MJEDA MBONA KUBWA SANA?
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 06
Nilikuwa sina jinsi moyoni nilikuwa natetemeka sana yaani , sijuii kwanini nilijihisi huu mtetemo.moyoni mwangu mhh nilikuwa najiona nakufa live live kabisaa jamani , ila aliendeleea na kazi yake ya kunipa juice kuna muda akawaa ameacha akawa ananitizama mimi.sikuwa nimelegeaa kwa juice nilikiwa namshangaa ila yeye alikuwa anaelekeaa kabisaa kupagawa maan usoni alikuwa kafanania na chali yangu mmoja wa Chuga anapuliza bangi balaaa hhhh 😉😁, nimemmisi jamani hhhh
Niliweza kumsukumaa jamani , nikajitoaa kwake nilimtizama sana sikupata hata chance tena ya kuongeaa nae chocchote nilifungua mlango nikaondoka mikononi kwake , nikaingiaa ndani sasa sijui aliondoka au vipii niliamuaa kujitupa kitandani sikuwa na muddy tena hata ya kuoga bado akili yangu iliwaza sana lile tukioo lilitokeaa kule ukumbini mpaka hapa kwenye gari nilijisikiaa kuliaa sana yaani mhh lilinipa mawazo kiasi kwamba hadi nguvu za kuinuka kwenda kuoga ziliiniisha kabisaa yaani mhh nilijikuta nachoka kabisaa yaani 🙌, hivi kweli nguvu ziliinisha au ni uchafu unanisumbuaa 🙄🤔
Asubuhi palikucha tena niliamshwa na simu ya mama Sakina hee ndioo kuangalia saa hivi ni saa nne , aliniuliza shida ni nini mbona kama bado nimelala nilimwambiaa tu naumwa aliniambiaa basi kama naumwa nisiende dukani, nilishukuruu niliamka nikaogaa nikaendaa zangu nyumbani nilipita saloon kwa Mama nikaomba niendee na Ayman maan najisikia vibaya mama aliniruhusu kabsia kiroho safy niliondoka na chzi langu , tulifika akapika nilikuwa nina pesa kidogo ile ya ganji maan ilikiwa ni pesa ndefu mnoo , alipika tambi za mayai napenda ila sijuii kupika kabisaa yaani 😁😅 mimi kuolewaa sijui 🤷♀️ ,tulivyomaliza Kula alikaa na mimi anihoji maswali sasa maan alijuaa tu siumwi mimi huwa anajua kuliko hata mama alionizaa ni ana akili sana ndioo maan kaona hata shule haitomsaidiaa
“Haya nambiee shida ni nini mbona una wasi wasi , una shida gani hyoo bikra yakoo auu ?” Aliniuliza mimi huyu haoni kama mimi ni dada yake au ndio kanizoeaa sana ? , “wewe koma ujuee mwenzioo jana kama ningemchekeaaa Wallah ningefi*** kweli na yule mjeda?” Aliniangaaliaa aksonyaa , nilimziba bonge mbaoo mjinga huyuu atanizoeaa saaa hajui kama mimi ni mkubwa hebu awe na adabu hovyoo 🤨
“Hebuu kaa hapo mwali ufundwe kumbee yule ni mjedaa mhh sasa ulifeli wapi wewe kwa jinsi ulivyo unampiku huyoo mzungu lillahi vile una mpikuu ujuee ?” Nilimtizama nikatamani nimuwashe kofi jingine “kiaje 🤨?” Niliuliza huku nimekunja usoo balaa yaani “mhh tulia upewe madini sister wewe bado mbichi mkubwa gani hata kupika hujuii jamani yaani kwanza umeambiwa unakuwa nae kwenye mahusianoo mimi mwenzio mimi mwenyewe mbona nishawahi kuwa na bwana wa rafiki yangu ili kumkomoaa kwani nipo nae mpaka leo?” Hili lingine nilijikuta nalishangaaa kweli
Episode 07
