NISUGUE HADI NIJIKOJOLEE
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
NAMBA 19
TULIPOISHIA
“Ah kitu kidogo tu unakasirika hivi wewe utaweza kweli kuishi na mimi kwenye ndoa?” aliuliza mtoto wa kike
“Kwa hiyo mimi unaniona ni fala ee? Okay powa”
Rashid alipanda pikipiki akawasha na kuondoka, Vai naye aliingia ndani kwake, ameshiba anataka alale hana stress ameshampata mchumba aliyeokoka….
Hata hivyo Rashid alipofika mbele aliona haina haja ya kumaindi, akageuza pikipiki na kurudi nyuma aje kuongea na huyo binti kwani alikuwa anampenda sana.
ENDELEA HAPA
Rashid alifika mlangoni akagonga mlango pole pole
“Nani?” alisema Vai kwa hasira akiwa amejilaza kitandani
“Mimi Chid, naomba tuongee” alisema
“Sihitaji kuongea na wewe, si unajiona unajua kukasirika sana?” Vai aliuliza
“Samahani nimepaniki, naomba basi niingie tuongee”
“Tutaongea kesho sasa hivi mi ninalala”
“Daaah unanitesa sana, ila sawa, shika basi vitu nimekuletea mi niondoke” alisema Rashid
“Ila wewe Rashid huniheshimu hata kidogo” Vai alisema kwa hasira “We nenda nyumbani tutawasiliana kesho, vitu vyako kavitumie mwenyewe”
“Vai nisamehe mimi sikutaka nikukere kiasi hiki, naomba unisamehe mpenzi”
“Mh, basi nimeshakusamehe…ila”
“Ila nini? Fungua bhana” alisema Rashid
Vai alipoona jamaa anaongea kwa huruma sana, ilibidi ashuke kitandani na kwenda kufungua mlango akamtazama “Haya nipe hivyo vitu basi uondoke”
“Hapana naomba unisamehe mpenzi” Rashid alimshukia binti, akapiga magoti chini akaomba msamaha.
Vai alimhurumia kidogo hata hivyo akamruhusu aingie ndani na kuongea mambo mengi sana huku wakijaribu kurekebisha tofauti zao. Rashid aliendelea kumuamini sana Vaileth akajua amepata jiko lakini kumbe jiko lenyewe ni mcharuko na ni danga la uhakika.
**
Kesho yake asubuhi na mapema kabisa binti aliamshwa na simu kutoka kwa Rashid na walianza kuongea kama ifuatavyo
RASHID: Hallo Vaileth umeamka powa?
VAILETH: Ndio niko powa vipi wewe?
RASHID: Niko powa vile vile, samahani kama nakusumbua ila kuna jambo la muhimu sana nataka kuongea mi na wewe
VAILETH: Jambo gani tena?
RASHID: Naomba ujiandae si unajua mwishoni mwa wiki ijayo ndo tunaenda kule nyumbani?
VAILETH: Hivi ni mwishoni mwa wiki ijayo?
RASHID: Mmmh ina maana unataka kusema hukumbuki jamani mpenzi?
VAILETH: Nakumbuka, usijali basi nitajiandaa Chid
RASHID: Hamna tatizo mpenzi, nakupenda sana
VAILETH: Nakupenda pia
RASHID: Basi kila la heri, ninafikiri tutawasiliana
VAILETH: Sawa
Rashid alikata simu yake, na kuvuta pumzi fupi halafu akawaza mambo makubwa sana ambayo alitakiwa kumfanyia mtoto wa kike, hata hivyo alichukua diary yake na kuandika andika kumbukumbu fulani pamoja na ratiba yake ya kipindi kile halafu aliihifadhi na kuondoka pale nyumbani kwenda kumuona baba mlezi wake ambaye alitarajia kuja kumtambulisha Vai kwake ndani ya wiki inayofuata siku ya jumamosi
Alienda kule ili kuweza kuweka mipango mathubuti namna ya kwenda kufanya siku hiyo japo ilikuwa sio siku rasmi kivile kati ya sikukuu zake ambazo angezifanya kwenye mchakato mzima mpaka amuweke ndani Vaileth Laizer
*
Siku zikiwa zinatembea, mazoea kati ya Vai na mchungaji Kaaya yalivuma kila upande wa mtaa aliokuwa akiishi, hata hivyo kule kanisani karibia kila mtu alijua kwamba Vai ameshachumbiwa na mchungaji Kaaya kwani walimuona jinsi alivyotazamana na hata mazoea ya kutembea pamoja yalivyoongezeka.
Vaileth alijisikia faraja na siku moja, pastor alimtembelea binti nyumbani kwake wakawa wanapiga story mbili tatu halafu akamlalia kifuani na kusema
“Kiukweli Ima, nimeshateswa sana na mapenzi, sikujua ipo siku nitakutana na mwanaume ambaye ataonyesha kunipenda nilivyo, tena mwanaume ambaye ni kama kioo cha jamii maana kanisa zima linakujua wewe….kiukweli natamani sana kuoana na wewe”
“Vaileth usijali juu ya hili, nakupenda sana, nahitaji kuwa na wewe, ninataka nifanye haraka iwezekanavyo ili niweze kuoana na wewe”
Vai aliuliza “Utanioa lini Ima?”
