KIPAPATIO CHA NANII
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya 5
Sara aliuliza huku akimsogelea Erick aliyekuwa anavaa
”usijari nitakutafuta Mpenzi kwasasa wacha niondoke
Akatoka hadi
Sebuleni aliwakuta wenzake wamebeba baadhi ya vitu akawapa ishara
Tayari waondoke wakatoka Nnje kabisa ya Nyumba wakaruka ukuta wa Nyumba nyingine hao wakatokomea Gizani
Siku hiyo bwana mkubwa Madebe alikuwa yupo nyumbani kwao amejilaza chumbani kwake
Akiwa amelala akaota ndoto yani alijiona yupo katikati ya uwanja mkuubwa akiangalia huku nakule kulikuwa na miili ya watu iliyotapakaa hovyo haraiki ya watu wengi walionekana kupoteza maisha
Akapaza sauti kumwita Dada yake
“Dadaa,,dadaa,, uko wapi wewee
Wakati anaendelea kuita mara ile miili ya watu ilianza kupotea kama vile vumbi alishangazwa sana
Kuona vile
“kakaa,, jamani kakaa nipo huku njoo uniokoee nakufa mimii,,”
Sauti ya Dada yake ikasikika kitu ambacho kilimchanganya sana Madebe
Ghafla mbele yake akaibuka mtu kutokea chini ya Ardhi mtu yule mkononi mwake alionekana kushika kichwa cha Milfat kuonyesha kuwa tayari kamchinja Madebe akatoa macho pima akapiga kelele na kuita Dadaa
Ghafla akashtuka kutoka usingizini jasho lilimtoka mapigo ya moyo yalinuwendea kasi
Akabaki kuhema Mara simu yake ikawa inaita akanyoosha mkono kiuvivu pasipo kuangalia mpigaji ni nani akaipokea
Ni sauti ya kilio ndiyo iliyosikika
“hiiiihiiiii,,hiiiii,,”
”nini tena? Mbona kama unalia kaka vipi kuna msiba?
Nani kafariki nambie basi ndugu nini tatizo?”
Madebe aliuliza kwa pupa
“Masakara kaka”
“wamefanyaje?”
“wamenivamia na kumbaka Shemeji yako kisha wameondoka na baadhi ya vitu vyangu”
”aisee nakuja hapo sasa hivi si umewamaki Sura zao?”
”ndiyo ndugu”
“ok hivyo vitu watavinya leo jiandae nawe kuwaingilia kimwili”
”sawa mkuu”
Simu ikakatwa
Madebe akavalia mavazi yake ya kazi ukiona kavaa hivyo basi tambuwa huko aendapo kimenuka Akaelekea Stoo akawa anachaguwa silaha
“sijui nichukuwe Mishale mkuki au
Shoka bila shaka hili panga litatosha kufungulia Bucha?”
Alijiuliza hivyo akalisunda kiunoni kisha huyoo akatoka nnje
Watu walioweza kumuona walibaki kughuna tu
“mmh kimenuka huko
**********************
“sijui nichukuwe Mishale mkuki au
Shoka bila shaka hili panga litatosha kufungulia Bucha?”
Alijiuliza hivyo akalisunda kiunoni kisha huyoo akatoka nnje
Watu walioweza kumuona walibaki kughuna tu
“mmh kimenuka huko
Songa nayo
Sasa
Madebe tayari alishaingia mitaa ya Ukwamani alikatiza kichochoro hiki nakile kuna sehemu alipita kulikuwa na Wadada wakikubwa wamekaa kibarazani wakipiga umbea
“Madebe mambo”
Mmoja kati ya mabinti akamsalimia japo kikawaida mtu anaekutwa amekaa sehemu ndiyo wa kusalimiwa mfano unatembea ukamkuta mtu au watu wamekaa sehemu anaetakiwa kusalimia ni wewe hata ukipanda Daradara huna budi kumsalimia Abiria utakaemkuta kwenye siti utakayotaka kukaa tatizo kuna watu Mazezeta hawaelewi hasa Watoto wakike ukimsalimia anahisi kama vile unataka kumtongoza
“jamani yule mkaka nampendaje?”
“hunishindi mimi shogaangu yani laiti kama ningempata Mwanaume shababi kama Madebe kitaa kizima hiki ningetembea kifua wazi”
Aliongea hivyo yule Binti aliyemsalimia Madebe pasipo kuitikiwa
“khee utembee kifua wazi na miziwa hiyo ilivyolala kama vile Dripu iliyoishiwa maji si utatisha”
Mwenzake akamnanga kwa dharau heti miziwa kama dripu daah
“wee nyoko sijamaanisha hivyo fala wewe”
Nae akamrudishia kwa kumtusi
“inamaana Agnes na wewe unamtaka Madebe?”
Binti mwingine akauliza
”ndiyo maana yake”
Kuonyesha msisitizo Agnes akajibu hivyo
“kujishauwa tu inamaana yule Basha wako hakutoshi?”
Agnes akamuangalia yule aliyemuuliza swali kisha akamnyari na kumjibu kwa kumchamba
“nawe embu tuliza Kipapatio hiko muone kwanza ugoko umekukomaa kama vile Kibunzi cha hindi swala la mimi kumtaka Madebe halihusiani kabisa na mabwana zangu kwanza Madebe nitamtunuku kinyeo”
“mmh basi makubwa”
“tena si madogo lakini mbona kama hajaitikia salamu yako?”
“haijarishi huwenda akawa hajasikia”
Kuna binti mwingine akatokea ndani na kufikia kusema
“naona mnazozana tu kisa kumgombania Madebe isijekuwa mtu mwenyewe kibamia yule”
“wee koma usitake kumtia nuksi mwana wa mwenzio Kibamia hicho sio kwa Madebe”
Agnes aliongea kwa ukali
”sasa Da Egi wewe kila kitu ukiongea unakuja juu kama vile moto wa kifuu
Mara miziwa sijui kama dripu,, mara sijui nini yani unazungumza kama vile Madebe ni Mumeo”
“Enjo embu achana naye huyo mshamba wa mapenzi labda nimwambie kitu kimoja tushaweka Ligi nani kati yetu atakaeweza kumfikia Madebe nakama tujuwavyo Mwanaume yule ni kauzu zaidi ya dagaa ukimuingia kichwakichwa utaambulia kipigo”
Wakati wanaendelea kuzozana pale kwa mbele kidogo kuna Binti alionekana kujongea maeneo hayo huku akilia Mwendo wake ulikuwa wa kuchechemea damu zilionekana kumchuruzika mapajani mwake
“khee jamani si Irene yule?”
Walishaweza kumuona wawili kati yao wakamfata mbiombio walipomfikia wakamshika Irene ndiyo akazidisha kilio yani kule kushikwa kama vile wanazidi kumuumiza
“hiiiiiiiii,,mamaaaweeeeeeee,,,hiiiiiiiiiiii,,”
“wee Irene nini jamani umefanyaje? Si useme sasa”
Irene akapandisha ngazi ya nyumba ile na kuingia ndani
“isijekuwa kakutana na Masakara huko wakawa wamembaka na kumvunjia bikra yake jamani”
”mmh huwenda ikawa hivyo maana si unaona matone ya Damu zile”
”masikini wee Irene mwenyewe alikuwa anamtunzia Mumewe mtarajiwa ajabu wajinga wameitatua”
Dada yake Irene ni Agnes nandiyo aliyeingia ndani na Mdogo wake punde akatoka akiwa kajifunga kibwebwe mkononi kakamatia Panga
”mamae zao kama wao wanajiona Vidume vitombi kwanini wasingemtongoza mpaka wafikie hatua ya Kumbaka”
Agnes aliongea huku akinoa panga lake
“si nilikwambia mimi atakuwa kabakwa”
“pole sana shogaangu”
”sasa unanipa pole mimi kwani ndiyo niliyebakwa au?”
