KIUTANI NIMEINGIZWA UKUBWANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 6
Prisca alijaribu kumsukuma lakini Jimmy alimshikilia kwa nguvu.
Acha Jimmy
Unaogopa si ndio?
Unataka kunibaka?
Jimmy aliachia tabasamu la kejeli Umewahi kuona wapi mume alimbaka mke
wake?
Mimi na wewe sio wana ndoa halali.
Sio kweli Jimmy alivuta taulo na Prisca alikuwa hana nguo Please Jimmy usifanye hivyo?
Prisca alilalamika sana mpaka machozi yalimtoka, Jimmy alitoka juu yake na kumfunika na taulokisha akakaa pembeni Prisca nae
alinyanyuka haraka akasimama.
Hata kama kuna sheria nimeweka nahitaji heshima iwepo kati yetu na sipendi ushindane
na mimi Prisca bado alikuwa na hofu hakumjibu, Jimmy alinyanyuka pale kitandani akachukua shati lake na kuondoka
Siku zilienda na maisha yaliendelea. Siku moja prisca alikuwa amekaa sehemu na
mwanaume mmoja wakawa wanaongea huku wakipaza chakula. Mara jimmy na Patrick waliingia kwenye ule mgahawa. Patrick alikuwa wa kwanza kumuona Prisca. “Jimmy umemuona prisca?
Yuko wapi?
Angalia kulia kwako meza ya pili kutoka
mwisho Jimmy aliangalia akamuona prisca anaongea huku akicheka na kutabasamu kwa furaha. Kitendo kile kilimuumiza lakini alionyesha kutokujali
Achana nae twende zetu.
Walienda kukaa kwenye meza muhudumu alifika na kuwasikiliza lakini macho ya jimmy yalikuwa kwa Prisca
Wakiagiza chakula lakini kwa upande wa Jimmy chakula hakikushuka
Vipi jimmy mbona hauli? Jimmy hakujibu alichukua kijiko na kuanza kula Kuna muda.
wakati anamuangalia walikutana macho na
Prisca lakini prisca hakuonyesha kujali
Jimmy unampenda? Patrick alimuuliza Unaongea ni wewe? Hebu maliza kula tuondoke
Ni wazi jimmy alikuwa na hasira, walimaliza kula na kuondoka wakamuacha Prisca akiendelea kuongea na mtu wake.
lipofika usiku jimmy alienda chumbani kwa Prisca anabisha hodi na prisca akaitilia Jimmy aliingia ndan na kwenda kukaa kitandani. Prisca alimuangalia kisha akauliza nikusaidie nini mr
Jimmy?
Naomba tuongee.
Wewe si ulisema hakuna kuongea bila sababu maalumu, na wewe kila mara huwa unakuja chumbani kwangu au sheria izoweka. zimeshaanza kukushind mwenyewe?
Jimmy alishusha pumzi kisha akasema. Labda niliweza sheria nyingi kwasababu ya hasira lakini sasa kuna kitu najiona kwako. prisca, siku ulitokana hapa unanifanya nijihisi
tofauti
Prisca alimuangalia uso alafu akaserna Pole sana, tafuta dawa ya kusawazisha hizo hisia zako mimi Prisca sio sehemu ya majaribio
yako ya kihisia.
Prisca naelewa tulianza kama utani lakini mambo yalienda kinyume sasa upo kwangu huoni kama kuna kitu kinaweza kuzaliwa kati
yetu? Hakuna chochote zaidi ya tamaa zako, tamaa
yako haina nafasi kwenye akili yangu najua Imezoea wanawake wawili wawili mimi kwako
sitakuwa na nafasi kabisa maana mwenzangu unaonekana una nguvu na mshipa mkubwa sasa mimi kufa kabla ya wakati wangu sitaki bado nayapenda maisha.
Jimmy alimuangalia kama vile alikuwa anasoma kitu. Kwa mara ya kwanza mwanaume mwenye
pesa, madaraka na jina kudharauliwa na mwanamke ambae hakuwa hata na waklishi. Jimmy hakuwa na la kuongea alinyanyuka
taratibu akarudi sebuleni.
