MJEDA MBONA KUBWA SANA?
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 16
Siku zilipita nyingi kidogoo jamani na ile wiki ya wakwe kua ilifika maana walikuwa wanatokeaa hukoo Dodoma ni watu wenye pesa ila ni wanamasharti hapo sikuwaga nimemwambia mama kuhusuu mim kuolewa nilikuwa nataka kumsuprise kwa baruaa , waliniita hyoo siku jamani niliendaa mpaka pale, kwenye jumba la my man Ridhwan , lile ni kasri sio nyumba huku mdogo wangu yeye alikuwa anaendeleaa na habaari za kazi hii siku pia niliomba ruhusa dukani piaa kuwa kuna kitu maalunu piaa , nilifika ni wachangamfu Mungu kawajalia hiloo
“Haya mkwe wangu tushasalimiana na hawa ndio vijana wangu nimejaliwa kuzaa midume mitupu hapa , ila kabla ya kuingia kwenye ndooaa wee ni binti mzuri , una maadaili ila sasa kuna mtihani lazima uufanye binti yangu , mwanangu hawezi kuoa sijui kama mwanamke anajua kupika au laa maaan vijana wa sasa hivi naona kabisa wanaweza kukutana na mtu huko mtandaoni wakapendaan asijue ety atamlisha nini cha maan mwisho wanangu wakaanza kupatwa na ugonjwa wa tumbo wa wakala hotelini kwahyo mtihani wako nataka upike biriani la kuku tu mkwe” Mama mkwe alisema moyo uliingiia na baridi jaamni ulilipuka kama bomb 💣 la nuclear
“Sasa mama hayo yote ya nini mama yangu akati hapa kila kitu kipo wazi mama yangu kuna mwanamke hajui kupika acha basi ” alisema Riz wangu najua alikuwa hataki niabike
“Riz tafadhali sina msamaha na wewe sawa eeh hivyo nakuomba tuu aende jikoni siwamini mabinti wa sasa ni wanaendekeza mtandao kabisa” alisema mama mkwe nilizidi kulipuka moyo jamani mbona naumbuka bila sababu za msingi mimi duuh 😞
” Mama kam siwezi kuolewa huku sijui kupika samahani naomab ndoa iiishie hapa siwezi kuolewa piaa sijui kupika samahn” nilisema huku nalia sana yaani
“Unaona mke ambae ulikuwa unatka kuoaa Ridhwan wangu ?, jamani wewe hapana mimi siwezi kuruhusu mwanangu aoee mwanamke asiejua kupika” nilitoka bila kuagaa nikakimbiaa njee kabisa ya geti nikabolt gari nikaondoka zangu kwenda nyumbani nilikuwa bado nalia hii siku nilimkuta mama nyumbani si kwenda kule kwangu hata
“Wewe kuna nini mbona umekuwa mwekundu kwa kuliaa wewe mdada hebuu sogea hapa tafadhali maan mimi sikuelewi elewi ujuee wewe haya nambiee” aliniamabia mama
“Mama ndoa yangu imekanceliwa kisa sijui kupika nitafanya nini mama nataka nijuee kupika iwe usiwe nataka kujua kupika nimekubali kuscrifice hii ndoa ili nikipata mwanaume anioe kwa upendoo wa dhati na nikiwa nina kila kigezo mama “
“Wewe hebu nitolee upuuzi ndoa gani hebu nielezeee imekuaje ” ilibidi nimuelezee mama kila kitu kilivyokuwa toka mwanzo mimi kukutana na Majid mpaka hapa kwa Ridhwan na wazazi wake
“Usijali mwanangu utajuaa tu kupika basi jaribu kukaa na mimi hapa nitakufundisha” nilikubali kukaa kwa Mama hata kuomba ruhusa na kumuelezea mam sakina kila kitu.
