FUPI TAMU NENE INAKUNA VIZURI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, wasome hii hadithi
Sehemu 25
“Umeingiaje chumbani kwangu ?” Nilimuuliza.
“ Hilo sio muhimu..” Aliongea huku akinisogelea. Nilimzuia kwa mikono yangu.
“ Usijitafutie matatizo.Hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kuniingia. Nimewekwa kitu kibaya. ”
“ Mimi naweza. Nipe nikuonyeshe”
“ Mmmmh!”
“ Naomba usigune. Nipe ruhusa nikupe raha za Dunia. Kwanza ujue nakupenda sana. Sitaki kufanya kwakuwa unashida, nataka kufanya kwakuwa nakupenda. Nakupenda sana Fai. Kama binamu yako asingenitongoza na kujileta leta ningekuwa na wewe.”
“ Kumkandia binamu hakukufanyi uonekane mzuri. Sana sana kunakuchafua .”
Tukiwa tunaongea. Kwa mbali nilisikia kishindo cha mtu akitembea kwenye korido. Hazikupita sekunde tano, mlango wa chumba uligongwa.
“ Fai….Fai….’ Aliita binamu.
“ Fai mbona haunijibu? Unanongona na nani?” Aliniuliza.
“ Aaaaa..nipo ..peke yangu. Utakuwa umesikia vibaya.” Nilimjibu bila kwenda kumfungulia mlango.
“ Basi nitakuwa nimesikia vibaya.” Alinijibu binamu. Aligeuza na kuelekea chumbani kwake.
“ Uuuuuuuuuuh….” Alihema kwa Nguvu Juma.
“ Unampondea kumbe unamuogopa.” Nilimwambia.
Gafla, kishindo cha miguu ya Binamu kilisikika tena.Alikuja anakuja tena.
“ Kuna jambo nilisahau kukuambia. Naomba fungua mlango nikuambie.” Aliniambia.
“ Mmmmmh!” Aluguna Juma. Haraka aliinama na kuingia uvunguni.
“ Kwanini tusiongee kesho?” Nilimuuliza binamu.
“ Hapana! Ni vyema tukalimaliza.” Aliniambia.
Kinyonge nilisimama na kwenda kumfungulia. Aliingia na kukaa kitandani .
“ Kila mara nilikuwa nasahau kukuambia hili swala. Ni hivi, mwenzio nimepata mwanaume serious.Saizi nafanya taratibu ili niweze kwenda kumtambulisha kwa ndugu.” Aliniambia.
“ Mwanaume mwenyewe nani?”
“ Ni Juma, yule uliyenichungulia naye siku ile. Kiukweli tangu nianze mahusiano sijawahi kumuona mwanaume mpole na mtaratibu kama Juma. Kwanza ni muaminifu sana. Uaminifu wake umenifanya nimpende .” Aliniambia.
Kabla sijamjibu aliendelea kuongea.
“ Na wewe haya matatizo yako yakiisha hakikisha unatafuta mwanaume anayejielewa kama Juma. Achana na hao wanaume ambao wanakupendea ngono . Ngono sio kitu kizuri, ni vyema ukampata mtu mwenye hofu ya MUNGU kama Juma”
Maneno yake na jinsi alivyoongea kwa mahaba ilionesha ni jinsi gani alioza kwa Juma.
“ Hivi akijua Juma yupo uvunguni itakuwaje?” Nilijiuliza.
“ Anaweza kufa kwa pressure huyu.” Niliwaza.
“ Sasa nikuache upumzike. Mimi naenda kulala. Kesho wakati wewe unaenda kwa mganga,Mimi na Juma tutakuwa na safari. Kuna sehemu Juma anataka kunipeleka.” Aliniambia.
Alisimama na kuondoka.
“ Wanaume washenzi sana.” Niliwaza baada ya Binamu kuondoka. Niliinama chini na kumtaka Juma atoke uvunguni.
“ Umemsikia binamu?”
“ Ndio nimemsikia. Lakini Sina mpango wa kumuoa.”
“ Unanidanganya ili iweje?’
