CEO BIBI ATANIPIGA, TOA JAMANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 11
Asubuhi na mapema niliwahi kuamka sawa na mfanyakazi wa ndani, alishangazwa na namna yangu ya kuwahi kuamka, alinizuia kufanya kazi kutokana na kuhofia kibarua chake, nilimtuliza kwa kumwambia ni salama wala asihofie kabisa mimi kufanya kazi hizo, tuliandaa chai, tulipiga chapati, sambusa, na kuchemsha vihogo kidogo.
CEO Kendrick aliamka saa moja kamili, nilimkaribisha meza ya chai alishangazwa na namna nilivyowahi kuamka, japo alikua ananionea aibu kwa kilichotokea usiku kwa yeye kushindwa kunimudu kitandani, mimi nilijitahidi kumchangamkia ili asijihisi unyonge kabisa.
“Enhe nakusubiri twende wote kazini”
“Wapi tena?”
“Kwangu mkataba wa Rose pale kazini kama secretary umeisha jana hivyo unawezq kuchukua nafasi yake tu, ili niwe nakuona masaa ishirini na manne” Kendrick alitoa wazo ambalo sikulikubali kabisa, sikutaka kwenda kuchukua nafasi ya mtu mwingine, licha ya yeye kunifanyia ubaya sikuwahi waza kufanya ubaya kulipiza hivyo niliona nafasi ya usecretary hainistahili mimi na elimu yangu ya darasa la saba.
“Labda niende kwa mama bonge pale nitakua huru zaidi nilipendekeza.
“Weeee nani atakubali jambo hilo yaani ukahudumie wanaume wengine, subutu yako. bora ubaki hapa ndani”
“Sawa baebee”
“Umeniitaje emu rudia tena yaani umeniita mpaka nimesisimka” Kendrick aliniambia huku akinivuta kiuno nisogee karibu yake zaidi na kunikumbatia.
Dada wa kazi alivyoona mapenzi hayo akaamua kupita haraka hakutaka kutuharibia starehe yetu.
“Niambie baba angu” niliongea kwa kumregezea sauti, macho yalikua yanarembua kwa mtindo wa karibu ule, nilipokumbuka ile hali ya usiku nikaacha kurembua.
“Nakupenda sana Magrita, usiku nilikuangusha ila nikirudi nitakufanya vizuri mpaka uridhike sawa mpenzi
“Ndio mpenzi” tulikumbatiana hapo japo mimi nilijua Kendrick anatatizo ambalo lilihitaji tiba ya haraka kwani bila hiyo tiba ingekua ngumu sana. kwetu kupata watoto kama tungeoona, kwani
Kendrick alionesha kutokua na nguvu za kiume na mimi kuwa na watoto ilikua sehemu ya ndoto yangu kwahiyo ni lazima jogoo awike, nilimuaga kwamba baadae nitatoka kidogo kule nilipokua naishi ili nikawaage majirani wema niliowahi kuishi nao kwa uzuri kabisa. Hakupinga ilo jembo japo alinieleza tuwasiliane kila wakati alimhofia sana baba yangu mdogo Peter anaweza kunifanyia jambo baya pia alisisitiza nisipange kufanya jambo lolote kwa ba mdogo pasipo kuzungumza nae, kiufupi usalama wangu ulizingatiwa sana, nilikubali kwamba nitatekeleza hayo yote aliyonieleza. Tuliagana na mimi nilirudi chumbani kwa bibi nilimuamsha kwamba ni muda wa chai, bibi aliamka. alikunywa tukaendelea na ratiba nyingine za siku Ilipofika saa sita niliaga na safari ilikua ya kuelekea kule tulipokua tunaishi awali.
Kwa upande wa Kendrick baada ya kufika ofisini kwake kwanza alipokewa na kivuruge Rose, alimkumbatia kwa nguvu Kendrick kwa sifa akaanza kudeka kifuani kwa Kendrick. Kendrick hakupenda hayo mambo alimweleza kwamba ana kikao muhimu sana cha kikazi.