Episode 17
Mama sakina alielewa kila kitu kuhusu nilivyomuelezeaa na alinambia nisijali atakuwa anaenda Sakina dukni kwasababu asharudi kutoka masomoni nilimuelewa pia akasema kama nikiona nataka kuendelea na kazi bado nafasi ninayo nisijali
Siku zilipita ni kama mwezi sasa na nilihamia nyumbani kwa mama rasmi kule kwangu nilihama nilihamia Chanika nikae kwa Mama nijifunze kupika , hii siku nilikuwa nakaanga samakii mhh saa ngali kisije kichefu chefu cha ghafla mhh mbona kam natapika nikakimbia kwenda kutapika Mama, alivyoona hivyoo akajuaa tu ni mimba yeye si mtu mzima alivyonambiaa nilikataa tamaaa sasa hadi kama ntaolewa tena hata na huyo mwanaume tofauti na Ridhwan maan hakuna mwanaume atakae nikubali mimi na mtoto bora tuu nijiandaee kuwa single mother 👩🍼 mapema yaani maana yanayokuja ni yanachekesha hayafurahisihi hata robo yaani duuh kosa moja linataka kunigharimu kuwa single mother daima niliumiaa sana , hata Mama alijuaa hilo na toka siku hyoo Mama alikuwa anajitahidi kuwa na mimi karibu maan nilikuwa kichwani yanaload mawazo ya kujifyeka , kuliko kubaki duniani bora nife Mama alikubali tu kuwa Karibu yangu sana na saloon alikuwa anaenda sna Ayman ili kutuleteea japo chochote kituu
Ilipita miezi mitatu sasa na kam na wiki mbili na mimba yangu ilikuwa na miezi mitatu na wiki tatu tumbo lilikuwa halionekani kabisa maana siunaeleewa mimba za kwanza zinavyokuwaga yaani tumbo linaweza kuonekana una miezi saba au sita ,
Hii siku nilikuwa nimekaa , japo nilijua kuchoma mimi nashangaa geti linafunguliwa tena ana Ayman ni kama alikuja na watu kwenye gari mimi nilikuwa nimekaa zangu tayari kwenye mkeka nimenyoosha miguu nipo nakula udongoo , mhh saaa ngapi kwenye lile gari asishuke Mama yake na baba yake Majid na Ridhwan alafu akaja kushuka na Majid na Ridhwan ile kumuona tu Riz nilijihisi kama kutapika sio kutapika yaani kichefu chefu cha ghafla yaani mkhhh kama kimetumwa hivii niliigeuka pale pale nikatapika mimi aikujali wakwe walaa nini kwanza sio wakwe zangu Mama mkwe alimwambiaa Riz arudi kwenye gari hapo kidogo nilituliaa nikashushiaa na udongo wangu kabisa
“Mhh mkwe wangu kumbe kishajipa tayari ?” Nilimtizama tu etty nyie mimi nina akili nilikuaa nimenunia Mama mkwe “ mdogo wako ni mtu poa sana yaani amekuwa kipaumbele chako nimejua kuwa sikutakiwa kuingiliaa mipango yenuu watu wawili si ndioo mwanangu nisamehe ukinichukiaa na hyo mtoto atafanana na miimi kabisa atakuwa mrembo” nilijikuta nacheka tuu maan aalikuwa ananichekesha tu
“Tumekuja kufix tarehee ya ndooa na kila kitu na sitaki mjukuuu wangu azaliwe nje ya ndoaa” nilimtizama tu nikajichekesha kinafki tuu
Episode 18
Walipatana wazazi wangu kila kitu kumbee hawa vijana walikuwa wapo kazini ni waliomba ruhusa tuu waje kwenye hili walipewa mwezi mmoja , na swala langu la ndoaa lilipita ila sikuwa na appetite na mume wangu kabis nilikuwa nikimuona nahisi kichefu chefu tu