“ Tuachane na hayo Fai. Tuonge ya msingi, hivi hautaki kujua kama nitafanikiwa kukufanya au lah? Hautaki niondoke mkosi na gundu waliyokuweka ?”
“ Hautaweza.”
“ Niamini tafadhali. Hakuna linaloshindikana.” Aliniambia huku akinisogelea.
“ Acha nione kama atafanikiwa au lah.” Niliwaza.
Nilimpa ishara ya kukubali, nilimshika shingo na kumpapasa mgongoni. Dakika tano mbele tulikuwa uchi .
“ Dawa ya kisima chako ni kuingiza bila kuangalia. Nikiangalia sitaweza .” Aliniambia.Alinitanua miguu na kumuingiza nyoka wake.
Ile kuingiza tu, pale pale alianguka chini kama mzigo.Mwili wake haukucheza.
Alitulia tuli.
“ Amekufa ?”
Sehemu 26
“ Amekufa ?” Nilijiuliza. Nilimsogelea na kusikiliza mapigo yake ya moyo. Kifua kilikuwa tuli.
“ Mmmmmh!” Niliguna.
“ Jumaaaa….jumaaaaa…..” Nilimwita. Hakuitika.
“ Ndi..ndi…ndi…” Moyo wangu ulidunda.
Kijasho chembamba kilianza kunitoka. Niliona maluwe luwe, nilienda mbele na kurudi nyuma.Nilishika kichwa na kukiacha.
Niliinama chini na kusikiliza mapiga yake tena. Hakuna kilichobadilika , hali ilikuwa ile ile. Juma alikuwa kimya pale chini.
“ Mmmh! Inamaana Mganga alisema kweli.Mtu akilazimisha kuniingiza anakufa?”
Nilijiuliza.
“ Sipaswi kukaa hapa.” Nilijiambia. Haraka nilisogea mlangoni. Niliusukuma mlango na kuchungulia nje.Kwakunyatia nilitoka , nilipiga hatua taratibu kutoka nje.
Nilifungua mlango wa nje na kutoka. Nje giza lilikuwa totoro.
“ Naenda wapi usiku huu?” Nilijiuliza.
Nikiwa sijafika popote, mlango ulifunguliwa kwa nyuma yangu. Binamu alinimulika tochi.
“ Aaaah! Fai unafanya nini nje ?” Aliniuliza. Alipiga hatua kunifata nilipo.
“ ..aa….aaaaa……” Nilishikwa na kigugumizi.
“ Fai unaanza kuchanganyikiwa sasa. Tatizo lako inaonekana ni kubwa sana.Ila usijali binamu yangu. Mungu atakusaidia. Atakupa mwanaume sahihi na mtafunga ndoa.” Aliongea huku akinikaribia.
“ Unajua sisi binadamu hatujui mipango ya MUNGU, chukulia mfano mimi. Ujue nilishakata tamaa. Sikuwahi kufikiria kama kuna siku naweza kupata mwanaume anayenipenda kama anavyonipenda Juma.” Aliongea akiwa amenikaribia.
“..Bi..na…mu….” Nilimwita kwa shida sana.
“ Upo sawa fai?”
“ .bi..na…mu…..” Nilimwita tena.
Kabla hajanijibu, nilijikuta nimemkumbatia na kuangua kilio.
“ Nisameheeee..nisameheee….”
“ Nikusamehe nini Fai.Kutoka nje usiku sio kosa. Najua akili yako haijaka sawa kutokana na yale yaliyokukuta. Naomba usiwaze kuhusu mimi.Mimi sina tatizo na wewe. Kutoka nje usiku sio kosa kabisa.”
“ Nisameheee binamu…Naomba nisameheeee…” Nilimwambia.
Binamu alinikumbatia kwa nguvu na kunitaka nitulie. Tukiwa tumekumbatiana. Ulisikika mlio wa simu yangu kutoka ndani.
“ Simu yako inaita chumbani.” Aliniambia.
“ Twende ndani” Alinitoa mwilini mwake na kunishika mkono. Alinivuta kuelekea ndani. Nilitaka kumzuia nilishindwa. Mikono yangu na mwili wangu haukuwa na nguvu kabisa.