Kendrick alikua CEO wa kampuni kubwa sana inayojihusisha na utumaji wa miamala ya kifedha kutoka mabara mbalimbali duniani kuja afrika. Kampuni iliitwa KN Transaction. Mbali na kua ni CEO wa kampuni hiyo pia Kendrick alikua mtaalamu mbobezi wa mambo ya IT, ukimpeleka kwenye mambo ya system za compyuta ujue huko umeisha kwani alikua fundi balaa, elimu yake alisomea uganda na chuo alisomea China, hivyo alibobea haswa kufikia hatua kutegemewa na makampuni makubwa nchini kwenye swala la kuiwekea ulinzi mifumo yao pia mfumo unapoleta shida kubwa ambazo zimeshindwa kutatuliwa na wataalamu wote wa ndani ya nchi
kufikia hatua ya kutamani kuwaita wataalamu kutoka nje bhasi kwenye hiyo pointi ndio huitwa mtaalamu Kendrick, makampuni mengi yalimjua kama Jini kutokana na uwezo mkubwa aliokua nao, kwahiyo vikao vingi ilikua ni sehemu ya maisha yake kwani alifanya kazi na makampuni mengi sana nchini.
Rose alimsubiri yalipotimia masaa matatu aliingia ofisini kwa Kendrick bila hodi. “Mkataba wangu umeisha, nimekaa miaka mitatu pamoja nawewe hakuna hata siku umewahi onja utamu wangu, kwamba mimi ndio nna kasoro sana au sasa baba leo utanila utake usitake Rose aliongea maneno hayo mazito kwa mwanamke kuyatamka kwa ambae si mpenzi wake, lakini kwake hiyo ilikua nafuu kwani Kendrick hajawahi omba Show hata siku moja kufikia hatua Rose anajishtukia kwamba yeye ni mbaya namna gani mpaka jamaa ashindwe kuomba kitu kizuri toka kwake, imani
yake ilikua inarejea alipokua anatoka nje na kukutana na wanaume wengine wakimtongoza hakua tayari kuwa nao kwani moyo wake ulikua kwa Kendrick.
Rose hakuishia hapo kwani alivua nguo yake ya ndani na kumtupia Kendrick. Kendrick aliendelea kumtazama tu kama mtu asiemwelewa kufikia hapo Rose aliamua kupandisha juu skirt yake ili Kendrick ajionee mwenyewe anachokikataa kila siku ili achague anakula au hali.
Chapter 12
“Hebu Rose acha kujizalilisha hapo hakuna kipya ambacho unacho mimi sikijui, sina hisia na wewe kufanya hivyo ni sawa na kutaka kunibaka tu halafu humu ndani kuna camera, hebu fikiria hiko unachokifanya hapo siku moja watoto wako wakakiona hivi unahisi watajisikiaje kuwa na mama wa aina yako, jiheshimu kabla ya kuheshimiwa bhasi”
“Unanikataa mimi kisa yule muuza chai, bora jana angekufa tu maana kaniharibia kila kitu kuhusu mimi na wewe yule mwanamke mchawi namchukia sana, natamani afe hata saivi” Rose alionesha chuki zake za wazi alizokua nazo dhidi yangu.
“Bora umejitaja mwenyewe hapo angalau nitapata ushahidi wa kukufunga maana juzi ulifuta ushahidi wote ukiwa unampiga Magrita na Stepla machine”
“Ndio nilimpiga kwani nini sasa, kama unataka kunifunga sawa nifunge tu ila demu wako yule nae atakufa kama sio kufa bhasi siku moja nitamfanya alie kwa kupoteza kitu cha thamani sana kwenye maisha yake
“Kwahiyo unatutisha ausio, wewe weweseka tu halafu gusa maisha yake hata kidogo tu uone utakavyonivuta na mimi nikushughulikie
“Babu weee mini sijali chochote, ama zenu ama zangu nakwambia Rose alizidi kutiririsha maneno makali yaliyoonesha kubeba kisasi kizito. Upendo ukiisha huzaa uadui ambao kuuzima huo hauwezi kuwa rahisi hata kidogo.
