GIFT NISHACHAFUA CHUPI MIMI JAMANIIIII AAAAASSSH
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 24
Alikuwa mwanaume mmoja hivi li half cast mrefu mzuri jamani mzuri😩😩👋 nilipomtizama naye akanitizama kisha tukajikuta wote tunaambiana sorry😝😝🙈 hii ofisi vipi jamani😩😩kwanini ina wanaume wazuri kiasi hiki🥱🥱🥱 hapa nitasalimika kweli aloo lazima nami nijichotee la kwangu moja la kunipoza machungu hivyo ndivyo nilivyojiambia kisha nikaanza kuondoka kuelekea ofisini kwa Boss kwa ajili ya kwenda kukabidhiwa ofisi yangu😌nilipopiga hatua mbili mbele niligeuka nyuma kumtizama yule mkaka vile nimegeuka tu nikakuta naye ndo anageuka kuniangalia asalaaaaaaaleeeee🙈🙈tulijikuta tunatabasamu wote🤣🤣👋kisha akaondoka zake nami nikaelekea ofisini kwa Boss…niligonga mlango nikaisikia sauti ya Boss akiwa ananikaribisha niliufungua mlango nikazamia ofisini kwanza Boss aliponiona alisimama akaniangalia kwa kuduwaa😉😉😉mdogo mdogo nikaanza kupiga hatua kwa pozi Boss akazidi kutokwa na udenda😋😋😋alinikaribisha kiti kisha akabakia kunitizama tu Hakuwa mmiliki wa kampuni ni director tu Namuita Boss kwa sababu ni miongoni mwa viongozi wa juu katika ile kampuni kadri alivyozidi kuniangalia nami nikazidi kujitikisa tikisa nywele zangu nikawa naziweka vizuri ili Boss wangu azidi kujilia urembo wangu kwa macho🥰🥰
“”Hey👋👋 aliongea Boss””
“”Nikaitikia Hi😌😌””
“”you are very beautiful😍””
“”nikamwambia enk youu😜””
“”can i have your number???huku akinipatia simu yake “”
“”why not 🤓🤓nikamwambia huku nikiipokea simu yake😌😌nilimwandikia namba yangu ya simu kisha akanielekeza sehemu ilipo ofisi yangu nikatoka na kumuacha akiwa ananitizama kwa matamanio sana😌😌😌niliianza kazi yangu ofisini pale ilipofika mida ya break nikajiunga na staff members wenzangu tukapata breakfast kisha tukafahamiana baada ya hapo kila mmoja alikwenda kuendelea na kazi jioni wakati wa kutoka ofisini Boss alinitumia msg akaniambia niende kwanza ofisini kwake kabla sijaondoka…..nilikwenda kumsikiliza nilipofika akaniuliza ni siku gani ninazokuwa free nikamwambia niko busy sana hakuna siku ninayokuwa free😝😝 really????. nikasema yes as I told you 🙈🙈🙈 unakuwaga busy na kitu gani are you married??? nikamwambia nope but I have a baby😜😜😜 baby?????nikasema yes….. baba yake yuko wapi nikamwambia he died💔💔oh so sorry🤨🤨niliitikia thank you it’s okay…..
Boss wangu Alvaro aliniuliza jina la mtoto wangu nikamwambia ni Javier jinsia nikamwambia he is a boy🥰🥰🥰wow congratulations miss👋👋thank you🙈🙈🙈 Alvaro alizidi kunidadisi lengo ikiwa ni kunifahamu vizuri kiundani zaidi….. aliuliza nakaa wapi nikamwambia nakaa na bibi yangu🥱🥱 tulizidi kupiga piga story baada ya hapo nilimuomba Boss niondoke alinipatia baadhi ya document akaniomba niende nikamsaidie kuzijaza usiku alinielekeza kila kitu baada ya hapo tukaagana akanipa na salaam za mwanangu lol🙈🙈🙈nikafurahi🙈🙈raha ya single mothers ni kuwa karibu na mtu au watu wanaojali zaidi watoto😌😌 ile hali ya Alvaro kuniambia nimpe hi mwanangu kwa ajili yake ilinivutia kwa kweli nilijikuta natabasamu baada ya hapo niliondoka🚶🏼♀️🚶🏼♀️tangu siku hiyo Boss wangu akawa ni mtu wa kujali sana….nikifika tu ofisini lazima aniite anijulie hali na kisha aulize hali ya mtoto iko vipi🫢🫢alizidi kunishangaza vile anavyojali🙈🙈🙈siku moja jioni wakati natoka ofisini Alvaro aliniita akaniambia napenda sana watoto na ninatamani sana kumuona mtoto wako kuna kitu nimekiandaa kwa ajili yake utakaporudi nyumbani naomba umpelekee hii alinipatia bahasha mmhh nikamuuliza kuna nini kwenye bahasha🫢🫢🫢
Akasema ni pesa utazitumia kumnunulia Javier mahitaji yake🫢🫢🫢nilipokea kisha nikamwambia thank you😌😌😌ukaribu wangu na Boss Alvaro ulizidi kuota mizizi hakuwa amenitongoza wala kuniambia chochote kinachoashilia mapenzi ila tu alikuwa ananijali sana🙈 siku moja kulitokea sherehe pale ofisini🤣🤣🤣kampuni yetu ilipokea tuzo ya utoaji huduma bora kwa wananchi Boss akawa ameamua kutufanyia sherehe ya kutupongeza staff wote😜😜 baada ya kula na kunywa zilifuata pongezi kutoka kwa viongozi wetu kisha sote tukaelekea ukumbini kwa ajili ya kukunjua miili🤓🤓 kama nilivyowaambia ofisini kwetu watumishi wengi ni hawa vijana wa new Generation wa kike na wa kiume🤣🤣🤣 kule ofisini kila mtu ana wake🥱🥱🥱mnakumbuka siku ya kwanza niliporipoti kazini kuna lile lihandsome nililoparamiana nalo sasa yule kaka alikuwaga ananitongoza😝😝😝 siku hiyo kwenye mziki akaniomba tucheze wote nikakubali🙈🙈🙈 tukaanza kucheza taratibu jamaa alinisogelea sana zero distance🙈🙈 alf kuna namna alinishika mmhhh😝
Wakati tunaendelea kucheza ghafla nikashikwa mkono nikavutwa kutoka kwa jamaa🫢🫢🫢aliyenikwapua ni Boss Alvaro 😌😌alinivuta kwa hasira mpaka ofisini kwake akapigiza mlango kwa hasira akaniuliza unafanya nini🥺🥺🥺 haa mi nikaanza kushangaa kwani kuna nini Boss🫢🫢🫢 Boss akaanza kunigombeza kwanini unamruhusu akushike vile inamaana unafurahia eeh☺️☺️☺️khaa kwani huyu ana nini jamani😝😝😝mi si nilikuwa nacheza tu mziki sa yeye kinamuuma nini😩😩Alvaro aliniangalia sana kisha akaniuliza unampenda???? Nami nikamuuliza nampenda nani😝😝😝 akachukia akaniambia usijifanye hunielewi nijibu nachokuuliza nikamwambia mi sijui unachoniuliza ni nini😔😔😔akanisogelea kwa hasira akanibana mkono nikamwambia Boss naumia🙈🙈🙈akaniachia na kuniuliza kwanini unanikosea🥺🥺🥺jamani mimi hata sikuwa naelewa kitu anachokizungumzia🤣 for the first time Alvaro akanitongoza😔😔 alf aliongea kwa hisia na kwa kumaanisha mi nikanyamaza badae nikamuomba anipe muda wa kufanya maamuzi yaliyo sahihi alinielewa ila hakutaka nirudi kwenye mziki ilibidi niondoke kwenda nyumbani sasa siku hiyo usiku Brinnah alinipigia akaniambia ana taarifa kuhusiana na Ryan 🫢🫢
Ni taarifa gani??????
