SHERIA YA NDOA CHUPI KWENYE KAMBA MIUNO MPAKA ASUBUHI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 6
Nilimwambia boss kila kitu hadi alivyojitongozesha kwa timo hadi alivyonizushia habari za uongo nilisema yote wale mashoga zake walishangaa maana rose yeye alikuwa ananichafua wakati ukweli anaujua walianza kumzodoa pale mwisho boss akasema rose nimekusimamisha kazi kachukue barua yako kwa secretary
nyieee aliachia kilio siyo cha kawaida mie nikamwambia usije kurudia kumfanyia ubaya m2 ambaye hakuwazii mabaya πππ
tulirudi na kuendelea na kazi timo alinioigia cm akasema kuna habar gab mbona niliwaona mnapandisha juu kwa madam nikamwambia kimenuka π€£π€£π€£
timo anavyopenda umbea alikuja ofsin kwangu nikampa full story yaliyojiri
akasema mke wangu nakupenda sana nadhani asa hv utakuwa na amani yule mwehu hayupo nikamwambia ila namuonea huruma kuishi bila kazi mjini ni kipengele
timo kasema pamoja na yote bado tu unamuonea huruma ?
nilitikisa kichwa kumuitikia akasemaa ukiendelea hv utaumizwa sana mke wangu inakubidi uwe na roho ngumu
maisha yaliendelea na baada ya wek moja mbele tulipanga safari hadi kwetu dodoma nikamtambulisha kipenzi changu wazazi wangu wakampokea na akatoa kishika uchumba pamoja na mahari
alikabishiwa mm rasmi tukawa tunasubiri tarehe ya ndoa tu
my wenu nilikuwa na furaha sana nilikuwa na mwanaume nimpendae ππ
tulirudi dar na tukakaa mwezi 1 tukaenda tanga nyumban kwao timo
nyie nilipokelewa vzr na wakwe zangu pamoja na mawifi ha?
nawapenda sana wakwe zangu mapenzi mlionionesha ni mkubwa mnoooππ
tulipewa chumba chetu na mchumba wangu kila siku mama mkwe hakuacha kunipa mawaidha akasema kuanzia leo huku wewe ndio kwenu mwanaume anajengwa na mke wake hivyo jitahidi kumuelewa mumeo ukiwa hivyo mtaepuka migogoro ndani ya ndoa
pia mwanangu mkipishana kauli jitahhidini mmalize ugomvi wenu haraka iwezekanavyo mimi kama mimi nilimuelewa sana mama mkwe nkmamuahidi kuyafanyia kazi maneno yake
tukikaa tanga kwa weak 1 ndio tukarudi huku tukiwa tumefungishwa zaiwadi za kila aina
nyie kuna mama mkwe alafu kuna mama mkwe wamgu mimiππ
mama na mawifi zangu waliahidi kuhudhuria kwenye ndoa yetu ambayo ilipangwa kufanyika dar miezi miwili mbele
tulifika dar tukiwa hoi na mpenzi wangu toma aliniambia niombe ruhusa ili nifanye maandalizi ya kharusi
nitasema nini ikiwa baby wangu kashasema π
basi nilianza kujituliza ndan nikitoka ni mara 1 tu na kurudi
kwa muda wa mwezi mmoja tu nilipendeza balaa
nilishonewa gauni nzuri kwa dizaina mkubwa nailipoijaribu ilikuwa balaa maana mpenzi wangu alibaki ππ
ndugu wa pande walianza kuwasili na namsukuru mungu siku yetu adimu ilifika na tukafanikiwa kufunga ndoa baadhi ya watu wa ofsn walifika na kujumuika nasi
tukiwa tunatoka kanisani nilianza kuona kama wenge nikiwa nashangaa ni nn kimenipata nilimuona rafiki yangu Diana akiwa mbele yangu anacheka kile kicheko cha kukera π’π’π’
UNAVOTOTAKA NA MIMI NATAKA ππ
Episode 7
Mume wangu alianza kuniuliza mke wangu vip unajisikiaje alivyoona sijibu alafu jasho linanitoka aliwaambia wale watu wanaorekodi matukio wazime camera
muda huo maama yangu pa1 na mama mkwe walikuwa wanalia tu
mchungaji aliamrisha nirudishwe ndan nilipelekwa chumba maalumu hapo sijitambui wala sikii chichote kinachoongelewa wakanizunguka wachungaji zaidi ya wa4 nikipigwa maombi zaidi ya masaa 5 ndio anagalau nikajiona network inarudi ila mchungaji alimwambia mume wangu mke wako ana vita qali sana jitahidin sana kumuombea usipuuze maana hili wakati huo mama na mkwe wangu pamoja na baadhi ya ndugu walikuwa nje