“Nitakuoa soon tu, nataka pale kanisani nikuvishe pete wakuone ili nilinde mali yangu”
“Mmmh kweli?”
“Ndio….ninaamini kwamba nikikuoa nitapata furaha sana, hasa kwa vitu unavyonipikia na kunipa kitandani hakika nainjoy sana, halafu nimepamiss mule” alisema mtaalam mchungaji
“Mmmmmh……….” Vai aliguna na kunyanyua uso akamtazama mchungaji halafu akatabasamu
“Unaguna nini? Au tukioana hatutafir….ana”
“Mmmh unapenda?”
“Sana, sanaa tu”
“Mh basi mara moja moja, sawa mume wangu?”
“At least umeongea jambo la msingi, nataka nipasugue mpaka palainike kabisa”
Vai alicheka na kumpa busu la huba shavuni, pastor hakuwa nyumba alimvuta na kumpakata wakawa wananyonyana ndimi taratiiibu….
Wakiwa wananyonyana mate binti alisogea pembeni na kuitoa mashine kwenye suruali ya mtaalam akaanza kuipapasa na kisha akashuka na kupiga magoti chini sakafuni akaanza kuinyonya taratibu kwa madaha mpaka mchungaji akachanganyikiwa.
Penzi lilikuwa la moto kweli kweli, wawili hawa walipeana hasa, hadi siku ya alhamisi wiki iliyofuata ilifika na hata Rashid alimpigia simu Vai akawa anamkumbusha kuhusiana na suala zima la kwenda kutambulishana.
“Utakuja?” alisema Rashid
“Nitakuja wala usijali”
“Sawa mpenzi”
Rashid aliandaa mazingira safi kabisa ya kwenda kumtambulisha binti pale kwa walezi wake, tena alitaka amvishe pete pia, ili kuonyesha kwamba ana nia thabiti ya kumuweka ndani…….
NAMBA 20
Ilipofika siku ya jumamosi asubuhi kabisa binti aliamka akiwa anatarajia baadaye ataenda kwa walezi wa Rashid kwa ajili ya utambulisho. Kichwa kilikuwa kikimuuma, uoga pia ulimjaa kabisa, Alikuwa ameshamuandaa penina kama best friend wake ili waende pamoja….aliwaza sana
“Mi sijielewi….sijui ni yupi ananifaa” aliwaza binti “Mi nitaenda kwao kujitambulisha lakini nikiona pastor anaeleweka nitaondoka naye yeye ndiye ananipenda kweli.
Alichukua simu akamtumia ujumbe Rashid na kumuuliza ni muda gani atatakiwa aende
Rashid akajibu “JIANDAE MAPEMA, SAA SABA NITAKUJA KUKUCHUKUA HAPO NYUMBANI NA GARI” alisema mtaalam
“Daaah, ila naogopa” alisema binti
“Usiogope, ndo utu uzima huo”
“Sawa usijali…ngoja nijiandae basi”
Binti aliweka simu pembeni na kuzidi kuwaza mambo mengi sana, alikuwa hajui afanye nini juu ya kwenda kwa Rashid.
Upande wa pili kule nyumbani kwa Rashid walikuwa wanaandaa msosi mzuri, panapigwa mausafi, binti alitakiwa akatambulishwe rasmi na wanafamilia walikuwa wamejaa.
Kiukweli walezi wa kina Rashid walikuwa ni watu wenye pesa nyingi, hii ni baada ya wazazi wake kufariki miaka kama 19 iliyopita kijana akiwa na miaka 11 tu.
Rashid alimfuata baba mlezi wake ambaye alikuwa ni mtu mzee sana, alikuwa kitandani ameparalize kwa muda mrefu hawezi kutembea, akamuuliza
“Baba, ninawaza jinsi gani nitamfanyia surprise huyu mwanamke kwani ninampenda sana” alisema Rashid halafu yule mzee alikohoa kidogo na kumuuliza
“Ile gari umeshamnunulia?” alisema mzee
“Ndio imeshaandaliwa tayari baba”
“Sawa, muite mama yako nina maongezi naye sasa” alisema mzee
“Sawa” alisema Rashid kisha akatoka nje ya chumba cha mzee akaendak kumuita mwanamke mke ambaye hakuwa mzee sana kama mumewe kwani alimuoa akiwa amemzidi miaka ishirini.
Mama alianza kuongea na baba
MAMA: Umeniita mume wangu
BABA: Ndio, sasa sikiliza, mimi sidhani kama nitaweza kufanya chochote juu ya huyu kijana wetu, ninaomba unisaidie
MAMA: Kitu gani tena?
BABA: Zile nyumba zilizoko Mafya naomba umuandalie hati miliki kijana akishaoa tu aondoke moja kwa moja, hii nyumba hapa ni ya kwako si unaelewa?
MAMA: Nakuelewa mume wangu, nitafanya hivyo
BABA: (alikohoa kisha akatoa karatasi ya cheki ya benki na kumpa mkewe) hii utampatia kama zawadi yake akija huyo binti
MAMA: Sawa
BABA: Haya unaweza kuendelea na kazi zako sasa
MAMA: Sawa
Kwa kifupi ni kwamba Rashid alipokuwa akifanya kazi ya bodaboda alikuwa akiifanya kama bosheni tu, hii ni baada ya kuweza kumuoa binti mmoja wa kiarabu miaka kadhaa iliyopita akamnyanyasa kwa kiasi kikubwa sana. Aliamua kuachana naye na kuja kutafuta maisha mapya akijifanya hana maisha ili tu aweze kufanikiwa kumpata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Ndipo akadondokea kwa binti Vaileth.
