Author: Raha Special

NJOO MAMA AYUPO 1 🔞 KAMA HUJAFIKA MIAKA 18 USISOME Naomy naomy naomya. ” Dider si unakuja uku kwanini unaniita ivyo wakati wewe unakuja uku. ” Nikamwambia naomy, Wewe auna ata upendo mimi nakuita kwa sababu nakupenda rafiki yangu ila wewe kuitika tu kwa furaha unaona shida aya poa tu. ” Naomy alijua amenikwaza na maneno niliyomwambia yalimgusa akaniambia, ” Dider brown rafiki yangu kipenzi nisamehe mwenzio mimi nimevurugwa mama ameniambia nioshe mijombo hapa nikimaliza ndio nikacheze basi ndio unaona nimekujibu ivyo nisemehe rafiki yangu kipenzi cheka Basi ukinuna wala upendezi. ” Yani naomy anaongea uku amenishika shavu langu moja…

Read More

MATAKO YAMENIPONZA – FULL STORY (1 – 31) ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: MATAKO YAMENIPONZA 1 – 5 MATAKO YAMENIPONZA 6 – 10 MATAKO YAMENIPONZA 11 – 16 MATAKO YAMENIPONZA 17 – 21 MATAKO YAMENIPONZA 22 – 26 MATAKO YAMENIPONZA 27 – 31

Read More

House Girl Aliyeua Familiya Nzima Arithi Mali Ni mwaka 2019 tu hapo, hili tukio lilitokea huko Kerala nchini India. Mwanamke anayeitwa kwa jina la Jolly Joseph alikuwa akifanya kazi kama dada wa kazi ndani ya nyumba moja hivi. Alikuwa mwanamke mpole, mwenye heshima, mcheshi, aliishi na familia hiyo kwa miaka 14 ila kulikuwa na kitu kikubwa kilichojificha nyuma yake. Kitu cha kusisimua na kutisha mno. Watu sita ndani ya familia hiyo aliyokuwa akifanya kazi walikufa, mmoja baada ya mwingine. Kila mtu aliyekuwa akifariki, dokta alikuwa akisema kwamba ni magonjwa ya moyo ndiyo yaliyokuwa yakiishambulia familia hiyo. Ukweli ni upi? Jolly…

Read More

MATAKO YAMENIPONZA 27 ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi Tulisalimiana na juma tukapiga story mama akapika tukala juma akawa anaondoka niksamksinikiza hadi Kwake tukaa nje tukapanga maisha yetu sikumwambia kama nimekuja na hela akaniambia ataniowa Basi nikarudi nyumbani kama wiki mbili zikapita nikaanza kumsaha baraka Siku moja nilikaa na mama jikoni nikamwambia mama baraka anataka kuja kutoa mali mama akupinga maana alikuwa anampenda Sana juma Ila KWA yale yaliotokea ndo maana akataka niolewe na baraka ILi nitoke kijijini pale Siku ya mali ikafika akaja kutoa mali sikapelekwa kwakwe maisha ya ndoa ya amani yakaanza alikuwa na mazao yake ambayo alilima…

Read More

MATAKO YAMENIPOZA  22 ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi Sawa dada nashukuru kwa ushauri wako Aina shida Basi tukafika nyumbani kila mtu akaenda kwake Nikaingia ndani Nikampigia cm mama nikamwambia kunabati nimetuma naomba uniwekee nataka kujenga Eeeh mnataka kuamia na mumeo uku? Hapana na ata akikupigia cm usimwambie chochote nataka nijenge nyumba yangu Sawa Ila kwani mmegombana au? Hapana mama Sawa nitamwambia juma afatirie mm siwezi najisikia vby Unaumwa mama au nikutumie hela uwende hospital? Hapana ninahela mwanangu Sawa mwambie juma Basi nikakata cm Nikampigia juma nikamuelekeza akakubari tukaanza kupiga story za kawaida Ila nilimmiss Sana Basi nikata cm…

