MWALIMU MKUU, TARATIBU JAMANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 13
Nikawa namjibu ninavyojisikia, kwa sababu sikuwa namtaka hata kidogo, basi akawa anakasirika ila sikuwa namjali, maana maisha yangu nayaongoza mimi mwenyewe na sio mtu yoyote Yule…
siku moja nikawa naongea na mwalimu mmoja pale kazin, namuambia kuwa nimepata mchumba na nadhan siku sio nyingi naweza kuolewa…
“ na vipi kuhusu mkuu? Akaniuliza…
“ mkuu kafanya je tena, mbona mimi sikuwah kuwa na mahusiano nae hata mara moja, nikajibu kwa sauti ya kujiamin, nikashangaa mtu anaingia kwenye ile ofisi ambayo tuliokuwepo, sijui ni kwanini nilishtuka sana…
Akamfata Yule mwalimu ambae nilikuwa nae, kisha sijui hata alimuambia nini nikashangaa anaondoka kisha akabaki na mimi…
“ unataka nini wewe? Mbona napambana kufanya kila kitu ili kuhakikisha kuwa unakuwa mke wangu lakin hauoni, shida ni nini, na kwanini unakuwa hivyo lakin?…
“ mimi sikutaki, sitaki kuwa na wewe, sitaki kuwa na mwanaume ambae ananilazimisha niwe nae na wakati anajua kabisa kuwa simuhitaji, nikaongea kwa sauti ya kujiamin sana…
Nikashangaa ananisogelea kisha akanishika mikono yangu kwa nguvu kisha akasema “ sikuachi, siwez kukuacha Sheila na huyo mwanaume wako nitahakikisha namjua, hakuna mwanaume wala kiumbe chochote kile ambacho kinaweza kuja kuntenganisha mimi na wewe, wewe ni mke wangu na daima utakuwa mwanamke wangu siku zote kwneye maisha yangu…
“ lakin mimi sikupendi, nikasema…
“ usijali utanipenda taratibu na kwanza hata vitabu vya dini vinasema kuwa mwanaume mpende mkeo na mwanamke mtii mumeo, hivyo sina haja ya upendo wako, nataka uwe kama unavyokuwa kila siku kwangu, na naahidi nitapambana kwa kadri ya uwezo wangu uwe mwanamke mwenye bahati zaidi duniani…
“ nataka kuhama hapa, maana sina amani kabisa hapa kijijin na yote haya ni kwa sababu yako, ni kwanini hauwezi kuniacha niwe na amani kwenye maisha yangu? Kwanini hautaki kuniacha niwe huru?…
“ amani huwez kuipata kama unanivuruga mimi kila siku, na kuhusu uhuru hakikisha unakuwa na mimi ndio njia pekee ambayo unaweza kuitumia kuupata uhuru wako…
Sasa sijui ndio mapenzi au ndio nini, yaan mkuu akikaa karibu na mimi, ni kama anashindwa kuhimili hisia zake, akaanza kunipapasa, na baada ya hapo akaanza kunikiss..
Nikamsukuma huko maana niliona kama ananichanganya tu, akanishika kwa nguvu kisha tukabaki ile zero distance kisha akanambia “ kwanini umeniroga?..
Nikawa kimya sasa inakuwaje nimroge na wakati hata kuwa nae sitaki, nikaona kama amevurugwa vile, nikamuangalia kisha nikamuambia “ sijakuroga mimi naomba uniache niende zangu..
Akaanza kunikiss pale, nikamsukuma kisha nikamuambia “ ni kwamba hauoni kama tupo ofisini lakin mkuu..
