Author: Raha Special

MWANAFUNZI MCHAWI Sehemu Ya 21 Wakati huo mlinzi yule alikuwa akiwaza vitisho alivyotishwa na mwanamke yule pindi alipofika nyumbani pale. ‘Mh kumbeee ni mchawii’ aliwaza mlinzi. “Ukweli upi” aliuliza Mr Aloyce kwa mshangao kwani katu hakujua kama kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia… Mr Aloyce bado hakumuelewa vizuri mkewe kwa kauli aliyoisema. Kauli ile iliibua utata mkubwa kichwani mwake na kumtaka mkewe amueleze ukweli. “Niambie mke wangu… Nini kinaendelea? Maana Mimi sielewi!” Alisema Mr Aloyce kwa sauti ya upole ili mkewe amweleze ukweli wote. Lakini kwa bahati mbaya sana Maimuna alisita kueleza ukweli ambao alitaka kumwambia Mr Aloyce. Viboko mfululizo…

Read More

MWANAFUNZI MCHAWI Sehemu Ya 16 Dorice aliendelea Julia huku matone yake ya machozi yakiwa damu. Ghafla akajikuta ana uwezo wa ajabu ambao hajawahi kuufikiria kuwa nao hata siku moja. Alijibadilisha sura na kuwa kiumbe wa kutisha, macho yalikuwa kama ya paka, uso wake ukawa mweusi tii kama mkaa, kucha zake zikawa ndefu sana na meno yake mawili yalichomoza nje ya kinywa chake. Mansoor alicheka kicheko kikali cha kutisha huku sauti ya kicheko chake ikiambatana na mwangwi. Radio zikapiga mfululizo Dorice akatoweka ghafla na kumuacha Mansoor. Pete aliyokuwa amevalishwa Dorice ilimpa uwezo mkubwa na wa ajabu. Alipata uwezo wa kupotea na…

Read More

MWANAFUNZI MCHAWI Sehemu Ya 11 Aliongia mdani na kukutana na ukimya mzito. Kwa ujasiri na kujiamini sana Doreen aliingia chumbani kwa Mwalimu Jason na kukuta harufu Kali ya damu na mwili wa mwalimu Jason. Kwa wakati huo Judith alikuwa tayari amechapa lapa ili kuiepuka kesi ya mauaji ambayo ingemkabili. Na kama angekuwepo ndani mle basi ingekuwa nyama ya Doreen kwani angetumia vizuri nafasi ile kupata titi la Judith. Doreen aliutazama mwili wa Jason kisha akaachia sonyo Kali. Akakisogelea kitanda na kutafuta karatasi lake, akalikuta chini ya mto. Akachukua na kulitia kwenye mkoba wake kisha akaondoka zake. Akashika njia kuelekea kituo…

Read More

MWANAFUNZI MCHAWI Sehemu Ya 6 “Unasemaje wewe?” Dorice aliuvua woga akajikuta ameropoka kwa hasira. “Sikiliza Dorice.. Kwa muda mrefu sana nilikuwa natafuta mke, sikumpata. Nilitamani sana kuoa binadamu ili niishi nae, na kwakuwa mama yangu ananipenda amenitafutia wewe na ninakupenda. Nataka nikuoe..!” “Toka hapa.. Usinisogelee… ” Alifoka Dorice na kumsukuma Mansoor. Mansoor alihuzunika sana kwa kitendo alichofanyiwa na Dorice, akatikisa kichwa na kupiga hatua za taratibu kisha akatoweka ghafla machoni kwa Dorice. Dorice alishtuka sana akabaki ametumbua macho tu. “Mungu wangu nisaidie niondoke huku, mkosi gani huu? Nitafanywa vibaya na viumbe hawa sijui majini… Bila shaka ni majini! Niolewe na…