“Toka ofisini kwangu na usikanyage hapa tena, siku nikiona hata pua yako hapa ujue nitapeleka uthibitisho wote polisi ili nikufunge” “Sawa na ninyi hiyo ndoa hamtofunga
nitawaharibia kwa wazazi wako mpaka unichukie mpaka unaingia kaburini” Kendrick aliona dharau zinazidi sana, alimkamata mkono. Rose na kumtoa kwa nguvu kwenye ofisi yake, alifunga mlango na kurejea ndani. Rose aliondoka ofisini akiwa mwingi wa kulia akijiapiza kwamba ipo siku atalipa kisasi tu.
Kwa upande wangu nilifika mtaa ule ambao tulikua tunaishi zamani, watu walioniona walinipa pole kwa mambo yaliyotutokea mimi na bibi yangu, nikiwashukuru na kuendelea na safari yangu, kwa mbali nilitazama ilipobomolewa nyumba yetu, niliona udongo upo pale pale ilimaanisha hakukua na chochote cha maana kinachoendelea hapo, baba mdogo alifanya hivyo ili kutukomesha tutange tange mtaani, kwa neema za Mungu zisizochunguzika alomsogeza Kendrick ili kuja kutupa hifadhi, kweli kila jaribu Mungu hukutengenezea mlango wa kutokea.
Nilifika kwa kina Hamida ilikua mida ya mchana, nilikaribishwa chakula cha uswahilini, dagaa mchele wa kulumangia na kachumbali, nilikula na kujisikia vizuri kabisa kwani maisha hayo yalinikuza hivyo hakukua na ajabu lolote.
Tulienda chumbani kwa Hamida huko nilimpa umbea wa vitu vichache japo alijitahidi kunichimba kama nina mahusiano na Kendrick mimi nilimkatalia kabisa, pia sikugusia kabisa maswala ya Kendrick kutaka kunioa, nilijua namna dunia ilivyo na mambo mengi ya kushangaza unaweza jimaliza ukapewa na hongera baadae mambo yakabuma kila mtu anakucheka wewe tu, ya nini kujitafutia jaka la roho, mtoto wa kike nikaamua kutuliza kifua nacho kikatulia haswa.
“Sasa rafiki angu vipi Juma mzima nilichomekea stori nyingine ili tusipoe. “Ndio yupo rafiki angu kajaa tele”
“Ooh mmeonana lini vile”
“Mmh ni jana tu hapo aliniambia niende nyumbani kwake akanipe machungwa kidogo” “Heee kwahiyo na wewe ukaenda?” nlimuuliza kwa mshangao sana. “Ndio nilienda mara moja nikarudi zangu”
“Na akakulala sindio”
“Mmmh Magii jamani sasa hayo si siri ya kambi jamani Hamida alilalamika kama anaonewa, “Naomba nikuulize swali kidogo kabla ya jana kuna siku alikutafuta labda?”
“Hapana alinitafuta jana hiyo hiyo asubuhi” “Kwahiyo kakucheki asubuhi jioni ukampelekea. kiuno, ukampa na style zote, Hamida jamani huyo mwanaume anakutumia tu hana malengo na wewe, anakuita geto akiwa na hamu zake, baada ya hapo anakusahau kama unabisha utaniambia baada ya kukumwagia hizo shombo zake leo kama atakutafuta tena”
“Jamani tupunguze ushauri mwingi kwenye mahusiano ya watu, watu tulioshare kitanda tunajuana zaidi kwahiyo shosti naomba tuachie tu wenyewe tutashughulika nalo” Hamida aligeuka mkata shombo aliniambia maneno ambayo nilijiona kweli natakiwa kupunguza sana ushauri kwenye maisha ya watu hasa mahausiano kwani watu wana mipango yao.
