MWALIMU NAKUPENDA ILA INAUMA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 6
Na uyo anaeingia mwenyew haongei anaingia
kimya kimya , niliogopa na utukutu wangu wote
nikawa nimejificha maana nakumbuka dada
wetu wa kazi alishawai kusema yeye alisoma
boarding na shuleni kwao kulikuwa na majini
kwaiyo na Mimi nikawaza huenda ni jini
linaingia. Yule mtu akaingia adi ndan akawa
ananiita Shey ,nikakumbuka mtu ambae huwa
ananiitaga iv ni mmoja tu ni Aggness na kwel
nilifurahi sanaaa hatimae
alikuwa agness nilifurahi
nimepata mshauri wangu ,shoga angu mwenywe
uyo nikamkombatia Kwa nguvu Yan tulifurahi
Nikamuuliza mbona ivo Yan mie kaniwaisha
shule alafu yeye ndo anakuja Leo ,akaniambia
alipata shida njiani gari lao liliharibika ,wakati uo
nilikuwa Bado natetemeka na agness alitambua
ilo akaniuliza vipi mbona unatetemeka shoga
angu au ushaharibu sehemu ,Yan uyu shoga
angu ananijua uyu anajua kabisa nikisha
Fanya vitu vya ajabu lazima natetemeka tuu
sikuwa na budi kumwambia ukwel wote .Sasa
Mimi najieleza yeye akaanza kunicheka
ananiambia eti nimeenda Kasi sana sikutakiwa
kufanya ivo.
Sasa anavyonisena uyo agness wakat anajua
nie mwenzio mambo ya mapenz sijui ni mgeni
kweny michezo iyo ,sielewi watu wanaanzaje
kwanz akanikera kwanini ananicheka badala
anielekeze nikasusa nikaingia kulala zangu
.Kesho yake saa kumi na moja kengere
ikagongwa Kama kawaida tukawa tunaamka
agnee yeye hazijui Sheria kashazoea lle
shule yetu ya primary tunabembelezwa akawa
Bado kalala ,namuamsha ananiambia nisubir
dakika Tano tu adi matron akamkuta pale na
uyo matron mwenyw anavyojua kuchamba Yan
waalimu wakike wa hii shule wanashida sijui ndo
wivu maaan wanapenda kusema wenzao
Nakwambia agness alichambwa adi akainuka
kwenda kuoga mwenywe akarudi ananikuta
ndo napaka mafuta kanuna uyo lkanibidi
nimuulize maaan naona ananchekesha sasa
wewe agness wewe sindo ulipendekeza tuje hii
shule jamn mbona unanuna sasa. Uyo agness
unadhan alinijibu Yan kavuta mdomo uo
nikabaki Nacheka tu Tulivyomaliza kuvaa
tukatoka kwenda mstarini matangazo ya Leo
hayakuwa mengi kivile kama ya Jana, nahisi
kwasababu Jana ilikuwa siku ya kufungua shule.
Tulivyotoka mstarini ,mie na shoga angu agness
tukaenda darasani Kwa baht nzur tulipangiwa
darasa moja ,wakati naingia darasani
nikakumbuka kuhusu mwalimu
mwalimu wa math
nikashtuka maaan nilikuwa nshasahau kama
nilivuruga Jan ,nikaanza kuogopa nikawauliza
wanafunzi wenzangu kipindi cha math ni saa
ngap leo wakasema hawajui Ikanibidi niende
kweny ratiba iliyopo nyuma ya darasa ,nimeenda
kuangalia nakuta kipindi ni asubuhi hii Tena ni
cha kwanza,eeeh Aibu iliyoje.
