Hadithi

Sheria Ya Ndoa, Chupi Kwenye Kamba, Miuno Mpaka Asubuhi 1 – 5

JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

SHERIA YA NDOA CHUPI KWENYE KAMBA MIUNO MPAKA ASUBUHI

ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi

Episode 1

Mimi na Rose tulikuwa marafiki wa muda mrefu tu. Urafiki wetu ulianza baada ya Mimi kupata kazi kwenye kampuni yao. Kiukweli Rose ananipenda na mara nyingi tunachukuliana kama mtu na rafiki yake.😍

Sasa, pale kazini kuna huyo mvulana anaitwa Timo Ambaye pia ni boss wetu japo boss mkubwa yupo ila timo pia hushulikia kila kitu cha ofisi labda jambo likiwa kubwaaa sana ndio linaenda kwa boss mkubwa . Timo ni mzuri sana acheni tu. Mi nilikuwa nampenda na timo alishatongoza mara kadhaa ila mie nikaleta yale maringo ya kike haikupita muda mrefu Rose akajiweka  japo alijua mie shoga ake nilikuwa sijiwezi kwa timo  lakini Rose akafanya ujanja wake, Timo akaenda kwake😭 Nikajikuta nampoteza Timo pamoja na Rose mwenyewe😰

Sikutaka kuongea na Rose💔 Nilimuona ni mnafiki sababu alikuwa anajua kila kitu kuhusu Mimi kumpenda Timo na mara nyingi nilikuwa namuambia jinsi gani nampenda yule mwanaume. Ko, nikawa niko mwenyewe napambana na mambo yangu timo nae nikamuona kama mshenzi tu kumbe hakuwa na mapenzi na mm yaan mie kumkataa kidogo tu ndio aende kwa rafiki yangu 🥲 asa si angenifosi kidogo aone kama ntaendekea kukaza 😢 mwisho wa siku nikasema kazi ndio muhimu

Muda mwingi akili yangu ilikuwa juu ya kutimiza malengo yangu  lakini siku moja Timo aliniita na kuniambia Diana, nimeachana na Rose. Nimegundua kuwa alikuwa hanipendi bali alikuzunguka katika namna ambayo hata siielew maana kila nikiwaza jinsi nilivyoanza mahusiano nae nashidwa kuekewa ilikuwaje kuwaje 😪 Mie kimoyo kikaniripuka sana. Nikawa na wasiwasi huenda ananipanga. Ko, nikamuuliza anataka nini?😔 Timo aliniambia “Diana nataka kuwa na wewe. Nakuhitaji” Hapo akanijaza maneno mengi sana kiasi kwamba hadi nilianza kumuelewa.

Kumbe, kwa kipindi ambacho nilikuwa nazungumza na Timo, aliambiwa na Rose kuwa anataka kusafiri kwenda Kijijini kwao. Ko akawa anatafuta mbadala wake. Mi nikawa sijui, hadi Rose anaondoka pale ofisini nikawa najua kwamba wameachana😭.

Baada ya Rose kuondoka, Timo akawa ananitafuta kila siku. Ananiambia tutoke out nikawa namkatalia. Kama nilivyowaambia kuwa nilikuwa busy na mambo yangu. Basi, ushawishi wa Timo ukawa mkubwa. Alikuwa akija nyumbani na vizawadi🎁 Nilikuwa namfukuza hadi nikachoka. Taratibu nilianza kumkubalia😔Nilikuwa napenda sana Chocolate 🍫Basi alikuwa ananiletea.

Tukawa tunaenda out na gari yake halafu tunarudi usiku. Basi ilikuwa hivyo. Maisha yakasonga pale ofisini ikawa kama tumeanza kujulikana hivi kwamba sisi ni wapenzi😍 Loveness ambaye ni kama rafiki yangu. Aliniambia kwamba nataka kuingia sehemu mbaya. Lakini nilimwambia ukweli naujua kwahiyo akae pembeni. Mie tena kwa kujiamini.

Timo naye akawa ananionjesha mambo mengi mno. Kiukweli alikuwa ni romantic. Alijua kuniteka kihisia. Siku ambazo nilikuwa sionani naye nikahisi kama ni mwaka hivi. Jioni ningempigia simu na kutaka kuonana naye? Kuna siku aliniambia nataka kuonana na wewe kama unaweza njoo nyumbani🙏 Niliogopa maana sikuwahi kwenda kwake. Basi nikamwambia nitakuja.

