YENYE KIRUNGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya 06
TULIPOISHIA
“Wewe Anita……Anitaaaa” Ilikuwa sauti ya baba mmoja jirani aitwaye Ba Masoud.
Nilishtuka na kufumbua macho nikatazama
“Anitaaaa…..wewe binti” Sauti ya mwenyekiti ilisikika
“Yupo kweli au ameshatekwa huyu, usikute ameuawa tuko hapa hapa” Ilikuwa sauti ya mwanaume mwingine kumbe ndo wamekuja kunikomboa saa kumi akati message nimetuma saa sita.
Wakipiga kelele mlangoni mi natekenywa taratibu naona kama wananisumbua
ENDELEA
Nilizidi kumkumbatia zaidi nambinulia hata sielewi, mara nikajisahau nikapiga kelele.
“Aaaj…..baby” Hii yote ilikuwa kwa sababu alinisugua kwenyewe.
“Wewe Anitaa” Alizidi kusumbua Mwenyeketi. Mimi nikawa nazidi kutulia ila kijana yule aliichomoa na kujilaza kando yangu
“Vipi?” nilimuuliza akanyosha mkono kumaanisha niwasikilize hao
“nani?” Niliuliza kwa nguvu hao watu waliokuwa nje
“Vipi, umeshalala?” Niliuliza
“Ndio” Nilisema kwa mkato
“Sawa, tumekuja kuthibitisha usalama samahani nilikuwa nimesinzia” mwenyekiti alijitetea
“Sawa hamna shida tutaongea zaidi asubuhi”
“Sawa”
Wale wanaume waliondoka nikawachungulia kwa dirishani walikuwa wanne. Nilipohakikisha wameishilia nilimpanda wangu kifuani na kuikalia imesimama kama mnara, niliendelea kuhangaika nayo, tulifanya hadi nikachoka mwenyewe
Asubuhi ilipofika tulioga vizuri ila niliogopa ejapo akija mtu pale nyumbani akamkuta itakuwaje, hata hivyo nilimficha chumbani mi nikawa ninamuandalia kila kitu kwa nje.
Nilitamani kupiga naye story ila ndo hivyo alikuwa kama vile ni bubu kabisa alikuwa hazungumzi.
Nilimuhudumia chai na chakula, kwani hela ya matumizi iliachwa na mume wangu nilikuwa na uwezo wa kutoa pesa kwenye akaunti yake ya benki.
Muda wa mchana kama saa nane hivi nilijisikia hamu ya kwenda kuburudishana naye, nilipomaliza kula tu nilijifunga kitenge kibichi na kwenda chumbani kumpatia alichokitaka.
Nilipofika chumbani nilichanganyikiwa, nilikuta amesinzia kitandani. Vitu vya ajabu vilikuwa vikimtoka.
Alikuwa ameweka mikono kama vile anapokea kitu fulani, licha alikuwa usingizini. Mikonono kulikuwa kunatokea maua ya aina tofaut tofauti ya rangi nyingi, yalipindeza kila yalipoota na kudondoka kitandani
Nilibaki namshangaa, nikaketi katika kochi dogo lililokuwa chumbani nikawa namuangalia huku nafikiria hivyo vitu cinatokeaje wakati sio vya kawaida
“Jerry” Nililitaja jina hilo ila hakuitika.
Ua rose lililmtoka mikononi, harufu nzuri ilitanda chumbani ndipo nikawa nawaza how comes anafanya vitu vya ajabu
Uoga wa kuwa naye pale ndani ulianza kutoweka nilipenda michezo yake ya utoto utoto. “Napenda ua rose jamani” Nilisema kwa sauti ndogo huku nikifuata mkononi na kujaribu kulishika ila likapotea
“Tokeza tena basi” Nilisema ila halikutokea Rose bali lilikuja la aina nyingine lenye harufu kali iliyonipa chafya tatu mfululizo
Ghafla vipepeo walianza kuingia ndani kufuata ile harufu ya maua nikashangaa
“Wewe amka vipepeo” Nilisema na kumtikisa akashtuka usingizini. Alinitazama kwa mshangao kucheki hivi kuna maua kadhaa.
Alionyesha uso wa furaha isiyo na kifani kiasi kwamba aliyashika halafu kila vipepeo walipoingia ndani ndo ilikuwa furaha yake, nilipendezwa naye.
Niliondoka ndani ya chumba na kuketi sebuleni nikashika tama na kuanza kuwaza kwamba naishi na nani ndani kwangu.
