NILIVYOINGIZIWA VIJITI KWENYE UUME NIMEKOMA SITAKI KUSIKIA MKE WA MTU
Mimi ni kijana miaka 25 nilikua na mpenzi wangu tulikua tunapendana sana baadae tuligombana na akaniambia hawezi kuendelea na mimi nilimbembeleza lakini alikataa kabisa basi tuliachana na ugomvi wetu ni alikuta meseji nikiwa namtongoza jirani yetu na teali alikua amekubali kwaiyo mpenzi wangu baada ya kusoma meseji hizo alikasilika sana na kunikimbia
Jirani alikua mke wa mtu kwa kweli alikua ana nyama nyingi sana tofauti na mpenzi wangu Aloniacha ilikua ukimkumbatia kama umekumbatia kiloba cha kokoto
Jirani huyu alikua na watoto wa tatu na alikua anaishi na mume wake, sasa tulipanga siku ya kupeana utamu kweli mume wake alivitoka tu na mimi nikaingia ndani nikaichapa kwa kweli alikua fundi sana yaani anasimamia shoo mpka mwisho nilipata raha sana
Toka siku ya kwanza alivonipea utamu ikawa ni mwendelezo yeye alitaka niwe nakutana naye nyumbani kwake Ila nilimuambia hii ni hatali bola uwe unanifata mimi hapa kwenye geto langu tunainjoi harafu unarudi kumpikia mume wako alikubali Ila aliniambia hatakua anakaa sana na Mala nyingi tulikua tunafanya asubuhi yaani pindi mume wake akitoka tu na yeye anazama magetoni ananipa Nyapu
Tulizoeana sana mpk ikafika hatua akaanza kunisimulia madhaifu ya mume wake kwamba ni mume ambae hajari sana ni mume ambae hamsugui vizuri anamuacha na hamu ni mume ambae ni dakika Mbili zeluzelu hao kiufupi anashoo mbovu kitandani. Na akaniambia anataka aachane nae Atafanya kila anachojua ili amuache
Nilifurahi kwa maneno hayo maana nilimpenda sana akaanza kuwa akifika geto ananifulia ananipikia na nikiishiwa unga ananilitea kwakweli maisha yangu sasa yakaanza kuwa mepesi yaani mfano mafuta ya kupika yakiisha geto namuambia baadae anasingizia kwa mume wake anaumwa kumbe wala yeye ni mzima wa afya anabeba hiyo pesa ananilitea mimi niwe mkweli nilizidi kumpenda na nilianza kutoka shavu maana anachompikia mume wake na mimi ndo ninacho kula
Ilikua siri sana ila kama unavojua wanawake ukimsugua vizur lazima amshilikishe rafiki yake wa karibu basi na huyu jirani alifanya hivo na ndochazo cha mimi kuyatoa haya ya moyoni ni maumivu nikimaliza mwaka mzima uume ukiwa hausimami kabisa Ila saivi angalau network inakamata
Kuja kwenu ni hivi siku moja jirani Yangu tulipanga amuage mume wake na amuambie anasafiri atakaa wiki moja na alimaliza hilo wiki atakua asharudi na kuhusu alimuambia anaenda wapi mimi sijui alimdanganya vipi Ila Kesho yake asubuhi nilimuona mume wake kambeba kwenye pikipiki kampeleka stendi na kumpandisha gari matukio yote nilikua nipo nafatilia na tulipanga kuwa hataenda huko aliko mdanganya bali akiwa safarini atashukia njiani na kurudi kwangu kweli mpango wetu ulitimia na jirani Yangu alifanikiwa kile tulicho panga na alifika magetoni nilifurahi sana na yeye pia alifurahi sana
Jirani Yangu alikaa siku 4 nikiwa namfungia ndani kuhusu kukojoa na kunya msiniulize maana nyumba zeto za kitanzania nyingi huwa vyoo vipo inje na kibaya zaidi sikujua kuwa alimtaalifu na yule lafiki yake kua yupo na mimi hakusafiri na hapo ndo alipo kosea maana Kesho yake asubuhi mimi nimeamka naenda kupiga mswaki nakutana na mume wake akiwa na mdada hivi sikumjua kuwa ndo rafiki yake na jirani ambae yupo kwenye geto langu kwakweli nilisituka sana kumuona alikua anatokwa na machozi Kabra hata hajaongea alinisukuma pale nikaanguka chini ile nanyenyuka nisepe wenzake hao hapo walikua kama walisha jiandaaa hivi walinishika wakanirudisha ndani na mume kumkuta mkewe alie muaga kuwa amesafili yupo ndani kwangu
Story isiwe ndefu nilipigiwa sana na mume wake hakutaka kujaza watu alifunga mlango kwaiyo ukiachana na mume wake alikuja na wenzake wa 4 na wakawa watano nilichezea sana huku mume wake akimpiga mke wake makofi kwaiyo wote tukawa tunachezea Ila mimi sasa ndo nilipigwa mpka mwili mzima ukafa ganzi yaani unapigwa husikii chochote nilipokea kipigo kikali hivi ulishawahi kuumia na ukitaka kutoa sauti ili ulie lakini haitoki ndo kilinikuta mimi napiga kelele kuomba msaada lakini sauti haitoki finally wale wenzake wakashauliana wanipake wese kwakweli nilitamani kujitetea lakini wapi nikaanza kulia tu yaani jicho nimelitunza kwa miaka yote hii linatobolewa kisa mke wa mtu nililia sana jirani Yangu yule mke wa jamaa nilisikia akinitetea kuwa wasinifanye hivo Ila mume wake alimjibu Unampenda sana kuliko mimi sasa ngoja tumuoneshe unyama na tumfundishe kuwa mke wa mtu ni sumu
Kwakweli namshukuru MUNGU hawakunila jicho Ila walivofanya hiki ninachosimulia hapa unajua zile stick za kuchomeka mishikaki basi walibeba vile vijiti wakanivua nguo zote na wakaviingiza kwenye tundu la uume nilizimia maumivu yalikua makali sana walivomaliza kuniingizia vijiti waliondoka na kuniacha pale pale
Acha acha nililia sana siunajua tundu ni dogo lile sasa waliingiza vijiti vitano maumivu yake yasikie kwa kusimuliwa nilijivuta Nikachukua simu nikampigia rafik yangu ndo kuja mbio mbio akanipeleka hospital na nikaanza kupatiwa huduma ya kwanza sikukaa siku nyingi maana kipato changu asilimia kubwa nilikua na tegemea kwa yule mke wa jirani kwaiyo nilikaa siku mbili tu na kurudishwa magetoni namshukuru sana rafiki yangu hakunitupa mpka nikaanza kupata nafuu Ila niliyo yapitia nayajua mimi unakojoa usaaa kama vile unakaswende mishipa ya uume iliharibika kwa kiasi cha kwamba haisimami kabisa mwaka mzima niliumaliza nikiwa najitibia na hapo maumbile yangu yakiwa kidogo yanaanza kusoma network

