BALAA LA MBUZI KAGOMA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya 4
“ Hapana zubery inatoshaaaaa…inatoshaaaaa…” Aliongea kungwi huku akijaribu kumsukuma zubery nyuma. Ilikuwa bure. Zubery aliendelea na kazi kama kawaida.
Gafla, mlango ulisukumwa. Aliingia wema akiwa anahema juu juuu.
“ Ndio nini hiki?’ Aliuliza kwa mshangao.
Zubery hakumjali mkeo, ni kama alipandwa na wazimu aliendelea kumfanya kungwi kwa ukatili wote. Kisima cha kungwi badala ya kutoa maji kilianza kutoa damu. Zubery hakujali.
“ Mume wangu ndio nini hiki?” Aliuliza wema.
“ Nisaidieeee…nisaidieeeee…..” Alipiga kelele kungwi. Wema bala ya kumsaidia, alimvaa kungwi pale pale. Alimshushi ngumi hatari ya uso.
Katika purukushaani ya kumpiga, kungwi alifanikiwa kuchomoka kwa zubery.
“ Aaaaaa…aaaaaaa…” Alilalamika zubery badala ya kuchomoka. Akiwa analalamika, mkewe alimuwahi na kumshika nyoka wake. Alimshika na kumvuta kwa nguvu.
“ aaaaaaaaaaaaa…” Zubery alilalamika kwa maumivu makali. Akiwa anapiga kelele, mkewe alimzaba vibao vya uso.
“ Paaaa…paaaaaaa.”
“ Mbona unanipiga?” Aliuliza zubery. Alikuwa ni kama mtu aliyetoka usingizini.
“ Unaniuliza kwanini nakupiga hujioni ulivyo? Hivi nilikuleta kufanya haya?” Aliuliza Wema. Zubery alijitazama akashangaaa. Haraka aliwahi nguo zake na kuzivaaaa. Ile amemaliza tu kuzivaaa, mlango ulifunguliwa tena. Aliingia mama wema.
“ Eeeeeeh! Mkwe mbona hapa?” Aliuliza mama wema.
Zubery akiwa anajiuma uma hajui hajibu nini, Wema alimvamia kungwi , alimrukia vichwa na mateke. Mama yake alimshika na kumvutia pembeni.
“ Mwanamke hauna haya wewe.” Aliongea wema.
“ Mumeo kanibaka. Wala mimi sikutaka kufanya haya. Kanibakaa ..kanibakaaaa..’ Aliongea kungwi. Wema hakujali, alimvamia na kuendelea kumshushia kipigo. Mama yake alimshika na kumuondoa.
“ Hivi nini kinaendelea? Kwanini nilikuwa vile?’ Alijiuliza Zubery. Haraka naye alitoka nje kumfata mkewe kwa nyuma.
“ Ukija nyumbani nakuua leo..” Aliongea wema. Alimtaka zubery asiende nyumabani wake.
“ Uuuuuuuh!” Kungwi alihema baada ya wema na mumewe kuondoka. Alichukua maji ya vugu vugu na kwenda kujikanda choooni.
“ Mmmmh! Hivi ile dawa wema alifanyaje? Mbona mwanaume amekuwa vile?” Alijuliza kungwi wakati akiwa anajikanda. Hakuwahi kukutana na balaa kama lile. Ilikuwa ni mara yake ya kwanza. Licha ya kuwa na madawa ya ngono na kuwapa watu wengi lakini hakuwahi kukutana na mashine kama zubery.
Alijikanda, na kujituliza kwa maji ya uvugu vugu. Alijaribu kusimama aliweza, ila hakuweza kutembea vizuri. Alikuwa akichechemea.
……………………………………
Baada ya kuzuiwa na mkewe kwenda nyumbani kwake, Zubery aliamua kwenda kijiweni kupoteza mawazo. Akiwa kijiweni akili yake yote ilikuwa kwa yale matukio yaliyomtokea.
“ Inamaana dawa ya wema ndio imenifanya niwe vile?” Alijiuliza. Aliwaza na kuwazua bila ya kupata majibu.
“ Zubery mbona upo hivyo? Unawaza nini?” Aliuliza sele.
“ Mwanangu hata sielewi. Kuna jambo linanitatiza sana. Hata sielewi vizuri.”
“ Mmmmh! jambo gani hilo?”
“ Mapenzi ndugu yangu. Kuna kitu nimefanyiwa, mwanamke akikaa staili ya mbuzi kagoma na kuwa na nguvu za ajabu sana, yaaani nafanya tu bila kuchoka hadi inakuwa kero kwa yule mwanamke. Yaaani nimekuwa mashine kupitiliza.” Aliongea Zubery.
“ Mmmmh! hio mbona mpya.” Aliongea Sele. Akiwa anaongea hivyo sele, akili yake ilikumbuka kitu. Alimkumbuka hidaya. Hidaya alikuwa mpenzi wake ila waliachana baada ya hidaya kumalalamikia sele amfikishi anakotaka.
“ Mwanangu hiyo sio shida,sasa kama ipo hivyo kuna jambo nataka unisaidie. Tena kila kitu nitagaharamia mimi.” Aliongea sele.
“ Mmmh! Jambo gani?”
“ unamkumbuka hidaya, yule manzi aliyekuwa anauza bar pale juu?”
“ namkumbuka.”
“ Yule manzi katutukana wanaume wote wa huu mtaaa, Anasema wote ni sifuri hatujui mapenzi na hatuna nguvu. Sasa kama ni kweli wewe unahizo nguvu nataka twende ukamkomesheeee.’ Aliongea Sele.
“ Yule manzi katutukana wanaume wote wa huu mtaaa, Anasema wote ni sifuri hatujui mapenzi na hatuna nguvu. Sasa kama ni kweli wewe unahizo nguvu nataka twende ukamkomesheeee.’ Aliongea Sele.
“ Hilo siwezi sele. Siwezi kabisaaa.” Aliongea Zubery. Pale pale alisimama na kutaka kuondoka. Sela alimshika mkono na kumtuliza.
“ Jamaa yangu hilo hapaana. Hilo siwezi kulifanya.” Aliongea Zubery. Alisimama na kuondoka.
Hatua kadhaa mbele, alikutana na Amina, mwanamke aliyemtetemesha wakiwa kwenye daladala. Kumuona tu, kwa aibu aliamua kuangalia pembeni.
“kaka samahani.” Aliongea Amina huku akiwa anamsogelea Zubery.
“Shiiiit..” Alitamka Zubery. Hakutaka amuone.
“ Shiit nini?” Aliuliza Amina.
“ Aaaaa…aaaaaa…” Alishikwa na kigugumizi Zubery.
“ Mmmmh! halafu sura yako sio ngeni sana.” Aliongea Amina. Alimsogelea zubery vizuri na kumtazama usoni. Alimkumbuka. Alijikuta anaangua kicheko. Alicheka kwa dakika kadhaa kisha akatulia.
Kitendo cha kucheka kilimkera Zubery, alihisi kudharauliwa sana.
“ Samahni nimecheka bila kukusudia, ila yale yalipita kaka.” Aliongea Amina.
“ Unashida gani?” Aliuliza Zubery.
“ Kuna Kaka mmoja anaitwa Michael, anakaa mtaa huu! Sijui unamjua?” Aliuliza Amina.
“ Namjua. Nyosha na hii barabara, ukifika pale mbele utaona nyumba imepakwa rangi nyeupe. Ndio nyumbani kwake hapo.” Aliongea Zubery.
“ Lakinis si unipeleke tu.” Aliongea Amina.
“ Mmmh! Kwanza unashida naye ipi? Nisijekupoteza muda wangu hadi kule halafu hakuna lolote la maana.” Aliongea Zubery.