Akahema kwa nguvu kisha akanambia “ nashindwa mamaa, nashindwa kukaa na wewe alafu nakuangalia tu, yaan hisia nilizo nazo sijui hata nafanya nini ili niweze kujihimili, haujui tu kuwa nakosa usingizi kila siku kwa sababu yako, usiku mzima naona kama upo pemben yangu unanipapasa mwili wangu, hivi wewe mtoto umenifanya nini mpaka nakuwa hivi lakin, juzi nusu nipate ajali yaan naendesha pikipiki nikiwa njian nakuona kama umekaa mbele yangu, yaan mpaka nikaingia mtaroni, hivi wewe umenifanya nini mpaka nachanganyikiwa kiasi hiki Sheila …
“ samahan mkuu naomba uende kuendelea na majukum yako, na mimi nataka kwenda darasan, nikasema kisha nikajitoa kwake na kuondoka zangu…
Nikaenda darasan, ila alikuwa kila dakika anazunguka zunguka karibu na hilo darasa ambalo nilikuwa nafundisha, yaan kwa namna ambavyo watoto wanamuogopa darasa lilikuwa kimya balaa, kumbe mwamba analinda chombo chake…
Nimetoka akanifata kisha akanambia “ mbona umekaa darasan kiasi chote hicho, hata sikumjibu, mara akaniita ofisin, nilikuwa mpaka nawaza kwenda kwenye ofisi yake maana ni atazungumzia namna anavyonipenda na namna ambavyo anataka kuwa na mimi na mipango ya ndoa ambayo hata mimi sikuwah kuwa nayo hata mara moja kwneye maisha yangu…
Episode 14
Ila nilipoenda haikuwa hivyo akanipa kazi nikaanza kuifanya nay eye akaondoka zake na kuniacha ofisin pekee yangu, sijui ni kwanini alipoondoka kuna namna kamoyo kakaanza kuniuma na wakati nilikuwa najua kabisa kuwa sina hisia nae, na simtaki hata kidogo…
Yaan nimefanya kazi kwa mawazo, nikawa najikuta mpaka nataman awepo awe ananiangalia tu, nikajukuta nakuwa na mawazo ya ghafla ambayo sikuwah kuwa nayo hata siku moja kwenye maisha yangu…
Nimefanya kazi kwa tabu sana, na kila wakati nikawa naangalia nje, nione kama naweza hata kumuona hata kwa bahati mbaya, ndio kwanza alikuwa zake anacheka na walimu wengine, yaan alianza kuwa mtu wa watu mpaka kila mtu akawa anamshangaa, akawa anaweza akataniana na kuwasaidia baadhi ya majukum hata wafanyakazi na walimu ambao walikuwa wapo chini yake…
Mimi huku nilipo roho haikuwa inanitulia hata kidogo, nataman hata kumuita, basi nikafanya kazi yangu niliyopewa na baada ya hapo nikalala zangu ila hata usingizi haukuwa unamuja maana roho ilikuwa inaniuma sana, maana niliona kama ananipuuza sana…….
Basi muda wa chakula cha mchana ulifika nikashangaa amekuja na sahani mbili za chakula ofisin, kisha akaniwekea moja mezan..
Sijui ni kwanini nilijisikia raha kiasi kile kwa mara ya kwanza, ila sikutaka kula nae pale ofisin na badala yake nikatoka na kwenda kula na walimu wenzangu, ila kabla sijatoka akaniita..
“ abee mkuu..
“ mbona kama unanikimbia, au ndio hautaki kula pamoja na mimi?..
“ hapana sijasema kuwa sitaki kula na wewe, ila nadhan kuwa nataman kula pamoja na walimu wenzangu tu, naomba ufurahie chakula chako, kisha nikatoka zangu, kumbe nimemuacha mwamba na hasira balaa, na mimi huku nikawa najiambia kuwa “ yeye alivyoniacha ofisin pekee yangu alifikiria nini, yaan aniache na mimi nisimuache acha aone maumivu ya mtu kumdharau…
Basi nikaenda kula pamoja na wenzangu na baada ya hapo nikaanza zangu kuondoka pekee yangu, sikutaka kabisa kupanda kwenye pikipiki ya mkuu..
Ila nafika nyumban namkuta sijui alipita njia gani, na ile naingia ndani, nikashangaa mwamba amenidaka kisha akanikumbatia kwa nguvu na kuanza kunikiss..
“ nataka nini wewe, nikaanza kumuuliza..
“ yaan sina mwanamke zaidi yako, na nikizidiwa hakuna mtu hata mmoja ambae anaweza kukata kiu yangu zaidi yako sheila, naomba kidogo tu, yaan kidogo tu, yaan ule muda ambao nilikukiss shulen nilikuwa nakutaman balaa, ila ndio mazingira hayakuwa yanaruhusu, ila naomba nionee huruma mwenzio maana naumia sana, na nina hisia sana na wewe…
Kwanini lakin hautaki kuniacha niwe huru na maisha yangu, nikasema na nilikuwa nina uhakika kuwa hata hio nguvu bya kuniacha hana, hata hakunisemesha, nikashangaa ananisukumia ndani, kisha akaana kuingiza mikono yake katikati ya bluazi yangu akiwa amenikumbatia kwa nguvu, akaanza kunipapasa taratibu sikuwa nataka, ila akanivua nguo zote kwa nguvu zake kisha akanilaza kitandani, hapo nahangaika balaa kisha akazama kule, hata hakuwa anajali malalamiko yangu, wala lawama zangu kwake na alichokuwa anakitaka ndicho alichokuwa anakifanya……
Episode 15
Amemaliza kufanya ambacho alikuwa anafanya, akavaa haraka haraka kisha akanirushia p2 na kusema “ wiki hii tutaenda kuweka kitanzi ambapo niwe Napata haki zangu kwa wepesi, na sitaman kabisa mtoto ambae tutamzaa mimi na wewe awe ni mtoto wan je ya ndoa..
