HATA AKILA MKE WANGU, ATAKULA NA MWANANGU Wakati naoa nilikua sina kitu kabisa, ndiyo nilikua nimemaliza chuo na nina ajira lakini mshahaara ulikua mdogo sana, nilioa kwakua umri umeenda na niliona nitachelewa. Mke wangu alikua na vibiasHara vidogo vidogo lakini tulisaidiana, ni kama ndoa iliniletea baraka kwani baada ya miezi mwaka mmoja tu niliitwa kazini kwenye usahili ambao niliufanya miezi sita kabla, nilishakata tamaa ya kupata kazi. Ni taasisi ya kimataifa, mshahara wa kuanzia ulikua milioni tano, nilikua kama kichaa, yaani kutoka mshahara wa laki mbili mpaka milioni tano sikuamini. Nilianza kujenga nyumba yangu, nikawajengea na wazazi wangu na miaka…
Author: Raha Special
NILIMKIMBIA KISA DUDE KUBWA Makubwa……… AKANIULIZA nitakunywa nini? nikajibu kwa mapoozi “soooda” huku narembua macho kwa utaratibu akauliza tena soda gani, nami kwa mapozi zaidi “soooda fanta PENSHENI” Nilimjibu kwa mapozi…. Kistaarabu akaitikia, “ok fanta PASSION? poa,. Nikatoa simu yangu na kuanza kuminya minya. waliponiletea soda kwa ubishoo nikauliza “mbona MLIJA hamjaniwekea?, Nilimuuliza yule mudumu huku nambenulia midomo…., Dada mhudumu akaniletea, nikaanza kufyonza “pryuuuuuuuuuuu” Yule kaka akatazama kama majirani wamesikia, Akawa kama anaona aibu. Nikaendelea na yangu. Baadae akanaiuliza “ naomba sasa tuongee vizuri, nikitaka kulala na wewe usiku mzima nikupe shilingi ngapi?”, Aliongea huku akiwa kama ana aibu…., Nikajua…
AAH…SHEMEJI…AACHA – FULL STORY (1 – 5) Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: AAH…SHEMEJI…AACHA 1 AAH…SHEMEJI…AACHA 2 AAH…SHEMEJI…AACHA 3 AAH…SHEMEJI…AACHA 4 AAH…SHEMEJI…AACHA 5
AAH…SHEMEJI…AACHA Sehemu Ya 05 AISHA alimpigia simu shemejiye akamweleza kisha kumtaka aende akamchukue. Bw. Abdul aliingiwa na woga aliwaza kuwa pengine watu wote walishagundua uhusiano wake na Aisha hivyo alimtaka Aisha achukue teksi na kuelekea mahali ambapo yeye atakuwepo. Aisha baada kupaki mizigo yake yote alifanya kama alivyoagizwa. Muda mchache Aisha alifika pale na kukuta Bw. Abdul amepaki gari lake. Bw. Abdul alitoka ndani ya gari, wakasalimiana na Aisha kisha akamlipa yule dereva pesa alizokuwa akidai, walipakiza mizigo kisha nao wakaingia ndani ya gari. Aisha alikuwa akibubujikwa na machozi aliwaza jinsi atakavyomkabili dada yake. Bw.Abdul alimsihi Aisha aache kulia kisha…
AAH..SHEMEJI…AACHA… Sehemu Ya 04 TULIPOISHIA BAADA ya mwaka mmoja kupita. Ilikuwa imebaki takriban miezi mitatu ili Aisha aweze kuhitimu masomo yake lakini haikuwa rahisi kumaliza. “Haloo!” Ilisikika sauti ya Aisha ikitoka kwa unyonge akimpigia simu shemejiye. “Haloo!Mpenzi mzima wewe?” “Mimi ni mzima wa afya lakini mwingi wa mawazo.” “Mwingi wa mawazo ?Mawazo gani tena dear mbona unanishtua?Hebu nieleze.” “Mimi sizioni siku zangu, hivyo inanipa wasiwasi.” “Sasa wewe unafikiri ni nini?” “Ninajihisi kuwa ni mjamzito.” “Mjamzito, nani kakupa?” “Heee!Shemeji umeshaanza kunikana mapema yote hii?” “Hapana dear ila sikutegemea kutokea kitu kama hicho. Basi itabidi Jumapili nikija twende hospitali ili tupate uhakika…