Read More

MWANAFUNZI MCHAWI Sehemu Ya 1 Ilikuwa ni majira ya saa moja jioni ambapo mkuu wa Shule ya Mabango alikuwa ofisini kwake akiwa amechanganyikiwa sana kwani hali ya shule hiyo ilizidi kutisha sana hasa baada ya kutokea kwa vifo vya wanafunzi kumi na tano mfululizo ndani ya wiki moja tu. Tena vifo vya ghafla tu. Mkuu wa shule mama Dayana Mbeshi alikuwa kwenye wakati mgumu sana kubaini chanzo cha tatizo lakini bado hakupata majibu.Mara ghafla mlango wa ofisi ukagongwa, akaingia mwalimu wa malezi wa shule hiyo akiwa na USO wa huzuni sana hali iliyomshtua sana mkuu wa shule “vipi kulikoni?” “hali…

Read More

666 NYAYO ZA KUZIMU Sehemu Ya 3 “vipi tena si ulisema hutoki nje??” aliuliza mzee Patili, “eh! Yani mie nibaki peke yangu ndani??..wale mabibi si watanifuata!!” akajibu Julina huku macho ya uoga yakipendezesha uso wake mwembamba mweusi.Punde si punde mama Halima nae alitoka nje na kujumuika na Julina na mzee Patili aliembebelea mtoto,walianza kuteta kuhusu wale mabibi na pia bila kusahau ndoto ya mzee Patili iliyowashangaza na kuwaogopesha wakina Julina kwa kiasi kikubwa! “mito ilikua miekundu,haikuskika tena sauti za ndege,milio ya shida na malalamiko ndio iliyotawala,harufu ya kifo na umauti ndio iliyoshika hatamu,miti ilipendezeshwa na miili iliyoning’inia kwa kunyongwa,na mioyo…

Read More

666 NYAYO ZA KUZIMU Sehemu Ya 1 Upepo ulivuma mno,miti na majani ilionekana kuinama kutokana na kushndwa kupambana na pepo ile kali,giza lilikua kali sana kwa kuwa mwezi ulikua umefunikwa gubigubi na wingu zito jeusi lisiloonyesha hata kama mvua itanyesha.utulivu wa hali ya juu ulitawala,hakuna kilichosikika zaidi ya milio ya kiuoga ya mbwa na vijidudu vidogo vidogo vya usiku,kila kibatari kilichowashwa ilhali na moto ilizimika kutokana na kutokua stahimilivu na hali iliyokuwepo,hakukuwa na mtu yeyote alieonekana yu nje akifanya jambo lolote,na ni kutokana na hali ya ajabu ya ghafla iliyotawala katika lile eneo.Kwa mbaali angani ilionekana nyota ndogo ikichomoza,ghafla sauti…

Read More

SITASAHAU TANGA Sehemu Ya 3 Nikiwa bado na mawazo, nikasikia sauti ya mama na dada nje ina maana nao wamefika kwangu. Nikajihisi baridi ikipenya mwilini mwangu, nilikuwa nikitetemeka balaa. Sikuwa na raha wala furaha. Mara sms ikaingia kwenye simu yangu, “yote yale yalikuwa ni majaribio sasa picha kamili itaanza.” Nikapatwa na hofu kubwa moyoni, sikuwa na furaha kwakweli. Nikahisi mama na dada wakizidi kusogelea mlango wangu, wakaanza kubisha hodi huku wakiniita jina langu sikutamani kuitika kwakweli nilijiona na mtu mwenye mkosi pale ndani, mama alizidi kubisa kuwa nifungue na nisipofanya hivyo atapiga kelele ili watu waje kubomoa mlango, aliposema hivyo…