“ hivi unaakili kweli wewe, unamaanisha nini kusema hivyo, naomba uniache shabani niwe na uhuru wangu, maana mimi kuna mwanaume wangu nampenda sana, na nipo tayar kufanya jambo lolote lile kwa ajili yake, na hivi karibun natarajiwa kuolewa naomba unipe amani yangu, maana naamin siku sio nyingi nitahama……
“ kuhama ilo wazo nadhan haupaswi kabisa kuwa nalo, maana nitafanya kila ninalowea kuhakikisha kuwa hautoi mguu wako kwenye hii shule, yaan unataka kuondoka kwneye macho yangu na mimi unataka kuniacha kwa nani? Yaan ukisema uhame basi hakikisha una hama na mimi, laa sivyo hakuna sehemu hata moja ambayo unaweza kwenda, na kuhusu kukuacha naomba unisikilize kwa makini, nina uhakika mara zote ambazo naongea huenda haujawah kunielewa hata mara moja, yaan iwe jua, iwe mvua, iwe baridi iwe joto you are my wife, na hio nguvu ya kutengana na wewe na kukaa mbali na wewe nina uhakika kabisa sina, hivyo SIKUACHI NG’OO, labda nife kabla yako, na bado mzimu wangu utakuwa pemben yako, kisha akaondoka zake…………..
Nikaona sasa hichi kizaa zaa, yaan nimeshamuahidi mwanaume apeleke posa nyumban kwetu, alafu dakika za jion najikuta hata mimi mwenyewe naanza kumuwaza sana mkuu wangu, sijui ni kwanini nilikuwa namuwaza kwa kiasi chote hicho….
Basi ameondoka akaanza kunitumia sms anasema “ Sheila usije ukawaza jambo lolote lile la kuachana na mimi, kwa sababu kuanzia nimezaliwa sijawah kuchanganyikiwa na mwanamke kama ambavyo nimechanganyikiwa nilipokuwa na wewe, naapa kuwa siwez kuwa mbali na wewe wala kukuacha kwa namna yoyote ile, mimi nakupenda hicho ndicho ninachokifahamu na nina uhakika wa asimilia nyingi kuwa utakuja kjunipenda huko mbele, maana upendo wangu ni lazima utakufanya unipende tu, nipo tayar kubadilika, nipo tayar kuwa kama unavyotaka, nipo tayar kwenda kutoa posa hata kesho ili nikuoe wewe tu, ila hata ndoton sipo tayar kukuacha kwa namna yoyote ile…
Sijui ni kwanini nilianza kujisikia vizuri kwa mara ya kwanza kwa sababu ya maneno yake, nikajikuta natabasamu kisha nikaikumbatia simu yangu kwa nguvu na kuanza kujiambia kuwa ‘ hata mimi nahisi kama naanza kukupenda ila sikutuma sms nilijisemea tu…
Basi bana maisha yakawa yanaendelea kwenda na akawa ananijali sana, ila Yule mwanaume ambae nilitegemea ndio anaweza kuja kunioa akaanza kuwa muongo muongo, yaan alikuwa ananidanganya mpaka kwa vitu ambavyo hata hakuwa anapaswa kudanganya, yaan hakuwa anajua kuna mwamba hata nikimuambia nini basi yupo tayar kufanya chochote kile kwa sababu yangu, alafu yeye anaanza kusema kuwa mambo yake ambayo siyaelewi…
Nikaona sasa huu upuuzi, nikamuambia tu mimi na wewe nadhan hatukupangwa kuwa pamoja, mimi na wewe hata iweje hatuwezi kuwa mke na mume, nadhan tuachane…
Yaan hakuamin, sijui ndio alidhan kwamba nampenda sana au ni vipi, kwa sababu nilikuwa nina uhakika kuwa nilitaka kuolewa na mwanaume mwingine kwa sababu ya kumkwepa mkuu, alafu mtu anaana kuniletea za kuleta wewe kuweza kweli..
INAENDELEA


1 Comment
I went over this internet site and I think you have a lot of wonderful information, saved to favorites (:.