CHUMBANI KWETU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 12
basi baada ya muda bety alifika; enhee amefika tuambie una shida gani?
kwanza naombeni mniahidi mtanisamehe😭haswa kaka amani nimekukosea sana nikasema wee ngoja nirecord☺ mmmh tuambie tu sisi hatuna shida kama unakiri kosa sidhan kama mtanisamehe usijali wewe tuambie tu akaanza;
Mimi jamani nilikuwa nampenda sana kaka aman na nilitamani sana anioe na hata yeye anafahamu kuwa nampenda🥺lakini yeye hakuwa tayari kuwa na mimi japo nilimwambia sisi ni mabinamu tunaweza oana😭
ata baba pia alijaribu kuongelea jambo hili la sisi kuwa mke na mume ila ndo hivyo aman akutaka hivyo ikapelekea hata mama yake yaani kuwa upande wa mwanae nikabidi niombe msamaha maisha mengine yaendelee ,
na hawakuwa na shida wakapotezea ,siku zilivyoenda aman akamtambulisha mchumba wake ambaye ni najma nilipata hasira sana nikaapia lazima nimuondoe yani nimuue kabisa na aliposhika ujauzito tu nipo nilipoanza mkakati wa kumuua na Ile siku anajifungua ndipo nilikatisha maisha yake
😭😭😭😭 wewe zuu hivi unaongea ukweli au umepata kichaa? aman akamuuliza nasema ukweli mimi siwezi danganya nahisi nakufa jamani wewe ulimuuaje? nilimuua kishirikina kishirikina kivip?
naomba uongee ukweli maana unanifahamu naweza kukubadilikia sasa hivi ebu shemeji muche tumuulize polepole tu tusitumie hasira,enhee tuelezee nasema jamani 😭 nilimuua sababu mimi ni mchawi😭😭
mchawi?😳 weee wifi zui….!! mdogo wangu naona maralia imekupanda kichwani naomba nikupeleke hospital🤔
mimi Sina maralia kakangu nasema ukweli mtupu mimi na baba hatukuridhia mimi kutoolewa na wewe ndio sababu iliyofanya tushirikiane kufanya hayo yote sasa kama mlikuwa na kinyongo mbona wakati mama anasema nioe tena mjomba alishiriki vizuri tu mpaka akamleta zawadi hapa ndio alishiriki sababu hata huyo zawadi nae tulikuwa na mpango huo huo wa najma ,yaani ata ungeoa wanawake wangapi tungewaua tu😭😭
ndo mana alivyokufa najma nkakwambia unioe mimi nimlee mtoto lakini bado uligoma😫 mwili ulisisimka🥶
kumbe nilitakiwa kufa 😭😭😭 lakini tulishindwa kila tulilojaribu yalishindikana maana walikuwa wanatuzuia kwa maombi 😭😭😭
kipindi tumempeleka hospital zawad nilikua nimemfunga asijifungue ateseke tu kwanza lakini Betty alivyokuja kule hospital nikaona naishiwa nguvu ndo mana nikarudi tu nyumbani akajifungua😫
na pia mimi ndo nilosababisha upotee eeeh kisa cha kunipoteza? basi tu nilitaka nipoze machungu yangu na juzi baba kaja kujaribu kumdhuru mtoto tumalize hasira zetu ndo akadhurika kabisa na kupelekea kufa😭😭😭nkasema kumbe chumbani vile vishindo ilikuwa mzee jabir😏 kwahiyo yote yalikuwa yanatokea ni wewe na anko?
ndio dah zuu ndugu una roho mbaya na ubinafs upo tayari usababishe maumivu kwa watu wengine Ili kuridhisha roho yako🥺
umemkosesha mwanangu mama ,umenisababishia maumivu moyoni wewe mwenyewe ni shahidi kwa machungu nilopitia ukaona haitoshi bado umeendelea kuniandama ,katika maisha yangu sitokaa niweze kukusamehe naomba uondoke mbele ya macho yangu nisije kukuua😭😭😭
aman alikuwa anaongea yaan kwa hasira huku machozi yanamtoka😭😭😭
mume wangu naomba tutumie busara maana mtu kaamua yeye mwenyewe kukiri makosa yake naomba unyamaze zawadi sitaki uniingilie kwenye hili zuu toka tafadhali akachukua remote akampiga nayo,zuu kuona hivyo sijui alipata wapi nguvu akakurupa mbio🏃
wakti alikuwa analalamika kuumwa kichwa nguvu hana🤣🤣🤣 dah nilimshukuru betty mana alinisaidia sana kiiman🙏🙏
usiku huo huo amani akampigia mamake harudi huko sio Kwa kukaa ,
basi mamake kuuliza kisa nini amani akumwambia chochote mamamtu ilibidi aage tu aondoke kurudi nyumbani alivyofika tukamuwekea Ile record akasikiliza kiukweli mama mkwe alilia akasema zuu ndo wakutenda hivi na kakangu nae yaani nngejua ata msibani nisingeenda😿😿😿
akampigia mama ake zuu anaishi zanzibar kumuuliza kama zuu ameenda huko akasema ajafika ,ikabidi mama ake aitwe kuelezwa aliyoyafanya mwanae mamamtu nae akaishia kulia tu ,tukawa tunawaza atakuwa kaenda wapi🧐
Episode 13
basi bwana baada ya zuu kueleza Kila kitu mume wangu akapandisha maruani ikabidi mama yake apate kazi ya kumbembeleza mwisho akatulia ila zuuu alipokimbilia hajjulikanii
kumbe Wifi zuuh alikuwa hapohapo mtaani anazagaa hovyohovyo na alikuwa na watu akiwa hoi hajitambui Wala hajielewi.
Wasamaria wema walimleta nyumbani akiwa mgonjwa kabisaaa tulimpa msaada wa kumpelekea hospital akapewa tuba na kuwa sawa…….
Alianza kulia na kujutia aliyoyafanya kiukweli Mme wangu hakutaka tena kuniona sura yake mbele yake hata hospitali hakuja.
Naomba huyo bint akatafte pakuish…Mme wangu aliamua hivyo wifi zuuh alilia na kulia aliomba msamaha na kuomba lkn hakusamekewa mwisho akarudi kijijini kwao….nilimshukuru sana rafk angu kwa kunisaidia kwa maombi maana nguvu ya Mungu ilitumika pale , thankyou so much Betty.
Naish kwa amani na furaha tele na familia yangu ,Asante wazazi wangu kwa kanilazmisha kuolewa🤣 raha nnayoipata cjui kwann hamkunilazmisha tangia mwanzo. Nina miaka mitano hahahaha natania jmn karibuni kwangu
MWISHO