Nikiwa nimekaa kule nyuma nawaza „nikaskia
wanafunzi wanasalimia waalimu nageuka iv
nakuta ni mwalimu mkuu, yule madam Lita
sir Kendrick mwenyew
Niliogopa „nikajua enheeeee basi Tena ni kwel
ananijua au nikarudi mbele kukaa kweny kiti
changu uku mnyonge kama sio mimi.Yule
mwalimu mkuu akaanza na kusema nyie ni
watoto wadogo Bado Tena ni watoto wadogo
sana „Kuna tabia mbaya inaanza kutembea Yan
adi nashindwa kuongea embu madam Lita
ongea wewe…
Chapter 7
Yule madam sasa akaanza kuongea jamn
anapiga kelele Akaanza Yan nyie Bado wadogo
sana Yan Bado wadogo sanaaaaa ndo kwanza
form one na mshaanza kutongoza watu jamn
kwel iv mnajielewa nyie waschan .Watu
wanashangaaa tu hawaelewi ila Mimi pekeangu
ndo naelewa kuwa nasemwa na agness pia
.Yule mwalimu aliongea eeeeeh adi mishipa ya
shingo ikawa inaonekan
Walichoniumiza zaidi yule mwalimu wa kiume
akachukua simu yake akaanza kusoma sms
zangu nilizomtumia Jan „watu darasani
walicheka ao mwalimu Kendrick alivyomaliza
kusoma akasema na uyu mwanafunzi tunamjua
vizur sana sababu kweny izo tablet zenu
tumezihack na uyo mwanafunzi ni uyu apo,yule
mwalimu akaninyooshea kidole watu wote
darasan Zima wakanikodolea macho Yule mkuu
akasema atanipa adhabu Kwa tabia yangu iyo
mbovu
Nilichukia sana ila ndo nikazidi kumpenda yule
mwalimu sababu Sina Tena la kuhofia
kashanizalilisha mbele ya darasa ,na uzuri
sasaivi kashanijua Mimi ndo nampenda kwaiyo
Sina hofu kabisa .Zilipita kama siku mbili ,siku
iyo ilikuwa ni usiku nikachukua sketi yangu
nikaikata ikawa fupi ,na shati yangu nikaikata
Kwa chini .kesho yake wakati naelekea darasani
Kila mtu akawa ananishangaaa shangaa maaan
nilikuwa very sexy ,mie mwenyw nilijiona
nilivyopendeza nikaingia darasani siku iyo
kipindi cha kwanza kilikuwa maths pia ,nikakaa
dawat la mbele kabisa.
Saa mbili kamili ndo muda wa Vipindi kuanza
yule mwalimu akaingia wanafunzi wakainuka
kumsalimia ila mie hata sikuinuka yule mwalimu
akaniangalia ila akashindwa aniambie Nini
akaanza kufundisha tukiwa katikati ya kipindi
akaingia mwalimu mkuu darasan akaja
akaomba aongee na Mimi kumbe kulikuwa na
simu yangu mama na baba walinipigia tena ili
kujua kama Bado nahitaji kuhama shule
Kwakwel sikuwa tayri kuama kabisa nikamjibu
hapana sipo tayr nishaipenda shule kwanz haina
haja ya kuama baba alishangaa
,baba alishangaa maaaan
walishanichagulia adi shule nyingine ila Bado
nikakataaa kuama.
Nilivyomaliza kuongea na simu nikarudi
darasani ,nikawa natembea Kwa madaha yule
mwalimu ananiangalia mwishowe akaniita Shey
njoo hapa ,nikaenda akaniuliza iv we mtoto
unamapepo nikamjibu ndio Nina mapepo
kwaajili yako kipenzi .Yan sijui ujasiri Kwa kujibu
ivo nilipata wap ila jamn mapenzi shikamoo
yule mwalimu akakosa Nini anijibu akabaki
anatabasamu Kwa dharau Kisha akaniambia
nenda ukakae.
Kesho yake Tena akaingia darasani Bado nikawa
naendelea kumfanyia maksud mwalimu ,sasa hii
ya Leo kalii maana nilijifanya nataka anielekezee
maswal nikaenda ofisini kwake kabisa Yan na
huu ushauri alinipa agness kwenye hii shule
yetu ofisi za waalimu huwa zinajitegemea Kila
mwalimu na ofisi yake nilivyoingia nikaweka
daftra mezani nikamwambia good afternoon sir
,uku namrembulia akajibu good afternoon how
are u nikamwambia nipo poa sir nimekuja
naomba unielekeze swal Hapo wakat uo
namwambia ivo uku nimeinamia meza yake iv
kwaio akiangalia tuu iv anaona maziwa yangu na
kwel nilifanikiwa maana mwalimu akaanza
kuniangalia maziwa yangu.
