MWALIMU MKUU, TARATIBU JAMANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 16
Basi hakuamin, akaanza kunambia sababu ya mimi kutaka kuachana na mimi, nikamjibu tu kuwa, siwez kuwa na mwanaume ambae kwanza hawez kusema ukweli, na pili siwez kuwa na mwanaume kila siku visingizio, maneno mengi ila matendo ni sifuri, akaana kunibembeleza bembeleza ila nilishaamua, sijui hata nilikuwa najiamin nini, nikaamua kujikita kwa mkuu tu, nikiamin kuwa huenda mungu ndio amenipangia kuwa na mwanaume kama huyo…
Basi bana nikamtumia sms mkuu ya mambo, yaan ni kama alikuwa hajategemea , kuanzia ananifahamu ananijuaga kabisa kuwa huwa sijali sana kuhusu yeye..
“ haloo mamaa, kuna shida yoyote ile ambayo unayo, nambie nimtume mtu aje kukusaidia, maana mimi nipo mbali, akanambia baada ya mimi kupokea simu…
Nikashangaa kwanini amekuwa na wasiwasi wa ghafla vile, nikatabasamu tu kisha nikamuambia “ mimi sina shida yoyote ile nilisema nikusalimie tu..
Nikashangaa anashusha pumzi na kusema “ ungekuwa hivi kila siku nina uhakika kabisa sasa hivi ningekuwa nimeshakuoa, nashkuru sana mrembo wangu kwa kunijulia hali, nikityoka huku shamba nitakuja kukuona mamaa, maana hata mimi nafanya kazi huku ila kila dakika nakuwaza wewe tu, yaan kama una mganga basi huyo mganga wako ni fundi hasa, yaan kama wanaume wangekuwa kama ambavyo mimi nipo kwako hata usaliti tungekuwa tunausoma kwenye vitabu vya kale…
Nikatabasamu na kusema “ nimekaa nimefikriia nakuona kuwa, ni bora mwanamke kuwa na mwanaume ambae anampenda sana kuliko mwanaume ambae yeye ndio anampenda, na mungu alivyo fundia akanikutanisha na wewe, nadhan naweza kujifunza kukutii na maisha yetu yakaenda sawa, ila naomba tu usiniumize maana moyo wangu wa matope, yaan ukimwagiwa maji tu unamomnyoka……..
“Nakuja sasa hivi mamaa, akatuma sms, nikashangaa huyu vipi kwa sababu nilijua kuwa ana kazi zake anafanya, sasa inakuwaje mpaka anakuwa ananambia habari za kuja na wakati najua kabisa yupo mbali na ana shughulika na mambo yake…
Kweli baada ya kama dakika ishirin hivi nikashangaa naingia nae ndani, kwa kuwa nilikuwa nimetoka kuoga, hivyo wakati naingia ndani nashangaa yupo nyuma yangu, akanibeba kisha akaanza kunizungusha kisha akasema “ mamaa nimeshindwa kufanya kazi, hivi umenifanya nini wewe mtoto, nikamziba mdomo wake na kidole kisha nikamuambia “ shiii hupaswi kuongea jambo lolote lile ukiwa na mimi, zaidi ya nakupenda sana na kulisifia penzi ambalo nitakupa…
Akashusha pumzi kisha akanambia “ sawa mamaa, nifanye utakavyo, nilikuwa nina beseni kubwa nikapasha maji kisha nikaanza kumuogeshea ndani, akawa ananiangalia huku anatabasamu, amemaliza nikamtoa kwenye maji kisha nikamfuta na taulo, yaan hapo saa nyingi abdalah kichwa wazi kasimamia ukucha anataka haki yake ya msingi, nikaanza kumpaka mafuta, hakuwa na la kufanya zaidi ya kuhema kama mtu ambae amekata tamaa, mwisho nikamgeuza na kuanza kumfanyia masaage, aisee sijawah kuona mwanaume anapiga kelele kuanzia nimezaliwa, mpaka ikabidi sasa nifungulie redio maana niliona atakuja kuniabisha mwisho wa siku…
Nimemaliza kufanya utundu wangu, nikaanza sasa kuongoza mapambano, yaan mwamba ni alikuwa anatubu dhambi zake zote na kuniahidi ahadi ambazo sidhan hata kama anaweza kuzitekeleza au ndio anaongea tu……..