AAH..SHEMEJI AACHA Sehemu ya 3 “AENDE zake huko kama haupo wenzio wala,nami ntazoea taratibu ye amewezaje mpaka mi nishindwe. Waswahili wanasema hakuna cha peke yako hususan hapa mjini. “Ukitaka kuhakikisha kama umeshaanza kuzoea turudie tena utagundua kuwa makelele uliyokuwa ukipiga mwanzo hayatakuwapo tena.” “Hee!Shida ya kunigeuza kizazi, hapa nilipo miguu haina ushirikiano.” “Nakutania tu dear.” Bw. Abdul aliingiza mkono ndani ya suruali yake aliyoivaa na kutoa kitita cha laki mbili kisha akamkabidhi Aisha. “Asante sana mpenzi.” Aisha alisema kwa furaha baada ya kukabidhiwa fedha. Walikumbatiana na kukubaliana kukutana siku nyingine. ****** Ilikuwa ni siku ya Jumatatu tulivu majira ya saa…
AAH…SHEMEJI..AACHA… Sehemu Ya 02 NAYE Aisha hakuwa mbumbumbu, akaupenyeza mkono wake hadi sehemu fulani mwilini mwa Abdul na kushika kile alichotaka kukishika. Akamtomasa kwa mapozi, kiganja chake laini kikizidi kumchanganya Abdul na kumwongezea mhemuko. Hakika Bw. Abdul alipagawa sana hadi kufikia hatua ya kutaka kuvunja amri ya sita ndani ya gari. “Aisha uvumilivu umenishinda mpenzi, tufanye basi hata kidogo,” Abdul alisema kwa tabu, akizidi kumvuta Aisha na kumkumbatia. Aisha hakuona kuwa ni ustaarabu kufanya mapenzi ndani ya gari hivyo alimshauri shemejiye kuwa wapange siku nyingine ya kufanya maangamizi kunako sita kwa sita. Kwa kuwa muda ulikuwa umeenda sana hivyo wote…
AAA…SHEMEJI..AACHA.. Sehemu Ya 01 AISHA alijiona kama mtu mwenye bahati kwa kutongozwa na shemejiye. Aliwaza endapo akimkubalia au asimkubalie kwa kuona kuwa ni shemeji yake. Alifikiria sana juu ya utajiri wa shemeji yake na hali aliyonayo yeye . “Endapo nikikubali dada akigundua itakuwaje?” aah!! Lakini si amenitongoza mwenyewe,siwezi kupiga teke fuko la pesa… Potelea mbali.” Siku iliyofuata Aisha alikutana na rafiki yake aliyeitwa Anita. Aisha alimsimulia Anita kuhusu shemejiye. “Shoga basi ngoja nikupe mkanda”. “Hapo ndipo ninapokupendea tukikutana baraza huchangamka kwa stori, haya shoga hebu nipe huo mkanda”. “Jana usiku wakati tunakula,dada aliwahi kushiba akaenda zake kulala, sebuleni tukabaki mimi…
DADA VUA BANAH.. Sehemu Ya 16 ……….ilipoishia Wakati baba na mama walikuwa wakiagana kwa kupeana mautamu vitu urojo urojo. Huku sule huku sule mambo yalikuwa magumu balaa. Lakini alipomuona Shangazi yake na helena alishtuka sana kwani alitokea ghafla tuu.Hali hiyo ilimpa mashaka sana Sule. Wakati anaduwaa alishangaa kuona shangazi anawazuia wale wanyama ambao ni kina Helena. Shangazi aliongea kwa sauti ya kutisha”Tabia yako ndio imekusababisha uko hukuuuu!!! na ulivyo na tamaa ulitaka kuzini na dada zako mbwa wewe…… Shangazi aliwakamata kina Helena kwa kitambaa cheupe na kuwazuia wasimdhuru Kijana sule. Sule hakuamini kama mpaka dakika hiyo yuko mzima kwani alishaamini…
DADA VUA BWANAH Sehemu Ya 13 ……….ilipoishia Huku kwa kina Helena tayari Lucy alisharejea katika hali yake ya kibinadamu na wakati huohuo Sule alionekana anaondoka. Kwa kuwa helena alikuwa amepewa kazi ya kumzuia sule asiondoke bila kunywa kinywaji kile alichopewa na Shangazi,Basi alimfuata sule akiwa na kile kinywaji kujaribu kama hilo litawezekana….. Endelea…… NAOMBA LIKE YAKO MTU WANGU ILI TUENDELEE CHAP …. Basi Helena aliutumia tena usichana wake kumshawishi Sule anywe kinywaji kile. Basi helena alimfuata sule mpaka alipo kisha akamwambia” sule naomba unisamehe mimi pamoja na shangazi yangu, Na pia shangazi kasema haina haja ya wewe kuondoka kwani umeshakuwa…