‘ Usijali nitakupa elfu kumi. Yule kaka namdai elfu hamsini, jana usiku alinichukua clud aliniahidi atanilipa elfu hamsini lakini kanitoroka guest na hela hajanipa. Nataka niende nikamuwashie moto anaipe hela yangu.” Aliongea amina.
Maneno ya amina yalimshangza Zubery, akili yake iifanya kazi haraka akaamua kitu.
“ Sasa sikia. Naomba achana na huyu Michael, hiyo elfu hamsini mimi nitakupa.” Aliongea Zubery.
“ Utanipa kwa kazi gani?” Aliuliza Amina.
“ Kazi gani tena vipi? Kazi hiyo hiyo uliyomfanyia Michael mimi nitakulipa, nitakulipa elfu hamsini kwa ajili ya Michael na pia nitakupa elfu hamsini kwa ajili yangu.” Aliongea Zubery.
“ Mmmmh! kwa wewe hapana aisee, hela yako siiitaki. Unajua hata kama najiuza lakini mwenzio nataka burudani, kwa jinsi ulivyoshindwa kumthibiti nyoka wako kwenye daladala inaonekana wewe ni dhaifu sana. Hauwezi kufika hata dakika utakuwa umemaliza mchezo. Sasa mimi maswala ya kupakana shombo siyataki.” Aliongea Amina.
“ Duuuuh!’ Alitamka Zubery. Aliumia kudharilishwa.
Nyumbani, wema alikuwa kwenye majuto makubwa. Alijilaumu kwa yote aliyoyafanya. Alijilaumu kwa dawa alizomfanyia mumewe. Akiwa anatetemeka kwa hasira aliyachukua majani ya mnyono na kwenda kuyatupa nje.
“ Hasira hazisaidiii, lamsingi mtafute mumewe mkapime. Yule kungwi ni muathirika. Fanya juu chini mkapimeeee na mumeo.” Aliongea mama wema.
“ Ushenzi wafanye leo na leoe hii hii tukapime?” Aliuliza Wema.
“ Hapana. Subiri hata mwezi ndipo mkapime, ila kwasasa kaa mbali na mumeo usikubali kushirikiana naye.” Aliongea Mama wema.
“ Sikutegemea kama yule kungwi angeweza kuyafanya haya aliyoyafanya. Siwezi kumuacha, lazima nimfundihe adabu. Popote nitakapokutana naye nitamfundisha adabu.” Alibwata wema.
“ Ni kweli usimwache. Amekuharibia ndoa yako, la kufanya hakikisha mnakuwa peke yenu ndipo unamfanyai hicho unachotaka kumfanyia.” Aliongea mama wema.
“ Nina akili mama. Sitafanya kipumbavu, kwanza nitajifanya nimemsamehe, kisha nitamleta hapa nyumbani. Akithubutu tu kukubali atakuwa amekwisha.” Aliongea wema.
Wakiongea hayo, gafla, “ Ngoo…ngoooo…ngoo…’ Mlango uligongwa.
“ Nani tena huyu saizi?” Aliuliza wema. Alisimama alipokaa na kwenda kufungua. Ile anafungua mlango alikutana uso kwa uso na kungwi wake.
“ Nani tena huyu saizi?” Aliuliza wema. Alisimama alipokaa na kwenda kufungua. Ile anafungua mlango alikutana uso kwa uso na kungwi wake.
“ eeeeeh!’ Alishtuka Wema.
“Ka..ka…ribu…” Alipatwa na kigugumizi cha gafla. Hakutegemea kumuona pale kungwi. Kungwi bila kusita alipiga hatua kuingia ndani.
“ Mmmmmh! Huyu dada lazim atakuwa mchawi. Yaani kuongelewa saizi na sasa hivi kaja.” Aliwaza mama wema.
“ Mwanangu naona unamgeni, naondoka mara moja nitakuja baadae.” Aliongea mama wema. Alisimama na kuondoka.
Amina aliendelea kumkataa zubery, alimwambia ni dhaifu.
“ Unavyonifikira sivyo. Naomba nikiwa dhaifu kama unavyosema ongeza dau, badala ya elfu hamsini nikulipe laki.” Aliongea Zubery.
“ Kama hivyo sawa.” Alijibu Amina.
“ Yeeess…” Alishangilia kimoyo moyo Zubery. Akili yake iliwaza kisasi. Alipanga kulipa yale yote aliyosababishiwa na amina.
“ Utanitambua leo. Yaani wewe wa kusababisha nyoka wangu asimame vile ndani ya daladala! Leo utanikoma, dharau zote naenda kuzifuta, kuanzia leo tukikutana utaniheshimu.” Aliwaza Zubery.
Waliongoza na Amina mpaka lodge maarufu iitwayo hope lodge.
“ Chumba kipo lakini salama tumieishiwaaa.” Aliongea muhudumu.
“ Aliyekuambia tumefata salama nani? Yaani kila unayemuona anakuaja lodge akili yako inadhani amekuja kufanya ngono?” Aliuliza Amina.
Muhudumu bila kuwajibu alitoka kaunta na kwenda kuwaonesha chumba. Zubery na amina waliingia kisha wakafunga mlango.
“ Naomba nipe hela unayomlipia Michael kabisa.” Aliongea amina.
“ Sina cash, hela yangu ipo kwenye simu ungenitajia namba nikutumie.” Aliongea Zubery. Amina alitaja namba yake pale pale zubery alimtumia elfu hamsini.
“ Mmmmh! umetuma hamsini ya Michael tu. Ya kwako bado.”
“ Mimi nitakulipa baada ya mchezo, maana mpaka sasa haieleweki nitakulipa shilingi nagapi? Maana ulisema nikiwa dhaifu laki moja na nikikufikisha elfu hamsini.” Aliongea Zubery.
Wema hakutegemea kumuona kungwi pale, licha ya kuwa na mipango ya kumleta pale, ujio wake wa gafla ulimshtua.
“ Unajua sitaki hata kukuona. Naomba niambia nini kimekulete hapa?” Aliuliza Wema.
“ Mdogo wangu mimi na wewe hatutakiwi kuwa hivyo, mimi na wewe ni kama ndugu tayari. Hutakiwi kuniongelea hivyo kabisaaa.” Alongea Kungwi.
“ Ungejua hayo wala usingethubutu kulala na mume wangu wakati unajua fikra umeathirika.”
“ mmmmh! aliyekuambia nimeathirika nani? Mbona kanitangazia ubaya hivyo. Maisha yangu yote sijawahi kuumwa ukimwi wala gonjwa lolote la ngono, hizi habari ndio kwanza nakusikia wewe.’
“ Hayo utajua mwenyewe. Naomba niambie kilichokuleta hapa.” Aliongea kwa ukali wema.
“ Shoga kilichoniletea hapa ni mumeo. Nguvu alizokuwa nazo sio za kawaida. Bila shaka kunasehemu ulikosea wakati unafanya dawa, haiwezekanai mwanaume akawa vile. Wote tuliowahi kuwafanyia dawa hakuna aliyekuwa na nguvu vile.”
“ Kwahiyo hilo ndio lililokuleta?”
“ Sio hilo tu, ukiachana na hilo, lingine lililonileta ni kukupa onyo. Naomba kwasasa kwa usalama wako usikubali kualala na mumeo. Pia mchunge sana asilale na wanawake wengine itakuletea kesi maana anaweza kuwaua.”
“ We fikiria mimi pamoja na ukungwi wangu kaniumiza vile, sasa je akikutana na hao wengine wa mtaani itakuwaje? si ataua.” Aliongea kungwi.
“ ole wako unipake shombo.” Aliongea Amina huku akivua nguo zake.
“ Usijali..” Alijibu zubery huku naye akivua nguo zake.