Kuachana na urembo wake anaonekana ana akili sana na sijui kwanini ananifanya nijihisi mnyonge asie na sauti mbele yake?
Prisca alianza kuutambua udhaifu wa jimmy nae akaamua kuanza kumfanyia makusudi Alianza kujihudumia kwa kununua nguo za gharama,
alienda saloon yani alihakikisha anapendeza mno kisha akawa anatoka. Jimmy alizidi kuwa na wivu kuna wakati alianza
kumfuatilia lakini prisca alimshitukia mapema sana na kumpa опус
Bwana mmarekani mbona kama naona
unanifuatilia sana unataka nini kutoka kwangu? Lazima nikifuatilia kila siku unatoka huwa unaenda wapi na unarudi usiku? Prisca akicheka sana.
Ila wewe mwanaume wa ajabu sana, mbona
mimi sijawahi kulifuatilia kwenye mambo yako? Unakuja na wanawake zako mimi sina habari na kwa taarifa yako sijawahi kuumia hata kidogo sijui wewe una hangaika nini?
Siku moja Mida ya saa moja usiku prisca alitoka chumbani kwake akiwa kavalia gauni fupi lililouchinha mwili wake na klatu kirefu cha rangi
nyeusi marashi yake yanayoinukia vizuri na mkono wa kushoto akibeba pochi ndogo nyeusi Jimmy akisikilizia mlio wa visigino vya viatu alipokuwa akishuka ngazi na harufu nzuri ya
marashi yaliwahi kupenya kwenye tundu za pua yake kabla hajamuona.
Prisca waliojitokeza pale sebleni jimmy alisimama na kuuliza. Unakwenda wapi muda huu na ukiwa umevaa
hivyo?
Unaniuliza kama nani?
Hilo swali lako halina msingi sitaki kulisikia. Ok isiwe tabu naenda kuonana na mtu wangu muhimu sana.
Una kichaa wewe hapa ndani hizi mguu wako. Khaaaa Prisca akiwa bado anashangaa alishitukia ana
nyanyukiwa na kurudishwa chumbani. Wewe mwanaume una kichaa, ulipanga sheria
sasa unazivunja hebu nishushe huko Jimmy hakumuelewa alienda kumuweka chumbani
Sasa ile wako utoke humu ndani. Alivamiwa mlango na kutoka
Jimmy alikuwa alimbana sana na kumletea fujo pindi alipokuta kasimama na mwanaume au akiwa anaongea na mwanaume ambae
hamuelewi
Prisca alianza kutupia picha zake kwenye mitandao ya kijamii tik tok na instagram. Pia alikuwa akiweka video za fashion na life style na elimu
Alijitolea wafuasi wengi na coment Wengi walimuita mrembo mwenye akili. Jimmy alikuwa akimfuatilia sana pia alikuwa
anavutiwa sana na mambo anayofanya mtandaoni ila jambo moja lilikuwa lilimkera nipale prisca alipo tuma picha zake wanaume wanaanza kumshobokea, kumsifia na wengine
hata kumuongoza.
Siku moja kuna kijana mmoja alitaka kuonana na prisca kwaajili ya kuongea maswala yake kama vile kuomba ushauri.
Kwakuwa prisca hakuwa na muda alimuomba huyo kijana aende mitaa anayoishi waweze kuongea. Basi prisca akamuelekeza maeneo anayoishi. Baada ya muda yule kijana alifika
wakaenda kuonana kwenye Grosari moja ya Jaribu Wallagita sida wakawa wanakunywa huku
wanaongea mambo yao. Mara Jimmy alikuwa anatoka kwenye mizunguko yake akiwa kwenye gari akamuona prisca, alipaki gari vizuri kisha akashuka na kuwafuata.
Prisca unafanya nini hapa?
Naongea na fan wangu. Wewe kijana hujui kama huyu ni mke wa mtu? Jimmy
*Shhhhh siongei na wewe nyamaza.
