NAJIONA KABISA NISHAKUWA SINGLE MOTHER, NA SIKUWAHI KUFIKIRIA Habari ya mchana kaka Spesho, please hide my name, Naomba nipewe ushauri labda nitapata amani ya Moyo maana naona kama dunia imenilemea sina furaha tena na haya maisha. Ni hivi nilikutana na mume wangu nikiwa binti mdogo kabisa wa miaka 22, kwa wakati huo tuliishi kama wapenzi tu, mwaka 2017 tulitambulishana kwa wazazi wote wa pande zote na alinilipia mahali ingawa tayari alikuwa na mtoto mmoja ambaya alizaa na mwanamke mwingine ambaye aliachana naye na alishaolewa,baada ya hapo tulianza kuishi pamoja kama mke na mume. Mimi ni mtumishi wa serikari na mume…
Author: Raha Special
NAHISI WASIOOLEWA WANAFAIDI ZAIDI KWA KUWA MICHEPUKO Habari kaka …mimi ni mama wa watoto wawili ila baba tofauti …mtoto wa kwanza familia ilimkataa huyo Mwanaume …mtoto wa pili nimezaa na mwanaume ambaye alikwenda kwetu na kutoa mahari …tumepishana miaka 9 …mimi nina 30 mtoto wetu ana miezi sita Sasa mwanaume alibadilika Sana na hata tarehe aliyopanga kurudi kumaliza mahari na kusema tarehe ya ndoa ilifika na hakwenda wala kutoa tamko lolote. Juzi kati nikampigia simu usiku maana alikuwa anaweza hata kukaa siku tatu au nne hajatutafuti… Nilivyo mpigia akaanza kuongea akijua mimi ni mchepuko wake …nilimuuliza sana maswali na yote…
MUME WANGU ALINIKATAA, NIKAAMUA KUANZISHA MAHUSIANO NA RAFIKI YAKE Kaka mimi nashida ninaomba ushauri wako mimi mwaka juzi nilipata mchamba akanitolea mahari tukaanza kuishi wote tukakaa Kama mwezi mmoja akawa ameondoka Maana anafanya nchi za nje na akiondoka anakaa muda mrefu Sana Sasa kipindi yeye alipoenda Kazi mimi nilienda nyumbani kwetu tutakubaliana wakati nipo kule akanipgia simu na kusema tuachane mimi ni malaya kiukweli niliumia Sana na ukiangalia mimi nimekuwa muaminifu Sana kwa mume wangu alinitukana Sana na kusema mimi kwetu masikini bais mimi nikawa Sina Budi kukubaliana na maamuzi yake Sasa Kuna siku rafiki yake alinitafuta na kuniuliza kuhusu…
ALINIKATAA NIKAAMUA KUMUOA DADA YAKE, AMEMCHUKIA SANA Habari kiongozi, Naomba nikushirikishe mkasa huu kwenye mahusiano yangu, naishi Dodoma kikazi. Mwaka 2014 nilipopata ajira na kupangiwa Dodoma nilikutana na dada mmoja kwa jina Maria wakati huo akiwa mwaka wa kwanza Chuo Udom.. Nilimpenda sana na kwa wakati huo na yeye alionesha kunipenda tukawa kwenye mahusiano yenye furaha na amani so nilijitoa kwake kwa kiasi kikubwa kwa maana sikutengemea kama ipo siku anaweza kunigeuka. Alipomaliza chuo na kupata kazi ya ualimu (Shule ya private) huko Kilimanjaro aliniomba nilipangishie nyumba na kununua vitu vya ndani kama kitanda n.k ili iwe ni rahisi nikienda…
BINTI USIZAE KABLA HUJAOLEWA, UWEZEKANO WA MWANAUME KUKUACHA NI MKUBWA MNO Habari kaka, leo nimeguswa kuzungumza jambo , naomba upost pengine kuna mtu atajifunza kupitia mimi. Iko hivi kipindi nasoma chuo nilikutana na kijana mmoja ambae nilimuamini kwa haraka sana ni kijana mpole kwa muonekano basi tukawa marafiki na haikuchukua muda tukaingia kwenye mahusiano. Mwanzoni mwa mahusiano aliniambia kuwa hatumii kilevi chochote, na alijifanya ni mtu mwenye hofu ya Mungu sana ( nadhani aliona kuwa mimi pia nipo hivyo ) basi nikamuamini …kadili siku zilivyokuwa zinaendelea nilianza kuona tabia zake halisi , kwanza alikuwa na mtoto na alinificha nilipogundua hilo…
