UKIMWI ULIVYOLETA KIZAAZAA KWENYE FILAMU ZA NGONO
Miaka ya 1980 ilikuwa ni miaka iliyotisha sana kwenye kusambaa kwa ugonjwa wa UKIMWI na hata kuua watu wengi.
Kipindi hicho ulimaliza sana aigizaji wa filamu za ngono na kuanzia mwaka 1980 mpaka 1989 tayari uliondoka na waigizaji 27 wakiwemo John Holmes, Wade Nichols, Marc Stevens, Al-Parker na wengine kibao.
Daaah! Ngoja tuangalie kuanzia mwaka 1992 na miaka mingine iliyofuata.
1992: Muigizaji wa kike, Dusty aliambukizwa ugonjwa wa UKIMWI. Katika maisha yake aliigiza zaidi ya filamu 150 za ngono.
1993: Mwanamke mwingine aliyeitwa kwa jina la Carrie Morgan naye aliambukizwa ugonjwa huo.
1995: Haikuishia hapo tu kwani mwaka huu pia Barbara Doll naye aliambukizwa ugonjwa huo.
1997: Huu mwaka ulikuwa wa mwanamama Nena Cherry. Huyu alikuwa maarufu sana miaka hiyo kwa kuigizaji filamu bora za atu wazima. Aliigiza zaidi ya filamu 100 na kwa bahati mbaya sana akaambukizwa ugonjwa huo. Pia ndani ya mwaka huohuo muigizaji wa kike, Jordan McKnight naye akaambukizwa. Huyu aliigiza na Marc Wallice ambaye naye aliupata mwaka 1998.
1998: Huu ulikuwa mwaka mbaya sana kwani ugonjwa huo ulisambaa zaidi kwa waigizaji kama Tricia Devereaux, Brooke Ashley, Caroline na Kimberly Jade ambao hao waliambukizwa na Marc Wallice.
Ashley alimlalamikia Wallice kwa kusema kwamba yeye ndiye aliyemuambukiza walipokuwa wakiigiza filamu ya ngono iitwayo The World’s Biggest Anal Group Intimacy.
Humo ndani Wallice aliigiza na waigizaji niliowataja hapo juu kwa kuwaingilia kinyume na maumbile pasipo kinga yoyote ile. Na hao wote aliwaambukiza.
1999: Mwaka huu muigizaji wa kiume Tony Montana na wa kike, Florida walikutwa na maambukizi ya UKIMWI. Tony Montana aliigiza filamu zaidi ya 500. Aliigiza na waigizaji mbalimbali kama akina Wallice, Laurie Holmes ambaye huyu alikuja kuolewa na John Holmes miezi michahe kabla ya kufariki kwa ugonjwa huo mwaka 1998.
Pia Tony Montana aliigiza filamu ya kunyonyana na Caroline ambaye alikuwa na ugonjwa huo. Caroline akampasia pande Tony Montana mwaka 1999.
2000: Staa wa kike aitwaye Niki Lae naye aliambukizwa mwaka huu. Ila yeye alifanya filamu 10 tu.
2001: Muigizaji wa kike, Tori Coca Flame naye aliambukizwa ugonjwa huo. Alifanya filamu na Eric Stone ambaye alikufa kwa ugonjwa wa Ukimwi mwaka 1996. Kama Eric alimuambukiza Tori ilimchukua miaka mitano kuishi na ugonjwa huo.
Huyo Eric alikuwa akiigiza filamu za kichoko na hata yeye pia kula wanawake, yaani alikuwa akila na kuliwa. Katika kipindi chote hicho, nao waliendelea kusambaziana kama kawaida.
2003: Mark Antony naye aliambukizwa ugonjwa wa UKIMWI, ila huyu alikuwa akirekodi zile za kichoko tu kwa hiyo ilionekana kama bahati kwa waigizaji wa kike hawakuwahi kufanya naye. Aliigiza fila kumi tu za kichoko, kabla ya hapo na kabla ya kuathirika aliigiza hizo nyingine kabla ya kuwa choko.
2004: Huu nao ulikuwa mwaka mbaya sana kwa waigizaji wa filamu hizo. Mwaka huo muigizaji wa kiume Darren James aligundulika kuwa na ugonjwa wa UKIMWI hiyo ilikuwa baada ya kuigizaji filamu za aina hiyo na muigizaji mrembo kutoka nchini Brazil, Bianca Biaggi ambaye alikuwa mgonjwa.
Baada ya kugundulika ana ugonjwa huo tarehe 12/04/2004, akamuambukiza Jessica Dee, Lara Roxx na Miss Arroyo. Mwaka huohuo naye Jennifer akaambukizwa.
Waigizaji zaidi ya sitini ambao waliwahi kuigiza na James ama Roxx wakasimamishwa kuigiza mpaka pale ambapo wangepimwa na kuonekana kuwa negative.
Waigizaji 130 akapimwa na kuonekana wapo fiti. Baadaye waigizaji wengine sita wakaonekana kuwa na ugonjwa huo wakiwemo mwanaume mmoja, wanawake wanne na mmoja aliyekuwa amejibadilisha jinsia.
2009: June mwaka huu kituo cha afya cha AIM Healthcare Foundation wakasema kulikuwa na muigizaji wa kike aliyeonekana kuwa na maambukizi na ugonjwa huo. Hawakumtaja jina.
Pia wakati huohuo kituo cha afya cha Los Angeles County kilitangaza kuwa waigizaji 16 wa filamu hizo walikuwa wameambukizwa ugonjwa huo.
2010: Muigizaji Derrick Burts aligundulika kuwa na maambukizi ya ugonjwa huo. Anasema kwamba hakujua kama angepata ugonjwa huo kwa sababu alitumia condoms kwenye filamu hizo alizokuwa akiigiza kama choko, na alipimwa kabla akaonekana yupo poa.
2012: Mkongwe wa filamu hizo, mama Rocco Siffredi alikiambia chombo cha habari XBIZ Friday kwamba waigizaji kuanzia 89 mpaka 100 wameambiizwa ugonjwa huo huko Ulaya Mashariki ambao pia nao wanaigiza sana filamu hizo.
Nchi hizo ni kama Budapest, Hungary, Czech na Urusi. Kutokana na soko kuchanganya sana na kukua, kulikuwa na waigizaji kutoka Marekani ambao walikuwa wakisafiri kuelekea Ulaya, waliigiza, waliubeba ugonjwa huo na kuupeleka Marekani.
Mfano muigizaji wa kike Aletta Ocean alifanya kazi kwa miezi mitano nchini Marekani mwaka 2009 akitokea nchini Hungary huku akiwa ameathirika hata kabla ya kuingia nchini humo.
Ugonjwa huu umeendelea kuondoka na watu wengi sana. So wakati unakula mkono, inawezekana unalia mkono ile scene wakati mwamba anaambukiza Ukimwi na mwanamama na wewe hujui.