Muda huo Rashid alikuwa nje anachekelea na kijana mmoja alikuwa anamsaidia kuiweka gari ya surprise kwa binti
“Ah kudadeki gari imeng’aa mtoto akiiona hivi lazima atapagawa kudadenya” alisema huyo kijana
“Hahahaa….atachomoka kweli?”
“Hawezi chomoka wewe, kwa hii ndinga? Si umesema demu mwenyewe hana maisha?”
“Yah wa kawaida halafu hana mishe yoyote, ila ni pisi ya uhakika, akikatiza hapa lazima udate”
“Kudadeki ila wewe jamaa una hatari” alisema yule kijana
“Na nusu” alijazia mtaalamu ndipo wote wakacheka kwa furaha zaidi na zaidi.
Kumbe wakati wanamuandalia gari ya kumpa bure, yeye muda huo yuko anabembelezana na mchungaji kwenye simu
Vaileth anaongea na simu na mchungaji “Hivi kweli Ima unanipenda na utanioa?”
Mchungaji akamuuliza “Hivi mara ngapi umeniuliza hili swali? Ina maana kweli hauniamini Vaileth? Mbona unakuwa hivi? Mimi nimeamua kukupenda wewe ulivyo, ninakuhitaji uwe na mke”
Vaileth alianza kulia, yaani yuko njia panda haelewi aende wapi, siku hiyo alitakiwa akatambulishwe lakini moyo wake haupo kwa Rashid maana hawaendani kuanzia dini, na hata swaga za Rashid sio zile za kisasa ambazo binti anazitamani kwa mwanaume yeyote.
“Mbona unalia Vai?” mchungaji aliuliza “Mpenzi…….eti mpenzi…..eti”
Ilibidi binti akate simu na kuzidi kulia akiwa chumbani kwake.
Mchungaji kwa jinsi alivyokuwa anampenda sana mwanamke yule, alitoka nje ya geti haraka na kuamua kuingia mtaani ili kuelekea kwa binti kwani kulikuwa sio mbali na pale alipokuwa akiishi.
Akiwa njiani alikutana binti akiwa speed naye anaelekea kwake anataka akathibitishe kama atamuoa kweli maana Rashid alionekana mwenye nia ya ukweli.
Vaileth huku akitokwa na machozi alimkumbatia pastor kwa nguvu “Mpenzi” alisema Vaileth mchungaji akashtuka maana kumbuka yule ni kiongozi wa dini hatakiwi kuwa na tabia za ajabu ajabu kukumbatiana na wanawake njiani
Mchungaji alipoangalia kule na huku alimuachia binti haraka “Usinikumbatie hapa, twende nyumbani tukaongee kwani mimi ni mchungaji watu wananitazama kitabia”
Vaileth alielewa, na waliongozana kuelekea nyumbani kwa mchungaji, walipofika kule, Mchungaji aliuliza
“Unalia nini Vai?”
“Ima nina stress mwenzako” alisema binti akiwa ameketi kwenye sofa na pasta kasimama katikati ya sebule
“Stress gani?”
“Ninaomba unisamehe, nataka nikuambie ukweli”
“Ukweli gani? Niambie basi mi nielewe”
“Ima” binti alimuita halafu akashuka chini na kupiga magoti akasema “Mwenzako..nina…nina” alisema binti
“Una nini?” pastor aliongea kwa uoga akijua binti atamuambia labda ana ugonjwa hatari sana
“Huwa nakuficha tu, lakini Ima mi nina” alisema binti ndo kabisa jasho jembamba likamtoka na kujua kabisa anaenda kufa sasa, akaketi na kujifuta jasho halafu akasema
“Jesus…..huuuuu” alivuta pumzi ndefu na kuwaza mengi kisha akaongea kwa sauti ya upole “Una nini Vaileth?”
“Mi nisamehe kwanza”
“Nikusamehe nini?????” alifoka “Niambie kitu chenyewe bwana ah”
“Ninakuwaga muongo kwako, ni kweli kwamba nimeshamkubalia Rashid na leo ni utambulisho kule nyumbani kwao, lakini…..”
“Ndiyo hicho ulitaka kusema?”
“Ndio” alisema
“Opppsssss” alivuta pumzi ya furaha mchungaji “Endelea sasa”
“Nimeitwa na yule kijana muislam anataka kunioa, ndio nimekuja kukuambia kama unanipenda kweli nisiende ila kama hauna malengo na mimi niende kwa sababu ana nia japo dini ni tofauti”
Mchungaji alimtazama binti kwa sekunde kadhaa bila kujibu, ndipo Vaileth akauliza “Una nia ya kunioa au kunitumia tu? Maana Rashid anataka kunitambulisha leo, na amesema atakuja kunichukua na gari, niambie please ili nichukue maamuzi mapema”
……JE MCHUNGAJI ATASEMAJE?
JE ATAMRUHUSU BINTI AONDOKE AU YUKO TAYARI KUMUOA?
