BIKRA TAMU, DADA NAKUOA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 6
Sikumjali sana nikawa napambana aondoke, ila hata akuniachia, akaanza kuongeza kasi, yaan uwe na upwiru alafu jumlisha na pombe ndio kabisa yaan, alikuwa ana hisia za muda mrefu maana hakuwa anachoka yaan anafunga magoli kama mara dona vile…
Kamaliza akalala pemben yangu akaanza kukoroma zake hana hata habari, mimi nikakaa kitandani kwenye kona kabisa ya kitanda nikiwa nimejikunyata zangu nalia, maana nilihisi kama nimepata maumivu mara mbili, maumivu ya kwanza ni mama yangu kuolewa na baba wa mwanaume ninae mpenda na pili kutolewa bikra bila ridhaa yangu…
Siku hio sikulala nikalia mpaka asubuh, kulipopapazuka, nikaingia bafuni nikaoga, hapo nasikia maumivu huku chini kana kwamba nilikuwa nimechanwa chanwa na viwembe, kutokana na kutolewa usichana wangu kikatili namna ambayo aliitumia amos..
Amos amekuja kuamka saa nne kasoro alikuwa kama mtu aliechoka, yaan mtu anaamka na uchovu ndio amos sasa, aliponiona akatabasamu na kusema malkia wangu hawawezi kututenganisha hawa wajinga na ndoa yao ya kipuuzi si ndio, haya nambie umeinjoy, hata kama nilikuwa nimelewa ila wewe mtoto ni mtamu sana jamani akaanza kusema, nikamuona huyu vipi, yaan mimi nakuwa vipi mtamu nan i dada yake na kwanini alikuwa anataka kulala na mimi licha ya kujua wazaz wetu wameona…
* hivi amos unaakili kweli, unaweza vipi kulala na dada yako, au haujui kama sisi ni ndugu amos, kwanini umekuja kulala na mimi lakini, kwanini umenikosea kiasi hichi, nilishaapa kuwa nitakuja kutolewa usichana wangu na mume wangu tena ndani ya ndoa, wewe umefanya nini lakin amos, umefanya nini, nitaweka wapi sura yangu ikitokea watu wakijua kuwa nimelala na kaka yangu, tena kaka yangu ambae naishi naе nyumba moja…
Akacheka kwa dharau kisha akanambia kuwa katika kumbukumbu zangu, nakumbuka kuwa mzee Gabriel na bibie Belinda walizaa mtoto mmoja tu wa kiume, mwaka 1994, na huyo mtoto ndio mimi, baba yangu hakuwah kusikika kuwa na mtoto wa nje hata wa bahati mbaya, na mama yangu alishawah kubeba mimba ikatoka na kuanzia hapo hakuwah kupata mtoto mwingine tofauti na mimi, akajibu Amos kwa sauti ya kujiamin…
nakuchukia sana amos, nakuchukia yaan hata sijui ilikuwaje mpaka nikamuamin mwanaume mshenzi kama wewe, nilikuwa nakuona mshenzi siku za mwanzo, sijui kwanini niliyaamin mabadiliko yako ya kinafki, mpaka leo hii unakuja kuniingilia bila ridhaa yangu, kosa langu ni nini amos, embu nambie, kosa langu nikukuamin na kukufanya kama rafiki na mtu wangu wa karibu si ndio, ukaona zawadi kubwa ya kunilipa ni kula kulala na mimi kilazima kweli, nikawa nalalamika, akanisogelea kisha akaniangalia kwa karibu dakika moja nikiwa nalia bila kusema kitu..
Kisha akasogea mbali na mimi na kusema haujui kosa lako, kosa lako nikutokeza kwenye maisha yangu na kunifanya nikupende, kunifanya nichanganyikiwe kwa sababu yako, kunifanya niwe chizi kwa sababu yako, kunifanya nibadilishe hadi mtindo wangu wa maisha ili tu niweze kuwa na wewe, kosa lako ni kunifanya niwe siwez kukaa mbali na wewe felister…
Unajua nini, mara ya kwanza nilipokuona nilihisi nimekutamani, mpaka nilipokugusa kwa mara ya kwanza ndio nikagundua kuwa nakupenda..
