WATOTO WA BOSI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 21
Nilirud nyumbani nilimkut Halima amekaa nje ananisubir. Nilikaa chini kama mzigo enh bibi ww kulikoni kwem huko utokako Halima aliniuliz. Shosti yaan ww acha tu nikisema nikae niishi vizuri shetani anaingilia kati. Kwann unasema hivyo Allin mbona unanitia mashaka. Mwenzak yule kijana wa duka la m-pesa kaniambia kuna kijana alikuja kunitafuta na si mwingn ni Dallan. Enh makubwa haya ss umemwambiaj . Nimemwambia Joni asiseme mahali ninapoishi sitaki Dallan apajue hapa mama yake pamoj na Alvin wanawez wakapajua hapa mwish wa siku wakaniletea shida. Ila kumbuka una damu yao ndio utazaa watoto watakua mwish wa siku watahitaj kumfahamu baba yao Kubali uonane na Dallan naona kama ni muelewa pia atakusikiliz mi nahs kuna sababu inayomfanya akutafute sio rahs mtu kukutafut kias hicho Alvin ndio hata mpango hana. Ni kweli unachosema ila msimamo wang sihitaj kurud kweny familia ya akina Alvin. Sawa mama maamuz ni yako nisikuingilie vip kesh utaenda feri kununua samak Halima aliniuliz. Ndio kama kawaida hadi kesh naingia leba nitauz samak ndio biashara yangu natak nikijifungua nikaanze maisha yangu. Sawa . Niliinuk na kwend ndan kujipumzisha akil yangu yote niko namuwaza Dallan kwann ananitafuta huku Alvin akiwa hana hata mpango na mm. Ila yote mm sijal ngoj nidili na life yangu. Asubuhi nilienda feri kununua samaki sikujihurumia pamoj ya kuwa na mimb ya miez sab kasor. Nilijitahid nifanye biashara ili nipate hela ya kula huk nyingine nawek kama akiba. Nilirud nyumbani mapema nilitengenez samak niliwakaang nilimaliza nikaelekea kwenye kijiw Chang ninachouzia samaki. Hapakuwa mbal na nyumbani ninapoishi. Nilipang samak nilikaa kusubiria watej . Mara alikuj mtoto kununua samak Natak samak wa buku alitoa noti ya elf kum. Enh mbona sina chenj kamwambie mama yak sina chenj utaniletea hela baadae. Nilimwambia yule mtoto kwa kuw nilikuw namjua ni jiran yang. Hapana mamdog hajanitum mama kuna Kaka alikuj nyumban kwen kukuulizia lakini hajakut mtu ndio akaniuliz. Alivyokuuliz ukamwambiaj ww. Nilimwambia upo huk unauz samak ndio kanitum nije kununua halaf chenji nichukue. Nilipatw na hasira kwann yul mtoto kamwambia kuw nipo huk nauza samak. ila nilimuon ni mtoto tu hajui kitu chochote. Sawa nenda nyumbani usimwambie Mahal nilipo saw. Yule mtoto aliondok huk akifurah kupata ile hela Umechelewa Allin Dallan aliongea akitokea nyuma yang. Dallan niliit kwa sauti , ndio mimi Allin yaan nimepata shida kukutafut huwez amin miez yote hii niko nakutafuta tu. Kwanini unapat kaz ya kunitafut Dallan? Nilimuuliz. Kabla ya yote Allin umefikia hatua ya kuuz samaki wakat ni mjamzito muda huu inabid utulie. Nitulie Dallan mm maskin mtaji Wang ni nguv zang mwenyewe leo hii unaniambia kwann nauza samak. Naomba tuongee Allin nimejua kila kitu alichokufanyia mama hapo ndipo nilipojua ww bado ni mjamzito bado bi Afsa alinieleza kilichotokea siku ile tafadhali naomba tuongee Allin. We Dallan ondoka tu hapa sitaki niingie kweny matatizo ya familia yenu. Hii mimb sio ya Alvin kwa bahat nzur au mbay kwahy naomb uondoke na usij ukarud kweny maish yang. Najua unanidanganya Allin lakini kumbuk damu ya mtu haipotei Dallan alinijib.