NAMBA 21
“hahaha” mchungaji alicheka kidogo halafu akajikoholesha na kusema “Vaileth unaonekana unahitaji sana kuolewa”
“Ndio mimi ni mtu mzima ninahitaji kuwa na familia yangu”
Mchungaji alitafakari kwa muda mfupi tu lakini simu ya binti iliita na alipoitazama ni Rashid anampigia, aliogopa na alitembea kwa magoti akaenda kumshika miguuni na kusema “Niambie basi?”
Mchungaji alimsimamisha wakakumbatiana kwa nguvu halafu akamuambia “Usilie sasa”
Walipotazamana alijisikia tofauti na kutafakari jinsi yule msichana anajua mapenzi kiukweli hakupaswa kumuacha maana alikuwa anampa kila alichokihitaji katika mwili wake.
“Vai nakupenda, chukua maamuzi yako mwenyewe, ila kaa ukijua mimi nakupenda sana”
Vaileth hakumuelewa mchungaji kwa haraka haraka, aliona ndiye mwanaume anayemfaa akasema “Nakupenda wewe Ima, nahitaji kuolewa wewe”
“Sawa basi hamna shida…..tukae basi?”
Vaileth na mchungaji waliketi kwenye sofa akawa amemlalia mapajani huku simu yake inazidi kuita hataki kupokea, mchungaji alimtazama binti akaanza kusikia hamu na kumvuta wakapeana mate na kupelekana chumbani kwa ajili ya huduma mathubuti.
Upande wa pili Rashid alikuwa chumbani amechanganyikiwa kila akimpigia simu Vaileth alikuwa hapokei, akaanza kupata mawazo
“Hivi huyu mwanamke ana nini lakini?” alijiuliza na kushika tama akawaza mambo mengi maana alikuwa anataka amuoe binti
Mara mlangoni kuna kijana aliingia na kusema “Kaka, twende nimeshajiandaa”
Rashid alimtazama kwa macho yaliyoonyesha wasiwasi kubwa ndipo kijana akamuuliza “Vipi mbona haujachangamka”
Rashid hakujibu aliinuka na kutoka nje ya chumba kisha akaenda mpaka kwenye gari la kifahari, akapanda na kuketi siti ya mbele ila isiyokuwa ya dereva.
Yule kijana alifika na kuketi kama dereva, akamuangalia Rashid na kumuuliza “Vipi kuna tatizo?”
“We endesha gari” alisema Rashid akiwa na wasiwasi kubwa.
“Mh….sawa” yule kijana alipiga starter na safari ilianza kuelekea Farisayo, wakiwa njiani bado Rashid aliendelea kumtafuta binti alikuwa hapokei
“Kaka vipi”
“Huyu mwanamke hapokei simu eti”
“Twende acha uoga kama unapafahamu anapokaa hamna shida” alisema yule kijana
*
Wakati wao wakiwa wanawaza, kumbe binti yeye yupo ameinamishwa bafuni maji yanatiririka na mchungaji amechomeka mashine ndani ya mknd wa binti anamtikisa binti anapiga kelele kwa utamu ulioshindikana.
Baadaye Rashid alifika mpaka pale binti alipokuwa akiishi, Rashid alishuka kwenye gari akaondoka mpaka kule chumbani kwa binti, akamkuta Penina kasimama mlangoni mwa binti ameshika simu
“Vipi?” alisema Rashid akimsalimia Penina
“Poa” alijibu binti na kumkagua Rashid kuanzia juu mpaka chini, Rashid alikuwa amevaa kanzu na kibarakashia safi kichwani huku miguuni akiwa na sendo za gharama
“Huyu nimemkuta?” aliuliza Rashid
“Ah mi sielewi, nampigia simu hapokei muda”
“Daaah, atakuwa wapi?”
“Sijui kwa kweli…..”
“Wewe ni jirani yake?”
“Hapana mi ni rafiki yake, aliniomba nimsindikize sehemu, sasa nimekuja nikamkosa, nampigia simu hapokei” Penina alisema
Rashid alijiongeza, alijua ameshapigwa na kitu kizito kichwani. Aliumia sana, alimtazama penina na kusema “Basi poa, mimi naondoka” halafu akageuka ili asepe
Penina naye aliondoka akisema “Mimi pia naondoka, sasa hapa nafanya nini?” aliuliza Penina huku wakienda mpaka nje kabisa ya nyumba ile.
Nje ya nyumba ile kulikuwa na gari kali, Penina alilishangaa bila kujua kama ndilo gari la Chid.
“Haya kwa heri” alisema Chid na kulisogelea gari akakamata mlango na kufungua akazama ndani.
‘heee ndo yuko na gari hili?’ alijiuliza penina huku akilishangaa lile gari
Ndani ya gari yule kijana alimuuliza Chid “Vipi ndo huyo?”
“Hapana, yeye hayupo, huyu alitakiwa amsindikize, anadai hata simu anampigia binti hapokei” alisema Rashid
“Kwanini hapokei sasa?” yule kijana aliuliza
“Itakuwa hataki, sasa si bora angesema tu hataki….ni mjinga yule twenzetu” alisema Rashid na kutoa kitambaa mfukoni akaanza kujifuta machozi
Yule kijana aliwasha gari halafu akataka kuendesha ila aliwaza na kumtazama Rashid akamuuliza “Sasa itakuwaje kule nyumbani ndugu yangu? Watakuonaje?”