DADA VUA BANAH Sehemu Ya 10/11 ……..ilipoishia Tukirudi huku walipokuwa Lucy na Sule mambo yalikuwa tete. Lucy alimuingiza Sule kwenye chumba wanacholala na Shangazi yao. Sule alijikuta anamsikiliza Lucy kile anachokiongea na hapingi hata kidogo. Sule alipoingia pale alimwambia Lucy”Lakini Lucy mi naona sio vyema mimi na wewe kuwa humu ndani tufanye utaratibu mwingine lakini sio humu ndani. Lucy alifikiria sana akagundua anachokisema Sule ni kweli kabisa,Basi Lucy alimwambia”Sawa ni vizuri pia ila huku hakuna sehem nyingine zaidi ya kuingia vichakani”…… Sule alimjibu haraka haraka”Hakuna shida hata huko huko poa tuu”. Wakati huo giza lilizidi kutanda ilikuwa ni mishale ya…
DADA VUA BANAH.. Sehemu Ya 07 TOLEO LILILOPITA,. Ulikuwa utani mara utani ukazaliana kupelekea watu kushindwa kuzuia hisia zao,Sule alijisemea kimoyo moyo “Yaani kitu namfanyia huyu hatokaa anisahau” Sule alifungua zipu ya Helena wakati huo Helena alimpa Sule uhuru afanye anachotaka,Basi zipu ilifunguka huku taaratibu Sule aliuzamisha mkono mule ndani. Aiupitisha mkono wake pale juu ya chitumbua huku akimeza mate kwani kitumbua kilikuwa kimepikika haswaa. Basi Helena naye aliamua kujipimia ili ajue kama ni kibamia au laa!!,Basi kwa utaratiiibu Helena alianza kupapasa pale juu ya suruali kisha akaanza kuufungua mkanda wa Sule. Songa nayo…. DONDOSHA LIKE SASA ACHA UCHOYO… SHARE…
DADA VUA BWANAH Sehemu Ya 04 ENDELEA,. Lakini wakati wanatoka Shangazi alionekana akiendelea na shughuli zake za kuhudumia mifugo,Macho ya shangazi yaliashiria kuwa kuna kitu ndani ya nafsi yake eidha hajapenda ujio wa kijana huyu au anamjua kwa namna moja au nyingine. Je kuna uhusiano gani baina ya huyu kijana na Bibi huyu???…. Sule alimwambia Helena”Madam Hellen nimeacha kibegi changu pale kwani kuna shida??”…….. “Bright usiwe na shaka hakuna shida”. Huku nyuma shangazi alimfuata Lucy na kumwambia “Hivi nyie watoto mnataka kunipanda kichwani si ndio!!?, Kwa nini mnapokea watu msiowajua mnajuahuyu ni nani?? Siku moja mtapokea mashetani ndio mkome maumbwa…
DADA VUA BWANAH.. Sehemu Ya 01 Simulizi yetu inaanzia katika jumba moja la familia ya mzee maarufu sana hapa mjini KWETU ARUSHA, Kama unavyojua katika familia nyingi wazazi hufikia mahali kuwagawia watoto wao baadhi ya mali ili waanze kujitegemea katika maisha yao. Basi leo katika familia ya Mzee Nassor ilikuwa ni siku rasmi kwa ajili ya mgao wa baadhi ya mali kwa watoto wao. Kiukweli mzee Nassor alikuwa na mali nyingi sana. Basi siku ya leo Mzee aliwaita wanae woote kisha akawaketisha chini na kuwaambia “WANANGU LEO NIMEWAITA HAPA ILI NIWEZE KUONGEA NANYI MANENO MACHACHE KABLA YA KUFANYA TUKIO KUBWA…
LOOH DADA MARTHA – FULL STORY (1 – 27) Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: LOOH DADA MARTHA 1 – 5 LOOH DADA MARTHA 6 – 10 LOOH DADA MARTHA 11 – 15 LOOH DADA MARTHA 16 – 20 LOOH DADA MARTHA 21 – 25 LOOH DADA MARTHA 26 – 27
LOOH DADA MARTHA Sehemu Ya 26 ILIPOISHIA :“Mimi na Martha wajina wangu, nani unampenda zaidi?” “Martha wewe.” “Basi mtumie meseji kwamba umeamua kuwa na mimi, hivyo jioni utakwenda kuchukua nguo zako tu.” “Mh! Atakuibulia ugomvi wewe.” “Mimi nipo tayari.” Wakati wakizungumza hayo, mara Martha akaingia… SASA TAMBAA NAYO MWENYEWE… “Anhaaa! Mungu kweli mkubwa. Leo nimeamini. Kumbe hii ndiyo biashara yenu siyo?” aliuliza Martha kwa sauti yenye kujiamini… “Hebu kaa kwanza hapo,” alisema Roi huku akitetemeka. Mama Anna alitetemeka lakini si sana. Martha alivuta kiti, akakaa na kusema… “Unasemaje wewe mwanaume mwenye majina mengi. Maana nimesikia una majina kama matatu hivi…
