RUBANI NAUMIA MWENZIO
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 1
mwenzako “Princess wahi binti yangu anakusubiri, nilisikia sauti ya mama angu akiniambia wakati najiandaa kwenda vacationa na rafiki yangu, tuliamua kwenda zanzibar kwa wiki moja, ndo kwanza tulikuwa tumemaliza form 6, matokeo yametoka tumefaulu vizuri sana, mimi na rafiki yangu, dada ake akawa ametuandalia mtoko wa kwenda kuenjoy Zanzibar na ndiko alikoolewa, apo nilikuwa na furaha mno mtoto wa mama P, rafiki yangu Lisa alikuwa kashajiandaa yuko ananisubiri, nilitoka tukasepa, apo mama kashanipa ushauri wa kutosha, kama utani hatimae tulifika Zanzibar dada ake Lisa alikuja kutupokea tulikaribishwa vizuri, ila mazingira yakwake hayakuwa rafiki, aliamua kukodi aprtment tuishi wenyewe kwa wiki mbili, alipiga simu nyumbani nakuona isiwe wiki moja ziwe mbili, wazazi walikubali japo mama alileta kaugumu, tukampanga akalainika, keshi yake tukawa tumeenda kuzurula, mimi, Lisa na dada ake…
Dada akatuuliza kama tumeshaanza mambo ya wakubwa, tulitizamana na kukataa uku tunakonyezana, “msinifiche jana kuna watu wamewaona, na wamesema wamewapenda, wanahitaji kuwaowa, na kuhusu chuo watawasomesha, wanachohitaji nikuwaoa, tulitizamana kwanza mimi mama kiherehere nikaanza, dada kwakweli mimi wakunisomesha sitaki, kwanza wanaume wenye hera huwa hawana ata nguvu, afu wanadharau sana, afu kama kweli ni wanaume dada si wangejiaminj wakaja wenyewe? Au lisa wewe hil unaionaje mimi binafsi sipendi wanaume dhaifu na sifa za wanaume wa huku akhaaaa mimi sitaki da Mariam… ao
Dada alicheka muda huo Lisa nae akajibu, “ila kweli wanaume wenye hera tatizo lao wa hovyo wanajua kutafuta hera tu ila sema nini p, bora ata wa hera kuliko uyo mwenye udume alafu alijui kuhudumia, mimi nikiwa na hera tu ata nisipotiwa miaka fresh, sema tatizo lao dharau hicho tu ila mimi mme mwenye hera kwakwell namtaka, tulijiachia kwa huyu dada etu ni kama rafiki yetu kwakweli Da mariam alibaki kucheka tu, akaamua kutupa ushauri, “wadogo zangu siwezi kuwaunganisha kwa wanaume wa ajabu,kingine P najua hauko serious lakini dada ako namaanisha ninachokiongea nachojua pesa mdogo wangu unapenda, apa cha kuzingatia sio pesa wala hizo nguvu, najua mnaelewa. nilishawahi kuwafundisha, naona mnaleta utani, kwell wapo vijana apa toka jana wawaone wananisumbua sana, nimewaambia bila ndoa sitoi binti, tulicheka nakumwambia, lakini dada mimi wanaume wa huku kwakweli nawaogopa tetesi sio nzuri, afu nasikia wanagubu bado kudeka, yani niachenkudeka mimi adeke yeye, akhaa bado nasikia ni wazembe ata kutafuta. hizo hera ukute unatuunganisha na watu wenye hera za urithi apa, “wajinga nyie kwanza huyo mmoja sio hata mzanzibar, na huyo mwingine pia sio mbongo kabisa, chakufanya, mtaonana nao apa apa mkiwaelewa aya msipo waelewa basi, uku huwa wanakuja kikazi, ni wateja wangu wa chakula, lakini pia wanafanya kazi na shemeji yenu, na mmoja ni boss wao…
