YENYE KIRUNGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 11
Alinichapa nayo fimbo mwanaume yule alinisugua nikajisikia kweli nimefanya mapenzi
Akiwa bado amenibeba tunatazama kwa ukaribu, ameng’ata midomo yake huku ananichochoea mi nalia tu kama mtoto.
Niliikatikia lakini bado hakojoi, nikaanza kufika mimi
“Baba inatosha…..bhaa…na” Nilisema huku nikijaribu kujitoa.
Mvulana yule alinigeuza na kuniinamisha kidogo halafu akaipenyeza na kuirudisha kwenyewe. Nilivumilia ili afike lakini alipoingiza kidole mk***ni tu nilisikia nye** zikinipanda tena na kubinuka vizuri
Aliendelea kunichapa nayo mpaka nikaanza kumsahau mume wangu maana nilipata vitu hadimu.
Niliinama nikaanza kuizungushia kiuno mpaka pale aliponikojolea ndiyo tulitulia
Alionekana mwenyewe ameshapagawa na penzi langu jinsi nilivyompatia kwa moyo wote, aliendelea kunikumbatia lakini nilimzuia
“Please, nenda tutawasiliana please ngoja nikalale” nilisema huku nikiinama na kuchota maji nijitawaze. Alinitazama kwa huruma huku akifikisa kichwa “Usihuzunike mi nipo tu” Nilisema na kuchuchuma nikaanza kujitawaza.
Mara ghafla alipote katika mazingira ya kutatanisha, sikushtuka sana maana nilianza kumzoea.
Nilimaliza nikatoka chooni na kwenda chumbani, niliketi kitandani na kushika tama halafu nikaanza kuwaza sana, nilipata mawazo juu ya kijana yule.
Nilijiuliza ni kiumbe cha aina gani mbona kama vile sikielewi elewi. Penzi lake lilikuwa tamu sana, hadi maumivu ya kichwa yalishaisha saa nyingi
“Anita” Sauti ya mume wangu ilinishtua
“Eeh” Niliitika
“Vipi mbona hujalala umeketi?” aliniuliza
“Hamna usingizi umeniisha”
“Kwani vipi una mawazo?” aliniuliza
“Hapana wewe endelea kulala”
Jerry alishuka kitandani akawasha taa na kunitazama vizuri, aliniuliza kama niko sawa
“Mi niko powa tu wewe pumzika”
“Kweli uko powa?” Aliniuliza huku akiketi na kuniwekea mikono begani laiti angejua kwamba mimi nimetokwa kupigwa rungu muda sio mrefu. Niliutoa mkono wake kwa hasira sijui kwanini ghafla nilianza kumuona kama vile hanipi kile nachokitaka mwilini
Nilijilaza na kujifunika kitandani, Jerry aliichukua simu yangu akawa anataka kuifungua, nikainuka haraka na kamnyang’anya maana nilihofia akikutana na zile message za kijana yule itakuwa sio vizuri
Unajua Jerry alibaki ananishanga, mi naamini kwamba alikuwa haamini kama mimi ndio ninamzuia kushika maana sikuwahi kumnyima asishike simu.
“Anita! Are you okay?” aliniuliza
“Am…..oh, sorry” Nilisema kwa uoga naangalia kwa aibu maana nilijua ameshanihisi vibaya
“Ok, now i understand the reason….nimejua kwanini umekaa unawaza” alisema kwa hasira akiinuka na kuzima taa
Nilifuta message haraka halafu nikamnyooshea
“Shika simu basi mbona unanihisi hivyo?” Nilimuuliza
“Nooo” alisema akinyoosha mkono kama askari wa barabarani akisimamisha gari. “kaa nayo mama….Si ya kwako bwana!” alisema kwa hasira na kujirusha kitandani naye akajifunika
“Sio hivyo mu….”
“E….eee kaa nayoo” alipayuka kwa sauti halafu akajifunika mpaka kichwani akalala huku akila miwa kwa hasira
*
Asubuhi mapema niliamka nikamuandalia chai, alitakiwa aende kazini siku ile.