Upande wa shemej yangu yeye mwanamke wake kumbe alikuwa ni mdangaji pro max kumbe hata ile siku ambayo nilimuona alikuwa ni yeye sikumfananisha alimdanganya Shem ety anaenda USA kumbe hana lolote , alikuwa hapa hapa anafanya mambo yake anajifanya ana hela kumbe ni udangaji ndioo unamuweka mjini mhh kumbe hadi wazungu wanamaisha magumu mpkaa anaanza kuwa anadanga hovyo hovyo jamani mhh nilikuwa sijui tena kaenda kutembeaa na yule mwanaume ambae ile siku alikuwa ndioo anafanya shughuli yake ndio maan kwenye shughuli hakuja wivu unamsumbuaa afu kujifanya anawivu sasa mhh 🙌, kafanya marafiki wamegombana na waliooana wameachana na shemeji yangu kabaki single na ugonjwa juu jamani kumbe ile siku bila kumsukuma kama tungenaniliu ningetoka na maradhi bora Mungu kaepusha hili Alhamdullillah
Hii siku nilikuwa nimetuliaa zangu alikuja mume wangu mimi nilivyokuwa sitaki kumuona sasa alikuja tu akanivamia hata kuuuliza akanipaa juicee jamani mmh cha ajabu hii siku sikutapikaa hata wala sikuhisi kichefu chefu jamani nilikuwa najihisi poa kabisa sijuii alikula nini jamani auu tu kichefu chefu kilikuwa kinataka papampa 🤔😋
Aliendelea ila wee nakumbuka kama inaumaa afu kubwa sana akinichan tena danu ikitoka ila hakunipa hyoo chance hata ya kuuliza aliendelea kunipa juicee , mwishio akaanza kushuka na ulimii jamani mhhh mpak kwenye shanga , msishangae mimba yangu inanipa joto muda wote nakuwa nakaa bila nguoo yaani ndioo maan ilikuwa rahisi kwake kufikiaa shanga zangu piaa , alianzaa kuzichezeaa na ulimi jamani ujue kama alikuwa ananitenekenya sasa uwwii mimi mbona nakufa au nipo hai bado ? , aliendeleea jamni mimi alikuwa ananichanganya mjuee nikitaka kusema anaziziba mdomo kwa kidole nilipenda hii maaan alikuw aakikiweka kidole mdomoni mimi nafanya kukinyonya sasa mhhh , akaamua kuja kuniambiaa sirii za kikubwa sasa sikioni alilinyonya hilo sikioo jamani mimi nashindwa niseme nini jamani , mhh nilijikuta naitamani kuinyonya ile 🍢 , nilijikuta tu napiga goti na mtumbo wangu halo una miezi sita niliinyonya sana yaani mpaka nikawa namuona anaishiwa pawa kabisa yaani nikasimaama sasa tupeae juicee kwa haki bila kuoneana kabisaa , nilizidiwa maan alikuwa ananichinganyaa maan alikuwa anatumiaa vyote kwa pamoja mkono na ulimi
Uzalendo ulinishinda baada ya kuona nateseka sana niliomba baana akanipa mwanzoo ilibana ila kunapoendeleaa wee niilienjoy jamani mhh nilikuwa na mtumbo ila wee shanga zilinipa ushirikiano kwenye kiunoo changu nilikifanyia kazi basi na hivi mjamziti anakuwaga na moto mara mbilii basi alikuwa anapata mizuka ni anaonganisha mabao jamani tulimaliza chumbani tukahamiaa bafuni huko nako ilikuwa fire 🔥 mhh nikikumbuka natamani ijirudie tena duuh
Ila nilihhuzunika etty kanambiaa etyy anaondokaa jioni yake niliumia kumbe ndio mana alinifakamiaa sana alijuaa kabisa anaondoka basi nilimkaba tu Ayman aje kukaa na mimi kunitazama maana hajanambia anarudi lini
Mniombee sasa jamani na nyinyi nizae salama , mume wangu arudi mapema bhana mimi nina ugwadu mjuee , halafu mdogo wangu aache tabiaa mbaya maan bado mdogo sana , mama mkwe wangu azidi kunipenda na shemeji yangu apate mpenzi 😉
Tulikuwa wote kwenye simuliza za Darling smile , let’s shine nawapendaa 😘, asanteni kwa kuniungisha Mungu awajaalie pale mlipotoa
MWISHO….


1 Comment
Mungu akutangulie katika maisha yako