Agnes aliuliza huku akimkata jicho baya binti aitwae Enjo.
Akaweka panga lake kibindoni
“kama wao Wangese mimi ndiyo kubwa la wangese nikiwakamata nitambaka mmoja mmoja kisha niwageuze bucha hivi wanadhani sitoweza kudindisha”
”kwani kina nani hao?”
“sivile vitoto vyakule Bondeni vinavyojiita Mwendo wa Neema”
“khee! Kumbe Mwendo wa Neema?”
”ndiyo”
Agnes akashika njia safari ya kuwafata Mwendo wa Neema ikaanza
Enjo akapaza sauti kumwita
“wee Egi,,Egi,,”
”nini bwana?”
”embu njoo kwanza nikwambie”
Agnes aliona kama vile wenzake wanamzinguwa maana moyoni mwake alikuwa na hasira mbaya akarudi kuwasikiliza
“sasa hilo Panga unaenda nalo wapi?”
”hujui ninachoenda kukifanya au unataka niwaonyeshe mfano?”
Agnes aliongea huku akilitoa panga kibindoni
“aaa sio hivyo rafiki
Tulia kwanza nikwambie kitu”
Veronica aliongea kwa uwoga kwani Agnes alimnyooshea panga shingoni
“Egi Egi tafadhari embu acha”
“mjuwe nina hasira kishenzi kitendo alichotendewa Mdogo wako ni unyama mtupu”
Agnes alianza kulia ikabidi wenzake waanze kumbembeleza wakamtaka aweke panga pembeni
“sikia nikwambie kitu rafiki yangu kitendo cha wewe kuwafata wale Watoto ni sawa na kujitafutia matatizo makubwa sana yani wanaweza kukugeuza
Asusa hivi hivi unakumbuka ile ishu ya Baba Musa mkewe alivyobakwa si aliwafata na Panga kilichomkuta si unakipata Mbaba wa watu walimuingilia kinyume tena kwa zamu”
Wakati wanaendelea kumsihi mwenzao apunguze hasira
Mara Madebe akaonekana kurudi kule alipoenda Ghafla Agnes akatupa panga chini akamkimbilia Madebe alipomfikia akamkumbatia
Kitendo kile kilimshangaza kila mtu hasa Madebe mwenyewe sema alijisikia faraja maana katika maisha yake hajawahi kukumbatiwa na mwanamke mwingine yoyote zaidi ya Dada yake na Marehemu mama yake
Akatamani na yeye amshikilie maana chuchu mchongoma zilianza kumtekenya na kumtia Ashki fulani
“Madebe kipenzi kuna watu wamembaka Mdogo wangu”
”kina nani?”
Madebe aliuliza kwa sauti ya upole
Siku zote uzaifu wetu Wanaume ni kwa viumbe waitwao Wanawake
“aisee leo nimeokota embe dodo chini ya mnazi naona kama ngekewa”
Madebe alijiwazia hivyo huku akisubiri jibu
”Mwendo wa Neema hao watoto washenzi sana wale”
Alichokifanya Madebe ni kumtoa kwanza Agnes maungoni mwake akalisogelea lile Panga lililopo chini akaliokota kila mmoja hapo alibaki kimya wengine walishaanza kuwa na hofu
“aisee hili panga linaonekana nikali sana linafaa kabisa kufanyia biashara ya Viungo vya binadamu.
La nani hili?”
”langu mimi kipenzi”
Agnes akatoa jibu
”ohoo vizuri sana bibie sasa unaonaje tukabadirishana.
Wewe kamata hili kisha niongoze njia ukanionyeshe hao panya”
Madebe aliongea kwa majigambo Mbichwa ulishamvimba huo hakuna kitu tunachokipenda Wanaume kama kujisifu mbele ya wanawake
Akamkabidhi Agnes lile panga lake Mtoto wakike akalipokea safari ikashika hatamu huku nyuma ikabaki minong’ono
“mmh kweli huyu ni Malaya mzoefu yani kirahisi tu kamchukuwa Madebe tena mbele yetu.
Wakati tulishaweka ligi au nasisi tucheze mchezo ili tuweze kumpata”
”mchezo upi?”
Sehemu Ya 6
“yani wewe Sharifa ubakwe halafu mimi nikashitaki kwa Madebe”
“nyoko nyoko yani mi nikubari kubakwa halafu wewe umpate Madebe kwanini usibakwe wewe?”
”wee naye kwani unabakwa kweli wakati kiuwongo tu!”
”hata kama kiuwongo nitakuja kubuma bure nikakosa Mume wa kunioa hivi unadhani kuna mwanaume atakaenitaka tena
Pindi akisikia kuwa nilibakwa japo kiuwongo”
“basi tuachane na hilo”
Huku sasa kwa Madebe na bibie Agnes walitembea haliyakuwa wakipiga stori za hapa na pale silaha zao walishazisunda kibindoni ukiwaona huwezi kufahamu kama hapo walipo wamebeba Mapanga
kila mtu aliyeweza kuwaona alibaki na mshangao
Mara simu ya Madebe ikawa inaita akaingiza mkono mfukoni na kuitoa akaiangalia kwenye kioo mpigaji ni Milfat akamtaka Agnes amsubiri kidogo yeye akaenda pembeni na kuipokea
“uko wapi?”
Sauti ya upande wa pili ikasikika ikiuliza hivyo
”nipo na wifi yako bwana”
”acha maskhara yako kaka”
“huamini au?”
“ndiyo siamini nakama nikweli nitajamba kuanzia Lugalo mpaka Tegeta”
“hahahaha sasa kwanini usiamini kwa kifupi tu nimepata zinga la Demu”
“huhuhuhuhu nicheke Kihutu mie kama kweli mpe simu niongee naye”
Hapo ukawa mtihani kwa Madebe maana hakuweza kufahamu kama akimpa simu Agnes je atakubari kujifanya kuwa ni demu wake
Kumbe Agnes alishamfikia pale akaikwapua ile simu huku akisema unaongea na Malaya gani tena inamaana mimi sikutoshelezi?
Simu ilikuwa bado haijakatwa
Milfat aliisikia vyema ile kauli akaishia kutabasamu
”usiongee hivyo mpenzi huyo ni Dada bwana”
“khee kumbe ni wifi jamani haloo”
”inaonekana ni jinsi gani unavyompenda na kumjali kaka yangu ehee”
“mmh samahani wifi sikujuwa kama ni wewe maana simu alienda kupokelea pembeni”
“walaa usijari wifi yangu wee”
Simu ikakatwa
Agnes akamuuliza Madebe
“sijui Dada yako atakuwa kachukia?”
”kama vipi twende nyumbani ukamuombe msamaha halafu baadae tuwaibukie hao Panya”
“sawa haina shida”
Madebe akapiga mruzi na kumwita Dereva bodaboda akamtaka awawahishe Lugalo”
Agnes akakaa kati wakati bwana mkubwa nyuma wakati Pikipiki inaondoka Madebe akamtaka Dereva asimamishe
“oyaa wee jamaa embu subiri kwanza”
“nini tena baby?”