nilianza kurudiwa na faham nikafungua macho ila bado sura ya Rose haikunitoka kabisa nikiendelea kupiga kelele huku nikiwa nimemng’ang’ania mume wangu
nilimwambia naomba usiniache mume wangu wale pale wanakuja kunikuchukua π₯²π₯²π₯² mchungaji alisema tuendelee na maombi hautuwezi waruhusu muondoke na m2 yuko kwenye hali hii
walinifanyia maombia ya maaana baada ya muda nikajiona mwepesi na kitu cha kwanza niliomba maji maaana koo lilikuwa limekauka balaa
baadae tulirusiwa na tukaondoka nyumbn hakukuwa na sherehe ukumbuni tena wala nn maana kila kitu kilikuwa kimeharibika na hakuna hata ambaye alikuwa na ham ya kwenda ukumbuni
mimi na mume wangu tukikataa mwenye honnymon hotelen baadala yake tukarudi nyumban wotee
baada ya siku 2 nilikuwa saawa angalau nikawa sistuki stuki
mume wangu pa1 na familia yangu walikuwa bega kwa bega na mimi
hamuwezi amini hatuweza hata kukulana π«£π«£π
siku hiyo niliandaa mazingira vizuri maana mume wangu huwa anapenda udambwi dambwiππ
basi baada ya kula chakula cha usiku tukiwa sebleni na baadhi ya ndugu zetu walikuwa hawajaandoka baada ya kharusi yetu
hivyo nilimtumia sms mume wangu na kumwambia mi natangulia chumbani anifate nina shughuli nae pevu ππ alinijib kwa viemoj vya πππππ
baada ya dk 3 tu alikuja na sikutaka kufanya ajizi tulikokotana hadi bafubj ni kawaida yetu kuongeshana na kusuguana sehem mbali mbali tulianza kupasha kiporo kule kule dk 2 tukarudi kwenye uwanja wetu wa 6 kwa 6 nyieee nyieee siku hiyo mume wangu alikuwa matraaaam utadhan ndio mara ya kukulana nae nilijitagisi kumpa vituziiiiiiiπ«£π«£π«£
Episode 8
nawaambia tena hakuna kitu kizuri kama kupeana huba na m2 unayempenda kuna kafiling flan hivi huwa kanakuja wakati wote watendo unajikuta unaloa tu kwa bibi ππ
tulilala tukiwa hoiii na kesho timo alitakiwa kwenda kazin hivyo nilimka mapema nikaandaa kifungu kinywa kisha nikarudi chumbn nikimuasha kwa mbwembwe kisha nikampa kimoja cha asubhi hapa ngoja niseme na nyie kidogo π wekeni utaribu wa kupeana cha asubuhi ili kuwekana sana maana siku huwa anaanza vizuri kuanzia nyumbn msiseme sijawambia π€£π€£
na mimi nilianza kazi hivyo tukawa tunatoka wote asubuhi kwenda kazin
siku zilienda na hatimae nilipata ujauzito nyiee nilijua kudekezwa timo hakutaka nifanye kazi zozote alitaka hadi kunipa likizo mimba ikiwa changa π€£π€£π€£nikamwambia mume wangu usifanye hivyo nitapooza mnooo nikianza kukaa nyumbn asa hv niachd nifanye kazi angalau ifike hata miezi 7
kwakuwa nilimuomba huku sauti inatokea puani alinielewa chezea huba weweeeeeπππ
kama mjuavyo siku hazigandi mimba ilifika miezi 8 gafla mume wangu alinifosi niende tanga kwa mama yake nilimwambia nipo tayari kwenda ila subiri basi anagalau ifunge miezi 9 kamili
weeeeh ghafla mume wangu alinigeuka na kusema inamana hutaki kwenda kwetu unapaona pabaya au nikimwambia mume wangu uko sawa kweli mbona kama unanilisha maneno ambayo sijasema
kumbuka tumezoeshana kujadili kila kitu ila kwakuwa umeamua niende sasa hv badi mume wangu tusigombane π’nilimua kujishusha maana kwa mara ya kwanza mume wangu alinifokea sikutaka tuendelee na malumbano tena nikiwa kwenye hali ile π’
tuliingia kulala na siku hiyo timo hakutaka kabisa story na mm aligeukia upande mwingine
nilijaribu kutafuta usingizi ila sikuupata niliishia kujigeuza usiku kucha na kama mnavyoojua ukiwa mjamzito usiku kucha niliamka kukojoa
nilikuja kupata usingizi saa 10 alfajri nililala usingizi wa ajabu basi ile nastuka mume wangu hayupo
