BIKRA TAMU, DADA NAKUOA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 1
Ilikuwa ni mwaka elfu mbili na kumi na nane, mwaka ambao nilikuwa chuo mwaka wa pili, alikuja kijana mmoja kuamia kwenye chuo ambacho nasoma, alikuwa amekaa kihuni sana, kiasi kwamba alikuwa anavuta bangi au ni mraibu wa kilevi Fulani….
Siku moja tulikuwa tumeenda kwenye group discussion kumbe nay eye aliupangiwa kwenye group langu, akaja akawa ananiangalia sana,simsankujal sana maana sisi watoto wa kike tumeshazoea kuona watu wanatushangaa sana, hivyo hata yeye kunishangaa halikuwa jambo la ajabu sana kwangu, hivyo nilichukulia kama ni kitu cha kawaida tu…
Tumekuja kutoka kwenye discussion kama saa nne na madakika yake usiku, kama tunavyojua discussion za chuo, sasa nilikuwa nasoma Udom, kwenye college ya informatics, wakati huo nilikuwa nakaa block namba mbili, ghrofa ya pili, sasa ile napanda kwenye ngazi, nikashangaa mtu ananivuta kisha akaanza kunikiss, sasa wakati ambapo tulikuwa tunatoka discussion umeme ulikatika chuo kizima hivyo kukawa giza, na tukawa tunaenda kwenye vumba vyetu kwa msaada wa tochi za simu tu…
Sikujua nilishikwa saa ngapi, nikaanza kupewa busu mwanana, na hapo simu yangu ilikuwa imeshikiliwa kwa maana ule mwanga wa tochi ya simu haukuwa unaonekana kabisa, akanikiss kisha akaanza kunichezea sehemu mbali mbali za mwili wangu….
Nilipata msisimko wa ajabu sana, maana kwanza ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kushikwa vile kuanzia nazaliwa, kwa sababu nililelewa na single mama, ambae alikuwa hataman kabisa kuona napotea, na alikuwa anapambana sana kuhakikisha kuwa nakuwa bora sana, na kunipeleka shule ya seminary, yaan nilisoma shule ya wasichana tupu mpaka kidato cha tano na cha sita, na nilikuwa kila siku napewa usia wa namna ya kujilinda na kujitunza, yaan hata kwa bahati mbaya nikimchekea mwanaume mama akajua basi siku hio sina bahati, ni nitasemwa kuanzia asubuh mpaka jion kama tunavyojua namna ambavyo mama zetu wa Kiswahili walivyo…
Basi ikanipelekea kuwa muoga sana kwa wanaume, na baba yangu mimi alifariki nikiwa mdogo sana, na kupelekea mama yangu kutotaman kabisa kuolewa, alikuwa mzuri na alikuwa anamwili wa kisichana, hata ukiambiwa kuwa ana mtoto kama mimi unaweza usiamin kabisa, kwa namna alivyo, na namna anavyojiweka….
Basi ule mshiko nilieshikwa na mtu asie julikana ukawa unanisisimua mpaka nikaanza kuona kama naanza kupumua kwa shida, na nikaanza kuhema upesi, nikashangaa ndio anazidi kunipapasa, mara ghafla tukasikia mtu anakuja, maana tulisikia sauti ya viatu, Yule mtu alipotea kwa dakika za kuhesabu, yaan hata sikuelewa amepotelea wapi, maana hata nilipokuwa namfuata sikumona amekatiza wapi..
Ila wakati namalizia kupanda ngazi umeme ukarudi, nikawa natembea taratibu kuelekea kwenye chumba ambacho nilikuwa nakaa, nikashangaa napishana na Yule muhuni mpya ambae alikuwa kwenye group letu, tulipokutana uso kwa uso, akatabasamu, kisha akanipita na nilipokuwa nimegeuka, maana akili yangu ilinambia kuwa natakiwa kugeuka kumuangalia, nikamuona ananiangalia huku anatabasamu, nikashangaa ana nini huyu, ila sikumfatiliza sana, nikaingia zangu chumban kwangu kisha nikaendelea na maisha yangu….