Kweli naye baada ya muda aliamka na kutoka akiwa na mswaki mdomoni, alielekea bafuni kuoga. Nilimaliza kuandaa kila kitu na nguo kumpasia
Aliporudi alivaa na kuaga “Tutaonana jioni” alisema
“Mh, kwani chai haunywi?” Aliniuliza
“Sinywi mimi nimechelewa ntakunywa kazini”
“Jerry……” Nilimuita nikamsogelea na kushika shati lake kwa mbele nikamtazama kwa ukaribu huku nikimrembulia ili nimlainishe
“Nini?” aliniuliza kwa hasira
“Nisamehe kwa yaliyotokea jana” alisema
“ok” Jerry alijibu kwa mkato halafu akageuka anaondoka kuelekea mlangoni nikamuita tena
“Jerry” Niliongea kwa sauti kubwa kidogo
“Ninachelewa kazini” alisema
“Mume wangu mi nahitaji mtoto” niliongea kwa sauti kubwa
“Mtoto?” aliniuliza huku akinigeukia “Huyo uliyempata ndo ameshakuambia mzae mtoto si ndio? Haya ruksa! Zaeni basi” alisema kwa hasira na kuondoka…
SEHEMU YA 12
Yote haya niliyasema ili angalau kumuonyesha kwamba kinachonipa mawazo ni kutokuwa na mtoto, embu fikiria umeoana na mtu miaka mitatu imepita na hata hajawahi kuongelea suala la kuhitaji mtoto, unamuwazia vipi huyo mtu? Nilijiona nimekosea kuchagua labda.
Aliondoka moja kwa moja mi nikabaki nyumbani peke yangu, siku nzima ilikuwa ya mawazo tele, ilikuwa ni siku iliyojaa fikira na huzuni, japo nilijitahidi kupika na chakula cha mchana ili akija tu akikute.
Ilipofika majira ya saa 12 jioni Jerry alirudi nyumbani, alinijulia hali kisha akavua nguo na kuelekea bafuni akaoga, alipomaliza alijiliza kitandani
Nilipoingia chumbani nikamkuta amejilaza huku anacheza na simu yake, ilibidi nimuongeleshe maana hakuwa kawaida yake.
“Jerry” Nilimuita huku nikimtazama, Jerry aligeuza shingo na kunitazama bila kuongea chochote ikabidi niendelee “Vipi mbona hauko sawa? Chakula hujala mbona sio kawaida yako?” nilimuuliza
“Nimeshakula huko nilikotoka”
“Sawa, ila Jerry”
“Nini?”
“Nisamehe kama nilikuudhi, sikuwa na maana mbaya kukunyima simu wala hakukuwa na kibaya mume wangu ni masuala tu madogo hayo ya kurekebisha sasa tunanuniana nini?”
“Niache, nina stress zangu”
“Nisamehe basi”
“Nimeshakusamehe”
“Haya asante kwa msamaha wako, ili niamini umenisamehe kweli naomba uamke tukale ndo nitaridhika”
“Anita…..” aliniita “Mimi siwezi kula chakula chako wala chochote sitashiriki na wewe” alisema
“Kwanini sasa Jerry?” Nilimuuliza
“Kwa sababu umeanza kunisaliti, sio siri nilisikia kichefu chefu nilipopata taarifa kwamba ulikuja na boss wangu huku nyumbani, ninaogopa sana maana yule mzee sio mzima wa afya ana UKIMWI” aliniambia maneno ambayo yaliniogopesha, ila sasa nilijikaza kiume nikijifanya kwamba sijashtuka
“Nani mimi? Lini? Nani amekuambia huo uongo? Yaani walimwengu bwana…..hivi kweli mi nitembee na boss wa mume wangu? Tena mtu gani tule mwenye likitambi vile?” nilijaribu kujitetea kwa namna ya kumuaminisha sio kweli ila ni kwamba kulikuwa na ukweli ndani yake japo hata sikufaidi yule mzee hakuwa na uwezo wa kuniburudisha kimapenzi.
