LEO TUJIFUNZE SAIKOLOJIA YA BINADAMU!
1. Kujua kama mtu anakudanganya Mwambie arudie tena anachokiongea(anachokizungumza) !
Kama anachokisema hakina ukweli, atakirudia kwa kukosea na pasipo kujiamini.
2. Watu ambao kila wanapokaa wanakunja mguu juu ya mwingine (wanakunja nne) mara nyingi watu wa aina hii wana MALENGO NA NDOTO KUBWA KWENYE MAISHA YAO!
3. Mtu ambaye wakati anaongea au unaongea anakuangalia machoni na kukusikiliza kwa makini ana kiwango kikubwa cha Kujiamini, lakini anayeangalia chini au kupoteza utulivu. Hajiamini!
4. Watu wengi walio na elimu( wasomi) wana muamini Mungu kwa asilimia hamsini tu!
5. Mtoto wa kiume ambaye ni wa katikati kuzaliwa miongoni mwa watoto wote mara nyingi anarithi tabia ya baba yake kwa asilimia kubwa.
6. Watu ambao wana tabia mbaya(wizi,ujambazi,uuaji,umalaya) saikolojia inasema walipitia maisha mabaya sana yenye ukatili wakati wa utoto wao!