UDANGAJI ULINIPA MUME TAJIRI
SEHEMU YA KUMI
Wale wakaka watatu walinisogelea mmoja wao alinivaa mwilini mwangu uku muda ule ule nilizimia kutokana nayale maji niliyatilia madawa ili anywe john Ili nimuibia…
Nilikuja shutka kila mahali namaumivu alafu nipo nje yanyumba nimelazwa chini yule kaka john ata kipoch changu sikukiona wala cm yani iyo siku nilikomeshwa mimi wauni so watu et.
Nilianza kujivuta uku nasikia maumivu atari sehemu za siri.. Nilijivuta adi barabarani mida kama yasanane usiku nilitembea kama mlevi yani..Sasa nguvu ziliniisha nakwambali niliona gari linakuja mbele yangu nikalipungia mkono ili kuomba msaada japo nipate lifti lakini ukweli sikua nanguvu mimi ata zakupaza sauti.
Gari lile lilisogea nilipokua nimeanguka tayali niliona kwambali kwamacho Yaafifu afifu.. alishuka mkaka flan sikuona sura wala alivo bali viatu Tu nikajua niwakiume.. Nilivoona naweza pata msaada nilikata moto tena Yani nilizimia.
Sambili asubuh ndio nilishtka Nakuyafumbua macho yangu nakujikuta nipo kwenye kitanda kimoja matata yani chagharama aswa..
Alafu chumba nilicho lala sasa!!!.. nikizuri niliishia tu kuviona kwenye matv tu.. Nilinyanyuka faster kujiaminisha nipo wapi apa!!!..
Ghafla alingia mama mtu mzima akasema umeamka bint yangu??.. Mimi nikamtazama nakumjibu ndio shkamo!..
Marhaba vep hali yako je! unajisikiaje asaivi!!..
“Najickia salama tu nashukuru lakini nimefikaje apa ??..!!
“Aah apa amekuleta
boss wangu anaitwa Lewis..
Mara Namlango ukafunguliwa pia akaingia mkaka mmoja kapanda hewani kiasi rangi yake maji yakunde tu Muonekao wake pia mkubwa kiasi kwangu alionekana anazo pesa uku kashika mfuko mkononi mwake.. Alisogea pale kitandani akakaa pembeni yangu..
Yule mama mtu mzima akaondoka nakuniacha nayule kaka.. Unaendeleaje! aliniuliza.. Salama!…
“Mmh nimekuletea nguo izi apa! izo ulizovaa azifai tena zimechafuka nakuchanika pia kaoge uje uvae nguo nitakupekela unapokaa pia!!..
Khee!! nikajiuliza uyu kaka ndio alinisaidia jana??.. Mbona ata ajataka kujua nini kilitokea alafu nanguo kaniletea bado anasema anipeleke kwetu!!.. apana nitaenda mwenyewe.. Nilimjibu ivo.
” Mschna usidhani sina kazi zakufanya au wewe nimuhimu sana kwangu wewe sio wakwanza kwangu kukusaidia!..Nataka nikupeleke kwausalama wako jana nimekukuta kwenye hali mbaya sana..!!
Sikua nalakusema niliingia bafuni apo apo ndani nikaoga nakutoka nikafungua mfuko nakuta adi nguo zandan kaniletea khaa uyu kaka vep??.. Jamani adi nguo zandani tena size yangu kabisa..!!! basi nikaona surual ya jeans nakiblauz nikajivalia zangu.
Muda kidogo nikafungua mlango nakutoka chumbani pale nikaanza kushuka ng’azi jamani ilikua bonge lanyumba yani ninzuri kweli..
Apo seblen sasa utasema kwam,bonge flan tena ata zaidi nilishuka mdogo mdogo nikamuona uyo kaka sijui ndio Lewis!!..
Alisimama akinitazama kwamuda mimi nae nikamtazama pia.. Sasa upo teari tuondoke!!.. Niliitikia kwakichwa tu kua nipo teari.. Basi akatoka nje nami nikamfata nyuma nyuma magari apo packing!!..
Jamani kunawatu wanaishi nyie??.. Alitoa lock gari moja Jeusi nakari kweli akaingia nami nikafungua ili nipande nikae seat yanyuma akasema njoo ukae mbele.. “Naachaje mimi!!??..
Kwamfano!!! Akhu!!! nilipanda mbele mlinzi akafungua geti akandoa gari pale kwake sijui!!!. lakini kama nikwake au lah.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Nilifika kwa dafu walivosikia gari pale nje walitoka nje nakusimama mlangoni…
“Apa ndipo unaishi!!..??
Nikamjibu Ndio napo kaa!!
“Papo Uswahilini kama nini..!!
oky nishakufikisha salama unaweza kwenda.. Nikashuka zangu kwenye gari lawenyewe..
Lewis akaodoka nagari lake.. Jamani mdogo wangu wewe kila siku unanishangaza jamani leo gari kali kuliko wote nilio waona.. Da fau kuniona tu akanianza na maneno..
“Jamani naombeni tu ningie ndani nimechoka..!!! eeh kwagari lile lazima uchoke jana utoke namsela leo uje nagari kali apa jamani!!!.. Linda namwenzie pendo kama kawaida yao awaachagi kuongea!..
Da fau akanishika mkono.. Adi ndani. Nambie mdogo wangu umekuja nashingapi leo mdogo wangu maan sio kwagari lile kali vile??..
” Ata bora unipe pole mimi jana ningekufa naleo ungeletwa apa marehemu..!!”