“Wewe Ayman upuuzi huu umeanza lini wee mpuuzi ?” Alinitizama tu akaanza zake kucheka tuuu “sasa dada me mwenzioo mimi mtu mzito mimi hadi mimba nishatoaa ” nilimtizama kwa jicho kali nikamuwasha kofi nilikuwa sijampiga etty kakoseaa maneno yake na umri wake haviendani jamani hawa watoto wa 2000 hapana “wewe hizoo tabiaa nani kakufundisha nakuuliza unisikii au unaniona sina akili?” Alikuwa tayari kachukiaa aliondoka zake kwa hasira sana nilibaki namuwaza na yeye hivii huyu mtoto nimfanye nini mbona ana mazitoo hivii jamani mbona kama mtu mzima sasa at least angekuwa kafikisha miaka hata 18 ila ndio kwanza ana miaka 18 ila ndio kwanza ana miaka 13 khaa 🤔 nimfanyeje mimi huyu ,
Etty amenuna atajileta mwenyew maan najuaa anakuwaga na shida zake hawezi kumwambiaa mama na mimi sijasomeaa maswala ya kubembeleza mimi akuu siwezi kumlamba lamba mtu mimi aiii atajileta mwenyewe na shida zake mimi nililala pale pale nyumbani na siku haikuisha alikuja huyuu mjinga wangu kujichekesha mbele yanguu , nilimcheka na asubuhi yake niliondoka zanguu alisema atakuja kwangu nilikubali bila hiyana kuja kwangu sio mbaya piaa bora aje anisaidiee hata kudeki hhh 😊, maan mimi kufanya usafi sio shida zangu akuu , sipendi kufanya kazi zaidi ya kukesha tiktok , ndio maan hata nyumbani niliondoka najuaa ningekuwa naambiwa habari za kupika kupika na mimi sipendi kabisaa
Niliendaa nikafunguaa duka ila dukani najitahidigi pawe pasafi yaani mhhh , nikiwa zangu nimekaa nimetuliaa niliomuona mtu kama namjuaa hivii kwenye gari ndio kuangaliaa vizuri alikuwa yule mzunguu jamani nilitoaa macho huyu mzungu si kaendaa USA auu niache umbeaa 🤔 ila atakuwa kafanana nae bhana si unajuaa hawa watu weupe huwaga wanafanana kama vile washa washa nikajuaa hivyoo sikutilia maanani maaana niliambiwa huyu kaenda USA, hivyo nikaendeleaa na mambo yangu na vile mimi sio mmbea sana naelewa kila kituu
Nikiwa nimekaa zangu pale dukani walishuka wanajeshii watatu kwenye gari nakuja nilipo
“Aah shem tumeelekezwa na kaka dukani kwako tuje kuungisha bwana hhh mambo yanaendaje lakini?”nilibaki nawashaanaa bado sheme huyoo kwiyoo mimi nina mpenzi gani mwanajeshii itakuwa wamevurugwa hawa na mazoezi ya mabunduki na mabomu 😁🙄 , “nyiee mimi sina mpenzi bhana ila kwasababu ni wateja karibuni 😊” nilitabasamu maan sheria ya kwanza ya mteja kukaribishwa ni kumchekeaa ni kama walibaki wanamshamgaa
“Aah shem kwahyo humjuii captain David? , acha kutupanga basii ” hee ndio nikashtukaa nikaanzaa. Kujichekesha kaam vile malaya kaona bia mpya “ooh karibuni jamani mhh , ujuee nilikuwa nishachanganywa na watejaa mhhh wanakuwaga wananisumbuaa sana hivyoo nilikuwa nimechanganyikiwaa mashemeji zangu 😁😊”nikaachia meno yote 30 na mbili nje, walinielewa wakatabasamu waliniingusha lotion za kiume na perfumes wow 👌 niliuza sana maan niliwapiga beii balaa vaseline ya maji ya kiumee inauzwa 35k niliwauziaa 45 imagine walikuwa watatu pesa ya juu shingapi hapo hhhh 😁👌
