HATUA ANAZOPITIA BINTI WA KISASA KUTOKA USICHANA HADI UTU UZIMA
Chanzo: Jamii Forums
Zifuatazo ni hatua ambazo mabinti wa kisasa a.k.a watoto wa 2000 wana possibility kubwa kupitia kwasababu hata dada zao watoto wa 1980’s na wa 1990’s wamepitia tayari na sasa wanalipia hesabu yao ya kukengeuka kama wendawazimu.
UMRI KUANZIA MIAKA 16 HADI MIAKA 26.
Hii ndio stage nyeti na takatifu sana kwenye maisha ya mtoto wa kike popote ulimwenguni ambayo kama ataienda kwa namna MUNGU ameelekeza basi mafanikio yake huwa ni ya uhakika huko mbeleni ila akikengeuka then matokeo yake ni kama ifuatavyo:
Kuanzia miaka 16 hadi miaka 20 story zao huwa ni “mimi siwezi kudate wavulana maana ni hawajitambui, hawana hela, na bado wanategemea kwao mimi watanipa nini, me nataka mkaka wa form six au wachuo kikuu”. Hapa vinakuwa bado vinaishi kwao na vinategemea wazazi ila vimeshaanza mawazo ya kimalaya na kidangaji mapema sana.
Wakifika miaka 21 wanasema “mimi sitaki kuolewa” kwasababu ya ile attention wanayopata ya kutakwa na wanaume kwa wingi sababu wanataka kuwatafuna. So kwasababu wamejua kuwa wanatamaniwa then wanajipa uhakika kuwa hawatakosa wanaume wa kuwataka maisha yake yote.
Wakifika miaka 22 huwa wanaanza kauli za dharau kama mimi siwezi mtetemekea mwanaume hata iweje. Hapo ndio ukute ni mtoto wa single mother basi anaongezea na shuhuda za mama yake kuvalidate huo ukosefu wa maarifa ya kike.
Miaka 23 wanajipandisha dau kuwa kama unataka kuwa nae then hakikisha mfuko wako una maokoto ya kutosha ili yeye aishi vizuri kwa kupata vitu ambavyo hata baba yake alishindwa mnunulia au kumlipia. Hapa ndio steji ya udangaji huanzia na wao hujiona maqueen wa jiji hakuna cha kuwaambia.
Miaka 24 maneno ya dharau yanapamba moto,watasema wanaume wasio na pesa hawastahili kuwa na pisikali kama mimi. Huu ndio wakati hawa mabinti huwa wanakuwa kama wamevuta bangi iliyochanganywa na majivu ya mifupa ya mamba.
Miaka 25 utasikia wanaume ni takataka hapo ni matokeo ya kugonganisha wanaume na wanaume waliokuwa wanampa jeuri ya kumlipia bili na kumnunulia vitu latest kumkatia tiketi za ndege etc kuanza kupunguza mazoea sababu hawawezi kushare na wamejua wanatumiwa tu kifedha. Sasa hapa binti anaona kama wanaomkataa wanamkosea anawavimbia kwakua anaamini atakuja mtu mwingine tu kutake over sababu yeye ni pisikali.
Inafika miaka 26, baada ya kuona wanaume wameshamshtukia life style yake ya kuwa na wanaume zaidi ya m’moja wanamkwepa sasa anaanza michakato ya kujitegemea kiuchumi aidha kwa kudanga kwa wanaume wenye pesa nyingi wampatie mtaji au kugawa utupu ili apewe ajira apate mshahara awaonyeshe wanaume waliomkazia kuwa anajiweza hata bila ya wao na ndipo hapa kauli za kishujaa za “I am a superwoman, I am an independent strong woman I need no man in my life” husikika sana.
HATUA YA LALA SALAMA AU DANGER ZONE MIAKA 26 HADI 30.
Huu ndio umri ambao binti ataanza kushuhudia wenzake waliomzunguka wakiolewa,wakipata mtoto wa pili au watatu ndani ya ndoa ila yeye kwasababu ya kiburi cha shetani alichoshikamana nacho kwenye komwe lake ataona bado anayo nafasi sababu ni pisi kali mwanaume wake yupo kanisani anamsubiria amalize kupuyanga akampe maisha sawa kama wanayostahili mabinti waliojituliza.