Nikatoa macho na kuuliza kwa mshangao kunigusa!, maana katika kumbukumbu zangu, usiku uliopita ndio usiku ambao amos alinigusa
Chapter 7
mbona sikuelewi unamaanisha nini, kwani umeshawah kunigusa wapi tofauti na jana ulivyokuja kunifanyia ukatili wako ukitaka kusingizia ni pombe, nikaanza kusema na amos akatabasamu kwa sekunde kadhaa kisha akaniangalia na kutabasamu tena kisha akaanza kusema ” ndio nilikugusa kwa mara ya kwanza nikahisi joto lako, utamu wa lips zako na uimara wa chuch kwenye kifua chako, na kunifanya nitaman kuishi chini ya matakwa yako ili siku moja nije kuwa mume wako..
” mbona sikuelewi, nikasema kwakuwa sikuwa namuelewa kweli…
unakumbuka mara ya kwanza ambayo tulikutana kwenye group discussion?…
“ndio nakumbuka, nikajibu…
“tulipotoka discussion umeme ukakatika?..
“ndio nakumbuka, nikaendelea kujibu..
nilipokuona poale kwenye discution nilikuwa nakutaman kupita maelezo, yaan ungekuwa sio mwanamke unaeheshimika ningekukulia pale. pale, maana hadi uvumilivu nilikuwa nakosa, I na ulikuwa umevaa vizuri tu, ila kila ambavyo nilikuwa nakuangalia nilikuwa Napata msisimko wa ajabu sana, nikaona siwez kujitesa, nikaenda kukusubiri hostel kwenu, nikajua siwez kukufanyia kitu, ila nilipokuona tu, nilikosa cha kufanya na kujikuta nakuvamia na kuanza. kukupiga busu moja matata….
” nilijua ni mara yako ya kwanza maana nilihisi mapigo ya moyo wako, namna unavyotetemeka na namna ambavyo nilikuwa nina uhakika kuwa nilikuwa nakugusa sehemu ambazo zinakusisimua ila badala ya kuonesha ushirikiano ndio ukazidi kutetemeka, yaan ni kwamba niligundua nakupenda ndio maana sikukufanyia ushenzi pale kwenye ngazi, ila kwa namna ninavyojijua na namna ambavyo nilikuwa nina hisia na wewe, nisingejali ni nani anakuja ningekukula pale pale, akasema nikajikuta nashikwa na hasira za ajabu, maana niliona kama ameshgaanza kuongea upuuzi sasa, yaan anasemaje mambo kama hayo na wakati anajua hata lile alilolifanya ni kosa kubwa sana…
Nikataka kuanza kumlaumu, akanizuia na kusema” ahhh subiri kwanza utaongea baadae baada ya mimi kumaliza kuongea, sasa. kuanzian usiku ule nikajikuta nataman sana kukaa karibu yako, nikatafuta taarifa zako nikaambiwa wewe ni mtu wa kanisa, na ni mtu. wa mungu sana, nikaona niende na wewe taratibu na kuanza kiutafuta namna ambavyo watu unaowataka wanatakiwa kuwa, yaan ule usiku sikulala nikawa nafanya kazi ya kumeza mistar ya bibilia, kana kwamba naenda kufanya mtihani wa bibble knowledge asubuh…
na kulivyopambazuka nikataka kuanza kukaa karibu na wewe kuanzia siku hio nikawa mtu wa tofauti sana, nikarudi kwa mungu kwa sababu yako, alafu leo mtu aje anambie kuwa wewe ni dada yangu, inawezekana vipi ukawa dada yangu felister, wewe ni mwanamke wangu, na mwanamke wa maisha yangu, nakupenda na siku zote nataka kuwa na wewe kwenye maisha yangu felista kwa kuwa nakupenda sana mamaa, akawa anaendelea kulalamika amos…
Nilikuwa kimya kwa sekunde kadhaa kabla sijajibu, ni kweli hata mimi nilikuwa naumia sana, na sio siri nilikuwa nampenda pia kwa kiwango kikubwa sana, ila nilijisikia vibaya baada ya kugundua kuwa sio kweli alikuwa amebadilika kwa sababu anataka kumtumikia mungu, bali amebadilika kwa kuwa tu anataka kuwa na mimi, siwez kuwa na mwanaume wal hivyo, na mwisho umenikosea umenikosea sana amos, yaan mpaka najikuta sitaman kabisa kuwa karibu yako, umenikosea sana kwa kulazimisha kulala na mimi hali ya kuwa unajua kabisa mimi ni dada yako, na tofauti ya kuwa dada yako, mimi sijawah kulala na mwanaume kuanzia nimezaliwa, na unajua kabisa dhamira yangu ya kuapa kuwa sitakaa nilale na mwanaume kabla ya ndoa, umeivunja amos, umeivunja na umenifanya niwe naona aibu hata. kwa bwana wangu, nikaanza kulalamika….