LOOH DADA MARTHA Sehemu Ya 21 ILIPOISHIA “Dogo hujambo?” alimsalimia muuzaji. “Sijambo.” “Eti, huyu kaka anayekaa hapa huwa anafika muda gani?” SASA ENDELEA… “Mh! We ni nani kwani?” “Mgeni wake.” “Kutoka wapi?” “Tanga.” Muuza duka huyo alimkodolea macho Martha akiwa anaonekana haamini kama alitokea Tanga. Tanga bila hata kibegi cha nguo!! “Kwani namba yake ya simu huna?” aliuliza muuza duka huyo. “Nampigia hapokei. Nikasema nije hadi hapa ili kama anakuja muda huu nimsubiri kama si muda wake nikatafute gesti ya kulala. Muuza duka huyo alijua kuna kitu kilimfanya Roi asipokee simu. Na kitu hicho si kingine ni jamaa huyo kuzama…
LOOH DADA MARTHA Sehemu Ya 16 ILIPOISHIA: Ilipita kama dakika tatu hakuna aliyekuwa akizungumza zaidi ya kuendelea kushikana kiaina. Kilichosikika ni kuhema kwa mama Anna ambaye sasa alionekana kama tayari amechaji. Roi alimsimamisha, akamshika mkono na kuondoka naye… “Tunakwenda wapi sasa?” aliuliza mama Anna. “Wewe twende tu, wala usiogope,” alisema Roi, tayari akili yake ilikwishahama kabisa, kwa kumwangalia tu, ingekufanya ujue tayari penzi lilimchukua. JIACHIE MWENYEWE SASA… Safari yao ilikwenda mpaka kwenye gari la Roi, mama Anna akapanda upande wa abiria, Roi akakalia usukani na kuanza mwendo mpaka nyumbani kwa Roi. “Karibu sana, hapa ndiyo nyumbani kwangu,” alisema Roi na…
LOOH DADA MARTHA Sehemu Ya 11 ILIPOISHIA: Walikaa kitandani, safari hii walikaa sanjari wote wakiangalia mlangoni, miguu yao ikining’inia kwenda chini. “Kwa hiyo we huwezi kukaa na mimi kama hivi huku tunazungumza?” aliuliza Martha huku akimwangalia Roi, Roi naye akamwangalia Martha kwa macho ya kiume, Martha akalegea, lakini akajikaza… “Mimi nitaweza bro,” alisema Martha huku akimwangukia mapajani Roi… “Ka…ka ja…ma…ni…” ENDELEA SASA… Roi alijikuta akitetemeka, mwili ulimwishia nguvu huku akihisi kizunguzungu cha mahaba mwilini mwake… “Sis…taaa…” aliita kwa sauti ya kiume, iliyotoka kwa mtetemeko. “A…be…ee,” Martha naye aliitika sauti iliyojaa maumivu na kusubiri tiba ya dhati kutoka kwa mwanaume huyo…
LOOH DADA MARTHA.. Sehemu Ya 06 ILIPOISHIA: Alikazana sana mpaka Liz akabadili mawazo… “Bro…oooo…” “Sist…aaa…” “Una..unaonaje tukiachana na undugu? Mbona kama huku ni kuzuri zaidi…Broooo…oooo…” JIACHIE MWENYEWE… “Noo…tuendelee sista…lakini tusirudie tena baada ya leo, tena tujikanye kabisa na tukome kama tulivyokoma kwenye nido za mama zetu, si ndiyo… eee?” alijibu Roi kwa sauti ya kubabaika… “Bwana…aaa! Mimi sitaki undugu tena kuanzia leo na ufe, kwanza una faida gani kwetu?” alihoji Liz lakini kikubwa kilichoonekana ni tamaa ya mwili iliyombamba kwa wakati huo pale kwenye kitanda… “Mimi nataka mbona,” aliendelea kusisitiza Roi. “Ba.n..aaa…si tumalize kwanza…tu…t ajadili.” Wawili hao, waliendelea kuchekecha mpaka…
LOO DADA MARTHA.. Sehemu Ya 01 Utangulizi… “Wewe una hoja Martha, kumbe unajua chakula kizuri… nikuambie kitu mke wangu.” Martha alipoisoma meseji hiyo, akaguna kwanza, akamjibu” “Mh! Nimekuwa mkea mara hii jamani?” “Kwani umeboreka kukuita hivyo?” JIACHIE MWENYEWE SASA… Martha hakujibu haraka, Roi akawa na presha kubwa ya kutaka kuiona meseji iliyofuatia kutoka kwa msichana huyo kuwa angejibu nini… “Si vibaya ila….” “Ila nini tena?” “Basi tuyaache kwanza.” “Sawa, nahitaji nikuone leo jamani,” aliandika Roi. “Leo?” “Ndiyo! Mbona umeshtuka hivyo mke wangu?” “Kwa leo hapana.” “Mpaka lini?” “Labda siku nyingine.” “Ndiyo nataka kuijua hiyo siku nyingine,. “Ila si nimekwambia nitakwambia…