Jioni ilipofika nilinyoa vuzi maana nilijua huku nakoenda siwezi kuachwa salama ingawa tulikubaliana kwamba naenda kupajua anakoishi ila niliamua kujiongeza😂 Nyie nikafika kwake bwana. Timo alikuwa anaishi kwenye nyumba nzuri sana🙈🙈 Chumba chake sasa ndio usiseme kilivutia mno hadi nikatamani kulala.

Episode 2

Akaniletea juice 🍹🍹tukaanza kunywa wote kwa pamoja huku akinitazama usoni. Macho yake yalikuwa mazuri hadi nilijikuta nashindwa kumtazama. Nikakwepesha macho yangu. Timo akanisogelea na kunishika vidole. Akaniambia nina kucha nzuri.😍 Hamkuwepo bwana😂Nilivimba kichwa mno. Basi akaanza kunishikaa na kunicheza huku na huko. Nikaanza kujifanya sitaki nataka. Tomi akajua kwamba nilikuwa naogopa mwanga wa taa. Akaenda kuzima. Moyoni nikajiambia tayari nimeshaliwa leo. Basi, kachupi kangu kalivuliwa  saa ngap asizame mgodini nyieee nililabwa kama katoto ka mbwa 😂😂 🙈🙈🙈🙈

mizuka iliponizidia nikajisemea mbona nimelazwa kama nabakwa ngoja na mm nimuoneshe kuwa siyo kinyonge 😝 nilimpindua nikaanza kushughulika

nilikamata 🍆nikaanza kutuma salam nilituma salam hadi kwa majiran zake 😝nilimuona anaanza kukoroma kama ganerata 😂😂😂 nikajisema sasa je

tulioneshana umwamba kwenye maandalizi hadi wote tukawa hoiiii

baada ya hapo mpira uliwekwa kati nyieee tulikinukisha mwanzo nilikaza 

ila mwanaume ni mwanaume tu kuna sehem alinigusa nikaishiwa nguvu nikabaki nakatika kama feni bovu

hatukuchukua muda mwingi tulifika kilelen wote tukiwa hoiiiii

😋😋😋

Timo alisema  Diana naomba unisamehe sana nilistuka nikataka kunyanyuka maana nilikuwa nimelala kifuani kwake

alinizuia akasema tulia nikwambie kitu mpenzi wangu

nahisi kuna vitu Rose alinifanyia maana nimekutana na ww nimeona tofauti kubwa

nikamwambia timo mpenzi wangu mbona sikuelewi

funguka nikuelewa . aliniambia nataka kuanza maisha na ww mpenzi wangu najua unanipenda mnooo hata mm nakupenda na nikwambie kitu mwenzio nikiwa na ww nainjoy mnooo kwanza unanijulia

wakati huo nasifiwa basi mie bichwa hilooo😜😜😜😜

mniache kwan nani asiyependa kusifiwa na mwanaume wake

kwa njins alivyokuwa anaongea nilijikuta nanywea tu na kumsikiliza

aliniambia mambo mengi sana mengine yaliniuma  na akakiri kuwa alinikosea

mi nilimua kumkatisha na kumwambia kuwa yaliyopita tuyaache maana tukiyaongelea  sana yananitonesha tu vidonda Timo ukumbuke mie nilikupenda sana na hata ww najua unanipenda ila nadhan wakati wetu sahihi ulikuwa haujafika na pengine ilikuwa ni lazima tupitie changamoto ili tukiwa wote tuwa imara zaidi

 hili liwe funzo kwetu huwezi jua mungu ametupangia nn  mbeleni

tusiruhusu vikwazo vituyumbishe tena

mpenzi wangu alinikumbatia akasema ndio maana nakupenda wewe ni mwelewa mnoooo😘😘😘

mie tena na kusifiwa bichwa likawa kubwa kama ungo 🤣🤣🤣🤣🫣

Episode 3

Tulirudia round  nyingine si mnajua mkitoka kutoa madukuduku yenu mnavyokamiana 😜 tulinyanduana hadi miguu ikawa inatetemeka 🤣 utadhan tukikuwa tunapambania kombe nyieeee🤣🤣 ukinyanduana na mwanaume unayempenda raha sana

siku hiyo nililala pale pale na asubuhi alinipitisha kwangu nikabadili nguo akasema chukua nguo mbili tatu ukitoka kazin nakufata sitaki ukae mbali na mm sasa hivi

khaaa nikamwambia mbona gafla chibaba akasema ndio nishasema hivyo au una kijanaume chako hadi ukiiage khee yamekywa hayo tena

nilimwambia yaishe mpenzi wangu neno lako kwangu sheria 😍😍

nilichukua nguo kadhaa kwenye mkoba wangu wa kusafiria niliuweka cty ya nyuma mie nikapanda mbele sie haoooo hadi kazini ?