Basi siku hio nililala kwa tabu sana, nikaogopa hata kuwasimulia wale wenzangu ambao huwa nalala nao, maana niliona kama ni kitu cha aibu, na jambo lingine nilihisi kama nilikutana na jinni, maana haiwezekani nisimuone amekatisha wapi…
Chapter 2
Ila kila ambavyo nilikuwa nafumba macho, ule msisimko ukawa unakuja kuchwan na mwili ukawa unasisimka balaa, yaan mpaka nikajikuta nashindwa kabisa kulala siku hio, kiufupi sikulala kabisa mpaka asubuh..
Basi nimekuja kutoka kitandani asubuh, maana sikulala, ndio maana sijasema kuwa nikaamka, mtu anae amka ni Yule ambae alikuwa amelala, sasa,mimi sikuwa nimelala hivyo nikakurupuka na kwenda bafuni, ila napo hali haikuwa hali, yaan najimwagia maji, nahisi ile miguso kama inafanya utalii kwenye mwili wangu, yaan siku hio nilikaa bafuni kwa karibu nusu saa, na nilikuwa nina kipindi saa mbili kamili, mpaka watu wakajua nina shida kumbe ni mahisia yananisumbua, maana wananijua mzee wa chap chap, yaan naweza kuingia bafuni, ukawa umetema mate, ila hata kabla hayajafika chini yale mate mimi nimeshatoka bafuni, mpaka pale hostel wakanitungia jina la voda faster ila siku hio nililaa nusu saa nzima kitu ambacho sio cha kawaida kabisa, na kila mtu anajua kuwa sio kawaida yangu mimi kukaa bafuni muda wote huo…
Yaan natoka kila mtu ananishangaa, nikawa nacheka cheka na kuona aibu, basi nikawapita na kwenda kuvaa, nakuja kuangalia saa ilikuwa saa moja na dakika arobain, nilitoka mbio, maana niklikuwa nachelewa pindi, na huyo mkufunzi wa siku hio alikuwa wa moto balaa, yaan ukichelewa hata sekunde anakufukuza na siku anayokufukuza lazima atoe test…
Basi mie huyo nduki, nashkuru mungu nilimpita mkufunzi, maana ndio alikuwa anaelekea kwenye chumba cha kufundishia, na kumuwah kwa dakika chache sana, na nikafika nikaa kiti cha mbele kabisa, maana kwanza nilikuwa nimechoka na nina hema kana kwamba nakaribia kufika kileleleni, na kweli wale waliokuja nyuma yake aliwafukuza mimi kunusurika ni kama mungu tu…
Sasa nikiwa zangu pale nimekaa sina hili wala lile, mara namuona Yule muhuni amekuja nilipo, alikuwa amevaa tofauti mpaka nikamshangaa, alikuwa amenyoa nywele za kawaida, na amevaa shart na suruali ya kitambaa, akawa yupo kama muimba kwaya wa kilokole, alafu akafika karibu yangu akakaa na kunisalimia mambo mrembo…
Nikabaki nimetoa macho kama fundi saa, maana kwanza alikuwa ni kauzu zaidi ya dagaa. wakati anafika, alafu ghafla anakuja kunisalimia na tabasamu kabisa, nikaona mchezo huo…. Nikabaki nimeduwaa namshangaa maana sikuwa nategemea kabisa kama anaweza kuwa vile ghafla namna ile, akaona kabisa ninavyomshangaa, nikashangaa anaanza kunihubiria kwa kusema “TIMOTHEO 2;21 basi mtu akijitakaza na kujitenga na hao, atakuwa chombo cha heshima kilichotakaswa, kimfraacho bwana kimetengenezwa kwa kila kazi njema…
“hii inamaana kuwa kwa kujitenga na dhambi. basi mtu anaweza kutumika na mungu kwa kazi njema, akaendelea kusema, yaan ndio akazidi kunishangaza, maana sikuwa nategemea kabisa kama hata mistari ya bibilia anaijua, nikakaa kimya sikutaka kubishana nae wala kuongea nae, ujana ni muda mfupi sana, hivyo muda wowote ule tunaruhusiwa kuacha anasa na kurudi kumtumikia bwana….