NILIENDA SAFARI YA KIKAZI, NIMERUDI NIMEMKUTA MKE WANGU ANA MIMBA YA MWANAUME MWINGINE Habari ndugu syaga james?? Ninaomba ufiche jina langu, kisa changu ni Kama ifuatavyo: Mim ni mwanaume wa miaka 37 ni baba wa watoto watatu, wawili wakiume wa mwisho ni wa kike. Kidogo mimi na mke tuko mbalimbali kulingana na utafutaji wa maisha, namaanisha mke wangu yuko mkoani kwetu yaani nyumbani, na mimi niko nje ya mkoa huo, ila huwa ninawasiliana na mke wangu kuhusu familia na mambo yanaenda vizuri tuu. Kikawaida kila mwezi huwa nakuja mara moja, ila kuna kipindi nilikaa muda mrefu bila kurudi kama miezi…
Tukiwa Kitandani, Alikuwa Akinibadilishia Njia, Na Kuniwekea Kinyume Na Maumbile Kaka Habari za majukumu……, Naomba unipostie kwa fans wako wanipe ushauri maji yamenifika shingoni. Ni story ndefu ila naombeni ushauri wenu. Naitwa…… naishi Kahama ni mwajiriwa nina umri wa miaka 38 ila mahusiano kwangu yamenikataa kiasi cha kujikatia tamaa maana hadi sasa nimeoa na kuachana na wanawake watatu ambapo ni mmoja tu niliyezaa naye mtoto mmoja ambaye ni wa kwanza. Huyu wa kwanza ilikuwa enzi za ujana baada ya kumpa ujauzito tulipeleka mahari kwao nikaanza kuishi naye lakini baada ya mtoto kukua alienda masomoni Dar es salaam miaka mitatu na…
BABA YAO ALINIOA ILI APATE WATOTO WA KUWATOA KAFARA Kaka mimi nina Watoto wawil,Nilizaa na baba fulani nilikaa naye miaka 9 baadae alinitelekeza,lakini alitumia njia mbaya mno aliniita mahali akiwa na mke mwingine akaniambia yeye hakuwa na mpango na mimi yeye alifuata kwa sababu zake tuu? nikamuuliza kwa hiyo nyumbani kwetu mlifata nini hadi kufata taratibu zote? akatulia tuu huyo mama aliyekuja nae ni mke waliyeachanaga zamani, Naomba nifupishe,YULE MAMA ALINIAMBIAGA MAMBO MABAYA SANA NILILIA KWA UCHUNGU SANA HIYO SIKU MAANA NALIKUMBUKA WALIPOENDAGA NYUMBANI YEYE NA WAZAZI WAKE BABAANGU MKUBWA ALIWAHOJI SANA AKAWAAMBIA KAMA HAMNA MPANGO NA BINTI YETU BORA…
Niliwadanganya Wazazi Nina Mtoto, Ili Nimuoe Single Mother Mie ni Mwanaume Wa miaka 32 Nikiwa na miaka 24 Nilipata Mchumba ambae ni mwanamke mwenye Mtoto mmoja na babaake Alishakufa kwa ajali alikuwa bodaboda sasa mimi ili niwe na huyu mwanamke niliamua kwanza kuwadanganya familia yangu kwamba na mimi nina mtoto hapo nipo chuo sasa familia ilibariki suala la kuwa na mahusiano na ilikuwa rahisi kwa sababu wote tulikuwa na watoto Sasa changamoto inakuja mama yangu anaumwa saana anatamani kumuona mjukuu nakumbuka kaka yangu alifariki mwaka 2021 nilitafuta mtu akawa kama Bibi wa binti yangu na niligharamia akaja msibani kutoka uko…