Read More

MATAKO YAMENIPONZA 17 ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi Mama akawaona mashoga zangu alitafuta fimbo akaipata akasogea kimya kimya alitawandia walipoteana walitoka mbio💃💃💃 Ole wenu mje tena hapa nyumbani mm na juma tukaanza kucheka We amina me natoka naenda sokoni kule kunajambo naenda kulifanya usitoke hapa juma mwambie mdogo wako asitoke Sawa mama uyu atoki utatukuta hapa hapa Sawa Mama akaenda nikabaki mm na juma Amina mdogo wangu unaenda kuolewa usimsahau mama mm kaka yako Sina hela na unaniona usijisahau ukifika mjini Lakini mm nataka kwenda na Nyie mjini Hapana nenda ww sisi tuache epuka tu tamaa usiwe…

Read More

MATAKO YAMENIPONZA 11 ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi Kulia yani kila nikiwaza nimewakosea nini mimi mpaka wanibake jibu sikupata basi mama yangu akawa ananiambia mwanangu nyamaza Kulia kikubwa awajakuua upo hai, Maneno ya mama yakanipa nguvu mimi baraka tuishie hapa nikikumbuka naumia mwenzio. Baraka akaniambia sema amina unajua ukisema ndio yanaisha aya unabaki na amani moyoni niambie amina usiogope nimekwambia sitokuacha ata iweje. Baraka kiufupi matako yangu aya ndio ilikuwa sababu ya mimi yote aya wanawake wa uku awana matako makubwa kama aya ndio maana mimi nimefanyiwa ivi naomba baraka Leo tulale wote. Baraka akasema sawa tulale ila sio…

Read More

MATAKO YAMENIPONZA 6 ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi tunaona umetoka kwa amina? Ndio Vp umempenda? Ndio nataka niwe shemeji yenu Mmmh ivi unajua history yake? Hapana Daaaah Ila pw bora umuowe utuondolee hii laana Kwani anashida gani? We owa tu copo ILO si umempenda endelea Wale vijana wakaondoka wakamuwacha na maswali baraka akawa anajiuliza ninatatizo gani mbaka wakijiji wenzangu awataka ata kuniona? Maisha yakaenda juma ndo akawa mfariji wangu akawa ananijari Kama mdogo wake yaani Kijiji kizima mwanaume aliekuwa kuwa tayari kuongea na mm ni juma peke yake lafiki zangu walikuwa wananichukia bira sababu Wiki ikapita wiki ya pili…

Read More

MATAKO YAMENIPONZA 1 ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi mama kwa nn mungu amenipa mtihani huu!? Amina mwanangu jaribu kuvaaga madira mwanangu uku kijijini polisi mbali mbaka ukwee mabasi na mm Sina hela ya kwenda kuwashtaki nakuinea uruma Ila nashindwa nifanyaje Kama mzazi baba yako angekuwa hai usingepata shida ivi wanatuonea kwa kuwa mm ni mwanamke Mm naomba niondoke kijijini la sivyo nitakufa kwa marazi Uwezi kwenda kuniacha peke yangu amina tumebaki wawili tu ukiniacha nitakufa Nilikumbatiana na mama tukalala mbaka asubuhi Nikaamka nikabeba ndoo nikawa nawaza kwenda kisimani mama nataka nikachote maji Hapana mwanangu ngoja niende mm ww utakuwa…

Read More

Mwana Sayansi Aliyeteseka Baada Ya Kupinga Uwepo Wa Mungu Haka kajamaa kalikuwa kagenius sana, kamwanasayansi kamoja hivi, kanaitwa Stephen Hawking baada ya kupata vihela akaibuka na kusema hakuna Mungu…Mungu is just a fiction tu kisa tu kaliwapiga fiksi watu kwamba kuna maisha huko mars. Mungu alitaka kumuonyesha tu. Halafu wala hakuichukua roho yake mapema, alimuacha ateseke kwa miaka mingi sana. Yaani aliteseka na kuteseka mpaka Mungu alipoona nimekunyoosha vya kutosha aya izraeli kachukue roho yake bado nina deni naye huku Alikufa akiwa kwenye hali hii. Wanasayansi wakisoma sana…wanaibuka na kusema HAKUNA MUNGU, na ukitega sikio kuwasikiliza utasema kweli. Guys! Achaneni…