” kheee!!.. Kwanini tena?? nikamuulezea yule kaka alichonifanyia nakuchukua cm yangu nakuniingilia yeye nawenzake watatu sijalipwa ata mia nilitupwa nje yanyumba sikua ata naguvu.
Yale madawa yako yamenirudia jana nimenyweshwa mimi ndio ikawa ivo.. Nahili gari mlilo liona apa nimkaka alienisadia jana sina ata mia apa nilipo nacm yangu ndio ivo wale wauni waliichukua..”
” Jamani makubwa aya pole mdogo wangu..!!! pole mwaya.. zamwizi arobain..”
” Fungeni midomo yenu!!.. Mara zote Lulu ndio uwa anatusevu apa nyie mnapata wateja kwakudra tu.. Da fau aliwanyamazisha wakawa kimy.
Maisha niyale yale yamiili yetu ndio deal mjini niliogopa kwenda ata nyumbani kusalimia yani nilijisikia aibu nahaya nitawatazamaje wazazi wangu!!!
So nilibaki nikiwatumia pesa tu pale nilipopata uku wakiamini mjini nauza duka Nilifanya uchafu ule kwawatu wakubwa sana mjini uku nikifanya tukanunua kitanda navitu vizuri ndani.. Da fau akuacha kunisifia mimi jembe lake.
Basi Da fau siku moja alikuja anafuruha kweli akasema “jamani leo nataka mwende shopping tukanunue nguo navitu vyandani..
Marafiki zake walifurahi ila mimi sikua ata nacm yakumjulia mama yangu hali cm yangu ndio ile niliporwa kule kwa john nilikua naomba omba tu cm ili kuongea namama nasio kila siku maan vykuomba nitofauti nachako..
” Lulu kua nafuraha bhana.. Nimepata shemeji yenu muyuganda anayo pesa nakanielewa mimi nadada yenu..”
Da fau aliniambia ivo maan sikua nimechangamka kabisa
Mmh nikasema sawa ila naitaji cm yako niongee namama siunajua baba yangu anaugua ugua!!!.. Akasema usijali lulu nitakupa ila kwanza tutoke shopping..!! Nikamjibu sawa.
Tulijianda nakuondoka pale ndani alitupeleka duka kubwa tena lagharama nauwa wanaingia watu wakubwa wakubwa tu kweli nikasema leo da fau kaopoa.. Tukaanza kuchagua nguo, nguo zenyewe nizile zile zanusu utupu.
Mara gafla nachagua zangu niko upande wangu uku da fau yupo upate wake namashoga zake nilimuona mtu kama namjua vile nae akaniangalia kwakunikaribia zaidi…..!!!!!? Je! unataka kumjua ni nani???.. Like uwezavo mzigo uwendelee…
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
Pale pale nilipomuona mtu nae mjua nikawa namtazama ata nae akawa ananitazama pia kwaukaribu.
Alikua Lewis Alinitazama akaanza kuja upande wangu sijui kwanini alinifata nakuniuliza vep hali yako??..
Jamani yule kaka alikua mzuri anapendeza ananukia nukia tu sauti yake sasa!!!.. Alafu umri wake kama wabravo tu akukosa miaka 30 au 27.. sasa Mimi nikajikuta nazuba kumtazama.. We Lulu..!!! akaniita
Nikashutka uko nilipokua nawaza alafu jina langu akulisahau jamani!!!.. Naendelea safi tu.. Alafu mbona unaonyesha kujali kuhusu mimi..??!!! nilimuuliza..
” Akuna binadam asie nahuruma nabinadam mwenzake kwaio kukujulia hali sio kwamba najali sana kumbuka pia mimi ndio nilio kupa msaadaa.. Nikamuuliza so unaitaji malipo zidi yangu..?? nakama nipesa mimi sina juu yako ila kama unaitaji malipo nitakupa mwili wangu..
” Ivi nyie wanawake mpogoje lakini!!.. Mnaona kila mtu uvutika tu namwili wowote anao uwona!!! namimi siitaji malipo kama ningekua naitaji basi nigekuomba ile siku.. Naona umekuja kuchagua nguo zenu zaajabu ajabu tu..!!!
Nilianza kuondoka niliona nisije anza kupenda penda nije niumie kama nilivo umia kwa bravo uku mimi asaiv thamani yangu niyakuuza mwili tu.. Lulu!!!.. Aliniita nikastopisha atau zangu..
Chukua namba zangu naitaji kuongea nawewe zaidi.. Sina cmu.. Nilimjibu ivo..!!! “Najua wale waliokutendea ukatili ule wenda walikuibia cm lakini siutanitafta ata kwacm zamarafiki zako..!!!
Nikakumbuka da fau alivo chukuaga namba kwenye cm nakumchukua bravo wangu basi niliona ainahaja .. Nikamwambia sina cm nawala sitaki kutumia cm yamtu.. Basi nikamuacha Lewis pale kasimama mimi nikaenda upande mwingine..
Nikijitaftia nguo nilimaliza kuchagua nguo zangu da fau akalipia tukaondoka kwenye lile duka languo.. Lakini mawazo yangu yalikua kwa lewis tu muda wote tupo kwenye tax mimi namuwaza Lewis tu Sijui kwanini nae alianza kuichukua nafasi kwenye moyo wangu … Aaah!!!!.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Da fau alinunua vitu vingi adi sofa lapili maan alikua nalo moja tu mmh! nikasema kweli uyo aliemuopoa nimyuganda kweli.
Siku moja niliona tu nimuombe da fau cm Niongee namama, mama nikutaka ela tu baba anataka dawa sophia mdogo wangu sasa alikua kidato chapili nae aliitaji pesa.