Mume Wangu Hana Nguvu Za Kiume, Ila Huyu Mpenzi Wangu, Ambaye Ni Mume Wa Mtu, Anazo Nguvu Asante, Mimi changamoto yangu Nipo kwemye ndoa Nina miaka 7 kwenye ndoa nimepata watoto watatu ila Wawili wametangulia mbele za haki Changamoto ilianza Baada ya kumzaa mtoto wa 3. Mume akanibadilikia akawa na mahusiano Nje ya ndoa nilipogundua akawa mkali sana changamoto kubwa ikaanza Mara tuu Baada ya mwanangu wa pili kuumwa na kufariki akasema Mimi na mamangu ni wachawi, tumemuua mwanae Sasa tunataka kumuua na yeye, akasema nisipate shida nikitaka kumuua nimuwekee tu sumu kwenye chakula yeye akila atakufa, pia akaniambia Nipo…
BABA MDOGO ALINIBAKA NA KUNITOA USICHANA WANGU PORINI Naomba unipostie kwa fansi wako labda nitatua mzigo mzito kichwani mwangu Mimi ni mtoto wa pili kati ya watoto nane wa wazazi wetu nikiwa mdogo nilikuwa natatizo la kuumwa na kupelekwa hospital na baba kulazwa bila mama, mama alibaki nyumbani nilipofika darasa la nne nilipona nikawa siumwi tena, mimi nilikuwa nampenda sana baba yangu, ila nilianzwa kutengwa na wazazi wangu na kaka zangu walikuwa wakinipiga sana kila siku nikisema kwa wazazi hawaguswi Nilipofika darasa la 6 baba aliniambia mimi sio mwanae sijui alichokuwa anamaanisha nini ila alisema hivyo nililia na sikuuliza maswali…
Baba Alikuwa Anatuvutisha Bangi, Kisha Anatufanya Matusi Nina miaka 25 katika familia yangu tupo watoto wa 3 kipindi naanza kupata ufahamu nilikuwa naona baba na mama yangu Wanatupenda sana maana walikuwa hawatukatazi kufanya chochote kwa mfano inaweza ikawa siku ya sikukuu baba anatuambia tutoke twende tukatembee. Tukifika bar anatuagizia safari na varuu tunakunywa ikaenda hivyo mpaka mama yangu akawa mlevi kabisa mlevi wa vilabuni akawa anatuacha sisi na baba yeye analala vilabuni Kipindi hicho Mimi nipo darasa la 3 Kuna siku tulilewa sana nimelala usiku mkubwa nikashtuka nikakuta tumefungiwa mlango wa chumbani kwa nje maana tulipopanga tulikuwa na chumba na…
Nimeanza Kuamini Umri na Elimu, kuna Wakati ni Vitu vya Kuzingatia Hello Kaka Spesho Nakufuatilia sana nimeona mtu ana tatizo Kama langu nami nikaona nisikae kimya Binti Nina miaka 25 Nampenda Mungu Sana,Huyu mkaka nilikutana Nae mwaka 2022 alinipenda Sana Lakini Mimi kwa wakati huo sikuwa nawaza habari za Mahusiano Wala Nini…. Nikampotezea kabisaa tukawa marafiki Watumishi wa Mungu anampenda Mungu Sana na Mimi pia vivyo hivyo. Katika kipindi chote hicho Sikuwahi kujua umri wake Elimu yake wala kazi yake ni mtu anaficha Sana vitu vyake Basi sikuona shida kabisaa… Aliendelea kunifuatilia Sana akitaka anioe me sikuwa tayari Kuna wakati…
Nilipogonga Mlango, Alitoka Mwanaume, Akiwa Amejifunga Khanga Ya Mke Wangu Ndugu mabibi na mabwana habarini za Leo kwa jina naitwa Lameck nina umri wa miaka 40 ni baba wa watoto wawili mwaka 2007 nilinunua eneo langu nikajijengea kijumba changu nikahamia na mwaka 2008 nikapata mchumba na mwaka 2009 nikafunga ndoa kanisani maaana tuliokoka na mimi na mke wangu tukaanza maisha ya ndoa kwenye kile kibanda changu alichokuta nimekijenga na mwaka 2010. Tulipata watoto wetu wawili hawa ni mapacha ambao kwasasa wapo fom one tuliendelea na maisha ya ndoa tukiwa na maisha ya kawaida tu mimi sikuwa na kazi maalum ila…