“Basi ndo hivyo, wewe endelea kula huko mi sili mpaka tutakapoenda kupima UKIMWI nithibitishe huna” alisema
*
Zilipita wiki mbili mfululizo, mimi na Jerry hatushirikiani chochote cha kimwili wala hata chakula, nilijaribu kumuomba sana lakini alikataa. Lakini alikuwa hela ya chakula ananipatia kila mara
Nilikuwa nikijisikia kufanya mambo ya kikubwa ninamtumia ujumbe kijana wa kirungu naye alikuwa ananitokea.
/
Niliona ujumbe kutoka kwa Jerry feki
“TAFADHALI NJOO HAPA NJE NINATAKA NIKUPELEKE MAHALI” alinitumia Jerry feki wa kirungu
Kwa sababu Nilianza kukolea katika mapenzi yake nikijikuta namuacha mume wangu kitandani usiku na kutoka nje usiku sana.
Nilipofika nje tu hivi nilimkuta kijana yule kasimama ananisubiri, ananukia marashi sana,
“Woow, asante kwa kunitii” aliniambia nikashangaa hee leo kijana ameweza kuongea?”
“Wewe!!” nilimuita kwa mshangao
“nini shida mpenzi?” aliniuliza
“Unaweza kuzungumza leo?” niliuliza tashtiti
“Ndio, nimeshatibiwa” aliniambia.
Kwa furaha ya ajabu nilimkumbatia, kitendo cha kumkumbatia na kufumba macho hivi, kuja kufumbua tupo sehemu nyingine kabisa, katikati ya msitu, tumezungukwa na watu wa ajabu ajabu, wengine wana makucha marefu na meno marefu, wachafu wenye kuogopesha.
“Mamaaa….” nilipiga kelele lakini alinishika
“Usiogope, mimi ndiye kiongozi wa hawa, nimekuja kukutambulisha kwao leo” alisema
“Mbona wanatisha hivi?” Nilimuuliza
“Hawa ndio watu wa aina yangu, sisi ni misukule ila mimi ni msafi kwa sababu nina cheo huko kuzimu”
“Noo, pleaase turudi”
“Sawa tunarudi ila tafadhali” alisema huku akitoa kitu mfukoni na kupiga magoti akaninyooshea mkono amebeba pete yenye kung’aa “Please kuwa wangu moja kwa moja” aliniambia nikashangaa maneno kama haya aliniambia Jerry miaka minne iliyopita na nilimkubalia.
Nilibaki nikimuangalia ile mijitu mingine imeshaanza kupiga makofi na kushangilia kwa sauti zenye kustaajabisha.
“Nini, hiyo lakini” niliuliza
“Nataka tuwe wote milele, nitakulinda” aliniambia
Wala sikufikiria kwa kina, niliamua kumpa kidole na kumruhusu akanivisha pete ile ila cha kushangaza pete ilinichoma moto wa kutisha
“Auwiiii mamaaaa…….! Nilipiga kelele za maumivu huku nikiketi kitandani, Jerry ananishangaa kumbe muda wote nilikuwa naota ndoto
“Vipi Anita, mbona makelele?” Aliniuliza Jerry ambaye ni mume wangu sasa.
“aah, ni ndoto” Nilisema huku nikiukagua mkono wangu wa kushoto kuna pete ya ndoa ila mkono wa kulia nao una pete nyingine ya kung’aa ambayo sikujua imeingiaje kidoleni wakati nimelala usiku
Niliwaza labda nimeshaingia mkataba fulani na majini. Nilijaribu kuitoa lakini sikuweza…
SEHEMU YA 13
Jerry aliniangalia kwa hasira, nikauficha mkono haraka ili asione ile pete niliyovishwa ndotoni.
Baada ya kuuficha mkono Jerry aliuvuta kwa nguvu na kuutazama “Vipi mkono unauma?” Aliniuliza, bado alinijali
“Hapana”
“Sasa mbona unaushika shika, kwani vipi?” aliniuliza na kuniachia halafu akajifunika. Nilipata wasiwasi may be hajaona kile nilichokuwa nacho mkononi.
Ghafla nilipata kichefu chefu cha hatari, nikashuka kitandani na kwenda chooni haraka nikatapika sana, nilishindwa kuelewa tatizo liko wapi
*
Asubuhi Jerry aliniambia haendi kazini, nijiandae tuelekee hospitalini kwa ajili ya kucheki afya zetu.