Yaan nilibaki nashangaa, kila kitu kilichokuwa kinatokea pale kilikuwa kama ndoto, yaan mwanaume muhuni sana, na kuanzia wakati anafika kila mtu alimjua kutokana na tabisa zake, namna anavyofanya mambo yake, ila ghafla tu, tena ndani ya usiku mmoja anakuwa kijana mtakatifu mwenye kumtumikia bwana, nikaona sasa hichi kizaa zaa, ila sikutaka kuonesha kushangaa sana, na nikaanza kuzingatia anachofundisha mkufunzi, kwakuwa alishaanza kufundisha, ila Yule kijana akawa ananiangalia sana, mpaka nikajikuta naanza kuona aibu sana kwa namna alivyokuwa ananitazama…
Basi kipindi kikaisha nikawa nasimama kwa lengo la kuondoka, akaniita felister.. abeee, nikaitikia kwa upole maana kikawaida mimi sio muongea ji sana..
kama hauta jali naomba niwe rafiki yako, akasema na nikatabasamu kisha nikajibu ” kama ni ukaribu wa kawaida hakuna tatizo, tunaweza kuwa marafiki tu usijali, nikajibu na akaomba kuongozana na mimi kwenye sehemu ya kuchukulia chakula, maarufu kama canteen, nikakubali na tukaanza kwenda, akawa kama. anajizuia kunishika, nikajisogeza mbali kidogo, karna kawaida ya machurch girl namna tulivyo waoga ndivyo ilivyokuwa kwa upande wangu….
Chapter 3
Basi tukaenda sehemu ya kula, nikaagiza zangu ugali na nyama choma, kiukweli mimi huwa napenda sana ugali kana kwanba nilikuwa msukuma, yaan hauwezi ukanitoa out alafu uanze kuninunulia ma chakula yako yaan nakulaga ugali tu, ila wali huwa hata sijisumbuag kabisa kuagiza maana najua kabisa sio vitu vyangu…….
Basi tumemaliza kula, akataka tukafanye maombi, nikashangaa maombi ya nini tena, akaniangalia kwa sekunde kadhaa kana kwamba alikuwa anafikiria cha kunambia, ndipo akaanza kuongea kwa huzuni sana, kuwa ” familia yangu inapitia mambo mengi sana magumu, yaan leo kuanzia nimeamka sina raha kabisa mamaa, kama hautajal na kama sitokukwaza wala kukuchosha, naomba sana tukafanye maombi pamoja na mimi..
Sikukataa na kwa namna alivyokuwa anaongea kwa uchungu sana, nikaanza kumuonea huruma, tukaenda mpaka kwenye chumba kimoja, ambacho kilikuwa kimeandaliwa kwa sababu ya maombi, tukaanza kufanya maombi, tukafanya maombi weee, kumbe mimi nimefunga macho mwenzangu ananiangalia kwa hisia sana, hapo mimi sijui na sio kweli kwamba alikuwa anataka kufanya maombi ila alikuwa anataka kuendelea kukaa na mimi karibu…
Basi binti wa watu nikawa nimekazana kuomba kumbe mwamba ananiangalia tu, anaanza kuniwazia ujinga hapo sina ninachojua, nikaomban wee, yeye akawa anaitikia tu ameen, hajafunga macho wala nini, ni ananiangalia huku anatabasamu, kana kwamba ameona kitu kizuri na chenye thamani sana kwenye macho yake, na kilichokuwa kinampa mvuto na msisimko wa kipekee sana…
Nimemaliza kuomba nikawa nafungua macho, ni kama alijua, akafunga macho na akaanza kujifanya anaomba kimya kimya kwa uchungu kumbe hana lolote, akawa anaomba hamalizi, kumbe hakuwa anataka niondoke pemben yake, anataka tukae karibu muda wote, nikaja kugundua hilo baadae sana….