nilijikusanya pale nikaamka nilioga ili nipate nguvu dk 5 mbele timo alirudi akiwa na beg kubwa akasema jiandae nilienda mjini kukununulia vitu
sikutaka ugomvi nae wala kubishana nae nilichofanya nilichukua madera machache na vitende nilivaa vzr kisha nikamwambia nipo tayari
alinipeka hadi mbezi kabla sijasafiri nilimwambia mume wangu kuna kitu hakipo sawa nakuomba sana kama kuna kitu chochote kinaendelea achaaa mume wangu bado nakupenda sana na ukumbuke tunaenda kuwa na familia yetu umoja wetu ni muhimu sana π’ machozi yalinilenga lenga muda huo mabegi yangu yalikuwa yamekwa kwenye but tayari sikutaka kupoteza muda nikiingia ila machozi bado yakikuwa yananitoka
timo alisimama kwa muda mrefu pale chini ni kama alikuwa anajishauri ikiwa anifate au laah π₯²π₯²π₯²
hamuwezi amini hakunifata badala yake aliingia kwenye gari yake na kuondoka π₯²
taa ya hatare iligonga kichwani nikasema hapa kuna kitu siyo bureee
ila nikasema mungu wangu ni muaminifu nitajua tu
gari ilianza safari nikiwa na majonzi mnoooo nilichart na wifi yangu nikampigia na mama mkwe akasema nitawakuta stand na kweli niliwakuta
mama mkwe alinikumbatia akasema pole mwanangu nakuona uko hoiiii
wifi yangu alikuwa m2 poa sana na ni kama alikuwa amenigundua siko sawa tulichukua tax hadi nyumbn kwa mama mkwe niliwekewa maji ya uvuguvugu nikaoga
tulikula wote nikaomba kulala maana sikuwa vzr
mume wangu timo hakunipigia cm wala kunitext tangu nilivyotoka dar
nilisema nijishushe nikipiga cm mara 2 haikupokelewa nikaamua nitume sms
mume wangu umeshundaje mimi nimefika salama namshukuru munvuΒ mama na wifi pia hawajambo, nikutakie usiku mwema kuwa makini nakupenda β€? niliituma sms nikajilaza
Episode 9
Nilikuja kustuka saa 7 usiku kuangalia simu hakukuwa na sms yoyote kutoka kwa mume wangu nyieeee maumivu niliyoyasikia sikuwahi yahisi kabisa π’π’
niliamua kusali nikamlilia mungu ikiwa kuna lolote baya nioneshe hata kwa ishara tu maumivu haya sitaweza kuyastamili zaidi mungu wangu timo wangu sijamuzoea hivi na ikiwa ana tatizo hajawahi kunificha π₯²
nilisali huku nalia kumbe sauti yangu ilipaa hadi mama akanisikia nilivyomaliza kusali nikisikia hodi malangon nikijivuta nikaenda kufungua
mama alinikumbatia akasema ongea na mm mwanangu mimi ndio mkweo usikae na vitu rohoni ni hatari sana kwa hali hayo nilijitahidi kujikaza ili nisiseme ila kwa jinsi mama alivyonibembeleza nikaona niseme labda nitapata ahueni ya moyoπ₯²π₯²
nilimweleza jinsi timo wangu alivyobadikika mama akasema huyu mtoto ana wazim kwann kachagua wakati huu ndio mgombane tena ukiwa na hali hii nyieee mama alibwata mnooooo
akasema nampigia cm usiku huu huu aniambie kama ana mama mwingine
na kweli alienda chumban kwake akarusi na cm ndogo alimpigia na cm iliita kwa muda kidogo kisha ikapokelewa hakuwa timo wangu bali alikuwa ni mwanamke alisema nikusaidie nn mume wangu amelakla
khaaaaaπ₯²π₯²π₯² nilisikia kila kitu
maana simu ya mama ina sauti kubwa mama alianza kubwata akasema huna adabu naiomba moe mwenye cm
kwa mbali tukisikia timo anaongea huku anauliza ni nani huyo
yule dada akamjib kuwa ww x unajifanya malaya sana haya ongeana malaya mwenzio huyu uliyemsev my love tena ongea nikusikie siyo uanze kutafuna maneno
mama alikaa kitandan akitweta hakuweza tena hata kuongea chochote niliikata ile cm nakuizima kabisa nikamwambia mama tulia kila kitu kitakuwa saawa π₯²π₯²π₯²mama ananiuliza hii imetokeaje mbona mwanangu hanaga haya mabalaa ? nilimwambia ni kweli hata mn najuatimo hanaga mambo haya ila kwa sasa hatuwezi kuelewana nae tusubiri pakuche ndio tutajua nn tufanye