Nilikuwa na wasiwasi lakini sikuwa na namna ya kumpinga mimi bado nilikuwa chini ya himaya yake.
Nilioga nikanywa chai na kuondoka kuelekea Hospital ya Kwangwa.
Tulifika tukahudumiwa tulipimwa kila kitu, hakuna hata mmoja wetu aliyekuwa na VVU la, mimi nilikuwa na ujauzito wa mwezi mmoja.
Nilifurahi sana, ila niliogopa pia ujauzito ni wa Jerry Mume wangu au ni Wa Jerry Kirungu? Nilibaki na wasiwasi sana lakini mume wangu alionyesha kufurahia kitendo kile.
Tulirudi nyumbani kwa furaha na kuendelea na siku ile kuimaliza salama
Asubuhi kesho yake Mume wangu alienda kazini kama kawaida, ile ametoka hivi, Jerry feki aliingia ndani na kunikuta nimeketi sebuleni nawaza sana
Jerry feki alinipigia magoti akawa ananishukuru kwa ishara
“Vipi?” Nilimuuliza lakini aliendelea kunishukuru kwa ishara halafu akapotea
Nilibaki na maswali kedekede kichwani kwamba ananishukuru kwanini, ila nilipata jibu kwa ujumbe mfupi alionitumia
“ASANTE SANA ANITA, UMENISHIKIA MIMBA, NIMEHANGAIKA SANA KUTAFUTA BINADAMU WA KUZAA NAYE LAKINI SIKUFANIKIWA, NAKUAHIDI KUKUTENGENEZEA MAISHA MAZURI AMBAYO HAYANA MFANO” alinitumia ujumbe
“haaah!” Niliogopa, nilishtuka na nilijibu “NOO HII SIO MIMBA YAKO NI YA MUME WANGU” nilijibu na kufuta ule ujumbe
Ghafla saa 8 mchana mume wangu alirudi, ilikuwa sio kawaida yake, niliona ameanza kupaki vitu vyake vya muhimu
“Unasafiri?” niliuliza kwa mshangao
“Ndio” Aliniambia
“Mbona ghafla?” Niliuliza
“Ndivyo kazi yetu ilivyo, nitarudi baada ya siku 14” alinijibu
“Loooh, sasa mume wangu mimi unajua kabisa sasa ni mjamzito hatupati hata muda wa kuongelea mtoto wetu akija itak……”
“Weeee….tena ukome kabisaa sijakupa mimba mimi” Aliniambia
“Kivipi?” nilimuuliza
“Nilijua tu unanisaliti, Anita ila sawa nimekusamehe lakini nikuambie tu ukweli mimi sina uwezo kumpa mwanamke mimba ndio maana muda wote sijawahi kuongelea mtoto katika maisha ya ndoa, naumia sana napokumbuka una mimba na sio yangu….. sitaweza kuyavumilia haya maumivu kila nikikutazama, either lazima mmoja wetu aondoke hapa maana tutauana humu ndani” aliniambia
“Mume wanguuu….!” nilisema huku machozi yakinilenga lenga
“Samahani sana, nakuachia nyumba, nilishapanga chumba sehemu nyingine hivyo basi endelea na maisha yako wewe na huyo uliyemshikia mimba” aliniambia
Nilipiga magoti chini “Please mume wangu, nitaitoa”
“Tatizo sio mimba tatizo umenisaliti, nimeshajisikia vibaya, najua kwamba hii ndoa haina talaka maana ni ya Kikristo ila basi tu endelea na maisha yako”
Roho iliniuma pasi mfano…..nilijutia maamuzi na mihemko yangu. Ilibidi nisimame mlangoni nimzuie ili asiondoke.
“Jerry” Nilimuita kwa huruma “Please acha nikuambie ukweli. Sijakusaliti, ila…..”
“Noo usiniambie ukweli maana nitaumia zaidi, naomba iwe siri yako”
“No Jerry, ila uliniambia mdogo i mean pacha wako alichukuliwa msukule?” Nilimuuliza
Jerry aliposikia suala kama hilo alishtuka na kunitazama kwa macho makali
“unauliza swali gani? Na unauliza kwa nini?”