Niliiangalia biblia yangu ilipo ila sikuiona, hata sikushtuka sana nikageukia upande wa pili na kuishika simu yangu
Mawasiliano yangu mimi na yule Jerry mpya yalikuwa ya kwenye simu tu. Nilikaa nikawa nachati naye wakati niko sebuleni naye kajilaza chumbani. Nilifanikiwa kumuuliza maswali kadhaa
“Samahani Jerry wewe ni kijana Mzuri ila ninafikia mahali nakuogopa” Nilimtumia ujumbe
“Kwanini waniogopa?” aliniuliza kwa ujumbe mfupi
“Hivi vitu unavyovifanya ni vitu vya aina gani?” Niliuliza
“Oooh, mimi hata sijielewi” Alinijibu
“Hujielewi, kwanini? Kwanza ulisema wewe ni jambazi, jambazi gani mbona sikuelewi na ilikuwaje mpaka ukawa jambazi?” niliuliza
“Niliweza kuwa na maisha magumu sana kipindi cha nyuma nikaamua kuingia katika ujambazi kujipatia kipato, ni miaka 17 sasa nimetoka jela kwa msamaha wa rais, sina makazi” Alinijibu kitu kilichonishangaza
“Whaat?” Niliuliza
“Nisamehe kwa hilo”
“Haya masuala ya kuleta viumbe vya wadudu ndani inatokana na nini?”
“Sijui huu uwezo naupata wapi ila nilianza kuzoeana na wadudu wa aina mbalimbali katika misitu nikivizia magari usiku na mchana”
“Daaah….so una mpango gani?”
“Nasubiri siku yangu ya kufa, sina ndugu wala rafiki” alinijibu
“Mke na mtoto?” niliuliza
“Sijawahi kuwa na mwanamke kabisa wewe ndiye wa kwanza”
“Muongo toka” Nilisema huku nikiona ananidanganya maana alikuwa na ufundi usio wa mchezo.
“Kweli, ila Anita ninakupenda sana nataka uwe mke wangu”
“Kweli?”
“Ndio, nahitaji watoto”
“Tatizo nimeolewa na aliyenioa anafanana sana na wewe sijui kwanini”
“Oh, natamani nimuone……”
“haha”
Tulitaniana sana, ilifika mpaka muda wa jioni saa moja kasoro, nikawa nje nasonga ugali kwenye jiko la mkaa barazani, ghafla nikaona taa za pikipiki ikiingia kwangu.
Nilishtuka na kutazama kwa makini isije kuwa ni mume wangu maana nilikuwa hatarini niko na mwanaume mwingine ndani
Piiiiiiiii, alipiga honi konda, nikasogea na kuchungulia vizuri, kweli ilikuwa kama nimetabiri hivi, nilimshuhudia Jerry anashuka kwenye pikipiki amevaa shati na suruali ya kitambaa akasogea
“Mke wangu Anita” Alisema Jerry huku akinifuata anikumbatie mimi nimebaki nimeganda kama sanamu sijui nifanyeje.
Alinikumbatia ila mimi sikuonyesha ushirikiano maana nilikuwa nina wasiwasi sana akiingia ndani itakuwaje maana atamkuta mwanaume mwenzake….
SEHEMU YA 07
“Mke wangu” Alisema Jerry huku akiwa amenikumbatia “Mbona hauna raha?” aliniuliza na kuniachia akaniangalia usoni mimi machozi yashaanza kunilenga lenga “Et baby” aliuliza na kunifuta machoni kidogo
“Why??? Why mume wangu why??” nilimuuliza kwa hasira huku nikiwa natafuta njia yoyote ya kumzuia asiingie ndani kwanza
“I’m sorry mke wangu…..najua kiasi gani unajisikia kwa kutokunipata hewani kwa muda wote huo…..nilipitia matatizo makubwa” aliniambia huju akinishika katika misuli yangu ya mikononi.
“No, sihitaji kusikia lolote kutoka kwako, naomba urudi huko kwa wanawake wako” Nilisema huku nikijitoa kwake na na kuwahi mlangoni ili nimzuie “haiwezekani ni karibia mwezi sasa sijui ulipo na haupatikani” nilisema lakini nia yangu ilikuwa kumzuia tu asije akaingia ndani akamkuta mwenzake
“Please mke wangu usifikie huko, I missed you, naomba niingie ndani tukae nikuelekeze” alisema
“Nooooo….nononono sihitaji wewe jiondokee tu” nilijaribu kumzuia, halafu nikaukamata mlango nataka nifunge niingie ndani halafu nikamtoe nje yule mwenzake kupitia mlango mwingine.