Chapter 8
amos akawa ananisogelea akiwa kama anataka kunishika, nikamsukuma na kusema usiniguse kamwe, naomba usiniguse wewe mwanaume, na kuanzia leo naomba nisije kukuona karibu na mimi na karibu na maisha yangu, nikawa nalalamika na amos akaanza kunisogelea kwa lengo la kutaka kunibembeleza ila nilimtimua na kumuambia siku nyingine akinisogelea najiua na kesi ataibeba yeye, ikabidi aondoke…
Ila aliondoka akiwa na maumivu sana, akionesha kuwa alikuwa anaumia sana kuwa mbali na mimi, hata mimi nilikuwa naumia hivyo hivyo, ila ningefanya nini sasa na wakati tayar ameshakuwa ndugu yangu..
Basi alipoondoka akaenda tena bar, sijui alikuwa anataka pombe zimuuwe, nimekuja kupigiwa simu kama saa tatu usiku na wakati anaachana na mimi ilikuwa ni kama saa tatu au nne asubuh, alafu ameenda kunywa mpaka saa tatu usiku, na hapo katikati hakuwa amekula kitu chochote kile nikawa naamin kuwa ameshindia pombe kuanzia kwenye harusi mpaka siku hio, sikuwa nataka kwenda kumgfata, nikatoa taarifa kwa watu wa pale kwao, maana kulikuwa na mlinzi, akampigua ntu akamfata na mimi huku nikawa naandaa supu akija anywe, ila sikuwa najua hata atakunywa nn kuondoa wenge la pombe..
Kweli aliletwa akiwa anaburuzwa, alikuwa kakojoa hafai, yaan alikuwa kama zezeta, na anaonekana alikuwa analia balaa, basi sijui Yule mlinzi alimpa nn, pombe ikapungua kichwan, hapo tumemkalisha chini, nikamsogelea akaanza kutabasamu na kusema ” felister umekuja mamaa, naumia mamaa angu, nikatabasamu na kuanza kumlisha, akawa anakula huku ananiangalia, akanywa supu na chapatti tatu, nikampa na juice ya matunda juu nayo akaipiga kama hana akili nzuri, amemaliza nikamuweka kwenzi kisha nikamuambia nimekuhudumia kama mdogo wako wa kike usije ukawaza wazo lolote lile la kijinga, ety akawa anataka kunitishia kwa kutaka kujitapisha, nikamuangalia kisha nikacheka na kumuambia haya tapika babaa, najua chakula hakiwezi kuisha chote tumboni, kisha nikaondoka zangu na kwenda chumban kwangu na kujifungia mlango, kwa kuwa sikuwa namuamin sana amos, asije akanifanya tena kama alivyonifanyaga..
Baada ya amos kuona nampuuza akaondoka na kwenda kwenye danguro akawa anataka alale na wanawake wengi akiamin kufanya hivyo ni kunikomoa kumbe alikuwa anakomoa mashine yake, maana itaenda kusomba ya Uti na gono, na atapambana mwenyewe kutibu…..