“ Mbona unasita sita, hebu twende..” Aliniambia.
“ Bi..na..mu…” Nilimwita.
Hakuitika, badala yake aliniambia umuhimu wa kupokea simu inayoita ndani.
“ Mtu kukupigia simu saa nane usiku. Hiki sio kitu cha kawaida, lazima kuna jambo kubwa. Hebu nenda kapokeee.” Aliniambia.
“Lakini…..’
“ Lakini nini Fai, simu itakata .Hebu wahi haraka nenda kaipokeee.” Aliniambia.
Kabla sijafanya lolote, simu ilikatika.
“ Fai unanini? Hivi hujui mtu hawezi kukupigia simu usiku kama hakuna tatizo? Huyu aliyekupigia anajambo anataka kukuambia. Ni vyema ungewahi kuipokea.” Aliniambia.
Nikiwa nimeduwaa sijui nifanye nini, simu ilianza kuita tena.
“Kapokee simu.” Aliniambia.
Baada ya kuona sifanyi lolote, binamu aligeuza yeye na kuelekea ndani.
“ Ngoja nikakuchukulie.” Aliniambia. Alivuta mlango na kutaka kuingia ndani. Haraka nilimuwahi na kumshika mkono.Nilimtoa nje.
“ Hapanaa…” Nilimwambia.
“ Hapana nini?” Aliniuliza.
Nilimuangalia bila kusema lolote.
Nikiwa namtazama Binamua bila kuongea lolote, mlango wa barazani ulisukumwa
.
“ Tunaishi wawili tu humu.Nani anayesukuma mlango ndani?” Aliuliza Binamu.
Sehemu 27
“ Humu ndani tunaishi wawili tu. Nani huyu anayesukuma mlango kwa ndani?” Aliuliza Binamu.
Mlango ulisukumwa wote.Tuliganda kumsubiri aliyeusukuma.
“ Eeeeeh! Umefika saa ngapi?’ Aliuliza shangazi baada ya Juma kutoka ndani. Juma aliyumba, Binamu haraka alimuwahi.
“ Njoo tumuingize ndani.” Aliniambia.
Nilimsogelea na kumshika mkono wa kulia. Kwa pamoja tulimuingiza chumbani kwa binamu. Tulimlaza kitandani. Binamu alinituma maji , nilichota na kumpelekea.
“ Huyu mwanaume anawivu sana. Bila shaka mchana aliingia ndani na kujificha. Sasa sijui alizani naingizaga wanaume .” Aliongea Binamu.
Kauli ya Binamu ilinifikirisha sana.
“ Inamaana binamu hajahisi kitu?” Nilijiuliza. Nilimtazama bila kumuelewa vizuri. Niliinama chini kumsaidia.Tulimpa huduma ya kwanza.
“ Afadhali hajafa.” Niliwaza.
Baada ya kumpa huduma ya kwanza, Juma alikaa sawa.Hakuonekana kudhurika sana. Binamu alitoka nje.
“ Usiongee chochote. Binamu hajahisi kitu .” Nilimwambia.
“ Unasemaje Fai?” Aliniuliza binamu. Kumbe wakati naongea alikuwa nyuma yangu.
“ aaaa..aaaa……” Nilijiumauma bila kuongea lolote.
“ Hakuna kibaya alichosema.” Aliongea Juma.
“ Sijamsikia vizuri ndio mana nimeuliza.”
Alitusogelea tulipo.
“ Tuachane na hayo. Naomba niambie ndani kwangu uliingiaje ingiaje? Au ndio wivu. Ulizani nimeingiza mwanaume mwingine? ” Aliuliza binamu.
“ Tuongelee uzima kwanza, hayo mengine tutaongea Asubuhi.” Aliongea Juma. Jinsi juma alivyoongea niligundua kitu . Juma alikuwa na nguvu nyingi sana kwa Binamu. Binamu alikuwa mpole sana kwake.
Kauli zake na jinsi alivyojibu kulifanya mazungumzo yasiwe mengi. Niliondoa na kuelekea chumbani kwangu. Nilimuacha Juma na Binamu.
