JOIN US WHATSAPP
CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM
CLICK HERE
MWALIMU MALAYA
Sehemu 1 – 7
Kengele ya dharura iligonga na wanafunzi wote walielekea parade (uwanja wa kukusanyikia) kusikiliza kilichokuwa kinaendelea, Mkuu wa shule alisogea mbele kabisa akiongozana na timu ya waalimu wote, wanafunzi walisalimia kwa nidhamu zote, mkuu wa shule alizipokea salamu na kwa haraka ili kuokoa muda alitangaza tangazo lililowakusanya mahali pale “wanafunzi napenda kuwatangazia kuwa tumepata mwalimu mpya kutoka Tanga ajulikanaye kama mwalimu Farouk atafundisha kidato cha nne na cha tatu naomba ushirikiano wenu kwake.