Episode 25
Ryan☺️☺️☺️????? Brinnah akaniambia ndiyo🥺🥺🥺 ni habari gani???. Akaniambia kuna uwezekano wa Ryan kuwa hai🫢🫢🫢what😳😳😳 umemuona??? Kwanini unasema hivyo??😨😨…… Brinnah alinielezea kuwa pale kambini alisikia tetesi kuwa Ryan huenda akawa yuko hai ila kahama nchi hayuko tena Sweden na siku chache zilizopita aliihamisha familia yake nao hawapo tena Sweden😳😳😳eh🤔🤔 baada ya kujaribu kupambana kwa takribani mwaka mzima ili nimsahau ghafla taarifa zake zikaanza kuibuka tena upya🤔🤔🤔 na kama yuko hai ana mpango gani na mimi?! Ana mpango gani na mtoto wake?!.???? Kipi anachokifikilia?? Kwanini azikwe ingali bado yuko hai😳😳😳na kama Ryan yuko hai yule aliyezikwa siku ile ni nani🥺🥺🥺 nakumbuka vizuri sana siku ya mazishi yake mi nilimuona na nilipomkimbilia ghafla akanipotea hata kama kuna kitu kinamsibu why anifiche hata mimi☺️☺️☺️ inamaana huu ndo mwisho wa mapenzi yetu???? Okay kwa kiasi fulani nilikuwa nishamove on kutoka kwa Ryan…… haikuwa rahisi kumsahau lakini nilifanikiwa kuamini kuwa ameshakufa….. baada ya Brinnah kunipa hizo taarifa zilinifanya nianze upya kumkumbuka Ryan kilichokuwa kinanishangaza ni kama Ryan yuko hai kwanini hanitafuti?!.???
Huku nako Alvaro akazidisha moto napigiwa simu mpaka inakuwa ya moto😝😝😝natumiwa zawadi mpaka napagawa🙈🙈 sema wivu sasa nyooo Alvaro ana mawivu mno sema ndo hivyo anajali mno🙌🙌🙌baada ya kuambiwa habari za ryan nilishindwa kumkubali Alvaro on time nikawa nasubilia huenda Ryan akanitafuta😌😌😌niliendelea kumzungusha Alvaro ilimradi tu kwanza nipate uhakika wa kuhusiana na Ryan….. siku moja bwana niliwaza huenda Ryan hanitafuti kwa sababu namba zangu za mwanzo sizitumii tena ilinibidi nifanye mpango wa kuzirenew zile line zangu za zamani ilimradi tu nione kama huyu mjeda atanitafuta ama laa😌😌 nilifanikiwa kurudisha line moja nikaiweka kwenye simu ambayo huwa siitumii baada ya kupita kama one week nikasema leo wacha niichungulie hii simu huenda nikakuta lolote kutoka kwa Ryan….. kweli nilipoikagua nikakuta kuna missed call kadhaaa kutoka kwa namba mbalimbali ilibidi nianze kuzipigia zile namba moja baada ya nyingine……kuna namba moja ilikuwa na code number za USA namba zingine zilikuwa za marafiki zangu wa Sweden zenyewe nazijua namba iliyokuwa mpya machoni kwangu ni hiyo yenye cord za USA🥺🥺 hii namba ni ya nani nilijiuliza☺️☺️☺️
Ilibidi niipige ile namba ikaita bila kupokelewa baada ya mfupi nikapigiwa na hiyohiyo namba😌😌nikapokea nikanyamaza🤔 nilipotulia nikasikia hello sauti ya Ryan 😨😨😨 nami nikaita hello kavu kavu tu🥺 Ryan akaniambia i miss you nikamwambia okay😔😔mjue nilibanwa na hasira sana😌😌😌 sijui nilikuwa najisikiaje cjy hasira sijui wivu yani kuna namna nilikuwa najihisi moyoni….. Ryan aliniuliza uko wapi nikamwambia nipo South…..I want to see you nikamwambia okay its okay…… sasa namna tulivyokuwa tunaongereshana siyo kwa mahaba kama tuliyokuwa nayo mwanzo😳😳😳ujue mwanzo tulikuwa tunazungumza in deep mpaka kila mtu anazama kwenye feeling 😑 mpaka tulikuwaga tunaliliana🥺🥺 sasa hii ongea ya awamu hii ilikuwa kavu sana mpaka nikajikuta nashikwa na hasira nikajiuliza huyu jamaa mbona hivi😨😨 Ryan aliomba kumuona mtoto nikajikuta hata namkatalia☺️☺️☺️nikamwambia utamuona ukija South niambie unakuja lini🤨🤨🤨 alikaa kimya kwa muda kisha akaniuliza who do you live with? Unaishi na nani nikamwambia naishi na bibi….. ndoa yako iliishiaga wapi😳😳😳🙌ndoa??..?? Ndoa gani?!.?…
Baada ya Ryan kuizungumzia ndoa si ndo nikazinduka gizani🥺🥺🥺kumbe ndo maana anaongea kikauzu hivyo hana mahaba tena😨😨nilimkatalia nikamwambia niko single sijawahi kuolewa….. et akasema okay kisha nitakwambia nikiwa tyr kuja mmmhhh kwanini unaongea hivyo Ryan mi sipendi😭😭😭kwanza nini kilitokea hadi ikasemekana kuwa umekufa????? Hakunijibu chochote alichoniambia ni kuwa we will talk later akakata simu haaa😨😨😨huyu vipi😳😳😳 au ndo maana baba hakutaka nifall kwa hii mijitu😭😭😭mbona Ryan kaanza ukauzu au huyu siyo mwenyewe😨…nilishaapa kutomwaga machozi kwa ajili ya mwanaume kwanini nalia???? Ilibidi nifute machozi kisha nikajiambia whatever 🫤🫤🫤 nilimtaarifu Brinnah nikamwambia Ryan kanipigia lakini sijui kawaje hayuko romantic ananikwaza🥺🥺🥺haongei kama mwanzo🥹 Brinnah alinikumbusha ile kauli niliyomwambiaga kipindi nimerudi Sweden…..ukimlilia mwanaume atajiona cake muache afanye vile anavyojisikia yeye👋👋
Woo😌😌😌ni sawa hata hivyo acha nimpe muda maana kuna Boss mmoja hapa ananishawishi mno Ryan akishindwa kueleweka we will break up💔💔💔then nitafungua ukurasa mpya kwa Alvaro😌😌nilimwambia hivyo Brinnah kisha tukaishia kucheka tu mambo si ndo hayo bwana mimi mwenyewe nimepata afisa mmoja hapa ananipenda hatari nashangaa na Brighton ndo kaanza kujirudi kutwa ananitext mara kibao nami wala sina haraka naye Wala simtaki tena mbinu yako nimeivulia kofia bestie 🤣🤣👋 zilikuwa story za hapa na pale baina yangu na Brinnah….. tuliongea mno mwisho wa siku tukaagana…… sikurudia tena kumtafuta Ryan naye hakunitafuta😳😳😳kusema kweli nilikuwa najikaza tu lakini kamoyo kalikuwa kananiuma vibaya mno😌😌😌kwanza kila muda nilikuwa nachungulia simu kuangalia kama kanitext au laah🤣🤣🙌 nilijikaza nisimtafute zikapita siku tatu kimya duh😝😝😝sikuamini kile kilichokuwa kinaendelea kwa jinsi tulivyokuwa tunapendana sikuamini ingeweza kupita hata nusu saa bila kuteksitiana💔💔 any way tulishakula viapo hakuna kulialia ni kukaza buti mpaka kieleweke…… zilipita siku tano bila text wala call nami nikatulia tu…… siku moja jioni nilipokuwa njiani kutoka kazini ilikuwa ijumaa nikapigiwa simu na Ryan nikapokea akaniambia et nakuja kuwaona just send me a location mmhh😑😑 hakuna hata kuambiwa baby how was your day nimeshafika south tyr nitumie location nije kuwaona yani ni unaogereshwa kama mtu baki😳😳😳Ryan ana nini kwani kwanini kabadirika???.
Kipi kilichombadirisha????
Episode 26
Baada ya Ryan kuniambia juu ya ujio wake nchini South Africa aliomba nimtumie location au niende nikamchukue akanielekeza hotel aliyofikia nikamwambia wait nakuja kukuchukua…..nilimtafuta bibi nikamwelezea kila kitu akaniambia kamchukue umlete nyumbani ikiwezekana niongee naye tujue kipi kilitokea na kipi kinafuata…….basi bwana nikajiuliza niende kumchukua bila chochote hapana🤔🤔🤔nilienda nikanunua maua nikaenda nayo nilivyofika hotel nikampigia akanielekeza chumba alichopo nikapanda mpaka chumbani nikasimama mlangoni yani naogopa natetemeka najiuliza jamaa kwanini kabadirika kipi kimemsibu nilisimama kwa dakika kama tano hivi nikabisha mlango😑😑😑 akasimama akaja kunifungulia mkumbuke nilipigiwa simu nikiwa njiani sikufika hata nyumbani ilibidi tu nigeuze gari nikamchukue kwanza then twende wote nyumbani nilikuwa na nguo za ofisini nilichokifanya ni kujinyunyizia tu perfume nikanukiaa😌😌😌nikajitengeneza na usoni basi🙈🙈🙈 alipofungua Ryan tukakutanisha macho🫤🫤 kila mmoja akawa anamkagua mwenzie baada ya hapo alinivuta mkono nikaingia chumbani akanikumbatia mnooo sana tu nilipotaka kumkiss alinipotezea hakutaka kiss niliumia lakini nikapotezea swala la kuikwepa kiss lilinifanya nikose uwezo wa kujiamini mbele za Ryan nikazidi kujiuliza what’s going on💔💔💔nilimpatia yale maua niliyomnunulia akayapokea akanishukuru then akayaweka kitandani alinishika mkono akaniomba niketi…..