“ Inamaaana Binamu hajagundua kitu au?” Nilijiuliza.
“ Kwa mazingira yale inawezekanaje Binamu asihisi kitu ?” Nilijiuliza.
“ Na Kama amegundua kitu kwanini amekaaa kimya? Kwanini amajifanya hakuna baya lolote lililofanyika?” Nilijiuliza tena. Nilipiga hatua kuelekea chumbani kwangu.
…………………………………
Asubuhi.
Niliamka mapema na kufanya usafi. Nilideki nyumba yote na kuchota maji.Nyumba ilitulia sana. Hakukuwa na sauti wala kelele yoyote ile.
Nikiwa kwenye korido namalizia kudeki, Juma alitokea chumbani kwa Binamu. Moja kwa moja alifika hadi nilipo na kunishika makalio.
“ Mambo gani haya?” Nilimuuliza kwa hasira.
“ Mmmmh! punguza hasira mtoto mzuri. Ukinuna haupendezi hata kidogo.” .
“Naomba usinizoeee. Sitaki ugomvi na binamu yangu.” Nilimwambia.
“ Kwanza huyo binamu yako yupo wapi? Mbona simuoni . Tangu nimeamka sijamuona kitandani.” Aliniambia.
“ Haujamuona? Inamana hayuko ndani?” Nilimuuliza.
“Ndio, humu ndani hayupo. Nimemuangalia kila mahali sijamuona.”
“ Atakuwa kaenda wapi? Mbona ni hatari sana. Ni bora asingeonekana jana kuliko leo.” Niliongea.
…………………..
Tulimtafuta kwa masaa zaidi ya matatu bila mafanikio.
“ Huyu mtu ni mkubwa ! Atarudi mwenyewe baada ya mambo yake kuwa sawa.” Aliongea Juma.
“ Lakini ameenda wapi? Hii sio kawaida?” Nilimuuliza
Sehemu 28
“ Itakuwa kajua yaliyotokea .” Nilimuambia Juma.
“ Mmmmmh Sidhani .”
“ Sasa kwanini ameondoka? Kitu gani kimefanya aondoke bila kuaga?” .
Juma alinitazama bila kuongea lolote. Sura yake ilionesha hajui chochote, pia alionesha kutokujali .
“ Hapa hakuna mwanaume! Kwanza kafanya upumbavu, pili hajali lolote.” Niliwaza. Nilifungua mlango na kutoka nje. Ile natoka, Macho yangu yalikutana na binamu.
Binamu haraka aliangalia chini.
“ Binamu ulikuwa wapi?” Nilimuuliza.
“ Aaa…aaaa…..” Alishindwa kuongea. Alinipita na kuelekea ndani.
“ Atakuwa anajua kitu. Hii sio bure.” Niliwaza. Nilipiga hatua kumfata kwa nyuma. Niliingia ndani, kwenye korido alikuwa hayupo. Kwa mbali nilisikia sauti chumbani kwake akiongea na Juma.
“ Unaondokaje bila taarifa ?” Aliongea Juma kwa ukali.
“ Nisamehe Mume wangu . Nimekosaaaa..’ Alijibu Binamu kwa nidhamu ya hali ya juu sana.
“ Binamu anawezaje kumuita huyu mshenzi mume? Yaani makosa afanye yeye ,samahani aombe binamu. Mbona mambo ya ajabu sana .” Niliwaza . Nilipita kwenye korido na kuelekea chumbani kwangu.
Sikukaa sana.Nilitoka. kwenye korido nilikutana na binamu. Kama ilivyokuwa nje, alikwepesha macho yake. Aliangalia chini .
“ Kwanini binamu anaona aibu? Kuna kitu gani? Kama amejua yaliyotokea ni mimi na Juma tulipaswa kuona aibu.Sio yeye.” Niliwaza.
Nilimsogelea hadi alipo na kumshika mkono.
“ Upo sawa binamu?” Nilimuuliza.
“ Kwanini unaniuliza hivyo? Mimi nipo sawa kabisa.” Alinijibu.
“ Mmmmh! sidhani kama upo sawa.”