Chapter 8
Mwalimu Kendrick akawa ananiangalia kweny
manyonyo na Nilivyoona ananiangalia na mie
nikaanza kumfanyia maksud nikamfata Kwa
kule kwenye seat yake ,nikamshika bega uku
naongea nae kama namuonesha daftari
nikaweka mguu kwenye meza yake Kwa chini na
nilivyomweupe sasa mtoto rangi ya
mtume
,nikamshikisha mwalimu paja langu
,kumuangalia iv mwalimu usoni mmmh adi
nikawa naogopa sasa maaana nimeenda
mwenyw ila mwalimu karegea uyo adi anantisha
,kumuangalia kwenye suruali sasa mmmmh
kashareact.
lla wakati nikiwa nataka kumkiss mwalimu
,ghafla akanishika kama kunikataza ivi „Kisha
akanisukuma mbele na yeye akainuka
akanishika mkono akawa ananisukuma
msobemsobe adi nje ya ofisi yake akawa
ananipeleka sijui wapi „nikawa namwambia babe
vipi kwani unanipeleka wap udhani ata alikuwa
anaongea Yan ananivuta kimya kimya ,tukawa
tunaelekea kwenye usawa wa nyumba za
waalimu nikawa na tabasamu uku najisemea
moyo sasa Kam alikuwa ananitaka siangesema
tuu kuliko kuvutana vutana uku ,Tukafika kwenye
nyumba za waalimu ila nashangaa Bado safari
inaendelea lkanibidi nimuulize kwani mwalimu
Kuna Nini alikuwa hajibu kitu adi tulipofika
kwenye ofisi za waalimu wakike akanipeleka
moja Kwa moja kwenye ofisi ya madam Lita.
Akaningiza mule ndan Kisha akamwambia
madam Lita ,nimekuletea mtuhumiwa wako uyu
naona anazidi kunizoea Leo amekuja ofisini eti
anataka anichumu .Yule madam sasa akawa
anashangaa eti anasema eeeeh eeehe eeeeh
nyie watoto wasikuiz hivi mnashida akilini au
,maaan nimefundisha hi shule kwa miaka
mitano ila sijawai ona mwanafunz kama wewe
Binti .wakt wote uo madam anaongea mie
naangalia chini tuu yule mwalimu ninaempenda
akaondoka akamwambia madam naomba
umshughulikie uyu maaan naona kashaanza
tabia mbaya alafu mdogo.
Ayo maneno yake yaliniumiza Sanaa sikuamini
Yan nampenda mtu alafu yeye anasema tabia
dogo
mbaya yule madam alivyo Hana
akanisema Sanaa adi nikaanza kulia ila akaona
vyote hivyo havinitoshi akaenda kupiga kengere
za mstarini kuashiria Kuna dharura wanafunzi
wote waende mstarini .Jamn jaman sijawai pata
aibu kama lle Yan nimepandishwa mbele ya
shule nzima na zile nguo zangu alafu naambiwa
nifanye kama nilivokuwa namfanyia mwalimu
yule wakiume ,Yan naambiwa nifanye ivo mbele
ya shule nzima nililia Sanaa maaan ilikuwa niabu
sanaaa adi agness rafiki angu alikuwa
ananicheka kama mazur nailijiskia vibaya
sanaaa
Na Toka siku iyo nikaacha kabisa mazoea na
yule mwalimu wakiume sikutaka hata kuongea
nae maaan naona kanidharirisha vyakutosha
Yan nilibadilika Sanaa ata agness alijua ilo
maaan sikuwa Tena kama zamani yule sheyrose
wa kuchekacheka hovyo.