Jerry alinizuia kwa kutumia nguvu ili nisifunge mlango na alifanikiwa kuzuia, alikuwa na nguvu kuliko mimi, alipambana na mlango mi namzuia ila kwa bahati mbaya akaona raba za kiume sebuleni.
Zilikuwa za yule kijana mwingine ambaye yupo ndani.
“Wait….wait….wait…” Alisema kwa mshangao “Hizo…” alisema huku akinyoosha kidole kuzinyooshea zile raba “Hivyo viatu mbona…..ah” alisema kwa mshangao ameshahisi kitu tofauti.
“Uko na mwanaume ndani ndo maana unanizuia?” Alisema kwa hasira na kusukuma mlango kwa nguvu nami nikaishiwa nguvu akaingia ndani “Anitaaa” alinifokea huku akizivitazama vile vitabu
“Mume wangu” Nilisema huku nikiwa naogopa zaidi na zaidi mwili wote unanitetemeka.
Mume wangu alitoka pale kwa kasi ya ajabu anaenda chumbani kuangalia kama kuna mtu mwingine, ilibidi nimfuate nyuma.
“Jerry….please sio kwamb…..” Nilisema kwa huruma ninatamani ardhi ipasuke sijui la kufanya.
Nilishangaa Jerry aliingia chumbani na mimi nilimfuata nikiogopa atampiga kijana wa watu lakini tulipofika ndani nilikuta Mume wangu anachungulia kila mahali kutafuta mtu aliyeko ndani, wakati mimi namuona kabisa yule Jerry Feki ameketi kwenye kochi la chumbani anamtazama kwa tabasamu
Ghafla Jerry mume wangu alitoka ndani ya chumba na kuelekea bafuni na chooni akatazama, halafu akatoka na kucheki kila chumba huku akinitukana na kuniambia maneno mabovu sana ya kashfa
Alirudi tena chumbani akasimama mbele yangu, mi namuangalia, kisha namuangalia yule mwenzake anacheka, nikashindwa kuelewa
“Niambie ukweli” Alisema Jerry
“Ukweli gani mume wangu?” niliuliza
“Vile viatu vya nani?” alisema huku akikagua chumbani zaidi “Nambie” alinifokea mara tena akaona begi la kijana yule akalivamia “Na hili begi la nani?” aliniuliza lakini mimi kimya bado nashangaa na kujiuliza ina maana hamuoni?”
Jerry alilibeba lile begi akaenda kuketi nalo pale pale mwenzake alipo, kama vile alikuwa anamkalia lakini kijana yule alipotea paap na kutokea katika kitanda akaketi.
Mume wangu alifungua lile begi huku anajaribu kuangalia kilichopo ndani, alitoa nguo zilizokuwepo akazitupa chini
“Anitaaa!!!” alifoka “Niambie hivi vitu ni vya nani?” aliniuliza kwa hasira
“Mume wangu mimi sijui” Nilimjibu
“Hujui kivipi? Eeh huju….daah?” Nilishuhudia akitokwa na machozi ndipo akalipiga begi chini puuh
“Kwa hiyo limetokea lenyewe humu ndani?” Aliuliza Jerry kwa hasira
“Hata sielewi kweli Jerry sijawahi kukusaliti…”
“Usiongee ujinga” Alisimama anataka kunipiga mara akapiga teke kwenye zile nguo, puuh kwa hasira, nikashuhudia hirizi jekundu limeruka na kudondoka mbele yangu linawaka waka.
Jerry alilitazama huku akihema kwa hasira ila alipolitazama kwa muda niliona kama amelishangaa na kurukia hirizi ile.
Aliibeba na kutazama hirizi kweli inang’aa alipotazama hivi Jerry alishtuka sana na alianza kulia
“Hapana…….hiiiii hapana….this can’t be happened……hihihiiiii aii” alisema akilikumbatia hirizi lie
“Jerry….” Nilimuita kwa mshangao “Umepatwa na nini?” Niliuliza na kumshika, alilegea na kupiga magoti chini analia
“Aaah……Nooo daah” Alisema Mume
Niliinua macho nikamtazama yule kijana ambaye alikuwa yeye hamuoni. Kijana alinionyesha ishara kwamba nikae tu kimy. Sikuelewa kinachoendelea.
