π π¨ππ’ππ’ πͺπ ππππππππ
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA KUMI NA TATU
“Humtaki Jack ambaye ni mtoto wa kike mwenzako unamtaka Carson mtoto wa kiume, kweli mke wangu ? “
“Ina maana baba Irene umeshaanza kunifikiria vibaya au”
“Hapana mke wangu ila umenistua kutaka kuondoka na Carson wakati Jack yupo”
“Aah Jack ni mvivu sana na wewe mwenyewe unajua nikikaa naye dakika mbili tu lazima tucharulane yaani ni kama mtoto kila kitu mpaka umfokee sasa nitaweza mimi kufokeana naye katika miji ya watu”
“Hata kama mke wangu mimi nitakaa naye nitaongea naye na atanielewa tu, utaenda na Jack , huyo Carson hapana”
Mzee Sodono alitilia mkazo msimamo wake , alikuwa akimpenda mke na kumfanyia vingi lakini hili la kutaka kusafiri na Carson kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya mapumziko mafupi kwa maana ya ‘Vacation’ alilipinga kwani hakuuona kama ni uamuzi mzuri. Japokuwa alikuwa akimuamini mkewe na alijua hawezi kumsaliti kwa namna yoyote ile kwani alikuwa akimpatia kila kitu alichokitaka kasoro kitu kimoja tu ‘tendo la ndoa’ lakini hakuwahi kuwaza kama kwa kutompa tendo la ndoa kunaweza kumfanya amsaliti wakati ni vitu vingi vya thamani tayari alikwishampa na bado alikuwa akiendelea kumpa, magari, mikufu, simu ,mavazi yaani kila kitu.
“Haya sawa kama hicho ndicho ulichoamua mume wangu siwezi kupinga”
Mama Irene alijibu kwa sauti ya kinyonge yaani kishingo upande , hakuonesha kuridhika na maamuzi ya mumewe lakini hakuwa na la kufanya.
“Asante mke wangu kwa kunielewa, mwaaah !”
Mzee Sodono alisema kisha akampiga mkewe busu zito kwenye lipsi.
“Sawa mume wangu”
Mama Irene, alijibu.
“Mke wangu wewe ni mzuri sana urembo ambao nilikukuta nao miaka ishirini iliyopita bado upo na unazidi kuongezeka siku baada ya siku”
Mzee Sodono, alisema huku akizichezea lipsi za mkewe kwa ncha za vidole vyake.
Kisha taratibu aliupeleka mkono wake mpaka katika ziwa la kulia la mkewe na kuanza kuliminya minya kwanza upande wa kwenye chuchu mpaka chini.
Pamoja na Mzee Sodono kufanya yote hayo lakini mama Irene hakupata hata chembe ya msisimko pia hakutoa ushirikiano wa aina yoyote ule, kwani alijua hata kama angetoa ushirikiano asingeweza kupewa kwa namna anayoitaka yeye zaidi ya kuchafuliwa tu na kutiwa kiu ambayo isingeweza kukatwa.
Mzee Sodono aliendelea kuutomasa mwili wa mama Irene lakini mama Irene mwenyewe alitulia tu na alipoona mzee Sodono anafika mbali zaidi, aliamua kumkatisha.
“Mume wangu niruhusu nilale kipigo ulichonipa jana ni kikali sana madaktari wamenishauri nisifanye kazi ngumu pia nipate muda mwingi wa kupumzika , nisamehe sana mume wangu najua jinsi gani unanihitaji mkeo ila niruhusu nipumzike”
“Aah sawa mke wangu pole sana , ila nilikupania sana mke wangu”
“Kwenda huko huna nini wewe mtu mwenyewe mshumaa sekunde mbili ushamwaga”
Mama Irene, alijisemea kimoyomoyo kwani maneno ya Mzee Sodono yalimtia kichefu chefu ,alikuwa hana tofauti na ‘Karimu Mandonga’ maneno mengi,mbwembwe nyingi lakini uwezo mdogo.
“Sawa mume wangu mimi mkeo tu hata Keshokutwa utanifanyia hicho ambacho ulinipania kufanya leo”
Mama Irene, alijibu.
Hapo ndipo ukawa mwisho wa Mzee Sodono kuendelea kuutomasa mwili wa mama Irene pia ndio ulikuwa mwisho wa mazungumzo yao.
Mzee Sodono aligeuka upande wa pili na kuanza kukuruza hovyo.
Lakini mama Irene yeye wala hakulala badala yake alijilaza chali, mgongo ukiwa kwenye godoro macho yakilitazama dali, alionekana kuwa kwe nye dimbwi zito la mawazo.