Read More

UKIMWI ULIVYOLETA KIZAAZAA KWENYE FILAMU ZA NGONO Miaka ya 1980 ilikuwa ni miaka iliyotisha sana kwenye kusambaa kwa ugonjwa wa UKIMWI na hata kuua watu wengi. Kipindi hicho ulimaliza sana aigizaji wa filamu za ngono na kuanzia mwaka 1980 mpaka 1989 tayari uliondoka na waigizaji 27 wakiwemo John Holmes, Wade Nichols, Marc Stevens, Al-Parker na wengine kibao. Daaah! Ngoja tuangalie kuanzia mwaka 1992 na miaka mingine iliyofuata. 1992: Muigizaji wa kike, Dusty aliambukizwa ugonjwa wa UKIMWI. Katika maisha yake aliigiza zaidi ya filamu 150 za ngono. 1993: Mwanamke mwingine aliyeitwa kwa jina la Carrie Morgan naye aliambukizwa ugonjwa huo. 1995:…

Read More

Nchi tano zilizowahi kuvunjwa kuzalisha nyingine Dunia ilikuwa na nchi kibao ila nyingine zikaja na kupotea na ndani yake kukaanzishwa nchi nyinginezo nyingi tu. Tuachane na hizo kibao, hapa tuangalie nchi tano ambazo hazikuwepo ila zilianzishwa kutoka kwa nchi fulani, yaani nchi husika ikapotea na kuanzishwa nchi nyinginezo. 1. Yugoslavia Hii ni nchi moja iliyokuwa huko Ulaya. Ilianza mwaka 1918 lakini ikafika tamati mwaka 1992. Yaani wakati sisi tunaanzisha mfumo wa vyama vingi, wenzetu walikuwa wanaiua nchi moja na kuzalisha nchi kibao. Ndani yake kukazalishwa nchi saba kama Slovenia, Croatia, Serbia, North Macedonia, Kosovo, Montenegro, Bosnia and Herzegovina. 2.Czechoslovakia Hii…

Read More

 ROMEO AND JULIET Inawezekana umewahi kusikia kuhusu mapenzi ya watu wawili yaliyowahi kuvuma na kusikika sana, Romeo na Juliet. Labda huwajui ni akina nani na ilikuwaje mpaka wakawa na jina na kuvuma sana, leo ngoja nikupe kastori kidogo kuhusu watu hawa. Kwanza jua kuwa hii ilikuwa simulizi iliyoandikwa na mwandishi aitwaye Williams Shakespears, Muingereza huyu ambaye aliandika vitabu mbalimbali na kwa kupitia vitabu vyake tukapata maneno mengi ya Kiingereza kama Hamlet, assassination na maneno mengine. Sasa simulizi yake hii ilikuwa inahusu familia mbili za kitajiri, zenye pesa nyingi. Familia ya Romeo iliitwa Montague na Juliet alitoka katika familia ya Capulets.…

Read More

Binti Yangu Wa Kambo Alichonifanyia Nimekuwa nikimlea binti wa mke wangu (binti wa kambo) kwa miaka 15 sasa, nilimsaidia kwenye masomo yake mpaka akahitimu, na nilimnunulia gari alipohitimu, nimekuwa upande wake kila hatua ya maisha yake. Jumamosi ijayo anafunga ndoa, ana miaka 27. Tumepanga harusi hii kwa muda mrefu, jamaa yake ana uwezo lakini bado nilitoa pesa kuhakikisha sherehe itakuwa ya heshima. Alikuja nyumbani kumtambulisha huyo mwanaume, lakini mama yake akasema kwa kuwa mimi si baba wa kumzaa, mahari itachukuliwa na upande wa familia ya baba yake wa kumzaa, eti kwamba ndio mila zao zinataka, nikasema sawa. Sasa nimegundua kuwa…

Read More

NEBUKADNEZA: MBABE WA VITA, MUABUDU SANAMU ALIYEKULA MAJANI KAMA NG’OMBE Kuna huyu mwamba wa kuitwa Nebukadneza. Unapowazungumzia wafalme waliokuwa na nguvu kubwa, basi bila shaka hutoweza kulisahau jina la mwamba mmoja hivi wa kuitwa Nebukadneza. Huyu jamaa alikuwa mtawala kipindi kile cha akina Daniel. Nenda kasome Daniel sura ya 1 mpaka ya 4, imemuelezea sana mfalme huyu kwa namna alivyokuwa na nguvu, Mungu alikuwa anamuonyesha mambo yajayo kwa kupitia ndoto, halafu Daniel ndiye akawa mtafsiri. Tuje sasa. Huyu jamaa ametoka wapi? Baba wa mfalme huyu aliitwa Nabopolaan. Huyu alikuwa mfalme wa 65 wa nchi iitwayo Babiloni ambayo ilikuwa na mji…