Nilimsaidia Pesa Apate Pasipoti, Kafika Ulaya Kasema Hanitaki Mimi nina mpenzi wangu ambae ndani ya mwaka mmoja hadi sasa tulipitia changamoto nyingi sana alikua anafanya shughuli ndogo ndogo. Lakini kwakua alikua anayo passpot akaniomba nimsapoti pesa ili aweze kupata safari ya kwenda nje kufanya kazi. Nilijitahidi sana hadi tulifanikiwa na Mungu alibariki akaondoka lakini ahadi yetu ilikua nikuoana baada ya wiki moja. Kupita nakaingia katika mtandao wa kijamii Nilikuta mpenzi wangu amepost picha za mwanamke mbili akiwa ameandika majina ya kimahaba niliumia sana baada ya kumtumia zile picha akujibu chochote kile siku tatu kupita niliamua kumuliza kwani umeyafanya yote haya…
Mkaka Mmoja Aliniambia, Mbona Unanuka Kama Maiti Iliyooza Mimi ni msichana mwenye umri 25. ukiniangalia unaweza sema siteseki lakini ukweli Kuna mambo yalikuwa yananiumiza sana moyo . Kuna changamoto niliipata toka 2024 nilikuwa ni mtu wa ndani TU siyo kwamba naumwa hapana ila Kuna hali TU ilitokea ilianza kama utani.. Ya kunuka yaani blaza nakwambia kunuka tena unakuwa unanuka TU Kwa wakaka ,Nakumbuka siku moja wakati nimepanda daladala nimekaa na mkaka pembeni naona mtu anashika pua Kila muda huku akiniangalia na kusonya , hata sikuwaza coz najua mimi nimeoga na nimepaka perfume nikawa najiamini … Ile hali ikawa ikiendelea Kila…
Nilivyofanywa Kirahisi Ndani Ya Daladala Hadi Nikajidharau MIMI MWENYEWE IMEBIDI TU NICHEKE TU Dada, mida ya saa mbili kasoro Jana nikiwa kwenye dalala natoka kazini, nilijikuta naingiliwa kirahisi sana na mkaka ambaye alikuwa kasimama nyuma yangu hata simjui. Yani hata sijui hata nielezeeje, Daladala ilikuwa imejaa nikawa nimesimama halafu nyuma yangu akawa amesimama mkaka sikuwa na hofu Kwa sababu alionekana ni mkaka mstaarabu halafu mbele yangu akawa yupo mdada, kadri daladala ilivyokuwa inazidi kusogea wakawa wanazidi kuingia watu tukajikuta tumebanana, hapo ndo shida ilipo anzia yule kaka akaanza kuwa ananishika shika namtoa Mkono, mwisho sijui nilipitiwa na nini nikajikuta nafanywa…
Ndege Yatoa Mlipuko Mkubwa Wakati Maadhimisho Ya Uhuru Kenya Chanzo: KENYANS WEBSITE Wakenya kadhaa waliachwa na hofu mnamo Ijumaa, Desemba 12, baada ya ndege za Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kuruka chini vibaya wakati wa sherehe za 62 za Jamhuri katika Uwanja wa Kitaifa wa Nyayo. Tukio hilo liliwaacha watu wengi, akiwemo Rais William Ruto na viongozi wengine mashuhuri, kuingiwa na hofu kutokana na maonyesho ya kishindo ya ndege ya kivita ya Kenya Airforce. Wakati wa harakati hizo zisizo za kawaida, ndege za kivita zilifanya uharibifu kwenye njia yake ya ndege karibu na uwanja huku madirisha ya nyumba kadhaa…
Mke Wangu Alimuua Mwanangu, Nikamtetea Asifungwe, Leo Najutia Mimi nilifiwa na mke wangu kipindi anajifungia ila mtoto yeye alibaki, mtoto tulimlea Kwa shida sana nikisaidiana na mama yangu na ndugu zangu hasa dada zangu mpaka akakua. Baada ya miaka mitano niliamua nioe mwanamke mwingine, Sasa nilivyo muoa akawa anasema siyo vizuri yeye awepo halafu mwanangu aendelee kuishi Kwa mama yangu mzazi, baada ya kuona anasisitiza hicho kitu niliona acha tu nikamchukue mtoto aje tuishi naye. Mwanzoni mtoto aliishi vizuri tu, shida ilianzia pale mke wangu alipo pata mtoto wakwake, ndo nikaanza kuona mabadiliko Kwa mwanangu, mtoto alianza kuwa mnyonge sana,…
