Author: Raha Special

PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA Sehemu ya 15 ๐Ÿ‘‰ Wewe jando umelivisha shanga Choma moto kama wewe mwanaume kweli tumemtunza Sisi kwenye harusi yake wewe uchome moto…๐Ÿ‘‡ Subutuu. ( Joji alitulia tulii…akujibu kitu…anjel alichukua kila kilicho chake aliondoka na shangazi yake kwake na shangazi mtu akasema) ” Taraka utaleta mwenyewe uyu si mkeo kuanzia sasa. ( Joji kimya…walivyoondoka joji anasema) ” Bora walivyoondoka kulikuwa na harufu Kari sana hapa. ( Yule mwanamke wake akasema) ” Ndio maana ukufungua mdomo my. ” Ndio. ” Twende ndani nikakunyoshe my. ” Twende. ( Sasa ikawa kero kwenye nyumba yule mwanamke akifanya mapenzi na joji…

Read More

PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA Sehemu ya 11 ๐Ÿ‘‰ ANJEL ANAENDA KUPANDA GALI ANAMPELEKEA PATRICK…๐Ÿ‘‡ Dk 45 walikutana tandika…pale pale alipomla amina ndio kaenda kumla anjel…waliingia ndani PATRICK akalipi gest show time..anjel anasema) ” PATRICK umenijali sana acha nikujali na wewe. ” Sawa. ( PATRICK akiwaza maneno ya joji basi hamu zaidi inampanda ya kumkaza anjel…akamkumbatia akampa mate…anjel akapokea wananyonyana ndimi…uku feni inawapepea…PATRICK anaanza kumtomasa sehemu ya mgongoni anjel na anjel anampapasa PATRICK yani kiufupi wanapapasana.. mwisho kila mmoja kamvua mwenzie nguo…anjel akapiga magoti akashika mpini wa PATRICK akaanza kuunyonya…PATRICK anasikia raha anamkuna kuna anjel kichwani na anjel fundi ananyonya taratibu…

Read More

PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA Sehemu ya Saba ๐Ÿ‘‰ Walipanda kitandani sasa…๐Ÿ‘‡ Amina yupo chini PATRICK juu…uku PATRICK kichwani kukamjia maneno ya kumkumbusha) ” MAPENZI YANA KACHUMBARI Kachumbari ya tendo Mara nyingi inaaandaliwa na mwanaume ndio huwa wa kwanza nayo inanoogaa zaidi mwanaume akianzisha vinjo kabla ya tendo. Kachumbari hiyo iwenamchanganyiko wa vitu vifuatavyo ndio itakua tamu zaidi. Mazungumzo ya mahaba Mwanamke anapenda Sana mwanaume mwenye kubebeleza nakushawi ,hisia za Mwanamke zikiamshwa kutoka kwenye ubongo wake humfanya kuwa active zaidi . Romance mpapaso wa Aina yake Mwanamke anapendelea Sana mguso zaidi saana apate mguso wenye uendana na hisia zake usitumie pupa…

Read More

PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA Sehemu ya Nne ๐Ÿ‘‰ Karibu PATRICK niambie mbona usiku unagonga kwangu kulikoni?…๐Ÿ‘‡ ” Samahani mke wa joji anaumwa sana nimetoka nae hospital sasa kapewa dawa ameze ila ndani akuna ata unga wa uji anywe apate nguvu ya kunywa dawa.. ( Bahati nzuri kwa PATRICK joji anatoka anaita) ” PATRICK PATRICK. ” Niambie. ” Bwana mwambie amina aje kulala na shoga yake mimi siwezi kulala na mgonjwa anapiga kelele. ” Joji hapa naomba unga wa uji tu akorogewe uji ila kulala utalala nae mwenyewe mkeo. ( Anjel analia…amina akaamka akawaacha wanaume wanaongea pale kaenda kumsaidia mwenzie…mume wa…

Read More

PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA Sehemu ya kwanza. Angel sio vizuri unavyofanya umemkatalia kaka wa watu kuongeza unga umpe ugali. ” Amina wewe ujui tu mume wangu alivyo mkari ivi ningepokea alafu wakati napakua mume wangu karudi anaona Sahani mbili zina ugali akiniuliza namjibu nini? ” Mumeo na PATRICK ni marafiki wakubwa sana wewe Ushangai kwanini PATRICK kaja kukuomba wewe ajaniomba mimi tokea nihamie hapa namuona Patrick na mumeo wapo karibu sana. ” Mimi mume wangu ajaniambia mengi juu ya PATRICK kama akitaka ugali nimpe. ” Basi nakushauri hili mshirikishe mumeo hili Kesho ikitokea upokee unga wa PATRICK. ” Sawa. (…