“Nataka kujua tu maana…..unaona hivyo vitu vilivyoko hapo chini na begi” nilimuuliza “Na vile viatu ulivyokuta sebuleni siku ile” nilisema huku nikiangalia chini kwa aibu akawa ananishangaa mdomo wazi
“Ni vya nani?” aliniuliza
“Alikuja mwanaume mmoja ambaye anakufanania kuliko hata unavyojifanania wewe….nilijua ni wewe, alilala hapa wiki nzima ila alikuwa ni muhuni kidogo halafu ni bubu”
“Whaat???” aliniuliza huku akiweka begi chini “Una…..unasemaje?” Aliniuliza
“Yes, alionekana pia kama jini, hata siku ile umerudi nyumbani alikuwepo chumbani ila nilishangaa haumuoni na ameketi hapo nawaona wote”
“Anitha!!!” aliniita kwa mshangao….
SEHEMU YA 14
“Abee” niliitika kwa nidhamu
“Unayosema ni kweli?” aliniuliza
“Ndio, ila nisamehe sikujua”
“Ulilala naye?” Aliniuliza, nikamtazama kwa jicho la aibu halafu nikaangalia chini bila kujibu chochote. Haya yote nilifanya ili kumfanya asiondoke akaniacha peke yangu.
Jerry alifungua begi na kutoa hirizi pamoja na picha moja ya utotoni akiwa na pacha wake, halafu alinikabidhi ile picha kisha akainuka na kuweka hirizi mfukoni kisha akaondoka akiwa anaongea na simu.
Nilibaki naishangaa ile picha naona kweli walikuwa wanafanana sana. Niliamua kumuandikia ujumbe yule kijana
“NJOO NYUMBANI MUME WANGU HAYUPO” nilituma kwenye namba yake.
Ni kweli haikupita sekunde nyingi alikuja, sikujua alitokea wapi, aliingia hadi nilipokuwa na kunikumbatia.
“Sorry niachie please….nimeshaingia matatani kisa wewe” nilisema lakini aliendelea kuning’ang’ania ikabidi nijitoe kwa nguvu
Nilipojitoa kwa nguvu ile picha ilidondoka chini akaitazama na kushtuka ikabidi ainame na kuiokota.
Kijana yule aliitazama picha kwa muda mrefu huku akiishangaa sana. Nilijua kabisa anaishangaa maana ameshahisi kitu.
Nilimshika mkono taratibu na kumpeleka mezani tukaketi na kuweka picha mezani.
Nilianza kuongea naye, mi naongea naye kwa maneno ya mdomoni / matamshi/ naye ananijibu kiotomatiki kwa kutuma ujumbe kwenye simu yangu, hii yote ni kwa sababu alikuwa ni bubu
“Unakumbuka chochote kuhusu hii picha?” niliuliza
Kijana yule alinitazama bila kushika simu ila message iliingia kwenye simu yangu nafikiri ni kwa sababu ya ushirikina tu
“UMEIPATA WAPI?” aliniuliza
“Hujamuhisi mtu yeyote anaweza kuwa mwenye picha hii?” niliuliza
“NINA WASIWASI NA WEWE, LABDA UNA UKARIBU NA MTU MMOJA, NAHISI HUYU MTU NINA UHUSIANO FULANI NAYE ILA MIMI SIKUMBUKI VIZURI, WALISHANIFUTIA KUMBUKUMBU YA MAMBO YA DUNIA”
“Kina nani hao?”
“WACHAWI” alijibu
“Kwani wewe unaishi wapi?” nilimuuliza
“NINAISHI POPOTE, ILA SAMAHANI MIMI SIO BINADAMU WA KAWAIDA” alinijibu
“Kwanini sio wa kawaida”
“NINA ASILI YA MAJINI”
“Je unahisi ulishawahi kuwa binadamu?”
“LABDA ZAMANI SANA, SIKUMBUKI NILITOKEA WAPI, ILA NILICHUKULIWA NA WACHAWI WAKANITESA KWA MUDA MREFU SANA NA KUNIKATA ULIMI”
“Kwanini mwanzo ulinidanganya kwamba wewe ni mume wangu?”