Mkuu huyu dada huwa ana ni inspire sana nilitamani sana kuonana nae…..
Pumbavu mkubwa, unashindwa kukaa na
mwanamke wako. unakuja kuniambia mwanamke wangu ana ku inspire toka hapa.
Jimmy unavuka mipaka sasa. Tena wewe unatakiwa kufunga bakuri lako mwanaume nikiwa naongea.
Yule kijana wawatu aliona mambo yanakuwa makubwa taratibu alisogea nyuma akaondoka. Jimmy alimshika mkono prisca na kumvutia kwenye gari.
Chapter 7
utakuwa Jimmy huku niniunidhslilisha ilinifanyia hivi mpaka lini nahitaji uhuru wangu.
“Unahitaji uhuru mke wa mtu? Na hii itatokea kila nitakapokuona na hao wanaume zako wasiojielewa.
Yani mtu ukiwa malaya bwana unafikiria kila mtu ni malaya kama yeye.
*Ongea uwezavyo lakini lazima uwe na heshima watu wanajua wewe ni mke wangu hivyo lazima ujiheshimu.
Jimmy aliendelea kupendeza gari huku wakiungana mpaka walipofika nyumbani kila mmoja alienda chumbani kwake
Kesho yake prisca alienda nyumbani kwao kwaajili ya kuongea na mama yake. Mama naomba nirudi nyumbani nimechoka kukaa kwenye majumba ya watu kama mkimbizi.
“Mmmm unajua sikuelewi hicho unachokiongea wewe uliamua kufunga ndoa kuwa mke wa mtu bila hata sisi wazazi kujua basi nenda kamishina huyo mwanaume na jinsi mlivyo hamna akili unashindwa kumshawishi huyo mwanaume wako aje hata kujitambulisha na kufuata taratibu
*Mama yule mwanaume ni mshenzi tu……
“Hata wewe ni mshenzi kama yeye tu.
“Daaa mama jamani mbona hutaki kunisikiliza?
“Hayo inayojieleza nenda kamuulize kaka yako. Prisca baada ya kujibiwa vile na mama yake aliamua kuondoka na kurudi kwa jimmy na kwenda kukabiliana na mambo yote.
siku zilizidi kwenda jimmy aliendelea kuishi na Prisca kwa mbonde bila hata ya kwenda
kuonana na wazazi wa Prisca. Hatimae prisca alimaliza chuo akawa mtu wa nyumbani.
“Sasa nadhani safari za kuzurula zimeisha nataka ukae hapa ndani tujenge familia.
* Unaitwa ndoto za mchana wewe. Kwa ushauri tu kama una hamu ya kuwa na mke nenda kachague mwanamke huko mitaani mimi sahau siwezi kuwa na ndoa na mwanaume mchafu kama wewe.
Siku zilienda waliendelea na maisha lakini mara kwa mara prisca alikuwa akidai talaka ili awe huru maana bila ya talaka hawezi kupokewa nyumbani kwao.
Siku moja jioni wakiwa wamekaa Jimmy alianzisha mazungumzo.
“Prisca naomba tufanye ndoa yetu iwe rasmi. Prisca alimuangalia kwa muda.
Hivi unajielewa kweli wewe? Mimi nataka talaka wewe unaniambia unataka ndoa rasmi. Prisca wewe ni mke wangu na hii ndoa imeanza rasmi kuanzia siku ile nilipotoa
usichana wako. “Kwahiyo ulifanya makusudi kichaa wewe?
“Iwe kwa makubaliano au iwe makusudi siwezi kukuacha prisca kwa sasa wewe ndio mke wangu wa kufa na kuzikana.
Prisca hakutaka kusikia swala la kuanzisha ndoa rasmi na Jimmy lakini kwa upande wa jimmy alionekana kuwa na mapenzi ya kweli na wivu ulizidi mara mbili.