Niliketi kitandani naye akaketi kwenye sofa nahisi ndo alikuwa amefika hotelini maana hata vitu vyake vilikuwa vimewekwa tu ovyo ovyo kitandani…..Ryan alinitizama mno kisha akaniuliza unaendeleaje na mtoto natamani sana kumuona…..nilimuondoa hofu nikamwambia sisi hatujambo mtoto ni mzima wa afya tele😑😑😑baada ya kumwambia hivyo Ryan alisogea pale kitandani akafungua vitu alivyokuja navyo akanipatia zawadi zangu na za mtoto alitubebea zawadi nyingi nzuri sana nilizikagua zote kisha nikamwambia asante nimezipenda ni nzuri sana😘😘😘 tulizifungasha zile zawadi tukazirudishia kwenye bag tukawa tumeondoka pale hotelin bado niliendelea kujihoji kipi kinachoendelea???? Ina maana Ryan siyo wangu tena🫤🫤🫤 safari ya kutokea hotel mpaka nyumbani hatukuzungumza kitu chochote kila mmoja alikuwa kimya tu😨😨😨tulipofika kwa bibi nilimkaribisha Ryan ndani nikamtambulisha baada ya hapo tukapanda juu chumbani kwa mtoto….. nilimchukua mwanangu aliyekuwa kalala kitandani nikamkabidhi mikononi mwa baba yake…..
Ryan alimpokea mtoto wake kisha akanisogeza na mimi karibu yake akatukumbatia wote katoto kangu kipindi hicho kalikuwa na miezi tisa tu😔😔Ryan alitoa machozi alizidi kumtizama mwanaye vile alivyomfanana mzuri hatari🙈🙈🙈 machozi yalizidi kumtoka ilifikia hatua nami nikashindwa kuyazuia machozi nikayaachia yapite tu……Ryan aliponiona nalia alinishika mkono akanivuta karibu yake akanikumbatia mimi na mtoto kisha akaniambia asante kwa hii zawadi nawapenda sana🥹🥹🥹 alizidi kulia🥺🥺🥺ilibidi nimchukue mtoto nikamrudisha kitandani kisha nikamfuta Ryan machozi nikamuomba aketi…..nilitamani kumuuliza maswali lakini nikawa naogopa🙌🙌nilibakia kumtizama tu kama mgeni🫤🫤 hata yeye hakuwa anazungumza kitu chochote😑😑😑tulibakia kimya kila mmoja akawa anawaza vitu vyake…..nilimuomba Ryan turudi sitting room then mtoto akiamka kama bado atakuwepo atambeba asipoamka hata kesho nayo ni siku…… tulirudi sitting nikamuacha Ryan na bibi mimi nikaenda chumbani kukoga…..
Nimekoga nimemaliza nikaona wacha nimtumie msg Ryan kwanini amekuwa hivyo🥺🥺🥺mi simwelewi yani anakaa na mimi kama mtu baki hata kunigusa tuhajanigusa hata kiss hajanipatia sa kama hakuna penzi si bora aniambie tu😑😑😑nilimwandikia msg nikamuuliza utakula nini babe….akaniambia just anything nitakula😑😑😑nimemuita babe yeye kajibu msg kavu🤨🤨🤨 kwanini umebadirika mimi hata sikuelewi nieleweshe nijue kama kuna mapenzi au laa?… Ryan hakujibu hiyo msg😨😨😨 nilingoja mpaka nikachoka nikaamua kutoka chumbani nikaelekea chumbani kwa mtoto nikamkamulia maziwa nilipomaliza na chakula kikawa kimeshaandaliwa nikapakua nikapeleka mezani tukala bahati nzuri tulipomaliza tu kula mtoto naye akawa ameamka ikabidi mimi na baba yake tuende chumbani kwake akambeba nikapata na muda wa kumuuliza kwanini hujajibu msg yangu mimi sikuelewi ujue😨😨😨Ryan hakuongea kitu alinisogeza tu karibu yake akanilaza kifuani🥺🥺kwa hiyo hunitaki😨😨???. nilizidi kumhoji cha kushangaza wakati mimi namhoji vitu vingine yeye akaanza kuniuliza uko huru kubakia hapa kwa bibi???? au niwanunulie nyumba sehemu nyingine???? Nilichukia nikasimama nikamuuliza Ryan nijibu nachokuuliza kwanini unakwepa🥹🥹🥹 kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni vile Ryan alivyonawili na ile body yake kila nilipomtizama mwenzenu hamu hamuuuuuuu zikawa zinavuruga kila secta kuanzia kwenye nyonyo mpaka kwenye utamu😑😑
Ryan alinitizama machoni kisha akaniambia muda umeenda sana i need to leave hope nitawaona tena kesho……I need enough time to talk to you siyo sasa hivi……baada ya kusema hivyo alimkiss mtoto wake kisha akamlaza kitandani baada ya hapo akanigeukia na kuniambia naondoka👋 nilinywea nikamsogelea yani kila aliponitizama mwenzenu mwili wote ulijawa na hamu😔😔 nilimsogelea nikamwambia babe before you leave please i need a kiss 💋😘 nilimwambia huku nikiwa nampapasa kifuani akatulia akawa ananiangalia tu🙈🙈nilimshika shika kila sehemu mpaka stimu zikampanda akajikuta ananila denda bila kutarajia🙈🙈🙈alininyonya mnoo💋💋💋mpaka nikaloa🙈 alidindisha mpaka suruali ikatuna🙈🙈🙈alipomaliza kunikiss aliweka mikono mfukoni akauficha ule mtuno wa suruali🙈🙈chezea mimi wewe na hicho kinguo nilichokuwa nacho ni cha hovyo😝😝😝 nusu ya mwili wangu wote ulikuwa wazi na kama mnavyowajua wanaume akiona nyonyo tu anadinda🙈🙈ukimgusa kichwa cha mboo ndo kabisa analegea kila kona😋😋😋nilitamani tukumbushie kidogo lakini mazingira hayakuwa rafiki tuliishia kukiss baada ya hapo nikamsindikiza Ryan mpaka nje tukaagana akarudi hotel huku akiwa ameniachia ahadi ya kuja kunichukua kesho ili tuweze kwenda kuzungumza…..hope utanielewa kile nitakachokwambia mamaa…..aliongea hivyo kisha akaondoka🥺🥺
Kipi anachotaka kuzungumza Ryan??..