Episode 22
Najua kua damu ya mtu haipotei Dallan lakin tafadhali naomba uniach kam nilivyo. Allin sihitaji urudi nyumbani kwetu ila nipe nafas ya kunisikiliza tu japo hata mara moj tu. Sawa nimekupa nafac uongee nakusikiliza niliongea huku nikiw serious. Sio mahal hapa inabidi tutulie mahal ili tuongee. Na biashara zang nitamwachia nan kwa unavyohic ww enhe . Sawa mm nitanunua samaki zako zote za leo shika elfu hamsini hii hapa hao utauza kesho. Nilijikut nikimuonea huruma pesa nying anamwaga kwa ajil yangu kunitafuta tu . Halaf baba mwenye watoto hana muda hata kidogo na mm hapo ndipo hasra zinanikutaga. Acha usinipe hizo hela ww baki nazo tu umenipa fedha nyingi hadi hapa nilipofikia na bado unaendelea kutoa tu . Sikia Dallan acha nifunge hiyo biashara kisha twende tukaongee ila nihaidi hutorud kweny maish yang tena. Ndio Allin nakuhaid sitakuja kukutafut sipendi kuona mwenzang anapata shida kwa sababu ya watu. Nilitoa samak zang na kuziweka vizur kweny ndoo. Dallan alinisaidia kubeba hadi nyumbani. Mama yake na Halima alishangaa kuniona na Dallan. Shikamoo mama Dallan alisalimia, marahaba mbona Allin hujaniambia kama utakuja na mgeni tuandae chakula. Hapana mama nimemshtukiz tu nitakuj kula siku nyingine mungu akipenda ila nilikuw namuomb Allin nina mazungumzo naye. Sawa ila jitahid kumuangalia hakikisha anarud hapa salama hay kila la her. Dallan alifurahi kukubaliw kuondoka na mm . Niliingia ndan kujiandaa na kuwaacha wakipiga stor na mama yake Halima ambay ndio kama mam yang mzazi maana alikuw anaish na mm Kama anavyoish na Halima. Nilimaliz kujiandaa baada ya dakika kadhaa kisha tukaondok. Tulienda kweny hotel moja nzur iliyo tulia tulitafut mahal tuliv na kukaa. Alikuj mhudum kutuhudumia niliiagiz maj tu maan ckuwa na hami ya kula. Haya niambie kila mtu asepe na njia yake tusije kuonana tena. Allin naomba utusamehe kwa yote ambayo mama na Cathy wamekufanyia ni kutokujitambua kwao tu. Niliwasameh kitambo sana sina kinyongo na mtu mm sasa hivi furaha yangu ni Watoto wangu waliokuwa tumbon na sio kingn. Hata mm ni furaha yang pia kukuona hivyo. Allin Dallan aliniit abeeh unasemaje nilimuuliz. Yaan hata cjui nianzie wapi Alvin ameoa tayar ni miez mitano iliyopita. Moyo wang ulipigwa na ganz kidog kusikia hivyo yaan mtu anitie mimb na bado mama yake kanifukuz na kaoa hii inaonyesha dhair hakuw na mapenz ya dhat na mm. Niliongea huku machozi yakinitiririk mashavun. Ni kwel Allin alikuwa na mpenz wake Cathy kabla yak. Kwanini hukujiuliz mwanzon Alvin alikuwa anakuchukia sana lakin mwish wa siku alikuj kukupenda Allin. Mhhh ila kwel mbona kama unachoongea kinaanz kuingia kichwani vile. Ni mm ndio nilimwambia afanye vile Allin. Cjakuelew Dallan unachomaanish kabsa naona unaniacha njia panda tu hapa. Utanielew tu ninachokimaanisha hio mimba sio ya Alvin ni yangu Allin. Unajaribu kuongea nn Dallan nimelala na Alvin kumbuk na sio ww sasa unataka unidangany nini hapa Dallan. Allin nimeachana na wanawak weng kwa kuwa nina matatizo ya uzaz. Kauli hii ilinistua kidog na nikijikut siamin anachokiongea Dallan mbele yangu. Sina uwezo wa kumpa mwanamke mimb japokuwa nasimamish kama