Prisca alikuwa mkali kuliko kawaida. Kila jambo alilofanya jimmy lilikuwa kero kwake. Alianza kuamka asubuhi na mapema na kutoka bila taarifa Mara nyingine alirudi usiku wa manane akawa anamtolea maneno ya dharau kwa Jimmy lakini Jimmy alijishusha na kujipa moyo kuwa ipo siku mambo yatakuwa sawa.
Siku moja asabuhi prisca alikuwa amevalia suti zake safi kama mtu anakwenda kazini na mkononi alikuwa kabeba pc.
“Unakwenda wapi?
“Kwenye mambo yangu.
“Mambo gani ambayo sipaswi kuyajua? “Unafikiri mimi ni roboti wako, Kila siku naishi
maisha ya uongo, kujifanya tunaishi kama mume na mke hali, mimi sio mfungwa hapa na kuanzia sasa nitakuwa nikitoka hapa asubuhi nikienda kazini
“Unasemaje wewe?
Nimepata muda sio mrefu nitaondoka na kwenda kutafuta maisha yangu nikajitoa kwenye hiki kifungo cha kujitakia. Siku nikiamua nitakichoma cheti cha ndoa mbele yako.
Naona unaongea sana na muda unaenda Itachelewa kwenye kazi yako mpya. Unaweza kwenda.
Prisca alipita pembeni na kuondoka. Jimmy alinyanyua simu yake na kupiga sehemu.
Prisca alifika kwenye kampuni ambayo aliyokuwa Kapata ajira alipofika alikutana na boss. Boss alimpahabari za kumshangaza. “Samahani Prisca hatuna nafasi za kazi.
“Inakuwaje boss na jana tu nimepigiwa simu nianze kazi.
*Mambo yamebadilika hakuna tena kazi.
Chapter 8
Prisca alishindwa kuelewa kwanini mambo. yamebadilika ghafla lakini hakuwa na jinsi aliamua kuondoka.
Alirudi nyumbani na kumkuta Jimmy amekaa dinning.
“Vipi mbona umerudi?
“Fuata mambo yako. Alijibu Prisca kwa hasira kisha akaenda chumbani kwake huku nyuma Jimmy alikuwa anacheka na kufurahia ushindi.
Siku zilienda lakini prisca hakukata tamaa aliendelea kutafuta kazi kwa bidii lakini kila kampuni aliyoenda hakufanikiwa kupata kazi.
Siku moja alikaa huku akiwa kajiinamia akifikiria
afanye nini ili kuendeleza maisha yake. Alikumbuka kuwa ana pesa kidogo hivyo anaweza kuanzisha biashara.
Kesho yake alienda kutafuta chumba cha
biashara kwaajili ya kuanzisha biashara, walikubalina na muhusika kuwa kesho ndio aende kulipia.
Kumbe wakati anaongea na muhusika Jimmy alikuwa anafuatilia.
Baada ya Prisca kuondoka Jimmy alimfuata muhusika na kuongea nae. Nitakulipa mara mbili ya pesa anayotaka
kukulipa.
“Sawa ni wewe na pesa yako tu.
Pale pale jimmy alienda kwenye gari akachukua kiasi cha pesa na kumpatia yule muhusika huku
akimpa onyo.
“Sasa ile wako unifanyie mchezo.
Kesho yake Prisca aliwasiliana na rafiki yake ambae anafanya biashara ya nguo na urembo ili aweze kuagiza nguo zake Walikubaliana baada ya siku mbili anampatia pesa.
Baada ya kumaliza kuongea Prisca alienda
kulipia chumba cha biashara lakini jibu alipopewa aliambiwa amechelewa chumba limechukuliwa na mtu mwingine.
Prisca aliondoka kinyonge huku akijihisi ana mkosi mambo yake hayaendi sawa. Alirudi nyumbani akiwa kajichokea. Siku hiyo
alikuta Jimmy akiandaa chakula mezani.
“Vipi mbona imechoka hivyo?
Niache sitaki kuongea. Alijibu prisca huku alisogea mezani, alivuta kiti akakaa na kuanza kula.
Jimmy alikaa akawa anamuangalia. “Sijui nini kinaendelea yani kila ninachokifanya
hakiendi sawa.