“Heees nimenawa mikono mie puuuuuuu, ukiona siku nimetoa ushauri kuhusu hili penzi la taifa, niligwe viboko hadharani namimi niliyatua kabisa mambo ya watu. “Hapo sawa”
“Halafu nilitaka kusahau hivi mzee kibiki yupo kweli?”
“Ndio yupo vipi unataka dawa?”
“Ndio undugu wangu nna chango inanisumbua
nataka akanipikie nilidanganya kidogo. Mzee kibiki alikua mtaalamu wa dawa za asilia, aliijua miti shamba mingi sana hivyo nilitaka kwenda kumchukulia dawa Kendrick juu ya tatizo lake la jogoo kutopanda mtungi, Hamida alinisindikiza tulipofika nilimwomba akae nje niingie mwenyewe alinuna ila sikutaka ajue mambo yangu hayo.
Nilimwelezea mzee kibiki juu ya tatizo hilo la Kendrick aliniambia ni tatizo dogo sana hivyo alinipa dawa ya unga unga flani hivi, tuliondoka na Hamida wangu. Niliamini kupitia dawa hiyo inakwenda kutibu tatizo lote sikujua kama itakwenda kuniletea shida bora ningeachana nayo tu.
Chapter 13
Nilirudi nyumbani majira ya saa kumi na moja hivi, baada ya muda kidogo aliingia Kendrick akiwa amechukia kweli nilimtuliza na kumwuliza shida nini, alinielezea kila kitu kilichotokea ofisini hakutaka kunificha hata jambo moja. Nilimpa pole kwa pamoja tulikubaliana kuwa makini na Rose kwani ametangaza vita dhidi yetu na hatukujua hatua yake inayofuata atapiga upande gani.
“Bado haujakaa sawa nakuona tu, hivi kilichotukutanisha si ni chai?” nilimuuliza swali Kendrick.
“Ndio ndio chai bhana, unapika chai nzuri ajabu nimewahi tembelea nchi mbalimbali na kuingia mahoteli makubwa yenye hadhi tofauti tofauti, lakini sijawahi kunywa chai tamu kama unayonipikia weee mwanamke, sijui unataka kunifanya nini maana sio kwa mambo hayo matamu unayonifanyia”
“Heee wewe jamani ushaanza kunichombeza kwa maneno hayo ya kitapeli, usinifanyie hivyo tafadhali sana”
“Kweli nakwambia ungevaa viatu vyangu ungeona raha nnazo zipata halafu hapo ungejiuliza hivi umechelewa wapi?” Kendrick aliongea maneno mengi mazuri ambayo yalikua yanavimbisha kichwa changu kidogo kipasuke, nilipenda alivyokua ananisifia kwa sauti yaks maridhawa hata kama alikua anaongezea chumvi lakini ndio hizo hizo mimi nilizipenda.
Nilielekea jikoni, nilimkuta dada wa kazi nilimwomba atoke nje anlachie jiko mara moja, nilifanya hivyo ili nipate uhuru wa kuiweka dawa yangu kwenye chai, nilitaka anywe dawa ya kutibu tatizo lake pasipo kujua kwamba namtibu kwa mitishamba kwani nilihofia hayo mambo hasa kwa yeye msomi angehisi labda ni mambo ya kiganga, sikutaka kutia doa kwenye mapenzi yetu mapema namna hiyo..
Niliandaa viungo vyote vya chai, nilibandika maji jikoni niliweka vizuri viungo vyote kwenye chai, niliangalia kulia, kushoto nyuma kote kulikua salama nikachukua dawa yangu kutoka kwenye sidiria nilipokua nimeweka nikaiweka haraka haraka kisha nilirudisha dawa kwenye sidiria. Niliweka vijiko vitatu vya sukari kwenye kikombe nilibeba na kumpelekea mume wangu mtarajiwa, alikua ameshika simu yake kwa umakini, nilipoingia chumbani kwake tu aliweka simu pembeni kiheshima ili anisikilize.