Read More

Usiwe Mbishi Bila Sababu Nikachukua muda na kusoma kwa kweli lazima niseme kisa hiki kimenigusa sana na nikaona kwamba msomaji huyu hajawa mchoyo kwangu kwanini mimi niwe mchoyo nimeona niweke hapa kibarazani ili wengi tujifunze maisha yalilivyo. KARIBUNI MUUNGANE ……………………………………………………………………… Ni siku nyingi kidogo, mwaka 1979, lakini ni tukio ambalo liliniuma sana. Ilikuwa vigumu sana kulisahau na lilinifanya nijiulize, inakuwaje Mungu anakuwa mkatili kiasi kile. Lakini bila shaka ilikuwa ni wakati ule wa ufahamu mdogo. Hivi sasa ninafahamu mengi na hasa baada ya kujifunza maarifa haya ya utambuzi. Ilikuwa ni mwaka 1979 nikiwa nasafiri kutokea Dar es salaam kwenda Arusha.…

Read More

USISAHAU ULIPOTOKA Pamoja na maisha mazuri lakini binti aliwasahau kijijini kwao, alikua akituma pesa kidogo lakini hakutaka kwenda. Alitaka kuyasahau maisha yake yote ya mateso ya kijijini. Hata kwa marafiki zake alijitambulisha kama kazaliwa Dar huku akidanganya kuwa wazazi wake wamefariki nayeye alikua ndiyo mtoto pekee, hii ni kwasababu marafiki zake wote walikua wakitoka katika familia za kitajiri. Baada ya kukaa muda mrefu bila kufika kijijini kwao wazazi wake walipata wasiwasi, huku wakiwa na wasiwasi kuwa kuna kitu kimempata, walichangisha nauli na Mama yake ambaye alikua mzee sana alipanda gari na kwenda kumuona mjini. Alipelekwa na jirani yao mmoja ambaye…

Read More

USIMDHARAU USIYEMJUA UNDANI WAKE Msichana mmoja alikuwa amempenda kijana mmoja mtanashati na mcha Mungu.. Malengo yao ilikua waje kuoana baada ya muda. Kijana huyu alijitoa sana kwa binti huyu hadi wenzie wakamuona mjinga, lakini ukweli ni kuwa alimpenda msichana yule kwa dhati. Alimtafutia kazi alipomaliza chuo, alimshauri kuhusu mipango ya maisha na alikua akimuombea kila alipopata nafasiya kuomba. Siku moja binti alikua anasherehekea siku yake ya kuzaliwa…hivyo akaalika marafiki zake, na watu wengine muhimu akiwemo mpenzi wake. Wageni wote walifika kwa wakati isipokua yule kijana alichelewa kidogo… Hivyo msichana akatumia muda ule ambao mpenzi wake hajafika kuwaeleza wageni namna yule…

Read More

Tabia Niliyokuwa Nayo Wakati Nakua Niende moja kwa moja kwenye Kusimulia. Bila shaka kila mtu amepitia utoto na katika utoto huo pengine alikuwa na tabia fulani mbaya mbaya. Kwa upande wangu moja ya tabia mbaya niliyokuwa nayo niliianza nikiwa darasa la sita katika shule ya msingi hapa Arusha, inayoitwa KAMBI YA MAZIWA niliyosoma nao wanaijua,. Tabia hii ilikuwa ni kupenda kuwashika shika mapaja wasichana niliokuwa nasoma nao darasani hasa wale mabonge bonge. Nakumbuka mmoja alishawahi kwenda kunisemea nikala bakora za kutosha tu lakini sikukoma. Katika umri huu nilikuwa nimeshaanza kuwa na matamanio kwa wasichana tabia hii mbaya nilikuwa nayo hata…

Read More

SIWEMA Siwema ni msichana wa pekee katika familia ya mzee Kibonye toka kuzaliwa kwake siwema hajaijua shida alilelewa maisha ya kifahari sana ,Akiwa katika shule ya sekondari Nzenga kila mwanafunzi aliogopa kumsogelea kutokana na jinsi alivyojiweka ,Umbo na sura ya siwema ilikua ni kivutio kikubwa sana kwa wanaume ,kila alipokuwa akipita wanaume waligeuza macho kumuangalia jambo hili siwema alilijua fika na kwakutambua kuwa anasifika kwa uzuri ndipo alipoongeza mikogo na majivuno “Hellow my lovely daughter mbona umenung`unika kuna tatizo kipenziโ€™โ€™ilikua ni sauti ya mzee kibonye akizungumza na binti yake siwema ,,,Siwema alijibu kwa sauti ya kudeka ndio baba “tell me…