“Kwanini usiachane na habari za kazi na biashara?
“Alafu nikiacha?
“Mimi mumeo nina kila kitu, naweza kukutunza na kukupa kila kitu sasa kwanini ujisumbue kwa kwenda kutumikishwa ovyo. Kaa nyumbani utulie, uhudumue ndoa yako.
Prisca aliacha kula akawa anamuangalia, alimuangalia kwa muda kisha akasema. “Huwa unanifuatilia kwenye mambo yangu?
“Kwanini nikufuatilie?
“Jimmy kama unahusika kwenye hili nita kuuwa wewe mwanaume maana utakuwa umezidi.
Jimmy alicheka alafu akasema
“Tuachane na hayo, vipi unayaonaje mapishi ya mume wako?
“Hujui kupika nakula sababu nina njaa kutwa nzima sijatia kitu mdomoni.
Wakimaliza kula prisca akaenda chumbani kwake kupumzika baada ya mizunguko ya siku
nzima.
Baada ya wiki mbili kupita jimmy alirudi nyumbani akiwa na mfuko mkononi. Alimfuata
Prisca kwenye kochi na kumsalimia. “Prisca leo kutakuwa na sherehe ya uzinduzi wa kampuni mpya ya mr Rafael nilikuwa naomba
twende pamoja.
Tangia lini mimi na wewe tukaenda kwenye sherehe pamoja?
Hivi kwanini kila ninachokiongea lazima ukipinge? Huwezi kukubali tuishi kwa amani hata siku moja?
“Wewe ni mtu wa kuitaka amani kweli?
Achana na hayo mambo bwana shika hii. Jimmy alimkabidhi mfuko na Prisca akapokea na kuchungulia ndani. Kulikuwa na gauni zuri viatu, vito vya thamani na pochi ndogo ya rangi ya dhahabu.
“Hizi ndizo nguo utakazovaa kesho.
Jimmy alitoa kadi ya mualiko akampatia, Prisca alipokea na kuisoma kwenye jina waalikwa paliandikwa MR & MRS JIMMY.
Kesho yake jimmy alitoka kazini aliporudi nyumbani hakumkuta Prisca alijaribu kumpigia simu lakini hakuwa anapatikana.
Muda ulizidi kwenda mpaka ilipofika muda wa saamoja jioni prisca bado hakuwa anapatikana
Jimmy alijua prisca anamfanyia makusudi aliamua kwenda kujiandaa. Alichukua suti yake akavaa pamoja na tal yake baada ya hapo alijipulizia marashi yake ya gharama na kutoka na kuelekea parking alifungua gari na kutaka kupanda mara akasikia kengere ya geti ikilia na
mlinzi alifungua geti na Prisca akaingia. Jimmy alisimama akawa anamsubiri. ” Hey wewe.. jimmy alimuita prisca akasimama.
Unatoka wapi muda huu na tulikuwa tumeongea nini kuhusu siku ya leo?
Chapter 9
Jimmy aliongea kwa ukali huku akiwa kamkazia macho.
“Najua lakini kumbuka lilikuwa ni ombi na sio lazima. Nipe dakika cha he naenda kujiandaa.
Alisema Prisca kisha akaingia ndani kujiandaa.
Ndani ya dakika 20 Prisca alitoka huku akiwa kapendeza sana mpaka Jimmy alipomuona alijikuta aliachia tabasamu la mbali.
Prisca alipiga hatua ndogo kuelekea kwenye gari Alipofika karibu alisimama wanaangaliana. wakawa
“Hongera umependeza sana
“Na uzuri nao unachangia.
Jimmy alitabasamu kisha akafungua mlango wa gari na Prisca akapanda na Jimmy wakaenda kupanda na kuanza kuendesha gari kuelekea sehemu ulipo sherehe. Jimmy wakiendesha gari huku akimuangalia prisca kwa jicho la kuibia.
“Prisca naomba usije ukaniangusha tunapokuwa mbele za watu mimi na wewe ni mtu na mke wake na sio wake chui na paka tunao kwaruzana kila kukicha.