“SIJUI, NILITAKA NIKUONDOE WASIWASI USINIOGOPE”
“Sawa, ulimuona mume wangu?” Nilimuuliza
“NDIO, NILIMUONA, HATA LEO NIMEMUONA AKIPITA KATIKA DARAJA MOJA AMBALO NILIKUWA NIMEKAA NAMVIZIA MCHUNGAJI NIMUUE”
“nini???” Niliuliza kwa mshangao
“NDIO”
“unajua, kwanini nilikupa mapenzi?”
“NI KWA SABABU UNANIPENDA”
“Hapana, ni kwa sababu nilijua wewe ni mume wangu, lakini kwa kifupi nikuambie ukweli wewe unafanana sana na mume wangu. Na leo kaniambia ukweli kwamba wewe ni pacha yake ulikufa ukiwa na miaka minne tu baada ya kuzaliwa, ulichukuliwa msukule” nilisema maneno hayo yaliyomfanya kijana atabasamu sijui alifurahi nini
“Unacheka? Unajua ninaachika kwa sababu ya mimba yako?” niliuliza “Je kweli wewe ni msukule?” nilimuuliza
“NILISHAPEWA CHEO, MIMI NIKO KATIKA KITENGO CHA KUPELEKA DAMU KUZIMU, NYAMA ZA WATU NA KUVURUGA NDOA ZA WATU”
“nini??” Niliogopa maana alikuwa amenigusia upande wangu kabisa, nilihisi anataka anitoe mimi na ndoa tayari ameshaivuruga
“YES”
“Basi, please naomba iwe mwisho kufika hapa”
“HAPANA NINA MKATABA NA WEWE, USIPOKUBALI NIJE, UTANIFUATA MIMI KUZIMU”
“kivipi?” Niliuliza
“ANGALIA KATIKA KIDOLE CHAKO” alinijibu kwa jeuri
Ni kweli mkononi nilikuwa na pete ambayo nilikuwa nimevishwa usingizini, kumbe ilikuwa ni mkataba mbaya sana. Nilijikuta machozi yananitoka
“Kwanini unafanya hivi?” Nilimuuliza
“NAKUPENDA SANA” alinijibu halafu akapotea.
Aliniacha katika mawazo nawaza maneno yake kwamba yupo kitengo cha kupeleka damu kuzimu pamoja na nyama za watu nikaogopa kabisa, kikubwa zaidi kuvuruga ndoa, na ya kwangu alikuwa amekwisha kufanikiwa, mume wangu asingeniamini kamwe…
SEHEMU YA 15
Tangu aondoke mume wangu asubuhi alikuwa hajarudi, ilikuwa imekwisha kuwa usiku kabisa na hata kupelekea mimi kumpigia simu maana nilijawa na uoga kutokana na maneno aliyokuwa ameniambia yule pacha wake mume wangu
“Uko wapi Jerry mume wangu”
“Nimekaribia nakuja nyumbani” alinijibu
“Sawa” nilijibu
Ni kweli hata dakika 10 hazikupita Jerry alifika nyumbani na kunikuta nikiwa nimefunga milango yote kwa uoga
“Ngo ngo ngo” aligonga kwa nguvu, na alionekana mwenye hasira juu yangu
“Nani?” Niliuliza kwanza
“Unaniuliza nani kivipi? Kwani sikukuambia nimekaribia nyumbani? Embu fungua huko usiniletee maneno mengi”
“Samahani” Nilijibu kwa nidhamu maana nililijua kosa langu
Nilitoka sebuleni na kufungua mlango nikachungulia ni kweli Jerry amefika nyumbani akiwa na chupa nyeupe mkononi, isiyoonekana kama ndani kuna kitu au hamna,mkono mwingine uliobaki alishikilia mfuko.