Chapter 9
Yan chuki aliyonijengea yule mwalimu ilikuwa ni
Kali sana na hata sikutaka mazoea nae maana
ameshanifanya nimekuwa gumzo la shule nzima
Kila mtu ananinyooshea vidole Mimi tuu .Nikawa
nimewekeza muda wangu mwingi kwenye
kusoma tuu ili niwafurahishe wazazi wangu ata
lle sketi nikaachana nayo nikaend kuomba
nipewe sket mpya Tena ndefu hatri kama
masista na shule nzima Mimi ndo nilikuwa na
sket ndefu ,na nilichokuja kugundua ni kwamba
mie sket ndefu ndo zinanipendeza zaidi kuliko
sketi fupi maana sket ndefu ikipasiwa vizur ata
kashape kanaoneka.
Siku zilienda Sanaa nasikuwa ata na mazoea na
yule mwalimu akija darasan nikusoma tuu,
mwaka ukakata nikarudi nyumbani rikizo ,uku
nyumbani maisha hayakuwa mabaya sana
wazazi walikuw wakinizingatia vizur,Kuna siku
nilitoka na dada zanqu wakazi kwenda kuhemea
sokoni, adi wao wenyw nilivyowaambia nataka
kuongozana nao walishangaa maana
nimebadilika, zamani nilikuwaga ata mazoea
nao sitak kabisa Yan ila Leo nimeomba
niongozane nao tukaenda kununua mahitaji ya
pale nyumbani, tukiwa pale sokoni, nikakumbuka
shuleni tulifundishwa kwenye biology kuhusu
mimea ya saa nane nikaona kwanini nisitafute
labda kutakuwa inauzwa apa sokoni kwaiyo
nikawaacha dadazangu nikaenda njia nyingine.
Nilizunguka sana ila Kwa bahat nzur nikapata
sasa shida inakuja kuanza sikumbuki nilipotokea
adi nikafika pale nilipo . Nilihangaika
sana
hadi Kuna mkaka mmoja mzur si Haba ,akaniita
Sheyrose nikageuka kumuona nikajua labda
ntakuwa namjua ila simjui, yeye ananijua
nikamfata tukasalimiana pale Kisha nikamuuliza
Kwan we nan mbona unanijua ila Mimi sikujui
yule mkaka akatabasamu Kisha akasema Mimi
naitwa Tarick nasoma na wewe shule moja ila tu
form five na kuhusu kukujua
mie nipo form
nakukumbuka siku le ulivyopelekwa pale
assembly .
hii nyie uyu mkaka Yan ndo kashanifanya nione
aibu anasema kanijulia jina langu kwenye lle kesi
.
ya siku lle
Nikamwambia sawa ,akaniuliza
mbona
an kaniona mda
nazunguka zunguka maaan
nikamwambia Yan nimekuja na dada zangu ila
nimepotea na sijui ata wao nimewaacha wapi
akaniuliza je utajali kama nikikupeleka nyumbani
,nikamwambia ntakushukuru sana .Yule mkaka
alikuwa na gari lake mwenyew ivyo akanibeba
nikamuelekeza njiani adi tukafika nyumbani
,sasa shida inaanza kumbe mama kashapewa
taarifa kwamba nimepotea na kasharudi
nyumban ananisubur getini Alivyoniona tuu
natoka kwenye lile gari akanifata Kisha
akanipiga ,nikawa nalalamika mama Nini mbona
unanipiga .
Akaniambia Yan ndomaaaan nilishangaa kwel
Yan Leo wewe uende sokoni kumbe ulikuwa na
biashara zako uko sokoni eeh Aya uyo aliekuleta
nan au ndo uyo mwanaume wako .Nikawa nalia
maana mama ananifikiria vibaya na pia kibaya
zaidi kumbe agness alimwambia mama kuhusu
issue lle ya shuleni na lko ndo kilichomkasirirsha
mama zaidi ,Yan mama alinisema uyo alinisema
nikamwambia ila mama mie nilikuwa natafuta
hii mimea ndo maaan nikapotea ,mama hata
hakutaka kunielewa akanipeleka chumban Kisha
akanifungia mlango
Baadae mida ya jioni „kaka akaja nikaskia
anafungua mlango ,akaingia wakt uo mie
nimelia adi macho yamevimba kaka akaja
akawa ananiamsha ,nilikuwa namskia
anavyoniamsha ila nkajifanya nimelala
,akaongea ongea pale Kisha akaondoka zake.