Episode 27
Kipi anachotaka tuzungumze🥺🥺ndilo swali nililozidi kujiuliza😔😔 niliporudi ndani nilikwenda mpaka chumbani kwa mwanangu nikamkuta bibi kambeba mtoto aliponiona bibi akaniuliza you still love him???? Nikamwambia yes I feel like I love him😔😔, but kabadirika sana hayuko kama mwanzo🥹🥹🥹 bibi alimlaza mtoto kitandani kisha akanisogelea akanikumbatia baada ya hapo akaniambia anavutia sana nina imani kila kitu kitakwenda sawa true love never dies 🫂🫂 bibi alinikiss kisha akaondoka kwenda kulala😔😔😔nilimbembeleza mwanangu akasinzia nikamlaza kitandani kwake nami nikapata kujipumzisha😔😔 siku iliyofuata Ryan alinitafuta asubuhi akaniambia natamani kuwaona hope mmeamka poa…… yale mambo ya morning baby how was your night 😋😋😋hayakuwepo tena😔😔 nilimjibu nikamwambia sisi tuko salama tuko tayari kuja kuonana na wewe…..alitaka kuniagizia usafiri nikamwambia hakuna haja nitadrive mwenyewe we nitumie tu location…..muda mfupi nilitumiwa location nikajiandaa nikamwandaa mtoto nikatoka tulikwenda mpaka sehemu alipo Ryan ni Beach ndipo alipotaka tukutanie…..baada ya kufika pale nikaletewa kinywaji yeye alikuwa na maji yake ya take away Ryan aliniuliza kama niko tayari kumsikiliza nikamwambia yes I’m ready….. samahani kwa kile nitakachokiongea coz I have to do this nilishtuka sana nikauliza unataka kusema nini🥹🥹🥹
Ryan alinituliza kisha akaniambia Gift sorry for that but we have to break up 💔😢 niliinuka juu nikiwa nimechanganyikiwa nikamuuliza ndicho ulichotaka kuniambia akasema yes🤨🤨🤨 kuna machozi yalinitoka bila break lakini kwa haraka haraka nikajiuliza kwanini nalia💔💔💔kwanini naumia????? Huenda haya yote baba yangu aliyaona kabla ndo maana akanionya mapema lakini sikutaka kumsikiliza💔💔💔 nilifuta machozi yangu kisha nikatabasamu na kumwambia Ryan it’s okay kingine ni kipi ulichotaka kuniambia???? Akaniambia nataka kununua nyumba kwa ajili yako na mtoto….. kingine????? Akasema we need time to talk more…..talk about what?!??… nikamuuliza akabakia kimya….. alipokaa kimya nilikwenda nikamnyakua mtoto nikamkumbatia kifuani mwangu kisha nikamwambia mimi na wewe hatuwezi kuongea chochote kama huu ndo mwisho wetu basi nimeridhia acha iwe hivyo💔💔💔nilimuaga nikaanza kuondoka kuelekea kwenye gari Ryan alikuja akanizuia akaniuliza kwa hiyo wala huumii????.nilicheka tena nikamuuliza niumie kuhusiana na nini🤔🤔🤔 hivi unajua ni kwa muda gani umeniacha peke yangu???? Umeshajiuliza ni mangapi niliyoyafanya kulipigania hili penzi?!. Unajua ni mara ngapi nimekesha kukuombea wewe mwanaume😭😭😭 leo hii unaniita kuja kuniambia et mimi na wewe hatuwezi kuendelea na bado unaniuliza kwanini sijaumia so lengo lako ni kuniona nikiwa napata heart attack au heart breaks 💔
Are you mad☺️☺️☺️ nilimsukumia huko nikamuweka mwanangu kwenye gari kabla sijaondoka Ryan akaniambia najua ni kwanini huumii tena kuhusu mimi🥹🥹 ni kwa sababu ya mwanaume wako Brighton…..what????. Yes Gift hunipendi tena💔💔 ndo maana ukaamua kufunga ndoa na mwanaume mwingine🥹🥹 una uhakika na unachokiongea🥺🥺🥺akanijibu yes kwa jeuri😳😳 kwa hiyo ndo sababu iliyokupelekea wewe kuniacha mimi🤔🤔🤔 akaniambia yes haunipendi…… alisogea na simu yake akaanza kunionyesha picha za harusi yangu na Brighton yeye hakujua kilichotokea na wala hakujua kuwa yule aliyefunga ndoa siyo mimi bali ni Brinnah😑😑😑 nilimwelewesha Ryan hakutaka kunielewa alinikomalia mno nami nikamwambia hakuna haja yoyote ya kurumbana mbele ya mtoto fanya kile unachojisikia👋👋👋nilimpungia mkono wa kwa heri nikaondoka😅😅
Baada ya kuondoka pale Ryan alinitumia msg akaniambia nitamuoa mwanamke mwingine siyo wewe🥹🥹🥹 niliumia kila nilipofikilia watu niliokosana nao kisa huyo mwanaume alf leo hii ananiletea kibri na jeuri niliishia kupangusa tu machozi😭😭😭 nilimtumia msg nikamuuliza hivi unajua ni kiasi gani nilivyoyapigania mapenzi yangu kwako???? Kwanini unaniumiza😭😭😭 Ryan aliendelea kunijibu shit mwisho akaniambia kama alivyoniambia mwanzo hatuwezi kuwa pamoja💔💔 nilimuomba angalau amfikilie hata mtoto wetu lakini hakujali👋👋 alichoniambia ni kitu kimoja mwanangu ninampenda sana nitakuja kumuona muda na wakati wowote atakaokuwa ananihitaji and thas why nimekwambia I want to buy a house for you na mtoto😑😑😑 nilizidi kuumia mwanaume kila ninachomwambia hanielewi yeye kakazania hatuwezi kuwa pamoja hatuwezi kuwa pamoja😭😭😭 ilifikia hatua nikamwambia bora hata ungelikufaga tu usirudi tena💔💔💔 Ryan akachukia akaniambia baba yako ameniwinda mno akitaka kunitoa uhai leo hii nawewe unaniambia hivyo🥹🥹🥹kwa hiyo wewe na baba yako mlikuwa mkishirikiana kutaka kunitoa uhai😕😕😕 ilibidi tu nikae kimya nimsikilize Ryan ateme sumu zake zote….
Aliongea vitu vingi mno alieleza jinsi baba alivyomtumia watu wa kumuua baada ya kusikia kuwa tayar nina ujauzito wake😔😔 Ryan alidai kuwa aliponea chupuchupu🙌🙌alipopata upenyo wa kukimbia alikimbia kwa kutumia tumbo maana kama amgelitumia miguu risasi zisingemkosa😔😔 hakuamini kama kweli amenusurka na kifo💔💔 alinieleza vile alivyoishi msituni kwa siku takribani saba akiwa anatafuta upenyo wa kukimbilia nchi jirani 😭😭😭 alilia na kuniambia kwenye kabri langu sijui hata aliyezikwamo ni nani 🥹🥹 baba yako ni katiri sana amesababisha mpaka ndugu zangu wamekuwa waoga hakuna hata anayetaka nikusogelee nashindwa kuendelea na hili penzi japo ukweli ni kwamba bado ninakupenda sanaaa Gift 💔
Anampenda lakini hawezi kuwa na yeye😕😕 Ryan ataweza kumove on kwa Gift???.. wote wanapendana sana shida ni familia zao….. kipi kifanyike…..
Episode 28
Bado sikuamini kama penzi langu na Ryan linaweza kuishia kama hivyo🥺🥺 niliona ni bora nimpe muda atulize akili yake kisha afanye maamuzi yaliyo sahihi…..nilizima simu yangu ili nisione msg zake baada ya hapo nilikwenda bathroom nikafungulia maji nikaketi chini na kuanza kulia😭😭😭nililia mno nililia sana katika hii Dunia niliamini yule wa kwanza niliyempenda ndo huyohuyo nitakayependana naye milele🙌🙌🙌 yani kila nilipofikilia kuachana na Ryan nilihisi kama huo ndo utakuwa mwisho wa maisha yangu bora hata nilivyokuwa nimeamini kuwa kaishakufa kuliko nimuone alivyo vile alf amilikiwe na mwanamke mwingine nyieeeee🙌🙌baada ya kulia sana nililala ulipofika usiku niliitwa nikaambiwa kuna mgeni😳😳😳mgeni gani nikahoji…..bibi akaniambia ni mchumba wako kwani huna taarifa ya ujio wake??? Ikabidi nivunge sikutaka bibi ajue chochote kinachoendelea niliamka nikatoka mpaka nje nikamkuta Ryan yuko huko…. umefuata nini???? Nilimuuliza kwa hasira akaniambia kwanini umezima simu?…? Unataka nini???…. nilirudia kumuuliza kwa hasira akanishika mkono akanivuta karibu yake nikapoaaa sikuongea tena🥹🥹🥹kwanini umezima simu aliniuliza taratibu kwa sauti iliyojaa hisia za upendo😔😔😔 nilimjibu taratibu nikamwambia maneno yako yananiumiza😭😭😭 nilidondosha chozi akalipangusa kisha akanikumbatia akaniambia nakupenda sana nikamtizama na kumuuliza umeshaniacha tayari akaniambia haizuii chochote…… kwa hiyo ni kweli hatuwezi kuwa pamoja tena🥹🥹🥹akaniambia yes hatuwezi💔💔💔nilimwitikia okay ondoka sitaki kukuona🥹🥹 akakataa akaniambia we need to talk nami nikamwambia hatuwezi kuongea niache na mwanangu we nenda ukaoe mwanamke mwingine unayempenda but nataka utambue kuwa nitaumia maumivu ambayo haitokuwa rahisi kutibika🥹🥹🥹🥹Ryan alinisogelea akanikiss kisha akaniuliza do you love me🥹🥹?…?