Basi wakati namuaga nikaona kama anataka kunizuia, ila akajizuia akaniambia kuwa atakuwa ananiamsha asubuh twende tukafanye morning glory, nikaanza kuona mtu si ndio huyu, na hata namba ya simu hakuniomba, yaan nikasahau kabisa kuhusu uhuni ambao alifika nao chuo, na namna alivyokuwa mwanzo, na nilichokuwa nakiwaza tu wakati ule ni kupata rafiki ambae alikuwa anaonekana kama ana hofu ya mungu…
Basi nilijua utani, kwenye majira ya saa kumi na moja kasoro, nikasikia mlango unagongwa, nikawa nawaza ni nani huyo ambae alikuwa anatuamsha mapema yote hio, nikatoka nikiwa hata sijavaa vizuri, kwenda kuangalia ni Yule kijana alinambia kuwa anaitwa Amosi, nikarudi ndanio haraka haraka, ila kitendo cha kuniona mimi nipo kwenye hali ile, kilimpa msisimko wa ajabu, na alikuwa na mawazo ya kijinga, maana aliishi maisha yua kihuni sana, akawa anawaza aingie ndani anipapase, na kunipa mabusu motomoto, Ila akakumbuka kuwa nimeshamuona kwenye taswira tofauti anatakiwa asibadilishe mtazamo ambao ametumia nguvu kubwa kuutengeneza kwangu..
Kweli nikatoka mpaka alipo na tukaenda kwenye maombi ya asubuh, sasa wakati tunaomba tulikuwa kama wanachuo kumi hivi, nikashangaa amenishika mikono yangu miwili, kwa kuwa nilikuwa nimeikutanisha pamoja na nimeiweka mbele ya kifua changu, akaishika nikashtuka na kufumbua macho ila yeye alikuwa zake busy kuomba kana kwamba hana habari kabisa…
Basi tukaomba mwisho akataka tukanyuwe chai, kweli tukaenda na alikuwa anaonekana kunijali sana, na hakuwah kunionesha jambo lolote lile la ajabu, alikuwa ananiheshimu sana, na anaheshimu mno maamuzi yangu, anapambana na kile ambacho kinaniusumbua, ananiwekea ulinzi ninao uona na nisio ujua, anaenda kila mahali na mimi, ingawa alikuwa ananitambulisha kama dada yake, au muda.
Chapter 4
Tukawa tunasoma pamoja, tunaenda kusali pamoja, tunakula pamoja, tukawa watu wakaribu sana mpaka nikajikuta na mimi naanza kumpenda sana, maana alikuwa na vigezo vyote ambavyo nilikuwa nataman sana mwanaume wa ndoto zangu ndio awe navyo….
Maisha yakawa yanaendelea kama kawaida, kila nilichokitaka alinipa, akanipa mpaka na zaidi ya ninavyovitaka, ila kipindi chote hicho hakuwah kunambia jambo lolote lile linalohusiana na mapenzi au yeye kunitaka mimi, na heshima kati yetu ilikuwepo, na nikawa nampenda sasa, mpaka nikawa nataman anitongoze ila hakuwah hata kwa bahati mbaya kunitamkia neno lolote lile la ajabu zaidi ya maneno ya bwana, kana kwamba alikuwa amemeza bibilia, kwa namna alivyokuwa ameishika na kuikariri bibilia nzima…..