Nilipohakikisha amesharidhika nikuamuachia nay eye aongoze mchezo, sijui ndio nilikuwa nimejiachia maana nilikuwa nasikia raha ajabu, na sijawah kupata goli kuanzia nimezaliwa ndio nilipata hapo, na kingine hata yeye nahisi hakuwah kumfikisha mwanamke, sasa alipokuwa ananiona natetemeka nay ale maji yanamwagika ndio kama nilikuwa namuongeza nguvu a kiume, mwisho wa siku wote tukajikuta tumechoka sana na tukalala kama magogo vile……
Episode 17
Basi sijui mwenzangu hata aliamka saa ngapi nikakuta kavaa kitenge changu anapika, nikamuuliza anapika nini, akanambia nikaoge nije kula maana yeye ameshaoga…
Kumbe alivyo kichwa hamna ameenda kuoga na kitenge changu, yaan hata hakuwa anaogopa majiran watasema nini, au majiran watamchuykuliaje kabisa..
Basi nikaoga nikakjyta ka chumba changu kamepangwa kisha akaanza kunilisha pale, na mara baadaya kunilisha kwa mahaba makubwa sana, akanilaza kifuani kwake akaanza kunichezea nywele, na kunipigia hadith za hapa na pale mpaka nikapitiwa na usingizi..
Nimeamka asubuh, sijui hata mkuu shabani alienda nyumban kwake saa ngapi, maana alikuwa ameshaoga na ameshavaa na hapo ambapo alikuwa alikuwa ameshajiandaa kabisa kwenda kazini, ila akawa amekaa pemben ya kitanda changu ananiangalia tu…
“ ohhh boss ngoja na mimi nijiandae haraka haraka twende wote..
“ aaaa mimi sio mkuu wako, niite mume wangu, unaweza kulala na boss wako na kumpoa maraha kama ambayo umenipa mimi, au ndio unaongea tu, mimi kuanzia leo naomba uniite majina mazuri na siku ambayo utakuwa tayar nitakuoa, nakupenda sana Sheila na nipo tayar kuishi chini ya amri zako, maana najiona kabisa bila wewe siwez kuishi hata nikitaka kuishi, nikamsogelea na kumkumbatia kisha nikamuambia “ asante sana boss kwa kuja kwenye maisha yangu…
“ aaaa boss tena? Akauliza..
Nikaanza kuandaa sauti yangu kwa ajili ya mideko kisha kwa sauti ya madeko “ samahan mume wangu..
Akatabasamu kisha akanikiss kwenye paji la uso na kusema, “ leo usije kazin, nimeshapokea ruhusa yako, naomba unipikie chakula kitamu mchana nitawah kurudi hivyo nataka kula mimi, siwez kukaa na mwanamke hodari kama wewe alafu nisile kitu roho inapenda, kisha akaacha shilling elfu kumi na tani, kisha akanambia kuna mtu ataleta kuku kwenye saa tatu hivi , sasa waza kitu kizuri cha kuniburudisha kisha akaondoka zake…
Yaan hayo ndio mapenzi ambayo hata mimi mwenyewe nilikuwa nayaota, basi kweli kwenye majira ya kama saa tatu kasoro nikaletewa kuku ameshachinjwa na amenyonyolewa kabisa na kukatwa katwa, na baada ya hapo nikawasha jiko kisha nikamchemsha na kuanza kumpika, na kwenda kuhemea vifaa vya kupikia hilo pilau..
Kweli kwenye majira ya saa sita kama na nusu, nashangaa nasikia sauti ya pikipiki, mara mwamba huyu hapa, alinikuta ndio naandaa andaa meza, akanisogelea kisha akanikumbatia na kunambia “ kazin hakukuwa kuna kalika kabisa, kila dakika nilikuwa nafikiria, ni muda gani nitarudi kukuona, maana nimeshazoea kukuona sana mke wangu kipenzi, naomba usije ukawaza hata kwa bahati mbaya kukaa mbali na mimi…
Nikatabasamu tu kisha nikamuambia “ twende ukaoge kisha uje kula, kweli akaenda kuoga na akawa anakula huku ananitazama, na amemaliza nikaona akawaite na watoto wake, maana walikuwa wawili, sikuona kama ni busara kuishi na mwanaume na nikampikia vizuri bila kujali wanae wanakula nini, huenda wanakula ugali na chukuchuku kumbe sisi huku tunangurumisha kuku…
Ni kama hakutegemea kabisa, akaniuliza tena “ umesema nikawaite watoto?..