wanaume wengin, nimeahangaik mahospital karibia yote hadi nchi za nje lakin sikufanikiw. Ile safar uliyokuj kunipokea mimi nilitok India nilikuw pamoj na Alvin sema yy aliwah kurudi. Daktari Wang alishaur nitoe mbegu zang awekee Alvin ili niwez kupata mtoto . Sikuona vibaya kwa kuwa Alvin ni pacha wangu siri zang mm na ni zake. Tumeyafanya yote haya mana hajui chochote Allin naomba unisameh kwa yote haya tuliofanya. Yaan kiukwel ckuwa na jibu la kumjib Dallan kiukwel kwa kitu Kama hich walichokifanya. Kwenu nyie mmeona sahih kufanya hivyo mm je nipo kweny hali gan unadhani kwan ungeniambia ukweli kwa hiar yangu nisingekubal hadi mliniaminish kuwa Alvin ndio mpenz wang . Najua Allin nilijarb kuwaambia bahadh ya wanawak lakin walikataa Sasa mm ningefanyaj kwa mfano. Kwa upuuz mliofanya ww na huyo ndugu yako nawachukia kwa kwel sitak hata kuwaona kweny life yang Hawa watoto ni zawad yang huna chak hapa. Ondok nisij nikakuon kweny maisha yangu tena. Niliongea kwa hasr sana. Sawa sitakuj kukufuat ten nilikuw natak ujue ukweli. Shika cheki hii utatoa fedh utakazojisikia utawalea watoto wang wakizaliw. Wakikua waambie baba yao alikufa nakupenda Alllin na sipendi kukukera hat siku moj kwa sababu ww ni mtu wa pekee sana maishan mwang. Dallan aliinuka kwenye kiti na kuondoka mahal hapo. Nilibak nimeduwaa tu nisijue la kufanya.
Episode 23
Nilisimama kwa muda nikifikiria hichi kioja walichonifanyia Alvin na ndugu yake. Nilirud nyumbani huku nikiw na mawaz tele nilimkut Halima amekaa nje anachambua matembel. Vipi mbona upo hivy usitak kuniambia Dallan amekuuz na yy. Halima aliniuliz nilimtizama tu bila ya kuongea kitu chochote. Ina maana siku hizi umekuw bubu ww si useme jamani yaan me nakerekwa nataman kama nikupige kofi Halima aliongea kwa hasira. Duuh we acha tu kwel leo nimeamin ukistaajabu ya mussa utayaon ya firaun sijui mm nina mkosi gani hadi nahs kuchanganyikiw akil. Ndio uniambie sasa labda nitakusaidia hata mawaz tu Allin. Sawa ila naomba usimwambie mtu yeyote yule maana hii ni aibu Halima wazaz wako wakijua watanishangaa sana kwa hili. Nilimuelezea maneno yote aliyoniambia Dallan kule hotelini . Anhaa ndio maana nilikuw nashangaa kwann Dallan akutafutd siku zote hizo wakt wengn hapa tukitelekezwa na mimba zetu ndio nitolee hiyo. Sasa sikia Allin yaan mm miak yote hii hakuna danga lang hata mmoj aliyewah kunionga milion tu lakin ww pesa zote hiz pia mtu kaja hadi kukuambia ukweli halis. Halaf ww umemfukuz unajua Dallan kwa sasa atakuw Kama mtu aliyechanganyikiwa anahitaj kutiwa moyo. Usiongee kama cherehan hapa na ww walichonifanyia ni ukiukwaj wa haki kabs nilimjib Halima. Sawa ila kaangaikia mamilion ya pesa kisa mtoto leo hii umemfukuz kama mbwa ww ni binaadam sidhan kama MUNGU atapenda hili ushauri wangu wasamehe wote anza maish na Dallan. Unasemaje Halima huo ndio ushauri gan nirud kweny ile familia ten. Sawa akil kichwani mwako na nisikuon unakuja kuomb ushauri kwang labda uje kuniomba kampani ya kwenda kwenye mazishi ya Dallan hapo ndip utafurah cjawah kuona mjinga Kama ww. Halima aliacha kuchambua matembele aliinuka na kuingia ndani. Ckuwah kumuon Halima akikasirika namna