Ni Mfumo Uko Hivyo, Au Mimi Ndio Sielewi? Jamani wadau naombeni mnisaidie majibu yenu hapa kuhusu nitakachokieleza hapa huenda mimi ni sina elimu na haya mambo ya mtandao au sielewi! Maana ukipata jambo ulilete kwa wadau harafu watakusaidia majibu wenye uelewa wao,! Katika maisha yangu nimeumizwa sana na kitu mapenzi kuna muda nilikuwa sitamani hata kuyasikia katika masikioni mwangu kutokana na nilivyoteseka na hili janga! Mimi nina watoto wangu wawili alhamdullillah mwenyezi Mungu amenijaalia nashukuru, sasa habari iko hivi kuna mchumba nilimpata akasema anataka kunioa wala hana mpango wa kunichezea kabisa maana alipo toka huko hata yeye ameumizwa vibaya mno…
NISAIDIE KUWAFIKISHIA UJUMBE HUU WADOGO ZANGU HUKO WALIPO CHUO kinaweza kuwa CHOO Mkumbushe kuwa Maisha ya CHUO ni sawa na BONGO MOVIE watu wengi huigiza.Hata yule wa MUSOMA vijijin atasema kwao DAR. 1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi.Anaweza kusoma Uhasibu akawa Dobi…Anaweza somea Ualimu akawa mhudumu wa Bar au Boda boda. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.Wapo watu wenye elimu kumzid yeye ila hawana ajira. 3. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji.Ila akumbuke anatokea kijijini au wilaya iliyo duni, tena kule ndanindani…Hivyo asijikweze ili aonekane 4. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila…
Naolewa Na Nani? MIAKA 33; Naolewa na nani? Nimekaa na Mwanaume kwa amiaka 4 alinipaelaka mpaka kwake kumbe ni Mume wa mtu! Siku ya kwanza kwenda kwake, alichukua viatu vyangu na kuviingiza ndani. Nilimuuliza kwa nini anaingiza ndani wakati nyumba ina geti, akaniambia hapana, majirani wa hapa wambea sana, sitaki watu wajue mambo yangu. Ilikuwa nyumba kubwa yenye apartments tatu, ni kama nyumba tatu ndani ya uzio mmoja na kila mtu alikuwa na maisha yake. Nilipata wasiwasi zaidi ambapo hakutaka hata nitoke nje. Kila kitu tulikifanya ndani, nikimuuliza kwanini hutaki nitoke, ananiambia majirani wambea, sitaki wajue mambo yangu. Nikawa nawaza,…
Kila Siku akawa Ananitumia Onyo, Nikae Mbali na Mke Wake Naombeni ushauri wenu wapendwa Baada ya kuumizwa sana na wasichana hawa wa rika langu.si unajua hali ngumu ya maisha hii basi naishiwa kupendwa chumbani lakini naachwa sababu ya kujitafuta kipesa Nikajikuta nimedondokea kwenye penzi la sugarmama…Tulipendana sana na kiukweli namshukuru sana alinisaidia sana na nilimpa furaha.tulikua kwenye mahusiano zaidi ya miaka miwili hivi. Kabla hajakua na mimi,yeye alikua na mme wake na alizaa nae mtoto mmoja ila kwa kupishana kauli waligombana na kutemgana ndo akawa na mimi. Mwanzo alikua ana stress nyingi sana,nikamuweka sawa na sikua na nia ya kumtaka ila kwa…