Apo ndio nilizidi kuchoka.. Alafu nilianza kujiona pia mwili wangu umechoka sasa na afya yagu ilianza kudhohofika adi nikawa najiuliza ni nini ichi munguu kinacho nitokea??.. Da fau wala akujali hali yangu wakawa wanatoka nakuniacha tena mimi ndani.
Nilijihis namimba tena au nini??!! lakini nilikua nableed mbona.. Siku iyo nikiwa ndani namawazo nipo peke yangu nilisikia hodi nje nikajitahidi kutoka kuangalia ni nani uyo kutoka sasa nilimuona Lewis kaja tena uswahilini kwetu mtu mwenye Wamatawi yajuu vile jamani??..
Alishangaa kuniona nimepungua.. Lulu unaumwa??!! nilimuitikia tu kwasauti ndogo .. Ndio!!! akanishika mkono adi kwenye gari lake akaniingiza kabisa saet yambele.. Nae akapanda pi.. Umeanza kuugua lini!!??..
Nikasema kama week ivi.. Naujaenda hospital??. Ndio sijaenda.. Kwanini ujali afya yako lakini..!! unauza tu mwili wako ila kujali afya yako aaahh!!.. bila kua sawa wewe uwo mwili utautumiaje!!..
Aliwasha gari Lake tukaondoka pale kwa da fau bleck adi hospital maan ilikua asubuh pia akanifiksha hospital tena ile ile ya brav aliekua mpenzi wamuda mfupi tu.. Aliniangalia..
Uku Lewis akimuitaji anifanyie vipimo.. vyote adi vyaukimwi Nilifanyiwa vipimo namajibu Yakatoka.. kama ifyatavyo…!!!!! Yaliniumiza kweli….. !!!!!!!… Mnataka kujua nitaambiwa nini.. Like uwezavyo ili ujue nilicho ambiwa..!!!! Doctor!!…
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
Majibu yalitoka kwamba naitajika kupumzisha mwili umechoka Sanaa napia naitaji kuongeza damu yangu ipo chini sanaa.. Lewis alitoa pesa nakuagiza damu niongezewe.. Siwezi sema kwamba nabahati au lah ila nilikua napata wanaume wenye kujali sana
Japo Kama bravo nauyu Lewis ila nilijua wote ni wamuda mfupi nawapitaji tu nilijua awata niitaji sana kutokana nakazi yangu akuna mwanaume angenipenda mimi ndio ivo nilijiaminisha ivo… dam niliongezewa jamani yule kaka lewis akuondoka mpaka jioni aliniletea chakula nikala pale pale hospital uku muda wote bravo akinitazama.
Badae nilitapa ruhusa nikawa namuangalia Lewis kama yupo au lah au kaondoka nambona ajaniaga japo kila kitu alishalipia yeye!!! .. nikiwa kwenye kordo namtafta Nikasikia pembeni watu wakiongea..
Nikawa nasikia sauti mbona nazijua.. Nikasiliza.. Uyu bint afai kwanza anajiuza pia alishatoa mimba sanaa niwakukaa nae mbali brother wanafanya kazi yakuuza miili yao tu Mwisho wasiku utambulia maradhi tu..
Sauti yabravo niliisikia ikisema ivo..
“Najua ndio kila kitu kuhusu yeye ila ulichokipitia wewe kwake wenda kwangu kikawa tofauti.. Napia mimi namsadia tu kama ubinadam pia anaeitaji uwitaji wakusaidika.. Lewis nae alimjibu.
Nikasema kumbe wanaume nao kwaumbea awajambo khaa!!.. Sasa anamwambia lewis yanini au mimi namtaka uyo Lewis ..!!!??? uku sikumuita mimi aje kwetu.. ama roho mbaya tu mwanaume mwanaume nilimchukia tu ghafla natoka nimfume na da fau sina hamu naye.
Kumbe Lewis aliniona akaniita Lulu..!!! nakunifata nilipo akasema umeruhusiwa eeh!!!.. Ndio namjibu uku nikimkata bravo jicho kali..nakumsonya tu nakubenjulia mdomo😏!!!..
Mwanaume mwanaume anakuaje mbea!!.. Suti kali Natai amevaa naumbea wapi nawapi nasuti!!!.. Ovyo..
Basi nikaondoka nalewis yule kaka ata mimi sikuelewa kabisa yani Niwatofauti!!!.
Tukiwa ndani yagari nilimuuliza kwanini usiyaamini maneno yayule doctor!!.. Mimi siitajiki kua karibu nawewe kabisa we uwogopi kua namimi karibu!!??.. Mimi sio mtu sahii kwako ata kidogo..
Funga mkanda!!!.. Yani niivo tu alinimbia bila kunijibu jamani!! Nikasema uyu yupoje yani sio mtu wamaneno yake nilijisikia vibaya mimi sipendagi nimuulize mtu alafu asinijibu mimi.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Alinipeleka adi kwake Nyumba yake.. Nikasema kweli ivi mimi Lulu ndio nimeletwa apa kwenye mjengo!!!… Mara yapili.. Nikashuka baada yayeye pia kushuka sasa mimi najiuliza uyu kaka kwanini kanileta apa!!..
Au ndio anataka nimlepe nini.. Namalipo yenyewe wenda atataka mwili wangu maan ela sina mimi yakumpa..
” Ingia ndani wewe najua unachowaza apo kaone kwanza Ujinga tu ndio umejaza kwenye kichwa chako.. Jamani narudia tena kaka yule alikua ananivutia ghafla tu.. Nikaingia ndani nikaketi seblen.. Akaja yule mama mtu mzima.. Nakuniuliza natumia nini nikasema juice tu.
