MIMBA YA CHUO ILIVYONIINGIZA MATATANI
Mkasa Wa Kweli
Mimi ni msichana niliekuwa nasoma chuo, kwetu maisha so mabaya sana nasoma moshi. Nikaja kupata mimba nikiwa chuo semister ya kwanza chuo tulifungua mwezi wa kumi na mimba nikaja kupata mwezi wa kumi na moja mwishoni alienipa mimba ni anakaa Arusha mimi niko Moshi.
Basi nilipogundua nina ujauzito wake sikumuambia nikiwa na uoga…. Siku moja mama akaja kunisalimia akasema mbona kama sikuelewi kipindi hilo tumbo hata sina ila wa mama wa kiafrika jaman Mimba hata ikiwa na week wanajua sijui wanaoteshwa ila nikakana kama vile sijui lolote nikasema sina kitu. Mama akasema we haya tutajua na kama unayo ole wako uitoe…..
Dah nikawa na mawaza bc ijapita hata miezi mitatu mtu uko Arusha me Moshi yeye hajui chochote na sikuwahi kulala nae tena mpaka mimba inafikish miezi 5 hajui nikapiga ultra-sound nikakuta nina mtoto wa kike hapo bado sijarudi home kumbuka basi nikaingia kwenye stress itakuwaje mimi jamen ntakua mgeni wa nani dunia itanitazamaje nikaona kama dunia inanizomea, home hawajuiÂ
Hakuna hata rafiki yangu mmoja aliejua maana sikuwa na tumbo kbx kutokana na mwili wangu kuwa mpana na mashati makubwa nliokuwa navaa huwezi nijua bc nikataka kuitoa sasa, kumbuka hapo miezi mi 5 hyoo.
Nkamtafta dada yangu mmoja yuko dodoma ni ndugu tu sio dada kbsa..
Bas nkamuomba ushauri akanitajia na vidonge akanambia itoe. Nkaomb ushauri tena kwa rafiki yangu mwingine nae yale yale itoe yuko Mwanza yeye bc nkanunua na vidonge mpaka vya kusafishia jumla ikawa 80,000 Tsh nikapewa maelekezo ya kumeza.
Bhan weee si nkameza kweli usiku niliumwa jmn mimi usiku sikulala nikawa natembea hadi uchi yale maumivu usipime na huezi amini mimba haikutoka  nkanywaga mpaka dawa za kusafisha wapi ngoma bado mbichi tumbo likaniuma sana.
Ikabidi nimtafute mkaka mmoja ananipendaga akaniambia hebu nenda kapige ultra sound but usimfiche daktari kitu muelezee kila kitu usikute mtoto kafa tumboni usafishwe nikasema sawa akanipa namba kweli nikapiga simu nikapanga mda na yule daktari tukakutana nikamueleza akaniambia ebu tucheki kwanza nikapiga ultra sound nikakuta mtoto mzima na uzima wake tena anacheza  uamini ya Mungu mengi wewe unapanga hivi yeye anapanga vile, na hapo mi nilikunywa kila kitu nlisikia inatoa mimba na haikutoka imagineÂ
Akaniambia hapo mtoto kashakua mkubwa na ameanza kutengeneza mifupa usipoangalia utatoboa utumb.. Na yul dokt alikua anamjua Mungu akaniweka chini akaniambia acha ujinga na hapo huwezi kumtoa tena na ukijaribu may be ni ile njia akatwe katwe na ukifanya hivyo utajutia maisha yako yote mpaka siku unakufa hautasahau we cha msingi nenda kwenu kaseme ukweli.