Agnes akauliza
Huyu jamaa hatakiwi kuguswa na mwili adimu kama wako atakuja kupata mshtuko bure akafa embu njoo ukae nyuma yangu”
“wivu huo”
Dereva bodaboda alicheka na kutamka hivyo nikweli Madebe alishaanza kuwa na wivu kitendo cha Agnes kukaa katikati na kumkumbatia dereva bodaboda aliona kama vile jamaa anafaidi
Wakabadirishana sasa Agnes alipokaa kwa nyuma Mtoto wakike alianza michezo ya kiuchokozi
Akawa anamtekenya tekenya
Madebe mwili ulimsisimka balaa
Akahisi kitu kikibisha hodi kwenye
Zipu
**********************
“wivu huo”
Dereva bodaboda alicheka na kutamka hivyo nikweli Madebe alishaanza kuwa na wivu kitendo cha Agnes kukaa katikati na kumkumbatia dereva bodaboda aliona kama vile jamaa anafaidi
Wakabadirishana sasa Agnes alipokaa kwa nyuma Mtoto wakike alianza michezo ya kiuchokozi
Akawa anamtekenya tekenya
Madebe mwili ulimsisimka balaa
Akahisi kitu kikibisha hodi kwenye
Zipu
Songa nayo
Sasa
Kitendo cha kufahamu kuwa kaka yake kapata mwanamke Milfat kwake aliona kama vile ni sherehe alifungulia sauti ya Sabufa mpaka mwisho akaweka nyimbo za Singeri alicheza kwa furaha akafunguwa jokofu na kutoa chupa mbili za bia kiukweli yeye hakuwa mnywaji wa pombe humo kwenye jokofu zimewekwa kwaajili ya Baba yake akafunguwa chupa moja wapo na
Kumimina kwenye Glass na kuanza kunywa kwa fujo
“si mlikuwaa mnaseeema kakaa yanguu sio rijaliii sasa kapataa Demu mtakomaa kuringaa pumbavuu,,
Madebee waonyeshee. Haooo”
Milfat aliongea kwa sauti ya kilevi
Yani kanywa chupa moja na nusu tayari kashalewa
Akajilaza kwenye sofa muda kidogo Madebe na kipenzi chake aliyempata kama zali wakawasili na kumkuta Milfat akikoroma pale sebuleni Sauti ya mziki ilikuwa kubwa sana kitu ambacho kilimshangaza Madebe alipoziona zile chupa za pombe inamaana Dada kaanza tabia yakuwa mlevi tokea lini? Alijiuliza hivyo akazima mziki kisha akambeba Dada yake na kumpeleka chumbani kwake pale sebuleni akabaki Agnes aliyekuwa akiangaza macho yake huku nakule
Dakika si nyingi Madebe akarudi kuungana naye basi walipiga stori za hapa na pale
“baby kwani chumba chako kiko wapi?”
Agnes akaulizia chumba cha mwanaume Maana muda wote jamaa alikuwa anasimulia mara sijui Vann damme kafungwa msalabani sijui Rambo kafanyaje
Muda ulizidi kuyoyoma tu
“chumba changu kipo upande ulee kule vipi unataka kukiona?”
“ndiyo baby nipeleke basi maana najiskia usingizi balaa
“si ulale tu hata hapo kwenye Sofa halafu mimi nitawafata wale washenzi”
“sitaki bwana mi nataka chumbani”
“haya nifate mamaa”
“nibebe bwana mi nimechoka kutembea”
Agnes alionyesha deko lile la kike haswaa
Basi Madebe akambeba moja kwa moja hadi chumbani akafikia kumtupia kitandani
“mmmmmmh,,”
Mtoto wakike akatoa mghuno Madebe akadhani kipenzi chake kaumia
”ohoo pole sana mpenzi wacha mi nikanyuti Sebleni”
Madebe aliongea hivyo akageuka ili atoke
“Madebee”
Sauti nyororoo ikapenya kwenye ngome ya masikio yake kuwa anaitwa akasimama na kugeuka
“naam”
“njoo hapa kuna kitu nataka nikunong’oneze baby”
Basi akarudi kumsikiliza alipomkaribia akaombwa ainame Madebe alipofanya hivyo akajikuta akikwida na kuvutiwa kwa chini
Agnes alishafumbuwa kinywa chake huku akifumba macho siku zote kipofu haonyeshwi mdomo Madebe mwenyewe alishafahamu nini anataka.
Wakagusanisha midomo walibadirishana mate kwa muda huku mpapasano na kutomasana kukishika hatamu Mtoto wakike alitoa mighuno khaswa
“aaaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiissss
ssssssssss,,,aaaaaaaaaaaaaa,,sssssssssss”
Agnes tayari alikuwa ameshaiva kilichobaki ni kuliwa tu Madebe alianza kumchojoa mavazi khanga, vua Gauni na chupi tupa kule pembeni akaushika mguu mmoja wa kulia na kuupandisha kwenye bega lake la kushoto kisha huu mguu wa kushoto uliobaki ulipita katikati ya miguu halafu kidume kilimwinamia kidogo Agnes aliyekuwa amelishika Dudu kwanza akajipimisha na mkono wake maana kitu kilikuwa kama Nchi kumi au tisa nenee halafu jeusi tii lilisimama ile kisawasawa mpaka misuli ilionekana waziwazi akawa anajiingiza taratiibu, kwanza alivyo na mbwembwe kabla hajaiingiza,kwa kutumia kile kichwa cha Dudu akawa anajikuna nalo
“kiss me,babiiii,,aaaaaaaah ashiiiiiiiimmmmmh,,
Alilalamika hivyo mtoto wa kike ambapo Madebe naye alianza kuhisi utamu mwishowe alijikuta akisukumiza dudu lote likazama ndani ya kipapatio
“aaaaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,sssssssssssssssss,,,aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,ooooooooooo,,uuuuuuuuuuuuuh,,”
Alilalamika Agnes ambapo kuna muda alionekana kama analia, Maana Dudu lilitaiti ile kisawasawa Alishusha pumzi ndefu ya utamu baada ya dudu kufika mahali pake,kidume taratibu huku kikikata mauno kikaanza kupampu. Unajua kuna baadhi ya wanaume huwa wanaona wakipampu mwanamke haraka ndio wanamkuna vyema pindi waingizapo dudu zao lakini sio kweli, mwanamke anatakiwa akuongoze kwa hisia zake, wewe ndio unakuwa unamfuata kwa nyuma,wanawake wote wanapenda pindi unapoingiza dudu uwaanze taratibu kama hutaki vile, jinsi utamu unapokolea ndio kasi pia iongezeke.
“mmh…una ku…tamu mpenzi wangu jamani,aaaaaaah ku..yako tamuuuu ….nakupendaaaa mke wanguuu…Aliongea hivyo Madebe kwa sauti ya chini sana iliyoweza kusikiwa na Agnes pekee, Madebe sio tu kilikuwa kikipeleka taratibu bali kilizungusha kiuno na kuhakikisha anamkuna kila kona ya Kipapatio
“mmmmmh…babiiii hivyohivyo,,,aaah,,,mmmmmh aashiiiiiiiiiiiiiiii punguza kidogo mpenziiiii aaaaah unajua kukatika mume wangu,unanikuna vizuriiii baabaaaa weeeee mmmmmh una mb….tamuuuu ashiiiiii uwiiiiiiiiii uuuuuuuh…alisikika Agnes akitoa sifa ambapo Madebe alimwachia ule mguu kisha akamlalia kabisa kwa juu,yaani alikuwa akihakikisha anazamisha dudu na linafika kabisa kunakostahili, mtoto wa kike alimkumbatia kwani alijisikia raha hasa jinsi dudu hilo lilivyokuwa likimsugua vyema kipapatio chake kuna kumkumbatia kwa kawaida lakini kule kwa Agnes kuliashiria kabisa anajisikia raha isiyo na kifani,mpaka machozi yalimtoka mtoto wa kike na hapo Madebe hakwenda haraka haraka,ni mauno na mwendo wa wastani aliouhitaji yeye mwenyewe
Japokuwa ilikuwa ni Mara yake ya kwanza kuonja tamu lakini alionyesha maufundi yaliyo mchanganya na kumpagawisha Mtoto wakike alilia vilio vyote
******
“oyaa wana mmesikia tetesi zozote huko kitaani?”
“tetesi za nini?”
”si kuhusu Madebe”
“kafanyaje kwani?”
“naskia anatusaka kila kona”
“kivipi atusake?”