Tulitizamana kwanza, wakati tunatizamana dada alipigiwa simu akapokea, tukaona tu anatupa ishara anakuja, alivyoondoka tu tukaanza umbea ivi Lisa dada anatania ukute anamaanisha kweli ,anaonekana yuko serious nimemcheki vizuri ni kama kweli vile, tulikuwa tumekaa jirani na wakaka ivi, ila ule ukaribu walikuwa wanatusikia maongezi yetu vizuri tu, na wamekuja muda ambao dada ametoka, hatukuogopa kwanza hatuwajui hawatujui tukajiachia, mimi nikalopoka, ila lisa mimi sizani kama ni sawa kuolewa saivi, haraka za nini ata chuo hatujamaliza, ndo ukute kwenye hao wanaume Boss nae yumo, mimi matajiri siwaamini kabisa, hawawezi kunipa furaha, nataka mwanaume kweli sio anatafuta tu hera afu kitandani 0, akijitahidi mara moja kwa miezi mitatu, akhaaa nataka nifaidi ndoa mimi, Lisa alicheka nakusema, “P kwa pumzi gani uliyonayo yakutaka shababi shoga angu, kwa huo uvivu wako bora upate tu aslejiweza, kuongea unaongea ila ninauhakika huwezi kutoa kila siku wewe, unaweza kukimbia ndoa, kesi za kulala nje sebleni zitakuwa nyingi, ushauri wa bure kabisa usiwatake hao wenye manguvu, watakuzeesha mapema, niulize mimi yani sitaki ata kuwasikia achana na story za shule zile P zitakuponza nakuangalia tu unavyojimaliza kwa mambo ya kusikiliza, wewe unayaweza ushakutana na mititi mititi au unajishaua, ungekuwa unayapenda usingekuwa singular shogaa tulia tu, usije ukafanya dada akakuunganisha na bwana atakaekufanya uishi kwa majuto kwa kosa la kuiga…
Nilimtizama anaenipa ushauli kwanza, kabla sijajibu dada akawa karudi cha ajabu, akatuomba tusogee kwa wale wa kaka, kwanza kwamba tuliokuwa tunawateta walikuwa nikasikia tumbo langu kama limepata short wanatusikia….
Chapter 2
Tulisogea kwanza mwanzo hatukuwa tumewaona vizuri nyie wakaka ni wazuri jamani kama majini, mmh kwanza moyoni nikaanza kutapatapa, naogopa ata kuwatizama kibaya zaidi uyo mmoja alikuwa kakaza jicho kwangu hatoi, ata kunipa nafasi tu ya kumtizama hakunipa, nikaona wee yanini kuviziana na hili. jini acha nikauke tu nitamtizama kwa sikulizi, nikicheki kwa uyo mwingine nae naona anavyomtizama Lisa nikajikuta nafurahi tu, ila ndo naona aibu adi kucheka nyie ….
Dada akatuita nakuanza kututambulisha, Boss anaitwa Hezron, na uyo aliekuwa anamtizama Lisa ni Elham, tulitambulishwa na sisi, dada Mariam akasema “Lisa na P nazani tumeshaongea nilimtizama kwanza dada yani lile jicho la tumeongea nini wewe dada wewe khaaa, “nafkiri mimi nasogea pale naomba mkae muongee nawasubili, ata hakusubili majibu dada akasepa…
Nikasikia Elham kamwambia Lisa, samahani Lisa naomba tusogee pale ili tufahamiane vizuri, hee nikainua uso kwanza nimzuie Lisa kwa ishara make mimi na huu mdomo wangu wote, kuongea na mwanaume peke yangu, tena live aiseee nikizungumkuti, ata wanawake tu kama sijawazoea nakuwa bubu afu leo wanataka kuniacha na hili jini mimi, nilivyomtizama alielewa kabisa hali yangu make mikono ilikuwa haitulii kwenye mapaja nimeikusanya kama nafanya maombi kulikuwa na baridi lakini nilikuwa nahisi joto…
Lisa alinitizama uku ananyanyuka nyie nilijua kabisa hii ni ishara ya kusalitiwa na Lisa, mapigo ya moyo yaliongezeka, nikashangaa nimeshikwa mkono mmh nikishtuka nikacheki alie nishika ni mwamba Hezron, nilivyomtizama, akaniambia, “relax usiogope nilishusha macho yangu chini, nikatulia apo natetemeka, mwenzangu kabebwa ivo, na ujasiri wangu wote ni Lisa sasa apa mimi jamani nafanyaje fanyaje, nikiwa nawaza jamaa alisogea karibu na mimi akaomba na mkono mwingine, niligoma kutoa sikujibu wala sikutoa mkono, ila bahati nzuri alielewa kuwa nimegoma..
