Mkaka Mmoja Aliniambia, Mbona Unanuka Kama Maiti Iliyooza
Mimi ni msichana mwenye umri 25. ukiniangalia unaweza sema siteseki lakini ukweli Kuna mambo yalikuwa yananiumiza sana moyo . Kuna changamoto niliipata toka 2024 nilikuwa ni mtu wa ndani TU siyo kwamba naumwa hapana ila Kuna hali TU ilitokea ilianza kama utani..
Ya kunuka yaani blaza nakwambia kunuka tena unakuwa unanuka TU Kwa wakaka ,Nakumbuka siku moja wakati nimepanda daladala nimekaa na mkaka pembeni naona mtu anashika pua Kila muda huku akiniangalia na kusonya , hata sikuwaza coz najua mimi nimeoga na nimepaka perfume nikawa najiamini … Ile hali ikawa ikiendelea Kila siku na ukikaa na wakaka TU . Ila wanawake hata hauwasikii wakisema .
Ndo mkaka mmoja aliniambia mbona unanuka kama maiti iliyooza au kama shombo ya samaki. Aliyekufa? Aiseh ile sauti ilikuwa inajirudia Kila muda kwenye masikio yangu mpaka nikachanganyikiwa nikawa kama chizi kwenye kuhangaika hangaika nikakutana na mtaalamu mmoja akasema mbona Hiyo hali ni mkono wa mtu tena ni watu wako wa karibu upande wa mama yako hakunitajia jina moja kwa moja ila jinsi anavyoongea na nikilinganisha matukio nakuta ni mama yangu mdogo na binti yake ..
Shida TU ilianzia pale nilipo nunua simu aina ya iphone hakupenda hicho kitendo na siyo kwamba pesa ni zao pesa ni yangu.. Nimeandika hapa najua Binti yake anakusoma Kila siku.. Nataka NIKUAMBIE YA KUWA NIMEKUSAMEHE WEWE NA MAMA YAKO hata kama mnajifanya hamjui mlichofanya…