Rashid akajibu “Itakuwa ni vizuri tu, nitawaambia ukweli mi sihitaji tena kuwa na mwanamke kwanza”
“Sikiliza nkuambie kitu, kule itakuwa ni mbaya, bora tutafute mwanamke bortion tuende naye halafu baadaye utakuja kusema mmeachana bro, kumbuka gharama iliyotumika pale nyumbani”
Dereva alipomaliza hiyo sentensi alishuka akamkuta pale nje Penina bado kasimama, alikuwa amevaa vizuri hasa, kichwani alifunika vile vile maana walijua wanaenda katika familia na tafrija ya kiislam
“Samahani, mambo vipi?” aliuliza
“Safi tu” Penina alijibu kwa shauku
“Samahani bwana kuna kazi tunaomba utusaidie”
“Kazi gani?”
“Kiukweli unajua kabisa tulikuja kumchukua mchumba wa huyo jamaa hapo kwenye gari kwa ajili ya utambulisho nyumbani, sasa tumemkosa naa…..”
“Heee ndo nyie??” aliuliza Penina
“Ndio, ni sisi, hatuna namna”
“Sasa mnatakaje”
“Hatujamkuta, kule kwenye familia pameandaliwa tafrija kubwa, naomba usaidie uende wewe kama wewe tukakutambulishe ujifanye ndo mchumba wake please halafu baada ya hapo baadaye mtajifanya mmeachana tu”
“Duuuuh”
“Ndio dada yangu, nakuahidi nitakulipa laki moja, huyu kijana atakufa kwa stress naomba utusaidie”
JE BINTI ATAKUBALI KUHUDHURIA?
NAMBA 22
Penina alimuangalia yule kijana kwa muda halafu akauliza “Sasa kwanini anakataa jamani?….si awaambie tu ukweli?”
“Achana na hizo story we twende tunachelewa”
“Mh” aliguna
****
Huku upande wa pili ni kwamba Vaileth na mchungaji walikuwa wameshamaliza kupeana huduma zao za msingi, na mchungaji alikuwa chumbani akitafuta kadi ya benki alitaka akatoe hela.
Vaileth naye alikuwa sebuleni akiwa anaitazama simu yake kuna missed call kibao za Penina na za Rashid pia, aliwaza mengi na kuachana na story zao kisha akamuita Ima
“Ima njoo”
“Subiri kuna kitu ninatafuta” alisema
“Poa”
Vai alikaa kimya kwa muda akitafakari halafu akajiuliza swali “Kama Mchungaji ananidanganya, hakika nitakuwa nimechezea shilingi kwenye tundu la choo”
Akiwa anawaza hivyo alipokea message ndefu sana kutoka kwa Rashid ikisema
“HAKIKA SIJAWAHI KUUMIZWA NA MAPENZI KAMA WEWE ULIVYONIFANYIA LEO, UMENIDHALILISHA NIMEJISIKIA NIKO UCHI. NI KHERI UNGEKUJA UKAJIFANYA UNANIPENDA HALAFU BAADAYE UKANIKATAA KULIKO KUNIFANYA MIMI NIDHALILIKE MBELE YA MARAFIKI ZANGU PAMOJA NA WAZAZI NA NDUGU, SITOKUSAHAU VAILETH, IPO SIKU UTANIKUMBUKA, NIKUTAKIE MAISHA MEMA”
Vaileth aliisoma ile message, akasonya kidogo kisha akaifutilia mbali “mi nikukumbuke kwani wewe baba wa taifa?” alisema kwa jeuri, kweli mapenzi hayalazimishwi na alijiona mshindi.
Hata hivyo Rashid na Penina walienda kama bortion kule kwa walezi, Penina alishangaa, alikuta familia ni ya kitajiri kabisa kila kitu kipo, magari nyumba na ile gari aliyotakiwa kupewa Vaileth ilikuwa pale mpya kabisa namba E, alichanganyikiwa na kutamani angekuwa anapata hiyo nafasi
“Eee…..hivi kwanini amekataa fursa?” Penina alijiuliza kichwa kikamuuma kabisa.
Alichangamkiwa.
“Mbona unaonekana unawaza?” Rashid alimuuliza Penina
“Ninawaza mambo mengi, Rashid hapa ndo kwenu kweli?”
“Ndio kwetu nitakuambia kitu baadaye kwenye simu”
“sawa”
Baadaye Penina na Rashid waliondoka na ile gari ya zawadi kuelekea Lalimbu, hata hivyo Rashid alimshukuru sana Penina na alimlipa pesa nzuri kisha aliondoka zake akiwa na ile gari.
Rashidi hakutaka kuipeleka ile gari nyumbani, aliamua kwenda kuipaki katika sheli moja na kuiacha akidai ataifata baada ya siku moja.
Akiwa nyumbani usiku alimpigia simu Penina na kuanza kuongea naye
“Nikuambie kitu kimoja Penina, mimi nimeishi na rafiki yako hakunijua vizuri, unaona zile mali zote ni kama za kwangu, nina majumba na biashara nyingi Zanzibar huko karibu na Tanzania, niliandaa mali zile kwa ajili yake lakini yeye hakunijua.