Muda ukaenda na hatimae tukawa marafiki wa karibu sana, akawa ananichunga sana kutokana na wanaume ambao walikuwa wananitamani, ingawa alikuwa ananiita rafiki lakin moyoni mwangu nilimchukulia kama mpenzi, maana nilikuwa nikimuona amesimama na mwanamke mwimgine, basi moyo wangu ni utaniuma balaa, nikimpigia nikikuta anatumika naumia, nikimpigia asipopokea naumia, na nilikuwa nataka maelezo kutoka kwake, kwanini anatumika muda mrefu, au kwanini hapokel simu zangu, ila mar azote alikuwa ananijibu kwa upole na busara ya hali ya juu, mpaka nikawa najiona sasa nimekutana na mwanaume na nusu kwenye maisha yangu…
Basi siku zikaenda na hatimae siku ya mahafali ya kumaliza masomo ya chuo kikuu ikafika, mama yangu akaja na baba yake na amos nae akaja, kwanza ni amos hakuwah kurudi kwao hata mara moja, kwa maana hata vipindi vya likizo alikuwa ananiambia anakaa mji ambao mimi naishi, kwa sababu mimi nilikuwa naishi morogoro, kumbe kwao ni dar, na hakuwah kwenda dar hata mara moja, na baba yake alipomuona alishangaa sana, maana nahisi kuna namna anajua mwanae yupo, ila akawa anajiambia kuwa watu wanabadilika huenda amebadilika, maana kwanza alikuwa anao ekana kama kijana mmoja mstaarabu na mcha mungu sana…
Ila kuna jambo lilitushangaza sote mimi pamoja na amosi ni namna wazazi wetu walivyokuwa karibu, inaonekana kama walikuwa wanajuana kabla hata ya kuja kwenye mahafali yetu, hatukujali sana, maana wale ni watu wazima na kila mtu anaruhusiwa kufanya maamuzi yake, na kukutana na watu ambao anataka kukutana nao bila kupangiwa wala kuingiliwa kimaamuzi na mtu yoyote Yule…
Basi maafali yalipoisha mama yangu akanifata kisha akanambia kuwa nimepata mchumba mwanangu, na nilikuwa nasubiria wewe umalize chuo ndio tuoane, hivyo tutakaporudi tu nyumban tutafunga ndoa na wewe ukiwepo, na ameniambia nay eye ana mtoto wa kiume marika kama ya kwako, hivyo naomba umpende na kumuheshimu sana ndugu yako, maana tunaenda kuwa familia…
Zile taarifa zilinifurahisha sana, nikawa. namuombea mama kwa mungu kuwa huyo mwanaume ampende na amjali, na amfanye kuwa mwanamke wa bahati na mwenye thamani sana duniani mpaka kesho mbinguni, yaan kifo kisiwatenganishe bali wakutane tena minguni kama waja wema….
Kweli baada ya mahafali tukarudi nyumban, na mama akanambia kuwa tutaenda kuishi dar es salam na familia mpya, nikakubali, kweli tukaanza safari ya kwenda dar, tumefika tukakuta shughuli imeshaandaliwa na kesho yake ndio ikawa ndoa, ila kuna muda nikamuona mtu kama amos ila nikahisi sijamuona vizr, maana tulikuwa tunawasiliana na alinambia. kuwa yupo morogoro, na baada ya siku tatu atakuja tuonane, nikamuamia…
Siku ya ndoa tupo kanisani, mimi nikaingia na mama yangu kanisani, na amos yeye alikuwa amekaa tu, ila aliponiona kuna namna alishtuka sana, kwamba mama yangu mimi ndio alikuwa anaolewa na baba yake, na sisi watoto tulikuwa tumeshapendana licha ya kutoambiana ukweli wa moyo na hisia zetu….
Chapter 5
Na Yule baba alikuwa ndio baba yake amos Yule ambae nilimuona kwenye mahafali yetu, nikamuona amos kama anamesimama kisha akakaa akaanza kujiinamia, akainama kwa dakika kadhaa mpaka pale padre aliposema kuwa” kuna yoyote Yule mwenye pingamizi….
Akasimama kisha akasema mimi, kisha akaosgeea mbele na kushikilia mic na kuanza kusema mimi ni mtoto wa pekee wa Gabriel ambae anafunga ndoa leo hii, napinga ndoa ya baba yangu kwa sababu zifuatazo, kwanza baba yangu na mama yangu walichuma mali nyingi na asilimia kubwa ya mali zilikuwa ni za marehemu mama yangu, na mama kabla hajafariki alinambia kuwa nilinde vitu vyake vya thamani, ila naona kabisa baba akioa anaenda kuuharibu urithi wote wa mama yangu kwa kuoa mwanamke maskin tena ambae anaolewa nae kwa sababu ya mali na sio mapenzi ya kweli, kwa sababu siamin kama kuna mapenzi ya uzeen kiasi hiki, akasema amos, sio siri nilijisikia vibaya sana kisha na mimi nikaanza kuongea sana..
