JOIN US WHATSAPP
CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM
CLICK HERE
TABIA HIZI NANE ZITAKUFANYA UFE MAPEMA SANA KWA MSONGO WA MAWAZO!
1. Kupenda kuwafanyia watu wengine vitu vizuri sana, lakini wewe haujifanyii vitu hivyo.
2. Kusema ndiyo ili tu kuwafurahisha watu wakati roho yako inatamani useme hapana.
3. Kujishusha wakati wote ili kuwafurahisha watu!
4. Kuwaruhusu watu wengine kutoheshimu mipaka yako uliyojiwekea (Kuingilia uhuru na amani yako).
5. Kwenda kinyume na miiko,sheria na kanuni zako ulizojiwekea ili kuwafurahisha watu.
6. Kutaka kuhakikisha kila mtu akupende!
7. Kukaa kimya mtu anapokuumiza(kubakia na maumivu moyoni pasipo kusema) kwa kuogopa kumuumiza aliyekuchukiza.
8. Kujaribu usiumie au uziumizwe na Jambo lolote au kitu chochote!