DOCTA SIUMWI HUKOO Sehemu Ya 26 TULIPOISHIA Hakika ningekupoteza Adams kijinga sana ivi kina endelea nini kati yako na Janeth, Adams?” “kwa nini wauliza”,,. ENDELEA SULEE” “kwakuwa Janeth ana kuwa mkaidi sana kwangu mimi natena pale tu ninapo kuongelea” “kivipi sulee” “Jambo lolote tu sijuwi kwa nini mpaka ikafikia hatua akaniambia” “akakwambia nini” “Adams nijibu kwanza swali langu wewe na janeth mkoje, pia una mpenzi au huna” “sina mpenzi pia jane, nikwamba ana nitaka tuwe wapenzi ila mimi sitaki kabisa” “hapana Adams unanidanganya wewe na jane, ni wapenzi ndo maana akanitishia eti kwamba wewe una ukimwi ili niachane na wewe…
DOCTA SIUMWI HUKOO Sehemu Ya 21 TULIPOISHIA Nilimjibu hivyo kwakuwa nilikuwa nina hasira sana safari yakwenda Tegeta ilianza nilikodisha tax njiani nilikuwa nina mawazo mengi sana hata kufikiria wito wakwenda kwa Adams nilikuwa sina kabisa” ENDELEA Ehee nini kilicho kutuma umwambie Sulee kuwa hana ukimwi na kuwa mimi ndiye niliye fanya mpango huo” “shangazi sijamwambia mimi” “amejuwaje” “alikuwa akilalamika kichwa kinauma alienda kupima kaniambia alipima kama kinga zime shuka au zipo juu alipopima aliambiwa kuwa hana H.I.V. Nihapo alipo juwa, pia akaenda kwa dokta tuliko endakupima sikuile alimpeleka mahakamani ndiyo alikutaja kuwa wewe unahusika shangazi” “unajifanya mjanja eeeh subiri” dk45,…
DOCTA SIUMWI HUKOO Sehemu Ya 16 TULIPOISHIA “Sawa Sulee mimi narudia kijijini nikaanze maisha mapya” alisema Monica huku akitokwa na Machozi sana” “sikiliza Monica baki nasi hapa hapa mjini sawa utakaa na sisi” “kweli shangazi oooh Asante Mungu wangu” ENDELEA BAADA YA MIEZI MIWILI Dokta kisarawe alihama Dar na kuamia Morogoro huko alikutana na kijana mmoja aliye itwa Adams j maryo jr. Aliye kuwa mfanya biashara hapo Morogoro Dokta kisarawe aliacha kazi ya udokta na kuanza kufanya biashara anazo fanya Adams za Magari kutoka japani Maisha yalisonga sana kisarawe alikuwa mwembamba sana lakini alikuwa kanenepa vibaya ndani ya miezi mi3…
DOCTA SIUMWI HUKOO Sehemu Ya 11 ILIPOISHIA “Je, nikigundua umetembea naye?” “Nifanye lolote lile.” “Sawa.” ENDELEA Mume wa Monica alifika nyumbani akiwa amechoka sana. Mkewe alipomwona alitoka mbio kumlaki… “Pole na kazi mume wangu.” “Asante sana.” “Sasa ikawaje, mbona hujajibu meseji yangu wala hujapokea simu?” “Niache Monica.” Monica alishtuka sana kwani si kawaida mume wake kumwita kwa jina la Monica, alizoea darling au mke wangu, wakati mwingine alimwita mama. Akajua pana jambo zito limetokea… “Kwani kuna nini?” “Umenitumia meseji kwamba una limimba?” “Ha! Baby, nina limimba au nina mimba?” “Una limimba, mimba kwani kitu cha kufurahia wakati unajua kila kitu?”…
DOCTA SIUMWI HUKOO.. Sehemu Ya 06 Tulipoishia: Baada ya utambulisho, Dokta Kisarawe alimuomba Sulee awaache na Monica ili aweze kumsikiliza kwa umakini mkubwa,. “Sasa ENDELEA.. Sulee alitoka nje na kukaa kwenye benchi, lakini moyo na akili yote vikabakia chumbani kwa Dokta Kisarawe na Monica. Kilipita kimya kidogo bila kusikia sauti yoyote achilia mbali minong’ono… Akaendelea kukaa huku akijiuliza maswali. “Sasa mbona sisikii wakiongea…?” “Au…mh!…,” Sulee hakumalizi sentensi yake na kuishia kuguna. Kimya kikazidi kupita. Giza nalo likazidi kutanda, lakini hakuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kumsubiri Monica aliyekuwa akipata tiba maalum. Kuna wakati alitamani avamie ndani ili kuona kilichokuwa kinaendelea…