”mi hata sijui ndiyo maana nikauliza je mnatetesi zozote kumuhusu yeye maana jamaa anapenda sana kutushobokea wakati sisi hatuna muda naye”
“embu subiri”
Kilikuwa ni kikosi cha Masakara wakiwa wamekaa moja kati ya machimbo yao wakipiga stori huku wakivuta Bangi kama vile hawana akili nzuri yule aliyemtaka mwenzie Asubiri akaitoa simu yake na kumpigia sijui nani ila alisikika akiulizia kuhusu Madebe
Alizungumza kwa dakika mbili pekee kisha akakata simu na kuwaambia wenzake
“aisee Masela nikweli Madebe anatusaka hakuna cha tetesi ni ukweli mtupu kisa na mkasa ni kuhusu yule Jamaa tuliyemvamia leo mchana tukammegea demu wake
Kumbe yule jamaa ni Mtoto wa Shangazi yake Madebe”
“duuh kama ni hivyo basi kimenuka”
“kwani nani miongoni mwetu anaemuogopa Madebe?”
”hakuna yule jamaa ni choko tu!
Anawaonea machoko wenzie kama unakumbuka kipindi kile si nilikuwa namtia makonzi tu!”
“kama vipi tumuibukieni nyumbani kwao”
”kama ujitaki nenda kuna Mzee wake pale akishika silaha hairudi chini bila kumwaga damu yule Mzee wa wachilia mbali noma sana
Kama tunahitaji kumdhibiti Madebe tuingieni kitaa tutampata tu!
“ehee masela kuna wazo nimelipata”
“lipi hilo Jomba?”
“kwanini tusimfanyizie yule Sister ake?”
“unaumwa wewe yani kama hujitaki jaribu kumgusa hata unywele kisha Baba yake asikie kama hajaja kumwaga ubongo wa familia nzima sijui kwa kifupi Mzee Kitwana hana maskhara na binti yake mi Baba aliwahi kuniambia kuwa nineng’eneke koote atanitetea ila nisijaribu kumtania Mzee Kitwana kwani hata kambini kashindikanika”
“hata mimi niliambiwa hivyo hivyo”
”sasa kama tunamuogopa Mzee Kitwana sindiyo baba yake Madebe au?”
”kuhusu Madebe hakuna shida kwa maana anamsifu mwanae yupo vitani tukimuumiza hawezi kupaniki wala nini”
“hapo nimeweza kuwaelewa twendeni basi”
Vijana wapatao watano ndiyo wakaingia kitaa kumtafuta Madebe wakati huo huo
Kikosi cha Mwendo wa Neema walikuwa wakidiskasi yao
“aisee kumbe kuivunja Bikra raha utamu”
“wee fala embu tuachie kelele zako hapa”
“kelele wapi wakati naongea ukweli”
“ukweli upi sasa wakati unasifia uboya tu bwege wewe”
“bwege Baba yako fala wewe unaleta wivu wakishamba tu umemaindi kuona mimi nimekuwa wakwanza kumnaniliu yule Demu sio?”
Mara vijana wale walianza kushikana na kurushiana makonde mazito mazito ikabidi wenzao waingilie kati kuamulia kabla hawajaachana Sauti nzito yenye kuunguruma ikasikika ikiwatusi
“nyie Mbwa watoto wa Malaya kudadeki zenu leo mtanitambuwa kumuangalia mtu mwenyewe ni Madebe
**********************
“bwege Baba yako fala wewe unaleta wivu wakishamba tu umemaindi kuona mimi nimekuwa wakwanza kumnaniliu yule Demu sio?”
Mara vijana wale walianza kushikana na kurushiana makonde mazito mazito ikabidi wenzao waingilie kati kuamulia kabla hawajaachana Sauti nzito yenye kuunguruma ikasikika ikiwatusi
“nyie Mbwa watoto wa Malaya kudadeki zenu leo mtanitambuwa kumuangalia mtu mwenyewe ni Madebe
Songa nayo
Sasa
“hawakuweza kufahamu kwanini Madebe kafika maeneo yale kaja kufanya nini? Mmoja kati yao akauliza
“tumekukosea kitu gani Broo mpaka ufikie hatua ya kutujia kishari hivyo?”
Madebe wala hakutaka maswali yasiokuwa na majibu
Aliwasogelea na kuanza kutembeza makofi Nao wakahitaji kujitetea
Kila mmoja akaiwahi silaha yake kufumba na kufumbuwa walishamuweka mtu kati
Walianza kumshambulia kwa pamoja lakini Madebe alionyesha umahiri wahali ya juu katika kuzikwepa silaha zao huku akiutumia mkono wake wa kushoto wenye Panchi power kuwazimisha. Mtu anapigwa ngumi moja tu ya uso iwe puani au mdomoni akidondoka chini akiweza kuinuka basi aende kwao kutambika
Kitendo cha kuona wenzao wamelaliana pale chini kiliwafanya wengine watimuwe mbio maana maji yalizidi unga
Ndani ya dakika kumi na tano wengi wao walishasepa
Alichokifanya Madebe ni kuchukuwa kamba akawafunga wale waliopoteza Fahamu kisha akawaning’iniza kwenye miti iliyopo eneo hilo kisha
Akatoweka
Sehemu Ya 7
Kikosi cha Masakara walizunguka huku nakule wasiweze kumuona mbaya wao
”aisee huyu Mshenzi kwa sasa haonekani kama vipi tutamuibukia kesho”
“kesho mbali jomba kama vipi twendeni Pekasi huwenda akawepo kule”
“duuh kweli nilitaka kusahau twenzetuni”
Wakageuza na kuelekea Viwanja vya Tanganyika Pekasi jioni hiyo kulikuwa na mechi ya mpira wa miguu kati ya Gwanta na Ukwamani Madebe yeye anashabikia Gwanta moja kati timu yenye vijana wapole sana wasiopenda makuu
Nikweli Madebe alikuwepo maeneo hayo akiifatiria mechi kwa umakini mkubwa
”oyaa masela si niliwaambia mimi kuwa huyu mshenzi huku hawezi kukosekana si mnamuona yule kule”
”sema nini Cheche
Itabidi tunyuti kwa mda maana jamaa yupo na Wajeda pale”
“Wajeda kitu gani bwana twendeni tukalianzishe”
”kama vipi wee nenda tu maana una kiherehere kama mwanamke aliyevaa chupi mpya”
”so mnaogopa Wajeda sio?”
”ndiyo maana yake”
”basi haina shida tunyuti”
Wakati wanabishana pale Madebe alishawaona kilichomfanya asiweze kuwafata ni kuhusu wale Wanajeshi watatu ni moja kati ya marafiki zake wakubwa sana aliosoma nao Shule ya Msingi Kawe (A)
Mpaka walipoingia sekondari ya Makongo baada kumaliza kidato cha nne wenzake wakaingia Jeshini huku Madebe akikataa kufanya hivyo,
“hivi Madebe unafahamu katika maisha ya sasa kupata ajira yenye kueleweka ni vigumu?”
Mmoja kati ya marafiki zake alimuuliza hivyo
“ndiyo nafahamu lakini kwa upande wangu kuna ishu moja hivi naikimbizia ikitiki tu nitafurahi sana”
“ishu gani hiyo?”
”kazi ya ulinzi”
”hahahahaha Aisee kweli wee kichaa yani ukatae kujiunga na Jeshi yenye kuweza kukupatia Pesa na baadhi ya mahitaji muhimu.