tulivyofika kazini watu mijicho yote kwetu khaaa na wambea wake Rose niliona wanajibonyeza nikasema mnaloooooo kwanza mie ndio niliyeibiwa bwana hivyo karudiii kwa ampandae 😛

nilikuwa nabusy na kazi muda wa kula ulinipita baby akaniagizia chakula maana nikibanwa mnooo nikiwa  nakula nilipigiwa cm na no ngen ila nilivyotaka kupokea moyooo wangu ukalipuka yaan unajua ile moyo kulipuka ndio wangu ulivyofanya

Niliiacha iite hadi ikate ikaita tena nikasema liwalo na liwe mie napokea

ile napokea na kuweka sikioni weeeeh nilikoma

nilikutana na mitusi ya mwendo kasi na kwa vile sikuwa nimejiandaa nilibaki nimeduwaa tu 😕😟😟

alikuwa ni Rose alisema hii vita huiwezi diana si unataka tuoneshane asa subiri uzuri unanijua vizuri muone sura lake lilivyopooza kama mchicha bwasi khaaa mie huyo nimepooza kama mchicha bwasiii 😢😢

basi my wenu nilisuuzwa sikubakishwa hataaa ila mimi desturi yangu huwa sibwatizani hivyo alivyomaliza nilimpigia timo na kumwambia kila kitu akasema nakuja ofsini kwako mke wangu

nikianza kupokea mvua ya sms za matusi

khaaa yule dada domo lake limeoza siyo kwa matusi yale mungu wangu🙆🏻🙆🏻🙆🏻🙆🏻  nilimkadhi cm timo akampigia  alivyosikia sauti ya timo eti akanigeuzia kibao

eti baby diana amenipigia cm na kunitukana sanaaa alijiliza pale ila timo alimkatisha na kumwambia kaa mbali na mke wangu yaani ukitaka kunijua kiundan endelea kumchokoza  mke wangu nakwambia  ntakufurahisha

 nyie muda huo anavyoniita mke wangu bichwa lilikuwa linataka kupasuka 🫣

Episode 4

Rose alimuapia toma kwa kumwambia ukidumu na diana labda sijatokea singida khaaa niliingiwa na kaubaridi ila nikajikaza baby asinione muoga ila kiuhalisia nilikuwa naogopa  balaa 😟😟😟

nilimwambia baby sijisikii vzr kichwa kinaniuma mnooo naomba niende kwangu nikapumzike

akasema nakupeleka mwenyewe

basi niliweka kazi zangu vzr nikaenda ofsin kwa boss wetu mwingine anayetusimamia baadhi yetu  alikuwa mdada yuko normal kishenzi kiufupi ukiwa na shida na ukamuweka wazi ni mwepesi sana kukusaidia

nikimwambia nasikia homa boss naomba niende hospital  alinipa pole akavuta droo na kunipa elfu 40 nilitaka kuikataa lakiniii nikasema weeeeeh hela haikataliwi😂🤣

toma alinifikisha kwake akasema pumzika mi narudi kazin na kesho week end nataka unipe taratibu za kwenu sitaki kukaa na wewe kihuni

khaaaa nyieee niliona mambo yanaenda haraka sana toma alivyoondoka nilianza kujifinya kwa kukuhisi labda nipo usingizini naota 😂😂😂kumbe ni kweli huba lilikuwa limekolea balaa😋

basi nilipumzika hadi saa 9 alasiri nikaamka na kuoga nikavaa tishert kubwa kubwa la baby wangu lilinifika juu ya magoti basi nilielekea jikoni nikaangalia kitu cha kupika nikaona nimpikie ndizi nyama  baby wangu 😋😋😋😋

kufika saa 12  mpenzi wangu alirudi akanikuta nipo chumban nacheza game

nliisadia kumpunguza nguo tukaelekea bafuni na kilichotokea huko kuta za bafu Ndio shahidi 🫣

nani alikwmbia ukiwa na kipenda roho unachoka nani alikuongopea ukiwa na lazizi wako nyonga mkalia ini unachokaaaa  ni mwendo wa kupeana mavituzi 😜?tulirudi chumban akavaa pens na mie nikafunga kimtandio chepesiiiii tukaelekea seblen toma alinipa kwenye wowowo akasema mtoto utanipa kesi sitaki na raia 🤣

nilitenga chakula tukala

nyieee siyo kwa kusifiwa kule na kweli ndizi zilikuwa traaam balaaa tulivyomaliza hatukutaka mambo mengi seblen 😍😍