“ unaongea kwakujiamini utafikiri kidume kweli.” Aliongea Amina. Alimsogelea zubery na kumla mate. Zubery naye alijibu, alimnyonya ulimi Amina huku akimpapasa mgongoni. Kwa sekunde kadhaa walipapasana na kunyonyaana ndimi.
Kijiweni, baada ya Zubery kukataa kwenda kumuonesha kazi hidaya, Sele naye alipata wazo.
“ Ikiwa Zubery kafanyiwa dawa na kawa ananguvu nyingi kwanini na mimi nisitafute dawa ili niwe na nguvu nyingi?” Alijiuliza.
“ Sipaswi kumtegemea mtu kumkomesha hidaya. Hapa ni kutafuta dawa na kwenda kumjkomesha.” Aliwaza.
Baada ya kufikiria na kuwaza sana, aliamua aende kwa rafiki yake aitwae Hans.
“ Mwanangu nasikia unamjua fundi wa nguvu za kiume. Naomba nitajie niende.” Aliongea sele.
“ Mmmmh! umri huo unaanza kutaka kutumia madawa ya kuongeza nguvu? Uoni kama ni hatari?’ Aliuliza Hans.
“Punguza maswali best. Kama unanisaidia sema.” Aliongea sele. Hans bila kinyongo alimuelekeza sele kwa mganga aitwae Nyota.
Sehemu Ya 5
“ Kwahiyo Mganga nyote ndio kiboko ya dawa za nguvu za kiume?” Aliuliza Sele.
“ Ndio, yule mzee ni kiboka. Kama unasema Zubery naye kawa mashine bila shaka itakuwa dawa kachukua kule.” Aliongea hans.
Sele bila kupoteza muda aliondoka akaelekea kwa mganga nyota. Alimkuta mganga nyota akiwa kakaaa nje kwenye mkeka .
“ Karibu..” Alimkaribisha sele. Alisimama kwenye mkeka na kwenda ndani.
Sela alimueleza shida yake mganga. Mganga alimtoa wasiwasi. Alimuambia ahesabie shida yake imeisha.
“ Kabla sijakutibu inabidi ujue gharama. Gharama ya hii huduma ni Tsh laki moja. Yaani dawa yangu nauza laki moja.’ Aliongea mganga nyota.
‘ Hela sio tatizo , la msingi ni hiyo dawa ifanye kazi.’ Aliongea sele.
“ Kuhusu kufanya kazi hilo ondoa shida. Naomba mtoe nyoka wako nimtibu sasa hivi.” Aliongea mganga. Sele alifungua zipu na kumtoa nyoka wake. Mganga nyota alisimama na kwenda chumbani, sekunde kadhaa mbele alikuja akiwa na pampu ya baskeli.
Alimsogelea sele na kuweka valvu ya pampu kwenye nyoka wake.
“ Mmmmh! mbona sielewei. Mbona kama unataka kunijaza upepo ikulu?” Aliulza sele.
“ Ndio. Hii ni pump ya miujiza, wewe unaona kama nakujaza upepo lakini ukweli sikujazi upepo, nakujaza nguvu za kiume.” Aliongea Mganga nyota. Aliishika pampu na kuanza kujaza.
Sekunde kadhaa mbele baada ya kujaza, Sele hali yake ilibadilika.
Nyumbani kwa wema.
“ Nitakaa naye vipi mbali wakati yule ni mume wangu? Naanzaje kulala naye kitanda kimoja bila kufanya naye lolote?’ Aliuliza Wema.
“ Sifahamu utawezaje, ila naomba ujue hivyo. Mumeo saizi ni hatari, inabidi umuogope kama ukoma. Kamwe usijethubutu kufanya naye mapenzi, pia mkanye ake mbali na wanawake wengineee. Maana ni hatari anaweza kuwaua.” Aliongea kungwi.
“ Mmmmmmh!” Aliguna wema.
Baaada ya kunyonyana mate na kupapasana kwa muda mrefu, Amina alipanda kitandani na kujilaza, alitanua miguu na kumtaka Zubery aende, zubery alienda, lakini ajabu nyoka wake alikuwa dhaifu sana.
“ Mbona sielewi? Kwanini nyoka wangu amekuwa hivi?” Alijiuliza zubery.
“ Kaka unashangaa nini? Nimekutanulia. Yote yako.” Aliongea Amina.
“ Kaka unashangaa nini? Nimekutanulia . yote yako.” Aliongea Amina.
Zubery alijitutumua na kupanda kitandani. Alimshika miguu amina na kujaribu kumuingiza nyoka wake.
“ Aaaah! sasa utamuingizaje wakati kalala hivyo? Yaani maandalizi yote yale bado nyoka wako kalala?’ Aliuliza kwa mshangao Amina. Alishusha miguu aliyoinyanyua juu na kukaaa. Alimshika nyoka wa Zubery na kuanza kuimba naye.
Alimnyonya kwa umaridadi sana, wakati anamnyonya mkono mkono aliupeleka kwenye goroli zake akawa anazibinya binya.
“ Eeeeh haya maajabu, yaani kunyonya kote kule hata kushtuka haishtuki?’ Aliuliza kwa mshangao Amina.
“ Lakini kwanini unanifanyia hivi wewe askari, hebu zinduka basi. Kwanini unataka kunidharilisha?” Zubery aliongea kimoyo moyo na nyoka wake. Alijaribu mbinu zote kumshtua lakini ilikuwa bure, Nyoka wake alikuwa dhaifu sana.
“ Duuuuh! Yaani kujidai kote kula mambo yenyewe ndo haya?” Aliuliza amina. Haraka alishuka kitandani akaenda kuvaa nguo zake.
“Naomba tuma ile laki kwenye namba yangu. Umenipandisha mzuka na umeshindwa kunituliza.” Alongea Amina.
“ Hapana. Bado kwanza. Usifanye haraka hivyo.”
“ Hakuna cha haraka zubery. Tumendaaa kwa muda mrefu sana, na hata kumnyonya nimemnyonya sanaaaa. Naomba tusiendelee kupoteza muda. Nitumie hela yangu habari iishe.”
“ Subiri kidogo..” Aliongea Zubery. Alimsogela Amina na kujaribu kumshika shika tena. Alimtazama na kuvuta hisia za mapenzi akidhani uenda atashtuka.
“ Ikiwa hadi kumnyonya nimemnyonya unazani kwakunishika shika tu ataaamka?” Aliuliza kwa dharau Amina. Alimtaka Zubery ampe hela yake aondoke. Zubery alikataa. Alimtaka amina asubiri kwanza.
“ wewe kaka kumbe haunijui, nitakishafua hapa mtaa mzima utajae. Naomba nipe hela yangu tafadhali. Naomba tusileteeane uswahili.” Aliongea Amina kwa ukali. Kichwa chake kilishapanda moto. Alimuona zubery mzinguaji.
Mganga akiwa anapampu, gafla hali ya Sele ilibadilia,Tumbo lake lilianza kujaa na kuuma.
“ Subiri kwanza tumbo linauma.” Sele alimwambia mganga.
“ Ndio nguvu zenyewe zinaingia hzio.” Aliongea mganga.
“ inatoshaa..inatoshaaaaa…” Aliongea Sele. Mganga aliacha.
“ Aaaaa…aaaaaa…” Alilalamika sele.
“ Usijali tumbo kuuma ni kawaida, kwanza hizo ni nguvu zimejaa tumboni. Ukienda kufanya litaacha kuuma.” Aliongea mganga Nyota. Sele alitoa hela na kumkabizi mganga kisha akaondoka.
“ Leo hidaya atanikoma, mshenzi sana yuleee. Eti..ooo…nakuacha kwakuwa haunifikishi.” Alijiseme moyoni sele. Alipiga hatua kuelekea ghetto kwa hidaya. Tumbo liliendele kumuua lakini alikuwa anajikaza. Alijikaza na kuamini ni swala la muda tu litaacha.