Read More

SITANIWI Wiki sasa ilikua imepita toka nilipofanya mapenzi na bosi wangu, kila nikifikiria niliona kama vile ilikua ni ndoto, kwani sikuwahi kutegemea kama itatokea siku nikapata fursa adimu kama hiyo, alikua ni mpole na mstaarabu mno, kila msichana pale ofisini kwa wakati wake alijipendekeza lakini hakuna aliyewahi hata kutamba kwamba alilamba bingo. Alikua mgeni pale ofisini, baada ya kurudi nchini toka Japan alikokua kaajiriwa na umoja wa mataifa, mkataba wake ulipomalizika ndio akaajiriwa kama mtendaji mkuu ofisini kwetu. Ni kaka wa miaka 42 hadi 46 hiviโ€ฆmweupe kutokana na kukaa sana nje na ana mustachi anao utunza vizuri. Hakua na kitambi…

Read More

Nilizaa Na Wewe Kwa kua Unaweza Kuhudumia Mtoto! Wote tuliingia kazini siku moja, mimi niliajiriwa kama afisa mikopo wakati yeye aliajiriwa kama mhasibu lakini wote tulianzia kama mateila mpaka baada ya kama miezi sita hivi ndiyo tulitoka na kila mtu akawa ameenda katika kitengo chake. Kuna dada mwingine ambaye walikua kitengo komoja na wote tulikua marafiki. Mimi ni msiri sana hivyo hata nilipoanzisha mahusiano yangu na Kelvin (Sio jina lake halisi) sikumuambia mtu yoyote zaidi ya Edna ambaye ingawa tulikutana kazini lakini alishaanza kuwa kama Dada yangu. Edna alikua ni rafiki yangu mkubwa, anakuja nyumbani kwangu tunaongea na nilimsaidia katika…

Read More

HADITHI YENYE FUNZO KWA WANANDOA Siku moja niliingia nyumbani nikamkuta mke wangu akiniandalia chakula cha usiku. Nilimshika mkono na kumwambia: โ€œNina jambo ninalotaka kukueleza.โ€ Alikaa na kunisikiliza kwa makini. Dalili za wasiwasi nilikuwa nikizishuhudia machoni mwake. Ghafla nilijikuta katika hali ya kushindwa kukifungua kinywa changu. Lakini ilikuwa ni lazima ajue ninachokifikiria, hivyo nilipiga moyo konde, nikamwambia kwa upole: โ€œNinataka tuachane.โ€ Hakuonekana kuudhika kwa hoja niliyokuwa nimeiwasilisha mbele yake, bali aliniuliza kwa sauti ya upole kabisa: โ€œKwa nini?โ€ Nilijaribu kulikwepa hilo swali, hivyoalighadhibika sana na kuniambia kwa sauti ya juu: โ€œWewe si mwanaume!โ€ Usiku ule hatukusemeshana, na muda wote alikuwa akilia.…

Read More

NANI MUHIMU? Siku moja katika darasa la jioni la watu wazima, mwalimu wa saikolojia aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi; “Nataka tucheze mchezo, mtu yeyote yule naomba ajitolee aje hapa mbele” Mwanamke aitwae Cathy akatoka mbele. Mwalimu akamwambia aandike majina 30 ubaoni ya watu ambao anadhani ni wa muhimu katika maisha yake. Cathy akaandika majina ya wanafamilia yake yaani mumewe na mwanae, ndugu, majirani na marafiki zake. Mwalimu akamwambia Cathy afute majina matatu ambayo anadhani kwake sio ya muhimu sana kuzidi mengine. Cathy akafuta majina ya marafiki zake watatu. Mwalimu akamwambia Cathy afute tena majina matano zaidi, Cathy akafuta majina ya…

Read More

BINADAMU HAWANA SHUKRANI Usiku Mmoja Kabla Muuza Duka Hajafunga Duka Lake Aliingia Mbwa Dukani Akiwa Na Kibegi Mdomoni Ndani Ya Kibegi Kulikuwa Na Pesa Kiasi Na Orodha Ya Vitu Vilivyotakiwa Kununuliwa. Muuza Duka Alichukua Pesa Ile Kisha Akaweka Vitu Vilivyoorodheshwa Ktk Kibegi Hicho Mara Hii Mbwa Bila Kuchelewa Alichukua Kibegi Chake Na Kuanza Safari. Muuza Duka Alishangazwa Sana Na Tukio Lile Na Akaamua Kumfuatilia Mbwa Yule Kwa Nyuma Ili Kujua Ni Nani Hasa Miliki Wake. Baada Ya Kufika Kituo Cha Mabasi Mbwa Alisimama Kwa Dakika Chache Na Ndipo Lilipotokeza Bus Na Kusimama Mbwa Akaingia Ndani Ya Bus Na Safari Ikaanza…