“Chai ipo tayari babaa unaweza jinywea taratibu chai yako uipendayo” nilimwambia kwa unyenyekevu mkubwa huku goti moja likiwa chini, kweli mtu ukitaka jambo lako lifanikiwe utafanya kila kitu cha kuhakikisha jambo linatoboa.
Hakuinywa chai badala yake aliweka kikombe pembeni, dakika tano zilipita pasipo kumwona Kendrick akinywa chai.
“Baba vipi mbona hunywi chai, jaribu sukari bhasi kama haijakoa nikakuletee nyingine nilichombeza ili anywe chal. “Amna nitakunywa tu subiri kwanza hivi ungekua wewe ungefanyaje kama mtu anakufanyia hivi, mtu unaempenda na kumwamini?” Kendrick aliniuliza swali lenye mitego mingi sana, hakuishia hapo bali alinigeuzia kioo chake cha simu nione kile alichokua ananionesha, nilijiona mimi nikiweka ile dawa kwenye kikombe cha chai, kumbe wakati nafanya hayo mfanyakazi wa. ndani alikua ananirekodi kisha alimtumia boss wake. Nilianza kutetemeka nilijua nimeisha.
“Ni nini ulikua unaniwekea kwenye chai, hebu niambie haraka kabla sijakubabua uso wako huo” Kendrick aliniuliza kwa sauti ya kawaida ila mimi sikutulia kabisa sikujua nianzie wapi kwenye hilo swala.
“Sikia nitakuelewesha vizuri”
“Sema harakaaa nini umeniwekea kwenye chai ni sumu au uchawi, nijibu haraka” sauti ya Kendrick ilizidi kupaa hapo nilijua kabisa anatoka kwenye hali yake ya utulivu. “Ni dawa mume wangu”
“Dawa ya nini?”hilo swali lilikua gumu kwangu hivyo nilikaa chini.
“Jibu haraka dawa ya niniiiiiiiiiii, huna majibu eeeh sasa unaondoka nyumbani kwangu peke ako, bibi utaniachia hapa nyumbani, mimi nimemaliza Kendrick aliweka kituo hapo, alitaka kuniondosha nyumbani kwake niliwaza nitaenda wapi mimi, machozi yalikua yananitoka. Kendrick alisimama na kwenda kusimama dirishani kutazama nje..
“Oya nenda bhasi” Kendrick alikazia niondoke, sikujibu kitu nilianza kuondoka zangu, ila nilijiambiza simwachi bibi angu nyuma naondoka nae, kama kufa tukafe pamoja huko mtaani.
Chapter 14 & 15
Nilihisi mtu ananikumbatia kwa nguvu kwa nyuma, kichwa alikua kakilaza shingoni. mwangu, machozi mepesi yalikua yanalowanisha tisheti yangu niliyovaa, nilijua Kendrick analia.
“Kwanini umenifanyia hivi lakini kwanini unataka kuniwekea dawa, kwani unataka niwe chizi, mbona mimi nakupenda hivi hivi bila dawa eti mama, halafu ni mapema sana kufanya hivyo kwanini lakini umeamua kuniumiza namna hii wakati nimekuamini sana kuliko chochote duniani Kendrick aliongea maneno ambayo niliona yamebeba hisia za maumivu sana, wote tulikua tunatiririsha machozi kwa wakati huo.