Walipofika kwenye ukumbi wa sherehe kama kawaida Jimmy alishuka na kwenda kufungua mlango na prisca akashuka. Walishikana mikono na kuelekea ndani ya ukumbi, kila aliewaona hakuacha kuwasifia na kumpongeza Jimmy kwa matunzo mazuri kwa mke wake.
Walienda kukaa kwenye moja ya meza zilizokuwa zimeandaliwa vizuri na kupanga vinywaji. Jimmy alivuta kiti na prisca akakaa kisha Jimmy akaenda kukaa pembeni yake.
Vipi utatumia kinywaji gani malkia wangu? Juice au wine.
“Wine. Alipojibu jimmy alichukua grass mbili kisha akachukua chupa ya wine iliyokuwa juu ya meza na kuifungua kisha akamimina wine kwenye grass. Grass moja alimpa prisca na nyingine akabaki nayo mwenyewe.
Waliendelea kunywa taratibu huku sherehe ikiwa Inaendelea. Baadhi ya wafanyabiashara na marafiki wa jimmy walienda kumsalimia pia akimtambulisha prisca kama mke wake kwa watu ambao walikuwa hawamfahamu.
Kuna muda Jimmy alinyanyuka na kwenda kuongea na marafiki zake na kumuacha prisca akiendelea kupata kinywaji. Mara alifika mwanaume mmoja akakaa sehemu aliyokuwa amekaa jimmy. “Habari mrembo.
*Salama,
Naitwa Mr Kayden ni CEO wa kampuni ya usafirishaji ya Kayden transport. “Nashukuru kukufahamu.
Kayden alikunywa kinywaji chake huku akimuangalua prisca kwa umakini.
“Mrembo nimesikia habari zako nikavutiwa na wewe sasa nilikuwa nataka kufanya kitu na wewe.
Prisca alikaa vizuri ili kusikiliza akajua huenda mr Kayden anataka kumpatia kazi kwenye kampuni yake.
“Kitu gani mr Kayden? “Kuna dili nataka kukupa?
Prisca alimuangalia bila kuongea chochote.
Nataka kuwa na wewe kwa usiku mmoja tu utanifanyia kiasi gani? Prisca akawa amemaliza macho kwa hasira.
“Nitakupa pesa yoyote unayotaka. “Kuwa na heshima mimi ni mke wa mtu. Kayden akicheka kwa dharau.
“Mke? Unanijua thamani ya kuwa mke wewe? Najua kila kitu kuhusu wewe na Jimmy ndoa yenu sio ya kweli ni dili na hilo dili litakusanya utumike tu kumbe ni mke bandia usije na thamani….. Kabla Kayden hajamaliza kuongea alishitukia kumwagiwa wine usoni.
Prisca alisimama na kumuangalia kwa hasira. “Unapoheshimu wa jaribu kujiheshimu pumbavu wewe.
“Malaya mkubwa wewe hivi unajua thamani ya hii nguo yangu? Unafikiri unaweza kununua hii suti kwa hela ulizolipwa kwenye hilo dili la ndoa feki? Watu walitulia pale ukumbini na kuangalia jinsi Kayden alimuongelea vibaya Prisca.
Muda huohuo Jimmy alifika.
” Nini kinaendelea hapa?
“Mbunge adabu huyu malaya wako hawezi kukudharau namba hii.
Kuwa na adabu usimuongelee vibaya. mwanamke wangu.
Huyu nae ni mwanamke? Mwanamke gani anapenda pesa mpaka kufikia hatua ya kuuza utu wake Kabla hajamaliza kuongea alishitukia ngumi mzito ikishuka usoni kwake. Kayden aliinama huku akishika uso wake kwa
maumivu.”
Nitakuwa nakwambia kaa mbali na mke wangu.
Watu waliamulia. Prisca aliondoka pale ukumbini kwa hasira, jimmy alimfuata mpaka nje
Prisca, prisca….. Alimuita lakini Prisca hakusimama wala kugeuka alisimamisha tax akapanda. Jimmy alienda kuchukua gari yake na kulifuatilia ile tax.