Bado alikuwa akiukumbuka utamu ambao alipewa na Carson kwa siku hiyo, kwanzia wakiwa ndani ya gari mpaka walipofika kule King Palace hotel.
Picha ya Carson akimueka katika mikao tofauti na kumpa mapigo matamu ambayo hakuwahi kuyapata maisha yake yote, bado iliendelea kusalia katika kichwa chake.
Kumbukumbu hizi zilianza kumfanya ajihisi tofauti. Chupi yake taratibu ilianza kulowa.
Alishindwa kujizuia taratibu aliingiza mkono ndani ya chupi yake na kuanza kujichezea.
“Shhhh..aaaah”
Mama Irene, aliugulia.
Kwa robo dakika aliichezea papuchi yake lakini aliona kama haitoshi, kichwani alipata wazo la kwenda kumgongea Carson, usiku huo huo ili amapatie hata kimoja tu cha kulalia taratibu alivua chupi ambayo ilikuwa imeloa na kuitupa pembeni akabaki na ‘nightdress’ pekee (nguo ya kulalia usiku). Hakutaka kwenda kwa Carson akiwa na chupi.
Taratibu alijiinua pale kitandani kwa mtindo wa kunyata ili asistukiziwe na mumewe ambaye kwa sasa alikuwa tayari anakoroma. Na alipokimaliza kitanda aliikanyaga sakafu na kuanza safari kuutafuta mlango.
SEHEMU YA KUMI NA NNE
Mama Irene alinyata taratibu mpaka pale alipokikamata kitasa, taratibu alikinyonga lakini ghafla alisikia sauti kutoka nyuma yake.
“Khooo Khooo khooo”
Mzee Sodono, alikohoa.
Mama Irene, alisimama mapigo ya moyo yalimuenda mbio almanusura adondoke lakini aliweza kujishikiza vyema ukutani.
Mzee Sodono aliendelea kukoa mara mbili mara tatu kisha akageukia upande wa pili na kuendelea kukuliza.
Mama Irene alivuta pumzi ndefu kisha taratibu aliishusha.
“Niende au nirudi tuu ?”
Mama Irene, alijiuliza kisha akafikiria kwa takribani nusu dakika na mwisho alifikia maamuzi, aliamua kugeuza kwani safari ilikuwa tayari ishaingia mkosi.
Alirudi kitandani kisha akajifunika shuka lakini usingizi haukuja kwa haraka kwani hali yake ilikuwa mbaya papuchi yake muda wote ilikuwa ikitoa ute ute.
Alitamani kwenda kwa Carson lakini alikuwa tayari kashaanza kuhisi dalili mbaya na kama angelazimisha basi balaa kubwa lingemkuta , ingemgharimu hata kifo kwani mzee Sodono alikuwa anamiliki bastora na pia alikuwa akimpenda sana mkewe asingeweza kuvumilia pale angekuta mkewe akigongwa na mwanaume mwingine tena kijakazi wake ambaye anaishi ndani ya nyumba yake, anamlisha na anamlipa pia.
Pia alitamani amuamshe mumewe walau amtibu lakini wazo hilo alilifuta haraka kwani alijua wazi mumewe asingeweza kumpa kile akitakacho ,uwezo wa mumewe ulikuwa goi goi.
****************************
Siku iliyofata ilikuwa ilikuwa ni siku ya jumamosi siku ambayo Irene hakwenda kazini ilikuwa ni siku yake ya mapumziko.
Hivyo asubuhi na mapema aliamua kumfata Carson , kwani moyoni mwake alikuwa na donge zito limemkaba na alihitaji kulitoa.
Alienda chumbani kwake lakini hakumkuta hapo haraka alitoka nje na kuzunguka upande wa pili kwenye mabanda ya ng’ombe ambapo huko alikuwa na uhakika kama lazima atamkuta Carson.
Kweli alipozunguka alimkuta Carson akiwa anajiandaa kukamua ng’ombe maziwa.
“Carson wangu, mume wangu, mambo”
Irene , alisema kwa mtindo wa kudeka.
“Poa Irene, upo poa”
“Sio sana na wewe ndio unayataka yote haya”
“Kivipi tena Irene”
Carson, alistuka.
“Nina wivu sana Carson pia mimi ni mchoyo, sipendagi kushea vitu vyangu hasa vile vinavyonipa furaha”
“Sijakuelewa Irene , kuna nini kwani”
Carson , aliuliza kwani muda wote Irene alikuwa akizunguka zunguka tu kwa mafumbo nahau na misemo kitu ambacho kilimfanya asieleweke hata kidogo.