Read More

MTOTO WA MAMA LISHE Alipozaliwa alipewa jina la Agness lakini taratibu lilibadilika na kuwa Laviollete La Chapelle wengne wakimwita kwa kifup Lavio na wengne wakimwita LALACHA Mwili wake uliojaa vizuri sio kwa afya bali shughuli pevu ya kusonga sufuria ya ugali katika mgahawa mdogo wa mama yake,sura yake ilipambwa na mikunjo ya hasira kwenye paji la uso hyo ikimaanisha hataki mchezo awapo kazini,ilikuwa si jambo la kushangaza kumkuta akiwa amekabana mashati na wateja wakorofi bila kuogopa jinsia zao na wakati mwingne ilifikia hatua ya kupigana kabisa. Licha ya yote hayo Lavio alikuwa mchapa kazi hasa hakuwa legelege hata kidogo hicho…

Read More

MREMBO MAWENGE “hahahahahah Makubwa shoga madogo yana nafuu huhuhuhuhuhuhuhuhuhuhu huyo nae ni bwana kati ya mabwana โ€˜โ€™ lilikua ni cheko la nguvu kutoka kwa bi husna alikua akimcheka rafiki yake mpendwa shoga ake wa dhati Anifa,,,, sasa shoga mbona sikuelewi jamani Hassan anashida gani shoga angu na kama anatatizo mbona toka mwanzo huku niambia shoga ,wewe siunanipenda shoga toka uchumba urafiki ulikua unatuangalia tu kwanini huku sema leo hii unaishia kunicheka mimi daaah sawa shoga angu unayumba sana ngoja niondoke zangu,โ€ฆโ€ฆ Anifa aliondoka kwa hasira kuelekea nyumbani kwake huku akiwa na mawazo chungu nzima , Anifa ni msichana mrembo sana…

Read More

MAMA USILIE Alisimama mbele ya kioo chenye urefu sawa na urefu wake. Urefu wa futi tano na pointi nane, akijitazama kwa tabasamu dhoofu. “Ondoka kwangu malaya mkubwa wewe” Ikawa ni sauti iliyomjia kichwani mwake kama mawimbi, ghafla. Aliubandua uso wake kwenye kioo alichokuwa akikitazama, akaupeleka kwenye tumbo lake lililoumuka,. Bado urembo haukupotea,. Upande wa kushoto ukatuna ghafla kuonesha mtoto anacheza. Kidogo akaonesha tabasamu, sauti ile mbaya ikajirudia tena kichwani mwake, lakini kwa maneno mengine mabaya zaidi, “Toka bwana na kitambi chako. Mpelekee hawara uliyelala naye wakati mimi sipo nyumbani”, ‘Hawara gani? Ina maana mimi nimekuwa mpumbavu kulala njaa nikimsubiri alipokuwa…

Read More

MAISHA YA JOHN John ni kijana mwenye umri wa miaka 30. Ana shahada ya uzamili (Masters) ktk masuala ya Usimamizi wa biashara, na kwa sasa anafanya kazi kama Mkurugenzi wa fedha kwenye shirika moja la kimataifa hapa nchini,. Hajaoa bado, lakini ana nyumba mbili nzuri za kuishi hapa jijini. Moja Mbezi Beach na nyingine Kimara.. Ana gari 2 za kutembelea na 3 za biashara.. Anamiliki duka moja la nguo Kariakoo na jingine la simu Mlimani city.. Ni mcha Mungu, mpole na mtanashati.. Ni miongoni mwa vijana waliofanikiwa kimaisha. John ana rafiki yake aitwae Michael.. Huyu ni Afisa Mtendaji mkuu (CEO)…

Read More

JASMINE Jasmine akiwa anatembea kwa madaha kuelekea nyumbani, kwa mbali alimwona kijana akija nyuma yake mbio sana ,jasmine hakuelewa ni nini kinaendelea aliendelea kujitembeza kwa madaha na mikogo kama yote,jasmine akiwa anaendelea kutembea alisikia sauti ikiita “jasmineeeeeeeeeeeeee subiri โ€˜โ€™ Kwa dharau jasmine aligeuza shingo lake nyuma kumtizama ni nani anayemwita ,kijana Yule aliendelea kusogea karibu kabisa na jasmine kisha akapiga magoti chini na kuanza kusema “jasmine mambo ,,uko salama sijui kama unanikumbuka mimiโ€™โ€™ “mhhh wewe ni nani na unataka niniโ€™โ€™ “jasmine umenisahau siku moja nilikufuata nikakuomba tuwe wapenzi โ€˜โ€™ “ee kwahiyo umesahau nilikwambiaje ,,,siwezi kuwa na wanaume kama wewe ,mwanaume…

Read More

JAMANI MSINILAUMU KWA HILI NILILOMFANYIA MUME WANGU Mimi nimeolewa miaka 15 sasa na tumejaaliwa watoto 4. Ndoa yetu ilipofikisha miaka 4-5 mume wangu alicheat, nikamkamata through sms akapinga sana lakini baadae alikubali akakiri kosa na kuomba msamaha nikamsamehe Tumeendelea kuishi na nilipopata mtoto wa tatu akanicheat tena, safari hii alikuwa nje ya nchi kimasomo, napo alikiri na kuomba msamaha, nikamsamehe Wakati niko mjamzito mimba ya mtoto wa nne alinicheat tena, kibaya zaidi alinicheat na house girl wanga akampa ujauzito. kwa hivyo wakati mimi nina mimba na House girl naye mjamzito (japo sikujua kama house girl alikuwa mjamzito kwani aliondoka nyumbani)…