Nikaletewa Juice muda wote Lewis alikua pembeni yangu yani kochi niliokaa mimi nae alikaa maan lilikua lawatu wawili.. Nikiwa nakunywa lewis macho yake kwangu adi nikawa naogopa sasa jamani.
Badae nikamuuliza uyu mama mtu mzima ninani kwako..!!?? nikama mama yangu amenilea pia baada yamama kufariki nilipo zaliwa tu alinilea yeye kwakua alikua dada wakazi enzi izo nauwa namchukulia kama mama yangu..
“Ooh pole jamani na baba yako je!!..
Nae alikufa mimi nilipokua namaliza chuo… Daah kidogo nikiuzunika pole nimekukumbusha mbali i am sorr.. Nilimuomba samahani..
Usijali..Lulu aliniita nikaitika Kwautilivu mkubwa sanaa!!! nikaitika Abe!!!.. Upo teari uwe mke wangu….!!!!!!!???… Eeeeeeeh nyie sijui mme msikia Lewis kasema nipo teari niwe mke wake..!!
Jamani kwanza nilipailiwa nakinywaji akanifata nakunipa maji nakuchukua kitambaa chake nakuanza kunifta..!!!
Wala sikumjibu mimi we naolewaje kwamfano mimi uyu kwanza niliona ananitania ndoa sio mchezo nyie uyu kaka yupo serious kweli.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
“Najua unahofi nawala ujiamini ila nimekua mpweke sanaa kwamiaka mingi.. Sio kwamba sijawai kupenda apana ila nilisalitiwa.. Nasikuwai kupenda kabisa wanawake wengi walikuja kwangu ili tu kunichuna pesa nilikua nazo..”
Nikasema jamani mkaka mzuri ivi nani atamchuna ila wanawake tunatofautiana Uku namimi mchunaji tu lakini uyu kaka nilitokea kumpenda kuliko ata bravo.
Nikijiwazia tu bila kusema kitu niyeye ndio alikua akiongea tu.
“Mara yakwanza kukuona ukiomba msaada nilitokea kuvutiwa sana nawewe japo nilichukia wanawake sana baada yakumfuma mwanamke niliompenda akifanya mapenzi narafiki yangu..
Nakingine nilipokuona mara yakwanza niliwaza nikuache! nasikutaka kukupa msaada ila moyo wangu ulijivuta kwako nikakupeleka adi nyumbani kwetu Nakupenda Lulu..
Nyie mie nilihisi sipo kwenye sayari yenu nipo sayari yangu tu pekeangu. nikamuuliza ivi unanichukuliaje mimi nilivo nauza nwili wangu alafu unaona nafaa kua mke wako??.. au unaona kila mwanamke niwakucheza nahisia zake..??.. Mimi kwako sio mke bora kabisaa..!!!
Lewis akuongea aliingia chumbani kwake akatoka nakibox flan ivi akatoa pete jamani.. Akasogea pale nilipokaa akaushika mkono wangu akauvisha pete muda mimi nimezubaaa eti..
Jamani kunawanaume kama Lewis dunia hii……!!!!!!!???… Nitoe pete yake yauchumba kwangu!!!.. au nikubali kua mke au niendelee nakazi yangu yakuuza duka…???!!!!..😜 Like like uwezavo naunipe jibu nimtolee njeee au….!!!!🙈😜
SEHEMU YA KUMI NA TATU
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Jamani niliwaza namjibu nini lewis!!!.. Ukweli ata mimi nilimpenda gafla tu pia nilichoka maisha yakua nauza huu mwili ila nikifkiria umri wakauingia kwenye ndoa miaka 20 kweli..!!! Sina ata express na mambo yandoa!!!..
Alafu Lewis alionekana ana30 uko niparefu eti.. Niliamua tu kupokea uchumba wake nilichoka maisha yakujiuza alafu yataisha lini!!!..
Nikawa nataka kumjibu.. Ndio kabla sijasema yeye akawai nakusema ata usiponijibu sasa pete yangu nakuvisha itunze kidoleni kwako napia leo utalala apa kesho nitakurudisha kwenu..!!!
Lakini da fau sijamuaga toka nimeondoka asubuhu!!! nilimwambia ivo akasema umemiss kujiuza tena!!!.. Chaguo nilako kua namimi kama mchumba wako au kuendelea kufanya biashara yako.. Nanipo tear kukulipa kila siku ili usifanye uwo ujinga wako.
Mie kimy tu namtazama jamani bahati aijagi marambili Nyie!!!.. Utalala apa..!! alimaliza kusema ivo akaniacha pale seblen natazama tu mtv apo ukutani.. Uku naangalia pete yangu.. Niliwaza nampaje taarifa da fau lakini nikasema now out anajua sina cm alafu wao awaniagagi nawala awakujali afya yangu.
Nikauchubua nilipewa chakula nayule mama mtu mzima nikala zangu nikapewa chumba chakupumzika kile kile chazamani.. Uwongo dhambi sijui nilikua nimeisha hathirika namapenzi..
Nilianza kummiss Lewis ghafla nakujiwazia alivo mrefu vile akinishika jamani.. Khaaa!! nilikemea lile pepo langono shindwa kwajina la yesu alafu.. wala ata lewis akuja sijui yupoje mmmh!!!.
Adi asubuh na amshwa nayule mama jamani adi nilimuonea huruma kuniamsha amsha kama boss alafu jumba kubwa usafi eti anafanya yeye nikaamka nikamsalimia.. Akasema kaoge kwanza alafu uje Upate kifungua kinywa.