“Jana kutwa nzima ulishinda wapi na ulikuwa unafanya nini”
Irene, aliuliza.
Mapigo ya moyo ya Carson yalifanya paaah !, alihisi kama Irene tayari kashajua kile ambacho alikifanya usiku ya jana.
“Nili..niliβ¦tu..tu..tuli”
Carson, alijikuta anapata kigugumizi cha ghafla.
“Nakuuliza Carson, sema nikusikie”
“Aaah tuliβ¦nili.. nilimsindikiza mama hospitali”
“Taarifa zenu ninazo Hospitali mulitoka asubuhi hata hamkukaa sana , lakini cha ajabu hapa mulirudi saa tatu usiku, nataka uniambie baada ya kutoka hospitali mulienda wapi na mulifanya nini”
Irene, alisema na safari hii macho alimkazia Carson.
Wivu ndio ulikuwa kitu pekee ambacho kilikuwa kikiusugua moyo wa Irene. Alihisi moja kwa moja kwamba kuna sehemu wawili hawa walipitia na huko walikopitia kuna kitu walikifanya , alihitaji kujua kitu hiko ni kitu gani je ni kile kile ambacho alikuwa anakidhania ama kingine.
Fikra za Irene zilikuwa sahihi kwa asilimia mia japokuwa mwenyewe alishindwa kulithibitisha hilo.
“Aaah jana mama alisema nimsindikize sijui wapi wapi huko sipajui hata, alihitaji kapumzike tukaenda tukala akapumzika ndio usiku tukarudi”
“Hakuna chochote ambacho mulikifanya⦔
“Ha..hakuna hakuna Irene, hatukufanya chochote “
Carson, aliitikia huku akiitikisa shingo yake kutoka kulia kwenda kushoto kisha kutoka kushoto kurudi kulia kuonesha msisitizo zaidi.
Irene alimuelewa japokuwa hakumuamini sana kwani aliijua fika hali ya mama yake pia aliujua utamu na ufundi wa Carson na kama walifanya kitu basi mama yake hatokubali kumuacha Carson, lakini.
Lakini pia kwa upande wake hakuwa tayari kumuacha Carson awe na mwanamke yeyote zaidi yake na atakayejaribu basi atakula naye sahani moja moto utawaka , haijalishi awe nani.
“Wewe ni wangu Carson na kila kitu chako ni mali yangu, “
Irene, alisema kisha akamsogelea Carson karibu. Alimkumbatia kwangu kisha akamnyonya lipsi, hakujali harufu kali ya jasho iliyochanganyika na majani,kinyesi cha ng’ombe na shombo la maziwa.
Irene aliushusha mkono taratibu mpaka kwenye muhogo wa Carson, aliupapasa kisha akaushika kwa nguvu kiasi lakini si kwa kumuumiza.
“Hii ni mali yangu Carson usimpe mtu mwingine mume wangu”
Irene, alisema huku machozi yakimrenga.
Carson alikosa cha kusema alibaki akitikisa kichwa tu.
“Sitaki nikuone ukiwa na mazoea na mwanamke mwingine iwe ndani ama nje ya nyumba hii, chochote utakachokitaka nitakupa “
Irene, alisema.
“Sawa Irene, nimekuelewa usijali “
Carson, alijibu.
Mbele ya MUHOGO WA KIJAKAZI Carson Irene, alikuwa hana tofauti na teja mbele ya madawa ya kulevya. Alikuwa tayari kashakuwa mraibu ( addicted) alifanya,alisema,aliwaza vitu ambavyo havikuwa na kichwa wala miguu , alishindwa kuziongoza vyema hisia zake pamoja na akili zake.
SEHEMU YA KUMI NA TANO
“Aah sawa nimekuelewa lakini mazingira hapa hayaruhusu tunaweza kukutwa na watu ikawa balaa”
“Aaah sawa nimekuelewa Carson, nilikuwa na jambo moja nahitaji kutoka kwako kwa siku ya leo”
Irene, alisema.
“Jambo lipi hilo Irene”
“Nataka tutoke, twende tukatembee, tukale Ice cream tukaangalie movie, tufurahi”
“Mmh Irene lakini si unajua hilo ni gumu kuwezekana mimi hapa ni KIJAKAZI tu, sina uhuru kiasi hicho”
“Sawa ni KIJAKAZI lakini KIJAKAZI wewe wa tofauti na vijakazi wengine, wewe MUHOGO wako mtamu, hatuwezi kukupelekesha kama vijakazi wengine”
Irene, aliendelea kuropoka.
Lakini kila alilosema lilisababisha mkinzano mzito katika ubongo wa Carson. Carson alimuona Irene kama mtu ambaye anamuhatarishia kibarua chake.