Read More

Kuwa Mbunge Kilwa, Uuujue Kwanza Uchawi Ni kweli na haya ni ya kawaida sana jimboni kwangu Kilwa, na hasa Kilwa Kaskazini: Baada ya Kingunge Ngombali Mwiru kuacha kugombea, trend ya wagombea kufa au kupatwa na madhila imekuwa hivi:👇🏾 1. Aligombea bwana Chubi na bwana Mtumbuka kwenye kura za maoni CCM, Mtumbuka akapata wenge akiwa anaendesha gari kuelekea bandarini Kilwa Masoko, akapitiliza na kutumbukia baharini. Hivyo Chubi akawa mbunge. 2. Baada ya miaka mitano, Chubi alitetea kiti chake na Dkt. Mpanda ndani ya CCM, Chubi akafa, Dkt. Mpanda akawa mbunge (ingawa siku ya kuapishwa alipata na upofu, akawa bungeni akiwa kipofu),…

Read More

KWA NINI MATAIFA YA KIARABU HAYAMSAIDII PALESTINA? Unakumbuka kwamba Mfalme Faisal wa Saudi Arabia aliuawa mwaka 1975 kwa sababu ya hili. Hebu tusome wote tujifunze hapa. Si kuhusu mafuta tu. Ni deni la kitumwa. DENI LA KITUMWA Utawala wa Kiarabu si kwamba umepewa rushwa tu bali hata kutawaliwa. Kila taifa linahitaji dola ya Marekani kufanya biashara lakini hizo dola zinakuja kutoka dola zinatoka kwa Hifadhi ya Shirikisho ambayo si sehemu ya serikali ya Marekani. Hizo ni benki binafasi ambayo inaongozwa na benki 12. Hazijachaguliwa wala hazipo wazi kwa kila mtu, na kubwa zaidi si za Kiislamu. Hawa majamaa wanaprinti pesa…

Read More

Kennedy – Rais Wa Marekani Aliyeuwawa Baada ya Kuipinga Israel Kuna urafiki mkubwa sana baina ya Marekani na Israel. Kila rais anayeingia madarakani ni lazima kwanza kusema kuwa mataifa hayo mawili ni marafiki wakubwa. Tena wakubwa sana. Alisema Bush, akaja Obama, akaja Trump na kumalizia Biden. Si wao tu bali hata viongozi wakubwa walilisema hilo. Rais wa 35 wa Marekani, John F. Kennedy alihitaji kulibadilisha hili, alitaka kuufuta urafiki huu lakini kilichotokea, akauawa. Wiki iliyopita kulikuwa na ripoti iliyosema kuwa rais huyo ambaye alipigwa risasi akiwa pembeni ya mkewe, alidanjishwa na Isr@el. Sema hiyo ripoti imesomwa juujuu halafu watu wameipiga…

Read More

ILIANZA KAMA MZAHA ILA IMENIGHALIMU MAISHA MPAKA SASA Nilikuwa na miaka 19 tu nilipopata mimba yangu ya kwanza. Wakati huo bado nilikuwa mwanafunzi wa kidato cha nne . Yule aliyenipa mimba alikuwa dereva wa bodaboda kutoka mtaani kwetu , mtu mzima aliyenizidi kwa miaka 12.Tulianza kwa mizaha midogo midogo , baadaye tukawa tunaongea mara kwa mara. Akaanza kunifuata hadi shuleni .Mimi nilikuwa msichana wa kawaida kabisa binti wa mama mjane , aliyekuwa anauza chai na maandazi sokoni . Nguo zangu za shule zilikuwa zimepauka, viatu vilikuwa vimechanika , lakini bado nilikuwa naamini kuwa elimu itanitoa .Alinifanyia mzaha mwingi, akaninunulia vocha , chipsi , na hata bando za intaneti . Wenzangu walikuwa…