Nilisubiri kama dakika kadhaa Jerry aliinuka macho mekundu akanikumbatia
“Nisamehe mke wangu, sikujua….” Alisema Jerrt mume wangu
“Nini mume wangu?” niliuliza lakini Jerry aliukamata mdomo wangu tayari kwa Romance alionekana amenimiss sana. Lakini nilikuwa namuonea aibu yule mwenzake ambaye alikuwa pale ndani bila yeye kujua
“No, usifanye hivyo hapa” Nilisema
“Kwanini?” Jerry aliniuliza ila kabla sijajibu yule mwenzake alinionyesha ishara ambayo sikuelewa kitendo kilichofanya nikaropoka na kumuuliza
“Unamaanisha nini?. Nitumie meseji” Nilisema maneno yaliyomshtua Jerry
“ee? Meseji? Unaongea na nani?” Jerry aliniuliza
“Noo baby sorry” Nilisema na kumkumbatia tena
Jerry aliendelea kuninyonya ulimi ndipo ghafla yule mwenzake akaondoka kwa hasira kuelekea mlangoni
HAKIKA SIKUELEWA NIFANYE NINI
SEHEMU YA 08
Haya mambo ni kama vile ukichaa, ilinibidi nimuachie Jerry na kusogea nyuma kidogo
“Vipi mke wangu? Haujanimiss?” Aliniuliza
“Jerry” Niliita
“Naam Anitha wangu”
“Ulipoingia ndani hujaona chochote?” Nilijikuta naropoka bila kujua madhara gani yanaweza yakatokea kutokana na swali hilo
Jerry aliangalia kule na huku halafu akapanua mikono na kuniuliza “Kivipi? Mbona sikuelewi, sijaona nini kivipi?” aliniuliza
“Aamh, I mean mbona sikuelewi?” Nilimuuliza
“Hunielewi?” Aliuliza akinishika kwa nguvu “Mke wangu umenisaliti?” aliniuliza kwa hasira huku akinitikisa
“Hapana sijakusaliti ila” nilisema
“Ila nini? Nambie hivi vitu ni vya nani” alinibadilikia upya
“Niliota ndoto ya ajabu mume wangu, kuna siku ulikuja hapa nyumbani ukaacha hivyo viatu na begi, lakini asubuhi sikuelewa kama ni ndoto au ni kweli embu niambie haujihusishi na mambo ya kishirikina?” nilimuuliza
“Hapana, sikiliza Anitha, kuna kitu nimeshajua, ila kwa sababu nimekumiss acha kwanza tufanye kidooogo, nina muda sana sijafanya” aliniambia.
Maneno ya Jerry yalinitia wasiwasi kidogo, nilimuomba akaoge kwanza ili awe msafi nimpe haki yake ya ndoa, wakati akiwa bafuni, mimi nilienda sebuleni nikamkuta yule Jerry Feki AkA Jerry Kirungu akiwa amesimama katikati ya Sebule anawaza sana
Nilimuita “Wewe” akanigeukia kwa macho yaliyogeuka kuwa mekundu kabisa kwa kuonyesha amekasirika
“Umekasirika?” nilimuuliza kijana yule akatikisa kichwa kumaanisha hapana hajakasirika. “Kweli?” Nilimuuliza akatikisa kichwa.
Nilimuangalia kwa muda alikuwa ‘Sexy’ sana na ni mtu ambaye ana mvuto kwa kumtazama hivi, hata mwanamke yeyote angemuona lazima angemtamani sana kwa jinsi alivyojazia.
“I’m sorry huyu ni mume wangu wa ndoa lazima ukubalia iwe hivyo” nilimuambia kijana yule
Kijana yule alitikisa kichwa kukubali halafu akainama na kuchukua viatu halafu akaanza kuvaa.
“Unaondoka?” Nilimuuliza akanitazama kwa jicho la hasira kidogo, nilipata hofu, nilijua naye ananionea wivu labda ameshafurahia yale mapenzi tuliyopeana muda wa siku moja mbili.
Alipomaliza kuvaa vizuri alitembea taratibu kuelekea nje ila nilimfuata nataka kumkumbatia kidogo tu, mara sauti ikasikika nyuma yangu
“Vipi Anitha, una mapepo?” Ilikuwa sauti ya mume wangu ametoka bafuni na taulo, kumbe muda wote alikuwa anachungulia naongea na nani.