Baada ya kuona anayomweleza hayatilii maanani, kungwi aliamua kuondoka. Alimuaga wema akaondoka.
“ Lakini vipi kama anayosema kungwi ni kweli? Vipi kama Zubery akikutana na wanawake wengine anaweza kuwafanya ahdi wakadhurilika? Mmmh hii si kesi hiii” Alijiambia moyoni wema. Haraka aliingia chumbani kwake. Albadilisha nguo na kutoka nje.
Alielekea kijiweni , sehemu amabayo zubery anapenda kwenda.
Alifika. Hakumkuta zubery. Kila aliyemuuliza alisema hajui.
“ Huyu atakuwa wapi ?” Alijiuliza.
Zubery kinyonge aliamua kumtumia Amina hela yake. Alimtumia hela yake na kuzisogelea nguo zake.
“ Daaah! Nimedharilika kinoma yaaani.” Alijiambia.
Lakini akiwa anawaza hayo, gafla alikumbuka kitu.
“ Aaaaah! Kumbe. Kwanini nilisahau, kumbe sikumweka mbuzi kagoma ndio maaanaa.” Aliwaza. Alimgeukia Amina na kumshika.
“ Saizi itakubali…” Alimwambia.
“Itakubali nini? Yaani muda wote ulokaa hapa isikubali saizi ndio ikubali.” Aliongea Amina huku akimalizia kuvaa nguo zake. Alijiweka sawa na kuelekea mlangoni. Alishika kitasa na kutaka kufungua mlango.
Ile anafungua tu mlango, Zubery alimuwahi, alimdaka mkono na kumtaka atulie.
“ Kama itakataaa tena nitakuongezea hela.” Aliongea zubery.
“ Mmmmmh!” Aliguna amina.
“ Kweli amina. Nina uhakika saizi lazima ikubali. Wewe niamini tu mimi.” Alimwambia.
“ Hapana Zubery. Naomba niache niende. Nimechoka saizi. Mzuka wenyewe wote umenihama. Sina hamu hata kidogo.’ Aliongea Amina.
“ Usinifanyie hivyo bana. Njoo nikuoneshe mimi ni mwanaume rijali.”
“ Kuhusu urijali wewe mbona rijali. Wewe mbona kidumeeee.” Aliongea Amina na kuangua kicheko cha dharau.
Baaada ya kudhurula sana kijiweni kumtafuta Zubery bila mfanikio, Wema aliamua kurudi nyumbani. Akiwa njini alikutana na Rose.
‘ Dada mbona kama unahuzuni sana?” Rose alimuuliza Wema.
“ Kawaida mdogo wangu vipi mambo lakini?”
“ Mambo safi lakini……” Alisita.
“ Lakini nini?’
“ Mmmmh basi ..” Aliongea Rose.
“ Inaonekana kuna jambo mdogo wangu. Haupaswi kuwa hivyo, hebu niambie dada yako lakini nini?”
“ Hivi wewe na Zubery mmeachana au?”
“ Kuachana, ndoa tumefunga juzi tu leo tuachane? Hapana mdogo wangu kwanini unauliza hivyo.”
“ Mmmmh! basi nitakuwa nimefananisha. Maana nimemuona mtu kama yeye akiwa na mwanamke mwingine wanaelekea hope lodge.Kama bado hamjaachana itakuwa sio yeye, maana zubery ninayemjua hawezi kwenda lodge na mwanamke wmingine mchana kweupe hivi.” Aliongea Rose.
‘ Ni kweli, utakuwa umefananisha. Zubery hawezi kunisaliti, tena mchana kweupe hivi aende na mwanamke mwingine lodge ni kitu kisichowezekana.” Aliongea Wema.
Waliongea mawili matatu wakaachana.
Hatua kadhaa mbele , wema aligeuka kumuangalia Rose. Alipomuona katokomea, haraka aligeuza kuelekea Hope lodge.
“ Huyu mshenzi kumbe kaenda lodge.” Alijisemea moyoni. Kama mtu aliyechelewa ghali stendi aliongeza mwendo. Alitembea kwa spidi kali sana kuelekea Hope lodge.
Sele baada ya kutoka kwa mganga tu, moja kwa moja alielekea kwa hidaya. Alimkuta hidaya akiwa na kanga moja anasugua miguu nje ya chumba chake. Bila salamu sele alipitiliza ndani.
“ eeeeeh! Huyu mwanaume vipi?’ Alijiuliza hidaya. Aliacha kusugua miuu akaingia ndani.
“ Tabia gani ya kupitiliza moja kwa moja hadi chumbani?” Aliuliza hidaya.
“ Halafu mimi na wewe tulishachana. Sina mahusiano na wewe. Naomba acha haya mambo ya kifedhuli.” Aliongea hidaya huku akilisukuma pazia la chumbani kwake. Aliingia. Ile kuingia tu, alimkuta Sele amevua nguo zote. Yupo kama alivyozaliwa kakaaa juu ya kitanda.
“ Si ulisema mimi dhaifu njoo nikuoneshe kazi sasa.” Sele alimwambia hidaya.
“ Aaaaaah!” Aliduwaa hidaya.
“ unashangaaa nini njooo.” Aliita Sele.
“ Usiniletee uchuro wewe mwanaume. Naomba ondoka. Tena ondoka haraka kabala sijakufanya kitu kibaya. Kisima changu hakina shida ya kibamia, kama kufanywa nimefanywa mpaka basiii.”
Maneno ya hidaya hayakumwingia akili Sele. Alisimama na kushuka kitandani. Alimsogelea hidaya na kumshika mkono. Alimvutia kitandani.
Hidaya alimtoa mkono na kumsukuma Sele.Sele alitua kitandani na kujishika tumbo.
“ Mmmmh!’ Aligumia.
“ Mtu mwenyewe dhaifu . Kusukumwa kidogo tu unalalamika tumbo. Hebu niondokee usije ukanifia kitandani bure,” Aliongea Hidaya.
Sele alikuwa mpole. Kuondoka bila kutimiza lengo lake hakuona sahihi, ubongo wake ulijaa shauku ya kutaka kumuonesha hidaya kuwa yeye ni kidume. Tena ni kidume cha mbegu haswaaaaaa.
“ Nifanye nini ukubali! Nimefika hapa kwa ajili yake. Nimekuja kwa ajili ya penzi lako.” Aliongea Sele.
“ Kwa leo hapana aiseee. Kwanza tulishaachana.”
“ Kuachana sio tija. Mimi na wewe tumetoka mbali. Wewe ni wangu, kwanza kule kuachana ni hasira tu. Maneno yako yaliniumiza sana ndo mana nikaongea vile. Lakini bado nakupenda. Bado wewe ni mtu muhimu kwangu.” Aliongea Sele.
Hidaya alimwangalia sele kwa jicho la hasira kisha akajisemea moyoni.
“ Huyu mpumbavu ngoja nimuoneshe kazi mpaka akimbie mwenyewe. Hajui nimetoka kufanywa vibaya na nina hasira na wanaume.” Aliwaza hidaya. Haraka alianza kuchojo nguo zake. Alizichojoa na kupanda kitandani.
“ Nimefika.” Alimwambia
Bila kushangaa, sele alimvamia mdomoni. Alianza kumnyonya mate. Alimnyonya mate huku kidole kimoja akiwa kakiingiza kwenye kisima chake. Kilikuwa kinatalii taratibu.
“ Mmmmh!’ Aligumia Hidaya.
Sele akiwa kwenye manjonjo makali, tumbo lake lilianza kumsumbua, hewa aliyojazwa na mganga nyota ilianza kumletea shida. Alijikuta anapumua hovyo, ukiachana na kupumua pia tumbo lilimuuma.