Read More

KAMA UMEMMISS MWAMBIE HIVI Mpenzi wangu, Ningependa kusema tu, kwamba kila sekunde bila wewe, moyo wangu huwa na upweke mkubwa. Inavyoonekana, dunia yote imejaa sauti, kelele, na shughuli, lakini bila wewe karibu, kila kitu kinaonekana kutokuwa na maana yoyote kwangu. Nashindwa hata kuelewa, lakini kila wakati tunapokuwa mbali, huwa nashikilia hisia zako, tabasamu lako, na kile kilichotufanya unipende. Nilikuwa nikiishi kwa furaha, lakini sasa kila wazo langu linakuelekea wewe. Najiuliza, kama upendo huu ulivyojaa furaha, kwanini wakati mwingine upweke huu unakuwa mzito zaidi? Nahisi kama ningeweza kutoa yote niliyo nayo ili tuwe pamoja, kwa sababu wewe ni kila kitu kwangu. …

Read More

LILITH – MKE WA KWANZA WA ADAMU Nakuletea Somo hili kwa Kutoa Ushahidi Wa kutosha Ndani Ya BIBLIA TAKATIFU, Maana Kuna Watu Wanapinga na watapinga Sana Elimu hii. Sasa Nitakwenda Nao Sambamba Kwa Ushahidi Wa Ki-BIBLIA. . LILITH NI NANI? Lilith anayesemekana ni mke wa kwanza wa Adam. Hatajwi popote kwenye Biblia takatifu zaidi ya kwenye kitabu cha Isaya 34 : 14, na ambapo hata hivyo kutajwa kwake hakuna mahusiano kabisa na Adam. Kuna simulizi nyingi nje ya Biblia zinazokinzana na nyingine kushabihiana kumhusu mwanamama huyu Lakini zote zinakubaliana katika jambo moja kuwa Lilith alimwacha Adam kwakuwa hakutaka kuwa chini…

Read More

Rais aliyeuwawa na Rafiki yake wa Utotoni Thomas Sankara alikuwa rafiki yake wa utotoni aitwaye Blaise Compaoré.  Blaise Compaoré na Thomas Sankara walikua pamoja na kuishi pamoja. Blaise Compaoré alilelewa na babake Thomas Sankara. Waliishi kama ndugu. Blaise Compaoré na Thomas Sankara walijiunga na jeshi la Burkina Faso pamoja. Sankara alipokuwa Rais wa Burkina Faso, alimfanya Blaise Compaoré kuwa Makamu wake wa Rais. Sankara hakujua rafiki yake wa utotoni na kaka yake wangemuua baadaye. Siku tano kabla ya kuuawa kwa Compaoré!aliyezaliwa Sankara, wote wawili walikuwa na tukio ambapo walicheza na kunywa pamoja. Sankara alifahamishwa na Kitengo cha Ujasusi cha nchi…

Read More

 *🧠 SOMO: JINSI YA KUMUEPUSHA MUME AU MKE NA MICHEPUKO – KWA ELIMU NA BUSARA ZA KINA* — *📌 SEHEMU YA KWANZA: Mume Wangu Ana Mchepuko – Nifanye Nini?* Wakati mwingine mwanaume anaweza kuingia kwenye mahusiano ya pembeni si kwa sababu hakupendi, bali kwa sababu amepungukiwa na mambo fulani kutoka kwako – kimapenzi, kihisia au hata kimazingira. Hii haimaanishi ni kosa lako, bali ni fursa ya kurekebisha na kudhibiti. *✅ HATUA 7 ZA KUMTOA MUME KWA MCHEPUKO*: 1. Tulia na usilipuke kwa hasira – Wanawake wengi huchemka haraka, wakatoa maneno ya maumivu. Hii humsukuma zaidi kwa mchepuko. Tulia na upambane…

Read More

NILIVYO SABABISHA AIBU NA UMAUTI WA MUME WANGU Miezi miwili tu baada ya ndoa yangu, nilijikuta nimeingia katika uhusiano wa kimapenzi na rafiki wa mume wangu. Mume wangu alikuwa mtu wa upendo mkubwa, alinijali kwa kila hali na hakuacha kunihudumia kwa lolote. Lakini kwa namna alivyokuwa anazungumza nami kwa upole kupita kiasi, nilianza kumuona kama mtu mjinga . Alikuwa hana sauti ya mamlaka kabisa. Badala ya kusema hapendi jambo fulani kwa msimamo, yeye angesema kwa upole, “Unaonaje tukiacha hili?” kana kwamba ananiomba ruhusa . Kwa kweli hilo lilinichosha. Alikubaliana na kila kitu nilichosema, hata kama kilikuwa hakina maana yoyote. Nikisema…