Leo hii ukubari kuwa mlinzi yani mwezi mzima ukaisubilie Elfu tisini kama sio laki moja na nusu kama sio uchizi basi ni utaila”
“lakini kila mmoja na maisha yake”
“hata kama ndugu huwezi kujishusha kwa kiasi hicho”
“embu nisubilini kwanza nakuja sasa hivi”
Madebe akanyanyuka na kujifuta vumbi kumbe tayari alishaweza kuwaona Masakara akapiga hatua kadhaa kuwafata Masakara nao walipoona wanafatwa wakatawanyika faster kila mmoja akashika njia yake na kutokomea gizani
Madebe hata alipofika pale hakuweza kuwaona tena akabaki kuangaza macho huku nakule kisha akasonya
Usiku wasiku hiyo
Madebe akiwa amelala chali kuna kitu cha ajabu sana kilitokea kwenye pembe ya Chumba Moshi mzito ulitanda ndani ya chumba kile kilionekana kama kivuli cha Jini kikiambaa kukizunguka kitanda
Madebe aliweza kufumbuwa macho lakini hakuwa na uwezo wa kujinyanyuwa wala kufumbuwa mdomo akabaki kupepesa macho kumuangalia yule kiumbe
“Madebee,,Madebee,, Madebee”
Sauti nzito iliyotetemesha chumba chote kama sio nyumba nzima iliweza kusikika ikijirudia zaidi ya Mara tatu,
Madebe alionekana kuchezesha midomo
“nimekuja kukupa nguvu kijana kuanzia leo nitaishi ndani ya mwili wako
Mpaka mwisho wa pumzi yako”
Baada yule kiumbe kuzungumza hivyo akapanda kitandani na kumsimamia Madebe kwa juu halafu akafanya kama kumdondokea
kwa kasi akaingia mwilini mwa Madebe aliyeshtuka kutoka usingizini akiwa anatweta alikaa Kitano pale kitandani huku akisikilizia mapigo yake ya moyo kwajinsi yanavyopiga kwa kasi jasho jingi lilimtoka
Akanyanyuka na kuusogelea mlango akaufunguwa na kuelekea sebureni hakika alionekana kuwa ni mtu mwenye mawazo kupita kiasi
“nini hiki mbona kila nikilala huwa naota ndoto za ajabu ajabu kwanini lakini?”
Alijiuliza hivyo huku akifunguwa jokofu na kutoa chupa ya maji akakaa kwenye Sofa na kuanza kunywa maji yale
Akachukuwa rimonti na kuwasha tv hakuweza kuangalia sana akaizima na kujilaza pale kwenye sofa usingizi ukampitia yapata majira ya saa kumi na moja alfajir Mzee Kitwana aliamka na kujiandaa kwaajili ya kuelekea kazini wakati anatoka alishangazwa sana kumuona kijana wake akiwa kajikunyata pale sebureni akamsogelea na kumtikisa huku akimwita
“Madebe, wee Madebe,,”
Taratiibu Madebe akafumbuwa macho
”vipi mbona umelala hapa sebuleni? Unaumwa au?”
Mzee Kitwana alimuuliza Madebe akafikicha macho na kujinyoosha akapiga muyao kwa sauti ya chini sana akamjibu Baba yake
“hapana ewe baba yangu siumwi wala nini, sema najihisi kama vile nitaiaga dunia siku si nyingi”
Kauli ya Madebe ilimshtuwa sana Mzee wake akamshika usoni na kumpapasa
“kwanini unatamka hivyo kijana wangu? Nambie kuna mtu au watu waliokutishia maisha?”
Madebe hakuweza kujibu chochote kwa mbaali machozi yalianza kumtiririka ilikuwa ni Mara ya kwanza Mzee Kitwana kumuona kijana wake akidondosha chozi kwani inavyosemekana Madebe alipotimiza Umri wa miaka Tisa hakuwahi kulia alianza ununda tokea akiwa mdogo hata siku ambayo Mama yake alifariki kwa ajari ya Gari kwenye msiba watu wengi walilia hasa ndugu zake isipokuwa yeye peke yake hakulia hata kidogo
Hakuna aliyeweza kushangaa.
Mzee Kitwana akawa anamfuta machozi kijana wake huku akimsihi aweze kumueleza nini tatizo lakini Madebe hakuweza kumwambia muda kidogo Milfat akatoka chumbani kwake na kumkuta Baba yake akimbembeleza Madebe bila hata kuuliza kuna nini naye akaanguwa kilio kwa sauti kubwa
“uwiiiiii, jamanii weeee Mungu wangu,,”
Mzee Kitwana akazidi kuchanganyikiwa binafsi hakuweza kufahamu nikitu gani kinachowaliza vijana wake
Milfat akajitupa chini na kuanza kujigalagaza mpaka Madebe aliyekuwa analia akamshangaa
”na wewe kitu gani kinachokuliza?”
Mzee Kitwana alipaza sauti kumuuliza Milfat aliyenyamaza ghafla
“kwani kaka analilia kitu gani?”
Naye akauliza
”inamaana kaka yako akilia na wewe ndiyo ulie sio?”
”mi nilidhani kuna msiba nikaona niunge tera”
“pumbavu zako wewe huo msiba wa bibi yako”
Milfat akaanza kulia tena huku akisema njooni mnibembeleze na mimi sasa
Mzee Kitwana akaona kama vile binti yake kawehuka alichokifanya ni kumuaga Madebe na kumsihi awe makini sana kisha akaelekea zake kazini
“ehee kaka nimekumbuka kitu”
Milfat aliongea hivyo huku akijifuta machozi akakaa kwenye sofa
”kitu gani tena?”
”unampata Hashim?”
“Hashim yupi maana wapo wengi?”
“si yule ambaye Baba yake anamiliki Mabasi ya Nasset”
“kumbe kale kajamaa Kisharobalo ehee kafanyaje?”
”yule mkaka ni msumbufu balaa kila akiniona haishi kunitongoz,,,,,
Milfat hata hakumalizia kuongea Madebe alishanyanyuka na kutoka nnje alitembea kwa kasi kuelekea Stendi,,
Milfat alijaribu kumwita huku akimkimbilia pasipo kufahamu kitakachoenda kumkuta Hashim huko ni kisanga
**********************
“kumbe kale kajamaa Kisharobalo ehee kafanyaje?”
”yule mkaka ni msumbufu balaa kila akiniona haishi kunitongoz,,,,,
Milfat hata hakumalizia kuongea Madebe alishanyanyuka na kutoka nnje alitembea kwa kasi kuelekea Stendi,,
Milfat alijaribu kumwita huku akimkimbilia pasipo kufahamu kitakachoenda kumkuta Hashim huko ni kisanga
Songa nayo
Sasa
“kakaa,, kakaa,,”
Milfat alimwita Madebe huku akimkimbilia Madebe akasimama
“nini sasa Sister?”
“sio nini bali nataka kufahamu unaelekea wapi?”
“kwani wewe unavyohisi nitakuwa naelekea wapi?”
“halafu tabia ya kuniuliza swali wakati langu hujanijibu sipendi ujuwe”
”basi samahani Sister”
Madebe akaomba msamaha kisha akaendelea na safari
“sasa mbona unaondoka wakati haujanijibu unaenda wapi?”
“kwani wewe unataka nielekee wapi?”
“mi sijui ila isijekuwa unamfata Hashim ili ukampige”
“walaa sina niya hiyo”
“siku zote unasemaga hivyo hivyo”
“Sister wee rudi nyumbani wacha mi nielekee kwa Mamdogo”
”mmh kama kweli unaenda kwa Mamdogo basi twende wote”
“haina shida nenda basi kavae viatu mi nakusubiria hapa”
Milfat akajiangalia miguuni nikweli alikuwa pekupeku akakimbia mbio kufata viatu
Aliporudi ile sehemu ambayo Madebe alimwambia anamsubiri hakumkuta Kitambo mwenzake alishaondoka akaishia kusonya na kurudi alipotoka
Tukija upande fulani hivi kulikuwa na kikundi cha vijana wakubwa na wazee walionekana kila mmoja akiwa bize katika kufanya kazi yake huku wengine wakipiga Stori za hapa na pale
“oyaa wee Jeff embu punguza kelele hizo”
“acha ufala wewe kama unaona kelele si uwende ukalale na mkeo tambuwa Mwanaume hapa nipo kikazi zaidi”
“katika kazi hiyo nayo kazi bwege wewe sasa kwataarifa yako naweza nikakuajiri kwenye kampuni yangu nikakulisha na kukuvisha wewe na ukoo wako wote”
”sasa hayo matusi ndugu”
“matusi wapi wakati nakwambia ukweli embu acha kugongagonga hivyo vyuma njoo uchukuwe pesa hii ukalale”
“ahaa Hashim mwana embu acha dharau za kiboya unamdharau mshikaji kisa wewe familia yenu ni matajiri sio!”