Read More

SITASAHAU TANGA Sehemu Ya 1 Nikiwa kwenye mishe zangu za research kwenye mji wa Tanga, ilikuwa ni research ya siku kumi na nne. Jioni ya siku ya pili nikakatisha sehemu flani hivi mjini hapo kuangalia na kutembea tembea, lahaula nikakutana na binti mmoja wa kuvutia sana kwakweli nikajikuta nikivutiwa naye alikuwa mweupe sana na nywele ndefu na umbo kama la mamiss hivi dah nikaona hapa ndio penyewe yani kwani alikuwa na ugonjwa wangu mkubwa unaonivutia kwa wadada nao ni rangi nyeupe. Sikutaka kupoteza wakati mtoto wa kiume ikanibidi nimsogelee ili niweze kumsabahi, tukasalimiana pale na kujuana majina na tukabadilishana namba.…

Read More

NYOKA WA KUTUMWA Sehemu Ya 6 ………………. Ilipoishia …………………………maana yule nyoka awezi kukubali kuona munaharibu nyumba yake kwahiyo ataanza kuwauma na hatimae mukapata madhara ya kujitakia. Watu walibaki vivywa wazi maana hawakutegemea kusikia maneno yale kutoka kwa mzee sube, Kikoa kiliendelea na mwishowe wakaamua kufanya kama alivyosema mtu wa kwanza kutoa wazo, wakachaguliwa vijana shupavu mashujaa mahodari kwenye masuara ya utegaji mitego na kuwapa kazi na hatimae kikao kikafika mwisho.Siku ya pili ilipofika wale vijana waliochaguliwa kuifanya kazi wakachukua zana zao za kutengenezea mtego na kwenda nao sehemu ambayo ilisemekana huyo nyoka kufika mara kwa mara. Walitega huo mtego kisha…

Read More

NYOKA WA KUTUMWA Sehemu Ya 1 Katika kijiji kimoja kulikuwa na mzee mmoja aitwae mzee sube , Pia mzee sube alikuwa na mke ambae alikuwa anaitwa Dae { Bibi sube }. Mzee sube pamoja na mke wake walikuwa wanajishughulisha na kilimo maana awakuwa na uwezo, Maisha ya mzee sube pamoja na mke wake yalkuwa ni magumu japokuwa walikuwa wanajishughulisha na kilimo. Mzee sube pamoja na mke wake walikuwa ni wachawi wakubwa sana hapo kijijini kwao ila watu wa hiko kijiji walikuwa awafahamu kuhusu jambo hilo. Siku moja mzee sube alimuita mke wake na kuaanza kuongea nae kitu fulan kuhusu maisha…

Read More

KIBUYU CHA BABU Sehemu Ya 3 nilisikitika nilipoona mke na mtoto wa marehemu wakilia kwa uchungu huku wakigusa mwili wa marehemu….nikajiuliza inamaana watu wote hawa hawaoni kuwa hiyo siyo maiti bali ni gogo la mti….nilimuonesha mbonde lakinj hakuona kitu chochote… kaka mkubwa wa marehemu alifunga jeneza kwaajili ya maziko… baada ya kuzika kila mtu alitawanyika wakabaki ndugu na jamaa wa karibu wa marehemu…kipindi nipo njiani narudi nyumbani nilijiuliza maswsli mengi inamaana kumbe yule mtu aliyeliwa nyama jana usiku alikuwa ni baba wa mwanafunzi mwenzetu. ….nikaingiwa wasiwasi yawezekana hata wazazi wangu babu aliwala nyama..hivyo alinidanganya kuwa waliungulia mdani ya nyumba kwa…

Read More

KIBUYU CHA BABU Sehemu Ya 1 SUDY alikuwa kijana mwenye umri wa miaka ipatayo Kumi na tisa….alipenda sana mchezo wa mpira wa miguu… Alikuwa akiishi na babu yake…huko MAGU jijini mwanza…tangu utoto wake alilelewa na babu yake baada ya wazazi wake kufariki baada ya tukio la ajali ya moto iliyounguza nyumba yao na kuteketeza kabisa””,, ama kweli Mungu sio Athumani…Sudy alinusurika yeye peke yake baada ya kuokolewa katika ajali hiyo ya moto.. wakati huo alikuwa mtoto wa miezi kumi na moja….hivyo babu yake ambaye anaitwa mzee MKUMBO hivyo yeye pamoja na mkewe walichukua jukumu la kumlea sudy… sudy aliendelea kukua…

