BOSS ALIINGIA BAFUNI KIMAKOSA, AKAMKUTA DADA WA KAZI ANAOGA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 1
Ilikua siku ya jumapili, Binti mrembo Nina alikua anajiandaa kwenda bafuni kuoga, Ni dada wa kazi wa kijana Moris na Mke wake Eliza.
Siku hio Moris alikua peke ake nyumbani, huku mke wake Eliza akiwa amesafiri kikazi, Nina alivaa taulo, ilio fika magotini,huku akiifunga katika kifua chake kilicho jaa vizuri (chuchu saa sita ), Akaingia bafuni.
Huku nyuma Moris alikua anajiandaa kwenda matembezi kidogo, lakini wakati anatoka, akahisi amepatwa na haja ndogo hivyo akaona ni vema akamaliza haja yake katika vyoo vya nje, kwa haraka akafungua mlango wa bafu ambalo ndani yake alikuepo binti wa kazi Nana, Boss hakuamini kuona umbo zuri la binti Nana, akajikuta ameduaa na asijue cha kufanya..
Nana anakuja kustuka boss wake anamuangalia, ikabidi avae Taulo haraka lakini alikua tayari ameshachelewa mana boss aliona mwili wake wote..
Boss alitoka pale taratibu na kurudi chumbani kwake, alikua ni mwenye majuto kwa kosa alilofanya huku moyoni akiwa furaha ya kuona mwili wa nana.
Baadae akamuita, na kumuomba msamaha, Nana akapata aibu nzito na kuanza kujenga hofu kwa boss kwa boss wake..Siku mbili baadae Mke wa moris Alirudi, Hakuona badiliko lolote kati ya Dada wa kazi Nina na Mume wake Moris.
Eliza ni Mama mkali sana, Amekua akimtesa na kumnyanyasa sana dada wa kazi, na hata anapokua nyumbani huwa anamuacha dada wa kazi afanye kila kitu, na asipo enda vile anavyo hitaji huwa anampiga sana..
Siku moja Eliza, alikuwa anatazama Tv, akamuita nina amtegee Chakula Mume wake, Nina akafanya hivyo, huku moris akimtazama kwa matamanio, mana toka siku ile alipo uona mwili wake hisia zilijaa kwake…Nina alimheshim sana Moris na kuwa mnyenyekevu kwake tofauti na Mke wake Eliza.
INAENDELEA