“hapana mi wala sijamdharau bali nilimtaka tu aache kelele”
“sasa tokea lini fundi magari akaacha kugonga vyuma hii ndiyo kazi yake unataka kunambia ukiingia Disco utataka DJ azime mziki kisa anapiga kelele
Wakati makelele ndiyo ajira yake”
“poa basi yaishe Jomba oyaa Jeff usimaindi wala nini matani tu kwani unadhani mi sijui kama hapa kijiweni kuna kelele zakila aina”
Wakati Hashim akiongea hivyo Mara Madebe akawasili pale kwanza akasalimia baada kuitikiwa akakaa kwenye Benchi Mzee mmoja akaghuna na kunyanyuka akaondoka taratiibu
“nakuona Mzee wakazi Madebe mwenyewe ngumi chuma chuma baba”
Hashim alianza kujishauwa alishaweza kufahamu ujio wa Madebe pale ni kwaajili yake
Hashim anajulikana kama mmoja kati ya vijana watukutu Mbabe mwenye kutumia pesa za Baba yake kuwaonea na kuwanyanyasa masikini pia ana kauli za dharau kupita kiasi akimuhitaji Mwanamke yoyote yule kumkosa kwake ni mwiko
Mabinti ambao walidiriki kumkataa wakaishia kutekwa na kubakwa
Hakuweza kufanywa chochote hata ukienda kushitaki polisi utaambiwa tu wee nenda nyumbani mtuhumiwa atakamatwa
Licha ya ubabe wake wote kitaa lakini moyoni mwake alikuwa anamuhofia mtu mmoja tu si mwingine ni Madebe yani haogopi polisi hata wawe mia moja lakini kwa Madebe anakuwa mdogo kama vile kidonge cha pilitoni
Madebe alimuangalia Hashim kwa kumkazia macho akakohoa kulainisha koo kisha akamuuliza
“wewe ndiyo Hashim?”
“ndiyooo,,ndiy mimi mkuu kwani nimefanyaje?”
Hashim aliitikia kwa kubabaika
”una Dada?”
”ndiyo ninao kwani wamefanyaje?”
“nikikuuliza swali jibu kama nilivyo kuuliza usiongezee neno lingine”
“sawa kaka kwani Milfat kakwambiaje kuhusu mimi?
Ghafla Hashim akapigwa kofi huku akikalipiwa
“wee pusi nimekwambia jibu swali”
Hashim alipepesuka na kutaka kudondoka chini
Akadakwa na kuweka sawa
“bila shaka umeweza kutambuwa kosa lako sasa basi nakupa onyo kuhusu Milfat sio dizain ya wanawake unaowachezea unakumbuka kuna siku ulisema Wanawake nikama choo ukijisia haja unaenda kukojoa ile kauli sio kwa Milfat Dada yangu sio choo Milfat yupo kwenye himaya ya Tiger
Nitakularuwa na kukutawanya fala wewe”
Madebe alifoka huku akimkazia macho kumuangalia Hashim aliyekinga mikono kuomba msamaha
“wa kubwa mi naenda kama vipi amani au sio”
“sawa mkubwa bila shaka ameweza kukusikia hatorudia tena”
Madebe baada kutoa onyo kuhusu Dada yake akaaga na kuondoka huku nyuma Hashim alichekwa na kuzomewa kitu ambacho kilimfanya asiweze kukaa tena pale akaelekea nyumbani kwao
Akiwa njiani aliitoa simu yake na kumpigia Baba yake
“Baba mwanao leo nimepigwa nimeaibishwa mbele ya umati wa watu”
Hashim bila kutoa salamu alianza kumlalamikia Baba yake
“nani kakutendea hivyo?”
“Madebe Baba”
Alipojibu tu simu ikakatwa akaishia kusema haloo haloo hata alipojaribu kupiga tena akajibiwa simu inatumika
Kitendo cha kijana wake kumshtakia kuwa kapigwa kilimchukiza sana bwana mkubwa Abraham mmoja kati ya Matajiri wakubwa katika ukanda wa Afrika inavyosemekana Mzee Abraham anashika namba tatu kwa utajiri Afrika Nzima yote sababu ya vitega uchumi alivyokuwa navyo
Anamiliki Viwanda takribani ishilini vyenye kutengeneza vitu mbalimbali kwa mahitaji ya Nyumbani maofisini kama vile sabuni mavazi vifaa vya kielotronik tv pasi feni nakadharika
Pia anamiliki visima vya mafuta idadi isiojurikana huko uwarabuni achilia mbali
Licha ya utajiri aliokuwa nao lakini bwana Abraham alihitaji kuishi maisha ya kawaida sana sio
Ajabu kumkuta kwenye vijiwe vya kahawa akicheza Bao huku akipiga porojo kitu ambacho alikirithisha mpaka kwa Watoto wake
Waliokulia maisha ya Uswahilini
“wewe ni Afande Mwita?”
“ndiyo mkuu”
”sasa nataka uwandae vijana haraka sana mwende mkamkamate Madebe”
”Madebe yupi Mzee?”
”yule nyau wa Mzee Kitwana”
Simu ikakatwa Afande Mwita kijasho kilimtoka japokuwa hapo ofisini kulikuwa na feni iliyokuwa ikipepea kwa kasi.
Kiukweli aliona wamepewa kazi nzito sana yani waingie
Lugalo kumkamata kijana mtukutu kama Madebe akavuta pumzi kwa ndani na kuzishusha akapiga simu sehemu fulani
”unataka kusema mida hii yupo maeneo ya Kawe?”
”ndiyo mkuu nimemuona kakatiza sasa hivi anaelekea maeneo ya Hipro”
”asante kwa taarifa”
Afande Mwita alihitaji kufahamu kwa wakati huo Madebe atakuwa wapi?
Akakata simu kisha akasimama na kuelekea nnje
“aisee Sebastian kuna kazi moja nyeti sana imeweza kutufikia muda huu”
“kazi gani hiyo?”
“kuhusu kwenda kumkamata Madebe”
”mmh Madebe yupi? Isijekuwa yule jini mtu”
“ndiyo yeye huyo”
”aisee Mwita bila shaka unajitafutia matatizo ndugu yangu tunaanzaje kuingia Kambi ya Jeshi?”
“kwani tunaenda kumkamata ni Mwanajeshi au ni Raia wa kawaida?”
“hata kama ndugu tambuwa yule Mtoto baba yake ni mkorofi sana”
”unataka pesa au hutaki?”
”kwanza hiyo kazi umepewa na nani?”