ile. Mhh ila kwa jins Dallan alivyoondok pale hotelini hawez kujifanya kitu kibay kwel hapan nitakuj kukosa vyot. Nilisimama na kwenda chumbani nilichukua lain ya Dallan niliiwek kwenye simu nilitafut namb ya Dallan aliyonitumiag mesej nilijarb kumpigia iliita tu bila kupokelewa. Napiga namb ya Dallan inaita hapokei sijui shida nn nilimwambia Halima ambay alikuw amejilaz kitandani. Ww si umesema hutak kumuon maisha yak yote wa kaz gani sasa . Halima mm ni binaadam nakuw nakosea ndio wamenifanyia mabay nimeamua kujishusha pia sitak Dallan ajidhuru kisa mm nitapata dhambi. Sasa kama ikiw amekufa utafany nn Allin? Swali la Halima lilinivunja nguvu kabs.. Hawez kufa tafadhali naomba twende nyumbani kwao ili nijue yupo katik hali gani. Enhe na hilo tumbo lako usiku huu chakutafuta kujifungulia njian hio kwio. Hahaha nakutania bhana hebu twend ila hupaswi kujionyesh mm nitajidai kumuulizia tu. Sawa tufanye hivyo. Mm na Halim tuliondok nyumbani na kuelekea nyumbani kwa akina Dallan. Baada ya muda kidog tulifik mm nilijibanz pembeni Halima alisogea kwenye geti na kugonga. Baada ya muda mlinz alikuj kufungua mlango. Vipi dada nikusaidie nn usiku huu. Namuulizia Dallan mm ni rafiki yake Halima alidanganya. Mh vipi una appointment naye mlinz alimuuliza. Ndio aliniambia nije mda huu nitamkut hapa kwao. Daah yaan Dallan tangu alivyoondok toka asubuhi hajarudi nyumbani na sio kawaida yake kukawia kurud nyumbani . Nilitaman kutokezea nimuuliz mlinz vizuri lakini nilihofia atanigundua na mwish tukaaribu dili. Duuh sasa sijui nitampataj na nilikuw na shid nae muhim kwel. Acha namb akirud nitakujulish kesho utakuja. Sawa andik namb yang ni 07*******87. Mlinz alifunga geti nilimsogelea Halima aliposimama. Yaan sidhani kama Dallan atakuw salama huko alipo niliongea huku machozi yakinileng kweny macho. Ghafla nilihs kizungu zungu nilijikut nikiishiw nguvu na kuanguka chini. Allin umepatw na nn amka bas huku tulipo ni kwa wat na barabarani ni mbal tunapat wapi msaada nilimsikia kwa mbal Halima akilalamik. Ghafla nilion mwang wa taa za gar zikij Mahal tulipo hapo sikuwez kusikia tena.
Episode 24
Nilikuja kuzinduk na kujikuta kweny kitanda cha hospitali huku dripu ya dam ikitiririka kweny mship wa dam kweny mkon. Madamu Jenny alinyanyuka Mahal alipokaa na kunisogelea alimgeukia Halima nenda kamuite daktari harak mwambie kapata faham . hatimaye umeamk nilidhan hutapona kwa jins damu zilivyokutok madam Jenny aliniambia. Nilimuangalia tu sikumjib kitu chochote kile. Mh honger umejifungua watoto mapach una bahat wamefanan San na baba yao la sivy nisingekuruhus kuingia kweny familia yangu. Mara mlango ulifunguliwa daktari aliingia pamoja na Halima alinisogelea karb alinipima na vipimo vyake alivyojiridhisha alitoka nje na kutuacha. Vipi unajisikiaj Allin kwa sasa madam Jenny alijidai kuniuliz Watoto mbon sikuelewi mara familia unaongelea nn madam nipo wap hapa na ninafany nn na mm ninaitw nani?. Niliigiz kama nimepotez kumbukumbu ili nimzuge madamu Jenny . Sitaki kuamini Allin umepoteza kumbukumbu hapana jamani ona juzi ulifanyiw opereshen umepata watt wawil wanakuhitaj Halima alilalamika . Ngoj