OOOH ANKO MUDY USICHOMOE
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
Muddy aliyashuhudia hayo mbele ya macho yake alipigwa na bumbuwazi macho yalimtoka ni kama alidata mala taswira na nuru ya macho yake ikaanza kupotea na papo hapo alianguka na kupoteza fahamu si yeye tu bali ofisi nzima walibaki wameduwaa walichanga nyikiwa wasijue la kufanya
“ Shiiiiiitttttt ujinga gani huu ”
mkurugenzi mkuu wa kampuni alipiga ngumi juu ya meza kwa jazba alizokuwa nazo alikuwa akihema juu juu chini hapa kukalika jasho lilianza kum tiririka gafla hasira zilifika ukomo wake ni dhahiri tangu kampuni ianzishwe hawakuwahi kuoata hasara kubwa kama hii
“ mpelekeni huyu mbwa hospitali akiamka lazima awe na maelezo ya kina ya kunipa ”
mkurugenzi alitoa oda kisha akafungua mlango kwa hasira na kutoka nje. . kikosi chote cha ulinzi kilicho husika kwenda kuchukua mzigo ule kili shukiliwa chini ya mikono ya polisi ali subiliwa bwana Mohamed azinduke ili atoe maelezo ya kina
baada ya nusu saa kupita bwana mohamed alikuwa amezinduka alijikuta juu ya kitanda chenye mashuka meupe kumaanisha alikuwa hospitali alipotupa macho upande wa kushoto alikutana na askari wapatao watano wakiwa wameketi juu ya sofa hapo ndipo alivuta kumbu kumbu vizuri
Daaa machozi yalianza kumtoka baada ya kukumbuka jinsi mashine ya kuhesabia fedha ilivyokuwa inatema mamilioni ya pesa alizokuja nazo kutoka benki kuu ya mkoa alijua wazi ana maswali ya kujibu mbele ya kizimba cha polisi lkn akifikilia kuwa hajui lolote kuhusiana na upotevu huo wa fedha alibaki kulia tu alijua wazi huo ndio mwisho wa maisha yake ya ulaiyani alijua yeye ni mtu wa kuozea jela tu
“ aaah bwana mohamed umezinduka habari yako bwana ” ili sikika sauti ya askari mmoja kati ya wale waliokaa aki msabahi . .haukupita muda uongozi wa hospitali ulifika kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya mgonjwa wao
“ aaah sasa ndugu zangu nadhani mmeona kuwa mgonjwa na mtuhumiwa wenu amesha zinduka lkn bado ana onekana hayupo sawa kiafya hivyo niwaombe mtupatie walau siku mbili ili tuendelee kumchunguza afya yake ”
“ aaah sawa docta sisi hatuna shida hapo kikubwa ni kuongea na mkuu wa kituo inspecta Kibona ili yeye ndio awape ruhusa ”
basi baada ya mazungumzo mwishowe pande zote mbili wali kubaliana kuwa mgonjwa abaki kwanza hospitali akiwa chuni ya uangalizi wa madocta na polisi mpk pale atakapo kaa sawa
Zilipita siku mbili hatimae bwana mohamed alikuwa chini ya mikono ya polisi alifikishwa kwanza mahabusu kusubiri siku ya kupelekwa mahakamani kwa ajili ya kusomewa kesi
Siku ilipo wadia Familia nzima ya bwana muddy ikiongozwa na baba yake mzazi pamoja baadhi ya ndugu bila kusahau mke wake
bwana Muddy akiambatana na walinzi watatu walikuwa ndani ya kizimba cha mahakama wakisubiri kusomewa mashitaka yao . .
jaji alifika mbele ya mahakama na sasa wote walipaswa kunyanyuka kwa ajili ya kutoa heshima baada ya taratibu zote kufatwa kesi ilianza na shitaka lili somwa
“ Bwana Mohamed Kg unashtakiwa kwa tuhuma za ubadilishaji wa fedha halali kwa fedha bandia ulio ufanya mnamo siku ya juma nne tarehe 03 majira ya saa saba mchana ukiambatana na walinzi watatu wa kampuni ya kisongo security je una kubali shitaka hili..?”