“na Mzee Abraham”
“daah kama ni yeye wacha nikamkamate”
Baada kuambiwa kuwa kazi imetoka kwa Mzee Abraham mtu ambaye anamwaga pesa kama hana akili nzuri
Ispekta Seba alijikuta akikubari kwenda kumkamata Madebe akamwita mmoja kati ya Maafande akazungumza nae kwa Uchache wakati
Afande Mwita akiwapa maelekezo wapi wanaweza kumpata Madebe
Kisha wakaondoka
Nikweli Madebe alikuwa yupo maeneo ya Kawe kwa mama yake mdogo
Alionekana kuweka mkaa kwenye jiko
”Madebe mwanangu shida yote ya nini embu acha Dada yako Khailat atakusongea huo Ugali”
“hapana Mama nitausonga mwenyewe nyie endeleeni na kazi zenu”
Siku zote Madebe huwa hapendi kupikiwa na mwanamke akidai vyakula vyao ni vilaini sana havimpi nguvu yeye anataka Ugali mgumu yani ukipigwa na tonge usoni lazima uchanike
Sio ugali laini kama unamlisha kibogoyo
Wakati anaendelea kupepea moto
Ispekta Seba akiwa na mwenzake wakawasili maeneo yale
Wote walikuwa wamevalia sale za kazi
“bila shaka wewe ndiyo Madebe?”
Ispekta Seba akauliza aliuliza hivyo sio kama amfahamu bali alitaka kuonyesha ukakamavu mbele ya kiumbe hicho
“ndiyo Mimi niwasaidie nini wakubwa?”
Madebe akaitikia na kuwauliza
“unahitajika kituoni sasa hivi”
Yule Afande mwingine akajibu
“usiseme sasa hivi wakati mnaliona hili jiko hapa nakoleza moto nataka ninyong’orote
Kitu cha Nguna sasa basi mnaweza mkakaa pale
Mnisubiri nipike nile nioge halafu ndiyo tuelekee huko kituoni au vipi?”
”sawa haina shida kiroho safi tutakusubiria”
Basi Madebe akaendelea na kazi zake huku Ispekta Seba na mwenzake wakipiga stori za hapa na pale
“kwani mmetumwa na nani kuja kunikamata?”
Madebe akauliza swali wakati huo
Alikuwa anakata kachumbari
“Mzee Abraham ndugu sijui umemkosea kitu gani?”
”yule Mzee fala sana Mamae zake nikitoka huko kituoni nitaenda kumuonyesha kwanini nikiamka Asubuhi natafuna kokoto
Oyii karibuni tule”
“ahaaa si tayari tushakula Mzee”
Ispekta aliitikia kwa kubabaika
Sehemu Ya 8
“kwani mmetumwa na nani kuja kunikamata?”
Madebe akauliza swali wakati huo
Alikuwa anakata kachumbari
“Mzee Abraham ndugu sijui umemkosea kitu gani?”
”yule Mzee fala sana Mamae zake nikitoka huko kituoni nitaenda kumuonyesha kwanini nikiamka Asubuhi natafuna kokoto
Oyii karibuni tule”
“ahaaa si tayari tushakula Mzee”
Ispekta aliitikia kwa kubabaika
Songa nayo
Sasa
“hivi huyu jamaa anajiamini kitu gani mpaka anafikia hatua ya kumtusi mtu mbele yetu?”
Yule Afande akamuuliza Ispekta Seba kwa sauti ya chini sana
“sikia ndugu nikwambie hapa hatuna budi kujifanya wajinga juu yake kwa maana tukimfikisha tu kituoni tutamuonyesha kwanini sheria ipo juu ya sheria”
”na tumfinye kweli”
Wakati wanaendelea kuteta wakashtushwa na sauti ya Madebe akiwaambia
“haya twendeni huko kituoni”
Wakanyanyuka na kuianza safari
Watu walioweza kumuona Madebe akiwa kaongozana na Maafande wale walibaki kujiuliza maswali mengi bila kupata majibu
Walipofika tu kituoni yule Afande akamtandika Madebe zinga la kofi lililotuwa Shavuni kabra hajakaa sawa akamuongeza lingine huku akimfokea
“pumbavu zako
Yani kiroboto kama wewe unataka kujifanya upo juu ya Sheria unatusurutisha sisi tukusubiri vuwa mkanda vuwa viatu”
Madebe akafanya hivyo kisha akaingizwa Selo
Ispekta Seba akatikisa kichwa kumsikitikia yule Afande
”vipi mbona kama unasikitika ndugu? Na kwanini wewe hukumfinya kama ulivyosema tukiwa kule?”
Ispekta Seba hakujibu kitu akatoka nnje ile anatoka tu pale nnje kuna Pikipiki ilikuja kwa kasi na kupaki maeneo yale akatelemka Mzee Kitwana akiwa ndani ya Kombati iliyosheheni nyota kadhaa kuonyesha ni jinsi gani ana cheo kikubwa sana Jeshini
Ispekta Seba alijikuta akimpigia Saruti
”kwanini umemkamata kijana wangu?”
“ni agizo Mzee kutoka kwa mkuu wa kitengo”
Ispekta Seba akajibu kikakamavu
Mzee Kitwana alimuangalia kwa kumkazia
”ni agizo sio?”
“ndiyo Mzee”
“niongoze njia”
Ispekta Seba akamuongoza njia mpaka ofisini walimkuta Mkuu wakituo bwana Mwita akiongea na simu huku miguu kainyoosha na kuiweka kwenye meza alipomuona Mzee Kitwana pale akakata simu na kusimama kikakamavu
”karibu ukae Mzee wangu”
Alimkaribisha na kumuonyesha kiti.
“sijaja hapa kukaa ila nimekuja kukutahadharisha kitu kimoja naskia Umemkamata Kijana wangu sijui kwa kosa gani? Ila tambuwa kijana anaumwa yule tokea Asubuhi hayupo sawa kihafya sasa ikitokea akafia humu
Mtamla nyama bila kupenda
Msiniletee Maiti mimi, mi naenda”
Mzee Kitwana aliongea kwa upole kisha akatoka
“muwachieni huyo kijana”
Afande Mwita akatoa Maagizo kuwa Madebe aachiwe maana ile kauri ya Mzee Kitwana kengere ya hatari ilishaanza kugonga kichwani kwake
Mzee Kitwana anajulikana kama Mzee wa visasi. Madebe alipoachiwa alimuangalia sana yule Afande aliyempiga makofi mpaka Afande mwenyewe alianza kuingiwa na hofu
“utalipa hivi kidogo”
Madebe alitamka hivyo huku akiondoka
“umemsikia alichokitamka yule Mbwa”
“usimwite Mbwa ndugu kuwa makini sana”
Ispekta Seba alimtahadharisha mwenzake na kumtaka awe makini.
Madebe alishachafukwa alitembea huku akiwa kakunja ndita Akaelekea kutuoni na kukodi Pikipiki
“wapi mkuu?”
”Mikocheni Jomba sijui utanifanyia kiasi gani?”
“Mikocheni kubwa kaka”
”unampata Mzee Abraham?”
“ahaa yule Mzee Tajiri anaeishi maisha ya kawaida?”
”ndiyo huyo ndugu”
”mpaka kule nitakufanyia Elfu mbili tu!”
“poa haina shida”
Madebe akapanda kwenye Pikipiki safari ya kuelekea Mikocheni ikaanza
Dereva Pikipiki alichochea moto hatimae wakawasili mitaa fulani hivi Madebe akashuka na kumtaka Dereva amsubilie
Akaisogelea moja kati ya Nyumba kubwa za kifahari
Akabofya kengere ya getini dakika si nyingi mlango wa Geti ukafunguliwa
”habari yako kaka”
Madebe alimsalimia mmoja kati ya Walinzi aliyefunguwa mlango
“safi tu nikusaidie nini?”
”nilikuwa nahitaji kuonana na Mzee Abraham”
”wee nani yake? Je una miadi nae?”