Kesho yake nikaamka saa saba nikakuta mama
hayupo Wala kaka ,yeye baba alisafiri nje ya nchi
kikazi.
Maisha yangu ya nyumbani yakawa hivyohivyo
adi siku ya kufungua shule.
Chapter 10
Namshukuru Mungu shule zikafunguliwa na
nilivyo na kimuhe muhe nimeenda kuripoti shule
jumamosi ,wakati watu huwa wanareport
jumapili ila mie nimeenda jumamosi mapema
sikutaka kelele na wazazi.
Nimefika zangu nikapeleka mizigo yangu Dom
baada ya kukaguliwa ,nikaenda kuoga
Nilivyomaliza kuoga nikiwa navaa
alikuja
mwanafunzi ,naona alikuwa ni mwanafunzi
mpya wa form one maan mie wanafunzi wote
wananijua ila yeye alikuja Akaniuliza eti dada
Shey yupo wap ,nikamwambia ni Mimi akasema
Kuna mwalimu anakuita ofisini kwake
„Mmmmmh mwalimu gani uyu jamn ananita
Mimi na wakati Sina hata ugomvi na mwalimu
yoyote „nikamuangalia yule mtoto Nikamuuliza
za ni mwalimu wakike au wakiume Akanijibu
mwalimu wa kiume.
Nikawazaaaa uyu sio mwalimu Kendrick kwel
nikamwambia yule mtoto akamwambie uyo
mwalimu Nina kazi ,nilikuwa sitak mazoea
nae kabisa Yani maaan ukicheka na nyani
utavuna mabua Yan anataka niende uko ofisisni
kwake alafu akinisingizia kesi „ilinizalilishwe
Tena assembly akuu sitaki
Yule mtoto niliemtuma akapeleka jibu na
hakurudi Tena ,usiku ukaingia nikaenda zangu
canteen kula wakat narudia nikakutana na
mwalimu Kendrick nikampita kama simjui yule
mwalimu ndo akaniita Shey mambo
nilishangaaaaa
adi nikamgeukia
sasa
nimuangalie Vizuri labda naota nikamuangalia
akaniambia vipi kwani hujawai kuambiwa
mambo na mtu wewe .Ata sikumjibu nikaondoka
zangu moyoni najisemea uyu shetani ananguvu
watu tushajikatia tamaa na tushaachan na
mambo ya mapenzi yeye anaturudisha nyuma
duuuh.
Siku ikapita ,sasa kesho yake ambayo ilikuwa ni
jumapili ndo wanafunzi wakaaanza kureport
sasa ,nikiwa naenda zangu kwenye duka la shule
nikaskia mtu ananiita nilivyogeuka alikuwa
somehow nilifurah nikaend
Tarick
kumkombatia na bahat mbaya iliyoje mwalimu
Kendrick akatuona ila mie sikujali Wala Nini
,Tarick alifurah sana kuniona sasa rasmi shuleni
,akaniuliza uku unaend wapi nikamwambia
naelekea Hapo school shop akasema sawa basi
ngoja mie nikaweke vitu vyangu nikamjibu
sawa.
Nilivyoenda school shop nikiwa na nunua zangu
mahitaji yangu akaja mwalimu Kendrick safar hii
kaja kama hanijui kafika pale akamwambia yule
muuza duka naomba Pedi ,eeeh nikashtuka
nikamuangalia uuku najikaza nisicheke yule
mweny duka mwenyewe hakuvunga akamuuliza
vipi boss wangu eti akajifanya kusema hii Pedi
ya mchumba angu Lita .Hiii sasa kwani
kaulizwa jina siangesema tuu mchumba angu
jamn,nikawa Nacheka tu.
Akaona haitoshi
akachukua simu
yake
akampigia mtu namba imesaviwa Lita akawa
anaongea nae kimahaba mara sijui babe
umekula ,adi yule wa dukan akamwambia boss
wangu Kuna mtoto hapo uyo mwalimu
mnadhan hata anaelewa ndo kwanza
anaendelea ,nikaona nisiongee na mwezi
mchnga nikaenda zangu Dom kupumzika
maaana sio Kwa hekaheka za Leo za
Pedi
Inaendelea