Nikamwambia yes babe i do😭😭😭usiniache alilia kisha akarudia kunikumbatia…… hakutaka kuondoka na hakuwa tayari juu ya maamuzi yake🙌🙌 mdomo wake ulikuwa unatamka vitu ambavyo ni vigumu kupitishwa moyoni mwake😔😔😔Kila nilipotaka kuingia ndani Ryan alinizuia kwa kunishika mkono tulijikuta tunabakia pale nje mpaka saa sita za usiku tukiwa tunavutana vutana tu mpaka bibi akaja kutuita tuingie ndani…..bibi alianza kutuhoji kipi kinaendelea mko sawa kweli maana muda wote nimesimama huko juu nawatizama ninyi tu mara mvutane vutane mara mlie na kufutana machozi kitu gani kinaendelea?!…..ilibidi tu nimuweke bibi wazi nikamwambia mwenzangu anataka kuniacha💔💔😭 kwa sababu zipi😳😳nikazielezea bibi hakuwa na mengi ya kuzungumza kama nilivyowaambia mwanzo bibi yangu hajawahi kutaka kupandwa kichwani na mwanaume🙌🙌🙌 alichomuuliza Ryan ni kimoja tu….. huyo mtoto aliyezaliwa na mjukuu wangu ni wa kwako??… Ryan akasema ndiyo ni wa kwangu ni damu yangu…… swali la pili una mpango gani na mtoto wako uko tayari kumlea au nayeye unatuachia???. Ryan akajibu nitamlea na tayari nimeshaandaa pesa za kununua nyumba kwa ajili ya Gift na mtoto niko tayari kuyakidhi mahitaji yao yote baada ya hayo majibu bibi alimwambia Ryan aondoke nyumbani kwake aache kuninyanyasa na kuniliza ovyo😔😔😔
Ryan alinyanyuka akaanza kupiga hatua na kuondoka……baada ya Ryan kuondoka bibi akaniweka kitako akaanza kunishauri aliongea mno bibi mpaka saa tisa za usiku alinipa mpaka historia ya marehemu mama yangu jinsi walivyokuwa wanahangaishana kuhusu baba yangu 😔😔😔bibi anadai mama yangu alipokutana na baba kwa mara ya kwanza walikuwa vacation nchini Sweden na baada ya hapo mama hakutaka tena kuendelea na chuo alianza kuwa anachukua pesa na kutorokea nchini Sweden kwa baba yangu na kipindi hicho bibi hakuwa na mtoto mwingine zaidi ya mama kile kitendo kikamkasirisha bibi akawa anamfuata mama mara kwa mara anamrudisha nyumbani coz bado alikuwa mdogo sana ndo kwanza alikuwa na miaka 19🙌🙌 mama kwa baba alikuwa hasikii wala kuona mara ya mwisho bibi alivyomfata na kumrudisha nyumbani ndipo akagundua kuwa mama ni mjamzito hakuwa na laziada tena ilibidi amuachie mama yangu afunge ndoa na baba kwa sababu kitu alichokitaka mama ni kuolewa tu na mjeda baada ya mama kufunga ndoa bibi akabaki peke yake ndo ikabidi atafute mtoto mwingine ambaye ndo huyo mamdogo Lerato…….. baada ya baba yangu alipandishwa cheo kazini akapewa cheo kikubwa na tangu hapo akawa ni mtu wa kukitumikia kitengo chake muda mwingi akawa anatumwa kikazi safari zikawa haziishi hata siku mama yangu anajifungua baba yangu hakuwa karibu alikuwa yuko safarini kikazi mpaka mama yangu anakata roho bado baba yangu alikuwa yuko kazini hakupatiwa hata ruksa wa kuja kuyashiriki mazishi ya mama yangu😭😭😭 siku anarudi nyumbani alienda tu kuonyeshwa kaburi….
Baada ya bibi kunielezea yote hayo ndo nikavuta taswira nikaelewa ni kwanini baba yangu hakuhitaji nijiingize kwenye mahusiano na wanajeshi😭😭😭 inasadikika kuwa mama yangu baada ya kunizaa alipata Depression iliyopelekea yeye kupata mental stress na hivyo ndo vitu vilivyompelekea yeye kupoteza maisha😭😭 alikuwa mpweke kupitiliza kila muda baba yangu alikuwa yuko mbali naye….. nililia mno siku hiyo😭😭 nilimkumbuka baba yangu na bibi yangu niliowakimbia nchini Sweden kwa sababu tu ya Ryan alf leo hii ananiletea mambo meusi😭😭😭 bibi aliniomba nilie mpaka machungu yaishe then baada ya hapo nifanye maamuzi sahihi🫰🫰🫰nilipomaliza kulia bibi alinifuta machozi kisha akaniuliza upi uamuzi wako??! Nikamwambia now naichagua familia yangu kwanza mapenzi badae✌️ kama yeye anakatisha mahusiano na mimi kisa familia yake mimi ni nani hadi niikatae familia yangu kisa yeye😏😏😏baada ya huo uamuzi bibi alinikumbatia akaniambia umekua sasa mjukuu wangu nimeupenda sana uamuzi wako🤝👏 jipe kipaumbele kwanza wewe kabla ya mtu mwingine🤝💘jipende kwanza mwenyewe kabla ya kumpenda mtu mwingine….usimpe umuhimu mtu anayewapa umuhimu watu wengine kabla yako👋👋 muache ajifunze kisha akae chini aamue kati ya mapenzi yako kwake na familia yake kipi chenye nguvu???? Uliacha familia yako kwa ajili yake na bado ameshindwa kutoa uamuzi wa kuridhisha muache sasa na yeye apime uzito kisha aamue wapi anabaki…….
Je wapi atabakia Ryan????? Mapenzi au familia?!??….baba yake Gift hajawahi kumtaka Ryan lakini gift alipambana mpaka ikafikia hatua akakubali kutengana na baba yake kwa ajili ya Ryan…… sasa hivi familia ya Ryan hawataki Ryan amuoe Gift kwa madai et yeye ndo sababu ya mtoto wao kukumbwa na misukosuko iliyompelekea Ryan kunusurika kuuliwa je Ryan yuko tayari kuacha kila mtu kwa sababu ya Gift ?!???.?
Episode 29
Nilishapambana sana juu ya penzi la Ryan ni wakati wake sasa naye apambane kwa ajili yangu🙌🙌nilinyoosha mikono juu nikajiambia vyovyote itakavyokuwa niko tayari kukubaliana na matokeo….. baada ya bibi kunishauri kwa masaa yasiyopungua manne nilimuahidi nikamwambia bibi I promise you nitaufanyia kazi ushauri wako baada ya hiyo ahadi tuliagana kila mmoja akaelekea chumbani kwenda kupumzika……siku iliyofuatia Alvaro alinitafuta akaniambia leo ni weekend unaonaje tukaimaliza weekend pamoja alitaka tutoke nikamwambia siwezi kutoka nina usingizi jana nimechelewa kulala🥲🥲 ok aliitikia kisha akaniambia I miss you i need to see you…..ni sawa tutaonana kesho kazini kwa leo sizani nilimkatalia🤨🤨🤨 aliendelea kunisihi na kuniambia please Gift naomba tuonane I have something to tell you…..kitu gani🥺🥺 niliuliza😕😕 Alvaro akasema tutaongea tukishaonana…. niliomba anipe muda nione kama kuna uwezekano wa kutoka…..baada ya kukata simu ya Alvaro iliingia ya Ryan nikapokea akaniambia nahitaji kukuona tuongee…. tuongee kuhusu nini???? Nilianza kumkunjia maana kaishaanza kunipanda kichwani☺️☺️☺️ akaniambia anahitaji tuongee kuhusu makazi yangu na mtoto….. hakuna haja ya kuonana kama cha kukizungumzia ni hicho mbona kinazungumzika tu kwenye simu😕😕😕 kwa hiyo hutaki kuonana na mimi??? au bibi yako kakuzuia?!?…
Nilicheka sana kisha nikamwambia siyo bibi tuu….. unamaanisha nini Gift????? Unajifanya huelewi?!.??? Nilizidi kumjibu mkato maana anahisi kwake siwezi kumove on anataka kunigeuza kuwa mtumwa sasa😏😏😏nilimwambia Ryan hatuwezi kuonana kwa sababu ninaogopa kukusababishia misuko suko mingine💔💔💔 na pia sitaki kuwa sababu ya wewe kutengana na familia yako🥹🥹🥹 so unamaanisha kuwa nawe umeridhia sisi tutengane nikamwambia ndiyo kama ulivyohitaji👋👋👋 alikata simu kwa hasira kisha akanitumia msg akaniambia nitakuingizia kiasi kadhaa kwenye account utatafuta nyumba unayoitaka wewe ununue pesa nyingine utaitumia kununulia mahitaji yako na ya mtoto…… nitakuwa nakuingizia kiasi kadhaa kila week kwa ajili ya matumizi yako na ya mtoto and don’t forget this nitakuwepo kila muda mtakaonihitaji, for now I’m sorry but i have to leave👋👋……baada ya hiyo msg iliingia msg ya Bank iliyothibitisha kuingizwa kwa kiasi kikubwa cha pesa kwenye account yangu🥹🥹 kisha Ryan akanitumia msg nyingine ya kuniambia Good byeeeee mlee mtoto wetu katika malezi bora ya kupendeza hauko peke yako kwenye malezi ya mtoto wetu I will support you until the end 👋👋👋
Nilimtumia msg nikamuuliza vipi kuhusiana na sisi, mimi na wewe????? Ryan alinijibu akaniambia im sorry for that,… but,… from now you are free, I am no longer with you 💔💔 samahani kwa hili ukweli ni kwamba kuanzia sasa uko huru siko tena na wewe💔💔 hiyo ndo msg ya mwisho aliyoituma Ryan kuthibitisha kuwa penzi letu mimi na yeye halipo tena……wakati nikiwa naendelea kuyasikilizia maumivu ya kuachwa iliingia msg ya Alvaro akaniambia bado ninasubilia jibu lako nilimjibu kwa haraka haraka nikamwambia niko tayari kuja kuonana na wewe…..nilitaka kuongezea msg nyingine nimwambie kuanzia leo nimekukubalia kuwa mwanaume wangu lakini nikasita nikaona wacha kwanza niende nikamsikilize…..hakuna kitu kinauma kama kuzalishwa kisha utelekezwe💔💔💔 hakuna kitu kinaumiza kama kuwakataa watu wote kisa mtu mmoja tu unayempenda alafu mwisho wa siku huyo mtu anakuja anakuacha kwenye mataa bila kujali ni wapi mlikotoka mitihani gani mmeivuka mpaka mkafikia hapo mlipo😭😭😭niliumia kupita kiasi njia sahihi niliyoichukua ya kunipunguzia maumivu ni kumove on na kumkubalia mwanaume mwingine aliyekuwa analingoja jibu la ndiyo kwa kipindi kirefu kidogo…….