Pamoja na yote hakutaka kuonekana dhaiffu, aliendelea kujitutumua.
“ Mbona sijielewi, hivi ile dawa ya nganga imefanya kazi kweli au?’ Alijiuliza sele. Alimshika nyoka wake. Nyoka wake alikuwa vile vile dhaifu, hakuwa na lolote jipya. Sele alijitutumua alivuta hisia nyoka wake akasimama na kutunisha misuri.
“ Mmmh! Mbona anauma sana?” Alijiuliza sele. Nyoka wake alikuwa anauma sana.
Bila kujali maumivu ya tumbo na maumivu ya nyoka wake, sele alijitutumua na kumuingiza vile vile, lakini ajabu, ile anamwingiza tu, pale pale kama mzigo alianguka chini .
Kule lodge, dharau za Amina na kicheko chake vilimtibua Zubery.
“ Kama kweli mimi rijali kama unavyosema mbona unanicheka? Unazani natania sio, unadhani sina nguvu ?” Aliuliza Zubery.
“ Tusipotezeane muda zubery, naomba niruhusu niondoke.” Aliongea Amina huku akikiosgelea kitasa cha mlango. Aliufungua na kutaka kutoka.
“ Hapana..hapana…” Alitamka Zubery. Alimuwahi Amina. Alimshika mkono na kumvutia kitandanI. Kama mtu anayetaka kubaka alimvua nguo kwa nguvu.
Akiwa anavuliwa nguo, Amin alimtazama tu Zubery kwa dharau. Alijua hawezi kufanya lolote la maaana.
Baada ya kumvua nguo zote. Zubery alimuweka Amina staili ya mbuzi kagoma.
“ Ikiwa nilikunyonya na nikakufanyia kila kitu lakini nyoka wako hakusimama unadhani ukiniweka hiyo staili ndio atasimama.” Aliuliza Amina. Alimtazama zubery kwa dharau akijua hawezi kumfanya lolote la maana.
Baaada ya kumweka tu staili ya mbuzi kagoma. Zubery mashetani yalimpanda. Hisia kali zilimshika. Damu ilikimbia kwa spidi kuelekea ikulu. Nyoka wake alisimama na kukaza misuli. Alimshika vizuri Amina na kumuingia.
“ Mmmmmh!” Amina aliguna.
“ Umeingiza nini? Umeingiza mti au?” Aliuliza Amina. Macho yalimtoka kama fundi saa kapoteza nati.
“ Umeingiza nini? Umeingiza mti au?” Aliuliza Amina. Macho yalimtoka kama fundi saa kapoteza nati.
Zubery hakumjibu. Alipereka mashambulizi mbele kama yupo kwenye mashindano.
“ Eeee..eeeeee…” Alilalamika Amina. Hakuamini kilichokuwa kinatokea. Akili yake ilizani kuna kitu zubery kamuingiza. Alikuwa anajaribu kugeuza kuangalia. Kila alipojaribu Zubery alimshika vizuri. Hakumpa upenyo wa kumtazama.
Msuguano ulikuwa mkali, ulizarisha joto lisilokuwa la kawaida.
“ Mmmmh! basi zubery…basi…” Aliomba pooo Amina. Maneno yake yaliingia sikio moja na kutokea sikio lingine la zubery.
Hakujali, aliendelea kutoa dozi.
“ Aaaaa…tukojoe…wote….aaaa…zube…aaaaaaa…” Alilalamika Amina. Alifika mshindo.
Wakati yeye anafika mshindo, zubery kwake ni kama mchezo ulikuwa unaanza. Aliendelea dozi bila kusimama.
Hofu ilimjaa amina kiasi kwamba hata homoni zake zilishangaa. Hazikutoa tena maji laini, hali iliyoperekea kisima chake kiwe kikavu, ukavu wa kisima haukumrudisha nyuma zubery Aliendeela kutoa dozi mfululizo.
Haikuchukua muda mrefu, Wema alifika hope lodge.
“ Nimeambiwa mume wangu yupo humu naomba nitajie chumba niende.” Aliongea wema kwa shari.
“ Eeeeh! Wewe dada vipi mbona kwanza upo kishari sana?” Aliuliza muhudumu wa kaunta.
“Sasa ulitaka niweje wakati mume wangu yupo na hawara humu ndani. Nomba usinipotezee muda. Naomba nipeleke haraka.” Aliongea wema.
“ Hakuna mteja aliyetoa melekezo nimpeleke mtu chumbani kwake. Kama bwana wako yupo humu mimi sijui, kwanza huyo bwana wako hajatoa maelezo hapa kuwa utakuja. Hivyo naomba tusipotezeane muda.”
Malumbano yalikuwa makubwa, muhudumu alikataa kata kata.
“ Kama hautanionesha nitapita mwenyewe chumba hadi chumba.”
“ Eeeeh! Jaribu nikuitie polisi. Wewe nani hadi upite kukagua vyumba bila ruhusa yangu?” Aliuliza muhudumu.
Sele ile anamwingiza tu nyoka wake, pale pale alinguka chini kama mzigo.
“ Puuuh!” Alitua chini.
“ Mmmh!” Aliguna hidaya. Alimgeukia sele. Alimshika mikono na kujaribu kumtikisa. Sele alikuwa katulia tuli. Hkutisika wala kuongea neno.
“ Amekufa?” Alijiuliza hidaya. Haraka aliziwahi nguo zake . Alizivaa haraka haraka kisha akamsogelea tena. Aliweka sikio lake sikioni na kujaribu kusikiliza mapigi yake ya moyo.
“ Mmmmh!” Aliguna. Alimwacha chini akawahi kwenye begi lake. Alipangua nguo na kutoa kapochi kake kadogo. Alikafungua na kutoa hela.
“ Sina haja ya kukaa hapa.” Alijiambia huku akizihesabu hela. Haraka alikurupuka kutoka nje. Alifunga mlango na kuondoka. Alitembelesha kuwahi stendi.
Sehemu Ya 6
Zuberi hali yake ilibadilika gafla, Nyoka wake alisimama na kuvimba , Kabla hajashtukiwa aliingiza mkono mfukoni na kumbana, alimbinya kwa nguvu na kumkunjia pembeni.
“ Anayetaka kesi ya mauaji nani?” Alijiuliza. Akili yake ilimtuma mbali kabisa. Aliona kesi kubwa ikiwa mbele yake.
Baada ya kutembea umbali mrefu , akili yake ilibadilika. Aliamua kurudi.
“ Liwalo na liwe. Siwezi kukimbia nikaacha vitu vyangu. Hii kesi nitapambana nayo ninavyojua. Kwanza hakuna mtu aliyemwona akija kwangu. Nitamtoa usiku na kumtupia barabarani.” Alijisemea moyoni. Aligeuza kurudi nyumbani.
Alifika, alifungua mlango na kuingia ndani.
“ eeeeh! “ Alishtuka. Alimkuta sele akiwa amekaaa kitandani analia.
“ Kumbe hukufa? unalia nini sasa?” Alimuuliza.
“ Nataka…” Sele alimwambia.
Wema na Muhudumu Wakiwa wanabishana kaunta, wote walishtuliwa na sauti ya mwanamke akiomba msaada.
“ Nakufaaaaa…..aaaaa….nakufaaaaaaaaa……utaniua zube…aaa….aaaa’’ Ilisikika saut vyumbani. Muhudumu alitoka kaunta fasta na kuwahi. Wema naye alimfata kwa nyuma mkuku mkuku.
“ Eeeeh!” Wema alishtuka baada ya kuingia. Alimkuta mumewe akiwa kamuinamisha staili ya mbuzi kagoma Amina. Dozi aliyokuwa anampa sio ya kitoto. Walimuwahi na kujaribu kumtoa. Hakutoka. Kwa kushirikiana na muhudumu walijaribu kuwatengeanisha lakini ilikuwa sifuri, ZUbery alikuwa na nguvu za ajabu, wala hakumwacha amina. Alikuwa anaendelea kumpa dozi kwa spidi.