nikamuit daktari aje amuangalie tujue tatizo nn madam Jenny alitoka nje na kutuacha mm na Halima. Hivi ni kwel Allin huna kumbukumbu jaman kitu gan kimekupata tafadhali naomba uniambie. Halima sijapotez kumbukumbu mm inanibid nifany hivi ili niwe salama mm na watoto wang mama yao na akina Alvin sio mtu kabisa najua anihitaji mm bali ni wajukuu zake tu kwahy inabid nijiongeze. Duuh ila ww binti kiboko unajua kuigiz hatr ndug ukitok hospital tukaigiz na ss hahaha yaan nilipata presh. Vipi watoto wang wapo wap Halima? Niliulz kwa shauk kubwa. Wapo kweny chumb cha uangaliz kwa sabab wamezaliw kabla ya muda kwahy kuwa na aman kuhus hilo. Nilishush pumz nilitaman niwaone watoto wang kwa muda huo lakin nilikuw sijisijikii vizur. Madamu Jenny alikuja na daktari tulisitisha mazungumz tulinyamaz kimy . Kwan juz alivyoanguk aliangukia kichwa? Daktari alimuuliza Halima Ndio ila sikujua kama itamletea madhar kias hich yaan had naogop najarb kumuuliz hakumbuki kitu chochote had mm kanisahau Halima aliongea huku machozi yakimtok moyon nikajisemea sio kwa kuigiz huk. Bas sawa itabid tuwe tunampatia dawa za kurudish kumbukumbu pia mpeni muda wa kupimzik ili apate nafuu harak kwa sabab watoto wanahitaj maziw ya mama. Daktari aliongea Sawa daktari haina shida pia ningeomb kama kuna uwezekan tupat ruhusa ili tuwe tunawaangalia vizuri nyumbani. Sawa madamu haina shida daktari alimjib madamu Jenny na kutok nje. Kwanini mnapelek nyumban dada yang wakat hali yak pamoj na watoto sio nzur bado? Halima alimuuliza madam Jenny. Ni kwa ajili ya usalam sitak mkwe wang pamoj na wajukuu zang wawe wanabak peke yao huk hospital pis kama ukihitaj kuja kumuon usijal muda wowot utakaojisikia utakaribishw. Sawa kwa hilo hamna shid nitakuw nakuj kumuon. Muda wa kuon wagonjw uliish Mama Alvin pamoj na Halima waliniach peke yangu wodin. Mhhhh acha niigiz ili watoto wang wakue ila lazim nikulipizie madam Jenny yaan roho yak hain tofaut na shetani wa mguu mmoj. Mung wang sijui Dallan atakuw kweny hali gani nimesahau kumuuliza Halima. Nilikaa kwa muda mref had usingz uliponipitia nilikuj kushutuk baada ya mlango kufunguliw sikuamin kuwaona akina Dallan pamoj na Alvin nilitak niinuk kwa furah nimkumbatie Dallan lakin nikakumbuk nimepotez kumb kumb . Allin pole na honger mke wang Dallan aliongea na kukaa pembeni yangu. Sikumjib kitu zaid ya kumuangalia tu. Najua huna kumbukumbu ila mm ndio mchumba wako pia ni baba wa watoto wako. Ww ndio baba wa watoto wang nilimuuliz Dallan ndio ni mm Allin ona leo utaruhusiw tutarud nyumbani wote tumeandaa chumb maalumu kwa ajili yako pamoj na watoto wetu sawa. Sawa vipi watoto wang wapo wap nataman kuwaona sasa hivi . Usijal utawaona tu shemej yang ila tuna sapraiz yako Alvin aliongea na kutoa kiboksi kidogo mfukoni mwak . Nini hicho mnataka mnipatie nilimuuliz Alvin. Alvin alifungua na kutoa pete ya dhahab na kumpatia Dallan aniveshe. Nilitak kukataa lakin moyon nilisem ngoja nikubal najtaj kuwa karb na mama yao. Leo nakuvisha pete rasmi uwe mchumba wang ukipona tutafung ndoa mm na ww. Nilifurah na kumkumbatia Dallan huk nikilia. Mala mlang ulifunguliwa wote tuligeuk kuangalia ni nani?