Nilimgeukia Jerry huku nikitabasamu “Hamna mume wangu” Nilimtuliza ila akawa anaangalia angalia kule sebuleni “Vile viatu viko wapi?” Aliniuliza mi nikakaa kimya “Nauliza viko wapi?” Alisema kwa hasira
“Twende ndani nikakuambie kitu cha kushangaza mume wangu” Nilisema
“Kitu gani?”
“Wewe twende” Nilisema huku nikisogea katika mlango wa kutokea nje nikaangalia yule mwenzake ameshaondoka muda mrefu na simuoni. Nilifunga mlango na kumkumbatia Jerry halafu tukaenda hadi chumbani.
Bado nilikuwa na wasiwasi lakini niliamua kumuonyesha ufundi ili ajisahau yale yote yaliyosibu nilimpa kimoja kwanza. Lakini sasa kwa kweli Jerry hakuwa fundi kama mwenzake, au labda kwa sababu ya maumbile, yule ana Kirungu ila Jerry hana.
“Mume wangu” niliita
“Nini?”
“Ulikuwa wapi muda wote mbona ulikuwa hupatikani?” niliuliza huku nikimpapasa kifuani “Niliogopa sana” Nilisema
“Oh, sorry, nina mawazo mengi ila najua kuna mambo ambayo nimeshaanza kuyaona mke wangu”
“Mambo gani?”
“Anita, nimezaliwa mwaka 1989 mkoani Tabora, ila kwa bahati mbaya mwaka 1994 familia yangu yote ilipata ajali nikabaki peke yangu kwa sababu niliachwa nyumbani kuwa kama mlinzi wa nyumba”
“Hayo yote ulishawahi nieleza, nataka unieleze ulikuwa unafanya kazi gani kwanini ulikuwa hupatikani muda wote”
“Naelekea huko, usiwe na haraka”
“Mh, ok”
“Kabla ya hapo kuna mambo ya kishirikina yalitokea nikiwa mdogo kama nilivyoelezwa na marehemu Baba”
“Kivipi?” Niliuliza huku nikianza kuogopa
“Watu wengi sana walichukuliwa misukule kijijini kwetu”
“Eeh?”
“Ndio, baba yangu alinipa mbinu za kumrudisha mtu aliyechukuliwa msukule arudi duniani kwa mara nyingine……nilijaribu kufanya hivyo ila wao hawakurudi maana mtaalam alisema kwamba hawakuchukuliwa misukule”
“Yesu…..” Nilipagawa huku nikiwaza mengi, hizo zilikuwa habari mpya kwangu, niliogopa sana maisha ya kishirikina…
SEHEMU YA 09
“Usiogope” Jerry aliniambia “Unanisikia Anitha? Mimi nilizaliwa na pacha mwenzangu….tukiwa na miaka minne tu alifariki nikabaki peke yangu”
“Whaat…..Jerry!!!” Nilisema kwa mshtuko wa hali ya juu. Yote haya yalinifanya niogope nilikuwa nimeshtuka kwani nilijua fika nimeshatembea na msukule. Sikuamini
“Mbona unashtuka?” Jerry aliniuliza
“Jerry, kwanini unapenda kunificha baadhi ya mambo katika maisha yako, ona sasa ulichosababisha” Nilisema, kichwani nilimaanisha ameshanitembeza na mtu ambaye ni msukule au jini kama angeniambia kabla basi ningejua na ningemkwepa yule mwenzake feki
“Nimesababisha nini mke wangu?” niliuliza
“Daaah” Nilisema huku nikitetemeka
“Juzi, nilipoenda Iringa nilipata pia nafasi ya kukaa na mtaalam mmoja akaniambia pacha yangu anatumikishwa kula nyama za watu na kuua katika barabara na madaraja makubwa, usione ajali zinatokea tu, kuna vingi”
“Jerry!!” Nilisema huku machozi yakinitoka
“Usilie ngoja nimalizie, kuna sadaka nimetoa ili arudishwe duniani, nimeambiwa nitaona ishara tofauti tofauti na sasa nimeshaona viatu na begi huku ndani, kikubwa zaidi ni ile hirizi”
“Hirizi gani?” Niliuliza
“Kwenye nguo zake kulikuwa na hirizi, ile ilitumwa moja kwa moja nikaambiwa nitaikuta sehemu ambapo huo msukule umefikia” alisema Jerry akazidi kunichanganya
“Are you serious?” Nilimuuliza huku hamu ya kusikiliza ikiniishia.