Amina alihisi moto unawake kisimani kwake. Alipiga kelele kama mtoto.
“ Nikileta mzaha hapa huyu anaweza kumuua mtoto wa watu?” Aliwaza wema. Haraka naye alivua nguo zake zote. Alipanda kitandani na kukaa staili ya mbuzi kagoma.
“ Nikileta mzaha hapa huyu anaweza kumuua mtoto wa watu?” Aliwaza Amina. Haraka naye alivua nguo zake zote. Alipanda kitandani na kukaa staili ya mbuzi kagoma.
“ eeeeh!” Muhudumu aliduwaaa. Hakuelewa alichofanya Wema kinamaana gani.
“ wewe dada vipi?’ Alimuuliza. Akimuuliza hayo, Zubery baada ya kumuona wema kwenye staili ile akili yake ilihama, mzuka zaidi ulimpanda zaidi. Alimwacha Amin akamvaaa wema. Ile anamvaa tu, kabla hajamwingia, Wema haraka alisimama.
“ Nataka…” Sele alimwambia.
“ Aaaaah wewe mwanaume mshenzi kweli.Nikupe unifie? Yaani kuingiza tu ukazimia, halafu bado unataka tena? Hebu toka hapa. Nasema toka hapa haraka kabla sijakasirika.” Aliongea Hidaya.
“ Lakini mimi sikuzimia. Pale mzuka ulikuwa umenipanda.”
“ Sele naomba ondoka nyumbani kwangu, uwe mzuka ulikupanda au lah. Naomba ondoka nyumbani kwangu. Usitake kunipa matatizo. .”
“ Matatizo gani nitakayo kupa mimi Hidaya? Nakupenda hidaya. Usinifanyie hivyo.” Aliongea sele. Kadri muda ulivyoenda, sele hisia kali zilimshika. Alijikuta akiongea huku akilia. Kama mtoto machozi yalimtoka. Alipiga magoti na kumtaka Hidaya ampe.
“ Duuuh! Sijawahi kuona, Yaani kabisa dume nzima unalilia kisima?” Aliuliza kwa mshangao hidaya.
“ Hidaya kuna nini humo ndani? Mbona tunasikia mtu akilia?” Anet, jirani yake na hidaya aliuliza kwa nje.
“ Unaona hadi watu wanaanza kuuliza? Wasije wakazani msiba bure! Naomba uondoke haraka. Ondoka bana usinijazie watu.” Aliongea Hidaya. Alimshika Sele na kutaka kumvalisha nguo. Sele alikataa kata kata.
“ Kama hautoki naenda kukushtaki kwa balozi.” Aliongea kwa hasira hidaya. Alipiga hatu kutoka nje. Akiwa anaukaribia mlango. Sela alimuwahi, alimshika mkono.
“ Chonde, usinifanyie hivyo hidaya. Nakuomba chonde chonde…” Aliongea sele.
“ Lakini Sele kwanini hautaki kuwa mwelewa? Mimi wewe sijakunyima, shida ni kuwa hauna nguvu, nikikupa hapa utazimia au kuleta shida nyingine. Naomba ondoka bana.”
“ Bila kunipa siondoki. Kama nguvu ninazo. Sema labda unaniogopa au haunitaki kwakuwa unabwana mwingine. Lakin swala la nguvu sio kweli.” Aliongea Sele.
Hidaya aliishiwa pozi, mbinu zake zote ziligonga mwamba. Alifikiria chkufanya alikosa. Alimgeukia Sele na kumtazama kwa jicho lisiloelezeka.
“ Nimpe tu au?” Alijiuliza.
“ Lakini akinifia hapa itakuwaje?’ Alijiuliza.
“ Hapana. Sitakiwi kufanya upumbavu wa kumpa wakati najua fikra madhara yake yakoje.” Aliwaza Hidaya.
Baada ya mkewe wema kukaa staili ya mbuzi kagoma. Zubery alimwacha amina na kumwahi wema kitandani, lakini kabla hajamfanya lolote, wema alikurupuka na kukimbilia mlangoni.
“ Aaaah!” Alilamika Zubery.
Amina ile kuachiwa tu, haraka aliziwahi nguo zake, bila kuzivaaa alitoka nazo nje na kuzivaa kwenye korido.
“ Uuuuh uuuuh!” Alihema juu juu.
Ndani, baada ya wema kukimbilia mlangoni, mzuka wa Zubery ulitulia, wema alimuwahi mumewe na kumlamba kibao cha nguvu kilichomzindua kwenye lindi zito la ngono.
“ unafanya mambo gani wewe mshenzi?” Alimuuliza baada ya kumpiga kibao.
“ Eeeee…eeeee..” Aliitika Zubery bila kuitwa. Akili yake haikuwa sawa. Wema alimuongeza kibao kingine akili yake ikawa sawa.
“ Daaah! Nimefanya upumbavu.” Aliwaza Zubery. Haraka alipiga magoti chini na kumshika miguu mkewe.
“ Nisamehe mke wangu. Nisameheee.” Aliongea.
“ Nikusamehe wakati unafanya makusudi. Hivi unazani hawa wanawake wote unaolala nao ni wazima?” Aliuliza wema. Kwa hasira alivaa nguo zake na kutoka nje.
Hidaya aliendelea na msimamao wake, alimkatalia katakata sele.
“ Mapenzi na wewe sele haiwezekani. Tena haiwezekani kabisa.” Aliongea Hidaya.
Sele kwa hasira alienda kwenye dishi la vyombo, alikichukua kisu na kukielekeza kwenye nyoka wake.
“ Kama haunipi namkata huyu? Haina mana nakuwa naye wakati ninayekupenda haunitaki.” Aliongea sele bila kutania. Hidaya akiwa anajiuma uma, sele ali…..
“ Kama haunipi namkata huyu? Haina mana nakuwa naye wakati ninayekupenda haunitaki.” Aliongea sele bila kutania. Hidaya akiwa anajiuma uma, sele ali…..
“Nakupa sele . Acha usijikate nakupaaaa..” Aliongea hidaya.
“ Huyu boya hivi hajui akijikata atakufa? Haoni kama hii itakuwa aibu kubwa.” Aliwaza hidaya. Alimtuliza Sele na kumwaidi kumpa.
‘ Kama kweli utanipa vua nguo zote.” Sele alimwambia. Hidaya bila kinyongo. Alivua nguo zote na kubakia kama alivyozaliwa. Alimtaka sele atupe kisu. Sele alitupa, alimsogelea na kumnyonya mate.
“ Acha nimpe ashindwe mwenyewe.” Alijisemea moyoni.
Sele alijitutumua naye akamnyonya mate Hidaya. Alimpapasa mgongoni na kumuingiza kidole kisimani kwake.
“ Mmmmh!’ Hidaya aliguna kwa utamu.
Alipanda kitandani na kuchanua miguu, sele alienda na kumwingiza nyoka shimoni. Nyoka aliteleza mpaka ndani. Taratibu hidaya akawa anazungusha kiuno chake, alizungusha mara ya kwanza, ila anazungusha mara ya pili. Sele alipiga kelele.
“ Subi…subiri…..” Aliongea Sele.
Hidaya akiwa anashangaaa, pale pale sele aliwatoa wazungu.
“ Oooooo…” Alilalamika.
“ Hongera baby umejitahidi.” Hidaya alimwambia Sele kwa kebehi.
“ Acha unafiki kujitahidi kwenyewe kuko wapi? Kwanza unazani mchezo umeisha. Hii mechi ndio kwanza inaanza.” Aliongea Sele. Alisimamamna kwenda kujisafisha. Alijifuta na nguo kisha akamsogelea hidaya tena.