Read More

HATA AKILA MKE WANGU, ATAKULA NA MWANANGU Wakati naoa nilikua sina kitu kabisa, ndiyo nilikua nimemaliza chuo na nina ajira lakini mshahaara ulikua mdogo sana, nilioa kwakua umri umeenda na niliona nitachelewa. Mke wangu alikua na vibiasHara vidogo vidogo lakini tulisaidiana, ni kama ndoa iliniletea baraka kwani baada ya miezi mwaka mmoja tu niliitwa kazini kwenye usahili ambao niliufanya miezi sita kabla, nilishakata tamaa ya kupata kazi. Ni taasisi ya kimataifa, mshahara wa kuanzia ulikua milioni tano, nilikua kama kichaa, yaani kutoka mshahara wa laki mbili mpaka milioni tano sikuamini. Nilianza kujenga nyumba yangu, nikawajengea na wazazi wangu na miaka…

Read More

NILIMKIMBIA KISA DUDE KUBWA Makubwa……… AKANIULIZA nitakunywa nini? nikajibu kwa mapoozi “soooda” huku narembua macho kwa utaratibu akauliza tena soda gani, nami kwa mapozi zaidi “soooda fanta PENSHENI” Nilimjibu kwa mapoziโ€ฆ. Kistaarabu akaitikia, “ok fanta PASSION? poa,. Nikatoa simu yangu na kuanza kuminya minya. waliponiletea soda kwa ubishoo nikauliza “mbona MLIJA hamjaniwekea?, Nilimuuliza yule mudumu huku nambenulia midomoโ€ฆ., Dada mhudumu akaniletea, nikaanza kufyonza “pryuuuuuuuuuuu” Yule kaka akatazama kama majirani wamesikia, Akawa kama anaona aibu. Nikaendelea na yangu. Baadae akanaiuliza โ€œ naomba sasa tuongee vizuri, nikitaka kulala na wewe usiku mzima nikupe shilingi ngapi?”, Aliongea huku akiwa kama ana aibuโ€ฆ., Nikajua…

Read More

AAHโ€ฆSHEMEJIโ€ฆAACHA Sehemu Ya 05 AISHA alimpigia simu shemejiye akamweleza kisha kumtaka aende akamchukue. Bw. Abdul aliingiwa na woga aliwaza kuwa pengine watu wote walishagundua uhusiano wake na Aisha hivyo alimtaka Aisha achukue teksi na kuelekea mahali ambapo yeye atakuwepo. Aisha baada kupaki mizigo yake yote alifanya kama alivyoagizwa. Muda mchache Aisha alifika pale na kukuta Bw. Abdul amepaki gari lake. Bw. Abdul alitoka ndani ya gari, wakasalimiana na Aisha kisha akamlipa yule dereva pesa alizokuwa akidai, walipakiza mizigo kisha nao wakaingia ndani ya gari. Aisha alikuwa akibubujikwa na machozi aliwaza jinsi atakavyomkabili dada yake. Bw.Abdul alimsihi Aisha aache kulia kisha…

Read More

AAH..SHEMEJIโ€ฆAACHAโ€ฆ Sehemu Ya 04 TULIPOISHIA BAADA ya mwaka mmoja kupita. Ilikuwa imebaki takriban miezi mitatu ili Aisha aweze kuhitimu masomo yake lakini haikuwa rahisi kumaliza. โ€œHaloo!โ€ Ilisikika sauti ya Aisha ikitoka kwa unyonge akimpigia simu shemejiye. โ€œHaloo!Mpenzi mzima wewe?โ€ โ€œMimi ni mzima wa afya lakini mwingi wa mawazo.โ€ โ€œMwingi wa mawazo ?Mawazo gani tena dear mbona unanishtua?Hebu nieleze.โ€ โ€œMimi sizioni siku zangu, hivyo inanipa wasiwasi.โ€ โ€œSasa wewe unafikiri ni nini?โ€ โ€œNinajihisi kuwa ni mjamzito.โ€ โ€œMjamzito, nani kakupa?โ€ โ€œHeee!Shemeji umeshaanza kunikana mapema yote hii?โ€ โ€œHapana dear ila sikutegemea kutokea kitu kama hicho. Basi itabidi Jumapili nikija twende hospitali ili tupate uhakika…