Episode 08
Waliondokaa nikabaki najichekesha chekesha tu kma vile mwenye kuchanganyikiwa jamani mimi hhhh 😁 , muda wa kuondokaa niliondoka nyumbani jamani nilipakuta pasafii duuh 🤗 , si alikuepo huyuu mjinga wanguu jamani ni msafi hakuna jikoo hivyoo tulinunua tu chakula ila siwezi kulala mapema nikiwa na huyu mpuuzi
“Shoga nina news leo , yule mzungu nimemuona shoga leoo saa sijui nimemfananisha auu vipi ila for sure nimemuona shogaa nimeshangaa huyu mzungu wa buguruni mimi nimeambiwa yupo USA nimeshanga” alicheka sana Ayman “ila dada na wwww umbea na wewe wapi na wapi mwenzangu unachojuaa nikujaa mtandaoni shoga yangu maan utakuwa umejichanganya maan wale nao wanafana bana sana ujuee unaweza ukajua ni mwenyew kumbee sioo mwenyew shogaa hata usimfatiliee afu unamfatiliaa ni nani kwako yulee mpuzi mimi simpendi mtu akimkera dada yangu anakuwa amenikeraa na mimi ujuee” aliongeea kwa feelings kama mtu kweli nilitamani kumuumbuaa huyu mjinga
“Haya shogaa yangu ona simu yako inaita hukoo huoni au?” Alikuwa ni yule mjeda anapiga “hee jamani ni huyu mpuuzi aniache mimi nishachoka sijisikii kuongeaa nae kabisa yaani “hee dada hebu pokeaa saa nyingine ni hela hizoo ujuee wee haya” nilimtizama nikatamani kucheka ila nikaweka wambuzi huyuu mjinga anapenda hela ndio maan kaaanza mambo yaa kijinga mapemaa sana huyu mpuuzi ” wee koma usinipangiee ujuee achana na mimi nalala zangu nilivalia sura isiyochekesha kama vile ukaksi nauweza kweli “hee ndio umenuna haya shoga basi yaishe usipokee utajuaa mwenyew bana niache zangu mimi nalala zangu sina jinsi” nilimtizama tu nikaishiwa pawa nikaendeleea na wambuzi niliouanzisha nikalala zangu kabisaa
Asubuhi nilidamka mapema “haya wewe mimi naondoka zangu utajuaa mwenyew, pesa hii hapo kwaherii” alinitzama tuu hakunijibuu mimi nikaaondoka zangu nikaelekeaa dukani nilifika nikafanya usafi kama ilivyokawaida yangu siku zote , ndio nikafunguaa duka sasa kuna mkaka mmoja ni muuza chips tunatizamana kinachotutafautisha ni ile bara bara tu , akapaza sauti “weee Ayra kwahyo umeamuaa kutoaa oder kabisa unataka nini sasa chips kuku au chipi mayai sema bhana” nilimtizama mimi nilijuaa anataniaa nikaendeleza matani , mimi ni mwenye dharau ila linapokuja swala la matani ogopa kabisa , ninataniaa hadi kuku “haya bhana nileteee chips kuku na Pepsi sawa eeh nasubiria 😉” alicheka tuu
Hee jamani akaleta kweli ndio nikajuaa kumbee hiii issue ni serious hivii ? “Wewe nani katoaa oder yangu?” Alicheka kweli yaani “shemeji yangu mwenye magwanda maan umeamuaa kutukataa sisi wote umeona upige golii la mkono mpaka kwa mjeda utakufa vibaya wewe” nilibaki nakodoaa tu mimachoo jamni
Episode 09