“ ndio mume wangu, damu yangu ni damu yako na siku zote nitapambana sana kuhakikisha naweka furaha na amani kwenye uso na maisha yako, siwez kula vizuri bila kujua wanao wanakula nini, nikasema kisha akasogea na kunikumbatia kisha akanambia “ hakika sijakosea kukuchagua Sheila..
Basi akapiga simu, watoto wake wakaja, walikuwa sijui hata wanacheza wapi, kwa sababu walikuwa wamechafuka balaa, nikawaogesha pale kisha nikawatengea chakula, nikawa naona mkuu wangu ananiangalia huku anatabasamu tu, sikumfatiliza, nikamuulia kuwa watoto huwa wanalala na nani, akanambia kuna kijana huwa anakaa nao na huwa anamlipa kwa ajili ya kuwaangalia…
Sijui kwa nini roho iliniuma nikamuahidi kuwa yeye atoe matumizi ila mimi nitawapikia kuanzia chakula cha asubuh, mchana na jioni, na kweli nikawa nawaangalia ingawa walikuwa wanalala sehemu nyingine, na walionekana kunipenda sana, sijui kwanini hawakuwa hata wanataka mama yao arudi, wakawa wanataka kukaa na mimi tu…
Basi maisha yakaendelea, mkuu akanipunguzia majukum kazini, nikawa natoka mapema ili nimuandalie mazingira yake, kuanzia chakula na kujiandaa kwa ajili yake, na haikuwa siri tena, bali ilikuwa ni raha mustarehe, yaan niseme nini nisipewe mimi, na alikuwa hata hashindi kwenye mpira wala makamari kama wenzake, na muda wote ambao hakuwa na kazi alikuwa anashinda nyumban…
Episode 18
Basi akanambia hawez kuendelea kukaa na mimi bila ndoa, hivyo anataka niwaambie nyumban kwetu kuwa kuna mwanaume anakuja na mwisho wa mwezi huo, ilikuwa ni mwezi wa kumi na moja, kuwa atapeleka posa na hataki kucheleweshwa, maana anataka ndoa iwe mwezi wa kwanza…
Nilidhan utani ila kweli ilikuwa ni hivyo, akapeleka posa, na kweli harakati za ndoa zikaanza, tukaanza kuwaalika watu, hakuna ambae aliamin kuwa mkuu kwanza anaweza kutulia, maana alizalisha kila mahali, alikuwa na watoto watano kwa mama wan ne tofauti, na alikuwa anawahudumia wote…
Siku ya ndoa Yule mwanamke ambae alikuwa anaishi nae alikuja, na alipokuja akaanza kutukana ukumbin na kusema “ wanakijiji si niliwaambia, huyu mwanamke muwe nae makin, kama ameweza kumchukua mwanaume ambae nimeishi nae miaka mitano na akamuoa yeye ambae wamefahamiana hata mwaka haujaisha ujue kweli uchawi upo…
Mume wangu akasimama kisha akasema kitu kimoja ambacho nadhan wanawake wengi wanatakiwa kujifunza sana ili kutokuvumilia kukaa na mwanaume ambae unajua kabisa unapoteza muda, kwa kigezo kuwa nimezaa nae, au nimekaa nae sana alafu atanioa, akasema “ wanaume ambao wapo hapa wote wanajua, mwanaume alie kamili hawez kuoa kwa sababu umeishi nae sana, hawezi kuoa kwa sababu umezaa nae, na hawez kukuoa kwa sababu umemvumilia sana, kwa sababu hio sio kazi yako, na uvumilivu wako, au kuzaa kwako hakumfanyi akuoe, bali mwanaume anaoa pale anapokutana na mwanamke ambae atamfanya ajihisi mwanaume kwake, anaoa mwanamke ambae atampa utulivu wa kiakili, kihisia na kimwili, na ndio maana kila siku tunasema na naomba hili kila mtu alielewe kuwa, hata kama mwanaume wako anachepuka na hajali kuhusu kuchepuka kwake basi jua hakupendi, sisi wanaume hatupo hivyo tukipenda kweli, kwanza tunakuwa hatuoni mwanamke bora kama mwanamke wetu, na mwanaume ukiweza kuzifungua code zake lazima atakuoa tu, na wewe mwenyewe unajua ni kwanini sijakuoa, hivyo ukimsumbua mke wangu jua haupambani nae bali unapambana na mimi na nadhan unanijua vizuri, kisha akaachia mic na kutoka nje, maana alitaka kukitoa kiwingu…