Mimi naenda kufanya usafi nikaona we mama usinitanie ufanye usafi namimi nipo!! tena mama wakunizaa au kua nawatoto kunizidi nikaamka bwana nikatoka seblen nikaanza kufanya usafi japo mjumba ulikua mkubwa alafu anafanya yule mama jamani!!!!.. Nikaosha navyombo.
” Bint yangu acha boss Lewis akikuona atanifokea alafu bado unaumwa et.. Nikasema apana acha nifanye usafi wewe pumzika tu.. Nikatoka adi nje sema nilikuta mlinzi ndio anafanya usafi wanje basi nikarudi ndani ile narudi namuona Lewis uyaapa mbele yangu.
“Nimesema ukaoge wewe unaamka na usafi uyu Aunty siyupo atafanya!!! nawewe unaumwa bado!!!!.. Nimependa tu kufanya ivo wala usijali. Nimesema kaoge Lulu.
Nikaenda kuoga.. Alikua serious kama ujamzoea unaweza kuogopa yani
Nilipomaliza kuoga nikaanza kuwaza Sasa navaa nguo gani!!.. Kurudia ngui apana siwezagi mimi. kipindi najiuliza bhana Lewis akaingia nikiwa natauro nilio iyona pale ndani akanipa kikaratasi kilikua na namba zake nikakichukua … Akawa ananitazama Pia chini mpaka juu.
Akasema Fungua kabati ilo apo mbele yako.. Sinikafungua jamani sijui ninyota uyu kaka kapenda kweli!!!..
Niliona nguo zangu sio nyingi ila zilinifaa nikatoa nivifupi fupi pia japo sio sanaa kama zile anazo ninunulia da fau yule kaka alikua anaenda nafashion eti.. akatoka nje mimi nikavaa nguo nikatoka nikakuta kifungua kinywa nikanywa nikaondoka na Lewis.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
“Mbona atuendi nyumbani.. Lakini!!!.. nikamuuliza
” Napitia mjini ebu Lulu tulia basi lakini. Nikatulia akapitia duka kubwa tu lacmu akanichukulia cm kubwa smart phone majicho yacm ayo.. Jamani tukatoka apo akanisajilia line.. Apa teari sasa nakurudisha kwenu.
Nilifika kwa da fua nacm yangu nikawa nashuka.. Naomba uje unitafte leo leo sawa namba zangu nimeziweka kwenye cm nanyinge nilikupa nyumbani.. Uwamuzi upo juu yako.. Nikamjibu sawa Akanipa madawa yangu niliopewa hospital yakumeza kutwa maratatu ili niwe sawa kiafya Njema.. nikashuka.
Da fau kama kawida yake alisikia muungurumo wagari akatoka nawenzake mimi nikamsalimu nakuingia ndani.. Akabaki pale nje uku marafiki zake nao wakinifata nyuma nyuma.
Jamani da fau sio mtu nilivongia ndani kumbe alienda akazuia gari la Lewis kabla ajaondoka nakumuitaji waongee!!.. Lulu uyu sio mzima mimi pia nimdogo wangu namjua anatabia mbaya mbaya sanaa.. Mimi nipo apa ndio naendana nawewe achana naivi vitoto vya elfumbili utoto mwingi sanaa Vitakupa stress tu.
Alimpa maneno mengi Lewis bila mimi kujua..
Lewis akamjibu…!!! Alafu wewe unatabia nzuri!!.. Wewe ndio ulitakiwa uwe mfano wakuigwa kwandugu yako maan wewe nimkubwa sanaa ila unamfanyia biashara kwamasiarai yako binafsi.. Kama anatabia mbaya nitamrekebisha.
Lewis alimjibu nakuondoka pale akimuacha kasimama tu.. Nikiwa ndani pendo na Linda wakaiona cmu yangu nakuisifia da fua alingia kafura mashavu Yamevimba kama anapuliza moto.
” Naona sasa umekua umeota mapembe!!.. kumzidi ata boss!!!.. Unaondoka apa sijui niwapi umeenda alafu unarudi bila woga apa kwangu!!!.. Siulikua unaumwa wewe unakuja nawanaume zako apa kutulingishia au!!!..
Nikasema alinifata yeye jana akanipeleka hospital. Kwaio unatangazia watu unaumwa mimi sikujali sio??.
“Apana da fau soivo niyeye alitaka tu kunipeleka.. Akaona cm yangu pendo nalinda wanaitazama akichukua akatoa line sasa hii cm nauza kama ndio unacho ringia ivi unajikuta we kake sanaa au..!!!
Akavunja line yangu ovyo ovyo..
“Da fau jamani kwani nimefanyaje nini kosa langu..!!!?? niliumia nakusikitika line yangu kavunja nakuchukua cm yangu eti..!!!
“Kwanini uwondoke apa bila kuniaga unajiona wewe nani apa!!.. Adi machozi yalianza kunitoka.. Ila fau iyo sio tabia nzuri Jamani kuchukua cm yamwenzako roho mbaya iyo.. niliona wakina Linda wakinitetea kwamara yakwanza.
“Keleleee!!!.. Nyie mbwaa msiofugika vikaragosi msio napakwenda..ndio naroho mbaya niwe naroho Nzuri kwani mimi malaika mgawa riziki??.. Tena fungeni midomo yenu kabala sijawatimua natoka apa nakurudi nikute mmefungasha vitu tunahama apa..!!!
Huuuh nilichoka yani nilichoka uku pete yangu niliivua nakuitilia kwenye kipochi changu.. Nikamuuliza Jamani da fu kuhama tena..!!?? nilishangaa kwanini tunahama.