Read More

HOUSE BOY – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 15 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: HOUSE BOY 1 – 5 HOUSE BOY 6 – 10 HOUSE BOY 11 – 15

Read More

KHADIJA MTANUKO – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 10 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: KHADIJA MTANUKO 1 – 3 KHADIJA MTANUKO 4 – 6 KHADIJA MTANUKO 7 – 10

Read More

UTANI UTANI MPAKA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Utani una mipaka yake katika maisha. Mtindo huu wa kuwasiliana baina ya watu, matokeo yake hutegemeana na kiasi cha Utani unaowasilishwa baina ya wanaotaniana. Ukweli wa hisia za mtu juu yako mara nyingi hujificha katika utani. Mbali na uchangamfu unaoletwa na Utani mahali utumikapo, pia Utani ni kama kifurushi, huja na kitu ambacho ndio kiini cha chombezo hili, kitu hicho ni mazoea. Jina lake aliitwa Tina, mtoto wa pekee katika familia ya mzee Inyasi. Mama yake alishafariki tangu akiwa na umri wa miaka sita, alilelewa na baba…

Read More

KEI MNATO ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi “Kho! Kho! Mmh!” inanibidi nikohoe kidogo maana sina kipaji cha kusimulia ila nitajitahidi maana nahitaji kuwafunza mambo mengi. Nimetumia muda mwingi sana kuwaza hii simulizi yangu niipe jina gani lakini mwishowe nimehitimisha kwa kuiita hilo jina hapo juu la KEI MNATO na nitawaambia kwanini hilo jina lilishinda majina mengi niliyoyapata. Nina majina mawili, moja la kike na lingine la kiume, hili la kike ndilo lililojulikana na watu wengi. Jina langu la kiume wazazi wangu pekee ndio waliolijua na ilibakia kuwa siri. Jina langu la kike lilikuwa Desderia na…

Read More

Mimi Ni Single Mama Wa Mtoto Mmoja Mimi ni single mama wa mtoto mmoja nina miaka 23, nilikata mawasiliano kabisa na baba mtoto baada ya kuikataa mimba ikiwa na mwezi1,,nilipoanza clinick kuna doctor nilizoeana nae sana hadi kipindi najifungua alikua kama ndy baba mtoto wangu hata bill hospital alilipa yeye na pesa ya uzazi alinipa alikua ananijali sana mwisho wa siku tukajikuta tumeanzisha mahusiano Mtoto alipofika miezi 3 akaniambia kwavile baba ake amemkataa basi nimuite kwa majina yake, nikakubali akashughulikia cheti cha kuzaliwa na kadi la clinick tukabadilisha, rasmi mwanangu akaanza kuitwa kwa majina yake, yeye alikua hana mtoto, alisema…

Read More

HOUSE BOY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 11 ENDELEA ULIPOISHIA. Lauson aliingia chumba cha mapokezi kutoa taarifa kwa kilichotokea ,akisema kuwa kuna tatizo lilijitokeza kwa mpenzi wake akisema ndio maana akawa ameondoka bila kutoa taarifa yoyote,,alimuelezea vizuri muhudumu huyo ambaye aliitwa Mariamu kisha Lauson aliruhusiwa kuingia ndani ya chumba walichokuwa wanakitumia kuchukua vitu vyao walivyokuwa wameviacha hapo hotelini. Lauson alipopita pale mapokezi muhudumu Mariamu alimkumbusha kuwa bado hajalipia hela ya gesti,Lauson kujikagua mfukoni alikuwa amebaki na shilingi elfu mbili tu , hivyo basi alimfata Catherine kwenye gari na kumwambia kuwa hela aliyonayo haitoshi…