Mchumba Wangu Mlokole, Kila Ninachokifanya Anakijua, Hata Akiwa Mbali Na Mimi naona niombe ushauri,nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye ni mkristo na ni mtu wa dini sana Yani wale walokole hasa Japo Mimi sio mkristo. Cha ajabu ni kuwa huyu dada anaweza kunambia vitu Ninavyofanya licha ya kuwa tunaishi mitaa tofauti.Sasa naombeni ushauri je mtu anawezaje kujua Mambo anayofanya mtu mwingine licha ya kuwa wako sehemu tofauti? Yani anaweza kukuambia kuwa umekula chakula Gani na akapatia kabisa muda huo huo na wakati Yuko mbali kabisa huko. Na hiyo haitoshi ukiwa kazini anaweza akakuambia ulisalimiana na watu wangapi na ulipitia…
Mwanaume Ninayetegemea Anioe, Nilimpiga Bibi Yake Kaka naomba unisaidie kwa ushauri kwa sasa naishi na mwanaume tume tambulishana kwao na kwetu. Nina watoto wa tatu huyu wa kwanza nimezaa na mwanaume mwingine alinikuta na mtoto sasa kwenye harakati za kutoa mahari akasema tukaishi wote tukaweke mipango ya ndoa sawa kwakua alinikuta na mtoto nikasema maneno yakiwa mengi ataahirisha kila kitu tukaondoka tukienda kupanga mipango ya ndoa maana anasema hajajipanga kifedha basi nikakubali Kufika maisha yanaendelea na kila nikimuuliza kuhusu ndoa haeleweki wazazi wangu wanakosa la kufanya maana amesha nizalisha watoto wawili halafu bado wadogo hata nikiondoka nao sitaweza kufanya nao…
Nimuoe Akiwa ana Mtoto Mmoja, Awe Mke Wangu, Au Abaki tu Kuwa Rafiki? Hello habari, Naomba unipostie kwa fans nipate ushauri kidogo hapa…… Mimi ni mwanaume age 29 mwajiriwa Serikalini, nina mwanamke wangu ambae nilikuwa nae kwenye mahusiano kwenye miaka ya 2014, nikiwa form four, na yeye alikuwa form three kwa wakati huo Sasa tulianza mahusiano kwenye hyo miaka 2014, mpaka matokeo yangu ya kwenda Advance ilivotoka nikaenda shule, huku bado tunawasiliana, nikamaliza six mawasiliano bado yapo Sasa mtoto wa kike alianza kubadilika mdogo mdogo nlipoenda chuo Iringa, mpaka ikafikia wakati hatuna mawasiliano kabisa, nikamaliza chuo miaka mitatu yote nakuja…
Alinifumania Akanisamehe, Sasa Amekuja Kutuingilia Mimi Pamoja na Shoga Zangu Mimi nimekaa na huyu kaka kwenye mahusiano Kwa miaka miwili, tulikuwa na mpango mwakani tufunge ndoa, alikuwa amesha nitambulisha kwao na marafiki zake wote mpaka kazini kwake. Sasa mwezi wa tano Shetani alinipitia nikawa nimempata mbaba hivi alikuwa ananisumbua sana Kwa muda mrefu, Sasa kutokana na yeye kuwa ananipa vitu vingi sana ikabidi tu nimkubalie, yule baba yeye ni mtu mzima na ana familia yake. Huyo baba nimekaa naye kwenye mahusiano miezi miwili ndo mchumba wangu akajua, siku Moja Niko hotelini na yule mbaba mchumba wangu alinifumania akiwa na marafiki…
Jirani Yangu ana Tabia ya Kuniachia Mtoto wake, Yeye anaenda Kudanga Naomba nipostie kwa fans wako wanisaidie kimawazo. Kuna mpangaji mwenzangu anatabia ya kuniachia mtoto wake nilale nae, yani yeye anaenda kudanga usiku ananiachia Mimi mtoto, nalala nae mpaka asubui akija ananilaghai na vi elfu 20 20 vyake. Kiukweli Mimi hii tabia sipendi kabisa. Mana isije siku likamkuta mtoto tatizo nikaingia matatizoni. Naombeni njia nzuri ya kumkatalia anisipe mtoto wake nilale nae mana nimesha mzoesha hii tabia, ningejua siku Ile Ile ya kwanza ningekataa.lakini ndo ivyo baada ya kuona vihela tena nikaingia kwenye mfumo.