Siku hiyo nilijiandaa nikatoka kwenda kuonana na Alvaro tulikutana sehemu tofauti na nyumbani kwake Alvaro alikuwa akinitaarifu juu ya maandalizi yake ya kunichumbia😩😩😩 yani ni kama vile aliota maana hilo jambo alilileta wakati sahihi sana🫰🫰 wakati ambao ndo nilikuwa nimetoka kupewa kibuti zile hasira za kutaka kumuonyesha Ryan kuwa ukisusa wenzio wala zikanihamasisha kumkubali Alvaro😅😅🙌 aliuliza kama niko tayari kuonana na familia yake nikamwambia yes hata sasa hivi niko tayari☺️☺️ kila alichoniuliza majibu yalikuwa ndiyo niko tayari ilifika hatua naye akahisi mmhhh mbona leo mtelezo sana🤣🤣🤣 kila nachokiongea naambiwa yes I do kila kitu yes I do au ananitania☺️☺️☺️ Alvaro aliniuliza kama niko sawa nikamwambia I’m not okay but i need some one atayeweza kunifanya niwe sawa🥹🥹🥹 baada ya kumwambia alinikumbatia na kuniambia mtu unayemhitaji ni mimi peke yake😘😘😘 nakuahidi nitakuwa pembeni yako muda na wakati wote utakaonihitaji🫂🫂 kwa hiyo uko tayari kunioa au nawewe unataka tu kunichezea🥹🥹🥹 Alvaro aliniahidi muda na wakati wowote nitakaohitaji ndoa yeye yuko tayari kunioa….
Aliomba tuchumbiane kwanza kisha ndoa ifuate nikamwambia sawa🫰🫰 yani kwa hasira nilizokuwa nazo juu ya Ryan nilitamani hata kuolewa na Alvaro siku hiyohiyo🤣🤣🤣 usiku niliporudi nyumbani nilimshirikisha bibi juu ya uamuzi wangu wa kufunga ndoa na Boss wangu Alvaro….. bibi alihitaji kumuona ikabidi nimwalike Alvaro nyumbani kwetu akanipromise weekend itakayofuata atakuja kujitambulisha kwa bibi yangu ambaye kwa kipindi hicho yeye ndo alikuwa mlezi wangu😌😌Wakati bado nikiwa nasubilia siku ya Alvaro kujitambulisha ifike siku moja Brinnah alinitumia msg akaniuliza wewe na Ryan mmeshaachana😳😳😳😳???? Nikamuuliza kuna nini kwani🤔🤔??? Hizi habari we umezitoa wapi😳😳?,?. Sikuwa nimemshirikisha Brinnah chochote juu yangu na Ryan kutengana🤔🤔🤔 Brinnah aliniambia kuwa pale kambini anapofanyia kazi kuna mjeda mmoja hivi anamfukuzia na huyo mjeda ni rafiki mkubwa wa Ryan….. habari za ndoa ya Ryan Brinnah alizisikia kutoka kwa huyo Mjeda na picha zao aliziona kwenye simu ya huyo jamaa😑😑😑 nilitumiwa hizo picha za Ryan na mchumba wake nikaziona 😔😔 niliumia nikajiuliza ananikomoa eeh🥹🥹 tutakomoana🫰😏😒nilichokifanya nilichukua picha zangu kadhaaa nilizokuwa na Alvaro nikamtumia Brinnah kisha nikamwambia hakikisha unazizungumzia habari zangu na Alvaro mbele za huyo rafiki wa Ryan ili aweze kumfikishia taarifa ikiwezekana na hizi picha make sure zinamfikia siwezi kuumia peke yangu acha tuonyeshane jeuri🫰🫰
Kipi kitafuata Ryan akishazijua habari za mahusiano mapya ya baby mama wake???..
Episode 30
Aah aaa😳😳hebu subiri kwanza best😩😩😩kwani kuna ugomvi????. Aliuliza Brinnah baada ya kuziona picha zangu nikiwa na mwanaume tofauti😌😌 ndiyo best kuna ugomvi na kama ilivyo kawaida ya urafiki wetu kusaidiana kwa tabu na raha usiniangushe kwa hilo ninachokitaka ni Ryan azione hizo picha aumie kama nilivyoumia😔😔😔 hilo tu😅😅😅limeisha best yangu👋👋 utapata matokeo baada ya muda mfupi🤣🤣🫰 rafiki yangu Brinnah aliniambia hivyo kisha akakata simu….. nilijiweka tayari kupokea matokeo maana nilijua kivyovyote vile Ryan hawezi kuvumilia mimi kuwa na mwanaume mwingine😝😝 hiyo siku ilipita siku iliyofuata ndiyo siku aliyokuja Alvaro kujitambulisha akiwa amesindikizwa na rafiki yake mmoja hivi😍😍😍 bibi alituhoji sote kama tuko tayari juu ya kitu tunachotaka kukifanya tukamwambia ndiyo🫰🫰 Alvaro alikiri kuwa yuko tayari kunitolea posa na yuko tayari kwa ajili ya ndoa bibi alitoa ruksa nipelekwe kwanza kwa wazazi wa Alvaro then baada ya hapo tutachumbiana✌️✌️ kila kitu kilichoendelea siku ya utambulisho mom Lerato alinirekodia nilikuwa nishamuomba anirekodie ili nimuumize Ryan🤣🤣🤣Alvaro aliniahidi kuchukua likizo kazini ili anipeleke kwao huko nchini Mexico akanitambulishe kwa familia yake😌
Siku hiyo baada ya Alvaro kuondoka bwana nikapost status mkono wangu nimeshikana na Alvaro kisha nikaandika mke matarajiwa💘😍nikatia na viimoji vya kichokozi alf nikahaidi watu wote nikamuacha Ryan tu ndo aview🤣🤣🤣🤣 aloo vile nimepost tu naye akaview nilijisikia raha🤣🤣🤣💃🏼sijakaa sawa nikaona anatype nikazima data nikajilaza kidogo cheko kama lote🤣🤣🤣baada ya kama dakika tano nikawasha data nikarudi online msg zake zikaanza kuingia kama mvua🤣🤣🤣 nikawaza kuzifungua mmmhhh hapana acha nizidi kumchoma ajue sina muda naye nikifungua haraka haraka hivyo atajua nami namuwaza kila wakati🤣🤣🤣🤣 sikuzifungua nikaziacha muda upite💃🏼💃🏼 jamaa alivyoona sifungui msg akanipandia hewani nikiwa sina hili wala lile simu ikaanza kuita💃🏼💃🏼 ya kwanza ikaita ikakata ya pili ikaita ikakata ya tatu nikapokea kabla hajaongea chochote nikamwambia sorry I’m busy🫰🫰🫰kisha nikakata nyieeeeee nyieeeeeee🤣🤣🤣Ryan alipiga simu mpaka ikazima😆😆😆😆mie niko busy na mamdogo Lerato tunacheka tu vile anavyohangaika🤣🤣🤣 dawa ya moto ni moto🫰
Baada ya simu kuzima nikaibust ikapata moto nikaiwasha nyieeeeee nilikuta sms mingi kutoka kwa Ryan 😳😳😳 missed call hazihesabiki👋👋🤣 nilivyokuwa na hamu ya kutaka kujua alichoniandikia wala sikutaka kujichelewesha kuzifungua zile msg🤣🤣 Ryan baada ya kuview stutas akanifowadia zile picha nilizomtumiaga Brinnah nikiwa na Alvaro akaniuliza huyu mwanaume ni nani, nijibu nachokuuliza who is this man 🥺🥺 Gee fungua msg zangu usijifanye huzioni……alafu ujue huo ushenzi unaoufanya utaniharibia mtoto🥺🥺🥺mtoto mdogo ushaanza kukimbizana na wanaume yani ni aliandika mimeseji mingi nilizisoma nikamaliza nikanyamaza sikujibu kitu alivyoona msg zimefunguliwa akaanza kupiga nikazima data🤣🤣🫰 alivyoona sitaki kumjibu kitu akanitumia msg akaniambia nakuja huko SA haaa😳😳😳😳🤣💃🏼🫰 mamdogo akaniambia kesho tuondoke twende kwa boyfriend wangu Ryan akija astukute🫰🫰yani mpaka dawa imuingie🤣🤣 siku iliyofuata bwana tukafungasha tukaenda kwa boyfriend wa mamdogo🤣🤣🤣tumefika huko tukamuomba atusaidie kutafuta mjengo kumbuka Ryan alishanipatia pesa za kununua nyumba niliona ni vyema ninunue nyumba nikajifiche huko😝😝