Read More

HOUSE BOY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 6 TULIPOISHIA. Katika sehemu ya Tano tuliishia Pale Mama Amina na Lauson walipogongewa hodi kwenye mlango wao walipokuwa wakiendelea kupeana utamu . ENDELEA……. “”””Baada ya watu hao kumgongea sana Mama Amina katika chumba chake Mama Amina aliona amtume mwanaume Lauson, ili kwenda kufungua Mlango na kutaka kujua sababu iliyowafanya watu hao kuwepo katika mlango wa chumba chake ,Lauson alitoka nje ya chumba hicho huku akiwa amevaa kaushi na chini alikuwa amevalia suruali aina ya jinzi. “””””Lauson aliufungua Mlango huo,kwa mkwala zaidi kwani na yeye akikuwa amejazia…

Read More

HOUSE BOY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 Ni majira ya Asubuhi na mapema Mama Amina aliiaga familia yake wakiwemo watoto wake wakike watatu na mme wake ,alikuwa na safari ya kwenda Morogoro kumtembelea Shangazi yake aliyeitwa Theresia,Asubuhi hiyo aliweza sindikizwa na mme wake ambaye aliitwa James Esau. James Esau alimsindikiza mke wake hadi stendi ya magari kwa ajiri ya safari hiyo,alipo mfikisha stendi ya mabasi ya Ubungo waliagana Mama Amina akawa amepanda gari ya kwenda Morogoro ,saa kumi na mbili asubuhi basi hilo lilianza safari yake. “”””Mama Amina ambaye alikuwa na watoto…

Read More

KHADIJA MTANUKO ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 7 ILIPOISHIA… “Mmh!, Bibi yako kakuongezea vitu kwakweli, embu endelea kuyakata nikuone.” ? Lily aliongea kwa kunitania, ila kwakuwa nilikuwa sijamaliza kufanya mazoezi yangu na akanikatiza basi me niliendelea kufanya yangu nikimuacha ananikodolea macho.? ENDELEA… “Mmh!, mama umeanza kuwa mtamu hatari mpaka nakutamani sasa.” ? Lily aliongea baada ya kuniona ubora niliokuwa nimeanza kuwa nao. ? “Chezea Bibi kigalula weee!, weuweeee!” ? Nilimjibu na tukaanza kucheka. ?. Baada ya hapo nikaenda kuchukua dawa yangu niliyopewa na Bibi, ? nikaiponda na kuiweka kwenye Ku*a yangu kama kawaida…

Read More

KHADIJA MTANUKO ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 4 ILIPOISHIA “Hapo umeongea la maana, hatujaenda out muda kweli!” ? lily alikubaliana na pendekezo langu la kwenda kula dinner. ENDELEA Na kama tulivyopanga, basi jioni tulianza kujiandaa, kwaajili ya kutoka hiyo out. ? “mmh!, shoost, mbona unajipura kiasi hiko!, au unaenda kutafuta danga?” ? Nilimuuliza Lily aliyekuwa anajipodoa na kuvalia kijinguo chake utafikiri anaenda kudanga. ? wakati huo nikivalia kawaida sana lakini min skate iliyokuwa ikinionesha upaja wangu. ? “wewe je!, na hiko kinguo chako cha kumfanya Kakunku akutamani veepe!” ? Lily naye aliamua kutoa…

Read More

KHADIJA MTANUKO ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya Kwanza Kila mtu ana kilevi chake kinachoweza kumsumbua na asipokipata ipasavyo anaweza kupatwa na msongo wa mawazo na ikiwezekana kurukwa na akili pale asipokipata kabisa. ? Najua kuna wengi wenu hamtafurahishwa na hili, labda kutokana na ukweli usiofichika uliopo ndani, lakini ni vitu ambavyo vipo na havikwepeki?, ila kwa faida yako utapata kujua mengi kutoka kwangu na hasara utakayoipatana ni kubaki na Upungufu wa utambuzi wa mambo na magonjwa yako utabaki nayo, ila sitakulazimisha unijue sana Dija mimi niliyefundwa na Bibi Kigalula, ? kuyatimiza yale niliyoagizwa…