“kwa hio sisi ni wachunaji si ndio, naomba hayo matusi yako peleka sehemu nyingine ila usiyalete kwa mama yangu kijana, namjua mama yangu, hakuwah kuwa na tamaa na kitu cha mtu kuanzia nazaliwa najua hilo na mtu yoyote Yule ambae anamfahamu vzr mama yangu anaweza pia kulithibitisha hilo, nikaanza kumtetea mama ila baba yake amos akaingilia, anaetambulika kwa jina la mzee Gabriel na kusema unaruhusiwa kulinda urithi wa mama yako hata kama mimi nitaoa, kama una sababu nyingine inayokupelekea upinge ndoa yangu iseme ila hio nadhan haina mashiko, kisha akamgeukia mchjungaji na kusema ” naomba uendeleze ibada ya ndoa…
Amos aliondoka akiwa amekasirika muda ule ule, sijui hata alienda wapi, basi sherehe ikapita moyo ukawa unaniuma sana kupita kiasi, kwa sababu hata mimi nilikuwa nampenda sana amos, na ndio mwanaume wa kwanza kwenye maisha yangu ambae amepata bahati ya kuingia. ndani ya moyo wangu, alafu ghafla amos anakuja kugundulika kuwa ni kaka yangu, inaumiza sana…
Amos kumbe alienda zake baa akaanza kunywa pombe, kuanzia amekutana na mimi hakuwah kutumia kilevi chochote kile, ila siku hio alienda bar kumalizia hasira zake, maana moyo ulikuwa unamuuma kuliko kawaida, akanywa wee mpaka basi, na baba yake amos, pamoja na mama yangu wakaenda zao fungate hotelini, na mimi nikabaki pekee yangu kwenye nyumba ya kina amos, ilikuwa ni nyumba ya kifahari sana, ukilinganisha na nilipotoka mimi na mama yangu, nikapewa chumba kimoja, ambacho niliambiwa nitakuwa nakaa hapo na kitakuwa chumba changu…
Nikaingia chumban nikajifungia nakuanza kulia, sio siri moyo ulikuwa unaniuma sana, moyo ulikuwa unaniuma kupita kiasi, maana mwanaume ambae nilikuwa nampenda sana, na bado nampenda ety hawez tena kuwa wangu…………
Nimekaa kwenye majira ya saa saba kasoro, nikaanza kusikia vurugu, ilikuwa ni sauti ya amos ikisema felister upo wapi felister, nikatoka chumban, ile natoka kumbe alikuwa tayari pemben ya mlango wa chumba ambacho nilikuwa, akanisukuma ndani na kufunga mlango na kusema ” felister lazima ubebe mimba yangu, akasema akiwa anavua zake nguo nikashangaa naona mtalimbo wake una nesa nesa, akanifata mpaka nilipo kisha akasema hawajui kama nakupenda sana hao, wangejua hata wasingeoana, nikashangaa anaanza kunishika ki namna flani hivi, kwa namna ambavyo alikuwa ananibusu na kunishika nikaanza kuupata ule msisimko kama ambao niliupata ile siku chuoni nilipokuwa nimetoka discussion wa mtu asiejulikana, akanilaza kitandani kisha akaanza kunishughulikia huku akisema ohhhhh bikra yako tamu, ooohhhh shiit sikuwa najua kama bikra ndio tamu hivi felister, nikawa naumia, akawa ananifuta machozi kisha akasema ” usilie mamaaa, mimi ni mumeo natakiwa kukytoa
INAENDELEA


4 Comments
Hii page nimeona leo, Ahsee! Mbarikiwe_ mnatoa Stress.👍👍🆙
ww lewo ndoumeona
ww Leo ndiyo umeona
Quality articles is the crucoal to invite the users too visit
the web page, that’s what this website is providing.