Uliiona ile cheki ya benk ni kwamba ilikua ya milioni 100 ni zawadi tu tulitaka kumpatia ili aishi kwa furaha lakini kwa hili alilonifanyia hakika sitomsamehe”
“Rashid”
“Nambie”
“Nioe mimi” alisema binti alikuwa ameshachanganyikiwa kwa vile alivyovikuta
“Hata nikisema nikuoe nitakuwa sikupendi kabisa maana sijawahi kukujua kabla halafu ataona kama nimemkomoa”
“Daaah”
“Nikutakie maisha mema” alikata simu Rashid
PENINA alimtumia sms na kumuomba “NAOMBA ZILE PICHA TULIZOPIGA KULE KWENU”
“POA”
Rashid alituma picha WhatsApp binti akazitazama ni kweli ana hadhi thabiti ya kuwa na mwanaume yule.
BAADA YA WIKI MBILI
Vaileth alikuwa ameshakolea kabisa kwa mchungaji, alikuwa hapatikani kabisa kwenye namba yake, hakutaka kusumbuliwa na mtu yeyote kwani alikuwa amesajili namba mpya na mara nyingi alishinda na kulala kwa mchungaji huku wakitafuna taratibu sadaka za waumini wa kanisa lile.
Vaileth alikuwa amelala kwenye kochi pale kwa mchungaji, halafu mchungaji alikuwa nje na nyumbani.
Ghafla pazia la mlango wa sebuleni lilisogezwa na mchungaji aliingia halafu akaketi kwenye sofa lingine halafu akavuta pumzi na kushika tama. Vaileth alipomtazama aligundua pastor hayuko kawaida
“Vipi mume wangu” alisema mchungaji
“Nenda kule kwako ukakae kuna watu wananitembelea, sio vizuri wakakukuta hapa”
“Heh watu gani?” binti aliuliza kwa mshangao halafu akaketi
“Watumishi wenzangu”
“Sawa….” alisema binti na kuinuka anataka aondoke
“Halafu” mchungaji alisema
“Abee”
“Nimepata matatizo natakiwa nienda Meru”
“Kuna nini tena?”
“Mama yangu anaumwa sana”
“Mh anaumwa? Tatizo nini?”
“Huwa anasumbuliwa kidogo na kifua, sasa kwa baridi iliyopo kule nasikia ana hali mbaya, nimeambiwa niende haraka”
“So utarudi lini?”
“Sitokaa sana”
“Sawa basi, tutawasiliana kwani unaondoka lini?”
“Kesho kutwa”
“Poa, tutawasiliana”
Vaileth aliondoka kuelekea ghetoni kwake, alipofika alijilaza ila wivu ukamsumbua na kuwaza labda pastor amemtoa kijanja ili aingize demu mwingine.
Alishuka kitandani kama mshale, na kwenda kusimama kando kando ya pale kwa mchungaji akavizia.
Ni kweli alimuoa pastor akiingia kule ndani akiwa na watu wawili, mmoja wa kiume na mwingine wa kike, walionekana ni watu wazima sana, na wanaojiheshimu kulingana na walivyokuwa wakivaa. Roho ya binti ilitulia na aliondoka akarudi nyumbani kwake.
Alipumzika sana, siku ile kidogo hakuwa na furaha kivile, maana mpenzi wake alikuwa aondoke siku mbili zijazo.
Aliwaza amuombe waende wote, ila alipojaribu kumtumia SMS hazikuenda kwani alikuwa hana kifurushi. Akakaa kwa kutulia.
Akiwa amejilaza kitandani, alipata wazo la kuweka ile laini yake ya zamani kwenye simu kwani alikuwa anawamiss baadhi ya marafiki.
Alipoiweka tu hivi alipatana na message mbili kutoka kwa Penina,
1 Uko wapo shogaa mbona nakuja kwako haupo
2 Mambo
Akazipuuzia, lakini kitendo cha zile sms kumfikia, zilipeleka delivery report kwa yule Penina, na Penina haraka alimpigia
“Hallo”
“Mambo” Alisema Vaileth
“Shoga angu umeadimika, siku hizi umepata buzi la wapi?”
“Hahahaaa….walaaa sina buzi lolote, ila tu nimeamua kuishi hivi”
“Anhaa, siku ile ukaamua kunidhalilisha rafiki yangu”
“Na nini tena?”
“Nilienda mpaka pale kwako sikukuta shoga angu nikajua umeshamdanganya wa watu”
“Ah mimi simpendi”
“Nikushauri kitu Vai?”
“Eee”
“Kamuombe msamaha yule, utanishukuru baadaye
“Mh, mimi huyo, nikamuombe msamaha…hahaha hapana simtaki”
“Kweli nakuambia, nenda kamuombe msamaha utayafurahia maisha
“Duuh kwanini unasema hivyo?”
“We niamini, yule mwanaume anakupenda sana Vaileth, nilikutana naye alikuja kukuchua na gari yake”
“Gari atoe wapi yule ni bodaboda, alikuwa ameazima la mtu tu” Vai alimponda na ghafla simu ya Penina ilikata salio, na Vai hakutaka kumpigia ili aujue ukweli
Kesho yake ilipofika, Vai alipata ujumbe wa mchungaji “NINAONDOKA KESHO, VIPI LEO HAUJI KUNIAGA?”