” Ili awo mabwana wako wakija wakukose.. Alitoka nacm yangu mimi roho yaniuma adi machozi kwaio da fau ataki niwe nafuraha wala kupata bwana mwenye uwezo kidogo namwenye kunithamini pia.. !!!!!
Kweli adui wamwanamke nimwanamke mwenzake ilo sometim lipo wazi yeye anaumia mimi kupata bwana mwenye kauwezo ata anistili wakati nashida kweli!!!..
Line yangu pia kaivunja cm kachukua daah!!. Aikichukua muda alirudi nakikiriku tukaweka vitu uku cm yangu simuoni nayo niwazi kaiyuza jamani!!..
Tuliamisha vitu nakuama ule mtaa kabisaa… Akili yangu ilikua kwa Lewis wangu nampataje jamani da fau kafanya yote aya kinitenganisha nae wivu mbayaa…..
SEHEMU YA KUMI NA NNE
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Tukahama bhan pale kwamwanzo.Week nzima mimi namuwaza Lewis wangu da fau akitaka kunitoa anipeleke uko anaponiuza nagoma nakusingizia naumwa pia nipo period.. Akawa ananipotezea nakusema utakula mawe jifanye mjanja siku moja aliondoka kabisa alisafiri nauyo muyuganda wake.
Nikakumbuka Lewis sialinipaga namba!!.. Nikaiwekaga kwenye pochi!!.. We nikaenda icheck nikaikuta nakaomba cm kwa pendo nikaweka namba nikapiga ikaita pia.. Hallo!!!.. Jamani alivosema hallo.. Mie mwili unasisimka tu kwasauti..
Hallo Lewis me Lulu..!!! Lulu!!!.. Aliniita kama mtu mwenye mshangao nikamjibu Yeah mimi Lulu.. Jamani we!!! mtoto utaniuwa mwenzio ndio ukaacha kunitafta
Pale mmehama nishakuja siku tatu nyuma majirani wakasema mmehama..
Nini shida kipenzi.. Aah alivoniita kipenzi mie ndio nazidi kuchachanganyikwa..
“Sio mimi da fau ndio alisema tuhame tena ile siku ulio nileta.. Mmh yani uyo dada yako nikichaa kweli.. Nacmu yako??.. Alichukua pia naline akavunjaa..
” Jamani pole ila uyo dada yako..
Uko wapi nikufate japo nipo kwenye office nitaacha kazi nije nimekumiss kuona icho kiface chako kipenzi changu missd u.
Yani ata mimi nilitamani kumuona muda ule ule jamani nilimmiss sana lakini nilimzia muda ule
No usije nambie sangapi tuonane nimekumiss!!!..
” Me too tena zaidi nimekutafta kweli upatakani.. Sasa nitakwambia wapi nilipo nitakungoja nagari sawa!!.. Nilifurahi napia nilimmiss kweli.. Nikaitika sawa wai kuja please..!!.
“Kwajiri yako nitawai mama!!!
Mmh! jamani mapenzi ayazuriki pendo alinitania na Linda ila niliwaomba wasimwambie da fau pindi ata porudi nao wakaniahidi awatafanya ivo.
Mida yajioni nilioga zangu sasa nishakua mjanja nikajipodoa kidogo kujirashia kapoda kaharufu kidogo.. Nisinuke kijasho wanaume bhana asa wale walio smart upenda mwanamke anaevutika.
Pia Nilichukua cm yapendo kufanya mawasiliano nikafika adi alipo Lewis kuniona alishuka akanikumbatia kumbatio flan ivi nadhani mnalijua lile lahisia yani.
Mimi tena nae nikajikumbatisha akanipiga busu kwenye paji lauso.. Akanifungulia mlango nikazama ndani yagari Nae akafata.
“Lulu nilikumiss alafu ulinipa hofu nahali yako mama yangu kwanini lakini ulitaka nife!!!.. Apana da fau uyo ndio alitaka tuhame pale sijui kwanini.. Kua nae makini uyo dada yako najua ujazaliwa nae.
Lewis akaninivuta adi kwenye seat yake nakunilaza kifuani kwake.. Lulu naomba leo ukaanze kuishi kwangu please!!!.. Naogopa tena ukiondoka apa wenda nisikuone haraka..
” Mmh! mbona kama haraka lewis wangu??!!.. Nakimjibu ivo
Kwenye mapenzi akunaga uwaraka pete yangu iko wapi..!! nilimuonyesha japo niliiva kipindi nakuja kwake maan da fau angeiyona sijui nayo angeitupa uku mimi niliidhamini.
“Naomba usirudi tena tunaenda nyumbani kwangu nipo mpweke eti kubali basi..!!! nikaona aya maisha yanini bora niende zangu kwa lewis wangu.. Nikamjibu sawa.
” Waoooh!!! alinikusanya tena.. Ila ngoja nirudishe cm sio yangu pia nichukue naguo zangu.. Nguo mbona kule kwako zipo?? natuaongeza tujaze chumba kizima..!!!
“Apana atakama sitazivaa ila nitachukua tu.. Sawa nakungoja fanaya haraka. Nilitoka nakwenda kufata nguo zangu nakurudisha cm yapendo.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Nikifika nakutia nguo zangu zote kwenye bag.. Lulu wapi tena??.. Waliniuliza. Ammh!! Natoka out kidogo nampenzi wangu so ndio maan nachukua nguo zangu zakubadili nitakaa siku kadhaa nikiwa nae . Nilidanganya wasinielewe ila nilijua nikitoka apo nimazima.