Read More

BAADA YA NDEGE KUMSHINDA, AKAKIONA KIFO MBELE RUBANI AKACHUKUA MAAMUZI MAGUMU Ilikua ni Jan 25 mwaka 2009, ndege aina ya Airbus A320 mali ya Us Airways chini ya captain Chelsey Burnett (captain Sully) ikiwa na abiria 155 kwenye uwanja wa ndege wa laGuardia uliopo mji wa Newyork city ilikua ipo tayari kwa safari ya kuelekea Charlotte Airport huko North Carolina Ndege ikiwa kwenye runway captain Sully akai set throttle to 100% tayari kwaajili ya kupaa, ndege ikaondoka lakin muda mfupi baada ya ndege ku takeoff (kuondoka) ikiwa angani ikavamiwa na kundi kubwa sana la ndege(birds) wakaingia kwenye engine zote za…

Read More

NAJUTA NA NATAMANI HATA SASA MKE WANGU APATWE NA UMAUTI. Najua ukisoma hivyo utakushangaza sana. lakini kaka, nimechoka. Maisha haya ya mateso yamenifika pabaya. Nimekuwa nikifuatilia post zako, na mara nyingi unaegemea upande wa wanawake lakini ukweli ni kwamba wapo pia wanawake wabaya, na najua hata hayo mafundisho unayowapa wengine wanayatumia kwenye michepuko yao . Maana huku ndani kwangu, maisha yamegeuka kuwa sumu tupu. Mimi ni mwanaume wa miaka 35. Niliamua kuoa mwanamke ambaye kwa kweli nilimpenda sana. Tulikutana kipindi ambapo hatukuwa na kitu kabisa. Lakini alivyonivutia, kaka, sijui nisemeje. aliumbika vizuri sana. Sikutaka mtu yeyote amseme vibaya. Kila nilipokuwa…

Read More

MPUMBAVU SHUJAA Kulikuwa na kijana mmoja aliyeitwa Mako, kijana huyu aliishi katika kijiji kidogo kilichoitwa Masikini. Mako alikuwa kijana wa kawaida, asiye na elimu ya juu wala maarifa mengi ya kimaisha. Kazi yake kubwa ilikuwa ni kufanya vibarua vya hapa na pale, akihangaika kupata riziki ya kila siku. Kila siku Mako aliishi kwa matumaini kuwa siku moja mambo yangekuwa mazuri, lakini kwa sasa maisha yalikuwa magumu.Katika kijiji hicho kulikuwa na tajiri mmoja aliyekuwa akijulikana kwa jina la Bosi. Bosi alikuwa na mali nyingi na alikuwa na shughuli mbalimbali za kibiashara ndani na nje ya kijiji. Licha ya utajiri wake, Bosi…

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEASON THREE Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: MWANAUME WA NDOTO ZANGU 61 – 65 MWANAUME WA NDOTO ZANGU 66 – 70 MWANAUME WA NDOTO ZANGU 71 – 75 MWANAUME WA NDOTO ZANGU 76 – 80 MWANAUME WA NDOTO ZANGU 81 – 85 MWANAUME WA NDOTO ZANGU 86 – 90 MWANAUME WA NDOTO ZANGU 91 – 95 MWANAUME WA NDOTO ZANGU 96 – 100

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEHEMU YA 96 Ajabu ni kwamba badala ya kwenda hotelini au lodge au gest eti nilirudishwa nyumbani, nilimtazama Genson wangu nilitamani nimuulize inakuaje tena? Mbona haonyeshi uchungu wa kutaka kunifaidi?. Hata hivyo niliogopa kumuuliza, na kwa jinsi ambavyo alikuwa anafurahi hakuonyesha kabisa kuwa na mawazo hayo ya kipuuzi, sijui alikuwa anawaza nini. Tulifika nyumbani kwangu kisha bebi wangu alikuwa wa kwanza kushuka, alishuka kisha alizunguka upande wangu alinifungulia mlango kisha aliniambia nishuke, nilishangaa sana ila sikuwa na jinsi; nilishuka. Alinikumbatia, alinipiga mabusu kisha aliniaga akitaka kuondoka. Nilimshika shati nilimrudisha nyuma, nilimgeuza kwangu kisha nilimtwanga denda zito, waziwazi…