Kabla hajanijibu, nilimshika mkono na kumtoa nje. Akili yangu iliniambia nimuambie kila kitu. Nilitaka kuweka wazi yote.Mwanzo mwisho.
“ Kuna mambo yametokea usiku, nadhani ni vyema tukayaweka wazi.” Nilimwambia.
“ Tutaongea baadae .Naomba jiandae tuondoke. Mganga atakuwa anakusubiri, maana nilimtaaarifu unaenda leo.” Aliniambia.Nilitaka kuongea tena alinikatisha.
………………..
Niliingia ndani kujiandaa. Nikiwa naelekea ndani, kwenye korido nilipishana na Juma akitoka nje. Alitaka kunishika mkono nikamkwepa. Niliingia chumbani kwangu. Nikiwa chumbani nilimsikia Juma akimuaga Binamu.
“ Huyu mshenzi inaonekana hii nyumbani anaifanya kama yake.Na binamu naye anaonekana ni dhaifu sana kwake.” Niliwaza.
………………………………
“ Fai mimi nipo tayari.” Aliniambia Binamu.
Nilitoka. Tukaongozana kuelekea kwa mganga.
“ Nimetenda dhambi kubwa. Ni vyema nikamuomba samahani binamu.” Niliwaza.
“ Binamu..” Nilimwita.
“ Nini Fai, tumechelewa ujue. Kama kuna lolote tutaongea baadae.” Aliniambia. Aliongeza mwendo.
Nilimtazama nikiwaza mengi.
Masaa kadhaa mbele tulifika kwa mganga. Nilimueleza mganga kila kitu.Nilimueleza yote niliyoyagundua baada ya kukutana na John . Pia nilimueleza kuhusu kilichotokea baada ya kwenda buchani kwa Daudi.
“ Kwahiyo unasema mwanaume aliyekuingia hakuwa John?” Aliniuliza Mganga.
“ Ndio, hakuwa John. Ni mwanaume mwingine tofuati.”
“ Umejuaje kama hakuwa John?”
“ John mwenyewe ameniambia. Na kwa mambo yalivyo hana sababu ya kudanganya. Kaniambia ukweli.”
“ Basi John sio mume wa yule mwanamke.” Aliniambia.
“ Sijakuelewa, unamaana gani?”
“ Namaanisha John sio mume wa Yule mwanamke. Aliyekuingia siku ile ni mume wa yule mwanamke.”
“ Eeeeeeh…..” Nilistaajabu.
“ Mbona unashangaa ! Ipo hivi, John…………………..”
Imeandikwa na
Sehemu 29
“ Mbona unashangaa sana, ipo hivi……..” Kabla hajamalizia nilidakia. Nilimuambia anachosema hakiwezekani.Nilimuambia John ni mume wa yule mwanamke.
“ Naomba nisikilize Fai. Hii dunia inamambo sana. Ipo hivi, John sio mume wa Anet” Aliniambia.
“ Eeeh! Anet..?”
“ Unashangaa nini? Kwani yule mwanamke anaitwaje Si anaitwa Anet au.”
“ Ndio .Anaitwa Anet. Wewe umejuaje?”
“ Mimi ni mganga, najua mengi sana. Ila tuachane na hayo. Ishu ipo hivi, Anet na huyo mwanaume waliyefanya mapenzi na wewe walichukua nyeti yako.”
“ Eeeeh! Nyeti yangu waliichukua? Mbona sielewi.”
“ Unakumbuka Husein na mkewe walitaka kufanya mapenzi na wewe kwa pamoja?” Aliniuliza.
“ Nakumbuka, ila wao hawakufanya. Waliishia njiani baada ya kuiona nyeti yangu.”
“ Basi sababu kubwa ya husein na mkewe kuacha ni nyeti yako. Hawakuiona. Ilikuwa imeshachukuliwa.”
“ Inamaana wao hawakuona kitu?”
“ Ndio waliacha baada ya kutoona kitu. Na ndio mana walikutaka uondoke.”
“ Sasa kwanini walichukua nyeti yangu? Na hii ninayoiona ni nini?”