Niliinuka kitandani kwa uoga nikatoka sebuleni na kuketi huku nikishika tama kwa mikono yangu yote miwili.
“Jesus……ina maana nimetembea na msukule?” Nilijiuliza huku machozi yakinitoka, nilipata maswali mengi sana kichwani, nilikumbuka kwamba Jerry ameniambia kwamba pacha wake alifariki akiwa na miaka minne tu, niliendelea kuwaza, sasa kama alifariki na miaka minne mbona amerudi mkubwa tena akiwa amekaa kibishoo kabisa. Alikuwa amechora tattoo na hata nguo alizovaa ni za kisasa kabisa, nilipata wasiwasi na kugundua huenda ikawa sio yeye, nilijitia moyo.
Nilikumbuma jinsi anavyojua kufanya mapenzi kumpa raha zote mwanamke nikasema hapana yule sio msukule kwani msukule anawezaje kufanya mapenzi kwani huko usukuleni kuna muda wa kupetiana kweli? Hapana, nilijipa majibu binafsi.
Nilikumbuka vituko anavyovifanya vimekaa kishirikina “Hamna yule atakuwa ni jini sio msukule” Niliwaza na kutabasamu
Kwa akili ya kawaida msukule tunauchukulia kama lijitu lichafu lenye manywele marefu, na kucha ndefu linalotisha, ila yule hakuwa hivyo.
Nilikumbuka kitu kimoja kwa msukule alichukuliwa huwa anakatwa ulimi ili asiweze kuongea kabisa hata akasema alipokuwa kipindi akikamatwa duniani.
SEHEMU YA 10
BAADA YA SIKU 4
Ilikuwa ni usiku nikiwa nimelala kitandani na mume wangu, nilikuwa usingizini kabisa naye alikuwa pia usingizini mume wangu.
Nilihisi sauti inaniita usingizini, ilikuwa inaniambia nitoke nje lakini mi nilikuwa nahisi ni ndoto, baada ya kusikia vile taratiiibu usingizi uliniishia nikafungua macho na kutazama.
Nina tabia ya kuangalia dirishani ili nijue kama kumekucha au bado ni usiku, nilipotazama dirishani hivi kulionekana ni usiku lakini kulikuwa kuna vimulimuli vya kutosha nje.
Nilishangaa kidogo huku nikivitazama, vilizunguka dirishani vikanifanya nimkumbuke Jerry wa Kirungu hali iliyonipelekea kuketi kitandani na kushika kifuani.
Nilikaa kama dakika 5 moyo unanidunda kwa kasi hadi nikaamu kushuka kitandani. Bado Jerry alikoroma na hakuniongelesha.
Niliwasha taa nikamtazama bado amelala, nikaizima na kubaki kiza halafu nikasogea dirishani. Katika kuangalia dirishani niliona sehemu shaya/vimulimuli wamejaa wengi sana nikapatazama palikuwa juu ya jiwe. Nilimuona Jerry wa Kirungu ameketi juu ya lile jiwe kubwa anatazama katika nyumba yetu.
Nilimtazama alionekana mwenye mawazo na aliketi peke yake. Sasa wakati namkodolea macho aliniona nikaona ameshtuka na kusimama akanitazama
Alionekana kwamba amenimiss, nilishuhudia ametoa tabasamu pana halafu akanionyesha ua kwamba ameniletea, mi nilikaa kimya maana nilikuwa na mume ndani
Aliniita kwa ishara kwamba nitoke nje lakini nilipandisha mabega kwa ishara ya kukataa kata kata. Aliendelea kuniita.
Navyomtazama kijana yule alikuwa ananivutia sana, nilipenda alivyo alikuwa sexy sana yaani sexy mno kuliko mume wangu. Mi mume wangu anakaa kiutu uzima sana so nakosa ile enjoyment
“Huyu ni jini eti” Nafsi ilianza kuniambia “Achana naye atakuletea matatizo makubwa sana” Roho ilizidi kunisuta huku nikimtazama ‘Shindwa pepo’ niliongea kwa sauti ndogo halafu nikarudi nyuma na kuketi kitandani nikashika tama
Nawaza hivi mara ujumbe kwenye simu yangu, cha kwanza kabisa kabla sijaifuata nilimtazama Jerry kama bado kalala.