Baada ya kuondoka bwana yakapita masaa kadhaa bibi akanipigia🤣🤣🤣🤣akaniambia Ryan yuko nyumbani ananitafuta bibi asivyopenda ujinga akamtimua akamwambia akiendelea kubakia pale anamwitia maaskari🤣🤣🤣 Ryan alipiga simu mno nikawa sipokei🤣🤣🤣ilipita kama wiki moja hivi nyumba ikawa imepatikana nikahamia na House maid wangu💃🏼💃🏼💃🏼 kipindi hicho hicho ndo na safari ya kwenda Mexico ikawa imewadia💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼niliondoka na Alvaro kwenda kwao huko Mexico tulivyofika huko ndo nikapokea simu za Ryan si najua niko mbali🤣🤣🤣 nimepokea simu anaanza kuniambia et nataka kumuona mwanangu mko wapi???.. nikamuuliza yeye kwanza uko wapi akaniambia nipo Cape Town nikampa pole sisi hatupo huko tuko nje ya nchi😩😩 nchi gani nikamwambia haikuhusu👋👋👋usinijibu upumbavu Gift😡😡 ndo nishakujibu unatakaje😏😏 hivi mbona una dharau sana we mwanamke kwanini unasafiri na mtoto wangu bila kuniambia☺️☺️ ikabidi nicheke kisha nikamwambia tunasafiri na aliyeko karibu yetu nawe mzarishe uliyenaye🫰🫰Ryan alichukia😆😆😆akafyonza na kukata simu….. tumekaa Mexico week mbili tukarudi Cape Town ndani ya hizo week mi nilijua huenda Ryan atakuwa kaishaondoka karudi America si nikajipeleka kule kwa bibi🤣
Vile tumefika tu tunaingia ndani Ryan huyu hapa na kwa bahati mbaya siku hiyo bibi hakuwepo alikuwa safarini na mamdogo alikuwa yupo kwa boyfriend wake🙌🙌🙌Ryan alikuja akanikwapua mtoto kisha akanivuta kwa lazima mpaka kwenye gari😩😩😩🙌 alimuweka mtoto kwenye gari nami akanipandisha kwa lazima si mnayajua majeda yalivyo na nguvu sikuwa hata na nguvu za kumzuia🙌🙌😩 alinipeleka hadi kwenye apartment aliyofikia akamlaza mtoto kwenye chumba kingine mimi akanipeleka chumbani kwake akanifungia😳😳 akaninyang’anya simu akanilazimisha nitoe lock nikagoma akanizibua kibao akaniambia toa lock😡😡 alikuwa na hasira hadi anatetemeka 😝😝😝baada ya kuzibuliwa kibao nikaanza kuona nyota na mbalamwezi😆😆😆nikatoa lock chapu nikamkabidhi simu😩😩 akaanza kukagua picha zangu na Alvaro akasoma msg zetu nyieeeeeeeeee nyieeeeee😭😭😭😭😭
Kipi kilifuata??..???
Episode 31
Ryan baada ya kuichukua simu yangu moja kwa moja akakimbilia kwenye msg WhatsApp na inbox😩😩😩 akazikuta zimejaa tele msg zangu na za Alvaro bahati nzuri sikuwaga na wanaume wengi wala simu yangu haikuwa na uchafu wa aina yoyote ile kizuri zaidi mimi na Alvaro hatujawahi kusex hata kukiss tu ilikuwa bado🤣🤣 mzee baba baada ya kusoma msg zilivyo za mahaba za motoo🙈🙈🙈 akapigiza simu ukutani kisha akanishika kwa nguvu akanikunja😕😕 nikaanza kulia mi muoga😩😩😩 Ryan aliniangalia mno kisha akanikumbatia🙈🙈 hakuniongeza kibao kingine🙈🙈🙈 maana nilishaanza kuogopa huenda nikapewa chapati nyingine👋🤣🤣 kibao chake ni kichungu alinipiga shavu moja yote yakaumuka😆😆😆 baada ya kunikumbatia akaanza kunipapasa kichwani mwenzenu nikatulia tuliiii🙈🙈 akazidi kunipapasa taratibu mawazo yakaanza kubadirika kichwani🙈🙈 nikawa nahisi msisimko😝 nikaanza kulegea akaniinua kichwa akanitizama machoni alikuwa kakolea kupita kiasi🙈🙈aliniuliza swali moja unanisaliti??? Nikanyamaza😝😝🙌 nikawa najikamua machozi akachukuaa kitambaa chake akanifuta machozi kisha akaanza kuniromance lol💋 mpaka nikakojoa🙈🙈 nilikuwa na hamu za siku nyingi mno na kama mnavyojua Ryan nampenda kiasi kwamba nikimuona tu naanza kuloa🙈🙈🙈 alidindisha mno mpaka akawa ananitaka nimsugue kwenye dudu💋💋💋nilimsugua sugua taratibu mpaka akaanza kuninyonya maziwa nayo yalivyo na kiherehere yakaanza kuchuruzika🙈🙈🙈 Ryan naye alivyo mshenzi akanyonya kweli🙈
Kadri nilivyozidi kumpapasa naye akaanza kunivua nguo😕😕 kisha akanigeuza na kuniinamisha dog style😌😌 akachomeka na kuanza kunisugua🙈🙈 mjue siku ile ya kwanza alivyonifanya nilihisi maumivu mwanzo mwisho sikuenjoy hii mara ya pili bwana nilitamani aingize mpaka pumbu maana siyo kwa utamu ule niliokuwa nausikia🙈🙈🙈 Ryan alinisugua mno kila akimwaga tunarudia tena🙈🙈tulivyomaliza kufanya mapenzi alinipakata mapajani kwake akaniambia nakupenda siwezi kukuacha waambie wote wanaokufukuzia kuwa mimi ndo mume wako🥹🥹 hivi unakumbuka tulikotoka gift kwanini unataka kuniacha🥹🥹 akaanza kulia wakati yeye ndo alianza kuleta ujinga🤣🤣🤣 sikumuuliza chochote juu ya ile picha aliyonitumia Brinnah nilijifanya kama sielewi chochote😩😩😩 yeye mwenyewe ndo akaanza kunielezea juu ya huyo mwanamke aliyetafutiwa na mama yake☺️☺️nilimuuliza swali moja🫰🫰 upi uamuzi wako akasema nataka tufunge ndoa siwezi kukuacha🥹🥹 itakuwaje kuhusu familia yako kumbuka hawanipendi☺️ akasema sijali what I want ni wewe na mtoto wangu siwezi kuvumilia kukuona na mwanaume mwingine🥹🥹 niko tayari kutengana na familia kwa ajili yako are you ready to marry me nikamwambia no siko tayari 😏😏 halloo nilimpomjibu hivyo alichanganyikiwa😆 akaanza kuomba msamaha kwa sababu hapo mwanzo yeye mwenyewe ndo aliomba tuachane kwa madai et familia yake hawataki anioe😌😌 Ryan alikuwa radhi kuniacha kwa sababu ya familia yake na alikuwa ameshakubali kumuoa mwanamke aliyechaguliwa na familia yake kilichosababisha yeye kurudi kwangu ni baada ya kuona kuwa nami nimeshamove on na ninataka kufunga ndoa na mwanaume mwingine akashindwa kuvumilia….