Read More

AAH..SHEMEJI AACHA Sehemu ya 3 โ€œAENDE zake huko kama haupo wenzio wala,nami ntazoea taratibu ye amewezaje mpaka mi nishindwe. Waswahili wanasema hakuna cha peke yako hususan hapa mjini. โ€œUkitaka kuhakikisha kama umeshaanza kuzoea turudie tena utagundua kuwa makelele uliyokuwa ukipiga mwanzo hayatakuwapo tena.โ€ โ€œHee!Shida ya kunigeuza kizazi, hapa nilipo miguu haina ushirikiano.โ€ โ€œNakutania tu dear.โ€ Bw. Abdul aliingiza mkono ndani ya suruali yake aliyoivaa na kutoa kitita cha laki mbili kisha akamkabidhi Aisha. โ€œAsante sana mpenzi.โ€ Aisha alisema kwa furaha baada ya kukabidhiwa fedha. Walikumbatiana na kukubaliana kukutana siku nyingine. ****** Ilikuwa ni siku ya Jumatatu tulivu majira ya saa…

Read More

AAHโ€ฆSHEMEJI..AACHAโ€ฆ Sehemu Ya 02 NAYE Aisha hakuwa mbumbumbu, akaupenyeza mkono wake hadi sehemu fulani mwilini mwa Abdul na kushika kile alichotaka kukishika. Akamtomasa kwa mapozi, kiganja chake laini kikizidi kumchanganya Abdul na kumwongezea mhemuko. Hakika Bw. Abdul alipagawa sana hadi kufikia hatua ya kutaka kuvunja amri ya sita ndani ya gari. โ€œAisha uvumilivu umenishinda mpenzi, tufanye basi hata kidogo,โ€ Abdul alisema kwa tabu, akizidi kumvuta Aisha na kumkumbatia. Aisha hakuona kuwa ni ustaarabu kufanya mapenzi ndani ya gari hivyo alimshauri shemejiye kuwa wapange siku nyingine ya kufanya maangamizi kunako sita kwa sita. Kwa kuwa muda ulikuwa umeenda sana hivyo wote…

Read More

AAAโ€ฆSHEMEJI..AACHA.. Sehemu Ya 01 AISHA alijiona kama mtu mwenye bahati kwa kutongozwa na shemejiye. Aliwaza endapo akimkubalia au asimkubalie kwa kuona kuwa ni shemeji yake. Alifikiria sana juu ya utajiri wa shemeji yake na hali aliyonayo yeye . โ€œEndapo nikikubali dada akigundua itakuwaje?โ€ aah!! Lakini si amenitongoza mwenyewe,siwezi kupiga teke fuko la pesaโ€ฆ Potelea mbali.โ€ Siku iliyofuata Aisha alikutana na rafiki yake aliyeitwa Anita. Aisha alimsimulia Anita kuhusu shemejiye. โ€œShoga basi ngoja nikupe mkandaโ€. โ€œHapo ndipo ninapokupendea tukikutana baraza huchangamka kwa stori, haya shoga hebu nipe huo mkandaโ€. โ€œJana usiku wakati tunakula,dada aliwahi kushiba akaenda zake kulala, sebuleni tukabaki mimi…

Read More

DADA VUA BANAH.. Sehemu Ya 16 ……….ilipoishia Wakati baba na mama walikuwa wakiagana kwa kupeana mautamu vitu urojo urojo. Huku sule huku sule mambo yalikuwa magumu balaa. Lakini alipomuona Shangazi yake na helena alishtuka sana kwani alitokea ghafla tuu.Hali hiyo ilimpa mashaka sana Sule. Wakati anaduwaa alishangaa kuona shangazi anawazuia wale wanyama ambao ni kina Helena. Shangazi aliongea kwa sauti ya kutisha”Tabia yako ndio imekusababisha uko hukuuuu!!! na ulivyo na tamaa ulitaka kuzini na dada zako mbwa wewe…… Shangazi aliwakamata kina Helena kwa kitambaa cheupe na kuwazuia wasimdhuru Kijana sule. Sule hakuamini kama mpaka dakika hiyo yuko mzima kwani alishaamini…

Read More

DADA VUA BWANAH Sehemu Ya 13 ……….ilipoishia Huku kwa kina Helena tayari Lucy alisharejea katika hali yake ya kibinadamu na wakati huohuo Sule alionekana anaondoka. Kwa kuwa helena alikuwa amepewa kazi ya kumzuia sule asiondoke bila kunywa kinywaji kile alichopewa na Shangazi,Basi alimfuata sule akiwa na kile kinywaji kujaribu kama hilo litawezekana….. Endelea…… NAOMBA LIKE YAKO MTU WANGU ILI TUENDELEE CHAP …. Basi Helena aliutumia tena usichana wake kumshawishi Sule anywe kinywaji kile. Basi helena alimfuata sule mpaka alipo kisha akamwambia” sule naomba unisamehe mimi pamoja na shangazi yangu, Na pia shangazi kasema haina haja ya wewe kuondoka kwani umeshakuwa…