“ Walichukua nyeti yako kwasababu za kibiashara. Wameiweka kwenye bucha la Daudi. Na hiyo unayoiona ni nyeti ya maiti. Siku ile alipokuingia alikuwa anakuweka kichawi. Na ndio mana hukusikia maumvi licha ya nyoka wake kuwa mkubwa.Nazani unakumbuka pia Anet alikukamulia limao na kukunyonya. Basi lile lilikuwa sharti la dawa.”Aliniambia.
Maneno ya Mganga yalinipa majibu ya maswali niliyokuwa najiuliza muda mrefu sana.
“ Ndio mana bucha la Daudi linauza kuliko mengine, kumbe uke wangu unatumika pale? ‘ Nilijiuliza moyoni.
“ Husein na mkewe hawakuona kitu kwasababu na wao walitaka kunifanya kama kile alichonifanya Anet na Daudi! Vipi kuhusu wengine, wao wanaona nini?”
Nilijiuliza.
Mganga ni kama alijua ninachowaza. Aliniambia wanaume wengine wote wanaacha kufanya mapenzi na mimi kwasababu wakinivua nguo wanaona kitu cha ajabu.Aliniambia yeyote atakaye lazimisha kunifanya ni lazima apatwe na majanga.
“ Ndio maana Juma alizimia.” Niliwaza.
“ Lakini inawezekanaje Daudi akawa Mume wa John wakati sisi tunamjua John?” Nilimuuliza.
“ Sifahamu kwanini ipo hivyo. Ila kwenye vibuyu vyangu namuona daudi ndie mume wa John.” Aliniambia.
“ Naomba tuachane na hayo. Naomba niambie kama inaweza kutibika. Niambie nifanye nini kuurudisha uke wangu.”
“ Uke wako utarudi.”
“ Nitashukuru sana. Nitakulipa chochote ukiweza kuurudisha.”
“ Usinishukuru kwanza. Kazi bado ni nzito, kuna mambo inabidi tukubaliane kabla ya kazi.”
“ Mambo gani tena? ”
“ Ni hivi, tangu nianze hii kazi sijawahi kumsaidia mtu kutoa tego ambalo nimelitega mwenyewe. Mimi ndiye niliyempa dawa Anet.Aliniambia ametumwa na mumewe. Mumewe nilikuwa simjui.”
“ Eeeeh! Ndio mana umemjua Anet.”
“ Ipo hivyo.Mwanzoni sikuwa nauhakika ndio mana sikuongea. Ila sasa nimepata uhakika.Dawa walichukua kwangu.”
“ Nisaidie basii..”
“ Nitakusaidia, ila kama nilivyosema. Ni lazima tukubaliane. Mizimu yangu italeta shida sana nikitegua tego nililolitega mwenyewe” Mganga aliniambia. Aliniangalia kwa umakini kisha akaendelea.
“ Hii kazi ya kurudisha uke wako inaweza kunipotezea maisha.” Aliongea.
Akiwa anaendelea kuongea, macho yake na binamu yaligongana.Walikonyezana.Sikuelewa kukonyeza kule kunamaana gani.
“ Kwahiyo kabla ya kuanza kunitibu ulitaka tukubaliane jambo. Naomba niambie hilo jambo.” Nilimwambia.
Mganga alinitazama kisha akameza mate.
Sehemu 30
Mganga alinitazama kisha akameza mate.
“ Mwambie wala usiwe na mashaka.” Aliongea Binamu
Kauli ya binamu ilimaanisha anajua ambacho mganga anataka kuongea . Nilimtazama kwa sekunde kadhaa kisha nikamgeukia mganga.
“ Kama utakubali nitakalo kuambia tatizo lako litaisha. Ila kama hautakubali basi tatizo lako halitaisha kamwe. Milele utakuwa hivyo. Hakuna Mwanaume atakayeweza kufanya mapenzi na wewe.Na kama kilazimisha atakufa.” Aliniambia.
“ Niambie hilo jambo.”
“ Lakini utakubali?”
“ Unaniulizaje nitakubali bila kulijua jambo lenyewe. Naomba niambie kwanza hilo jambo ni nini, ukishaniambia nitajua kama nitakubali au lah.”