Aliniuliza “malkia unamiaka mingap? Nilijibu uku nimeshusha macho yangu chini, nilijibu 19, “unandoto ya kuwa nani? Nilijibu kuwa Doctor, “naomba unitizame tafadhali kidogo tu, nilijikaza nikamtizama ila hata dk haikufika nikakwepesha macho, alikuwa bado kakamata mkono wangu, “malkia mimi nakupenda na namaanisha, niko tayari kukuoa, najua bado mdogo mdogo lakini nakuahidi nitakuwa mme bora kwako, nitahakikisha inakamilisha ndoto zako, nitakusaport, naomba uwe huru ondoa hofu ili tuongee vizuri basi kama ulivyokuwa unaongea na mwenzio..
“Ulikuwa umechangamka, naomba uwe huru kwangu zaidi kuliko hata ulivyokuwa kwa mwenzio, natamani uniulize maswali, lakin ata nguvu ya kuuliza sikuwa nayo, ilibidi tu aanze kujitambulisha, naitwa Hezron, nina miaka 27,ni Pilot wa ndege za kwenda dubai na India, niko bana kwa mapuli Wandege za kwenda dubai’ na Thala, nik hapa kwa mapumziko, kwetu tuko watatu, kak angu yuko Sweden, nafuatia mimi, kisha mdog wangu kwa sasa yuko chuo Marekani, kwetu r hapa hapa Tanzania japo sijakulia huku, lakin mzee wangu alivyofariki kwa sababu mam alikuwa mtanzania aliomba turudi huku, Bab angu ni mfilipino, mama yangu, ni mtu wa Iringa kwa sasa yuko Mwanza, naomba uniruhusu nikuoe…
Chapter 3
Nilipata utata wa kujibu, upande wa Lisa nae hali ilikuwa mbaya, aliomba pia muda na kimbembe mwanaume wake alikuwa kama mwarabu ivi, sema na Lisa anaasili ya uarabu, hivyo kwao haikuwa na tatizo, niliona tu ni sawa, sasa mimi cheusi dawa na uyu mkaka mweupe, yani sura yake nzuri kuzidi mimi nyie, mi nikazuri ila kwa uyu kaka siingii ndani yani kaka ni mzuri, mpaka anatisha sasa, nilimwambia tu anipe muda, alinipapasa mikono wangu kisha akanambia, “sawa mamaa naomba no zako, huenda ukaogopa kunipa jibu live ama kuongea live lakini kwenye simu naimani utaweza mrembo si ndio?..
Apo nilikubali chap ili tu niachiwe, ata hivyi vinywaji tulivyoagiza mimi nilishindwa kunywa kabisa, nilibaki kuona aibu tu, Hezron alihakikisha kajipigia kupitia simu yangu, tena kwa kuweka kabisa dk, sio janaume linatumia tu dak ata halijui nani kaweka, mwanaume alitumia ustarabu, akaomba nitaje no yangu, nikajua anaisave kumbe ananitumia salio tena akaniungia kabisa furushi la mwezi, ila roho iliniuma, salio la elf 50…
Apo angenipa hio hera mimi ninge ibajeti vizuri kabisa, nilitamani kulia nikajikaza tu ila dah. alijaza no zake kwenye simu yangu akanipigia, kisha akasave, aliomba na mimi ni save mwenyewe, nilisave kisha akamuita dada ili angalau niwe sawa, ata nitumie kinywaji, da Mariam alikuja akakuta nilivyopoa, alijikaza kucheka akashindwa ata hakusubiri mkaka aondoke pale ale akaniuliza, “mdogo wangu ni wewe kweli ama nimebadilishiwa?..
Mbona umepoa sana sijakuzoea hivyo jamani, dada aliendelea kunicheka, Hezron akasema “shem usimcheke unazidi kumuogopesha, dada alijikaza ila kwa shida sana, Lisa na mwarabu wake walirudi, tulikaa vijana wakaaga na kuondoka, nyie nikama nilikuwa nimekabwa pumzi, da Mariam alicheka mno, hakutegemea kama mimi ni muoga kiasi hicho yani Lisa ananizidi ujasiri, hakuamini “Lisa siamini yani kumbe huu mdomo mwisho kwa Da Mariam kumbe muoga hivyo…
Dada we hujui tu,kumbuka uyo ni mwanaume afu yuko live sio kwenye simu, “kumbe kwenye simu huogopi? Lisa akadakia, kwenye simu anaongea ila akiambiwa tuonane uchumba unaisha, dada alicheka akasema jamani twendeni chimbo jingine ili gharama za hapa hatuziwezi, nilikuja apa kwa ajili ya hawa tu, japo pesa nimepewa ila nashauri tuitunze, itatusave badae au mnasemaje? Tuliuliza kwa pamoja sh ngap akasema laki 5, mmh dada hio sio yakula twendeni tukanunue vitu vya maana, dada alikubali akatupeleka beach, tulitoka jioni tukala dada akaturudisha kwenye apartment yetu, kisha akaenda kwake, nimetoka kuoga nakuta simu yangu inaita kucheki jina ni Hezron, nilipokea…
Chapter 4
Muda huo Lisa pia alikuwa sebulen, akiongea na simu, nilipokea nakumsikiliza, “Malkia wangu, unaendeleaje? Nilijibu, salama sijui wewe uko, “mimi niko salama pia, hofu kwako, na nimemiss tabasamu lako, natamani ukubali mapema niwe naliona kila siku, nakupenda sana Malkia, hakuwa anapenda kuniita princess badara yake akawa ananiita malkia..