Mwambie huyo bwana ukweli hata akikataa lea mwanao hujui kusudi la Mungu ndani yake ni nini bc alinipa maneno yule dokt nkatok apo sielew niko kama zuzu aloooh
Bc nkaamua liwalo na lilwe zile picha nikamtumiatsap zile ultra sound alienipa mimb nikamuambia banaa eeh mm na mimb yako uku ina miez mi 5 sSa na niliogop kukuambia alaf nkaandik ndo mwanao ukikubali haya ukikataa ntalea mwenyew nlivyokua chiz sasa yaan nlipagawa asee nkazim data nkashangaa anapig nkamuambia ngj nfik hm upig maan ap sielew akasem. Poa niliposhuk kweny bajaj nkashangaa natoa nauli buku 5 badala ya miasabaÂ
bc akapig nkamuambia ndo hvy ujue nina minb yak uwez amin yule kaka alikubal na hapo alikua na mahusian yak mengn na mm nilikua na ya kwang yakavunjik ila ukwel sikuwah kusahau yul kaka nlikua namoend mbaya na.
Bc nkarud hm mama akashtukia akaniek chn lkn nkakakan asee sin kit mzee nae anaon tofaut yang akamtum mama aje aniuliz mama akaj ten akasem kama una minb sem tujue tunakusaidiaj apo bad niko chuo kumbuk bc ndo nikafunguk nina mimba mama cha ajab hakushtuk wala na wakat alinigaga mkwara ole wako upatbmimba utajua mwenyew na maish yako na akaniambia ole wako utoe minba utakufa hakika akaniambia enhe mgen kutok wap
Nkamuambia arush mama akanianbia anajua nkamuambia ndio akaniambia nioe no nikampa akampigia akapokea akaulizwa unamjua fulani…… Akajib ndio enhe unajua ana mini akajib ndio mama anamimba yang akajib unampang gan akasem nitakuj nyumban mama akajib haya picha likaja kwa mzee sasa kuju aloo apo mama enyew alipasua kichwa kwel kwel tukakaa kama week mbili ndo akanjanbia mzee.. Uwez amin sikugombezw wala sikuitwa ila kka ang mkubwa anaenispmesh ndo alimind mzee akagom kitoa ada semister iliobak
Bc ikanibid nikae hm cha jab mimba nikaw nalea mwenye yul mwanaum hakuwah kutoa ata mia yak na hel za clinik nikaw natumia akib yang mm ili kumfichia aib wazaz wang wasijue nikajifungua akapigiw sim ik huwez amin hakuja na aliniuliz tu ile siku nmejifungua mtot gan nkamuambia wa kike akasem ongercet nina furah mpk nataman kulia ila nyie wanaumÂ
ni kiza kinene na mtot kafanana nae kama mapacha, hakunip ata pole mpk nkamuambia hujui kusem pol wewe, akasem ooh nlisahau lkn pole.
Na mm huwa nin kibur jmn apo ukwel mpk mm najishangaa siwazag yaan naonaga liwalo na liwe nkamjib og sikutak mamb meng bc kesh ak akatum txxt et mamb nkamjib og, maan nahasir nae amewadangany wazee wang mpk bas kila akipigiw sim ooh ntakuj ntakuja alaf haji asee mpk hop akawadanganya wazaz wang et ntakuj na hakufik kwanzia apo mpk now hakuwah kumjulia mtit wak hali na nikiw namimb, nilimuambia kabs mm sipotez ni yeye anapotez.
kama ni makande mtot atakul na atakuw analia kwa ajili yak kutotaka hata kumuon mtot wak na sio mm tu bal ndug zang mama wazaz wang wanaongea kwa ajil ake na wanaomb kama amekimbia unadhanatatoboa uko alipo me najua nilikosea ila nilienda kwa mchungaj nikaungama zamb zang na nikaomb toba mpk nilipokuwa na aman lkn yeye kawa hv je nifanyaj na mtot ana miez miwil sasa hajawah kutoa ata mche wa sabun chuo nmestop na ukiangalia status zak anapost tu madem zak?
But na kaushaur kwa wanaum usij ukajarib kukana mimba yako hata siku moj kumbuk ile ni hatima ya mtu na kila choz litakalo mtok huyo mwanamk halitaenda bure hata kama ni miaka ila lazm lirud na kitu na hatalia peke ake kumbuk kuna ndugu zak watakulaumu ukikubali na kuwajibik sehem yako hautalaumiw na mtu epuka lawama sio nzuliÂ