“Sio limbwata ni dawa za kuongeza nguvu za kiume”
“Unauhakika kwa hilo ulisemalo kwamba zitazinisaidia hizo maana nimewahi tumia. mbalimbali za hospitalini kwani mashine yangu ilikua haisimami wakati mwingine nikiamka asubuhi nilijua hilo tatizo nimetumia madawa. mengi sana ya hispitalini ila sijawahi pata afadhaliâ„¢
“Naamini hii itakusaidia, sawa ila tunakunywa wote” Kendrick alionesha kutoniamini na ile dawa kama ni dawa ya nguvu za kiume kama nilivyosema au kuna ujanja mwingine nilitaka kumchezea, tulikunywa pamoja ile dawa mpaka ikaisha baada ya hapo nikamwomba tukaoge pamoja kwani tulitoka kulia pamoja, tukaenda bafuni, huko tulioga maji kwa kuogeshana wakati huo, niliinama kidogo na kumwingiza mdomoni babu, nilimnyonya vizuri kidogo akasimama, alikua anaugumia kwa utamu nikaona hilo litampoteza, nikamwambia afumbue macho asifumbe kisha avute pumzi kwa nguvu na kuiweka ndani alachie taratibu taratibu, pia ajitahidi kuyapotezea mawazo ya kile kitendo, alijaribu kufanya hivyo niliamini kitampunguzia hisia na kuwahi kumwaga, niliendelea kumchezea babu, wazungu wakatoka ndani ya dakika tano, nikaendelea kukisisimua. kichwa, huku nikishika shika makufuli mawili nilimuona babu kaendeleq kusimama dede, tena mwenye hasira kubwa nikainama na kujipachika mwenyewe, nikamwambia azingatie pumzi na kujiondolea hisia kali kwa kuwaza hata kazi zake, weee kwanini tusifike nusu saa na bado mshindo wa pili haujatoka, alinibeba na kunipeleka kitandani tulifanya weee akizingatia hayo mbona babu alinipelekea moto vya kutosha kabisa, tulilala tukiwa hoi hakuna ambae aliukumbuka mwili wa mwenzake ulipolalia, saa kumi na moja nilihisi kupapaswa tena, nikasema kumekucha nikachezeshewa tena cha asubuhi, alifanya kwa ubora mkubwa sana mpaka nilimsifia baada ya mechi alifurahi sana, nilioga na kwenda jikoni niliandaa chai na kuweka dawa kwa uhuru kabisa.
Mfanyakazi alinionea aibu kwa kitendo cha kunirekodi lakini mimi sikua na kinyongo nae kwani nilijua anamlinda boss wake na kama ningekua namwekea sumu boss wake bhasi kunirekodi na kumtumia Kendrick hiyo ingesaidia Kendrick kuwa hai, nilimkumbatia. mdogo angu huyo na kumweleza kwamba tuko pamoja. Nilimpelekea chai mahabuba wangu kitandani aliinywa kwa furaha tele kwani aliamini chai hiyo ndio kiboko ya kile alichokua anapitia, ubaya wa dawa mashine ilikua inasimama kila muda, chai ikawekwa pembeni nikapandwa tena nyiee hapo ndio kabla ya ndoa, ndoa ikifungwa nikawa wa halali sindio atataka kunipanda kila saa, muhimu sikukwazika na mambo hayo kwani hata mimi nilipenda sana kucheza nae mchezo huo wa hisia, tulifika mwisho salama kila mmoja kamtosheleza mwenzake, tulioga nilimwandaa kabisa aliomba aongee na bibi kabla ya kwenda kazini, Kendrick allomba ridhaa ya kunioa. Bibi alikubali na kumweleza kwamba hakuihitaji mahali yoyote, muhimu kama tutaishi kwa furaha bhasi kwake bibi yangu itakua furaha tele.
kendrici alishuru japo aligoma kunichukua bure bure, hivyo alimlipa bibi angu millioni tatu kama mahali na ahsante ya kunitunza na kunilea tangu nikiwa mdogo, mwezi uliofuata tulifunga ndoa kwenye kanisa la kirutheli na hapo nikawa mke wa halali wa Kendrick, wazazi wake walihudhuria na kutupatia baraka zote, Rose pia alikuwepo japo roho ilimuuma ila hakua na lingine la kufanya maisha ya ndoa yalianza kwa raha zote, wazazi wa Kendrick walianza kudai mjukuu kwani ni mwaka ulipita kwenye ndoa tukiwa hajanipa mimba kabisa.
INAENDELEA