“ Yaani bado unataka tena?” Aliuliza kwa mshangano hidaya.
“ Ndio, kwani nnimefanya. Si nimekugusa tu wazungu wametoka.” Aliongea sele. Bila hiyani hidaya alimpa tena sele.
Sele alimwingia, alijitutumua hivyo hivyo akawa anaenda mbele na kurudi nyuma.
“ Si nilikuambia…mimi naweza…si nilikuambia…si nilikuambi mimi kidume…s nilikuambia..si..ni…si..nili..” Aliongea sele. Kadri utamu ulivyokuwa unakuja alijikuta anshindwa kuongea. Mwishoe alijikuta analia.
‘ Si nili..kuambia..si….hiiiiihiiiihiiiiiiiiii..” Alilia sele.
“ Leo kazi ninayo.” Aliwaza hidaya.
Wema akiwa kakasirika aliondoka lodge, alimwacha Zubery akiwa chumbani na muhudumu.
Muhudumu wa lodge hadi muda ule akili yake haikuwa sawa, hakuelewa kinachoendelea ni nini. Alimtazama Zubery akiwa anavaa nguo zake bila kummaliza. Alijiuliza maswali yasiyokuwa na majibu.
“ Haya mambo mbona siyaelewi?” Alijiuliza muhudumu. Alimtazama Zubery asipate majibu.
“ Tumejaribu kuwatenganisha kwa nguvu zote lakini imeshindikana. Lakini yule dada alivyovua nguo na kukaa staili ya mbuzi kagoma tu. Huyu jamaa alimwacha yule mwanamke na kumfata yeye. Mmmh! Hii maana yake nini?” Alijiuliza Muhudumu.
Alimsogelea ZUbery na kumshika mkono.
“ Upo sawa?’ Alimuuliza.
“ Nipo sawa.” Alijibu Zubery kwa aibu huku akivaa nguo zake.
“ Hivi umekunywa dawa au ni nguvu zako za kawaida? Mbona yule dada ulikuwa unamfanya kwa ukatili sana?” Alimuuliza. Zubery alimtazama bila kumjibu.
“ Kaka mbona haunijibu, halafu na yule dada anayesema ni mkeo, kwanini alivyovua nguo na kukaa ile staili ulimwacha yule dada na kumuwahi yeye?” Aliuliza muhudumu.
Zubery hakujibu, alivaa nguo zake na kutaka kutoka, lakini akiwa anakribia mlangoni, yule dada muhudumu ili kujua kinachoendelea aliamua kuvua nguo zake zote na kukaa staili ya mbuzi kagoma.
Zubery kumuona tu, moyo wake ulianza kupiga kwa kasi, suruali yake mbele ilituna, pale pale ali….
Zubery kumuona tu, moyo wake ulianza kupiga kwa kasi, suruali yake mbele ilituna, pale pale alimsogelea na kumshika kiuno. Alishusha suruali yake na kumtoa nyoka wake. Bila kushangaa alimsogeza kwenye ksima cha yule muhudumu.
Iliingia yote.
“ Mmmh!’ Aliguna muhudumu.
“ Nimejua sasa! Kumbe mwanamke akikaa hivi ndio unakuwaga na mzuka vile.” Aliongea. Aligeuka na kumtaka kumtoa Zubery.
“ Kaka niache. Nilitaka kujua tu.” Aliongea Muhudumu.
Maneno yake yalipita sikio moja na kutokea lingine. Alikuwa ameuwasha moto. Zubery mzuka ulikuwa juuu. Alimshika shingoni kwa nguvu na kumplekea fito mfululizo.
“ aaa…aaaaaa…aaa’ Alilalamika muhudumu.
“ Kaka niache…niacheeeee…niacheeeee….” Alilalamika muhudumu.
“ Paaaa…paaaaaa…paaaaaa…” Zubery aliendeleza dozi bila kusimama.
“ Leo kazi ninayo.” Aliwaza hidaya.
Sele aliendelea kumwingia huku akilia vile vile, haikuchukua muda alifika mshindo, kichovu alijikuta kamuangukia hidaya kifuani.
“ Uuuuu…uuuuuu…” Alihema Sele.
“ inatosha sasa Sele. Haina haja ya kulazimisha haya mambo. Umenifanya vyakutosha sasa.” Aliongea Hidaya.
“ Hapana bado! Haiwezekani ufanye mapenzi na mimi halafu uwe unaongea hivyo, kama nimekufanya vyakutosha mbona hauliii? Mbona unaongea kana kwamba hakuna lolote la ajabu lililofanyika?” Aliuliza Sele.
“ Mmmmh! kwahiyo shida yako ni kulia au nini?”
“ Hapana shida yangu ni kukufikisha kileleni, na hili ufike ni lazima ulie.” Aliongea Sele.
“ Mmmmmh!” Aliguna hidaya. Sele alijitoa kifuani mwa hidaya na kumtazama nyoka wake. Alikuwa dhaifu sana. Hakuonekana kuwa tayari kuendelea na shughuli.
“ Si unaona nyoka wako alivyo? Pumzika kwanza. Tutaendelea kesho.”
“ Hapana. Huyu hajachoka. Ukimnyonya atakuwa sawa tu. Mimi nikuridhishe.” Aliongea Sele.
Maneno yake yalimchefua hidaya, aliwaza akapata chakufanya.
“Kama ishu ni kulia tu haina shida.” Alijisemea moyoni. Alimsogela Sele na kuanza kumnyonya nyoka wake. Akiwa anamnyonya sele aligumia kwa maumivu ila alimtaka hidaya asiache, aendelee kumnyonya tu. Alimnyonya hadi nyoka wake akasimama. Ile kusimama tu, hidaya alitanua miguu yake, mmoja kushoto na mwingine kulia. Alimtaka Sele amuingize nyoka wake. Sele naye bila ubishi waa hiyana alimuingiza.
“ ooo..ooooo…” Aligumia sele wakati anamuingiza.
“ Mamaaa yoyooooo…sele unaniumizaaa….aaaaaa..aaaaaaaa.’’ Alilalamika hidaya.
“ Aishiiiii…aishiiiiiiiiiii….” Alipiga kelele. Kelele za hidaya zilimuongzea mzuka sele, akajikuta anajitutumua zaidi. Lakini ile kujitutumua tu, gafla.
Wema alifika hadi nyumbani kwake.
“ Eeeeh huyu mwanaume kabaki wapi tena?” Alijiuliza baada ya kufika nyumbani kwake bila kumuona Zubery.
“ MmmmmH! Huu mbona mtihani.” Alijiambia.
Akiwa anajiuliza na kujiambia hayo, gafla alikuja kungwi wake. Alikuja mkuku mkuku huku akimuita.
Akiwa anajiuliza na kujiambia hayo, gafla alikuja kungwi wake. Alikuja mkuku mkuku huku akimuita.
“ wemaaaa..wemaaaaaaaa…’ Aliita Kungwi.
Wema aligeuka. Alimtazama bila kuelewa aseme nini.
“ Nimejua.. ulichokifanya nimejuaaa.” Aliongea Kungwi.
“ Umejua nini?” Aliuliza kwa mshangao Wema.
“ Kiichomfanya mumeo awe vile. Ulinuwia. Ulichukua majani ya mdarasini na kuniwia mumewe awe na nguvu sana akiwekewa staili ya mbuzi kagomaaa.”
“ Lakini si ndivyo ulivyonifundisha au?” Aliuliza Wema.
“ Hapana. Habari ya kunuwia nilikataza, niliwaambia mtumie majani ya mdarasini bila kunuwia. Wewe ulinuwia ndio mana mumeo yupo vile.” Aliongea Kungwi.