Chapters 10
Ile tax ilienda kusimama kwenye baa moja ambayo ilikuwa imechangamka ilipiga live band huku watu wakiendelea kula nyama choma na kunywa vinywaji.
Prisca alishuka na kwenda kukaa kwenye meza moja, muhudumu alifika Prisca akaagiza chupa ya mvinyo.
Mara jimmy alifika.
Prisca… Kabla hajaongea alichotaka kuongea prisca alimkatisha Baada ya kunifanya nidhalilike pale kwenye sherehe yenu ya kijinga bado unanifuata tu?
Mimi sihusiki na hilo pia sijaipenda kile kilichotokea ndio maana nikapambane kujutetea Yule Kayden mjinga amejuaje kama ndoa tuliyofunga ilikuwa dili?
Kabla jimmy hajajibu simu yake iliita Patrick alipiga
Niambie Patrick,
Umemuona prisca
“Ndio nimempata.
hayupo sawa acha niongee nae. Sawa ila unatakiwa kuwa makini sana huyu
Kayden ni mtu wa kisasi sana huenda akawa amepanga kukifanyia jambo. Huyo ni mpumbavu tu haitoshi kwa chochote. Alijibu jimmy kisha akakata simu.
Wakati Jimmy anakata simu muhudumu alifika na chupa ya mvinyo Prisca alichukua chupa akafungua na kumimina kwenye grass na kuanza kunywa kwa pupa. Please prisca naomba usinywe pombe klasi
hicho. Prisca hakusikiliza aliendelea kunywa mpaka akamaliza chupa nzima
“Muhudumu lete nyingine.
“Prisca…..
Wewe tulia sikukuitachapa.
Muhudumu alifika
Ongea nyingine kama hii. Muhudumu alipotaka kuondoka Jimmy alimwambia.
Lete na grass nyingine.
Muhudumu alifika na grass pamoja na chupa ya mvinyo.
Walikunywa pamoja mpaka wa Kamaliza chupa prisca
alikuwa amelewa mpaka mdomo ukawa haunyanyuki alishindwa kuongea vizur lakini. akaagiza chupa nyingine.
Hapana inatosha. Alisema Jimmy nakumlipa yule muhudumu hela yake kisha akamchukua prisca na kumkokota mpaka kwenye gari. Alimpandisha kisha nae akaenda kupanda wakarudi nyumbani.
Kimbembe kikaanza tena kubeba kutoka kwenye gari kumpeleka ndani. Prisca alikuwa hajiwezi, Jimmy alimbeba juu juu na kwenda kumlaza chumbani kwake. Ile Jimmy anataka kunyanyuka. prisca alimkumbatia na kuanza kumbusu. Jimmy alijitoa kwenye mwili wake akasimama pembeni kumuangalia, Prisca hakuacha vituko alivuta nguo yake juu na sehemu ya mapaja mpaka nguo ya ndani ilionekana hapo hali ya Jimmy ilianza kubadilika alimuangalia Prisca huku akimeza mate.
Vitendo alivyokuwa alivyofanya prisca ni wazi mwili wake ulikuwa na mihemko ile pombe allyokunywa ilienda kuibua mengine kwenye mwili wake Jimmy uzalendo uliomshinda alisogea karibu zaidi akamuangalla aweze kwakuwa mtoto kutaka Jimmy hakufanya hajizi tena ukizingatia hiyo nafasi alikuwa akiitaka ni sana sasa leo imekuja kiulaini.
Jimmy alushuhurika na mwili wa prisca, prisca alikuwa akitoa miguno tu huku akiupapasa mgongo wa Jimmy.
Baada ya maandalizi Jimmy alipotaka kuingia prisca akiruka na kumsukuma kidogo. Lakini kwakuwa jimmy hali ilikuwa mbaya alipambana mpaka akaingia japokuwa prisca alikuwa akilalamika na kumfanya maeneo ya mikononi na kifuani kwa upande wa Jimmy alikuwa zaidi chochote mpaka alipomaliza shuhuri yake ndio akahisi mwili wake unamaumivu. Alipokuwa ananiweka sawa Prisca akaona doa jekundu pale kitandani.