Nilijaribu kupokea akakataa kunipatia chupa ila alinipatia mfuko, ni kweli Jerry bado alinijali, alikuwa ameniletea matunda mengi sana, nafikiri alileta kwa sababu alijua hali yangu tumboni
Aliingia ndani
“Pole mume wangu” Nilisema
“Asante” aliitikia tumboni
“Mbona chupa umekataa nisipokee?” niliuliza
“Haina kinachokuhusu hii” alisema Jerry kwa sauti nadhifu halafu akaingia chumbani mi akiniacha nikifunga milango
Baada ya kuondoka niliangalia matunda yale nikachukua chungwa moja nikaliosha na kuanza kulimenya halafu nikalila.
Nilipomaliza nilimkaribisha chakula ila alikataa akalala zake kama kawaida yake mara tu baada ya kugundua kwamba nina ujauzito usio wa kwake.
*
Asubuhi Jerry aliamka, lakini hakujiandaa, hakuwa na ratiba ya kwenda kazini siku hiyo
“Vipi hauendi kazini?” nilimuuliza
“Siendi” alinijibu halafu akanivuta kwake “Anita” aliniita
“Abeh”
“Hajarudi tena huyo msukule?” Aliniuliza
“Aam….mh alikuja leo, ila hatujafanya chochote mume wangu” nilijibu nikitetemeka
“Sawa……niko hapa nyumbani leo…nina kazi ya kufanya” aliniambia
“Kazi gani?”
“Nataka nimrudishe awe binadamu wa kawaida kwa mara nyingine”
“Kivipi? Unaweza?” niliuliza
“Hahaha….usijali juu ya hilo” alisema Jerry halafu akaniachia na kuniuliza “Anaweza kuja leo?” aliniuliza
“Sijui, ila nina uwezo wa kumuambia aje” nilijibu kitu kitu ambacho kilimshangaza Jerry
“Unaweza? Una nguvu gani?” aliniuliza
“namtumia tu ujumbe”
“Ana simu msukule?” aliniuliza
“Ndio”
“Basi usiwe na wasiwasi utamuita” aliniambia
Niliichukua simu yangu haraka ninataka nimuandikie ujumbe ila alinikataza. “Subiri kwanza” alisema. “unaona ile chupa niliyokuja nayo jana?…..ina dawa maalumu nikimimina tu huku ndani akija hatoweza kuondoka tena, ila natakaniwa niimimine kinyume nyume ili nisiikanyage mpaka nitoke nje” alisema
“Wait…..haya mambo umejifunzia wapi?”
“Nimeambiwa na mtaalam wa Jadi”
“Sawa, kwani pacha wako anaitwa nani?” niliuliza
“Jerry”
“Mh, wote mnaitwa Jerry?”
“Hapana, mi natumia jina lake, mi naitwa Jeremiah” alinijibu
“Daaah, hivi kwanini unapenda kunificha kila kitu?”
“Ni maisha tu usijali, wewe tangulia nje halafu tufanye hii kazi” aliniambia
“Sawa”
Niliondoka pale ndani na kwenda jirani kwa Mama Mima kupiga story.
Baada ya mume wangu kumwaga ile dawa ndani, naye alinifuata na kuniambia nimuite
Nilichukua simu nikamuandikia ujumbe kijana yule, nilisubiri kama dakika tano hakunijibu, nikabaki nikijiuliza maswali kwanini.
Hata hivyo nilipata wasiwasi labda ameshafika kule ndani maana yeye alikuwa anakujaga kama jini.
“Inabidi niende kule ndani nikamuangalie” Nilisema
“Hapana, usiingie ndani, ukifika pale nje jaribu kumuita akiitika, akikufuata nje niite”
“Sawa”
Niliondoka pale nikamuacha Jerry akiongea na Mama Mima, nilikaribia nyumbani nikasikia purukushani huko ndani sio za nchi hii, vitu vinatupwa chini vyombo vinapasuliwa pasuliwa.
Nilichungulia kwa dirishani
“Wewe uliyeko ndani ni nani?” Niliuliza. Ghafla nikaona yule kijana amekuja dirishani na kunitazama. Aliponiona tu hivi alianza kutokwa na machozi ikabidi nimuite Jerry
Jerry alikuja haraka na kuingia ndani, alipofika ndani yule kijana alidondoka na kupoteza fahamu akawa anatoa mapovu mdomoni…..
JE ATABAKI? AU ATARUDI HUKO ALIKOKUWA?
INAENDELEA