Miaka 27, utasikia kwasasa napambana na biashara zangu au kazi yangu ili kujijenga sina shida ya mwanaume maishani mwangu wanaume ni wakandamizaji na wanarudisha nyuma. Huku nyuma ya pazia anapita hadi na boda boda wanaomletea chips sababu anajifanya kauzu kwa wanaume potential kuwaonyesha yeye anajimudu bila mwanaume.
Wakifika miaka 28 utasikia wanaume wanawaogopa na kuwaheshimu wanawake wenye uwezo wa kiuchumi wanawake wenzangu tupambane tujikwamue kiuchumi. Hapa ndio utawakuta akina Jadda.
Wakifika miaka 29, wanagundua ulimwengu haudekezi mtu unaadhibu kulingana na ukosefu wako wa adabu. Hapa wanagundua hakuna anaewapa attention tena na wamechelewa sana kuwa serious na maisha. Wenzao wamekuwa mama wa familia,wakikaa nao story wanazozungumzia ni shule nzuri za kupeleka watoto,lishe nzuri ya mtoto, namna wanaume zao waliwa surprise na kuwafanyia anniversary party ya kusheherekea miaka 5 au 10 ya ndoa na upendo, au maswala ya vikao vya kifamilia ukweni. Hizi story huwaumiza na kuwafanya wajione ni wakosaji. Hapa ndipo mawazo ya kuolewa na kutulia kuwa mke wa mtu huwaandama.
Wakifika miaka 30, wanaanza kuingia mtandaoni na kupost au kuandika vitu vya kujitetea,utasikia, siku moja nitakuwa na familia yangu,nataka niwatafutie watoto wangu baba bora tujenge familia bora na kumcha MUNGU. Na ndio kipindi hiki huwa wanakimbilia kwa mwamposa kusali na kufunga novena kwa wakati m’moja ili kupata mwanaume wa pekee yake mwenye mafanikio wa kuoa.
MIAKA 31 HADI 40 ARMAGRDON STAGE AU KIAMA CHA MWANAMKE KIMAHUSIANO.
Katika hatua hii mwanamke anakuwa tayari ameshachelewa sana eneo la mahusiano na kufanikiwa kwake ni kwa asilimia ndogo sana na huu ndio muda anakuwa katika risk ya kukosea zaidi na kujiletea majanga ambayo yanaweza kumuandama maisha yake yote.
Miaka 31, hapa wanaanza story za kumjua MUNGU na kujifanya sasa wanajua thamani ya mahusiano ya uaminifu yenye kuzingatia upendo hata kama kipato ni tatizo. Kwakifupi wanaanza kuwa desperate kuanzisha mahusiano bora wakati hiyo nafasi walikuwa nayo miaka 10 iliyopita na sasa wamechelewa sana.
Miaka 32 haijalishi mwanaume ana kipato gani au ana maisha gani cha muhimu ni mapenzi ya kweli tu na uaminifu na awe mcha MUNGU. Hapa ni baada ya kuforce ndoa na kuchezea mechi za kimasihara na kujikuta anakuwa bed midfielder wa vitanda vya mabachelor wanaomuwekea ahadi ya ndoa kisha wanapiga na kusepa. Sasa anatubu japo hata apate muaminifu. Mtoto wa kiume hata kama unataka mke kiasi gani hapa usiguse mzee utakuja jutia mbeleni huko.
Miaka 33, wanaume wenye mapenzi ya kweli mpo wapi? Hapa amekwisha kata tamaa na amejua ukweli kuwa unaweza mfosi punda kwenda mtoni ila sio kunywa maji. Wanaume wanakuja ila wakimsoma wanagundua huyu sio wife material ni mdangaji aliyestaafu anataka mimi niwe retirement plan yake.