” Oky ukirudi tulete zawadi maana mwenzetu ulikuja mjini umeaga sio kwanyota izi..Niliwaaga nikijua wenda sitarudi nitawamiss nilijisemea kimoyo moyo nakuondoka zangu. Nilimkuta Lewis wangu kaishakua wangu.. Mmmh alikua akiningoja tukaondoka adi kwake.
Nilifika kwake sikua mgeni yule mama alinipokea kibag changu akawa anaingiza kwenye chumba changu kile chawageni.
” Apana peleka chumbani kwangu.. Lewis alitoa kauli ile nguo zangu zikaenda chumbani kwake.. nachakula kilikua teari tukala lewis akaniingiza chumbani kwake.
Jamani iyo siku tulifanya watu wazima mshajiongeza nilienjoy nilipata penzi ambalo lilistyle.. Lewis alijua kuniweza.. Apa kunandoa kweli??.. Mmh mbona mwenzenu nishaanza kuogopa!!!!..🙈
Asubuh niliamka nakumkuta lewis wangu yupo apo pembeni yangu akinitazama.. Adi niliona aibu🤦nikamuuliza nilikua nakoroma eeh!! au sura yangu inatisha eeh! nikiamka??.. Unakoroma vibaya mno kama libeberu yani ona ulivo amka kama mzuka msura unatisha uwo.
Niliona aibu kweli nikawa natazama upande tu.. Haha alicheka kidogo nakusema nakutania bhana ukiamka unazidi kua mrembo kweli kipenzi aya amka tukaoge mimi nataka niwai kwenye kazi zangu.
Nilinyanyuka nakwenda nae bafuni japo nilikua naogopa kweli kuoga nae duuh!!.. tulioga nasasa aliitaji nimtengenezee tai yake baada yayeye kuvaa suti yake.
” Lewis mimi sijui bhana.. Jaribu Niliishika tai akanivuta nakunishika kiunoni!!!.. Nakupenda we mtoto… Nakupenda we! mkaka.. Basi tulicheka.. tukatoka chumbani uku mimi nilivalia zangu tu kigauni kifupi kilichokomea mapajani
Jamani ninguo alizo ninunulia uyo Lewis sio mimi naalitaka nivae pia tofauti ya bravo na Lewis, Lewis alipenda nivae surual nanguo yeyote nipendayo ila bravo alipenda nivae magauni marefu nayo yalinitoa pia… kila mwanaume anastyle zake anazopenda kwa mwanamke
Nikishuka chini na Lewis kupata kifungua kinywa. Week sasa nipo kwa lewis naishi nae ananitumia tu atakavyo yani pika pakua kiufupi pia nilienjoy kila sana kua nae akaninunulia cm pia.
Da fau nae alirudi Baada yaweek akunikuta pendo na Linda kubanwa sana walisema nilienda kwayule bwana.. Wangu nacm walipa wao nikapata kuongea na lewis kila kitu walisema.
“Ivi nyie niwajinga sanaaa nawapumbavu! mtu anakuja apa anatuzidi kete bado mnakua upande wake!!.. Sikutaka apate mwanaume yule wakumuoa yani awe mtu wakukaa apa kama nyie aniletee pesa mimi wajinga wakubwa nyie aje apa anizidi adi mimi kubwa lenu??..
We Linda namba zauyo bwana wake zilibaki cm yako…. Nilivokua mjinga namba za Lewis zilibaki kwenye Cmu yapendo da fau akachukua namba nakupiga…… Sijui alitaka kumwambia nini Lewis jamani….!!!!!!…
SEHEMU YA KUMI NA TANO
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Cmu ya Lewis iliita naiyo siku nilikua nipo nae seblen tumekaa akipanga jince yakwenda kwetu kujitambulisha.
Alicheck namba ngeni.. Yani watu awatakagi kuona watu tumetulia nawake zetu weekend bhan sijui nani uyu tena…!! Alingoea ivo uku akipokea..
Hallo..!!! khookhokkhh.. Tulisikia mtu akikohoa tu.. Hallo nani mwenzangu!!??..
“Mimi dada yake Lulu naitaji kuongea nae shem natumai wewe nishemu wangu.. Khokho.. Alizidi kujikoolesha Lewis akanipa cm ongea nadada yako.
“Mdogo wangu najua nimekuumiza kukutenga mbali nauyo mpenzi wako nisawa ishi nae tu ila mimi dada yako naumwa sanaa sina ata ela yadawa natamani kua karibu yako pendo na Linda wamenikimbia.. Nikajiuliza namba katoa wapi nalini pendo nalinda wamkimbie!!!..
Nilipata huruma tu nikasema nakutumia pesa ukatibiwe.. Apana naitaji kuja ata uko kwako mdogo wangu nipaone kabla ata sijafaa!!!.. Mmh kufa tena.. Lewis akasema kama nipesa tumtumie akajitibu uko uko sio lazima aje apa..
Mimi nikaingiwa huruma nikasema nidada yangu yule japo nimepitia magumu zidi yake ila ubaya aulipwi kwaubaya. Nikamuomba lewis da fau aje tu pale napo kaa nae alinipenda akakubali tu.
Basi da fau nilimtumia nauli uku nikijiuliza kweli da fau leo wakukosa pesa ata yanauli jamani!!… Alifika tukampokea vizuri tu uku akishangaa ule mjengo vibaya mno.
Lewis ata akujishughurisha nae alinipa pesa tu nikampeleka hospital siku iliofata alipima mwenyewe uko mimi nilikua nje alisema kakutwa namarelia sijui tu.. Uwongo mwingi alinidangaya nao nakunionyesha madawa yake..