Nilipothibitisha hayupo macho niliifuata simu na kufungua ujumbe ni wa kijana yule
“BABY NIKO HAPA NJE KWA SABABU NIMEKUMISS, PLEASE NJOO UNIPE HATA KUMBATO TU” aliniambia kwenye ujumbe mfupi.
Niliacha kuijibu ile meseji maana nilikosa cha kumjibu, kama ni kumpenda nimeshampenda ila sasa namuogopa maana simuelewi vivyo hivyo niko na mume pale ndani. Mara ujumbe mwingine
“ANITHA NJOO BASI AU HAUJAMISS ANGALAU KUINYONYA RUNGU YANGU?” aliniuliza swali ambalo lilileta picha moja kwa moja nanii yake ilivyo ndo kabisa udenda ukanitoka. Nilikumbuka alivyonitekenya nayo nikabaki nawaza ni jinsi gani alivyo mtamu.
Niliendelea kuwaza ndipo akanitumia ujumbe “NAONDOKA NA SITORUDI TENA KWAKO MPENZI BYE” aliniambia
Badala nijibu niliinuka kitandani na kusimama dirishani nikatazama kama yupo bado, sijui hata machozi yalitokea wapi kweli ushirikina unaweza kumteka mtu haraka sana jamani.
Nilishuhudia kijana yule akianza kupaa taratibu kuelekea angani, shaya/vimulimuli walikuwa wakimfuata taratibu kuelekea angani.
Nilipata wazimu ‘Sasa anaenda wapi” Nilijiuliza huku nikitazamana naye macho kwa macho anatoa machozi nami natoa machozi pia.
Nilishindwa kuvumilia niliwahi simu na kuandika ujumbe
“USIONDOKE PLEASE NAKUJA” nilituma huku mikono ikinitetemeka wa uoga halafu nikafuta machozi.
Haikupita dakika nzima, alinijibu “TUKUTANE WAPI? AU NIKUPELEKE UKAWAONE WATU WANAOFANANA NAMI?” aliniuliza
“HAPANA NJOO NAOGOPA KUTOKA KAMA UNAWEZA KUINGIA CHOONI NJOO” nilituma
Msomaji huwezi kuiamini hii hadithi utaona kama natunga lakink ndivyo ilivyo.
Niliketi tena kichwa kimeshaanza kuniuma uma, nikaona mwanga ndani kumewaka paap na kuzimika.
Japo nilikuwa na uoga lakini nilijua ameshawasili. Taratiibu nilitoka na kuelekea chooni, huwezi amini ile nimefika tu hivi nilimkuta amesimama amenyooka na ukuta, akanikumbatia bila kumuongelesha chochote tulipeana kwanza ndimi.
Tukiwa tunabadilishana mate, nilishangaa ameuchukua mkono wangu mmoja na kuutumbukiza ndani ya suruali yake.
Ile nimeishika hivi, mwili mzima ulikufa ganzi, nilisikia raha niliipapasa kichwani nikajikuta nataka angalau niinyonye tu. Nilimpa denda kwa fujo sana halafu nikachuchumaa na kuitoa ndani ya bukta nikaitazama
“Auwiii” Nilisema kwa sauti ya kunong’oneza, na kuizamisha mdomoni taratibu.
Alininyonyesha mb** zaidi ya dakika kumi sitaki kuiachia mdomoni maana kile kirungu cha juu kilinisafisha kama mswaki.
Hakusita alinibeba mzima mzima na bahati moja mbaya au nzuri usiku ule nilivaa night dress pekewe hata chupi sikuwa nayo.
Kijana yule alinipandisha hadi usawa wa kiuno chake, amenibeba kama mtoto mi nimemkumbatia nampa denda yeye akaichukua na kuniwekea kwenyewe.
Kwa jinsi ilivyoingia ikisigua kuta zangu, nikijikuta namuachia ulimi halafu mikono iliyomkumbatia nikamuachia.
Nilitua ukutani kwa mgongo ila yeye bado kanibeba na mbo* karibia yote ipo ndani.
“Auwiiii aash” Nilisema kwa hisia maana nilipokuwa namtazama macho yamenilegea nami nimelea sikujua hata nifanye nini.
Aliichomoa na kuingiza tena nikajikuta napiga makelele
“Aaah, aaaah aash, pleaaase aaasb baby” Nilisema huku nikijisahau kule ndani mume wangu yupo……
INAENDELEA