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEHEMU YA  91 Nakumbuka iIikuwa ni siku ya x-mass, kama kawaida mapema alfajiri alinipigia simu aliniambia nijiandae tuende kanisani pamoja. Nilimkubalia ila nilijiandaa haraka haraka kisha nilitangulia kanisani ili kumkomesha. Alinipitia nyumbani lakini hakunikuta, alinipigia simu sikupokea, alinikuta kanisani nikiwa nimekaa benchi la mbele. Sikumtazama usoni wala sikumchekea nyani nisije nikavuna mabua. Hata baada ya misa kuisha nilikuwa mtu wa kwanza kutoka, nilizama kwenye gari yangu nilirudi nyumbani. Alinifuata hadi nyumbani akiwa na hasira, alinifokea kwanini nilimtoroka muda wa kwenda na kurudi kanisani? Nami sikutaka kujishusha sana, nikiwa na uso mkavu nilimuambia anisamehe kisha nilichukua vyombo…

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEHEMU YA 86 Niliwaza nisitumie tena maneno bali nifanye matendo. Kwakuwa hakutaka kunitongoza, na kwakuwa nilimtongoza hakunikubalia niliona bora nitumie mbinu ya kufanya nae mapenzi kwenye siku za hatari ili nifaidike kwa mambo matatu. Kwanza nipate ladha na utamu wake, pili nilishike mimba yake na tatu atanioa kupitia mimba. Nilitabasam kwa furaha mara baada ya kupata wazo hilo, nilijiona mshindi. Siku iliyofuata ilikuwa ni jumamosi, siku hiyo Genson alikuwa ana zamu ya mchana. Nilimpigia simu nilimuomba usiku tutoke out, tuende club tukapate burudani; alifurahi sana na alikubali ombi langu. Basi bwana nilipiga kazi zangu hadi jioni,…

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEHEMU YA 81 Nilipata mawenge na muhao, pale pale nilianza kulia. Nilitamani niondoke kimya kimya lakini niliona haiwezekani. Niliwasogelea karibu zaidi ili nao wanione vizuri, ni kweli waliniona. Genson ndiye alikuwa wa kwanza kuniona, alishtuka, aliganda akinishangaa. Yule binti nae aligeuza macho alinitazama, alishindwa kunielewa. Baada ya kuonekana sikutaka kuendelea kupata maumivu, kwanza nilifuta machozi, niligeuka nyuma kisha niliondoka kwa kasi ya maumivu. Kwa mbali nilisikia Genson akiniita, aliniambia nisimame lakini sikusimama. Nilirudi dukani kwangu nilimkuta Nasri kashafika, alikuwa ananisubiri mimi. “Umeamini maneno yangu? Si umeona? Mi nilikuambia yule mtu hakupendi na hana mipango na wewe,…

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEHEMU YA 76 Licha ya kumtega kwa mavazi na mikao ya kihasara lakini ubaya ni kwamba Genson hakuonyesha kushtuka, hakunishangaa, hakunitamani wala hakudata na mwili wangu! Jamaa alikuwa wa kawaida tu as if hakuona chochote cha kushangaza. Aliweka zawadi juu ya godoro kisha alinitazama kidogo alafu alitabasam. Nilijua atakaa kwenye godoro lakini alivuta kiti alikaa. Moyoni nilijiuliza huyu mwanaume ni wa wapi? Ni kabila gani huyu? Mbona hategeki? “Gensuda” aliniita “Abee” niliitika taratibu “Ulijua kuwa nitaingia chumbani kwako, sasa kwanini umevaa hovyo hovyo? Ni kwamba siku hizi umeanza kukosa heshma au?” “Aah samahani Genson, tangu nilivyolala…