DOCTA SIUMWI HUKOO.. Sehemu ya 01 Ulikwenda hospitali mke wangu?” Masofa alimuuliza mke wake Sulee. “Nilikwenda, lakini daktari kasema mimba nitapata tu ndani ya mwezi mmoja.” “Ndani ya mwezi mmoja utapata mimba? Inawezekana kweli? Hujamwambia kwamba tumehangaika kutafuta mtoto kwa miaka nane, sasa ndani ya mwezi mmoja mimba itapatikana vipi?” “Mimi sijui Masofa.” “Mh! Haya, kwa sababu tumeambiwa na mtu tunayemwamini tuangalie, labda kweli daktari yule atatusaidia. Hakusema uende na mimi?” “Hakusema Masofa, ila alisema kama naweza kesho na keshokutwa niende usiku saa moja ili anipime vizuri.” “Alikupa dawa?” “Dawa atanipa kesho.” Masofa alichukua simu akampigia rafiki yake Miraji… “Ee…
MWANAUME ANAWEZA KUPOTEZA HISIA ZA MAPENZI KWA SABABU ZIFUATAZO 1. Upungufu wa homoni za testosterone kadiri umri unavyozidi kuongezeka. 2. Matibabu ya magonjwa mbalimbali kama vile shinikizo la damu, ugonjwa wa moyo, kisukari,uvimbe,ulevi kupindukia, uvutaji wa sigara kupitiliza na matumizi ya dawa za kulevya. Vilevile kutumia dawa kali kama antidepressants na baadhi ya dawa za fungus. 3. Ugonjwa sugu kama vile saratani,unene kupitiliza, kufeli figo,mapafu,na ini huathiri sana hamu ya tendo la kujamiana. 4. Kuathirika kwa kujichua (Masterbation) – mwanaume ambaye ameathirika kwa kujichua kwa muda mrefu husababisha kupoteza hisia za mapenzi, 5. Kujihisi kuwa na Uume mdogo. Baadhi ya…
SABABU ZA MWANAMKE KUPOTEZA HISIA ZA MAPENZI Mwanamke anaweza kupoteza hisia za mapenzi kwa sababu zifuatazo: 1. MAUMBILE Mwanamke anaweza kupoteza hisia za mapenzi kwa sababu ya kupata maumivu makali sana wakati wa kujamiana ambapo vyanzo vinaweza kuwa kusumbuliwa na magonjwa mbalimbali kama saratani, arthritis, kisukari, shinikizo la damu,ugonjwa wa moyo,na magonjwa ya neurology vilevile vyanzo vingine ni matumizi ya dawa kali kama vile baadhi ya antidepressants hushusha chini hamu ya tendo la kujamiana. -Mitindo ya maisha inaweza pia kuathiri hisia za mapenzi kama vile unywaji wa pombe kupindukia, matumizi ya dawa za kulevya,uvutaji sigara kupitiliza husababisha kushuka kwa kasi…
LIMERENCE: TATIZO LA KUWAPENDA SANA WATU AMBAO HAWAKUTAKI NA KUWACHUKIA SANA WATU AMBAO WANAKUPENDA SANA LIMERENCE ni neno la kiingereza lenye maana ya hali isiyoweza kuzuilika ya kiakili na kihisia ambayo husababishwa na hisia za mapenzi kwa mtu mwingine ambapo mtu hujikuta anatumia muda mrefu sana kumfikiria sana mwanaume au mwanamke huku akitamani mtu huyo aonyeshe kiwango kilekile cha upendo ambacho yeye anakuwa nacho kwa mtu huyo. Kwa maana kwamba unamuona mwanaume au mwanamke popote pale kisha unakuwa na hisia kali sana za mapenzi juu yake mpaka unaanza kujenga taswira ukiwa na mtu huyo kitandani au ukiwa umemuoa au umeolewa…