Siku zote mwanaume akitaka kukuoa atakuoa tu, hata kama ulishazaa, hata kama uliachika, hata kama ulikuwa Malaya, hata kama ulikuwa na kasoro gani, ila kama kuna kitu anakipata kwako na kina mpa utulivu basi jua atakuoa, tuache kujichukia, tuache kufanya vitu kwa ajili ya kufurahisha wanaume tukiamin kufanya hivyo kutapelekea ndoa, tuache kujiaminisha kuwa hawez kuniacha kwa sababu nimezaa nae, tuache kuzaa na wanaume ambao hawajatuoa, maana kuna uwezekano mkubwa sana akawa na mtoto wako na asikuoe, tuache kuvumilia mahusiano yasioeleweka kwa muda mrefu ukijifariji kuwa nimetoka nae mbali, hakuna sehemu ulipotoka na huyo mwanaume hata moja, jijali, acha kuvumilia ujinga na asikushawishi uzae ili akuoe, maana ukifanya hivyo ndio anaenda kukuacha, na kingine jistawishe mwenyewe kiakili kihisia, na kimwili, ili thamani yako iongezeke na mtu aogope kukupoteza hata kwa bahati mbaya…
Ukumbi mzima kimya, na sherehe za harusi yangu zikawa zinaendelea kama kawaida…
Episode 19
Harusi ikawa inaendelea kama kawaida, hakuna hata mmoja ambae alithubutu hata kufunbgua mdomo wake, mambo yote yakaenda kimya kimya mpaka kila kitu kikaisha..
Tukapewa kalikizo kafupi cha kama wiki mbili kwa ajili ya fungate, na kweli tukaenda fungate huko orion hotel na baada ya kufika huko ikabidi nimuulize sasa kwa nini aliamua kunichagua mimi licha ya kukutana na wanawake wengi sana ambao ameshazaa nao na kulala nao…
Akacheka kisha akanambia “ najua nikikuambia utajisikia sana wewe..
“ amna mume wangu niambie bana, nikazidi kusisitiza…
“ unajua nini Sheila, unajua namna ya kuongea na mwanaume sana, nilishakata tamaa kuhusu kupata amani ya moyo na nafsi, nilikuwa nina hasira na kila ninaemuona anaishi kwa amani kwenye ndoa na mahusiano yake, nilikuwa nina kisiran sana kwa kila mtu, ila kama ulikuwa na uchawi ndani yako, maana kwa mara ya kwanza ambapo ulikuja kuongea na mimi ofisin kuhusu nilivyoongea vibaya na walimu pale shulen, kuna namna moyo na akili yangu ilitulia, nilipata hisia za ajabu sana kuhusu wewe, nikataman niwe karibu yako wakati wote, nikataman niwe na wewe kwenye maisha yako yote, kuanzia pale nikajiambia kuwa ikitokea umenikubali nitatulia na wewe tu…
Sijui ni kwanini nilijiapisha vile, ila ukweli ni kwamba nilikuwa na amani sana nikiwa na wewe, kuna muda nilikuwa nashindwa kuhimili hisia zangu kabisa, yaan naweza kuwa na mwanamke wangu nyumban ila siwez kufanya nae kitu chochote kile na nakuwaza wewe tu, nawaza labda lile tendo nikifanya na mtu mwingine ni kama nakusaliti, kuanzia pale hisia zangu za kimwili nikawa nataka kuzimalizia kwako, na sijui ni kwanini nilikuwa najisikia hivyo……….
Zilikuwa kama simulizi tu, tulikuwa tayar ni mke na mume, hivyo hadith yoyote ile ambayo inaweza kuja katitaki yetu ilikuwa ni simulizi ya kawaida sana kwetu…
Basi baada ya fungate tukarudi kuendelea na majukum, kazin wakawa wananitania kuwa nilikuwa najifanya simtaki mkuu na wakat nilikuwa nimekufa nimeoza kwake, nikawa nacheka tu…
Wanawake zake hawakuacha kunisumbua ila siku zote alisimama na mimi, alinitetea na kupigana vita vyote ambavyo nilipaswa kupigana mimi, na hapo ndipo nilipogundua mwanaume haoi mwanamke ambae amedumu nae sana, haoi mwanamke alizaa nae, hivyo acha kuharibu kizazi chako kwa mwanaume ambae hajakuoa, bali mwanaume huwa anaoa mwanamke anaemtaka hata kama amekutana nae wiki moja…
MWISHO