Miaka 34, hapa wanakuja na mpango wafungulia mbwa au butulia golini ufunge kwa bahati. Atatafuta mwanaume mwenye afadhali mara nyingi target ni wanaume za watu wenye ndoa zao. Atataka ategeshe na kupata mimba kisha aanze kufosi familia na huyo mwanaume. Yaani apate tu hata ile hali ya kuwa alikuwa na mwanaume wa kumshirikisha maswala yake ya nyumbani ila ndio hivyo tena mume wa mtu sio wa kuazima. Hapa akikosa mume wa mtu atatafuta marioo handsome ilia pate nae mtoto kisha amfosi kusettle nae. Hii huwa ni recipe ya disaster, hapa mtu anakwenda kuwa single mother katika umri wa uzee.
Miaka 35, utasikia ni only a real man anaweza kulea na kujali familia na mtoto asiekuwa wake kama wa kwake. Hapo jua tayari mwamba ameshafanya yake katia mimba then anategea kumtunza mama na mtoto au amewatelekea mazima anatafuta mfadhili wa kumsaidia.
Miaka 36, wanakuwa wakali sana kwa wanaume mitandaoni na mitaani wakiwatolea macho pindi wakitongoza mabinti amabo wapo umri wa kuolewa sababu ikiwa ni wivu kuona wanaume wa rika kuanzia miaka 30 hadi 45 wanadate na kuoa mabinti wa umri chini ya miaka 30. Hapa ndipo watakumbuka hizi nyuzi za jamii forum za wanaume wakiwakemea kuwasihi kuacha tabia za hovyo na kushika maadili. Utasikia wanaume mnatoka na visichana vidogo ili kuviharibia maisha kwasababu mnakwepa majukumu na kuwa na wanawake wa rika lenu,
Miaka 37, msongo wa mawazo unaanza kupanda kwa kasi plus stress za marejesho hapa mwanamke anakuwa nusu mzima nusu mwehu.
Miaka 38, anafosi penzi hata la boda boda aliyejichokea at least awe na mwanaume wa kumwita mume wake maana upweke unaweza kumuua, ila huko ndani amani haipo sababu ni watu wawili tofauti wasio na mlengo sawa.
Miaka 39, hapa mwanamke anakuwa ameingia umri wa kukata tamaa. Usishangae kumkuta anaongea mwenyewe. Ukimtazama hata ile nuru ya kike imetoweka anakuwa kama bibi kijana. Akiwatazama wenzake ndio anaelewa kumbe ndoa sio mashindano,ndoa sio vita, ndoa ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke ndoa ukiipatia then maisha yanakuwa na utulivu sana. Hapa hata kwa mwamposa ataenda kwa kujivuta sana ameshakata tamaa.
Miaka 40, hapa mwanamke anakuwa ameaga mashindano rasmi. Hakuna mahusiano ataanzisha hapa yawe na tija wala faida tena maana hana tena baadae muda umeshamkataa kwam sasa alitakiwa kuwa anavuna matunda ya safari yake ya tokea ujana na sio kuanza safari mpya na mtu as if ndio ana miaka 20.
Kwa kuhitimisha, wengi wenu hudhania kuwa sisi Masculinists tunaokuja katika mitandao ya kijamii kuleta mada mbali mbali zenye maudhui ya kusagia kunguni vitendo viovu ama vya hovyo vya wanawake wa kisasa basi tumebeba chuki moyoni dhidi ya wanawake wote. Hii si kweli n ani upotoshaji. Wanawake wenye mwenendo mzuri wapo wengi sana huko mitaani na wanatoa mchango wao wa kujenga jamii bora na sisi tunawapongeza san ana kuwaombea katika ibada zetu wapate wanaume bora wa kujenga nao familia.
Kuna lile kundi wanaojiita kizazi jeuri, kizazi cha nyoka,watoto wa haramu, uzao wa uasherati au ngono,kizazi ambacho kimedhamiria na kwa wazi kabisa kinakiri kumtumikia shetani ila kwa kificho hao ndio sisi ni adui zetu namba moja na upanga wa jihadi tumewashikia wao na tutawakata kila uchao kwasababu tumeagizwa na muumba kuwa hawa siku zao za kuishi hapa duniani zitawaliwe na maumivu kwa kipigo tutakachowapa hadi wajue kuwa njia walizochagua si sahihi.