“ Ni hivi, ili niweze kukusaidia naomba uwe mke wangu. Mizimu yangu imekuchagua wewe. Ile siku ya kwanza umefika iliniambia wewe ndiye mtu sahihi kwangu.” Aliongea Mganga.
Niliachama mdomo kwa mshangao. Nilimgeukia Binamu.
“ Kubali Fai. Huyu mganga ni mtu mzuri sana. Nina uhakika hautajuta kuolewa naye.” Aliniambia Binamu.
“ Kwa ajili yako nipo tayari kwa lolote . Nitafanya utakacho kuhakikisha unakuwa na furaha. Nitakujali na nitakuhudumia kama malaika.” Aliniambia.
Bila kumjibu, nilisimama na kuelekea nje.
“ Kumbe ni tapeli wa mapenzi! Hakuna cha uganga wala nini.” Niliongea nikielekea nje.
Nikiwa naukaribia mlango, bila kusukumwa wala kushikwa mlango ulijifunga wenyewe.
“ Eeeeh!” Nilishangaaa.
“ Humu ndani hakuna anayetoka bila ruhusa yangu. Nakuomba uje tuongeee .” Aliniambia.
Kinyonge, niligeuza na kurudi kukaaa.
“ Swala lako silitaki, na sipo tayari.”Nilimwambia.
“ Kwahiyo milele utakaa hivyo hivyo?” Aliniuliza binamu.
“ Ni bora nikae hivi hivi kuliko kuolewa na mganga! Kwanza huyu sio mganga. Huyu ni tapeli wa mapenzi.” Nilimwambia binamu.
“ Niombe radhi Fai. Unanikosea sana.”
“ Sina cha kukuomba radhi, naomba nifungulie mlango niondoke.”
“ Unakosea sana Fai, ujue mimi na huyo John ,mimi ni bora zaidi. John sio mwema kwako. John ndiye chanzo cha haya yote. Kama sio john haya yote yasingekupata.”
“ Unamaana gani kusema hivyo?”
“ Kwani wewe hujui! John ndiye chanzo. Kama utanikubalia nitakuthibitishia .” Aliniambia.
“ Waganga mpo kwa ajili yetu. Mpo kutusaidia na sio kututumia kingono. Ombi lako ni tata. Unataka kunitumia kingono”
“ Unanikosea sana kuniwazia hivyo. Hila hakuna shida , nitafanya kitu kukuonyesha kuwa sina ubaya na wewe. Nitafanya jambo ambalo litaonyesha kati yangu na John yupi ni mtu sahihi kwako.” Aliniambia.
Alinishika mkono na kunivutia kwenye chumba kingine.
Alinikarisha kwenye kiti. Alichukua ndoo ya maji na kunimwagia.
“ Aaaaah! Ndio nini sasa?:” Nilimuuliza.
“ Toka nje . Nenda nyumbani kwako. Nenda buchani kwa Daudi .Kasimame dukani bila kutoka. Hata akufanye nini usiondoke buchani kwake.” Aliniambia.
Niliduwaa.
“ Unashangaaa nini? ondoka, tena ondoka haraka.” Aliniambia.
“ Kwahiyo nikifanya hayo tatizo langu litakuwa limeisha?”
“ Ndio, ila sio jambo jepesi. Daudi hawezi kukubali ukasimama buchani kwake. Atafanya kila mbinu ili akutoe.” Aliniambia.
“ Lakini nikifanikiwa kusimama tatizo langu linaisha .”
“ Kama utafanikiwa kusimama kwa masaa matatu tatizo lako litaisha.” Aliniambia.
“ Ahsante..” Nilimwambia na kutoka mle ndani.
…………….
Nilimkuta Binamu akiwa ananisubiri.
“ Mmefikia wapi?” Aliniuliza.
“ Amenisaidia..” Nilimwambia.
Gafla, Nyuma yetu alitokea mganga.
“Nimeamua kumsaidia tu” Aliongea Mganga. Niligeuka kumtazama. Alikuwa anamtazama binamu. Katika hali ya siri sana walipeana ishara.
“ Mmmmmh!” Niliguna.
INAENDELEA……………