sie haoooo hadi chamban ?tom mpenzi wangu aliniulizia proses za kwetu ili amtume m2

nikimwambia kila kitu ila nikamshauri tukipata muda tuende sisi wenyewe

nikimwambia nataman sana kwenda kukutambulisha mimi mwenyewe kwa familia yangu nyieeeeee😋

tukiwa tunajadili mambo yetu tulisikia get kubwa kinagongwa kwa fujo toma alitoka na mie na kiherehe changu nikamfata nyuma

kabla hajafungua tulisikia sauti ya Rose nje nakwambia toma fungua kabla sijakujazia watu ulijua sijarudi   si ndio asa fungua unikatae uso kwa macho

khaaa nikajisemea kivumbiiiii leo kumbe kunakukataana uso mwa macho 🙆🏻🙆🏻🙆🏻🙆🏻

toma alifungua mget kwa hasira nilimuona Rose akiwa mwekunduuu kwa kulia khaaa huyu vipiiii

Episode 5

Toma alimvutia ndani  ya geti akamuuliza unapata wapi ujasiri wa kuja kupiga kelele kwangu

Rose alitoa mimacho toma alimuwasha kibao kitakatifu

akamwambia nilikuambiaje mchana kaa mbali na mke wangu

sikuhitaji nimeshajua ujinga wako wote au hadi nikwambie wazi ujue asa kwa taarifa yako najua hukusafiri kwenda kijijini bali ulikuwa na lizee lako hotel uongoooooo nyieee rose alibaki mdg kama piliton🤣🤣

mie nilibaki mpenzi mtazamaji tu maana lile lilikuwa bonge la movie 🤣

alimwambia kuna kitu chako humu ukichosahau niambie nukupe maaba baada ya leo sitaki kuuona uso wako tenaaa

rose akipiga magoti na kuanza kuomba msamaha timo alimwamabia wa kumuomba musamaha ni mke wangu maana yeye Ndio ukiyemkosea zaidi

rose akiniangalia kwa hasira mie tena moyo wangu baridiiiii maana mungu amejua kuninyooshea mnafiki wangu 😛

baada ya kusuuzwa  vizuriii alinyanyuka kivivu akatoka na kuondoka nilimkumbatia mpenzi wangu na kumwambia asante

akasema hapa uko mikono salama mke wangu mie tena bichwaaa hilo hadi linakata kona tazara 🤣🫣

tulirudi ndan na nikaona hapa nimpe vitu adimu nikimwmabia twende tukaoge baby tukienda na kule bafuni hatukuwa na mambo mengi tukirudi kwenye uwanja wa kujidai ndio nikafanya yako uzuri toma nae hakuwa nyuma tukienda sambamba na kama kawaida yake kuna sehem huwa ananichezeaga rafu nabaki natweta kama nimemeza tonge la moto 😋😋😋

nilimbidua nikakaa kwa juu nikaanza kuongoza mchezo alitaka kufunga goli nikachomoa niliitia mdomoa weeeeh

mtoto wa mama mkwe alikuwa anaunguruma kama simba mie tena nikazidisha sifa hadi akalibwada mdomoni 😋😋😋

aliniwahi akanipa denda weeeeh nilijikuta mzuka unaoanda upyaaaa tukalianzisha tena nyieee asikwambie m2 kunjunjana na mwanaume wako au mwanamke wako unayempenda  ni raha sanaa hamchoki😝

tulikuja kupumzika muda ushaenda ile tunastuka ni saa 12 kasoro asubuhi 🙆🏻🙆🏻🙆🏻 tulikimbilia bafuni kama wehu 🤣

tulifika kazini kila m2 akazama ofsin kwake na kuendelea na kazi zake hadi muda wa mchana ndio tukaonana kwenye chakula

ofsin maneno yalianza kuwa mie nina tabia mbaya najitongizesha kwa wanaume wa watu maneno yalipozidi nilienda kwa boss wetu mwanamke nikaenda kuriport wakaitwa wote kuanzia Rose na kundi lake

boss akasema imekuwaje mnageuza ofisi kama sehemu ya kijiwe wote kimya boss akasema hamna midomo si ndio nitawapa maburua za mapumziko  wote nadhan kila m2 alisoma mkataba wake vzr na anajua lipi hatakiwi kufanya akiwa ofsini

Rose alianza kuongea kwa kunichongea huku shoga zake wakimsaport nilimsikiliza weeeh mwisho uzalendo ukanishinda.

INAENDELEA

error: Content is protected !!