Mume Wangu Alinifumania Tukaachana, Sasa Hivi Anatembea Na Mwanangu Mwezi wa tatu mwaka huu mume wangu alinifumania na kaka hivi ambaye alikuwa ni fundi wa kuchomelea mageti karibu na lilipo duka letu la kuuza spea, dada niwe mkweli kosa lilikuwa Langu mpaka Leo najutia sana, na nilisha omba sana msamaha ikashindikana, nimetuma sana watu kuniombea msamaha lakini Bado haelewi. Sasa Baada ya Mimi kutoka Kwa mume wangu, mtoto wangu wa kike ambaye nilimzaa kabla ya kuoana na mume wangu yeye alikataa kuondoka akasema anabaki pale pale, nilifanya juu chini Ili niweze kumtoa pale lakini aligoma kabisa, yeye alisema hawezi kutoka…
Nimeachwa na Wanaume Saba, kwa Sababu Sijui Kulia Kitandani Habari yako dada yangu, Mimi ni binti umri wangu ni miaka 21 Kila nikiingia kwenye mahusiano naishia kuachwa japo Mimi ni mrembo sana. Nimesha ingia kwenye mahusiano na wanaume sana na wote wananiacha bila sababu za msingi, Yani nikisha lala nao mara ya kwanza, mara ya pili basi wananipotezea, nilikuwa siwaulizi nini sababu mana Mimi sipendi kumuanza mwanaume kwenye mawasiliano au kwenye kuchat. Mwanaume wa tano ilibidi nimwulize kwanini ananipotezea bila sababu, akasema hajanipotezea ila Yuko bize tu, niliendelea kumsumbua mwisho akaniambia eti Mimi sijui mapenzi uzuri wangu unanipa kiburi, nikamuuliza…
Nilimpima Ukimwi Bila Yeye Kujua, Nikagundua Ameathirika Mimi huwa Nina kawaida, kabla ya kulala na mwanamke yeyote lazima nimpime magonjwa yote ya zinaa ikiwemo virusi vya UKIMWI. Nilikuwa nimempata binti mmoja hivi anafanya kazi sheli, Sasa tulikuwa tume kubaliana juma mosi tushinde wote kwangu Kwa sababu ni siku ambayo nashinda nyumbani, Sasa nikawa nime mwambia Mimi silali na mwanamke kabla sijampima, yeye akasema haina shida anajiamini na Yuko sawa tu. Sasa Leo asubuhi nilimwambia achukue usafiri aende maabara Moja hivi ambayo huwa naitumia sana kuwapimia, pale Kuna jamaa ambaye ni rafiki yangu na ndo dokta hapo, akisha wapima huwa ananipa…
Nimemlipia ajifunze Upambaji, Baada ya Wiki Mbili kaomba Talaka awe Huru Mimi na mke wangu tulikuwa na miaka 6 kwenye ndoa, tulikuwa na watoto wawili tayari. Mwezi wa 6 mwaka huu aliniomba tushauriane kipi afanye mana amechoka kuwa mama wa nyumbani, nikamwambia mke wangu kwani unakosa Nini? Akasema hakosi kitu ila tu na yeye anataka kuwa na mchango kwenye familia, ilibidi nimwambie atulie, lakini kadri siku zilivyo kuwa zinazidi kwenda akawa ana sisitiza kuwa anahitaji fani yoyote ajifunze, akawa ameanza na kununa, ikabidi Sasa nimwulize anahitaji fani Gani, akaniambia nimchagulie, nikamwambia siwezi kukuchagulia kitu ambacho sitoenda kufanya Mimi, kama wewe…
Sitosahau Nilivyoweka CD ya Wakubwa, Umeme Ukakatika Kipindi hicho bwana nimetoka likizo Niko kidato Cha tatu, ilikuwa ni mwezi wa 6, Sasa bwana siku hiyo nimetoka usingizini mchana nyumbani hakuna mtu yeyote, ikabidi niende Kwa washikaji zangu jirani, nikawakuta Wana malizia kucheki muvi zetu zile za wakubwa, Yani warumi, ikabidi niwaambie ebu rudisheni mwanzo tucheki, wakagoma, Waka niambia ngoja wamalizie Ili wanipe CD nikachekie kwetu Ili wao waweke CD ya mziki. Baada ya muda wakachomoa CD wakanipa, Mimi nikaenda nyumbani Ili niangalie Kwa utulivu, Yani muda ule nimechomeka CD na kuanza kuplay, umeme ukakata, nilisikia nje washikaji wakija huku Wana…
