ndio nilikata tamaa yakurudi nyumbani Nikawa nafocus nabiashara yangu yakutumika tu kimwili.
Siku zilizidi kusonga da fau akinitumikisha kwa mabwana Zake pesa nilio ipata basi aliichukua yeye ikitokea nimepata pesa mpaka mtu anichukue mimi binafsi bila kupitia yeye apo ndio nitapata pesa nakutuma nyumbani.
Siku moja nikiwa narudi zangu kutoka dukani usiku Kununua vocha.. Nikamuona da fau yupo namtu ambae binafsi nilimfahamu akimshika shika namkumkiss kiss tu nilimuona moyo wangu ulilipuka ulishutka pia na uliniuma sana…..
Unataka kumjua ni nani!!!..
Like uwezavyo ili umjue…!!!!
SEHEMU YA TISA
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Nilipomuona yule mtu nilishtka sanaa…
Alikua nibravo na da fu wakibusiana pale nje yanyumba aliopanga da fau.. Nikajisemea kumbe itakua da fau ndio alinichongea ile siku nimetoa mimba uku yeye ndio alienitoa!.. Basi alivoniomba pia cm ile siku pia alichukua namba zabravo nakumwambia nimetoa mimba yake!
Ili yeye awe nae karibu.. Sasa kweli bravo alishindwa kuona umri wangu naweza kujimudu kweli namatukio mazito ivi..!! aah apo ndio nikachoka nikaona wanaume awaaminiki pia kama wanavosema Sema sisi wanawake atuaminiki pia.
Niliwapita uku da fau akizidi kumkiss kiss.. Roho iliniuma japo yule kaka alikua mkubwa kwangu ila nilishaanza kumpenda mapenzi jamani ayana kipimo Naumri ukishavuka kwenye utoto ujenga hisia tofauti sanaa nadhani tumeelewana.
Toka siku iyo nilipo muona da fau nilimuona nimbaya Zaidi yayale alionifanyia… Kumbe akupenda kuona mimi nipo nabravo basi alipata wivu.
Maisha yangu ndio kama yale yale yakuuza mwili wangu uku nikipata pesa natuma nyumbani nyingine anachukua da fau..
Niliogopa kuwambia nyumbani kitu maan kila siku nilipigiwa cm zakuitajika kwapesa nikaona ata nikirudi nyumbani nitakua mzigo.
Miaka miwili ilipita sasa nishakua namiaka…20 Namiezi kadhaa kimo kilisogea ata mwili wangu ulibadilika..
Ukweli nilikua navutia wanaume wengi sanaa mashallah siwezi ukufuru mungu alinipa shepu alinipa sura nzuri pia nasasa nishakua kua zaidi da fau alizidi
Kunipendezesha ila yote alifanya maan mimi ndio niliogoza kumletea pesa Zaidi.. sikuwai kwenda nyumbani.. Bali kutuma hela tu nanilipambana nasasa nilikua akili yangu imepevuka kiasi japo nilikua chini yacontrlo ya da fau.
Da fau tabia yake ilikua nihile ile nikipata mimba ananitoa kazi inaendelea nilitoa mimba mbili jumlisha naile bravo alisema niyake basi zinakua tatu..
Sikua napenda ila maisha sanyingine utupeleka pale tusipotaka nasaingine mungu ukupa ulichostyle maan mimi nilimtamani da fau nikijua anaishi maisha flan ivi mazuri.
Da fau bhana alinifundisha tabia moja ivi yakuwapa wanaume dawa zausingizi.. then nawaibia nami nilifata kama alivosema nikiwa nafanya ivo nawatilia madawa kwenye kinywaji wanasinzia alafu nawaibia pesa.