Read More

DADA VUA BANAH Sehemu Ya 10/11 ……..ilipoishia Tukirudi huku walipokuwa Lucy na Sule mambo yalikuwa tete. Lucy alimuingiza Sule kwenye chumba wanacholala na Shangazi yao. Sule alijikuta anamsikiliza Lucy kile anachokiongea na hapingi hata kidogo. Sule alipoingia pale alimwambia Lucy”Lakini Lucy mi naona sio vyema mimi na wewe kuwa humu ndani tufanye utaratibu mwingine lakini sio humu ndani. Lucy alifikiria sana akagundua anachokisema Sule ni kweli kabisa,Basi Lucy alimwambia”Sawa ni vizuri pia ila huku hakuna sehem nyingine zaidi ya kuingia vichakani”…… Sule alimjibu haraka haraka”Hakuna shida hata huko huko poa tuu”. Wakati huo giza lilizidi kutanda ilikuwa ni mishale ya…

Read More

DADA VUA BANAH.. Sehemu Ya 07 TOLEO LILILOPITA,. Ulikuwa utani mara utani ukazaliana kupelekea watu kushindwa kuzuia hisia zao,Sule alijisemea kimoyo moyo “Yaani kitu namfanyia huyu hatokaa anisahau” Sule alifungua zipu ya Helena wakati huo Helena alimpa Sule uhuru afanye anachotaka,Basi zipu ilifunguka huku taaratibu Sule aliuzamisha mkono mule ndani. Aiupitisha mkono wake pale juu ya chitumbua huku akimeza mate kwani kitumbua kilikuwa kimepikika haswaa. Basi Helena naye aliamua kujipimia ili ajue kama ni kibamia au laa!!,Basi kwa utaratiiibu Helena alianza kupapasa pale juu ya suruali kisha akaanza kuufungua mkanda wa Sule. Songa nayo…. DONDOSHA LIKE SASA ACHA UCHOYO… SHARE…

Read More

DADA VUA BWANAH Sehemu Ya 04 ENDELEA,. Lakini wakati wanatoka Shangazi alionekana akiendelea na shughuli zake za kuhudumia mifugo,Macho ya shangazi yaliashiria kuwa kuna kitu ndani ya nafsi yake eidha hajapenda ujio wa kijana huyu au anamjua kwa namna moja au nyingine. Je kuna uhusiano gani baina ya huyu kijana na Bibi huyu???…. Sule alimwambia Helena”Madam Hellen nimeacha kibegi changu pale kwani kuna shida??”…….. “Bright usiwe na shaka hakuna shida”. Huku nyuma shangazi alimfuata Lucy na kumwambia “Hivi nyie watoto mnataka kunipanda kichwani si ndio!!?, Kwa nini mnapokea watu msiowajua mnajuahuyu ni nani?? Siku moja mtapokea mashetani ndio mkome maumbwa…

Read More

DADA VUA BWANAH.. Sehemu Ya 01 Simulizi yetu inaanzia katika jumba moja la familia ya mzee maarufu sana hapa mjini KWETU ARUSHA, Kama unavyojua katika familia nyingi wazazi hufikia mahali kuwagawia watoto wao baadhi ya mali ili waanze kujitegemea katika maisha yao. Basi leo katika familia ya Mzee Nassor ilikuwa ni siku rasmi kwa ajili ya mgao wa baadhi ya mali kwa watoto wao. Kiukweli mzee Nassor alikuwa na mali nyingi sana. Basi siku ya leo Mzee aliwaita wanae woote kisha akawaketisha chini na kuwaambia “WANANGU LEO NIMEWAITA HAPA ILI NIWEZE KUONGEA NANYI MANENO MACHACHE KABLA YA KUFANYA TUKIO KUBWA…

Read More

LOOH DADA MARTHA – FULL STORY (1 – 27) Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: LOOH DADA MARTHA 1 – 5 LOOH DADA MARTHA 6 – 10 LOOH DADA MARTHA 11 – 15 LOOH DADA MARTHA 16 – 20 LOOH DADA MARTHA 21 – 25 LOOH DADA MARTHA 26 – 27

Read More

LOOH DADA MARTHA Sehemu Ya 26 ILIPOISHIA :โ€œMimi na Martha wajina wangu, nani unampenda zaidi?โ€ โ€œMartha wewe.โ€ โ€œBasi mtumie meseji kwamba umeamua kuwa na mimi, hivyo jioni utakwenda kuchukua nguo zako tu.โ€ โ€œMh! Atakuibulia ugomvi wewe.โ€ โ€œMimi nipo tayari.โ€ Wakati wakizungumza hayo, mara Martha akaingia… SASA TAMBAA NAYO MWENYEWE… โ€œAnhaaa! Mungu kweli mkubwa. Leo nimeamini. Kumbe hii ndiyo biashara yenu siyo?โ€ aliuliza Martha kwa sauti yenye kujiamini… โ€œHebu kaa kwanza hapo,โ€ alisema Roi huku akitetemeka. Mama Anna alitetemeka lakini si sana. Martha alivuta kiti, akakaa na kusema… โ€œUnasemaje wewe mwanaume mwenye majina mengi. Maana nimesikia una majina kama matatu hivi…