Mimi nikarudi nae napo kaa nikawa naishi nae siku kadhaa. Akaanza vitabia vyake Muda atao rudi Lewis anampokea kwabashasha kweli.. Karibu shem pole.
” Lewis umjibu tu ahsante vep hali yako ujapona bado urudi kwenye majukumu yako??.
Basi mimi namshika mkono namuingiza ndani ili asiongee zadi ukweli Lewis akua anamuelewa da fau..
Jamani nimesahau kuwambia Lewis anamiliki kampuni kubwa tu yawatalii wageni kutoka nchi mbali mbali uja kwenye kampuni yake aliachiwa namarehemu baba yake nayeye ndio boss wafanyakazi wote wapo chini Yake.
Siku zilizidi kusonga da fau alikaa sawa kabisa Ila akuitaji kuondoka pale kwangu nami nikawa naishi nae lakini lewis akua anaitaji kabisa azidi kukaa pale mimi nikajua wenda anahofia atanirudisha udangaji tena ila wazo lile kwangu sikua nalo kabisa.
Niliendelea kuwasiliana namama yangu uku nakumtumia pesa maan sasa nilikua napewa pesa nalewis nyingi tu. Kuna Siku mama yule mtu mzima ambae alikua mfanyakazi wa Lewis toka mdogo aliitaji kwenda kununua vitu vyandani
Kama viungo matunda matunda ivo yani nikasema nitaenda nae nikamwambia da fau pia twende wote ila yeye aligoma. Mimi nikaondoka nayule mama jina lake aliitwa be tabu. Tukamuacha da fau nyumbani naulikua muda wa lewis kurudi pia nyumbani.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Tulihemea kweli vitu vyandani siku iyo kama vyote.. Bwana kumbe uku nyuma sikujua kilicho jiri.
Lewis alirudi home da fau alijifunga kanga moja ili tu kumtega mpenzi wangu.. Ile lewis anaingia ndani pale seblen anamkuta yupo kanga akaiyachia kabisa lewis alifumba tu macho yake.
Lini mala.. alio shindikana adi kwashetani Akawa nahaya!!!.. Nakuuwonea Mwili wake thamani!!!.. da fau alikosa aya Uyo.
“Shem leo tumia vyawakubwa nishakwambia marakibao mimi ndio nakufaa achana nakale katoto miaka20 bado kabisa kananuka mavi namikojo pia.. Mbona unajikuta kama pasta sanaa
Uku mapasta wenyewe wanatuchukua sisi bila shida kunjua moyo wako nikupe raha zadunia.. Alianza kumsogelea uku lewis kafumba macho yake..
“Vaaa iyo kangaaa yako haraka nausipige hatua ata moja yakunifata nitakuumizaaa… Alifoka Lewis.. Ila da fau akusikia alizidi kumfata.. Nimesema univutiii mbwaa wewe fungaaa kangaa yako harakaaa!!! kabla sikakutia mkofi… Alifokaaaa kweli adi akaogopa da fu…!!!
Basi da fau alivaa kanga kwa aibu tu lewis akaingia chumbani kwake.. Nilisema uyu asikae sanaa lakini Lulu asikii anamuoana kama malaika.. Mxyuuu ngoja akirudi amkuti.
Alingia chumbani kwa da fau akatoka nakimkoba chake changuo.. Naomba vaa nguo nauwondoke apa kwangu Natumaini umepona sasa.
“Jamani shem mbona haraka sanaa..!! Ndio ufanye ivo sitaki kukuona apa kwangu nampenda mdogo wako nasio wewe.. Kua na heshima nawadangie wengine sio mimi..!!
” Subiri basi nimuiage mdogo wangu Lulu akirudi ndio niondoke..
“Apana utaongea nae kwenye cmu”
Da fau kwaaibu alingia ndani akavaa nguo zake akapitia kimkoba chake kilichokua nanguo chache lewis akampa pesa nakumtaka aondoke.
❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣
Narudi nayule be tabu nakuta da fau ayupo naingia chumbani kwake simuoni.. Nikamfata lewis chumbani kwetu maan niliona viatu nikajua kaisharudi nikamkuta yupo zake kakaaa kitandani anachezea tu lapotop yake.
“Beiby da fau yupo wapi mbona simuoni??.. Ata mkoba wake aupo pia.”
” Ndio salamu toka morn nilivondoka ujanipa salamu wala pole so mimi sio muhimu kwako!!! niuyo da fau wako sio??….
“Samahani nimepitiwa tu..
I’ msorr napole pia.”
“Sogea apa ujue nimekumiss we mtoto apa nilipo nahamu ile mbaya..!!”
“Uyu kapatwa nanini maan sio kawaida yake kuitaji mapenzi ghafla ivo anajikutaga mtu mwenye misimamo kama nini.. Niambie basi da fau yupo wapi..!!!”
Kaondoka kaondoka kapamiss kwake..
Alijibu simple tu Lewis
” Beiby bila ata kuniaga jamani mbona ivo..!!! ata mimi nashangaa lakini kama mtu kamiss kwake kwanini tumzuie mtu mzima yule kasema atakupigia cmu.
Nikawa nataka kumpigia.. Lewis akaninyakua cm yangu nakuizima kabisa akairushia uko kitandani.. Alafu akasema mimi nimekumiss bhana ebu sogea apa karibu yangu..!!!
Mimi nae nikatae akhui!!!.. kuhusiana nanini!!!.. Nilimpa alicho taka mpenzi wangu kuanzia jioni ile mpaka ucku yani kigiza Show show nikasema uyu kapatwa nanini…!!!!!