Yani saingine sitaki ata aniguse navizia akiingia bafuni tu kuoga ili kuja kumpa kilichonipeleka pale namtilia madawa kwenye kinywaji chake cha kilevi chake jumlisha kilevi namadawa yangu
Basi analala akiamka anakuta nguo zake tu zakuvaa yani nishaiba pesa na abaadhi venye thamani then nakuondoka nilikua Lulu aswa mwenye moto wake mjini. Adi da fau akawa ananisifia akisema kweli mwanafunzi kamzidi mwalimu atari.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Nilipata pesa nikawa namtumia mama yangu sasa nilikua mjanja simpi da fau yote maan ukimpa tu pesa yote akupi ata mia yeye nguo alikua ananinunulia nguo ananiweka sawa ili kuvutia wanaume
Nami nilikua napata pesa namtumia mama yangu.. Mtindo wangu niule nikiwa sina mood yakulala namtu namtilia madawa nasepa napesa.. Ila unaambiwa njia yamwizi nifupi kweli Nazamwizi 39 40 unakamatwa kama wasemavyo.
Siku moja nilipata mkaka flani ivi amepanda hewani kidogo kifua kimejaa yani alionekana nimtu mwenye mazoezi
Akanipenda akanichukua nakuwaacha wezangu uyo kaka akanifikisha gheto kwake maan alinipeleka gheto Kwake..
“Karibu mrembo wangu..Apa ndio gheto!!.. Mimi nilikua najali pesa tu sichagui mazingira wala nini popote kambi.
Nikazama gheto nyie yule kaka alinipania alinipania sana yani nilikoma.. lakini nikawaza akinipa chance namtilia madawa anywe adi asinzie niibe uku ndani tuela twake tote.
Kweli alitoka.. Baada yakunikamia akaenda nje kuoga akua nabafu ndani lilikua lanje..!! nikaona maji pale chumbani kwake nikachukua glass nikamtilia dawa yausingizi nikisema akija tu nampa kimahaba akinywa naiba pesa mimi nilikua nadeal napesa tu sichagui nielfungap Nishingapi nikikukuta unayo naiba tu naondoka zangu..
Kaka yule akarudi alinitambulisha kwangu kama john!.. Mmh! mrembo nikajua umelala!!.. Aliniuliza.. Aaamh!! nakusubiri wewe ili show iendelee njoo! nilimuita kimahaba chukua maji basi unywe upooze kooh naumechoka pia maji siyanakuaga nanguvu sanaa.. Waoh!!.. Alisema ivo..
Nakunimambia nataka unywe nawewe mrembo nawe umechoka pia.. Eeh uyu kaka kashutukia Nini..!!! nikasema kunywa Aya kwajili yako kipenzi.. Akanitazama nakusema kunywa ayo maji wewe!!!
“Unajua nyie warembo mnajikutaga watoto wamjini sanaa.. Sasa apa kwajohn mimi mtoto wamjini kunywa harakaaaa ayo maji najua kunakitu umeniwekea aseee mimi siibiwagi kizembeee mimi nimuuni balaa.. Niliogopa nakutetemeka ukicheck mkaka kapanda heweni kajaza pia duuh..!!!!
Toka nimeanza ile tabia yakuwatilia madawa sikuwai kukutana naichi kisiki nakutanaga baba tena wale wazito wazito ila uyu kaka duuh!..
Niliogopa akachukua ile glass nakunisogelea alinifosi kunywa nikanywa.. Kinguvu nguvu.. Acha nianze kusikia kizungu zungu chaatari uku kichwa kizito naona mawenge wenge tu mmh! nikasema kumbe dawa kiboko hii..
Alafu nikasikia akisema masela ingieni.. Maselaa!!!.. Tena!!!! Wakaingia wakaka watatu ivi niliwaona Kwambali nao so haba.. John akasema awa ndio wanajikutaga wajanja sasa haja zenu malizeni apa leo..!!! mama weeeee!
Mamaa awa tena waniingilie mimi??.. Uku naona mawenge mawenge…!!! ata awakujali ndio kwanza walianza kutoa mikanda yasurul zao kifyatacho sasa…!!!…
Like uwezavyo lulu watafanyikiwa kumbaka nawale vijana…!!!!!
Inaendelea………..