Read More

LOOH DADA MARTHA Sehemu Ya 21 ILIPOISHIA โ€œDogo hujambo?โ€ alimsalimia muuzaji. โ€œSijambo.โ€ โ€œEti, huyu kaka anayekaa hapa huwa anafika muda gani?โ€ SASA ENDELEA… โ€œMh! We ni nani kwani?โ€ โ€œMgeni wake.โ€ โ€œKutoka wapi?โ€ โ€œTanga.โ€ Muuza duka huyo alimkodolea macho Martha akiwa anaonekana haamini kama alitokea Tanga. Tanga bila hata kibegi cha nguo!! โ€œKwani namba yake ya simu huna?โ€ aliuliza muuza duka huyo. โ€œNampigia hapokei. Nikasema nije hadi hapa ili kama anakuja muda huu nimsubiri kama si muda wake nikatafute gesti ya kulala. Muuza duka huyo alijua kuna kitu kilimfanya Roi asipokee simu. Na kitu hicho si kingine ni jamaa huyo kuzama…

Read More

LOOH DADA MARTHA Sehemu Ya 16 ILIPOISHIA: Ilipita kama dakika tatu hakuna aliyekuwa akizungumza zaidi ya kuendelea kushikana kiaina. Kilichosikika ni kuhema kwa mama Anna ambaye sasa alionekana kama tayari amechaji. Roi alimsimamisha, akamshika mkono na kuondoka nayeโ€ฆ โ€œTunakwenda wapi sasa?โ€ aliuliza mama Anna. โ€œWewe twende tu, wala usiogope,โ€ alisema Roi, tayari akili yake ilikwishahama kabisa, kwa kumwangalia tu, ingekufanya ujue tayari penzi lilimchukua. JIACHIE MWENYEWE SASAโ€ฆ Safari yao ilikwenda mpaka kwenye gari la Roi, mama Anna akapanda upande wa abiria, Roi akakalia usukani na kuanza mwendo mpaka nyumbani kwa Roi. โ€œKaribu sana, hapa ndiyo nyumbani kwangu,โ€ alisema Roi na…

Read More

LOOH DADA MARTHA Sehemu Ya 11 ILIPOISHIA: Walikaa kitandani, safari hii walikaa sanjari wote wakiangalia mlangoni, miguu yao ikiningโ€™inia kwenda chini. โ€œKwa hiyo we huwezi kukaa na mimi kama hivi huku tunazungumza?โ€ aliuliza Martha huku akimwangalia Roi, Roi naye akamwangalia Martha kwa macho ya kiume, Martha akalegea, lakini akajikaza… โ€œMimi nitaweza bro,โ€ alisema Martha huku akimwangukia mapajani Roi… โ€œKa…ka ja…ma…ni…โ€ ENDELEA SASA… Roi alijikuta akitetemeka, mwili ulimwishia nguvu huku akihisi kizunguzungu cha mahaba mwilini mwake… โ€œSis…taaa…โ€ aliita kwa sauti ya kiume, iliyotoka kwa mtetemeko. โ€œA…be…ee,โ€ Martha naye aliitika sauti iliyojaa maumivu na kusubiri tiba ya dhati kutoka kwa mwanaume huyo…

Read More

LOOH DADA MARTHA.. Sehemu Ya 06 ILIPOISHIA: Alikazana sana mpaka Liz akabadili mawazo… โ€œBro…oooo…โ€ โ€œSist…aaa…โ€ โ€œUna..unaonaje tukiachana na undugu? Mbona kama huku ni kuzuri zaidi…Broooo…oooo…โ€ JIACHIE MWENYEWE… โ€œNoo…tuendelee sista…lakini tusirudie tena baada ya leo, tena tujikanye kabisa na tukome kama tulivyokoma kwenye nido za mama zetu, si ndiyo… eee?โ€ alijibu Roi kwa sauti ya kubabaika… โ€œBwana…aaa! Mimi sitaki undugu tena kuanzia leo na ufe, kwanza una faida gani kwetu?โ€ alihoji Liz lakini kikubwa kilichoonekana ni tamaa ya mwili iliyombamba kwa wakati huo pale kwenye kitanda… โ€œMimi nataka mbona,โ€ aliendelea kusisitiza Roi. โ€œBa.n..aaa…si tumalize kwanza…tu…t ajadili.โ€ Wawili hao, waliendelea kuchekecha mpaka…

Read More