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEHEMU YA 71 “Mtu mwenyewe ni yule pale. Huyo aliyevimba uso, ambaye ana makovu usoni ni mkewe” Genso aliwaambia polisi “Kwahiyo ile video ni ya huyu mpuuzi akimpiga mkewe si ndiyo??…” Polisi mmoja aliuliza “Yes afande” “Ni yeye kwanza huoni hata hayo mavazi yake, ona hata sura lake limekaa kikatili. Limepata mwanamke mzuri alafu linampiga hovyo hovyo.. pumbavu kabisa, haya madudu ndiyo tunayoyahitaji pale ustawi wa jamii.. Dokta tunashukuru sana kwa kutuletea huyu katili wa jinsia. Hajui kwamba ni heri umuonee mwanaume mwenzio kuliko kumchokoza mwanamke, subiri tukamfunze adabu” Aliongea afande mwingine ambaye alivaa mavazi tofauti…

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEHEMU YA 66 “Nini?… Wewe umejuaje?” “Nimefuatilia nimegundua hivyo. Licha ya kwamba mumeo alimfukuza Rahabu pale kwenu lakini bado walikuwa wanaendelea kimahusiano. Alimpangia chumba, alimnunulia gari na mwisho walitengeneza kesi za uongo ili achukue vitu alivyokupa (nyumba, gari na biashara) alafu ampe Rahabu.” “Kumbe ndio maana mali zangu zote anazo Rahabu? Sasa kwanini hukuniambia mapema?” “Sikutaka kuwagombanisha, hata leo nakuambia lakini sitaki ukamuambie chochote. We kaa kimya tu ila uwe makini na ndoa yako. Yale yote anayofanya Rahabu anaambiwa na mumeo. Kwa sasa hakupendi wewe, anampenda Rahabu” Nilishindwa kuongea kitu, nilipata uchungu na hasira kali lakini…

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEHEMU YA 61 Kutoka moyoni sikupenda kabisa kumuandalia chai shetani, ila nilishindwa kubisha kwa sababu yeye ndiye kanioa na naishi kwenye nyumba yake. Niliingia jikoni, niliandaa chapchap kisha nilipeleka mezani. Baada ya sekunde chache mume wangu alitoka nje akiwa ameambatana na mkewe Rahabu, walipendeza kwelikweli, alafu walishikana mikono, funguo za magari zilitikisika tu, walitembea taratibu hadi mezani kisha wote wawili walikunywa chai yangu. Niliumia sana kuona mwanamke mwenzangu, mke mwenzangu, shetani nisiyempenda anakunywa chai iliyoandaliwa na mimi. “Alafu we Gensu ebu njoo kwanza” Rahabu aliniita kwa dharau, niliumia sana. Yaani wazi wazi alianza kunikosea adabu mbele…

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEHEMU YA 56 “Ooh jamani mmekuja kunisalimia, karibuni sana…. Mama shikamoo…” Rahabu alimsalimia mama “Marahaba!…. Lakini naomba kuuliza” “Uliza tu mama angu” “Wewe ni Rahabu au nakufananisha?” “Ni mimi mama kwani kuna tatizo?” “Wala!! Na hii nyumba ni yako au?” “Ndiyo, ni yangu. Nilinunua wiki zilizopita baada ya kusikia tangazo la mnada kuwa inauzwa… ” Baada ya jibu hilo mama alikosa swali la nyongeza. Rahabu alitusisitiza tuingie ndani angalau tupate chakula au maji ya kunywa lakini tulikataa, tuliaga kisha tulirudi nyumbani. Siku hiyo kila dakika tulimzungumzia Rahabu tu, bado hatukuamini kama yeye ndiye mmiliki wa nyumba…

Read More

MWANAUME WA NDOTO ZANGU SEHEMU YA 51 “Hivi mume wangu siku hizi pesa zako unazipeleka wapi? Mshahara mbona sihuoni? ” “Mke wangu we acha tu, haya madeni haya yatakuja kuniua. Si unakumbuka kipindi kile nimewajengea nyumba wewe na mama yako?” “Eeh nakumbuka” “Zile pesa nilikopa. Hata ile gari yako ni pesa za mkopo. Biashara yangu ya mkaa imekufa kwa sababu serikali imeingilia kati, imekataza watu kuchoma mkaa. Na mshahara wangu wote unaishia kulipa madeni” “Mh pole mume!! Kwahiyo tunafanyaje sasa? Mana maisha yamekuwa magumu, duka langu ndo kama hivyo halina kitu chochote nimeamua kulifunga, kwa sasa hata Mimi sina pesa”…

Read More