SINGLE MOTHER Changamoto ni kupata Mwanaume atakayekupenda wewe na Mtoto wako! Unapokuwa na mtoto, changamoto kubwa katika kuingia kwenye mahusiano siyo kupata mwanaume wa kukupenda — hao wapo tu. Utatongozwa kwa sababu si kwamba unatoka na bango usoni linalosema “Mimi ni single mother.” Lakini changamoto kubwa ni kumpata mwanaume ambaye atakupenda wewe na mtoto wako. Yaani, kukukubali wewe kama wewe na pia kukubali kuwa mtoto wako ni sehemu ya maisha yako. Changamoto Kubwa Zinazowakumba Wanawake Wenye Watoto 1. Kumuambia Mwanaume Kuwa Una Mtoto Shida ya kwanza ni hali ya kujiuliza: “Ni wakati gani muafaka wa kumuambia mwanaume kuwa nina mtoto?”…
MKE WAKO ATAKUPENDA SANAAAA IWAPO TU! 1. Unaleta pesa ya matumizi nyumbani. Moyo wa mwanamke utachoka kukupenda iwapo utaacha kuleta hela ya matumizi kwa ajili yake na watoto nyumbani.(Women are materialist in nature!), wao ni watu wa kupenda vitu sanaa kutoka kwa mwanaume na ndiyo upendo wao na heshima kwa mwanaume wanavyoutafsiri. Usipompatia pesa kwa ajili ya matumizi yake na watoto, ndivyo atakavyozidi kukudharau siku hadi siku atafika hatua atakukinai vibaya sana, kiasi kwamba anaweza kutamani kukupa nguo zake za ndani umfulie.KWANINI? ATAKUSHUSHA HADHI YA UANAUME, MWANAUME LAZIMA AKUBALI KUBEBA MAJUKUMU YA KUHUDUMIA FAMILIA. Upate, ukose wao hawajui! Wanachotaka wewe…
Mwanaume Asiejiamini Hawezi Kupata Mwanamke Mwenye Kujiheshimu Kwa asili mwanaume tangu enzi na enzi alikuwa na sifa ya kupambana na hatari misituni kukabiliana na wanyama wakali,alikuwa na tabia ya kulinda familia, kuihudumia familia kwa kuwinda wanyama porini hivyo basi kwa Mwanamke alikuwa na tabia ya kulea watoto nyumbani huku mwanaume anakwenda kupambana kwa ajili ya kuleta chakula nyumbani. Asili hiyo ipo kwa miaka na miaka na itaendelea kuwa hivyo haijalishi mabadiliko ya sayansi na teknolojia. kwa asili Mwanamke huwa anaongozwa sio kumuongoza mwanaume,hata ukiangalia vitabu vya dini utakuta mitume wote na manabii walikuwa wanaume kwa sababu ya uwezo wa kukabiliana…
Sifa 8 Za Mwanamke Ambaye Hapendeki Haijalishi Atapata Mwanaume Wa Aina Gani Bado Migogoro Ipo Palepale Kwa sababu baba ndiyo kichwa cha familia basi leo tuangalie namna ambavyo mwanaume ambaye ni muadilifu, mwaminifu,anatenda haki,hataki migogoro ndani ya familia,anataka kujenga familia imara namna ambavyo anaweza kuepukana na hawa wanawake wasumbufu ambao haijalishi utakuwa muaminifu,unajali sana,unampa kipaumbele muda wote lakini bado utaona kuna mfululizo wa matukio yenye kuibua ugomvi na migogoro. ujumbe huu umegawanyika sehemu zifuatazo I.Sifa 8 za Mwanamke ambaye hapendeki ii.Vyanzo vya Mwanamke kuwa hapendeki iii.Njia za kukabiliana na Mwanamke ambaye hapendeki SIFA 8 ZA MWANAMKE AMBAYE HAPENDEKI Sifa ya…
MANENO YA USHAURI KWA WANAWAKE!!! • Hakuna mwanaume anayetaka mke ‘kichaa’! Ni wal ambao hawajakua wanaitwa wavulana ndiyo wanaotaka wapenzi vichaa’, kwa hivyo usidanganywe na Mvulana anayekutaka ili afanye party na wewe kwa bidii kila weekend, anataka tu afichue kifua chako, atataka uvae nguo za kubana upake, flashy, makeups na ushuke na chupa 11 za bia wakati yeye katumia chupa 15, jua kuwa mwanaume wa namna hii HATAKUOA KAMWE! • Mvulana ambaye anaongea maneno machafu na anataka ngono na wewe kila mahali wakati bado hajakuoa atakuona kama mashine ya kitanda wakati wa ndoa. • Umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya…