usiku ule mama alilala na mm hadi asubuhi nikutoe hapo uwanjan unyooshe niguu kisha urudi unywe chai alafu upumzike jana hukulala kabisa mwanangu
nje ya nyumba ya mama kuna uwanja mkubwa wa mpira hivyo tuliuzunguka taratib huku akisema nikuombe kitu mwanangu yote yakiyotokea usiyaweke moyon fanya hivyo kwa ajili ya mjukuu wangu huyo aliyeamua kujivua utu wake muache la muhimu asa hv ni afya yako na mwanao
nilimuitikia ila kimoyo moyo ni kama nilikuwa nachomwa na pasi ya moto
nilijikaza nisikilie mbele π₯²π₯²π₯²
tulirudi nyumbn nikaoga vzr tukanywa chai wote baada ya hapo nikaingia chumbn nikajilaze
niliangalia cm yangu kuona kama kuna yeyote aliyenitafuta
na kweli nikuta miss call 6 za timo pamoja na sms
Episode 10
niliamua nikae kitandan ili nisome zile sms weeeeeh yaan mara mia nisingezifungua
mume wangu aliniambia nijitafakari sana na nikiendelea kumgombanisha na mama yake atazidi kunifurahisha khaaaaπ₯²π₯²π₯²
nikiwa bado nasoma zile za mume wangu iliingia sms nyingine kwa no mpya sms ilisema
jiandae kisaikolojia nimerudi kwenye himaya yangu na nilikwambia kabisa hii vita huiwezi rose
kumbukumbu zangu zilirudi nikajisemea kumbe hapa hii vita ni kati ya mm na diana ?????
asa imekuwaje timo kamrudia huy mwanamke pamoja na yote aliyonifanyia ? pamoja na viapo bike akivyojiapiza mungu wanguπ₯²π₯²
hapo sasa niliamua kumpigia mama yangu na kuongea nae kabla sijaanza kumwambia chochote aliniambia rose mwanangu haupo sawa nini shida ongea na mm mama yako nilijikaza nikamwwmbia mama mi nipo sawa akasema siyo kweli
alisema ongea na shangazi yako huyu hapa kama unaogopa kuiambia mimi
alimpa cm shangazi nikasikia akimwambia nipo hapo nje wifi ukimaliza utaniambia
shangazi alianza kunisemesha kilungha nikiamua nimuweke wazi tu maana wao ndio familia yangu nisipo waambia itakuwaje nikimwambia kila kitu shangazi
shangazi yangu alipaniki mnooo akasema kama alijua anataka kurudiana na mwanamke wake zaman kwann alikuoa ?nilikaa kimya akasema uko kwao tanga sehem gani nikamwmabia sahangaz tulia kwanza
akasema niambie uko tanga sehem gan ? nikamwambia ila mama mkwe wangu hana shida na yuko upande wangu
shangaz akasema ni suala la muda utadhan atakuwa tofauti na mwanane kwa muda gan kama huamini subiri sitaki uje uumie zaidi niambie uko tanga sehem gan nikufate
niliona niwaelekeze tu . nikikaaa tanga kwa siku 4 sijuwah kupokea tena cm ya tom wala sms za matusi za diana. hatimae shangazi yangu akaja mama mkwe alimpokea vzr tu na jion shangazi akaongea na mama mkwe kuwa anaomba aende na mm dodoma sababu mama yangu hayupo vzr ?
mama mkwe hakuwa na la kusema akasema ni sawa ila bint yangu usimkatie tamaa mwananume najua kuna kitu kimemkuta mwanangu jitahidi maombi muombee sana mumeo mimi pia nipo kwenye maombi
nilimuitikia mama mkwe
usiku ule tuliweka vitu sawa na asubuhi yake tukaanza safari
shangazi akasema utakuwa sawa mwanangu ?
tukifika dodoma nipo hoiiiii yaan sijitaman mama alitupokea tukala siku hiyo hatukuweza hata kuogea nilikuwa nipo hoiiiiiπ₯²π₯²π₯²na miguu ilikuwa imevimba mnooo
kesho yake jioni toma alioiga cm akasema yaan wewe mwanamke ni malaya sana umeona ukizalia kwetu utaumbuka maana mtoto siyo wangu ukaamua uende kwetu nasema hivi kuanzia leo sahau kila kitu kuhusu mimi yaan sahau
nyieeeeπ’π’π’hamkuwepo ila malaika wenu walikuwepo yaan nilijikuta napoteza tumaini kabisa ?kweli alikuwa amenikosea ila kwa hili la kuniita malaya na kusema mtoto siyo wake nilimwambia toma sitakusamehe sitakusamehe toma nikakata cm π₯²π₯²π₯²π₯²
INAENDELEA