Read More

Mwili wa rafiki yangu uliokotwa kando mwa bahari Kifua chake na tumbo lake likiwa limepasuliwa viungo vikiwa vimetolewa Chapter 2 Nikarudi zangu nyumbani watoto wangu niwakubwa kwaiyo wanajielewa na sitawazungumzia basi nipo nakale katoto ka mwaka na miezi kazaa kalibia miwili sasa Kesho yake asubuhi nikampigia simu nikaona haipatikani niliwaza nisema kwaiy mpk saivi kakaa anafanya nini huko maana sasa ilinilazimu nisiende kufungua genge langu siku ya 4 nikaona hapana hii sio Hari ya kawaida nikaenda kwao teali walikua wananijua nako pia wakaniambia kuwa hayupo toka jumamosi tulipo kuja hajawahi kuja na tukipiga simu haipatikani basi nikawaelezea mkasa wote familia…

Read More

Mwili wa rafiki yangu uliokotwa kando mwa bahari Kifua chake na tumbo lake likiwa limepasuliwa viungo vikiwa vimetolewa Chapter 1 Mimi ni single maza nilizalishwa nina watoto wa tatu na wote baba tofauti nisijielezee sana niende na kilichonileta hapa nilikua na rafiki yangu ambae nilimpokea kwenye usingle maza huyu ni rafiki tu ambae tulikutana kwenye bichi nikiwa nimeenda huko kupunga punga upepo kidogo kupoteza mda sasa kuna kwa mbali nilimuona mdada akiwa anauza ukwaju nikamsitua na alikua amembeba mtoto mdogo nikimkadilia kama wa mwaka mmoja na nusu hivi maana mimi pia ni mama nalea so nilijua Aliniuzia ukwaju chupa moja…

Read More

JAMANI ANKO ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya Tatu Mama Kipenga alirudisha upendo wake kwa watoto wake, aliona tamaa za maisha ni mapito, kila mmoja hupewa riziki yake kwa wakati wake, pengine kwa upande wao bado wakati wao wa kubarikiwa riziki kubwa kubwa, hivyo kwa sasa mama Kipenga kakubaliana na hali ya maisha yao yalivyo, kwani awali alikua hakubaliani nayo kabisa, akihisi labda Kipenga anazembea katika utafutaji, kumbe ni mipango ya riziki ndivyo ilivyo pangwa na mwenyezi Mungu Leo mama Kipenga aliweza kuota ndoto fulani kutokana na pesa anazoletewa na mtoto wake mdogo,.. Kwani…

Read More

JAMANI ANKO ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya Kwanza Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa siku nyingi. Mwalimu alikuwa akifundisha lakini ni kama nilikuwa sielewi wala sisikii alichokuwa anaelezea. Mawazo yangu yote yalikuwa kwa Madam Jesca. Siku hiyo nilijisemea kuwa iwe isiwe lazima nimweleze ukweli na ikibidi siku hiyo hiyo yatimie ninayoyawaza kila kukicha. Madam Jesca alikuwa ni mwalimu aliyekuwa akitufundisha kwa muda tu baada ya kuwa amemaliza kidato cha sita. Wakati huo sisi tulikuwa kidato cha nne. Somo alilokuwa akitufundisha ni Kiswahili. Hatimaye mwalimu akatoka na…