“Sawa lakini kama inawezakana naomba unisaidie kitu kimoja”
“Kitu kipi hiko nambie kipenzi”
“Nataka uniombee ruhusa kwa mama”
“Ooh hilo tu limeisha , nitaongea naye na atanielewa vizuri tu hata usiwe na hofu, sawa mume wangu”
Irene ,alisema.
Carson aliitikia kwa kutikisa kichwa.
“Ok jiandae baadae tunaondoka zetu , ukanipe utamu sawa”
Irene, alisema kisha akaondoka.
Carson alisimama alimuangalia akitokomea Irene na mwishoni aliishia kutikisa kichwa tu.
Alikaa kwenye kigoda kisha aliendelea na shughuli yake ya kukamua maziwa ambayo aliisimamisha punde tu baada ya Irene kumuingilia.
Wakati Carson kakaa akiendelea kukamua ng’ombe maziwa bila kujua upande wa nyuma kabisa kulikuwa na mtu kajibanza pembeni akimchukua video kwa kamera.
Mtu huyu alianza shughuli hii tangu Irene alipowasili.
Yaani ule muda ambao Irene anamkumbatia Carson , anamkisi,anamuuliza maswali kuhusu safari ya jana, anambinya binya muhogo wake, mpaka anaondoka, yule mtu alikuwa akichukua video na kwakuwa kamera yake ilikuwa na ubora wa hali ya juu basi alifanikiwa kunasa na sauti pia.
Si Carson wala Irene ambao waliustukia huu mchezo. Na hii haikuwa mara ya kwanza kufanya kitendo hicho, mara ya kwanza aliwachukua kupitia dirishani ambapo Irene na Carson walikuwa wakifanya mapenzi na leo hii ni mara ya pili.
Mtu huyu alikuwa anataka nini ? kwa nini ajifiche fiche? na ana nia gani, hakuna ambaye alijua zaidi ya yeye mwenyewe.
************************
“Mama “
Irene, aliita punde tu baada ya kuingia ndani na moja kwa moja kuelekea katika chumba cha kulia chakula ambapo huko alimkuta mama yake kakaa mezani taratibu akipata kifungua kinywa.
“Niambie mwanangu”
“Hivi Miriam yupo wapi, sijamuona tangu niamke”
“Miriam yupo mbona alikuwa kule kwenye bustani na kamera anapiga piga picha”
Mama Irene, alijibu.
Miriam alikuwa ni mtoto wa pili wa familia ya Mzee Sodono, ambaye alikuwa akimfatia Irene.
“Aaah sawa mama, ila nilikuwa nahitaji kutoka leo sasa nikataka nitoke na Carson”
“Carson..!”
Mama Irene alisema kwa mshangao kisha mapigo yake ya moyo yalidunda kwa kasi mithili ya mtu aliyepewa taarifa mbaya.
“Ndio mama, nataka nitoke naye”
“Hapana yule kaja hapa kufanya kazi na ana kazi nyingi za kufanya hawezi kutoka”
Mama Irene, alipayuka.
Lakini moyoni alijisemea “Carson ni mali yangu koma kumletea mazoea”.
“Kwanini mama hatutochelewa sana na hizo kazi si zipo tu siku zote”
Irene alijibu lakini moyoni naye alijisemea “Carson ni wangu na hakuna ambaye ataweza kunipangia masharti juu yake kama tayari ushaanza kuchanganyikiwa naye tafuta mwingine”
Kila mmoja moyoni aliwaza lake kimoyomoyo, mama na mtoto walijikuta wakianza kuleteana uhasama wa chini chini.
“Wew ni kiziwi hunisikii ninachokwambia, narudia tena huyo Carson hapa kaja kazini sio kusindikiza watu, kuna Miriam kule hana kazi yoyote mwambie akusindikize na kama msindikizaji lazima awe mwanaume mpigie simu mchumba ako, akusindikize lakini kwa Carson ni hapanaaa⦔
Mama Irene, alisisitiza.
Irene hakujibu kitu kwa hasira aliinuka meza aliisukuma , vitu vilivyopo juu ya meza viliparanganyika almanusura amuunguze na chai mama yake.
“Hivi wewe mshenzi umerogwa ! wew Irene weweβ¦wewe Ireneβ¦Ireneβ¦Irene !”
Mama Irene alifoka kwa hasira lakini Irene hakujibu wala nyuma hakugeuka.
“Ushakuwa mama “
Mama Irene, alipayuka kebehi lakini hata hivyo hakujibiwa lolote.
INAENDELEAβ¦β¦