Nilicheka tu, nakumuuliza inamaana wewe apo uko single, “waooh hatimae Malkia wangu umeniuliza, ndio kwa sasa nakuhitaji wewe, ni muda kidogo niko single, nilijibu tu mmh ata siamini, kuna watu ata akisema yuko single nitaamini ila wewe mmh, mtu unasauti nzuri apo nilishusha sauti, lakini aliisikia, yani wewe kuwa single ata mwingine akiambiwa hili, afu akakuona kabisa atakataa, “malkia wangu, kuna kitu nimekisia sauti yangu imekuvutia mamaa? Nilipata kigugumizi, ila sikutamani aache kuongea, yani kaka anaongea vizuri au sauti ya simba yani inaunguruma, kiasi kwamba akiwepo ndani akiongea lazima mtu ajue apa kuna dume kweli, na ndo udhaifu wangu, naficha kusema ata kwa Lisa ila mimi mwanaume mwenye sauti ya besi napenda mno, na hata kwenye simu yangu, utakuwa nawasikiliza wao tu, yani nikisia zile sauti za besi nasikia raha mno, Hezron alinidaka mapema sauti yake imeshanikamata, ila naogopa kwa huu uzuri bado na sauti nayo kapewa, afu anasema yuko single nikajua tu niuongo…
Alijitetea nikaomba tuchart, “malkia sina speed sana kwenye kuandika ujumbe naomba tuendelee kuongea, unasauti laini sana inanivutia ukiongea nasikia kabisa moyo wangu unatapatapa, aliongea, na kweli mimi sauti yangu ni ya kumtoa nyoka pangoni, nilisikia raha alivyokuwa anaongea, nilimuhiji maswali mengi mno, tuliongea mpaka simu yangu ikazima moto, upande wa Lisa pia simu yake ilizima, ilibidi aje chumbani, alikuja hakuwa ameoga aliingia kuoga, amemaliza tukaanza kujadili sasa, upande wa kina Hezron akawa haelewi, ananipigia sipatikani, Elham pla akamfate, ili amuombe aongee na mimi nimuunganishe na Lisa, anafika wanakutana mlangoni, kila mtu wazo lake ni kama la mwenzie, walivyoona kesi zinafanana wakapata mashaka, wakatoka usiku huo huo, kuja tunapoishi, walishafatilia toka mchana nakupajua…
Walifika wakagonga, tuliogopa, kibaya zaidi simu zetu zimezima, tulitoka kwa pamoja, mpaka mlangoni na kuuliza nani, walijitambilisha, tulitazamana, tukasahau kama tuna night dress tu, tulifungua wakaingia, ila tukaona wamestack afu kila mtu akawahi kama kumficha wakwake, ndo tukashtuka, Hezron alinikumbatia kwa nguvu, nikama alikuwa kavurugwa kabisa hihisia, akawa anapumua pumzi za tofauti…
Chapter 5
Niliamua kumfinya ashituke, kweli ilisaidia, alivyoniachia tu nikakimbia chumbani kuvaa kwanza, haukupita muda na Lisa akaja nae tulivaa tukatoka kuwasikiliza, waliuliza kwa nini hatupatikani tumewapa mashaka, tulijibu simu zimezima tumeweka chaji, Hezron alinitizama sana, waliaga nakusepa, kulikucha simu wanahitaji majibu, muda wao sio rafiki wanatakiwa kurudi kazini, na wanahitaji kutoa mahari ndio waondoke, mimi binafsi nilikuwa nasita kwa ule uzuri wa Hezron nilihisi kabisa hakuna usalama, nilijiona siko tayari kwa ndoa, nilimpa jibu dada, niliogopa kumpa jibu Hezron, lakini da Mariam aliamua kuongea na mama kumshirikisha, mama alifikisha kwa mzee, baba akashauri kijana afike nyumbani bora mtu aliye nyooka kuliko wasubili zije mimba, dada aliwahakikishia uyu kaka hana shida anaakili za kiutuuzima…