Basi amos akanunua wanawake kama sita hivi, kama tunavyojua changudoa huwa wako kimaslai sana, yaan hata kama wakikuta wenzao kumi, kama unampa hela nay eye anaongezeka anakuwa wa kumi na moja, na hajali wala nini….. Basi akataka kulala nao wote, akawachukua na kuwapeleka chumban, ila amefika hata nguvu ya kuwagusa akaikosa, akaishia kuwapa hela, na alivyowapa hela wakataka sasa kumridhisha, akajikuta anawatimua kisha akawaambia hamna aibu nyinyi kwani hamjui kama nimeoa na nampenda sana mke wangu, embu tokeni, akawaangalia kwa hasira na kufoka mpaka kila mmoja akatafuta njia yake, nay eye akalala zake kitandani kwake kichwa chake kikiwa kinaangalia juu akiwa anatafakari hatma yake, na kila alipokuwa anafikiria sana hakuna mawazo yoyote yale ambayo yalikuwa yanakuja kichwan kwake Zaidi ya felister…
Chapter 9
Alishindwa kabisa kuwaza kuhusu wanawake wengine, akashindwa kupata usingizi, akaanza kujilazimisha kuwa na chuki akiamin kuwa kumuonesha kumchukia huenda ataweza kumchukia kweli fe lister, maana aliamin njia pekee ambayo inaweza kusababisha aache kumpenda sana kama ambavyo anampenda basi n I kumchukia, kumbe alikuwa anajidanganya na mapenzi huwa hayaondolewi kwa namna hio hata mara moja…
Basi akaanza kuwa ni mtu wa makundi, akawa anarudi nyumban asubuh, na hata kwenye kitu alichosomea hakuwah hata mara moja kutafuta ajira ilia je kuwa na familia, alikuwa kama mtu aliekata tamaa, akawa anatumia pesa kwa fujo, na pesa zenyewe ni za baba yake, baba yake alipoona mwanae anaelekea kumfilisi akafunga account zake zote za benk na kumtaka. akatafute kazi kisha ndio atumie pesa kama anavyotaka…
Amos akaanza kumtukana baba yake, kuwa anatumia pesa za urithi za mama yake, kula na mwanamke anaemchuna pamoja na mwanae, akawa hataki kwenda kufanya kazi, akaanza kukopa alafu madeni akawa anataka baba yake. ndio alipe, baba yake mwanzo akaanza kulipa madeni, ila baadae akaona ujinga sasa huu kumuendekeza mtu mzima mwenye akili zake timamu.
Siku moja tyumekaa nyumban, hapo ni baba na mama, maana niliamua kumuona kama baba yangu, maana alikuwa ana upendo sana kwangu, kwa sababu nilikuwa na tabia nzuri pia nina maadili mazuri sna, hivyo akanipa kipaumbele kuliko hata alivyompa amos, maana amos ni mtu wa fujo na kila siku huwa anaona kama anaonewa vile…
Basi akaja kudaiwa baba yake, kuwa amos amecheza kamari anatakiwa kwenda kufungwa au alipe laki tano za watu, baba yake akatabasamu kisha kwa sauti ya upole akasema sasa mnavyokuja kunidai mimi kwani mimi ndio niliekuwa nacheza hio kamari, embu nendeni mkamdai mtuhumiwa wenu, maana wakati ambapo mlikuwa mnecheza hamkuwaza kuwa huyu hana hela tumfukuze kabla hajaleta hasara..
lakin baba ataenda kukaa ndani, akasema mmoja wa watu waliokuja pale maana walikuja wawili..
” haya kamfungeni, akajibu kwa sauti ya upole kisha taratibu akaingia zake ndani..
Mama yangu akaanza kuona huruma, hakuona ni sawa amos kwenda ndani na wakati baba yake alikuwa ana pesa nyingi sana, akataka kutoa akiba yake ili aende akamlipie, ile mzee Gabriel akakataa na kusema kumuonesha mapenz mtoto sana sio kumpenda ni kumuharibu, ndio maana kuna muda hata sisi tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaadhibiwa, sio kwasababu sisi ni wakosaji sana, au sio kwakuwa labda tunaonewa sana, hapana, ni kwa sababu muda mwingine ni lazima usikie maumivu na uone namna kunavyouma ili siku nyinginen usirudie tena….
Maneno yale yakamnyamazisha mama yangu, ikabidi akae kimya tu, basi bana tunakuja kupigiwa simu kwel amos amewekwa ndani, baba yake hata hakujali, ila mama ndio akaanza kuhaha kuwa anataka atolewe, ila hakuwa anajua hata anaweza kutolewa vipi, maana ili kumtoa ni lazima pesa itolewe na baba yake kachukua card za mama kaendaq kuweka chini ya mto ambao huwa analalia kisha akalala zake, mama yangu akaanza kupigia simu watu wamkopeshe akamtoe mwanae ndani, ila Yule baba aliamka na kuchukua simu kisha akamuambia mama yangu kwa sauti ya ukali kidogo kuwa muache kwanza alale leo ataenda kutolewa baada ya siku mbili nikiwa nina uhakika atakuwa amejifunza hata kidogo……….