“Wewe acha masihala ujuee ?” Nilimtizama tuu nikaona huyu zwezwe ila chips nilikataa , sikuchukuaa nisije nikauponza buree miee akuu sitaki “haya bwana umeamua kutoa sadaka hela yako sawa mwenzio katoaa hela ujuee” niliona tu huyu kachanganyikiwa maan kunamuda huwa namuona kama mwezi mchang nakuwaga simuelewi yaani hhh ila mimi Mungu anisamehe ninadhambi za hadahranii jamani hhhh ila mimi hapana 🙌 “bwana kula mwenyewe” aliondokaa zake na chips zake
Hee nikiwa nimekaa tena hata masaa mawiii hayajapita lilitokeaa tena tukioo la kustaajabisha machoni mwangu nikiwa dukani alikuja mdogo wangu kwenye gari tena ni kama nalijuaa alishuka na wajeda wawili jamani ,nilitoa machoo walisogea mpaka karibu, kwenye wale wanajeshi wawili nilimfahamu mmoja kwa jina mwingine nilimuona jana ila huyu mwingine alikuwa soo 😘, jamani alikuwa hot alikuwa mzuri nilikuwa sijui hata anaitwa nani yaani ila ni mzuri
“Karibu shemeji 😊 , yangu mbona unashanga” hee ila ni Kama alikuwa anamkaribisha yule mwingine ambae nilikuwa simjuii ila ni kazurii jamani mhh 😘 , “Aah nishakaribiaa ndani usijali ” nilikuwa sijawaelewa bado ni kama wananitaniaa Fulani maan naona kila mtu ni anajifurahisha bhana “Mhhh mbona kama mnanichanganyaa mjuee hhh hebu acheni kunichekesha mjuee hhh” niliongeaa “okay ntaelezeaa hilii najua hujanielewa bado Ayra” nilibaki natoaa macho kama vile mwenye kuchanganyikiwa mjuee
“Okay by the way sister mimi naenda nyumbani bhana kwaherii , mama yupo mwenyew ” alisema Ayman “okay ngoja nikupe pesa ya nauli” alicheka tu akakataa kwa kichwa huyoo akaondoka zake nilibaki namtizama tu huyuu mpuuzi nasindikiza kwa macho tuu mhh nilikiwa na maswali niliwakaribisha ndani na magandwa yaoo maan wao hata hawajabadili magwanda
“Okay Ayman huyu ni mdogo wangu wa damu ila kikazi ni mkubwa wangu kikazi pia samahani kwa kilichotokeaa ile siku ujue nilivurugwa sana ila samahani shemej ” alisema Majid nilikuwa namtizma huku nimebinya jicho moja na kupandisha nyusi moja piaa🤨 ,aliendeleaa kusema
“Najuaa nilikukoseaa na pia ujuee mimi hapa ile siku ya sherehe mdogo wangu alikuelewa kinomaa yaani ni vile tu hujajuaa ndipo akamuaa kuniuliza kuhusu wewe maan anajua kama nina yule mpenzi wangu Clara nilimuelezea kila kitu kukuhusu na amekupenda sana ni vile hujuii tu yaani naelewa pia kama nilikukosea sana , ila jaribu kusahau na nitawaacha nyie wenyewe niwapishe mimi niendelee na kazi zangu zingine naomba niwapishe mzungumze si ndio mkuu” alisema hyoo kauli ya mwishoo alikuwa anamwambia yule kijana aliekuja nae , alitabasamu tu ni kama ana aibu Fulani hivi na huyu naee mhh mbona wakiume afu anataka kunieleteaa mikazo zero 🙄😁
Episode 10
“Haya nakusikiliza naomba unielezee kila kitu ujue mnanichanganya siwaelewi mjuee mhh hhhh nachoka miee 🙌” alinitizama nilikuwa naongea kwa panic mnoo yani utasema nimemezwa sumu vilee yaani nilivyopanic hapo maan nilikuwa naona hawa wajeda wanataka kunizoeaa sasa mazoeaa ni yamezidi khaa 🙌, alinitizama kwa muda akaaachia tabasamu tuu huku ananiangalia “okay I want to be trustfull to you ” nilimkata jichoo baya moyoni nilimtukana hhh mimi nae jamani hapana 😅 “okay madam najua una maswali mengi ila nakuomba muda wako wa kutosha ukiwa free nitakueleza kila kitu alafu mimi sitakiwi kuzunguka na haya magwanda ujuee madam ?” Moyoni nililiiona kama lipuuzi Fulani hii