Upande wa Lisa yeye alikubali, siku io tuko tunapiga story wakaniuliza kama simtaki Hezron nataka mwanaume wa aina gani? Nilitabasamu nakujibu yani dada mimi napenda niolewe na mjeda, dada alishika kichwa kwanza kisha akasema, “mdogo wangu kudate mwanajeshi ni sawa na kutanguliza moyo mochwari, mdogo wangu yani shetani akikushindwa ndo kama ivyo atakupa bwana mwanajeshi atakuchanganya utakufa siku sio zako, nilicheka nakuwaambia nyie hamjui tu, yani ata nyie mnaamini Hezron yuko single? Dada alijibu “ndio kwani kuna kitu umeona kinautata? Nilijibu hamna, ila siamini tu kwa jinsi alivyo lazima anasubiliwa na vidada nahisi nitakuwa naingia kwenye shida, sina imani nae tu, kumbe wakati naongea alikuwa maeneo yale wote hatukujua, yani dada mimi sio kwanza sijamuelewa ila tatizo tu nahisi nitajuta, kapitiliza uzuri, na wanaume wengi huwa wanapenda kujaribu ndo wanaoa awa wa kutuamini moja kwa moja ukute wanashida najaribu tu kuwaza, nahisi nahitaji muda zaidi ama nipotezee tu kwanza acha abaki tu kama crush wangu, sema ni mzuri jamani dah, dada alitikisa kichwa akataka kuongea kitu, ila akasita baada ya kuinua macho na kumuona Hezron tena akiwa na sura kavu…
Alifika akanishika mkono bila kisema chochote, ni ananitembeza namuuliza kulikoni, ata hajibu chochote, alifika nje alikuwa kapack gari, alinipandisha kwenye gari kisha, akafunga nakuondoa gari, alinipeleka Pemba na tulikuwa Unguja, alipack gari kwenye bonge moja la hotel, akanishusha ni mpela mpela tu, niliongea nikachoka nikawa nalia tu, tumepita watu wanaona kabisa nalia lakini hakuna aliethubutu kunisaidia hata mmoja…
Alifika chumba flan cha juu kabisa hotel ilikuwa ya ghorofa, aliingiza card chumba kikafunguka, akaniingiza kisha akafunga mlango, apo natetemeka, alinitizama sana akajikuta machozi yanamtoka, kwa mara ya kwanza akaniita kwa kifupi tu P, “P upendo wangu unauchukulia kama mzaha ee? Kwamba sijakamilika ndio maana nataka ndoa, altoa shart uku anaongea, nataka kwanza nikuondoe hofu zako zote leo, na simu zangu hizo hapo, alinitajia pasword nakuniambia nishinde nayo nipokee simu zote ata kama mama ake atapiga nipokee, mpaka niridhike, na kuhusu uwezo wake kitandani yupo hapa kunihakikishia …
Nilishtuka nikamwambia, Hezron nisamee sikumaanisha hivyo nilikuwa tu nataka kutafuta njia ya kuwaelewesha, “kuwaelewesha ee sawa sikutaka kukugusa kwa ajili ya heshima, nakuheshimu sikutaka kukuchukulia kawaida, kukupa heshima kama mwanamke wangu naona ni kosa hutaki, unataka majaribio, unafkiri siwezi ee?..
Hezron naomba unisikilize baba, niliongea uku natetemeka naogopa, muda huo kashavua shart, anatoa mkanda niliinuka chapu kutoa mikono asitoe mkanda, lakini sasa mmh, alinishika akanibana kiasi kwamba sikuwa naweza kufurukuta, alinikamua, akanipunguza nguo, apo nishalegezwa ata sijielewi natoa tu sauti za ajabu ajabu, nakuja kushtuka nimetupiwa kitandani wote hatuna kitu, nilianza kumsumbua akanitizama machoni na kuninong’oneza na sauti
INAENDELEA


1 Comment
I’m very happy to read this. This is the kind of manual that needs to be given and not the random misinformation that is at the other blogs. Appreciate your sharing this greatest doc.