SIKU NILIPOMFUNIA MUME WANGU AKIFANYA MAPENZI NA MWANAKWAYA WA KANISA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 2
Niliachwa kulea watoto watatu peke yangu katika nyumba yenye baridi, nikikabiliana na dhihaka za majirani ambao walisema sikuwa “mwanamke wa kutosha” kubaki na mwanamume.
Kumbe mume wangu alikuwa ametorokea kwa Mwanakwaya aitwaye Grace na kwenda kuishi huko, na bahati kwa bahati huyu mwanakwaya alikuwa akiishi mbali sana na Kanisa, ni hadi upande gari moja.
Lakini Mungu aliamua kunifunilia hiyo dhambi kupitia mmoja wa marafiki zake huyo mwanakwaya. Ndipo niliamua kwenda huko kimya kimya mida ya jioni, niligonga mlango na kuingia moja kwa moja ndani na kuwakuta wanapeana raha special kitandani.
Sikufanya lolote wala kuongea chochote, niliamua kuwaacha tu waendelee tu na raha zao. Na niliamua kuyakubali maisha yangu mimi mwenyewe kama mjane maana niliona nikahangaika kumfuatilia sana, nitapata presha bure.
MWISHO