Read More

MANDOGO LISA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 4 baada ya kusikia kauli hiyo Hasina naye alizidisha spidi na kuongeza manjonjo zaidi… … Alizidisha manjonjo baada ya kuhisi kuwa mzee huyu tayari alitaka kuvunja dafu kwa mara nyingine hivyo naye hakutaka kubaki nyuma angalau afanikishe japo moja. Mzee Bisu alianza kupaparika na kuukaza mwili kitendo kilichomuhakikishia Hasina kuwa tayari anataka sasa kuangusha mzigo wakati yeye alikuwa ndo analisaka hivyo akaamua kuuchomoa haraka na kujiweka pembeni huku akimbusu mzee huyo masikioni na huku akimpulizia pumzi za puani kwake katika masikio, mara mzee Bisu alisikika akiongea…

Read More

MANDOGO LISA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 Ilikuwa ni jioni moja tulivu ambapo kijimvua cha rasharasha kilikuwa kikiendelea kunyesha taratibu, na kama kawaida ya watu wa Dar es Salaam wanavyoogopa mvua kuliko magari, alionekana mtu mmoja mmoja akipita barabarani katika mitaa ya kinondoni, watu wengi walikuwa wamejificha kwenye vibanda kusubiri kijimvua hicho kikate na wengine walikuwa tayari majumbani kwao wakijipumzisha wakati wengine walikuwa ndani ya magari yao wakielekea huku na kule. Katika moja ya mitaa ya Kinondoni ndani ya jumba moja zuri la kifahari japo lilikuwa halina ufahari wakutisha, mzee Henry Bisu…

Read More

MAHABA YA SOFIA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 4 Bonface alitoka chumbani kwa Sofia na kuingia chumbani kwake kuchukua taulo kisha akaenda kuoga haraka,baada ya kuoga alibadilisha nguo na kutoka nje tayari kwa kurudi kazini wakati akitoka nje alikutana na Mke wake akiwa ndo anatoka kazini muda huo, ,Mama John alisimamisha gari kisha akatoka nje ya gari na akamfata Mme wake alifika anamuuliza. Mama John'””Mme wangu mbona gari umepaki nje ya geti,halafu nimepita mjini katika supermaket zako sijakukuta nimeambiwa umetoka kule muda mrefu sana kumbe ulikuwa nyumbani tu””aliendelea kusema,Bonface alimjibu””Mke wangu usiwe na…

Read More

MAHABA YA SOFIA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 Sofia anaamka Asubuhi na mapema kuangalia mda katika simu yake, inamuonyesha ni saa kumi na mbili na nusu anaonekana kushituka sanaa na kusema mwenyewe”””yani leo nimechelewa sana kuamka daa!! ,sijui Bosi atanieleweje leo nikimcheleweshea chai””,aliamka haraka na kuvaa kisketi kifupi na kitopu juu haraka na kutoka nje ya chumba chake . Ili kuendelea na kazi zake za kila siku,ikiwa ni kusafisha mazingira ya nyumbani na kupika chai kwa ajili ya famila ya Mzee Bonface, Mzee Bonface mwenye watoto wawili mmoja wa kike mwenye miaka…

Read More

CHUPI MKONONI – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 10 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: CHUPI MKONONI 1 – 3 CHUPI MKONONI 4 – 6 CHUPI MKONONI 7 – 10

Read More

NIFANYE NA MIMI KAKA DICK – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 23 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: NIFANYE NA MIMI, KAKA DICK 1 – 5 NIFANYE NA MIMI, KAKA DICK 6 – 10 NIFANYE NA MIMI, KAKA DICK 11 – 15 NIFANYE NA MIMI, KAKA DICK 16 – 20 NIFANYE NA MIMI, KAKA DICK 21 – 23

Read More

MUHUNI PIPI YAKO NITAIWEZA KWELI? – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 20 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: MUHUNI PIPI YAKO, NITAIWEZA KWELI? 1 – 5 MUHUNI PIPI YAKO, NITAIWEZA KWELI? 6 – 10 MUHUNI PIPI YAKO, NITAIWEZA KWELI? 11 – 15 MUHUNI PIPI YAKO, NITAIWEZA KWELI? 16 – 20

Read More