“ hapana siku baliani nalo ”
baada ya kukana shitaka wakili wake nae alikazia kwa ajili ya kutoa utetezi kwa mteja wake lkn utetezi huo hauku saidia kitu kwani sahihi ilionekana ni ya bwana muddy akithibitisha kuwa pesa alizopokea zilikuwa ni za halali sasa iweje afikishe pesa bandia
pia uwepo wa cctv camera uli saidia kuonyesha mienendo ya pesa tangu ina sainiwa mpk ina ingizwa kwenye gari sasa swali je ni wapi pesa zili badilishwa na nani ali badilisha hapo hata muddy mwenyew alishindwa kuelewa
kwa asilimia kubwa kesi ile ilimbana bwana muddy kwa kila secta baada ya kesi kuunguruma takribani miezi sita hatimae siku ya hukumu ili wadia
“ Bwana Mohamed mzombe kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 34 ibara ya 15 katika kifungu cha pili na kwa idhini niliyopewa kisheria una hukumiwa kifungo cha miaka kumi na Tano jela pia mali zako zoote zita taifishwa kufidia hasara uli ingiza kampuni kesi imefungwa na haina rufaa ”
Ilikuwa ni siku ya majonzi kwa Familia ya bwana mohamed nguzo ya familia ilikuwa ime anguka hata wakilia haita saidia kitu bwana muddy alienda jela na huku nyuma mali zake zote zili taifishwa ikiwemo nyumba gari na shamba pesa iliyo patikana walipewa kampuni kama fidia ya hasara waliyo ipata. .
Miaka kumi na tano jela kumbuka hapo bwana mudi alikuwa na miaka therasini na mbili sasa uki jumlisha na miaka kumi na tano jela mpk akitoka atakuwa na miaka arobaini na saba ni karibu na utu uzima
SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
BAADA YA MIAKA KUMI NA TANO
Bwana muddy alifanikiwa kutoka jela huku akiwa amenawiri kwani ilifika kipindi akazoea maisha ya mule ndani mwili wake uli ongezeka alifuga na mzuzu wa kutosha juu alikuwa na kipara kilicho kolea mafuta na sasa alikuwa nje ya geti kuu la gereza la butimba lililopo mkoani Mwanza
Maisha yalikuwa yame badirika sana jiji la mwanza lilizidi kupendeza majengo makubwa yalizidi kuongezeka baada ya kutoka alikuja kupokelewa na dada yake mkubwa ambae ni mama ashura
alisikitika sana baada ya kupewa taarifa za mke wake kuwa alisha olewa na mzungu na kwa sasa yupo nje ya nchi mali zake zote zilikiwa zimesha taifishwa hakuwa na kitu chochote ina maana ndio anaanza moja
hata ndugu alio wategemea wote walimtenga kibaya zaidi baba yao alisha fafiki kwa tatizo la moyo wamebaki na mama pekee ambae pia amesha zeeka anasubiri msaada kutoka kwa watoto wake fumba na kifumbua maisha ya bwana muddy yalikiwa yamesha badirika kabisa hakuwa mudi yule anaevaa vizur na kunukia kila wakati
Dada yake mkubwa ambae ni mama ashura ambae kwa sasa anaishi jijini dar es salaam ndio alichukua jukumu la kumtunza kaka yake mpk pale atakapo kaa sawa hivyo maisha mapya yakaanza akiwa jijini dar es salaam ni miezi saba tu tangu awepo hapo kwa dada yake akisubiri kuanza pirika zake za maisha
Baada ya kumbukizi hiyo mjomba muddy alibaki akitoa machozi tu alijua huu sasa ndio mwiaho wa maisha yake alijua kwa miaka aliyo nayo hivi sasa ukiongeza mingine therasini basi ni dhahiri atatoka jela akiwa ame zeeka sana ama atafia huko kabisa
alijarobu kuomba msamaha lkn hauku saidia kitu mama ashura hakutaka kusikia kabisa siku zote alijitahidi kumlea mwanae katika maadili ili asome na afaulu vizuri masomo yake leo hii kaka yake anakuja kuya haribu maisha ya binti huyo asie na hatia bila shaka hilo liaingeweza kuvumilika hata kidogo
Hakukuwa na mashauli tena zaidi ya kuelekea polisi kesi ilifunguliwa na hatimae mjomba muddy alirudishwa tena jela na hivi sasa akitumikia kifungo cha miaka therasini kwa kosa la kukutwa akifanya mapenzi na mwanafunzi
Ashura alifanyiwa mahojiano tangu mwanzo wa penzi lake yeye na mjomba wake mpk walipo fikia pia ilibidi akapimwe vipimo vyote ili kuji rizisha kama kweli hana magonjwa ya maambukizi wala uja uzito kwa bahati nzuri bahati ilikuwa upande wake
Mwishowe mama ashura aliamua kumuamisha mwanae shule kabisa na kumpeleka kusoma shule ya bweni ambayo ilikuwa ni ya wasichana watupu aliamini huko mtoto wake atapata kutulia na kuendelea na masomo
MWISHO. . . . .