Vai aliisoma akatabasamu na kujibu “UNAPENDA!!!! ILA LAZIMA NIJE NIKUAGE BAADAYE JIONI”
*
Jioni siku ile, Vaileth alienda kulala kwa mchungaji . siku hiyo alimuomba sana mchungaji amruhusu waende kwa pamoja lakini mchungaji alikataa kwenda naye
NAMBA 23
“Sasa kwanini hutaki kwenda na mimi?” Vaileth aliuliza kwa hasira
Mchungaji alimtazama na kumjibu “Siendi na wewe kwa sababu mimi ni mchungaji, nitaonekana vipi? Kama huelewi basi”
“Okay powa”
Vaileth alivaa nguo akaenda zake nyumbani, alipofika nyumbani alilala, na hata kesho yake mchungaji aliondoka zake akaelekea Meru kumtazama mama yake.
*
Ikiwa ni siku ya Ijumaa mara baada tu ya binti kusafiri, Penina alijitahidi kurudi na kumshauri Vaileth
“Naomba uende kwa yule kijana umuombe msamaha”
Vai akasema “Mimi nina mchumba wangu, anarudi wiki ijayo mi siwezi kuolewa na muislam, tena huyu wa kwangu ni mchungaji”
“Hata kama Penina, sio kwa mali zile walizo….” alijishtukia Penina maana binti alikuwa hana taarifa kama binti alienda kutoa utambulisho bandia
“Mali gani?”
Penina alishindwa kuiziba siri ambayo ilikuwa moyoni mwake akamuambia ukweli
“KIUKWELI PENINA, SIKU ILE TULIPOTAKIWA TUENDE ILI UKATAMBULISHWE, NILIKUJA HAPA KWAKO NIKAKUKOSA, NIKIWA NAKUPIGIA SIMU YULE KIJANA ALIYEKUWA AKUOE ALIKUJA HAPA NA ALIVYOONA ANGEENDA KUDHALILIKA ALIAMUA KUNIOMBA NIENDE NAYE AJIFANYE MIMI NDO ANANITAMBULISHA”
Vaileth alishindwa kuelewa “Sijakuelewa bado embu nielezee vizuri”
Penina alichukua simu yake akafungua google photos na kutazama kuna picha kijana yule alimtumia
“Unaona hizi picha?”
Vaileth kuangalia hivi alishtuka sana “PENINA? UNANISALITI ULIAMUA KWENDA KUOLEWA NA MTU WANGU?”
“SIJAOLEWA, NIELEWE, NILIFANYWA BORTION KWENDA KUTAMBULISHWA…..ILI ASIDHALILIKE, HAKIKA WANA HELA” Penina alisema na kuonyesha zile picha zingine “UNAONA HII GARI? NDIO ILIKUWA ZAWADI YAKO…..ANGALIA MAJUMBA WALIYO NAYO NI MAZURI SIO MCHEZO, NA HII CHEKI YA MILIONI MIA INGEKUWA YA KWAKO PIA”
Vaileth alibaki amechanganyikiwa kabisa “PENI” aliita kwa mshangao “MBONA HAKUNIAMBIA MUDA WOTE KWAMBA YEYE NI TAJIRI?”
“ALIKUWA ANATAFUTA MWANAMKE MWENYE MAPENZI YA KWELI”
“EEH?” machozi yalimlenga lenga binti na kusema “NAOMBA UNIPELEKE KWAO NIKAMUONE NIMUOMBE MSAMAHA” alisema Vai
“KWELI SHOGA TWENDE KESHO MI NITAKUPELEKA”
“SAWA SHOSTI”
Siku ile ilikuwa ni siku ya majuto kwa Vaileth lakini hakuogopa sana kwani alikuwa anajua bado yupo na mchungaji bado.
Vaileth alimtumia ujumbe mchungaji lakini mchungaji hakujibu siku ile.
*
Kesho yake asubuhi na mapema Penina alimuibukia Vaileth na kuchukua nafasi yao wakaenda katika nyumba ambayo alikuwa akiishi Rashidi pamoja na walezi wake, hata hivyo alipofika pale binti alipokelewa vizuri sana na mtumishi mmoja wa kike aliyekuwa kule nyumbani
Kweli ilikuwa ni nyumba ya kifahari, nje hakukuwa na dalili ya kuwepo kwa mtu mwingine
“Samahani dada mimi unanikumbuka?” aliuliza Penina
“Yeah kama vile sura sio ngeni” alisema binti huyo
“Samahani tumemkuta Rashid?”
“Rashid???” aliuliza kwa mshangao
“Ndio kwani kuna nini?”
“Tunavyoongea hivi Rashid yuko kwenye harusi yake Mafya”
“Harusi????” Vaileth aliuliza kwa mshangao
“Ndio, anaoa”
“Wewee” Vaileth aliuliza “Ina maana Rashid alikuwa na wanawake kibao si ndio?”
Penina alijikuta anatabasamu, maana Vai alikuwa ameshajikoroga halafu sasa yeye ndo analaumu shenzi sana.
“Ahsante sana” Penina alisema
“Karibu”
Ilibidi waondoke tu hamna namna.
Walirudi nyumbani, Vai alijilaumu sana, alisema vibaya, hakujiona yeye ndiye mkosaji aliona kwamba Rashid sio muaminifu kabisa…..Penina naye alimlaumu Vaileth, Vaileth alikuwa na mambo mengi tatizo.