KWANINI UNA MATATIZO YA NDOA 1. KUJARIBU UPENDO WAKO Mara tu unapokiri kumpenda mtu, changamoto zitakuja kujaribiwa ikiwa nyote wawili mko serious kuhusu hilo. Upendo lazima ujaribiwe kuona kama utastahimili. Upendo wako unaweza kustahimili mtihani wa wakati? 2. MAHUSIANO YANVYOKUACHA UCHI Hakuna kinachokuvua nguo kama ndoa. Katika ndoa, mtagundua mambo ambayo tayari yamekuwepo au ambayo mnayapata mnapoendelea kuwa pamoja. e, nyinyi wawili mnaweza kuwa uchi bila kuoneana haya? Je, unaweza kupendwa kwa jinsi umbo lako lilivyo kweli? 3. EGO Ego itasababisha ugomvi na mabishano. Ego ndiyo inayowazuia wanandoa wengi kutatua masuala yao haraka, kutafuta msaada kupitia tiba, kukiri makosa, kusikiliza…
MWANAUME ELEWA HILI Mke wako si malaika; kuna wakati atafanya makosa mbele ya ndugu zako. Kama mume, wajibu wako wa kwanza ni kumlinda mke wako dhidi ya ndugu zako. Ikiwa amekosea au ukiona wanamvamia kwa maneno, kumuongelea vibaya, badala ya kuingia na kuchangia, kumponda, au kuongeza maneno mabaya, mlinde. Simama upande wake, na wakati mwingine jifanye kana kwamba wewe ndiye unayependa hali hiyo. Kwa mfano, labda anavaa nguo ambazo kwenu hazikubaliki. Badala ya kuanza kumporomoshea maneno kama, “Huyu mwanamke kiburi sana, nishamuambia asitukalie uchi!” ongea nao kwa utulivu. Waambie, “Mimi ndiye nampenda, ni mke wangu, na ninafurahia jinsi alivyo.”…
NJIA 7 AMBAZO MWANAUME RIJALI ANAWEZA KUYASHINDA MAUDHI, MAJARIBU NA VITIMBI VYA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO Tafiti za kisaikolojia zinaeleza kwamba wanawake hawajui wanataka nini kutoka kwa mwanaume hivyo basi ikiwa wewe ni mwanaume acha kupoteza muda wa kutaka kujua mwanamke anataka nini bali weka sheria na muongozo wako mwenyewe kisha mwanamke wako ataufuata. ZIFUATAZO NI NJIA 7 AMBAZO MWANAUME RIJALI ANAWEZA KUYASHINDA MAUDHI, MAJARIBU NA VITIMBI VYA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO Njia hizi 7 zipo kama ifuatavyo 1. KUPIMA UANAUME WA MWANAUME (DOMINANCE TEST) Mwanamke yeyote ambaye nyumbani kwao mkuu wa familia ni mama,au amekuwa bila baba ndani ya familia,au baba…
Mambo 5 Ambayo Utajifunza Baada Ya Mahusiano Kuvunjika Kila mtu huwa anajifunza kitu tofauti katika mazingira tofauti.Ikitokea mahusiano kuvunjika wapo hujifunza kuacha kuamini jinsia tofauti maisha yao yote , vilevile wapo huamua kujifunza kujichukia wao wenyewe, vilevile wapo hujifunza kwenye makosa yao lakini vilevile wapo ambao hawaamini kama wanakosea popote. Kwa vyovyote itakavyokuwa mahusiano kuvunjika huacha athari hasi au chanya, mahusiano kuvunjika yanaweza kukusaidia au kukuharibia. tuangalie mambo 5 ambayo unaweza kujifunza baada ya mahusiano kuvunjika MAMBO 5 AMBAYO UTAJIFUNZA BAADA YA MAHUSIANO KUVUNJIKA Mambo hayo 5 kwanzia namba moja mpaka namba tano. 1. MAUMIVU YA MAPENZI NA AIBU YA…
JINSI YA KUJUA YA KUJUA KUWA HAKUPENDI 1. Yeye atakuwa na shughuli kila wakati unapomuhitaji uwepoi wake. 2. Hakuheshimu. 3. Hakupigii simu au kukutumia meseji, wewe ndiye utakayetuma ujumbe na kupiga simu bila kujibiwa. 4. Hajisikii vizuri kutembea na wewe na kukuonyesha kwa marafiki zake, anatoka na wewe usiku tu, uatadhani wewe ni vampire. 5. Anakufokea, anakutukana na kutumia maneno ya kashfa. 6. Kila unalomfanyia kwake huwa kosa liwe jambo dogo au kubwa kwake yeye ni kosa. 7.Hajali furaha yako,hawekezi kwako wala hafanyi chochote cha maana kwenye mahusiano yenu. 8. Anakulipizia kila kosa unalofanya anakosa kabisa huruma 9. Hakupi haki…