Alikuwa tayari kuniumiza ilimradi tu ailinde furaha ya familia yake😩😩😩mimi niliiharibu furaha ya baba yangu kisa yeye🥹🥹 na nasikia alikuwa na mpango wa kurudi jeshini ili ndoa atakayoifunga itambulike pia jeshini, kumbuka alikimbia Sweden kisa baba kumsakama na ni baada ya yeye kunusurika kifo japo habari zilivuma kuwa naye ni miongoni mwa wajeda waliouliwa, baada ya viongozi wa jeshi kupata habari za kuwa yuko hai walimtaka arudi kazini…. sasa nilichomwambia Ryan ni kitu kimoja kama unataka kunioa tuambatane mimi na wewe mguu wangu mguu wako mpaka Sweden uende ukarudishe vitu vye jeshi na ujifute kutoka jeshini nilishakula kiapo kwa baba yangu kuwa sitokuja kuwa katika mahusiano na mwanajeshi kitu pekee kitakachoirudisha furaha ya baba yangu ni kuniona mimi nikiwa natenda kile nilichomuahidi✌️✌️✌️ siko tayari kuendelea kumuumiza na kuiharibu furaha yake mimi ni mtoto wake wa pekee na ninatamani uhusiano wetu mimi na yeye uzidi kuimalika ukishajivua ujeshi tutaambatana mpaka nyumbani kwetu nitakutambulisha kwa baba yangu kama mwanaume wangu mtarajiwa na nina imani atatupatia baraka za sisi kufunga ndoa🫰🫰🫰 ukishindwa kufanya hivyo basi tambua nitakwenda kufunga ndoa na Alvaro nawe uende ukamuoe huyo mwanamke uliyechaguliwa na familia yako🫰🫰 baada ya kumwambia hivyo nikamuacha afanye uamuzi anaouona kwake ni sahihi💃🏼💃🏼💃🏼 nilishaamua kuachana na kila mtu kwa sababu yake lakini bado akanionyesha ushenzi ni zamu yake sasa kuachana vyote kwa ajili yangu mimi….so your family is better than me nikamwambia ndiyo ni kama vile wewe ulivyofanya hapo mwanzo uliniacha kwa ajili ya familia yako ulikuwa tayari kuniumiza ilimradi tu familia yako wafurahi ni muda wangu sasa wa kumfrahisha baba yangu nataka kumfanya aamini kuwa promise niliyoiweka kwake bado ninaikumbuka na sasa nimeamua kuitekeleza kama nilivyomuahidi🫰🫰✌️
Ryan alichanganyikiwa😩😩 na kwa jinsi nilivyokuwa serious alijua kabisa sitanii….aliniomba nimpe muda ajifikilie nikamwambia it’s okay but usisahau kuwa Alvaro yuko kwenye process za kupeleka posa nyumbani kwa baba akiwahi kabla hujaamua tambua ndo utakuwa ushanikosa👋👋 Ryan alizidi kuchizika akaniuliza hivi Gift unanipenda kweli🥹🥹🥹nilimpa jibu moja tu nikamwambia usijifanye kama wewe ndo unanipenda sana wakati hapo mwanzo ulikuwa umeshaamua kunichapa kibuti wewe na mimi nani anastahili kuulizwa hilo swali😏😏😏???Ryan alikaa siku tatu akiwa anawaza na kuwazua baada ya hapo aliomba kwanza aende nyumbani kisha atarudi kuja kunipa majibu tuliagana akasepa mimi nikarudi kwa bibi….. alivyofika nyumbani akanipigia akaniambia najaribu kuwashirikisha familia yangu juu ya hili swala nashindwa naona ni kama nitawapa mshituko mbaya sana niliishia tu kucheka kisha nikamwambia hayo maelezo unayonipa mimi hata hayanihusu🫰🫰🫰 wakati mwingine ukinipigia simu uwe na maamuzi yenye akili na ninataka uwe na maamuzi ya kiume coz in my life I don’t need a mama’s boy☺️☺️👋 Ryan alizidi kunishangaa vile nilivyokuwa na moyo mgumu nikamwambia wewe ndo umenifundisha👋👋 ilipita kama siku tisa hivi akarudi South Africa bila hata kunitaarifu 🤣 alikuja kimya kimya😆😆 alikuja mpaka kwa bibi akatoa uamuzi wa kuwa yuko tyr kuachana na Jeshi kwa ajili yangu🤝👏 bibi akamuuliza familia yako wanajua akasema nimeshindwa namna ya kuwashirikisha juu ya hili but nimepanga kuwashirikisha baada ya ndoa kupita👏👏 Good hayo ndo maamuzi ya kiume mimi tayari nishawabariki mkafanikiwe kwa kila kitu aliongea hivyo bibi kisha akaniruhusu sasa niwe huru na mtu wangu……
Tuliondoka pale kwa bibi tukaenda nyumbani kwetu kama mnakumbuka Ryan alinipatiaga pesa nikanunua nyumba ndo tukaenda kukaa huko tupange safari ya kurudi Sweden……safari ilikamilika tukarudi Sweden tukiwa na vifaa vyote vya jeshini alivyokuwa anavimiliki Ryan…tulipofika huko Ryan alituma maombi ya kuachana na Jeshi akaombwa aorodheshe sababu zinazomfanya kujitenga na jeshi baada ya hapo akaombwa kurejesha vitu vyote vya jeshi alivyokuwa navyo vikarudishwa baada ya hatua zote kukamilika Ryan aliondolewa Jeshini akaanza kutambulika kama mwananchi wa kawaida🙏 nilifurahi mno hatimaye yule ninayempenda naenda kumpata bila kuvunja ahadi yangu kwa baba🙏🙏🙏 tulipanga safari tukaenda nyumbani kwetu babayetu alivyotuona alitufukuza baada ya kumwelezea kila kitu alitupokea akaomba radhi juu ya mitihani aliyompitisha Ryan kwa sababu hakuweza kuamini kama Ryan anaweza kufanya yote hayo kisa upendo tu🙌🙌 Baba alinisimulia kile kile alichonisimulia bibi juu ya mama yangu😭😭😭😭aliniambia sababu iliyomfanya yeye asitake niolewe na mjeda ni kwa sababu hakutaka niyapitie yale aliyoyapitia mamangu😭😭😭nilimwelewa babangu nikaomba msamaha kwa ukaidi kiasi niliomuonyesha alinisamehe akanipokea mimi na mchumba wangu🙏🏻🙏🏻🙏🏻kwa mara ya kwanza baba yangu akabariki mahusiano yetu akamshika na mjukuu wake Javier mikononi mwake🙏🙏 baba aliruhusu tufunge ndoa mwaka Jana mwezi wa 8 tulifunga ndoa takatifu ya kikristo tulikwenda honeymoon kufurahia na baada ya hapo mwezi wa 12 tulikwenda kwa familia ya mume wangu kuwataarifu juu ya kila kitu haikuwa rahisi kuwashawishi but all in all mume wangu alionyesha msimamo bila kutetereka mpaka familia yake wakaridhia😘😘😘 nilibakia pale ukweni mwanaume ikabidi aondoke kwanza kwa ajili ya kwenda kujitafuta kumbuka kaishaacha Jeshi inabidi atafute mradi mpya wa kutuingizia kipato nami kazi niliacha kule kwa Alvaro Ryan hakutaka tena niendelee kufanya kazi pale…..Ryan alianza kufanya vibarua vya kubeba mizigo akipata kazi anajichanganya na wenzie anafanya mpaka akabahatisha kupata kipesa cha mtaji tukaondoka ukweni tukarudi South Africa tukafungua biashara alhamdulilah Mungu alitujaalia biashara ikakua na mwaka huu biashara zetu zimezidi kupanuka zaidi na maisha yetu yanazidi kuimarika na kutaradadi😘😘 rafiki yangu Brinnah alipata mchumba mwingine raia wa USA kwa sasa yupo huko na mwezi wa pili mwakani wanatarajia kufunga ndoa kwenye Valentine…..Brighton baada ya kunikosa alirudi China na nasikia alioaga hukohuko China…… mwakani tunatarajia kuhamia USA kwa sababu ndo favourite country anayoipendelea mume wangu tuishi👏 but for now bado tuko South Africa……asanteni kwa wote mlioifuatilia simulizi hii kama kuna sehemu yoyote tulipowakwaza tunaomba radhi sana🙏🙏🙏nashukuru pia kwa ushirikiano wenu na huu ndo mwisho wa simulizi yangu ya The Promise .
*Hatimaye Gift kaitimiza ahadi aliyoiweka kwa baba yake ni jambo jema kuwa alifanikiwa kumshawishi Ryan mpaka akakubali kuachana na Jeshi.
*MWISHO*