Episode 25
Mama yao aliingia madam Jenny huk akitabasamu. Naon mmenisapraiz kuwaona hapa mbon hamjaniambia chochote . Mama kwel hii ni sapraiz nimekuj kumvesha Pete ya uchumba Allin Dallan alimjib mama yake. Lakin hakuonyeshw kufuruhaishw na hilo jambo ila alijilazimish kucheka. Ok ni jamb zuri ila umekosea kumficha mama yak pia Allin ni mgonjwa ungesubir apone kwanza labd kumbukumbu zake zingewez kurudi madam Jenny alifoka kwa hasira. Mama kumbukumbu zake zirud au zisirud hilo sitajal huyu ndie mke wang pia ni mama wa watoto wang . Sawa tunawez kuondoka gar lipo nje linatusubir. Madam Jenny alitoka nje na kutuacha. Alvin aliniangalia kwa muda kish akaniambia tafadhali naomba umzoee mama yetu ndivy alivyo . Usijal hamn shid lakin tunaelekea wap mbon sielew. Ni nyumban kwet tunapoishi mbez . Sawa nilimjib Dallan niliinuk kitandani huku Dallan akinisaidia tulitok nje na kulikut gar pamoj na watoto wang mapach . Tuliingia kweny gar na kuondoka nyumbani kwa akina Dallan. Tulikut ndan kumepambwa vizur kwa ajil ya shereh ya mm na watoto wang. Duuh yaan mmepamba hivi yot ni kwa sabab yangu niliulz. Ndio mke Wang kipenzi tunakukaribish nyumban mara bi Afsa alikuj na kunikumbatia lakin sikuonyesha dalili ya kuchangamka mbele yake. Vipi binti yangu umepatwa na Hali gani? Aliniuliz Samahani mama Allin amepotez kumbukumbu baada ya kuanguka siku zile usiku hapo nje alifikia kichw Dallan alimjibu. Jaman pole bint yangu usijal kumbukumbu zako zitakuj kurud siku moj pia honger kwa kupata watoto mapacha . Nilimjib asante na kuingia ndani huku moyon nikijisemea lait ungelijua bi Afsa nina kumbukumbu zangu ila inanibid nifanye hivi ili niokoe watoto wang na mm mwenyw. Nilionyeshw chumb Chang niliingia ndan na kulala maana nilihc kuchoka baada ya muda madam Jenny alikuj akiwa na bakuli la supu mikononi mwak. Mkwe wang nimekuletea supu unywe ili maziw yatok meng nataka wajukuu zang washibe. Niliinuk kitandani na kukaa nilimuangalia usoni kisha nikamjib asante mama nashukuru. Ila moyon nilikuw na wac wac wa kunywa ile supu. Vipi Allin ina maan huna kumbukumbu ya kitu chochote kilichowahi kutokea hapo nyuma? Mama yak Dallan aliniuliz. Hapana sikumbuki kitu chochote yaan sielew mm ni nani na nimetokea wapi nilimjib na kuanz kulia kilio cha uongo. Sawa bas usilie daktari atakuja kukuchek afya yako hapa nyumbani pia utaanza kutumia dawa za kurudisha kumbukumbu zako zilizopotea. Sawa nilimjib madam Jenny aliinuka na kutoka nje . Mhh hivi huyu madam Jenny mbona kawa mwem Hapana nyoka ni nyoka tu sasa subir nikuonyeshe na ww na huo mpango unaotaka kufanya juu yang lazim nikuwah. Nilichukua bakuli la supu niliend kuimwag choon kisha nyam nikazitupa kweny dust bini. Mara mlango uligongw bi Afsa aliingia akiwa amebeba supu nilijikut nikishangaa. Mbona umeshangaa bint yang nn shida ? Bi Afsa aliniuliz . Hamna naona umeniletea supu niliongea hili kuficha mshutuko Wang. Ndio Dallan aliniambia nikuandalie ndio nimekuletea Kwan vipi hupend supu. Hamna napenda pia asante nashukuru niliichukua bi Afsa alitoka nje na kuniacha chumbani. Mhhh madam Jenny aliweka nini kwenye ile supu aliyoniletea mwanzo nilijiuliz maswal yasiyo na majibu. Nilikunyw supu ile niliyoletew na bi Afsa kisha nikawek bakul pembeni. Niliend bafuni kuoga nilirud kupumzik kitandani na kungojea siku ya kesh ya kutambulishwa na Dallan Kama mchumba rasmi.
INAENDELEA