Aliomba kuondoka nilikubali aondokee nikaanza kumchamba sasa Ayman kwenye simu sasa yeye ni hanijibuu maan nilikuwa natuma text , nilikasirika mimi siku yangu yote imeshaahribikaa , hivi hawa wajingaa wananiona mimi kama paper wao wa kuchezea chezea tu etyy yaani first kiss ni kaka afuu etty ananiaproach mdogo mtu are they serious? 🤔 sio bure hawa watakuwa ni wanamatatizo yaa akili inshort mhh maan mbona mimi nachoka sasa khaa 🙌, niliwaza hadi nikahisi kichwa changu kitapasuka sasa maan hii sio kweli jamni mhh hata kama ni wewe unge waza sana katika hili kwakweli liliniwazishaa mimii mhh hadi nilikiwa najihisi kama nafreeze 🥶
Niliendaa nyumbani sasa , maan muda ulikuwa ushapita wa kutoshaa yaani nilipigiwa simu na namba ngeni kwenye simu yangu sikujua ni nani niliiopokea simu sikuwa na hiyana kabis kwenye kuipokeaa nilipokeaa maan mimi huwa mwepesi kupokea namb ngeni kulikoo hata namba nizazojijuaa mimi hapa 😁😅huwa ni wa ajabu kidogo
“Ooh hellow beauty 😍, naitwa Ridhwan bhana nilikuja asubuhii dukani kwako unanikumbuka nahisi ” nilijuaa ni yule mjeda sikuuuuliza katoaa wapi namba yangu nilikaa kimyaa piaa nikamsikiliza maan najua tu alikuwa kaitoa kwa kaka yake Majid kama alivyokitambulisha kuwa ni kaka yake “mhh sawa nakusikiliza” nilijibuu mimi mama nyodo 😁 , “okay …” aliongeaa mengi sana huyu kijana afu kwenye simu kachangamka jamani afu etty yeye ndio General wa camp ambayo wapo wenyew huku mhh nilishangaa mimi nilijuaa kuwa wajeda wote ni 45🤭 , wajeda msinishambulie tafadhali nimeropokaa tu hhhh mimi nae jamani hapana 😆😆
Siku zilipita na yule mjeda alikuwa ananijali afu kumbe yeye ndie alioniwekeaa oder jamani nachoka mee hhhh Mungu shusha duniaa niiingiee ndani , tulikuwa tumezoeaana ila kwenye simu na yeye ndio alikuwa jaji wa kuongeaa mambo yake bhana mara aniambie ananipenda mimi nikuwa namuona kama katuni tu nisiongope jamani nisiwe mkweli nilikuwa namuona kama vile katuni, ila kuna kamaoyo kakishetani kalikuwa kama kananiambia nampenda ila moyo wa Roho Mtakatifu unanambia ni kijana wa hovyoo tu
Hii siku mwenzenu likanikuta ngondoo ilikuwa jumapili khaa huyuu mkaka hapana nimekaa zangu kwa kutuliaa sina hili wala lile nashangaa mlango unagongwa jamani mhh choka me 🙌, naenda kufunguaa nakutana na ugeni ni yule Rizwan na ndugu yake term hii hakuja na magwanda hapa ndio niligunduaa kuwa huyu ni pisi kali kweli jamani 🤭🤭, niliwakaribisha ndani ila nilikuwa nina aibu palivyokuwa hovyo hovyo yaanu mimi mwanamke mimi Wallah naapa kwa Mungu wangu mhhh siwezi kutoboaa kama mambo yenyewwe ndio haya
Inaendelea….. 🔥