Walifika nyumbani siku hiyo Vai alikuwa hana raha, na kadri alipomtafuta pastor pastor hakumjibu kabisa. Alilala kwa maumivu na majuto makubwa.
Kwa kuwa kanisa huwa halina likizo, binti kesho yake alienda ibadani kama kawaida yake kulikuwa na mchungaji mwingine mpya kabisa ambaye alikuwa ameletwa, alitambulishwa vyema na alilitoa neno siku hiyo.
Mwisho wa ibada kanisa walimuomba mzee wa kanisa asimame aongee. Mzee akaanza kwa uchungu
“NINASIMAMA HAPA MBELE YENU KWA UCHUNGU MKUBWA SANA” alisema mzee, watu wote kimya wakiwa makini kumsikiliza “AMEONDOKA HAPA MCHUNGAJI WETU EMMANUEL KAAYA, HAKUWEZA KUTUAGA….SIO KWAMBA ALITAKA ILA ALIFANYA HIVYO KWA SABABU ALIPTA MATATIZO YA GHAFLA SANA” alisema mzee wa kanisa kisha akakohoa na kuendelea “FAMILIA YA KIJANA WETU HUYO MCHUNGAJI, ILIPATA AJALI NA ALIWEZA KUPOTEZA WATOTO WAKE WAWILI, LAKINI KWA BAHATI NZURI MKEWE HAKUFARIKI ILA ALIPATA MAJERAHA KADHAA”
“Mke wake???” watu walijiuliza huku moyo ukimuenda mbio Vaileth na kukodoa macho. Kila mtu alimgeukia akishangaa maana walijua ndiye angekuwa mke wake baadaye
NAMBA 24
Mzee aliendelea “NAJUA MNAJIULIZA MENGI KUHUSIANA NA YULE MCHUNGAJI, NA KAMA KUNA BINTI ALIWEZA KUDHANIA LOLOTE JUU YA MCHUNGAJI TUNAMUOMBA AFUTE MAWAZO YAKE KABISA, YULE NI MUME WA MTU”
Vaileth alianza kulengwa lengwa na machozi, ni kama vile anaota ndoto haamini kile anachokisikia kutoka kwa mzee wa kanisa, alipata shida sana rohoni mwake
Mzee akaendelea “MIMI KILICHONIWEKA HAPA MBELE YENU NI KWAMBA NAWAOMBENI TUUNGANE TUMCHANGIE PESA KIDOGO ITAKAYOMSAIDIA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MATATIZO, CHA MAZISHI PAMOJA NA KUMUUGUZA MKEWE”
Yaani alivyotamka neno Mke, ndio kabisa Vaileth alikuwa akichanganyikiwa na kujikuta anakosa nguvu
Mzee akaendelea “KAMA UNA CHOCHOTE CHA KUMCHANGIA, ELFU MOJA, ELFU TANO, ELFU KUMI AU ZAIDI WE NJOO MBELE UTOE NA UTABARIKIWA”
Watu walianza kutiririka mbele kumchangia, lakini Vaileth aliinuka na kuondoka kabisa kanisani, aliacha hata biblia na Tenzi za rohoni akaondoka kabisa.
Alipofika nyumbani alilia sana, aliumia alishapoteza bahati amedanganywa, amempoteza mwanaume mwenye mapenzi ya dhati kisa udanganyifu wa mchungaji.
Alijifungia chumbani binti, halafu akawaza mambo mengi sana, alifikia hata kufikiria kujiua, lakini aliichukua simu yake na kumtumia ujumbe mchungaji yule
“KUMBE ULINIDANGANYA…….EMMA KUMBE UNA MKE? SAWA….NIMEKUBALI SAWA UMENICHEZEA UMENIPOTEZEA MUDA UMENISABABISHA NIKAMPOTEZA MWANAUME WA KWELI KWENYE MAISHA YANGU….SAWA TU”
Hakukuwa na namna binti, aliteseka na hata baadaye ilibidi aende L&S BAR akaanza pombe rasmi ili apunguze mawazo.
Alikuwa anakunywa huku machozi yakimtoka, na ndipo Penina akamfuata shoga ake “Vipi mbona hauna raha, hadi umerudia pombe”
“Shoga angu najuta..unajua yule mchungaji kumbe ana mke”
“Ana mke???”
“Ndio, yaani amenisababisha nikapoteza kila kitu, nimempoteza Rashid najutaaa”
“Mh…” Penina aliguna
“Najiuaa mimi shoga angu najiuuaa aah” alisema mtoto wa kike
“Usifikirie hivyo, tuendelee zetu kula bata achana na wanaume, mbona sisi tunaishi kwa kudanga na maisha yanaendelea? Embu achana na hayo mambo, tutafute hela”
Vai aliendelea kulia kwa uchungu
Baadaye kidogo alikuja mzee mmoja anahitaji binti wa kwenda kumburudisha usiku kucha. Ndipo Penina akampeleka Vai na kazi ya maisha yake iliendelea.
“SITAKI TENA MAMBO YA IBADA, NI WADANGANYIFU TU, ACHA NIFANYE UMALAYA MAISHA YANGU YAENDE” alisema binti akiwa anaelekea guest kumburudisha mteja wake.
Finally alirudia maisha yake machafu tena. Hakuwa na namna alijiona amepoteza kila kitu, hakika hakuna anayejali.
MWISHO KABISA