”hapana sina miadi nae kama yupo nenda kamwambie kuwa Madebe Kitwana yupo nnje ya Nyumba yake”
”sawa subiri”
Mlinzi akarudi ndani punde akatoka na kumtaka Madebe aingie ndani
Madebe alipoingia tu akajikuta kazungukwa na Wanaume walioshiba kitu ambacho kilimshangaza sana nipale alipomuona Mzee Abraham akiwa kashika Bastola
“ha! ha! ha! ha! Vizuri sana kijana kwa kujileta mwenyewe,,”
Ikawa kufumba na kufumbuwa Mmoja kati ya wale watu kunyoosha mkono akapuliza Dawa iliyokuwa kwenye kopo kama la Dawa ya Mbu iliyompata Madebe usoni
Akakinga mikono kufikicha macho huku akirudi nyuma
Palepale walianza kumshambulia kwa kipigo.
Madebe alihitaji kujitetea lakini kile kitu alichopuliziwa Kilimnyong’onyesha na kumdebwedesha
Akapigwa ngumi mateke akadondoka chini.
Wale watu wakazidi kumpiga
“sasa mkuu unaweza ukamaliza kazi”
Mmoja kati yao alitamka hivyo Mzee Abraham akafunga kiwambo cha kuzuia sauti yani mlio wa risasi usiweze kusikika
Akamrenga Madebe kichwani
Na kujiandaa kufyatua risasi…
*****
“hivi leo kwani ni zamu ya nani kufagia na kudeki choo?”
“unauliza hivyo wewe kama nani?”
“khaa wee vipi kwani ulitaka niwe nani?”
“embu nipishege mie”
“nikupishe kwani ni zamu yako kuingia au shobo tu!”
“sasa kama ni zamu yako si ukajisaidie
Kutusimamia mlangoni na kuanza kutuuliza maswali inahusu”
“chooni kwenyewe kunanuka uvundo nani aingie”
Walikuwa ni wadada wakikubwa wakitupiana maneno ya hapa na pale kuhusu swala zima la usafi wasiku hiyo
Wakiwa wanaendelea kutupiana maneno Mara Ghafla kila mmoja alishtushwa na sauti nzito ya mtu akilia
Kitendo kilichowafanya wakimbilie ndani makopo wakatupa kule maji mwaah
“Mamaa nakufaa nisaidienii jamani mi sio mwizii”
Zilikuwa ni kelele kutoka kwa kijana wakiume mwenye umri wa miaka kama ishilini hivi
Alipiga kelele huku akijitahidi kuwakimbia watu takribani saba waliokuwa wakimkimbiza lakini hakuweza kufika mbali kwani alijikwaa na kudondoka chini kufumba na kufumbuwa wale watu walishaweza kumfikia
“tafadhari msiniuwee jamanii,, mi sijaiba Mimi,,”
Alijitetea kwa kuongea hivyo wale watu wakaangaliana mmoja akatoa ishara kumtaka mwenzake aweze kuandaa kinywaji maarumu
Kinywaji chenyewe hakikuwa kingine bari ni Sument basi ikaandaliwa yule kijana akashikwa kwa nguvu na kunyweshwa kilazima kisha wakamtaka anyanyuke aelekee nyumbani kwao.
Kijana hakuweza kuamini kama wale watu wamemuachia huru yani hawakumpiga hata kidogo akashukuru pasipo kufahamu kitu alichonyweshwa hatoweza kufika mbali
Akanyanyuka na kuanza kukimbia tumbo lilianza kumuuma koo lilikauka akawa anapumua kwa Shida kizunguzungu kikamshika Mara akadondoka chini chali pale pale akapoteza maisha,,
“wee Mwajuma kwani huko nnje kuna nini?”
“Mwendo wa Neema wanapita”
”kwani hawa Mwendo wa Neema na Masakara wana ndugu?”
”mi hata sijui”
“hivi Serikali itawafumbia macho Watoto kama hawa mpaka lini jamani?
Watu hatuna amani kabisa juzi tu wamenivuwa chupi”
“khee unataka kusema walikubaka?”
“sio walinibaka bali nilibakwa na mmoja kama unakumbuka juzi si nilienda Kawe Beach sasa wakati narudi nikapitia sehemu ile ambayo Wamasai wanapochunga Ng’ombe nikiwa sina hili wala lile nikashtukia Sande akitokea kichakani bila hata kuniuliza akanishika mkono na kunivutia kichakani
Akaniambia
“ukitaka nisikuumize wala nisiwaite wenzangu nipatie penzi mwenyewe ukizinguwa utaona, sikuwa na jinsi kukubali,,”
“duuh pole sana Shogaangu sema bola alivyokuwa mmoja maana usiombe wakiwa kumi au nusu ya kundi maana naskia wapo zaidi ya Mia mbili”
“duuh mi wangekuwa watatu tu wangentoa roho sembuse hao
Mia mbili”
Unampata Irene?”
”unamsemea yule mdogo wake Agnes?”
“ehee ndiyo huyo”
“kafanyaje?”
“juzi kati hapa si kabakwa na Watu sita kibaya zaidi alikuwa bikra”
“Mtumee roho yangu na umri ule alikuwa na Bikra”
”ndiyoo”
“basi makubwa”
******
Wakati Mzee Abraham akijiandaa kufyatua risasi ghafla alishtuka baada kuona kitu si cha kawaida kikitoka mwilini kwa Madebe aliyekuwa kalala chini hajitambui akashikwa na taharuki zaidi Kitu kile kilivyotoka tu kilianza kuwateketeza watu wake,
Ikawa kufumba na kufumbuwa Bastola aliyokuwa kaishika kupotea mkononi mwake
Akashikwa na kiwewe akageuka ili akimbie
Kiumbe huyu hapa mbele yake
Shetani si Shetani Jini si Jini sijui yukoje akanyoosha mkono na kumkaba Mzee Abraham kisha akamnyanyua na kumning’iniza juu
”cheza uchezavyo neng’eneka uneng’enekavyo utajiri wako sikitu mbele yangu naweza kukutawanya sekunde yoyote ile
Kaa mbali na Madebe usimguse usimghasi
Kwa chochote atakacho kifanya Mimi nitakuwa nyuma yake
Narudia tena kukuonya kaa mbali na Madebee”
Kiumbe kikatoweka Mzee Abraham alidondoka chini kama vile Mzigo wa kuni
Ziliweza kupita kama dakika tano hivi ndipo Madebe akarejewa na fahamu zake
Kwanza alijishangaa kujiona akiwa kalala chini
Akaangalia huku nakule aliona jinsi watu walivyopangaranyika wengine walikuwa wamelaliana
Akaona mmh hii sasa ni kesi akanyanyuka na kutoka nnje mbio
Alipotokezea nnje yule Dereva Pikipiki hakumkuta kitu cha ajabu kuna Pikipiki nyingine ilikuja kwa kasi na kupaki mbele yake huku Dereva wa Pikipiki ile akimtaka apande ili waondoke
Madebe hakutaka kujiuliza sana
Akachukulia kama ni kawaida ya madereva Bodaboda kuwachangamkia wateja akapanda
Kitu kingine kilimshangaza ni kuhusu yule Dereva kumpeleka nyumbani kwao Lugalo kapajuwaje? Wakati hakuzungumza nae kitu chochote
Alishangaa sana
Tena kafikishwa mpaka mlangoni kwao
Alipotelemka Dereva Pikipiki akaondoka tena hakudai hata pesa
Madebe akachoka hoi na kukaa chini kwenye kibaraza cha Nyumba yao
Akajishika kichwani alianza kukumbuka tukio lilitokea kule nyumbani kwa Mzee Abraham mara ya mwisho alipoliziwa Dawa kitu ambacho kilimfanya apoteze fahamu sasa nini tena kiliendelea
Au ile Dawa iliwalevya na wao?
Au yule Dereva aliyenipeleka kule alipigiwa simu na mteja mwingine ndipo akamuachia maagizo Dereva mwingine maana yule wa mwanzo anapajuwa hapa nyumbani?
Sasa mbona ajadai hela yake?
Madebe alizidi kujiuliza maswali pasipo kupata jibu
MWISHO wa SEASON 1
Season 2 Inakuja