“Nini? Jimmy alisema kwa mshangao.
Siamini macho yangu Prisca alikuwa bikra? Jimmy hakuamini alinyoosha mkono wake na kushika pale kwenye doa la damu. Aligundua kweli ni damu akimuangalia mkono wake kisha akamuangalia prisca usoni ambae muda huo alikuwa anakotoka kwa mipombe aliyokuwa amekunywa kupitiliza. Jimmy hakuwa na la kusema zaidi ya kubaki
kwenye mshangao maana siku zote alijua prisca ni mtu ambae yupo na mpenzi na jinsi alivyo ni ngumu kuamini kama ni binti aliyejifunza vile.
Usiku ule jimmy hakuondoka pale chumbani alilala pembeni yake huku akimuangalia usoni mpaka usingizi ulipomchukua Asubuhi
Kulipokucha jimmy alikuwa wakwanza kuamka alitoka pale chumbani akaenda chumbani kwake. kuoga baada ya hapo aliingia jikoni kuandaa
supu
prisca alipoamka alikuwa bado na wenye la pombe hangover lakini alikuwa anakuja uso ni wazi alijihisi maumivu. Alinyanyuka pale kitandani huku akishika tumbo lake na kukaa huku akining’inia miguu chini, Alipogeuka kuangalia kitandani akaona damu
alishituka.
Nipo kwenye siku? Mbona nimemaliza wiki
iliyopita tu? Akiwa bado anajiuliza jimmy alifika akiwa na bakuli la supu. Prisca alifunika haraka pale kwenye shuka la damu. *Vipi umeamkaje?
Umeingia je kwenye chumba cha mtoto wa kike bila hodi? Samahani. Ila nilikuletea supu sababu jana ulikunywa sana pombe ukawa hujitambul
Sawa naomba utoke kwanza. Jimmy hakuwa
mbishi akiondoka akafunga mlango. Prisca alinyanyuka pale kitandani akaenda bafuni kuangalia sehemu zake za siri zilizokuwa zinauma. Baada ya kukichunguza vizuri alijua ameingiliwa kimwili. Akifumba macho kiganja cha mkono wake wa kulia kukiwa kifuani kisha akashusha pumzi kwa nguvu.
Jimmy, atakuwa ni yeye tu. Alijisemea huku machozi yalimtoka Alisogea karibu na bomba akajisafishe kwa maji ya moto na kuoga kisha akatoka chumbani na kuanza kumuita Jimmy tangia akiwa mlangoni.
Jimmy alikuwa sebleni alipandisha ngazi haraka akijua huenda kapatwa na shida. Walipokaribiana Prisca alimkunja huku
akimuangalia usoni kwa hasira. Umefanya nini, umenifanya nini jimmy? *Sijafanya mwenyewe tumefanya. *Kivipi, najiuliza kivipi?
*Wewe ndio ulitaka hili.
Muongo, muongo wewe ni mbakaji huwezi kuvumilia kumuona mwanamke hivihivi ukisubiri niwe sijutamvui ndio ufanye huu ushetani wako. Prisca alilia sana huku akimlaumu Jimmy Jimmy alijitahidi sana kumuelezea lakini
haikusaidia chochote..
Mara simu ya Jimmy ilianza kuita ikabidi Jimmy aende sebleni kuichukua na muda huohuo simu ya Prisca ilianza kuita chumbani nae akaenda kuipokea.
Jimmy umeona habari zilisambaa mtandaoni? Ilikuwa ni sauti ya Patrick. Hapana
Ingia youtube kwenye channeli ya udaku mastory
Jimmy alikata simu haraka.
Kwa upande wa prisca nae alipokea habari hizohizo nae akaingia kwenye mitandao ya kijamii akakuta yeye na Jimmy wakiwa wanatrend kuhusu ndoa yao ya dili.
Inaendelea….

