SIKU NILIPOMFUNIA MUME WANGU AKIFANYA MAPENZI NA MWANAKWAYA WA KANISA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 1
Usaliti au kudanganya katika ndoa ni wazo baya sana na aliyetoa wazo hilo hakika alikusudia kuharibu roho za wanandoa wasio na hatia.
Jina langu ni Mama Shiko, na kwa miaka mitano yenye uchungu, niliishi kama mjane wakati mume wangu, Peter, alipokuwa angali hai.
Mume wangu alikuwa ni mtu wa Kanisani sana, na hata pale Kanisani kwetu alikuwa na vyeo vya Uongozi kama vyote, Na watu walimpenda kweli kutokana na kujituma sana kwenye mambo ya kiroho.
Aliamka Jumatatu moja asubuhi, akaenda kazini, na hakurudi tena. Hakuna simu, hakuna kwaheri – kimya tu. Na hakurudi tena nyumbani kama ilivyokuwa kawaida yake.
INAENDELEA