Chapter 10
Mama yangu ndio akabaki kuwa na wasiwasi ila baba yake hata hakuwa anajali, na kweli amos alilala ndani siku moja, kesho yake mama akaenda kumuwekea dhamana, ila hata hakumshukuru, akawa anamlalamikia kuwa amemroga baba yake mpaka hamjali na wakati alikuwa anamjali sana..
Mama yangu akawa kimya tu, maana ndio changamoto za watoto wa kambo, na hakutaka kuonekana mkosaji akaona jibu bora zaidi ni kukaa kimya, akaona anyamaze zake kama mzazi na kama mtu mzima pia, maana hawez kujibishana na kijana ambae ana uwezo wa kumzaa…
Amos akaingia ndani kuna kitu akachukua kisha akaondoka zake, sasa kuna muda mama akawa amenituma sokoni, nikiwa njian nikaanza kusikia sauti ya amos inasema” siamin kama naweza kuwa na dada mshamba kiasi hiki, yaan sijui hata wazaz wangu waliwaza nini kusababisha niwe na dada mshamba kiasi chote hiki, dada. ambae hajui kuvaa, kila siku ni neno la mungu tu, sio wa kusuka vizuri wala kuvaa akapendeza..
Hata sikujibu kitu nikapita zangu ila sio siri yale maneno yaliniumiza kupita kiasi, nilikuwa nampenda pia amos, na sikuwah kumuweka mwanaume mwingine yoyote Yule kwenye moyo wangu zaidi yake, alafu anakuja kuniongelea maneno ya shombo kiasi kile, kiukweli nilijisikia vibaya sana…
Yaan nimepita pale naenda sokoni ila akili yangu ikawa Inawaza namna ya kubadilisha muonekano wangu ili na mimi nionekane kama. mwanamke wa kisasa, ingawa nilikuwa najua fika amos ni kaka yangu, lla sijui kwa nini nilikuwa nataman sana kuvutiwa nae, yaan anione mrembo kama ambavyo alikuwa ananiona mrembo sana mwanzo…
Nimefika nyumban nikaanza kupika haraka haraka, na mara baada ya kupika nikaingia chumban nikawa nimejifungia natafakari yale maneno ya amos, kuwa mimi sivutii na mambo kama hayo, nikapata wazo la kuingia mitandaon, kweli nikaingia mtandaoni nikaanza kutafuta. namna ya kuonekana binti wa kisasa, nikaona kuwa natika kuvaa nipendeze, ninukie, niongee kwa sauti ya utulivu na mambo mengine….
Nilikuwa nina pesa zangu kidogvo nikaenda kununua nguo baadhi kisha nikanunua na manukato pamoja na kalipstic, maana nilitaka na mimi nionekane mwanamke wa mjini..
Bhasi kesho yake baba alitoka akaenda kazin, na mama yangu huwa hashindi nyumban, anaenda kwenye shughuli zake, nikaingia chumban kwangu, nikapiga kagauni flani kafupi mpaka kwenye magoti na viatu vyangu vya juu juu na lipstic uchwara kisha nikatoka, sasa wkaati natoka nashangaa nakutana na amos mlangon, aliponiona ni kama aliduwaa kwanza, kisha kwa sauti ya ukali akaanza kuniuliza unaenda wapi
naenda kukutana na mwanaume ambae tukielewana tunaweza kuanza taratibu za ndoa, nikajibu, ingawa sikuwa hata na mtu ambaeb naenda kukutana nae, nilikuwa nataman amos anione mzuri tu..
Akakaa kimya kwa kama dakika moja, kisha kwa sauti ya ukali akasema ” hamna kwenda.. “wewe vipi kwani mimi nimeshawah kukuambia kuwa usiende mahali, kwani nimekuwa mkeo mpaka unikataze kwenda ninapopataka, nikajibu kwa kujiamin nikashangaa anashusha pumzi kisha akanambia” sawa naomba nikupeleke..
“sitaki, nikajibu kwa kujiamin…
Akacheka kwa dharau kisha akanambia utachaguwa moja nikupeleke au ukae ndani utachaguwa moja
INAENDELEA