“ Kwahiyo tunfanyaje kumsaidia? Maana imeshakuwa balaaaa. Hali sio nzuri.”
“ Chakufanya kwanza ni lazima tumpate yeye. Yupo wapi?”
“ Hata sielewi. Nilimfumani lodge nikamsema na kumwacha huko huko.” Aliongea wema.
“ Tiiiiiiii.” Kengele ya hatari ililia kichwani kwa kungwi. Alimshika mkono Wema na kumtaka wawahi lodge. Waliongozana mkuku mkuku.
Sele ile kujitutumua tu, gafla, kama mzigo alianguka chini.
“ Puuuh!” Alitua chini.
“ Mmmmh!” Aliguna Hidaya. Alijtoa mwilini mwake. Alienda mbele na kurudi nyuma. Alijishika kichwa akakiachia.
“ Nikimbie?” Alijiuliza.
“ Hapana. Haina haja ya kukimbia.” Aliwaza. Alivaa nguo haraka. Alitoka nje hadi kwa shoga yake Anet kuomba msaada.
Alimweleza Anet shida yake. Mkuku mkuku waliongozana kurudi ndani. Anet alimwangalia Sele akagundua kitu.
“ Huyu hajafa ila kazimia tu.” Aliongea Anet. Kwa pamoja walishirikiana wakamvesha nguo. Walimpa huduma ya kwanza akazinduka.
“ Natakaaaa…’ Aliongea Sele baada ya kuzinduka.
“ Paaaah!” Hidaya alimpiga kibao.
“ Umepanga kunipa kesi wewe sio bure. “ Alifoka hidaya. Aliita bajaji, ilifika kumchukua wakampelekea sele Hospitali.
“ Nikumuangalia tu kwa haraka haraka, huyu mgonjwa wenu kilichomponza ni ngono kupitiliza, lakini pia madawa ya kienyeji.” Aliongea daktari baada ya kumuona sele.
“ Ulienda kwa mganga kuchukua dawa ya nguvu za kiume?” Alimuuliza.
“ Ndio..” Alijibu Sele.
Mganga aliwataka Hidaya na Anet watoke nje. Alibaki na sele. Alikaa pembeni ya kitanda na kumweleza madhara ya kwenda kwa waganga wa kienyeji. Alimweleza mdhara ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume.
“ Nilitaka kumkomesha yule mwanamke.” Aliongea sele.
“ Mwanamke akomeshwi rafiki. Pale ulikuwa unajikomesha wewe. Hakuna namna unaweza kufanya ngono na mwanamke ukamkomesha. Kwanza mapenzi sio vita. Achana na hizo habari, na kubwa zaidi jitahidi kufanya mazoezi, nguvu za kiume aziletwi kwa kwenda kwa waganga, nguvu za kume zinaletwa kwa kula vizuri na kufanya mazoeizi.” Aliongea Dokta.
Baada ya maelezo marefu, Sele alimwelewa daktari, mtazamo wake kuhusu kumkomesha hidaya ukawa umebadilika.
“ Nitafanya mazoezi na kula vizuri ili niwe na stamina.” Aliwaza.
“ Kuanzia leo kamwe sitafanya amapenzi ili kumkomesha mtu. Maana kwa ujinga huu unaweza kujikuta unatoka roho bila sababu.” Aliwaza akiwa anaondoka hospitali.
Kungwi na wema moja kwa moja waliwahi lodge, kufika kaunta waliita muda mrefu bila mtu yeyote kuwajibu. Wakiwa wanajiuliza wafanye nini. Walisikia kelele ya mwanamke akilia chumbani.
“ Mmmmh!’ Aliguna Wema.
“ Mmmmh!’ Aliguna Wema.
Kama mshale alikurupuka pale kaunta na kuwahi vyumbani, moja kwa moja aliekea kwenye kile chumba.
Alimkuta mumewe akiwa kamweka Zubery staili ya mbuzi kagoma na kumuingia kwa nguvu.Bila kushangaa walimuwahi kumtoa. Walimvuta lakini ilishindikana. Haraka Wema alivua nguo zake na kukaa staili ya mbuzi kagoma kwa pembeni yake.
Zubery alimwacha muhudumu na kumfata wema, lakini kabla hajamfikia wema alisimama. Yule muhudumu naye alisimama. Walimuwahi Zubery na kumshika kwa nguvu.
Zubery alinyongonyea, kama mtu aliyekumbuka kitu flani akili yake ilirudi.
“ Hapa wapi?’ Aliuliza Zubery.
“ Paaah!” Mkewe alimpiga kibao.
“ Usimpige. Mwenye kosa ni wewe. Usingemnuwia haya yasingetokea. Ulimnuwia awe na nguvu kwako tu mkiwa kwenye staili ya mbuzi kagoma lakini ulikosea dawa. Ona sasa analeta madhara kwa wengine. Mimi kanifanya nusura anitoe roho.’Aliongea kungwi.
“ Uuuuu…uuuuu” Alihema muhudumu wa lodge. Haraka aliwahi bafuni, alichukua maji na kujimwagia. Kisima chake kilikuwa kinawaka moto.
Kungwi, zubery na wema waliongozana mpka nyumbani.
“ Tumefika nyumbani sasa. Tunamsaidiaje mume wangu?” Aliuliza wema.
“ Hakuna njia nyingine. Njia ni ile ile. Chukua majani ya mnyonyo na fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza. Ila sasa nuia mumeo awe na nguvu za kawaida ,na hizo nguvu ziwe katika staili yoyote.” Aliongea kungwi.
Wema alifanya kama alivyoambiwa. Alitoka nje, alichukua majani ya mdarasini na kuingia nayo ndani. Alifanya kama alivyoambiwa. Alinuia mumewe awe na nguvu za kawaida.
“ Nimeshamaliza.” Aliongea wema.
“ Basi hapo sawa. Mumewe saizi atakuwa sawa tu. Baadae usiku jaribu ila kuwa na tahadhari, ukiona haeleweki kimbia.” Aliongea kungwi.
Saa tano usiku baada ya chakula, Wema alimchokoza mumewe wakiwa kitandani. Alimpapasa mgongoni mpka ikulu kwake. Mumewe naye alijibu majibu, alimpapasa mkewe. Walinyonyana mate na kugalazana kitandani.
Nusu saa mbele walikuwa wakivunja amri ya sita.
Hakukuwa na madhara yoyote yale. Zubery alikuwa kwenye hali yake ya kawaida. Hakuwa na madhara.
“ Nashukuru MUNGU umerudi katika hali yako.” Aliongea Wema.
“ Daaah! Mwenyewe siamini maana ilikuwa sio mchezo.”
“ Nimejifunza jambo kubwa sana. Madawa kwenye mapenzi hayafai kabisa. Nilijua nakusaidia ona sasa nikataka kukuharibu.” Aliongea Wema.
“ Ni kweli madawa hayafai kabisa.” Alijibu Zubery.
“ Mmmmh! halafu nimefanya makosa, ilibidi tukapime kwanza.Maana kungwi nasikia anaukimwi na wale wadada uliowafanya nao sijui afya zao.’ Aliongea Wema.
“ MUNGU mkubwa atatusimamia.” Aliongea ZUbery.
Siku ya pili yake asubuhi na mapema sana waliwah hospital kupima. Walipima ukimwi na magonjwa mengine ya zinaaa.
“ Hongereni , vipimo vinaonesha hamna aliyeathirika kati yenu. Naomba endeleni kujitunza hivyo hivyo, lakini baada ya miezi mitatu nawaomba mje tena hospital kupima tena.’ Daktari aliwaaambia.
Walimshukuru na kuondoka.
“ Noamba mungu tukija kupima tena tuwe wazima.” Aliongea Wema.
“ Nina imani itakuwa hivyo.” Alijibu Zubery.
Mwisho