Nilipata Mali kwa Njia ya Kishirikina, Leo Sijui Nifanye Nini Dada yangu habari, nilikuwa naomba wewe unishauri au unipostie. Mimi 2014 nilienda Kwa mganga, kipindi hicho Mimi na wenzangu tulikuwa tuna fanya kazi migodini, kweli pesa tulipata nyingi sana, Yani namaanisha tulikuwa matajiri kabisa. Mganga alitupatia masharti mepesi tu, alituambia kama umeoa hakikisha kama ni kutoka nje ya ndoa usizidishe Mchepuko mmoja, Mimi badae nilikuja nikawa siendi tena Kwa huyo mganga Ili nijifute niache kuishi Kwa masharti, kweli niliacha na pesa zilizidi kuwa zinakuja tu ndo nikawa najiaminisha kuwa kumbe hata nikiwa na wanawake zaidi ya watatu hakuna shida. Mwaka…
Nimefanya Mapenzi na Mama Mkubwa hadi Nimekimbia Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu ni miaka 20, nime maliza kidato Cha 4 mwaka Jana ila Kwa bahati mbaya sikufaulu kuendelea na masomo. Dada Mimi nimelelewa na bibi yangu, wazazi wangu wote walifariki kwenye ajali ya moto nikiwa na miaka minne. Mwaka Jana nilivyo maliza kidato Cha 4 mama yangu mkubwa alikuja kunichukua Kwa bibi Ili niende kuuza duka lake, kweli nilienda nikawa nauza duka lake, pale kwake alikuwa na mtoto wakiume mwenye umri kama wangu ila hakutaka niwe nalala naye akanipa chumba Changu. Sasa Kila usiku akawa anakuja kavaa khanga…
Nilikeketwa, Naogopa Kumuambia Mchumba Wangu, Ndoa ni Mwezi wa 11 Mimi ni binti , Nina miaka 27 mpaka Sasa, nafanya kazi kwenye taaisisi Moja ya fedha. Mimi utotoni nilikekeketwa, na hiyo ndo sababu imefanya mpaka Leo niwe bikira Yani sijawahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote, Kila nikiingia kwenye mahusiano na mwanaume likija suala la kufanya mapenzi ndo inakuwa mtihani kwangu, nahofia watanishangaa, japo natamani na Mimi niwe kwenye ndoa au mahusiano mazuri ila naogopa hicho tu. Sasa Kwa Sasa Niko kwenye mahusiano, huyu kaka licha ya kumpa sharti la kutofanya mapenzi mpaka anioe yeye alikubali, na amesha jitambulisha kwetu na…
NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 15 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU 1 – 5 NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU 6 – 10 NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU 11 – 15
MKE WA DUNIA – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 20 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: MKE WA DUNIA 1 – 5 MKE WA DUNIA 6 – 10 MKE WA DUNIA 11 – 15 MKE WA DUNIA 16 – 20
KIZA CHA BAFU – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 6 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: KIZA CHA BAFU 1 – 3 KIZA CHA BAFU 4 – 6
NI WEWE TU (ONLY YOU) ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 8 Hawakujua kilichokuwa kikiendelea, haraka sana wakampakiza ndani ya gari. Kabla hawajaondoka, mzee Mwamanda akatoka ndani, akaanza kuwaangalia huku akionekana kushangaa. “Kuna nini?” aliuliza mzee huyo. “Ameanguka!” alijibu Jackline huku akianza kulia. “Ameanguka?” aliuliza mzee huyo huku akiwasogelea, akamgusa Daniel, haraka sana akawaambia waondoke kuelekea hositalini kwani hali ya Daniel ilionekana si ya kawaida. Ndani ya gari Jackline alikuwa akilia huku akiwa amekilaza kichwa cha Daniel mapajani mwake. Hakujua tatizo lilikuwa nini, alishangaa, ilikuwa ni ghafla sana mwanaume huyo kuwa kwenye hali hiyo.…
